text stringlengths 1 1.32k |
|---|
alisema tanzania imebahatika kwa kuwa na nishati nyingi ya gesi na mafuta ambayo kama tanesco itaongezewa nguvu na uwezo wa kuzitumia nishati hizo tanzania itakuwa nchi ya kwanza afrika kutoa huduma ya umeme na kulifanya shirika hilo kujiendesha kwa faida |
mwaka ishirini sifuri sita tanesco ilipata hasara ya shilingi bilioni mia moja na sitini na saba ikiwa chini ya usimamizi wa UNK group UNK ambayo baada ya kumaliza mkataba wake uongozi mpya chini ya serikali uliweza kupunguza hasara hiyo kutoka shilingi bilioni mia moja na sitini na saba hadi shilingi bilioni sitini n... |
alisema serikali haipaswi kuuza shirika hilo zaidi ya UNK kwa kuzingatia mapendekezo ya kamati yake ikiwa ni pamoja na kuuza hisa zake katika soko la hisa |
bwana zitto alisema kamati yake ilipendekeza kusitishwa zoezi la ubinafsishaji ili kufanya tathimini na kurekebisha makosa yaliyojitokeza kwani alidai UNK uliofanywa nchini kuanzia mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na sita umesababisha mali nyingi za umma kupotea na kunufaisha wachache |
alitoa mfano mwingine kuwa shirika la ndege tanzania lipo mahututi kiasi cha kuzidiwa na kampuni binafsi ya precision air inayotoa huduma zenye ushindani kibiashara katika soko |
kamati yangu imetoa pendekezo kwa serikali kuipa mtaji wa kutosha atc ili iweze kutoa huduma zake kwa ubora zaidi na kujiendesha kwa faida ikiwa ni pamoja na kuimarisha viwanja vya ndege katika miji mikubwa na midogo na kuingia katika ushindani wa soko la kibiashara alisema |
aliongeza kuwa asilimia kubwa ya marubani wa ndege za serikali UNK hivyo ni jukumu la serikali kuwawezesha kielimu marubani wapya ili kuongeza ufanisi wa shirika hilo |
alisema pamoja na mapendekezo mengi yanayotolewa na kamati yake historia inaonesha kuwa kwa nchi nyingi duniani serikali imekuwa ikishindwa kutekeleza mapendekezo yanayotolewa na kamati za bunge |
alisema mfano mzuri wa mapendekezo hayo ni yale yaliyotolewa na kamati ya bunge kuhusu richmond iliyoongozwa na mbunge wa kyela daktari harrison mwakyembe lakini hadi sasa serikali imeshindwa kuyafanyia kazi |
na kulwa mzee jeshi la polisi limesema UNK mashitaka aliyekuwa waziri wa maendeleo ya miundombinu ambaye ni mbunge wa bariadi magharibi bwana andrew chenge endapo shirika la bima la taifa UNK bima alizokutwa nazo si halali |
hayo aliyasema jana mkuu wa kikosi cha usalama barabarani kanda maalumu ya dar es salaam kamishna msaidizi wa polisi bwana mohamed UNK |
alisema katika uchunguzi waliofanya walibaini bima alizokutwa nazo bwana chenge ni halali na kwa kupata uthibitisho zaidi UNK nic barua ili wathibitishe uhalali wake kwani mshitakiwa alikata bima hizo katika shirika hilo na endapo watasema si halali UNK mashitaka |
mkuu huyo alisema siku ya tukio la ajali machi ishirini na saba mwaka huu katika kioo cha mbele katika gari ya bwana chenge ilionekana kuwa bima yake ilikwisha tangu mwaka ishirini sifuri saba kwani UNK kwa ajili ya juni ishirini sifuri sita hadi ishirini sifuri saba alisema siku iliyofuata walipofanya ukaguzi ndani y... |
