text
stringlengths
1
1.32k
alisema kuwa maelezo ya washitakiwa hao UNK mkono na ushahidi wa mashahidi wengine ambao walieleza namna washitakiwa walihusika katika makosa hayo kama ufunguaji wa akaunti ya kampuni ambapo nyaraka za kughushi zilitumika kwa ajili hiyo
kutokana na sababu hizo bwana boniface UNK mahakama kuona ushahidi wa upande huo unajitosheleza kuwapandisha washitakiwa hao kizimbani kwa ajili ya kujibu tuhuma zao
wakili huyo alitumia maamuzi ya kesi mbalimbali uliotolewa na mahakama kuu na rufaa kwa ajili ya kuishawishi mahakama hiyo UNK na kesi ya kujibu washitakiwa hao
akieleza namna washitakiwa hao walivyohusika katika makosa hayo alisema kuwa katika kosa la kujipatia usajili kwa njia za udanganyifu UNK kwa kuwa mshitakiwa huyo alikiri kutumia jina lisilo lake katika kuomba usajili wa kampuni iliyochota fedha hizo
katika suala la kughushi hati za usajili alisema kuwa washitakiwa hao walitenda makosa hayo na hayo UNK na ushahidi wa shahidi wa brela ambaye alieleza kuwa msajili wa brela hakuwahi kusaini hati hizo na sahihi zilizopo katika hati hizo sio zake hivyo kuonesha moja kwa moja kuwa UNK
alisema kuwa kampuni la washitakiwa hao haliko kwenye kumbukumbu za brela hivyo ni ushahidi tosha kuwa haijawahi kusajiliwa bali UNK kwa kazi maalum
upo ushahidi unaoonesha utofauti wa saini katika nyaraka zilizotumiwa na washitakiwa hivyo ushahidi wa upande wa mashitaka UNK na mahakama ione una umuhimu unaowataka washitakiwa hao kujibu alisema bwana boniface
akijibu hoja zilizotolewa juzi na bwana magafu bwana boniface alisema kuwa hakukuwa na ulazima wa maofisa wa bot kufika mahakamani hapo kwa ajili ya kutoa ushahidi bali nyaraka zilizotolewa na benki hiyo zilikuwa zinakidhi mahitaji hivyo hawakuona sababu ya kuita mashahidi zaidi
kuhusiana na suala la kuleta mashahidi kutoka mumbai india alisema kuwa maelezo ya washitakiwa wenyewe UNK matakwa na kuona kuwa wao ndio walighushi nyaraka za kuhamishiwa deni na kampuni ya nje hivyo hakukuwa na ulazima wa kuita shahidi kutoka huko
akihitimisha majumuisho yake bwana boniface aliomba mahakama hiyo kuwaona washitakiwa hao wanayo kesi ya kujibu na wapande kizimbani
kuhitimishwa kwa majumuisho ya pande zote mbili UNK mahakama hiyo kupitia kwa makini hoja hizo pamoja na ushahidi uliotolewa ili itoe uamuzi wake kuhusiana na kesi hiyo
kutokana na hilo mahakama hiyo itatoa uamuzi wake juni kumi mwaka huu
washitakiwa hao wanakabiliwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kula njama udanganyifu wizi kughushi na UNK hati za uongo ambapo wanadaiwa kuiba jumla ya shilingi bilioni moja nane na eckland mwaffisi waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja amesema tatizo la kukatika umeme mara kwa mara linachangiwa na ubovu w...
bwana ngeleja aliyasema hayo dar es salaam jana alipokutana na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kuelezea maendeleo ya utekelezwaji miradi mbalimbali ya umeme na hali ya upatikanaji umeme nchini
katika maelezo yake bwana ngeleja alisema tatizo la ubovu wa wa miundombinu ya tanesco linatokana na uwekezaji ambao haukufanyika muda mrefu tangu shirika hilo UNK chini ya uangalizi wa tume ya kurekebisha mashirika ya umma kwenye miaka ya elfu moja na mia tisa na tisini alisema kutokana na mazingira hayo hali ya uzal...
