text stringlengths 1 1.32k |
|---|
akizungumza jana makao makuu ya deci mabibo mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo bwana timoth ole loitinggye alisema fedha zote za washiriki hao zimehifadhiwa katika benki ya nmb kama tume ya serikali ilivyoagiza |
hatma ya mbegu za wanachama zipo salama tume iliyoundwa na serikali imetoa maagizo ya kuweka fedha zote benki ya nmb napenda kuwahakikishia wanachama wote kuwa fedha zao ziko salama alisema ole UNK |
alisema kampuni yake imeamua kuvunja ukimya kutokana na kauli ya bwana mkulo kushindwa kutunza siri za tume kwani makubaliano yao yalikuwa kutunza siri za tume hiyo hadi hapo itakapomaliza kufanya uchunguzi wa jambo hilo |
alisema ameshangazwa na kauli zinazotolewa mara kwa mara na bwana mkulo ambazo alidai ni za uchonganishi na UNK makubaliano yaliyofikiwa na kabla tume hiyo kuanza kufanya kazi ya uchunguzi huo |
bwana ole loitinggye alisema mbali na hilo wamekuwa UNK kauli ya zinatolewa na viongozi mbalimbali wa serikali kuwaita matapeli na wezi wa fedha za wananchi wakati wao ni watumishi wa mungu wanaoheshimika katika jamii |
alisema waliamua kuanzisha kampuni hiyo kisheria kwa nia ya kuwasaidia wananchi kiuchumi kinyume na inavyotafsiriwa na baadhi ya viongozi wa serikali |
alisema kauli hizo zimeanza kujenga chuki kati ya serikali na wanachama wao hata kabla tume ya hiyo iliyoundwa haijatoa majibu ya nini kifanyike baada ya uchunguzi huo |
aliwataka wanachama hao kuwa na subira kwani tume hiyo iko katika hatua za mwisho na hivi karibuni itatoa tamko la nini kifanyike kuhusu fedha hizo |
katika hatua nyingine kamanda wa polisi kanda maalum ya dar es salaam suleiman kova jana aliitisha kikao cha dharura na viongozi wa kamati ya muda ya deci saa kumi jioni ofisini kwake na kukubaliana kusitisha maandamano hayo |
akizungumza na waandishi wa habari baada ya kikao hicho kamanda kova alisema wamekubaliana kusitisha maandamano hayo ili kuepusha matatizo yasiyo lazima ambayo yangeweza kujitokeza wakati wa mkusanyiko huo |
hakuna sababu ya kuandamana kama viongozi wa deci UNK kwani nia yao ni kufikisha ujumbe kwa serikali kwamba wana kilio cha fedha zao ila sisi kama jeshi tumepanga kulishughulikia tatizo lao kwa ukaribu zaidi alisema kamanda kova |
aidha alisema kuwa kufuatia kusitishwa kwa maandamano hayo jeshi la polisi limechukua jukumu la kufikisha ujumbe wa deci serikalini kama lilivyo upokea leo kabla ya saa nne asubuhi |
kamanda kova aliwataka wanachama wa deci kutokubali kutumiwa na vyama vya siasa kwa manufaa ya kisiasa na kwamba kufanya hivyo kutawafanya UNK kiakili na kushindwa kufanya mambo yao wakati huu UNK uamuzi wa serikali kuhusu fedha zao |
deci haina uhusiano na siasa mimi UNK ofisi yangu kuwa mlango wa kupitishia kero zote za deci ili malalamiko yaweze kufika serikalini kwa muda muafaka na kupatiwa ufumbuzi kwani mimi niko karibu sana na viongozi wa deci hivyo naamini kwamba UNK ushirikiano alifafanua kamanda kova |
alionya kwamba mtu yeyote UNK kuandamana leo atashughulikiwa kwani kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na kwamba jeshi la polisi lina nguvu ya kufanya lolote ila limeamua kufanya mambo yake kwa kushirikiana na wananchi |
kwa upande wake mwenyekiti wa kamati ya muda ya deci bwana issack kalenge aliwataka wanachama wake kuwa watulivu na kukubaliana na maamuzi waliyofikia kwenye kikao hicho na kumshukuru kamanda kova kwa makubaliano hayo |