akizungumzia sheria hiyo kwa upande wa UNK na leseni ya kuendesha gari alisema unapaswa kuwasilisha leseni yako ndani ya siku tatu tangu UNK kuonesha leseni hiyo |
kuna umuhimu wa kubandika stika katika kioo pamoja na hiyo pia mwenye gari anatakiwa kuwa na hati ya uthibitisho wa malipo ya bima alisema |
alisema UNK kumfungulia mashitaka kwa makosa hayo UNK kwa sababu siku tano zilizowekwa kisheria zilikuwa UNK |
hata hivyo jeshi hilo bado linamtafuta mmiliki wa bajaji UNK pamoja na dereva wa bajaji hiyo |
bwana chenge alipanda kizimbani juzi mahakama ya wilaya ya kinondoni akikabiliwa na mashitaka ya kusababisha vifo vya wasichana wawili kutokana na kuendesha gari kwa uzembe |
ilidaiwa mahakamani hapo kwamba katika kosa la kwanza mshitakiwa machi ishirini na saba saa kumi alfajiri barabara ya haile UNK maeneo ya karume shule ya msingi aliendesha gari kwa uzembe na kusababisha kifo cha victoria george |
mshitakiwa huyo inadaiwa alikuwa dereva wa gari namba t mia tano na kumi na tatu UNK toyota UNK aliendesha gari katika barabara ya umma kwa uzembe na kushindwa kuchukua hadhari kwa watumiaji wengine wa barabara hiyo aliendesha upande wa kulia zaidi matokeo yake akagonga bajaji na kusababisha kifo hicho |
katika mashitaka ya pili bwana chenge anadaiwa kwa kuendesha gari kwa uzembe alisababisha kifo cha beatrice UNK |
bwana chenge anadaiwa kufanya makosa hayo kinyume na kifungu namba mia moja na arobaini na moja na sitini na tatu cha sheria ya usalama barabarani namba thebathini ya mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na tatu kama ilivyofanyiwa marekebisho na sheria namba mia moja na sitini na nane ya mwaka ishirini sifuri mbili k... |
na mwajuma juma zanzibar kazi ya uopoaji meli UNK juzi ya mv fatih katika bandari ya malindi zanzibar imeanza kufanywa jana na timu ya askari wa kikosi cha wanamaji cha jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania wakitumia chombo maalumu cha kunyanyua vitu UNK |
chombo hicho maarufu kwa jina la ndovu UNK wa UNK mzigo wa tani mia moja na ishirini na kiliwasili alfajiri jana na kuleta faraja kwa wananchi wa zanzibar ambao walikuwa wakisubiri kwa hamu kuwasili kwa chombo hicho |
askari hao wa jwtz iwapo watafanikiwa UNK chombo hicho jibu muafaka litakuwa UNK kufuatia wasiwasi UNK katika UNK kuwa meli hiyo ilikuwa na watu wengi kuliko idadi UNK |
kamanda wa polisi wa mkoa mjini magharibi unguja bwana bakari UNK shaaban aliwaambia waandishi wa habari katika eneo la tukio kuwa chombo hicho baada ya kuwasili wazamiaji walianza kazi kwa kufunga kamba za chuma kabla ya UNK kuja juu |
mwandishi wa habari hizi alishuhudia zoezi la kwanza lililofanyika saa tisa alasiri kunyanyua meli hiyo lakini kwa bahati mbaya kamba ya chuma ilikatika na wazamiaji kuamua kutafuta mnyororo ili utumike kwa kazi hiyo |
mnyororo huo ulipatikana kutoka kwenye chombo kingine cha kuvuta meli mali ya mamalaka ya bandari tanzania lakini hadi tunakwenda mitamboni bado zoezi hilo lilikuwa UNK |
katika hatua nyengine serikali imetoa orodha ya watu thebathini na tatu walionusurika katika ajali hiyo |
wateja sasa UNK serikali |
