text
stringlengths
1
1.32k
katika mafaniko ya wizara hiyo bwana UNK alisema imefanikiwa kufanya ukaguzi wa ubora wa kiasi cha dhahabu UNK na kuuzwa nje ya na kampuni za madini za geita bulyanhulu UNK UNK na north mara kwa lengo la kujua mapato yaliyopatikana na kiasi kilichostahili kulipwa kama UNK kwa serikali
alisema ukaguzi huo umewezesha serikali kuanza kulipwa kodi ya mapato kutoka katika kampuni ya dhahabu ya geita kwa kiasi cha dola za marekani mbili mia moja na arobaini na tisa mia moja na sabini na tisa na grace michael kada wa ccm bwana rajab maranda anayekabiliwa na kesi ya wizi wa mabilioni ya fedha katika akaunt...
hayo aliyasema jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu kupitia wakili wake bwana majura magafu mbele ya jopo la mahakimu ambao ni bibi cypriana william bwana saul kinemela na bwana phocus bampikya wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili majumuisho ya pande zote mbili
katika hoja za bwana magafu aliiomba mahakama hiyo kuwaona washitakiwa katika kesi hiyo hawana kesi ya kujibu chini ya kifungu mia mbili na thebathini cha cpa ambapo washitakiwa hao kwenye kesi hiyo wanakabiliwa na makosa ya kula njama ya kutenda kosa la wizi katika benki kuu ya tanzania
akielezea sababu za mahakama hiyo kuwaona hawana kesi bwana magafu alisema kuwa upande wa mashitaka katika kesi hiyo ulifanikiwa kuita jumla ya mashahidi tisa ambao hakuna hata mmoja ambaye aliweza kuthibitisha makosa yanayowakabili washitakiwa hao
alisema kuwa katika kosa la kula njama upande wa mashitaka UNK shahidi namba sita ambaye UNK ni mpelelezi wa kesi hiyo bwana salum kisai lakini shahidi huyo hakuweza kueleza ni mahali gani washitakiwa hao walikutana kwa ajili ya kula njama kama UNK
shahidi mwingine aliyeletwa na upande huo ni ofisa wa benki ya biashara ambapo UNK benki hiyo ndiyo ilikuwa na akaunti ya kampuni ya washitakiwa ambayo UNK katika wizi wa fedha hizo
bwana magafu alisema kuwa ushahidi huo hauwezi kuisaidia mahakama hiyo kwa kuwa shahidi huyo UNK katika kuelezea namna ya washitakiwa UNK akaunti yao na kuhusiana na wasiwasi wa wingi wa fedha zilizokuwa kwenye akaunti shahidi huyo aliieleza mahakama kuwa alipata ufafanuzi kutoka bot ambako alielezwa kuwa fedha hizo n...