alifafanua kuwa hatua iliyofikiwa katika miradi mingi ya umeme inayotekelezwa nchini itaboresha na kupanua miundombinu ya umeme ili kurahisisha upatikanaji wa nishati hiyo katika maeneo mengi na kupunguza upotevu wa umeme kwenye mfumo wa tanesco upotevu wa nishati hiyo kwenye mfumo wa usafirishaji na usambazaji umeme ...
bwana ngeleja alisema serikali imeweka mikakati mbalimbali ya kukabiliana na upungufu wa umeme chini ya mpango wa UNK kwa kutekeleza miradi ya kipindi kifupi kati na kipindi kirefu ili kukidhi ukuaji wa mahitaji ya umeme
aliongeza kuwa sheria mpya ya umeme ya mwaka ishirini sifuri nane UNK kwa lengo la kupanua wigo wa ushiriki wa sekta binafsi kuendeleza sekta ya nishati kutokana na mahitaji ya nishati hiyo nchini
alisema pengo la uwezo wa tanesco kushindwa kuzalisha umeme wa karibu mw mia moja na hamsini kwa sasa unatokana na kusitishwa kwa mitambo ya kukodi ya UNK iliyokuwa ikizalisha umeme wa mw arobaini dowans mw mia moja na hamsini UNK power UNK mw arobaini na iptl iliyokuwa ikizalisha mw kumi sifuri kwa sababu ya mgogoro ...
dhamira na kusudio la serikali ni UNK mradi wa makaa ya mawe wa kiwira ambapo hivi sasa UNK ili uweze kuongeza ubora wa huduma za umeme UNK maeneo mengi nchini alifafanua bwana ngeleja na kuongeza kuwa taarifa za UNK huo zinatarajiwa kufikishwa bungeni
bwana ngeleja alisema kwa sasa tanesco imekua UNK kiasi cha asilimia kumi na tano ya mapato yake kwa lengo la kuimarisha miundombinu ya shirika hilo
akizungumzia suala la madini bwana ngeleja alisema mgodi wa dhahabu wa geita mining limited unaomilikiwa na kampuni ya UNK ashanti ya afrika kusini umeanza kulipa kodi ya mapato baada ya kupata faida
alisema ulipaji huo wa kodi unatokana na kazi nzuri ya ukaguzi iliyofanywa na mamlaka ya mapato tanzania kwa kushirikiana na wizara hiyo baada ya kutoridhishwa na taarifa za utendaji wa mgodi kujiendesha kwa hasara mwaka ishirini sifuri tano na kukosekana vielelezo vya hasara hiyo
alifafanua kuwa wakaguzi hao walifanya tathmini ya uwekezaji na na kugundua kuwa mgodi huo ulipata faida mwaka ishirini sifuri tano alisema tra kwa kushirikiana na sehemu ya ukaguzi wa madini iliyopo chini ya kamishna wa madini tanzania inaendelea na tathimini ya uwekezaji kwa kipindi cha mwaka ishirini sifuri sita is...
tathmini hiyo itasaidia kubaini kodi stahiki ya mapato inayotakiwa kulipwa kila mwaka katika kipindi hicho cha uwekezaji ambapo mchakato wa kuandaa sera mpya ya madini umeanza tangu mwaka ishirini sifuri saba baada ya kuundwa kwa kamati mbalimbali kupitia sera ya iliyokuwepo ya kupeleka mapendekezo serikalini
mapendekezo ya kamati hizo UNK katika mchakato wa kuandaa sera hiyo na matokeo ya mashauriano na majadiliano na wadau wote kwa lengo la kupata sera na sheria ambazo zitasaidia kuwaendeleza watanzania nma kukidhi matarajio ya wadau
peter masangwa na salum pazzy pamoja na jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania kuwataka wakazi wa eneo la mbagala dar es salaam kutulia na kutohofu shughuli ya ulipuaji masalia ya mabomu leo hofu imetanda miongoni mwa wananchi hao huku wengine wakifunga nyumba zao na kuondoka mapema kutokana na uvumi kwamba milipuko ...