naye meneja wa taaluma na uelimishaji wa deci bwana arbogast kipilimba aliwataka wanachama kuwa na imani na viongozi wao na kueleza kwamba hawajawahi UNK wanachama hao ila wanasubiri maamuzi kutoka serikalini |
deci ina wanachama zaidi ya sabini sifuri sifuri sifuri sifuri katika matawi mbalimbali nchini ambapo zinahitajika zaidi ya shilingi bilioni hamsini ili UNK kurudisha fedha za wateja hao |
taarifa hii imeandikwa na benjamin masese godfrida jola rabia bakari edmund mihale anneth kagenda na salum pazi rabia bakari na godfrida jola wanachama wawili wa kampuni ya development enterpreneurship for community initiative walikamatwa na polisi jana baada ya kujaribu kulazimisha kuingia kwa nguvu kwenye kikao cha ... |
akizungumza na gazeti hili baada ya kuachiwa mmoja wa wanachama hao bwana UNK daudi alisema mbali ya kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi kwa saa kadhaa polisi UNK kwa kuwakemea kama UNK |
waandishi wa habari hizi walipofika makao makuu ya deci mabibo dar es salaam walikuta umati wa wanachama waliokuwa wakishinikiza kutaka kuandamana licha ya viongozi wao na jeshi la polisi kukubaliana juzi kusitisha maandamano hayo |
jitihada za wanachama zilizimwa baada ya kundi la polisi wenye silaha wakiwa kwenye magari matatu land rover defender zenye namba pt sifuri saba tano mbili pt sifuri tisa sita nne na t mia moja na thebathini na nane UNK kusambazwa eneo hilo |
baada ya maandamano hayo kuzimwa wanachama hao walitaka kuzungumza na mkurugenzi mtendaji wa deci bwana timothy ole loitinggye ambaye aliwajibu kwamba hawezi kuzungumza nao chochote kwa sasa kwa kuwa suala lao halipo mikononi mwa deci bali linashughulikiwa na tume kauli hiyo ilizua mtafaruku huku wanachama hao wakidai... |
hatujui hiyo tume inafanya kazi gani kwani hatuoni chochote kinachoendelea isitoshe mpaka sasa hakuna hata mwanachama mmoja UNK na tume wakati sisi ndio waathirika sasa hiyo tume ni kwa ajili ya nani |
hatukubali lazima leo uende na mwakilishi alisema mwanachama mmoja ambaye UNK mkono na wenzake |
mkurugenzi huyo alikubaliana na ombi hilo ndipo UNK bwana daudi na mwenzake bwana alex UNK kuwawakilisha ambao walipanda gari tofauti na la mkurugenzi huyo |
wawakilishi hao walipanda gari namba t mia nne na hamsini na tano adm na mkurugenzi huyo alipanda toyota mark ii namba t mia moja na themanini na sita UNK huku wanachama wenzao wakisubiri majibu ya kikao cha tume hiyo |
baada ya muda mfupi ilielezwa kwamba wawakilishi hao wamekamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi lakini UNK |
UNK pale deci UNK eneo la kariakoo na kuhojiwa na UNK |
mkurugenzi UNK UNK maofisa wengine wa deci alisema bwana daudi |
hivi karibuni benki kuu ya tanzania UNK wananchi wanaoshiriki upatu wa deci kwa maelezo kuwa wanahatarisha mitaji yao kwani kampuni hiyo inaendeshwa kinyume cha sheria |
baada ya hatua hiyo serikali ilitangaza kupiga marufuku upatu huo UNK na kukamata akaunti zote za kampuni na kuunda tume maalumu kushughulikia suala hilo |
adai ni kansa UNK nchi |
asema wengi wao ni UNK |
UNK waandishi njaa mbunge wa nzega bwana lucas selelii amevunja ukimya baada ya kuibuka na kusema siku za mafisadi nchini zinahesabika kwani kansa UNK taifa na kuongeza watambue mapambano yanaendelea hadi kieleweke |
pia alisema kundi kubwa la watu wanaofanya ufisadi wanatoka jamatin ambao wengi wao ndugu zao wapo nje ya tanzania hivyo hata watanzania UNK kwa ufisadi huo wao wanaendelea kuwa salama na kuitafuna nchi kila kukicha |