UNK maandamano makubwa kesho sakata la kampuni ya upatu ya deci limechukua sura mpya baada ya wanachama wake kuigeukia serikali na kupanga maandamano makubwa kushinikiza kutoa hatima ya mbegu zao walizoahidiwa kuvuna mwanzoni mwa mwezi huu |
hali hiyo iliibuka baada ya viongozi wa deci kuwaeleza wanachama waliokusanyika makao makuu ya kampuni hiyo mabibo dar es salaam jana kuwa kwa sasa hawana chochote cha kufanya kwani serikali UNK hatma ya fedha zao hatua iliyosababisha hata mmiliki wa jengo la ofisi UNK yake kutokana na deci kushindwa kulipa pango |
akizungumza na wanachama hao mkurugenzi wa deci bwana timoth ole loitinggye alisema hawana lolote la kuwaambia wanachama hao isipokuwa serikali kupitia tume iliyoundwa ndiyo UNK wa kutafuta suluhisho kwani hata wao hawana fedha hata fedha za mafuta ya magari yao |
UNK UNK ili mjue kinachoendelea lakini sisi hatuna cha kuwaeleza bali tutafikisha taarifa zenu kwa wahusika ambao ni tume iliyoundwa tume hii ina watu muhimu wakiwemo waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo igp said mwema na gavana wa benki kuu ya tanzania alieleza bwana loitinggye baada ya maelezo hayo wanacham... |
walitoa maneno makali kuilamu serikali kwamba badala ya kutatua tatizo lao imegeuka na kuwakandamiza na kuwa kikwazo kupata fedha zao |
kwanini wanachama UNK na hiyo tume iliyoundwa badala yake wanatufanyia ubabaishaji hii amani inayoonekana hapa itavunjika muda wowote kuanzia sasa sisi UNK hapa mpaka kieleweke kwani mambo yetu mengi UNK kwa sababu ya huu UNK |
alilalamika mmoja wa wanachama hao |
wanachama hao waliamua kubaki eneo la ofisi hizo kwa saa tatu baada ya viongozi kumaliza mkutano huo na baadaye kuamua kwenda kuandamana kwenda kwa nyumbani kwa mwenyekiti wa democratic party mchungaji christopher mtikila kutaka muongozo wa kuandaa maandamano makubwa kesho kushinikiza serikali kuwalipa mbegu zao |
mchungaji mtikila amekuwa mstari wa mbele kutetea wateja hao kupata haki zao na hivi karibuni alihutubia mkutano wa wanachama hao kwenye viwanja vya jangwani dar es salaam na kueleza kuwa kufungwa deci ni uonevu |
maandamano hayo yamepangwa kuanzia ofisi za deci mabibo hadi wizara ya fedha na uchumi |
aprili mwaka huu serikali ilitangaza kusitisha shughuli za deci baada ya kubaini kuwa kampuni hiyo inaendeshwa kinyume cha sheria na kuwatahadharisha wanachama wake kutoendelea kuhatarisha mitaji yao |
naye edmund mihale anaripoti kuwa mbunge wa handeni daktari abdallah kigoda UNK deci ingefanya utaratibu mzuri katika kuendesha shughuli zake mabenki mengi nchini yangesahaulika na kufilisika kwa watu wengi kukimbia riba kubwa |
akizungumza katika kikao cha kamati ya kudumu ya fedha na uchumi ya bunge jana daktari kigoda ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati hiyo alisema hali hiyo inatokana na riba kubwa inayotozwa kwenye mikopo huku wateja wateja wa benki hizo wakipata faida ndogo |
naomba nitoe mfano mdogo lakini najua UNK nasema kama deci UNK utaratibu mzuri wananchi wa kipato cha chini wote UNK huko na mabenki yetu yangesahaulika alisema daktari kigoda |
kamati ya kudumu ya mambo ya nje ulinzi na usalama ya bunge UNK jeshi la polisi kuwa na msemaji mmoja katika taarifa UNK kuhusu matukio yanayogusa jamii na jeshi hilo |