uvumi huo ulianza kuzagaa jana asubuhi ambapo mazungumzo kuhusu uteketezaji wa masalia hayo UNK kata ya mbagala kuu huku baadhi ya watu wakidai milipuko hiyo itakuwa mikubwa na huenda UNK madhara
wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti jana wakazi hao walisema hawawezi kupata utulivu kwa kukumbuka kilichotokea siku chache zilizopita
kwa kweli hofu ipo na lazima iwepo kwa sababu mabomu ni silaha ambayo ni vigumu kutabiri madhara yake UNK UNK hamna mjadala mbona mwanzo walisema milipuko haitakuwa na madhara na haikuwa hivyo
alihoji mmoja wa wakazi hao alijitambulisha kwa jina la bwana frank UNK
kwa upande wake kamishna wa maskauti wilaya ya temeke bibi rehema marango alisema hofu ipo miongoni mwa wakazi hao lakini wao wanaendelea kuhamasisha watu watulie na UNK na shuguli zao za kawaida
alisema wao wamejiandaa vya kutosha kuwahudumia wote watakaoathirika na tukio hilo kwani wakazi wengi wa maeneo hayo wamekuwa na tatizo la mishtuko na presha hasa wakisikia vishindo vya mabomu
hata hivyo bibi marango alikiri kuwa kuwepo kwa hofu ni hali ya kawaida kwa taarifa nzito kama uteketezaji mabomu kwani ni silaha za maangamizi na kwa jinsi UNK aprili ishirini na tisa mwaka huu ni vigumu hali hiyo UNK
mapema wiki hii jwtz ilitoa taarifa ya uteketezaji mabomu kumi na moja leo kwenye kambi ya jeshi hilo iliyopo mbagala dar es salaam
taarifa hiyo iliwataka wananchi kutulia na kutohofu kwani uteketezaji huo utafanyika kitaalamu na UNK kuleta madhara
hata hivyo waliwataka wakazi hao kuwa mbali na kambi hiyo
na godfrida jola serikali itatoa tamko rasmi kuhusu malipo ya fedha za wanachama wa kampuni ya development enterpreneurship for community initiative jumanne ijayo
akizungumza na wanachama hao jana makao makuu ya deci mabibo dar es salaam mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo mchungaji timoth ole loitinggye alisema pesa zote zimekabidhiwa kwa serikali na na tume iliyoundwa kuchunguza suala lao imemaliza kazi yake na itatoa tamko jumanne juni tisa mwaka huu
mkurugenzi huyo aliwambia wanachama hao walikutana ofisini hapo kwa lengo la kukamilisha mikakati ya kuchanga fedha kwa ajili kutuma wawakilishi dodoma kukutana na wabunge kuwasilisha kilio chao kwamba tatizo lao linashughulikiwa
alisema kwa sasa viongozi wa deci hawana cha kueleza zaidi ya kusubiria tamko hilo litakalotoa jibu kamili kwani tume iliyoundwa ina watu wanaoaminika
fedha zenu zimekabidhiwa kwa serikali tume iliyoundwa imemaliza kazi zake na itatoa tamko rasmi jumanne ijayo alisema bwana loitinggye hata hivyo baadhi ya wanachama hao hawakuridhishwa na ufafanuzi huo na kuendelea kubaki katika ofisi hizo kwa zaidi ya saa moja na nusu wakiwa kwenye vikundi kujadili kuendelea na msim...