alieleza kuwa uhamishaji wa fedha kutoka bot kuingiza kwenye akaunti ya washitakiwa hao ulikuwa halali hivyo kuondoa dhana nzima ya kosa la kula njama ya wizi wa fedha hizo
aidha alisema kuwa pamoja na kuwepo jaribio la upande wa mashitaka kuonesha kuwa washitakiwa walighushi mkataba wa makubaliano ya kuhamishiana deni lakini hakuna shahidi yoyote aliyefika mahakamani hapo na kuthibitisha kosa hilo
bwana magafu alisema kuwa aliyepaswa kulalamikia wizi huo ni bot lakini hakuna ofisa yoyote kutoka benki hiyo ambaye alilalamikia wizi wa mabilioni hayo na badala yake maofisa wengi walithibitisha uhalali wa malipo hayo
kuhusiana na shahidi kutoka benki ya nbc bwana magafu alisema kuwa ushahidi huo hauwezi kuisaidia mahakama kwa kuwa shahidi huyo alielezea namna ya uhamishwaji wa akaunti ya epa kutoka benki hiyo kwenda bot lakini hakueleza namna gani washitakiwa hao walihusika na wizi huo
katika makosa ya kughushi hati za usajili wa makampuni hakuna shahidi yoyote UNK UNK hiyo kuwa hati hizo UNK na upande wa mashitaka haukuweza kuleta kitabu cha risiti za hati hizo hivyo kushindwa kuthibitisha hilo na kumaliza mkanganyiko wa kampuni zinazodaiwa kuiba fedha hizo
akifafanua kuhusiana na kosa la wizi bwana magafu alisema kuwa washitakiwa hao wanadaiwa kuiba jumla ya shilingi bilioni moja nane lakini hakuna ofisa yoyote wa benki hiyo aliyefika mahakamani kutoa ushahidi na wala hakuna ripoti yoyote ya ukaguzi iliyowasilishwa mahakamani ikionesha wizi huo
alisema kuwa pamoja na bot kuwa na gavana wake na maofisa wengine UNK na shahidi wa kutoka benki hiyo ambaye UNK hata kuzikana barua zilizokuwa UNK uhalali wa malipo hayo
udhaifu mwingine uliooneshwa ni kukosekana kwa mpelelezi aliyekwenda nchi india kwa ajili ya kupata taarifa za kampuni hiyo kuhusiana na uhamishaji wa deni lake hivyo kutokana na mapungufu hayo akaiomba mahakama hiyo kuwaona washitakiwa hawana kesi ya kujibu
baada ya kuwasilishwa kwa majumuisho hayo upande wa mashitaka nao utawasilisha majumuisho yake leo na baadae mahakama itatoa uamuzi kuhusiana na washitakiwa kukutwa na kesi ya kujibu au la
mshitakiwa mwingine katika kesi hiyo ni bwana farijala hussein ambao wote kwa pamoja wanadaiwa kuiba jumla ya shilingi bilioni moja nane kutoka bot baada ya kughushi mkataba wa makubaliano ya kuhamishiana deni kati ya kampuni yao ya kiloloma UNK UNK na kampuni ya nje ya b UNK UNK ltd ya mumbai india
reuben kagaruki na gladness mboma bunge la jumuiya ya afrika mashariki limesema mgogoro wa kugombea kisiwa cha migingo baina ya kenya na uganda UNK ufumbuzi kwa njia ya mazungumzo kupitia tume za pamoja zilizoundwa kushughulikia tatizo hilo
hayo yalisemwa dar es salaam jana na mwenyekiti wa kamati ya kilimo utalii na maliasili wa bunge la eac daktari george nangale alipofanya mahojiano maalum na gazeti hili kuhusiana na uamuzi wa bunge la kenya kumruhusu rais UNK kibaki kutumia jeshi ikibidi kulinda kisiwa hicho
alisema tamko lililotolewa na wabunge wa kenya kumruhusu rais kibaki atumie jeshi ikibidi ili kulinda kisiwa hicho lilitolewa kwa bahati mbaya
tamko lile litakuwa lilitolewa kwa bahati mbaya kwani jitihada zinafanyika kuupatia ufumbuzi mgogoro huo na tunachotakiwa kusubiri ni matokeo alisema daktari UNK
alifafanua kuwa tangu aprili mwaka huu bunge la eac liliafiki mgogoro huo utafutiwe ufumbuzi na nchi za kenya na uganda kwa njia ya amani
daktari nangale alisema tangu azimio hilo litolewe juhudi zimekuwa zikiendelea kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mvutano huo
aliongeza kuwa chimbuko la mgogoro huo ni UNK iliyowekwa na wakoloni ambayo hadi sasa UNK marekebisho
alisema kibaya zaidi wakati wa utawala wa nduli idd amin alikuwa UNK kuwa kisiwa fulani ni sehemu ya nchi yake na hiyo inawezekana ikawa imechangia kuibuka kwa matatizo ya aina hiyo