hatua hiyo imekuja kutokana na taarifa zenye utata zilizotolewa na jeshi hilo baada ya timu iliyoundwa kukagua mazingira ya ajali ya mbunge wa kyela daktari harrison kukataliwa na jeshi hilo kwa maelezo kwamba haikuwa sahihi |
taarifa ya ajali hiyo iliyotokea mei ishirini na moja mwaka huu katika eneo la ifunda iringa na kusababishia kuharibika vibaya gari na majeraha kwa mbunge huyo machachari wa chama cha mapinduzi imeibua pia imeibua hisia tofauti kwa wananchi na makundi mbalimbali ndani jamii |
akijibu swali la waandishi waliotaka kujua ni hatua gani UNK na kamati yake kuhusu taarifa hizo tata za jeshi la polisi mwenyekiti wa kamati hiyo bwana wilson masilingi alisema wametoa UNK kwa jeshi hilo kuweka utaratibu wa msemaji mmoja katika mambo yanayohusu taarifa za jeshi hilo |
UNK waache utaratibu kusema ovyo na wawe na msemaji ili wananchi UNK sasa ona katika taarifa hii mwingine ametoa taarifa mwingine anasema taarifa hiyo si sahihi taarifa sahihi anayo igp mwema sasa wananchi wamuamini nani katika hili |
alisema bwana masilingi |
alisema pamoja na kusemwa mambo mengi juu ya ajali za wabunge zilizotokea hivi karibuni ambapo pia mbunge mwingine bwana aloyce kimaro wa vunjo alipata ajali baada ya watu UNK kutega mawe barabarani bwana masilingi alisema anaamini kuwa ajali hizo ni za kawaida na UNK na mambo ya kisiasa kama inavyotafsiriwa na wengi |
akizungumzia ajali ya daktari mwakyembe UNK wa sheria chuo kikuu cha dar es salaam daktari sengondo mvungi alisema taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi inatia shaka kutokana na mazingira ya ajali hiyo |
alisema hadi sasa UNK ni kwanini jeshi hilo limeshindwa kulikamata gari UNK ajali hiyo na kutoa taarifa UNK upande mmoja bila kuhusisha dereva wa gari jingine |
UNK taarifa hiyo lakini inatia shaka sidhani kama taarifa hiyo imeandaliwa na wataalamu kutoka katika jeshi letu ambalo tunaamini kuwa ndilo lenye dhamana ya kulinda usalama wetu na mali zetu alisema daktari UNK |
alisema UNK askari wa UNK barabarani walitakiwa kuwauliza wenyeji walishuhudia ajali madereva wote na kupima eneo la ajali kisha kutoa maamuzi kutokana na mazingira ya maelezo ya mashuhuda na vipimo lakini taarifa hiyo UNK kumhoji dereva wa gari la pili |
alisema haamini kama kweli jeshi hilo lilishindwa kulikamata gari hilo baada ya tukio kwani kutoka na uwezo wa jeshi hilo UNK kufika hata umbali wa kilomita ishirini kutoka eneo la tukio |
alisema kimsingi taarifa hiyo UNK kwa kuwa haikueleza upande mwingine wa shilingi na kumtaka igp said mwema kupanga vizuri askari wake ili UNK aibu jeshi hilo |
rais jakaya kikwete amesema tanzania iko tayari kuvunja uhusiano na nchi tajiri kama UNK viwango vya bei za kununulia mazao ya kilimo kutoka kwa wakulima masikini |
rais kikwete alisema bei duni za mazao UNK umasikini kwa wakulima na kukwamisha mapinduzi ya kijani ambayo ni muhimu katika maendeleo ya taifa |
akizungumza katika mkutano mkubwa wa kilimo ulioandaliwa na baraza la biashara la taifa chini ya kaulimbiu isemayo kilimo kwanza rais kikwete alisema ili mkulima wa tanzania UNK na jasho lake ni lazima uwekezaji ulio sawa ufanyika badala ya kumkandamiza kwa kununua mazao yake kwa bei ya chini |