juzi baadhi wanachama hao walipanga kuandamana kwenda bungeni dodoma wiki ijayo kuwasilisha kilio chao kwa wabunge
uamuzi huo ulifikiwa wakati wanachama hao walipokutana kujadili hatma ya mbegu zao na baadhi yao kuonesha kutoafiki kauli za viongozi wao
wanachama hao walilalamika kwamba viongozi wao wamekuwa wakiendesha suala hilo kidiplomasia huku wakidai baadhi ya vigogo waliopanda mbegu wamelipwa kinyemela
kwanini vigogo walipwe na sisi tunabaki kuhimizwa kuvuta subira wakati wote ni wanachama
kama serikali imeshaona deci ni utapeli kwa nini wanangganggania pesa zetu na hiyo tume inachunguza nini siku zote hizi
alikaririwa akihoji mmoja wa wanachama hao
UNK la mgombea UNK kioo kikwete UNK kumaliza UNK mafisadi wadaiwa kupenyeza maslahi kampeni za kugombea nafasi ya uenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa ccm ngazi ya taifa zimeingia dosari baada gari la mmoja wa wagombea nafasi hiyo kushambuliwa kwa mawe na kuvunjwa kioo kikubwa cha mbele
gari la mgombea huyo bwana athuman mhina UNK kushambuliwa na kundi la watu UNK na kumwona tishio kwa mgombea wao UNK naye katika uchaguzi wa leo
tukio la kushambuliwa gari hilo namba t mia sita na thebathini na sita ays toyota prado ilitokea juzi saa nne usiku katika baa ya chako ni chako mjini hapa ambapo wageni mbalimbali na wenyeji mji huu hukutana kwa ajili ya kupata chakula na vinywaji
vyanzo vya majira katika baa hiyo vilieleza kwamba kuvunjwa kwa kioo cha gari hilo kulitokana na malumbano makali wa kampeni yaliyokuwa UNK na makundi mawili tofauti la bwana mhina na la mgombea mwingine bwana bulembo UNK
mimi sijui na bosi wetu UNK kuzungumza jambo lolote hapa ila nafikiri wale walikuwa UNK nilisikia wakati tunawapa vinywaji wakisema sijui mhina anafaa zaidi ghafla nikaona watu wengine UNK na kusema ni lazima bulembo kisha UNK vurugu UNK UNK kilisema chanzo chetu ndani ya baa hiyo
a class UNK UNK UNK UNK
UNK
UNK UNK media and view images and UNK UNK and e name UNK title image UNK UNK UNK size x mia tano na sabini y arobaini sifuri image akizungumza na waandishi wa habari jana asubuhi mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa kilimanjaro bwana thomas ngawaiya alisema yeye ni moja kati ya watu UNK na kundi analoamini kufadhil...
tulikaa pale chako ni chako wakati tukiendelea kuzungumza nikaanza kueleza kwamba kusema ukweli bwana mhina ana sifa uzoefu na elimu nzuri zaidi kuongoza jumuiya ikilinganishwa na wagombea wengine ghafla nilishangaa vijana UNK nikasema uchaguzi wa vijana na wa wanawake ulishapita sasa ni wazazi watuache baada ya muda ...
nilipoona hivyo UNK busara nikaondoka kimya kimya na kuwaomba wenzangu UNK lolote lakini nyuma yangu gari iliyokuwa na picha ya mgombea UNK kuondoka eneo hilo na baadhi ya wageni UNK na kuvunjwa kioo kama UNK alisema bwana ngawaiya huku akionesha gari hilo
alipotakiwa kueleza ni kwa nini anaamini kwamba kundi hilo UNK na watu wanaoaminika kuwa mafisadi alisema unajua siasa haihitaji vurugu inahitaji uwezo wa kushawishi kama walivyosema wenyewe UNK kwamba ngawaiya hapa ni bulembo tu toka UNK UNK wewe unaweza kubadilisha watu alisema bwana ngawaiya UNK aliodai kuwa ni vij...
akizungumza na majira kuhusu madai hayo bwana zungu alikana kuhusika na vurugu hizo na kudai kwamba yeye hana kundi lolote UNK huku akikiri kwamba UNK maneno kidogo tu na bwana ngawaiya katika baa ya chako ni chako juzi saa nne usiku na si kufanya vurugu wala kuvunja kioo cha gari
kwanza ndio unaniambia hiyo habari mimi sihusiki kabisa na hizo vurugu ninachojua ni kwamba mimi niko katika kambi ya ccm nimekuja kama mwenyekiti wa wilaya na nitatumia haki yangu kupiga kura kwa mgombea UNK kwa kujieleza kesho alisisitiza bwana zungu alipotakiwa kufafanua jinsi UNK maneno na bwana ngawaiya na kuelez...