wakati huo huo bunge hilo la eac katika kipindi cha mwaka ishirini sifuri tisa ishirini moja sifuri UNK bajeti ya dola milioni hamsini na nne kwa ajili ya shughuli za maendeleo
kauli hiyo ilitolewa jana na mbunge wa afrika mashariki bwana george nangale alipokuwa akizungumzia yaliyojiri katika mkutano wa bunge hilo uliomalizika wiki iliyopita mjini UNK burundi
alisema fedha hizo ni mchango kutoka nchi wanachama ambapo asilimia tano ya fedha hizo ni mchango wa wanachama na zilizobaki ni kutoka kwa wafadhili
alisema kuwa bajeti hiyo mpaka sasa imeelekezwa katika shughuli za maendeleo matumizi ya kawaida nyingine katika sekta za uvuvi kilimo na mazingira ikiwa ni pamoja na kuhudumia ziwa viktoria
katika mkutano huo walijadili pia muswada UNK chombo UNK watalii katika jumuiya hiyo ambapo waliona umuhimu wa nchi hizo kuwa na viza moja ili punguza usumbufu
muswada huu bado UNK ila baraza la mawaziri lina mkakati wa pamoja ili kuweka mambo sawa na mambo yakiwa mazuri katika kikao cha novemba mwaka huu muswada unaweza UNK iwapo kutakuwepo na ridhaa ya mawaziri hao wa afrika mashariki alisema
alisema wamegundua kuwa kukiwepo na sera tofauti tanzania inaweza kupoteza watalii kwa kuwa wale wanaoingia afrika mashariki huishia kenya
bwana nangale alisema kiuchumi ni lazima nchi hizo UNK kwasababu katika miaka kumi i iliyopita jumuiya hizo zimeweza kuweka miundo ya barabara na reli na katika mpango wa sasa reli ya kati kutoka dar es salaam hadi kigoma wamekubaliana UNK
alisema UNK mwingine ni umoja wa ushuru wa forodha japo una vikwazo vingi na wadau mbalimbali wanajaribu kutatua matatizo ambapo alisema bado kuna matatizo kutokana na mawasiliano kutokuwa sawa
bwana nangale alisema kuwa wamekuwa wakifanya maazimio ya pamoja mjini arusha wa wabunge na UNK wa afrika mashariki lakini utekelezaji hakuna
vile vile bwana nangale alisema kuwa serikali ya ujerumani imetoa euro milioni kumi kwa ajili ya kujenga makao makuu ya afrika mashariki mjini arusha utekelezaji ambao utaanza novemba mwaka huu
na salum pazzy na godfrida jola wakati viongozi wa kampuni ya development enterpreneurship for community development UNK wateja wao kuvuta subira kuhusu hatma ya mbegu zao baadhi wanachama hao wamepanga kuandamana kwenda bungeni dodoma wiki ijayo kuwasilisha kilio chao kwa wabunge
uamuzi huo ulifikiwa jana wakati wanachama hao walipokutana makao makuu ya deci mabibo dar es salaam kujadili hatma ya mbegu zao na baadhi yao kuonesha kutoafiki kauli za viongozi wao na kutangaza uamuzi huo
wanachama hao walilalamika kwamba viongozi wao wamekuwa wakiendesha suala hilo kidiplomasia huku wakidai baadhi ya vigogo waliopanda mbegu wamelipwa kinyemela
kwanini vigogo walipwe na sisi tunabaki kuhimizwa kuvuta subira wakati wote ni wanachama
kama serikali imeshaona deci ni utapeli kwa nini wanangganggania pesa zetu na hiyo tume inachunguza nini siku zote hizi
alihoji mmoja wa wanachama hao ambaye alikataa kutaja jina lake
wanachama hao walijadili kwa zaidi ya saa moja na kufikia uamuzi wa kukutana leo saa mbili asubuhi kuchangishana pesa zitakazotumika kupeleka wawakilishi wao bungeni dodoma kushinikiza kurudishiwa mbegu zao haraka
viongozi hao waligawa vipeperushi kuhamasisha wanachama hao kufika ofisini hapo leo asubuhi ili kukamilisha maandalizi ya safari hiyo
kesho asubuhi tunakutana hapa kwa amani ili tujadili mambo yetu ikiwa ni pamoja na kauli za waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo kwani UNK mara aseme fedha UNK mara serikali haihusiki pia UNK pesa ili wenzetu UNK bungeni dodoma UNK tutaweza kuchanga mbona UNK kuchanga shilingi ishirini sifuri sifuri sifuri za...