akizungumza dar es salaam jana bwana selelii alisema tangu alipoanza mapambano dhidi ya mafisadi amekuwa na maadui wengi UNK kwa kutumia baadhi ya waandishi wa habari ambao aliwaita waandishi njaa ili kumchafua kwa watanzania kwa UNK mambo ambayo UNK |
alisema siku za karibuni kuna chombo kimoja cha habari ambacho kimeandika habari ambazo zinalenga kumchafua kwa wapiga kura wake na watanzania kwa ujumla baada ya kudaiwa kusema amewataka wananchi wa nzega kuchagua viongozi ambao si wa waislamu kitu ambacho hakuwahi kusema huku akisisitiza UNK imani za dini zote na am... |
bwana selelii alisema huo ni mpango unaofanywa na kundi la mafisadi ambao hakutaka kuwataja kwa majina lakini alisema amekuwa akikumbana na vikwazo vingi kutoka kwao |
nimekuwa UNK na mafisadi tangu nilipoanza kupambana nao wakati wa richmond |
lazima mafisadi hao wajue ukweli una asili mbili kwanza unauma na pili UNK kamwe |
watambue watanzania wana macho na wana akili timamu ipo siku UNK na mbichi zitaonekana na si muda mrefu alisema bwana selelii na kuongeza mungu UNK UNK katika vita hii dhidi ya mafisadi kwani mwasisi wa tanzania mwalimu nyerere UNK kukaa kimya katika vita dhidi ya wakoloni yamkini UNK na tanzania huru leo |
lakini kwa ushujaa wake tanzania iko huru sasa alisema bwana selelii ambaye pia alikuwa makamu mwenyekiti wa kamati ya bunge ya kuchunguza sakata la mkataba tata wa kampuni ya richmond ambalo lilisababisha aliyekuwa waziri mkuu bwana edward lowassa kujiuzulu |
alisisitiza kuwa vita dhidi ya mafisadi inaendelea na kuwataka watanzania UNK mkono rais jakaya kikwete ambaye amekua mstari wa mbele katika vita hiyo |
alisema binafsi ataendelea kusimama kidete kupambana na mafisadi hao ambao wamekuwa wakitumia njia mbalimbali kuitafuna nchi |
mbunge huyo alikiri kuwa wamekuwa katika wakati mgumu tangu UNK sakata la richmond kupitia kamati yake licha ya kwamba UNK kilikuwa na ukweli lakini badala yake kuna baadhi ya watu UNK uadui kwake |
alipoulizwa mafisadi hao ni akina nani alishindwa kuwataja kwa majina badala yake alisema wengi wao ni UNK ambao siku zote ndio wanaendeleza ubaguzi na kutoa neno la utani mara nyingi huwa ni baadhi ya wahindi |
hakuna fisadi mswahili wengi wao ni jamatin ambao wana ndugu nje ya tanzania na hasa dubai |
hawana uchungu na maisha ya watanzania kwani wanaamini kuwa kitakachotokea ndani ya taifa hili wao UNK |
UNK waulizeni wana ndugu wangapi nchini hata katika suala la kuoa huwezi kukuta mhindi UNK na mswahili alisema bwana selelii |
kutokana na mapambano dhidi ya mafisadi nchini bwana selelii alisema vita hiyo itaendelea na watanzania UNK mkono mapambano hayo hadi mwisho huku UNK msemo no UNK no UNK kuhusu ununuzi wa mitambo ya dowans alisema kama yeye angekuwa serikali UNK badala ya kutaka inunuliwe kwa sababu ni mitambo iliyotokana na richmond ... |
alisema huwezi kununua mtambo huo ambao umejaa kashfa tangu awali na kama wenye kampuni wanataka kuuza watafute sehemu nyingine |
alisema wanaotaka mitambo hiyo inunuliwe ni wale wale wanaotaka kuendeleza ufisadi wa richmond lakini lazima watambue kuwa mitambo hiyo haina nafasi kwa sasa huku akisisitiza hiyo inatokana na utata UNK |
alipoulizwa kama kulikuwa na sababu ya suala la dowans kujadiliwa nje ya bunge wakati UNK uamuzi alisema hakukua na sababu hivyo kama kulikuwa na ulazima wa kujadiliwa hoja ilitakiwa kurudishwa bungeni lakini kwa bahati nzuri mambo yote kuhusu suala hilo UNK |