akizungumza na majira mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa mkoa wa dodoma salum UNK alithibitisha kupokea taarifa ya tukio hilo na kwamba anaendelea kulifanyia uchunguzi zaidi
ni kweli tumepokea taarifa hizo baada ya dereva wa gari namba t mia sita na thebathini na sita ays kuripoti kwamba gari lake UNK na kuvunjwa kioo cha mbele katika eneo la chako ni chako jana saa nne usiku sasa haya ni masuala ya kisiasa sisi kama polisi lazima UNK uchunguzi kwa makini sana na sisi tusije UNK kwenye ma...
kumbuka kilichofanyika katika uchaguzi wa uwt mafisadi UNK mtu wao na akawa na nguvu kweli kweli lakini mwenyekiti alipokuja na kutoa hotuba ya busara na hekima mambo UNK shwari hata sisi tunasubiri tu hotuba yake iwe dira ya mwisho kila kinachoendelea hapa UNK alisema mmoja wa wajumbe maarufu kutoka mkoa wa mara kwa ...
majira UNK kampeni zikiwa UNK moto kila kona ya mji wa dodoma huku wapambe wakihaha kutafuta wajumbe kila kona kuhakikisha wagombea wao wanapata ushindi leo
wagombea katika UNK cha uenyekiti taifa ni bwana athumani mhina bwana bulembo UNK na bibi esther nyawazwa
awali uchaguzi wa wazazi UNK kutokana na matatizo ya ukata
jumuiya zingine za ccm tayari UNK uchaguzi wao mwenge wa uhuru UNK kwa mabango kutoka kwa vyama vya upinzani wilayani geita UNK kuwa ujio wa mwenge huo umekuwa chanzo cha ubaguzi wa kisiasa kwa vyama hivyo kwa UNK
kadhalika vyama hivyo vya upinzani UNK kushiriki katika mbio hizo za mwenge uliokuwa wilayani geita tangu juzi hali ambayo ilisababisha kiongozi wa mbio hizo kulaani vikali kitendo hicho kinachodaiwa kufanywa na viongozi wa serikali wilayani geita
mwenge umeleta ubaguzi wa kisiasa wilayani geita dc geita acha ubaguzi wa kisiasa ubaguzi wa kisiasa ni sumu ya maendeleo yalidai baadhi ya mabango waliyokuwa wamebebwa na wafuasi wa vyama vya siasa wakati UNK
tukio hilo lilitokea juzi wakati wa ufunguzi wa mradi mdogo wa maji ya bomba bomani baada ya msafara wa mwenge kufika eneo la mradi na kukutana na mabango hayo kwa watu kadhaa waliokuwepo hapo kila mmoja kuwa na bango
akielezea madhumuni ya kufikia uamuzi huo katibu wa cuf wilaya ya geita bwana severine UNK baada ya kupata kipigo kutoka kwa askari polisi amewaambia waandishi wa habari kuwa pamoja na kumpatia kipigo hicho lakini ujumbe umefika
unajua inashangaza kwa mkuu wa wilaya kuburuzwa na ofisi ya utamaduni wilaya
huyu mratibu wa mwenge wa uhuru wilaya ambaye ni afisa utamaduni wilaya na UNK wake wamekuwa wao ndiyo waamuzi wa kila kitu kiasi cha kumburuza hata dc kiasi cha maamuzi mengine kumpotosha na kukanyaga katiba ya nchi na itifaki amedai UNK
sakata lilopelekea kufika hatua ya kususia ni kauli UNK na mkuu wa wilaya ya UNK bwana UNK UNK na afisa utamaduni wilaya ambaye ni mratibu wa mbio za mwenge kiwilaya kwenye kikao cha ujio wa mwenge cha mei ishirini na saba kwamba wapinzani hawana haki ya kuchangia maamuzi
ilidaiwa kuwa wao kama vyama vya siasa vya upinzani ni waalikwa tu hawawezi kupewa uzito kama ilivyo kwa ccm na kama wanataka hoja zao UNK UNK wasubiri mpaka nao watakapokuwa wamechukua dola