alisema mwanachama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la bibi salma shabani alisema mkutano huo utajadili ukimya wa viongozi wao ambao unawatia hofu na kuonesha kuwa UNK kwani kila siku wamekuwa UNK maneno
kwa upande wake mwenyekiti wa deci mchungaji issack kulenga alisema UNK taarifa za harakati zote zinazofanywa na wanachama hao lakini alizidi kuwaomba kuwa wavumilivu kwani viongozi wanashughulikia suala lao kwa umakini
UNK pia makubaliano yao na kamanda wa polisi kanda maalum ya dar es salaam suleiman kova ambaye alijitolea kuwa kiungo kati ya deci na mamlaka zinazoshughulikia tatizo hilo
katika hatua nyingine mchungaji kulenga alimlaumu bwana mkulo kutokana na kile alichoita kutoa kauli zinazochangia migogoro kati ya wanachama wa deci na serikali
na edmund mihale serikali UNK jumla ya shilingi trilioni tisa tano kwa mwaka ujao wa fedha ishirini sifuri tisa kumi akiwasilisha mwelekeo wa bajeti ijayo mbele ya kamati ya kudumu ya uchumi na fedha ya bunge jana waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo alisema bajeti hiyo imelenga kutekeleza mfumo wa kukusanya ...
alisema bajeti hiyo UNK maeneo mengine kama kuchukua hatua za UNK kukabiliana na athari zinazotokana na misukosuko ya uchumi duniani kuboresha na kupanua miundombinu ya barabara reli bandari viwanja vya ndege na umeme pia imelenga kuhakikisha hatua zinachukuliwa kulinda ajira na kujikinga na madhara ya uhaba wa chakul...
kuimarisha mfumo wa matumizi ya fedha na ufuatiliaji wa matumizi pamoja na tathmini ya mpango wa bajeti ili kuhakikisha rasilimali ya fedha inatumika kwa ufanisi
kutafuta mikopo zaidi yenye masharti nafuu katika mashirika ya kimataifa nchi za mashariki ya kati na asia ili kuweza kuongeza uwezo wa serikali kugharamia miradi mikubwa ya miundombinu na kushirikisha sekta binafsi
mbali na hayo imelenga kupata fedha kwa ajili ya ukamilishaji wa kupima ardhi ya vijiji moja hamsini sifuri na kutenga fedha za kugharamia miradi maalumu katika maeneo yenye mazingira magumu UNK UNK kufanya kazi
akifafanua bwana mkulo alisema serikali inatarajiwa kukusanya shilingi trilioni tisa tano na shilingi trilioni tano moja kama makusanyo kutoka vyanzo vya ndani
shilingi trilioni tatu mbili ni misaada na mkopo kutoka kwa wahisani na shilingi trilioni moja mbili kutoka katika mapato mengine
alisema bajeti hiyo imetenga shilingi bilioni elfu moja na mia saba na arobaini na tatu tisa ili kuimarisha ukaguzi wa elimu katika ngazi zote UNK na shilingi bilioni elfu moja na mia nne na thebathini nne ya mwaka ishirini sifuri nane sifuri tisa sawa na ongezeko la asilimia ishirini na mbili alisema katika kilimo na...