akizungumzia kampuni ya kuzalisha umeme wa kutumia upepo ambayo mmoja wa wamiliki wake ni mzalendo alisema haoni kama ni tatizo kama kuna wazalendo ambao wana uwezo wa kuzalisha umeme badala ya kungganggania mitambo ya dowans |
bwana selelii akizungumza tuhuma za kwamba amezungumzia mambo ya udini katika moja ya mkutano alipokuwa mkoani tabora alisema hakuwahi kutoa kauli ya aina hiyo wala matamshi yoyote yanayoonesha ubaguzi wa dini wala ukabila bali kinachoonekana ni kutaka kuchafuliwa jina lake |
alisema kutokana na hali hiyo ametoa siku saba kwa chombo ambacho kimeandika habari hizo kuomba radhi kwenye ukurasa kama ule ambao walitoa habari hiyo |
pia gazeti hilo UNK radhi wapiga kura wake na watanzania vinginevyo UNK kuchukua hatua za kisheria |
alitumia nafasi hiyo UNK waandishi wa habari kuwa makini kwa kuzifanyia uchunguzi habari zinazohusu imani za dini kwa lengo la kuepuka mtafaruku ambao unaweza kujitokeza na kuonya hakuna sababu ya kuandika habari za dini zinazolenga kuchafua imani ya mwingine |
mamlaka ya mawasiliano tanzania imeanza kupitia vipengele mbalimbali vya sheria na kanuni za utangazaji ili kubaini hatua sahihi za kuchukua dhidi ya vituo vya televisheni vya itv na tbc kwa kosa la kurusha matangazo yanayokiuka masharti ya leseni |
tcra imefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa vituo hivyo viwili vilikiuka masharti ya utangazaji na UNK kinyume na orodha ya vipindi vilivyoidhinishwa na mamlaka kulingana na kanuni namba ishirini na mbili ya kanuni za utangazaji za mwaka ishirini sifuri tano taarifa iliyotolewa na mkurugenzi mkuu wa tcra kwa vyombo... |
vipindi ambavyo UNK vituo hivyo matatani ni pamoja na kile kilichorushwa na itv aprili ishirini na tatu mwaka huu saa tatu usiku ambapo mwenyekiti mtendaji wa ipp bwana regnald mengi alitoa taarifa akiwaita baadhi ya wafanyabiashara mafisadi papa |
tcra katika taarifa yake hiyo ilieleza kuwa kipindi hicho UNK kinyume na kanuni namba tano na namba tano |
UNK tcra ilizidi kufafanua kuwa kipindi hicho UNK kuleta athari kwa kushusha hadhi ya wahusika kujenga chuki dhidi yao vikundi au watu kwa misingi ya ukabila rangi jinsia na dini |
kipindi hicho ni kinyume na orodha ya vipindi vilivyoidhinishwa na mamlaka kufuatana na kanuni namba ishirini na mbili ya kanuni za utangazaji za mwaka ishirini sifuri tano ilieleza taarifa hiyo |
kwa upande wa tbc tcra ilieleza kuwa mei tatu mwaka huu saa tatu usiku katika kipindi chake maalum ilitangaza UNK mbunge wa igunga bwana rostam aziz akimwita bwana mengi fisadi nyangumi kwa kuonesha kipindi hicho tcra ilifafanua kuwa tbc ilikiuka kanuni namba tano na namba tano ya utangazaji |
baada ya tcra kutambua na kugundua ukiukwaji wa masharti ya leseni kwa vituo hivyo mei kumi na mbili mwaka huu mamlaka ilichukua hatua kwa kutoa agizo la utekelezaji ilieleza sehemu ya taarifa ya tcra na kuongeza vituo vyote viwili UNK kusitisha kutangaza vipindi husika au vipindi UNK na hivyo au vyenye mwelekeo unaof... |
tcra ilifafanua kuwa kanuni namba tano ya utangazaji inamtaka mtangazaji kuhakikisha vipindi UNK UNK matakwa ya kulinda umoja ndani ya nchi utaifa usalama wa nchi na raia hekima maadili mema kwa umma UNK maisha binafsi na kutokushusha hadhi ya mtu |
matakwa mengine ni kulinda watoto dhidi ya mitazamo potofu UNK chuki dhidi ya mtu kikundi au vikundi kwa misingi ya kabila rangi jinsia au dini |
mamlaka hiyo UNK kuwa kanuni namba ishirini na mbili ya utangazaji inawataka watangazaji kutangaza mtiririko wa vipindi vyao katika magazeti ya kila siku na yanayosambazwa kwa kiwango kikubwa na kufuata ratiba ya UNK |