pamoja na kauli hizo wamedai kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wanaburuzwa na kutengwa katika matukio yakiwemo yanayohusu maslahi ya taifa hatua UNK inaweza kuhatarisha umoja na UNK wa kitaifa uliopo kutokana na mapungufu UNK wachache kwa UNK yao binafsi ya kiitikadi za kisiasa
na john daniel dodoma rais jakaya kikwete amevunja ukimya na kuonesha wazi kukerwa na vurugu ndani ya chama cha mapinduzi na kuonya kuwa hatavumilia tena kusikia vitendo hivyo katika chaguzi zijazo kwa kuwa ni aibu na fedheha kwa chama hicho UNK
akihutubia mkutano mkuu wa saba wa jumuiya ya wazazi wa ccm mjini hapa jana rais kikwete alisema watu wanaojihusisha na vurugu UNK wapiga kura na UNK wenzao hawafai kuwa viongozi na hata kuwa wajumbe wa baraza la kuu la jumuiya hiyo kwa kuwa vitendo hivyo ni dalili ya wazi ya kukosa uwezo na kujiamini
nawapa pole kwa misukosuko ya uchaguzi uko UNK maana uchaguzi wa siku hizi tabu kweli hata hapa nasikia UNK unajua vitu vingine ni aibu vitu vingine ni fedheha nawaomba sana ninyi UNK UNK wahuni hapa naomba tabia iwe mwisho katika chaguzi zijazo hii isitokee tena alionya rais kikwete
aliwaonya wajumbe wa mkutano huo UNK kuchagua mtu kutokana kuhongwa fedha kuambiwa na watu fulani maarufu kuelekezwa na wapiga debe na kuwataka kutambua kwamba iwapo watatumia vigezo hivyo watazidi UNK jumuiya hiyo UNK na dhoruba katika kipindi kilichopita na UNK mabadiliko ya uongozi wa dharura kabla ya uchaguzi
mchague watu UNK kwa miaka mitano mkifanya makosa UNK UNK mtu kwa kuambiwa na mtu fulani maarufu au kuoneshwa na mpiga debe au kwa kuhongwa UNK akishinda hatafanya kazi za jumuiya UNK kwanza fedha zake na UNK humu humu kwenye jumuiya alisema
kuhusu uhai wa jumuiya hiyo alisema ccm inategemea jumuiya hiyo katika kushinda chaguzi zake mbalimbali na kuwaomba wana jumuiya hiyo kuanza kuonesha uwezo wao UNK ccm ushindi katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani
kuhusu shule zilizokuwa zikimilikiwa na jumuiya hiyo alisema tayari kamati kuu ya ccm imeridhia jumuiya hiyo kuachana na masuala ya kusimamia shule za sekondari kutokana na gharama kubwa za uendeshaji na ongezeko la shule za sekondari za serikali za kata UNK baadhi ya shule hizo kukosa wanafunzi wa kutosha
alisema akiwa katika ziara yake nchini marekani hivi karibuni alifanikiwa kupata msaada mkubwa wa vitabu katika shule za sekondari nchini na kwamba UNK la vitabu kwa shule za serikali sasa siku zake zinahesabika na kwamba hadi sasa jumuiya hiyo inadaiwa karibu shilingi bilioni tatu kutokana na shule hizo
awali akimkaribisha rais kikwete kaimu mwenyekiti wa jumuiya hiyo bwana athumani mhina alionesha UNK wake wa uongozi baada ya kueleza kwamba katika kipindi kifupi UNK nafasi hiyo jumuiya hiyo imefanikiwa kupata shule zenye kidato cha tano na sita ishirini na kati ya hizo kumi na tano UNK wanafunzi zaidi ya moja sifuri...
alisema jumuiya ina uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi mazuri na kuongeza kwamba tatizo ni uongozi na iwapo UNK uongozi mzuri unaweza kuifanya iwe chombo kinachofanya mambo mengi huku akilalamikia jumuiya hiyo kutopewa kipaumbele katika masuala mbalimbali kama uvccm na uwt akizungumza na majira jumapili mmoja wa waan...