lengo la kubadilisha mfumo wa kilimo katika taifa hili lilikuwepo tangu uhuru lakini bado UNK na leo tupo hapa kuanisha matatizo yanayoikabili sekta ya kilimo ili kuyapatia ufumbuzi alisema rais kikwete |
alieleza kuwa mapinduzi ya kijani hayawezi kuletwa na serikali pekee bila ya kushirikiana na taasisi binafsi katika kuboresha vituo vya utafiti wa mbegu pamoja na kujenga viwanda vya kuongeza thamani mazao baada ya UNK |
alisema serikali imejipanga vizuri kutoa kipaumbele katika kuboresha kilimo cha kati na kikubwa kwa wakulima ili kuongeza uzalishaji kwa kiasi UNK matumizi ya ndani na kuuza nje ya nchi |
alisema ili kilimo UNK ni lazima wakulima wakubali kutumia teknolojia ya kisasa ili kuongeza uzalishaji ikiwa ni pamoja na kutumia UNK mbegu bora pamoja na zana za kisasa kama matrekta ya mikono |
tunahitaji mkulima wa kitanzania si tu kuzalisha chakula bali UNK mazao ya biashara ambapo UNK nje na kujiongezea kipato kwa kufanya hivyo taifa nalo UNK kupitia kwake alisema na kuongeza kuwa najua serikali inajukumu la kutengeneza mazingira bora kwa ajili ya kuvutia wawekezaji ikiwa ni pamoja na miundombinu huduma z... |
alifafanua kuwa ili kufanikisha mapinduzi ya kijana nchini serikali imejipanga kuanzisha benki ya ardhi ambayo itatatua migogoro ya ardhi ambapo itatumika kulipa fidia kwa wananchi ili ardhi iwe mikononi mwa serikali na kuikabidhi kwa kituo cha uwekezaji tayari kuwapatia wawekezaji bila UNK na UNK |
naye mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya sekta binafsi daktari evans rweikaza alisema sheria ya ardhi bado inakwamisha kuboresha kilimo nchini kutokana na ugumu wa vipengele vya sheria zake |
daktari rweikaza aliongeza kuwa UNK nyingine ni pamoja na kutegemea kilimo cha mvua miundombinu mibovu na masoko kutoa bei ya chini mambo ambayo serikali kwa kushirikiana na wadau wa kilimo wakikaa pamoja wanaweza kuyatatua |
mwenyekiti wa kikundi kazi bwana felix mosha alisema kuanzishwa kwa benki ya kilimo UNK UNK za taifa kuondokana na tatizo la chakula kwani kwa sasa mabenki hutoa mikopo asilimia sifuri nane kwa wakulima kiwango ambacho kiko chini sana hii na nikutokana na benki hizo kuwa za kibiashara zaidi |
mikopo ya kilimo ni ya muda mrefu inaweza kuwa miaka tano hadi kumi na tano hivyo kumpa wakati mzuri mkulima kujipanga vizuri katika UNK wake mbali na mikopo ya muda mfupi alisema bwana mosha |
wakati huo huo rais kikwete amepongeza juhudi za wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi ya kupambana na UNK haramu kwa kukamata na kuchoma UNK |
rais kikwete alisema lazima ifike mahali uamuzi wenye maslahi ya kujenga taifa UNK ili kunusuru maisha ya watanzania na maliasili zao bila kujali maslahi ya watu wachache |
uvuvi mbaya uliofanyika katika ziwa victoria umesababisha hata sangara kwisha mbali na UNK na hii nikutokana na kufumbia macho uharifu unaofanywa na wavuvi UNK alisema rais kikwete |
UNK zilipo fedha za wateja |
wanachama UNK kuzui gari |
polisi waingilia kuwatawanya |
UNK kusitisha maandamano na wandishi wetu hofu imetanda kwa wanachama wa kampuni ya development enterpreneurship for community initiative kufuatia viongozi kuonekana UNK nyaraka za wanachama hao kutoka ofisi za makao makuu mabibo dar es salaam jana na UNK kusikojulikana |