kulingana na kanuni hiyo tcra ilielezwa kuwa ratiba ya vipindi inabadilishwa pale tu kukiwa na masuala maalumu yanayojitokeza yenye hadhi ya kitaifa umuhimu kwa kimataifa kupitia matangazo ya moja kwa moja |
vipindi vingine ni vile vyenye matukio maalumu ua taarifa za habari na vituo vinatakiwa kutoa taarifa kwa watazamaji wake kuhusiana na mabadiliko hayo mambo ambayo itv na tbc vinadaiwa UNK |
mengine kumi na moja kulipuliwa tena jumamosi |
nyumba zote kurudishiwa UNK kamati ya kutathmini maafa yaliyosababishwa na milipuko ya mabomu katika kambi ya jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania mbagala UNK mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi kwa kukabidhi taarifa yenye upungufu licha ya kuongezewa muda wa kufanya kazi hiyo |
kutokana na upungufu wa taarifa hiyo bwana lukuvi ameiagiza kamati hiyo kurudi tena mbagala ili kukamilisha sehemu ambazo UNK kiasi cha kumpa wasiwasi |
hatua hiyo ilifikiwa jana dar es salaam wakati kamati hiyo UNK taarifa ya tathmini hiyo kwa mkuu huyo wa mkoa UNK siku tatu UNK taarifa hiyo na maeneo mengine kufanyiwa marekebisho |
UNK kamati siku tatu kukamilisha sehemu UNK na jumapili wiki hii UNK tena ili UNK vizuri sehemu ambazo UNK leo alisema bwana lukuvi upungufu wa taarifa hiyo umemfanya bwana lukuvi kukataa kutaja jumla ya kiasi cha fedha UNK UNK waathirika hao kama alivyoahidi hapo awali kwani alisema mabadiliko yanaweza kutokea baada ... |
najua jumla ya gharama ya maafa lakini sitaki kusema kwa sasa kwani kuna upungufu hivyo nasubiri maofisa UNK warudi tena UNK ili UNK kuhusu zile nyumba mia mbili na themanini na sita zilizoharibika kabisa na wale wenye mali zilizoharibika na UNK picha alisema bwana lukuvi |
alisema serikali UNK mtu yeyote eneo la mbagala hivyo kila UNK fidia atatakiwa kujenga eneo lake la awali mbali licha ya eneo hilo kuwa jirani na kambi hiyo vinginevyo UNK maelekezo mengine na wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa |
bwana lukuvi aliwashukuru wakazi wa mbagala kwa uvumilivu wao kwa mwezi mzima tangu milipuko hiyo ilipotokea aprili ishirini na tisa mwaka huu maafa ambayo yamewafanya kusitisha shughuli zao |
kwa sasa wakazi wa mbagala wanaweza kuendelea na shughuli zao kwani serikali imemaliza kazi yake ya kutathmini na kazi iliyobaki sasa ni kuwalipa fidia zao jambo ambalo UNK wao kufanya kazi alisema |
katika tukio la jana UNK na viongozi mbalimbali wa mkoa madaktari walisema jumla ya wagonjwa mia sita na themanini na moja walitibiwa kutokana na milipuko hiyo mia tano na thebathini na moja kati yao walipatiwa matibabu na kuruhusiwa kurudi tisini na tisa walilazwa na ishirini na sita walipoteza maisha |
huduma iliyotolewa na madaktari hao mashuleni baada ya kubainika idadi kubwa ya wanafunzi kuwa na matatizo ya macho na masikio ilibaini kuwa zaidi ya watu moja mia mbili na ishirini na moja walifanyiwa uchunguzi hamsini saba walidai kusumbuliwa masikio mia tano na hamsini na mbili macho mia mbili na kumi walibainika k... |
kamati hiyo iliyokuwa chini ya kamishna msaidizi wa jeshi la magereza UNK UNK ilihusisha wataalamu wengine mbalimbali kutoka mikoa ya tanga morogoro na pwani |
wakati huo huo jwtz limetangaza kuwa litafanya uteketezaji wa mabomu mengine kumi na moja jumamosi ijayo saa nne asubuhi |
taarifa iliyotolewa na kurugenzi ya habari na uhusiano ya jwtz jana ilieleza kuwa wakazi wa mbagala watapewa tahadhari kabla na baada ya milipuko hiyo |