hatuwezi kuvumilia hali hii ilivyo sasa ni lazima tuchukue hatua wale wanaofanya vurugu kampeni chafu au hao mafisadi wanatakiwa wachukuliwe hatu kali na hata kama UNK basi wafukuzwe ndani ya chama namuunga mkono sana rais kwa hotuba yake kwa wajumbe alisema balozi UNK
viongozi waliochaguliwa jana ni pamoja na mwenyekiti wa taifa makamu mwenyekiti mwakilishi kutoka uvccm mwakilishi kutoka uwt wajumbe watano kutoka tanzania bara UNK na watano kutoka tanzania visiwani
wengine wazidi kukimbia makazi yao watu ishirini na mbili wamelazwa katika hospitali ya temeke baada ya kupata mshituko wakati wa ulipuaji wa mabaki ya mabomu ulioendeshwa jana na jeshi la wananchi katika kambi ya jeshi hilo UNK mbagala kizuiani dar es salaam
mabaki ya mabomu yanatokana na mlipuko uliotokea katika kambi hiyo aprili ishirini na tisa mwaka huu na kupoteza maisha ya watu ishirini na saba kuharibu nyumba tisa sifuri nne tisa na mali nyingine za wakazi wa eneo hilo
akizungumza jana mganga mkuu wa hospitali ya temeke bibi aisha mahita alisema hospitali yake imepokea wagonjwa ishirini na mbili wa mshtuko uliotokana na mlipuko wa mabomu na wote wako katika hali nzuri
wote waliokuja hawakuwa wamezirai wamekuja wakiwa UNK na tumewapokea na tunaendelea kuwapa huduma kama kawaida na watakaopata nafuu tutawaruhusu alisema bibi aisha
milipuko ya mabomu hayo ilianza saa nne sifuri nne asubuhi huku kukiwa na wakazi wachache hasa wanaume ambao walionekana kuwa na wasiwasi kutokana na kuwa na hisia mbalimbali kuhusiana na mabomu hayo baada ya wakazi wengine kuyakimbia makazi hayo tangu juzi jioni
majira jumapili ilishuhudia mamia ya wakazi wa maeneo hayo wakiwa na watoto wadogo huku wakiwa wameshika mifuko kwa jili ya chakula wakiondoka katika makazi hayo kwa UNK
mabomu mengine yaliyosababisha wakazi hao kuyakimbia makazi yao yalilipuliwa dakika ya nane tisa ishirini na bomu la tano na sita yalilipuliwa dakika ya thebathini na saba kwa mpigo majira ya saa nne yalionekana kuwa hafifu na UNK mshituko wowote kwa wakazi hao na wandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliokuwepo ka...
bomu UNK saa nne arobaini na saba ndilo lililoanza kuleta madhara kwa wakazi hao ambao walionesha kutii tangazo la jeshi hilo katika vyombo mbalimbali vya habari kwa UNK kubaki katika nyumba zao na kuendelea kufanya shughuli za maendeleo wakati wa ulipuaji wa mabaki ya mabomu hayo
wakazi hao walianza kuishiwa nguvu na kisha kudondoka kutokana na kupata mshituko kutoka katika maeneo mbalimbali kutokana na milipuko hiyo ambao awali UNK kuwa ndio utakuwa ni mkubwa kati ya yote UNK
baada ya taarifa hizo magari mawili maalumu kwa ajili ya kubebea wagonjwa ya chama cha msalaba mwekundu yalionekana kuzidiwa nguvu baada ya taarifa za watu kupata mshituko ya moyo katika maeneo ya njiapanda kijichi UNK mtoni kijichi mbagala kuu zakhem sabasaba rangi tatu mission na kibonde maji
umahiri wa madereva na wahudumu wa chama hicho katika utoaji huduma ndiyo ilikuwa silaha ya kufanikisha shughuli hiyo baada ya kuwafikia waathirika wote na kuwafikisha katika hospitali ya UNK ya halmashauri ya temeke kwa wakati