alisema miundombinu imetengewa shilingi bilioni kumi tisa sita sita UNK maji ya matumizi ya kawaida pamoja na umwagiliaji UNK shilingi bilioni mia tatu na arobaini na saba tatu huku upatikanaji umeme UNK shilingi bilioni mia tatu na themanini na tano tano wakijadili mwelekeo huo wajumbe wa kamati hiyo walisema bajeti ...
bwana UNK chegeni alisema bajeti hiyo inasikitisha kwani UNK miundombinu katika kilimo na imekuwa UNK upande mmoja wa nchi na kuisahau upande mwingine kwa kuangalia sehemu wanazotoka wakubwa naye mbunge wa tabora mjini bwana siraji kaboyonga alisema bajeti hiyo kwa kiasi kikubwa ni tegemezi kwa kutegemea misaada na ku...
rais jakaya kikwete amekanusha uvumi UNK kwamba serikali UNK eneo la kigamboni kwa wamarekani na kubainisha kuwa madai hayo ni ya kipuuzi na hayana kichwa wala miguu
rais kikwete alisema hayo jana baada ya kuzindua kivuko kipya cha mv magogoni eneo la magogoni dar es salaam
kuna watu waongo wanasema mji huo UNK kwa wamarekani uongo wao UNK zaidi
huu ni uvumi na uongo wa mchana hauna kichwa wala miguu wamarekani waje hapa wanatafuta nini
alisema rais alisema anachofahamu yeye ni kwamba jiji kwa kushirikiana na wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi wanampango wa kuboresha mazingira ya kigamboni
alieleza kuwa kinachofanyika ni kwamba wataalamu wa upimaji wanapima na kupanga vizuri mji huo na kamwe wenyeji wa eneo hilo hawatahamishwa bali watapewa maeneo UNK UNK watagawiwa wengine
ikitokea watendaji UNK ahadi ya kutoa kipaumbele kwa wakazi wa kigamboni nipewe taarifa na hapo ndipo malalamiko UNK aliahidi rais kikwete
akizungumzia usalama wa usafiri wa majini aliitaka mamlaka ya usafiri majini na nchi kavu kuwa makini kufanya ukaguzi wa vyombo na kusimamia ubora wa usafiri ujuzi wa manahodha na wafanyakazi wengine
alisema uzembe wa mamlaka hiyo umekuwa chanzo cha maafa kwa abiria na uharibifu wa mali zao
aliitaka mamlaka hiyo kufanya ukaguzi bila ubabaishaji na UNK kusikia kiongozi anapita ndipo wafanye ukaguzi huo
aliwataka abiria UNK kusafiri na meli yenye UNK yasiyolingana na idadi yao
alisema ajali nyingi za majini zinasababishwa na ubovu wa vyombo vyenyewe matengenezo yasiyoridhisha makosa ya manahodha kuzidisha abiria kwa tamaa ya fedha matokeo yake ni chombo kuzama na kusababisha maafa
akizungumzia ujenzi wa daraja la kigamboni alisema utaanza mwaka mwakani na serikali imejipanga na mchakato wa kupata mshauri unaendelea kwa ajili ya kutayarisha zabuni ya ujenzi huo
akizungumzia msongamano wa magari dar es salaam rais kikwete alisema serikali ina mpango wa kujenga barabara kadhaa ili kupunguza tatizo hilo na baadhi ya mikataba kwa ajili ya ujenzi huo UNK hivi karibuni
miongoni mwa barabara hizo ni ile ya kutoka UNK hadi tungi mjimwema pembe mnazi tungi kibada ubungo maziwa kigogo tegeta kibaoni mbezi mwisho UNK UNK kimara mabibo na zote UNK kwa kiwango cha lami
barabara zingine zitafanyiwa matengenezo na kuwa njia mbili ikiwemo ya morocco kawe mikocheni UNK sayansi msasani kwa nyerere ambazo serikali ya japani itasaidia ujenzi huo
akitoa taarifa za kivuko hicho katibu mkuu wizara ya miundombinu bwana omar chambo alisema kimenunuliwa na serikali ya tanzania kwa gharama ya shilingi bilioni nane tano zilizotengwa kwenye bajeti ya mwaka ishirini sifuri sita sifuri saba alisema kivuko hicho ni cha kisasa chenye uwezo wa kubeba tani hamsini sifuri ma...