imewataka wakazi hao kuwa watulivu kwani zoezi hilo UNK kitaalamu na halitakuwa na madhara hata hivyo wametakiwa kuwa mbali na eneo hilo |
kamati UNK wabunge dodoma |
ni kuhusu umiliki mgodi wa kiwira hatma ya tuhuma zinazomkabili rais mstaafu wa awamu ya tatu bwana benjamini mkapa kuhusu umiliki wa mgodi wa makaa ya mawe kiwira mkoani mbeya itajulikana katika mkutano wa kumi na sita wa bunge unaotarajiwa kuanza jumanne ijayo mjini dodoma |
tuhuma hizo ambazo zimeelezwa kuwa moja ya hoja nzito UNK wizara ya nishati na madini ziliibuliwa na mbunge wa vunjo kwa tiketi ya chama cha mapinduzi bwana aloyce kimaro katika mkutano wa kumi na moja wa bunge |
tangu kuibuliwa hoja hiyo baadhi ya wabunge wamekuwa wakishinikiza kiongozi huyo UNK kinga na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria kujibu UNK ya matumizi mabaya ya ofisi wakati akiwa madarakani |
bwana mkapa anatuhumiwa kuhusika na umiliki wa mgodi wa uchimbaji makaa ya mawe wa kiwira kwa kutumia kampuni yake ya tanpower huku akidaiwa kununua mgodi huo kwa bei poa wengine wanaotuhumiwa sambamba na kiongozi huyo ni aliyekuwa waziri wa nishati na madini enzi ya utawala wake bwana daniel yona |
bwana yona hivi sasa UNK na kashfa nyingine ya matumizi mabaya ya ofisi na kuliingizia taifa hasara ya mabilioni hatua iliyomfikisha mahakamani na kesi yake inaendelea |
akizungumza na waandishi wa habari ofisi ndogo za bunge wakati akiwasilisha taarifa ya majukumu na utekelezaji wa shughuli za wizara yake kwa kamati ya kudumu ya nishati na madini ya bunge jana waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja alisema kutokana na unyeti wa suala hilo wamekubaliana na kamati hiyo UNK s... |
najua kuna swali kuhusu maradi wa makaa ya mawe wa kiwira hapa sasa kabla UNK naomba niseme kabisa suala hili tumeamua kulizungumzia katika vikao vya bunge lijalo hata waheshimiwa wajumbe wa kamati pamoja na mwenyekiti kamati ya nishati na madini mheshimiwa shelukindo UNK UNK suala hili katika vikao vya bunge alisema ... |
mbali na hoja hiyo wizara hiyo inatarajia kuwasilisha hoja ya rasimu ya marekebisho ya sera ya madini ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na saba iliyokamilika novemba ishirini sifuri nane kwa kuzingatia mapendekezo ya kamati mbalimbali zilizoundwa kwa maagizo ya serikali bwana ngeleja alisema awali rasimu hiyo i... |
alisema rasimu ya sera ya madini ya mwaka ishirini sifuri tisa imeainisha maeneo ya kipaumbele ambayo UNK UNK la sekta ya madini na sekta zingine za uchumi ili kuleta maendeleo endelevu na kuchangia pato la taifa |
alisema maeneo mengine ya sera ni kuongeza mazingira ya kiuchumi kuimalisha mfumo wa sheria kurekebisha mfumo wa kodi kuimalisha usimamizi wa sekta ya madini na ushiriki wa serikali na watanzania katika shughuli za madini aliyataja maeneo mengine kuwa ni kuboresha uchimbaji mdogo malipo ya fidia ya ardhi kuhamasisha n... |
alisema wizara yake imeendelea na mchakato wa marekebisho ya sheria ya madini ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na nane kwa kukusanya maoni na ushauri wa awali kutoka kwa wadau |
akizungumzia mkakati wa wizara yake katika mwaka ishirini sifuri nane sifuri tisa alisema itaendelea kuwainua wachimbaji wadogo katika maeneo yao na kuwasaidia kupata mafunzo ili kuongeza maarifa kuwapatia mikopo na mitaji uongezaji thamani masoko na kurekebisha mfumo wa kodi usimamizi na utaratibu za shughuli zao |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.