viongozi hao waliwasili ofisini hapo saa tano thebathini asubuhi wakiwa kwenye gari dogo toyota corola namba t mia nne na hamsini na tano adm na kuanza kutoa nyaraka na kuziweka kwenye gari hilo kitendo UNK wanachama waliofurika eneo hilo kuingiwa hofu na kuhoji kulikoni |
nani amewaambia kutoa nyaraka zetu |
kwani wao ni serikali wanataka kuzipeleka wapi UNK kitu hapa |
alisikika mwanachama mmoja kutoka kundi hilo UNK |
baada ya muda viongozi wawili kati ya wanne walioingia katika ofisi hizo walitoka na kuanza kuondoka na gari hilo hali iliyozua mtafaruku mkubwa na wanachama hao kuziba barabara ili gari hilo UNK kushinikiza kujua zinakopelekwa nyaraka hizo |
hakuna kupita na gari hapa |
rudisha huko mpaka mtuambie UNK wapi nyaraka zetu |
na nini hatma ya fedha zetu UNK sana |
rudisha gari huko |
alisikika akilalamika mwanachama mwingine aliyekuwa mstari wa mbele kuzuia gari hilo |
polisi waliokuwa eneo hilo waliingilia kati kutawanya wanachama hao baada ya vurugu hizo kuonekana kupamba moto huku kusisitiza kuwataka kuacha gari hilo liende |
kama mnataka amani tupeni maelezo kuhusu zinakopelekwa nyaraka zetu na hatma ya fedha zetu vinginevyo hakuna amani hapa |
tumevumilia tumechoka hakuna amani UNK |
alilalamika mwanachama mmoja huku zogo la maneno UNK kutoka na kila mmoja kulalamika |
hali hiyo iliwafanya maofisa waliokuwa ndani ya gari kuingiwa hofu na kuonekana UNK macho huku na kule |
hata hivyo vurugu hizo zilidumu kwa muda mfupi na polisi walifanikiwa kuwatawanya wanachama hao baada ya kuwatisha kwa silaha kitendo kilichowafanya kuondoka barabarani na gari hilo kupita |
awali wanachama hao walikuwa UNK katika makundi huku wakijadili mambo mbalimbali ikiwemo maandamano makubwa UNK kufanya leo |
akizungumza na gazeti hili mmoja wa viongozi wa wanachama hao alisema kuwa wamepata taarifa kwamba waziri mkuu bwana mizengo pinda amekataa kuyapokea maandamano hayo lakini hata hivyo msimamo wao uko pale pale |
taarifa zilizopatikana kutoka kwa baadhi ya wanachama hao zilidai kuwa baadhi ya wanachama waliopanda fedha nyingi wakiwemo viongozi wa serikali UNK mbegu zao baada ya kuibuka sakata hilo na UNK sasa watu wa chini |
wanachama hao walisema wamepoteza imani kwa serikali iliyopo kutokana na kutosikilizwa matatizo yao ambapo awali ilitangaza kuwa UNK akaunti za deci lakini kauli ya waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo UNK baada ya kudai serikali haihusiki na fedha za kampuni hiyo |
majira lilipata tetesi kutoka kwa watu wa karibu wa deci kuwa kuhamishwa kwa nyaraka hizo kunatokana na kumalizika mkataba wa pango hivyo viongozi hao wanalazimika kuhamisha vyombo vyao |
wakati huo huo viongozi wa kampuni hiyo wameibuka na kueleza kuwa fedha zote za wanachama hao ziko salama salimini |
hatua hiyo imekuja siku moja baada ya serikali kupitia waziri wa fedha na uchumi bwana mkulo kutoa tamko kupitia vyombo vya habari kuwa haihusiki na fedha za deci hali ambayo imeibua hasira kwa wanachama wa kampuni hiyo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.