akimkaribisha rais waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa alisema kivuko hicho ni kikubwa kuliko vyote nchini na kitafanya kazi kwa kusaidia na vingine viwili mv UNK na mv kigamboni
alisema wizara yake imedhamiria kuhakikisha sehemu zote zinazohitaji vivuko nchini zinapata vipya na vilivyopo UNK ukarabati wa uhakika
UNK kuhusu hatua butu dhidi ya mafisadi UNK ushirikina unaofanywa na viongozi waziri mkuu pinda akiri asema tatizo lipo maaskofu wa jumuiya ya kikristo tanzania wamesema hawaridhishwi na kasi ya serikali ya rais jakaya kikwete kushughulikia watu wanaotuhumiwa kwa ufisadi na kuonya kwamba kusuasua huko kunaweza kuleta ...
pia viongozi hao wa kiroho wameitaka serikali kurekebisha mambo mengine tisa ya msingi likiwemo la ushirikina miongoni mwa viongozi serikalini ambalo walisema sasa linazidi kuipeleka nchi pabaya
akisoma hotuba kumkaribisha waziri mkuu bwana mizengo pinda kufungua mkutano mkuu wa cct mjini hapa jana mwenyekiti wa jumuiya hiyo askofu daktari donald mtetemela alisema licha ya serikali kuonesha nia kupambana na ufisadi UNK kasi UNK kushughulikia wahusika
tuhuma za ufisadi zimekuwa karibu ngazi zote za uongozi serikali vyama vya siasa mashirika ya umma na asasi zisizo za serikali baadhi ya juhudi za kisheria kuhusiana na tuhuma hizi zinaonekana kuchukua muda mrefu bila kushughulikiwa hii inaweza kutafsiriwa vibaya na jamii ya watanzania alionya askofu UNK
alitaja changamoto tisa zinazotakiwa UNK upya na serikali kuwa ni pamoja na ubinafsi miongoni mwa watumishi wa umma unaosababisha kuongezeka kwa kero za wananchi mikataba mibovu kati ya serikali na wawekezaji isiyozingatia maendeleo na usalama wa wananchi na kuwasababishia manyanyaso katika nchi yao hususan katika sek...
changamoto nyingine ni pamoja na kuboreshwa kwa utendaji kazi na uwajibikaji wa vyombo vinavyosimamia haki na kusimamia sheria nchini ugawaji ardhi na upatikanaji wa hati miliki kwa wananchi kulalamikiwa kugubikwa na urasimu bodi za zabuni kutoa kazi kwa upendeleo kwa kudai rushwa hususan katika sekta ya ujenzi wa bar...
kumekuwa na tuhuma na UNK UNK kwamba ushirikina umetawala sana miongoni mwa viongozi wa umma ngazi zote na siasa baadhi yao inasemekana wanakwenda kwa waganga wa kienyeji ili kuwezeshwa kupata uongozi au nyadhifa fulani kwa kupewa hirizi UNK au kufanyiwa matambiko ya kafara jambo hili UNK taifa letu laana na aibu kubw...
alitaja changamoto zingine kuwa ni serikali kuangalia upya mfumo wa wanafunzi kusoma katika maeneo yao kuanzia shule za awali hadi kidato cha sita hivyo kupanua mwanya wa kuvunja utaifa na kuwa na fikra ya kule UNK badala ya kujichanganya na wenzao katika shule mbalimbali kama ilivyokuwa awali
askofu mtetemela alisema pamoja na juhudi za serikali kuongeza shule UNK UNK ni bora elimu badala ya elimu bora shule hizo na vyuo havina walimu wahadhiri wenye sifa na pia vitendea kazi hakuna achilia mbali maslahi duni tunaiomba serikali kabla ya kuanzisha shule au vyuo ifanye kwanza maandalizi ya kutosha ya walimu ...
katika hatua nyingine maaskofu hao walimtaka waziri mkuu kutoa kauli ya serikali kuhusu taarifa zilizotangazwa katika vyombo vya habari ya polisi kuwaua wananchi katika mgodi wa north mara suala la wafugaji na wakulima mkoa wa morogoro UNK inayoendelea kila kukicha huku UNK serikali kukataa kuweka rehani ardhi ya tanz...
katika hotuba yake bwana pinda alikiri kwamba ufisadi bado ni tatizo kubwa nchini na kwamba wananchi wa tanzania hawapendi uchafu huo na wanataka hatua kali na za haraka zaidi dhidi ya watuhumiwa na kutoa mfano kwa baadhi ya wabunge kupendekeza mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kutembea na polisi anapokwe...
ufisadi bado ni tatizo kubwa hata hivyo serikali UNK kukabiliana nalo na kumekuwa na mafanikio vyombo vya habari bunge UNK sana katika suala hili taarifa ya UNK international ya mwaka ishirini sifuri nane tanzania imekuwa nafasi ya kumi mbili duniani ikilinganishwa na nafasi ya tisini na nne mwaka ishirini sifuri saba...
mkutano huo wenye wajumbe mia moja na sitini unajumuisha maaskofu wote kutoka makanisa kumi na tano yanayounda cct na mashirika kumi na nne hufanyika kila baada ya miaka minne
mkutano huo unamalizika leo jioni
na grace michael upande wa mashitaka katika kesi inayomkabili kada wa ccm bwana rajab maranda UNK mahakama kuwa ushahidi uliotolewa na mashahidi wake kuhusu uchotaji mabilioni ya fedha UNK matakwa ya kuwafanya wapande kizimbani kutoa utetezi
akitoa majumuisho ya kesi hiyo jana wakili mkuu wa serikali bwana stanslaus boniface mbele ya jopo la mahakimu watatu ambao ni bwana saul kinemela bibi cypriana william na bwana phocus bampikya alisema kuwa ushahidi ulioko mahakamani hapo dhidi ya washitakiwa umethibitisha makosa yote UNK UNK
alisema kuwa upande huo ulifanikiwa kuleta mashahidi tisa pamoja na vielelezo kumi na saba ambavyo kwa pamoja UNK makosa hayo bila kuacha shaka yoyote hivyo akaiomba mahakama kuwakuta na kesi ya kujibu washitakiwa hao
yapo maungamo ya washitakiwa ambayo UNK na mahakama kama vielelezo ambapo washitakiwa wanakiri moja kwa moja kufanya makosa yanayowakabili hivyo ni ushahidi tosha ambao UNK wapande kizimbani na kuieleza mahakama au kujibu makosa hayo alisema bwana boniface
alisema kuwa mahakama inatakiwa kuzingatia maungamo ya washitakiwa hao kwani halali na UNK matakwa ya kifungu tatu cha sheria ya ushahidi
alieleza kuwa kwa mujibu wa maelezo ya bwana farijala hussein UNK moja kwa moja kuhusika na ujazaji fomu za kuomba usajili wa kampuni ya kiloloma UNK ambayo ndiyo inadaiwa kuchota mabilioni hayo katika akaunti ya madeni ya nje
mshitakiwa huyo katika maelezo yake anakiri kutumia jina la bwana UNK kisa ambalo ndilo UNK katika uombaji wa usajili wa jina la kampuni na kutokana na hali hiyo inaonesha moja kwa moja alivyohusika katika kujipatia usajili kwa njia za udanganyifu