Story_ID
stringlengths
8
8
context
stringlengths
445
11k
question
stringlengths
12
113
answers
dict
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa...
Ni nini uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya
{ "text": [ "Kilimo" ] }
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa...
Kilimo huimarisha uchumi kwa kubuni nafasi za nini
{ "text": [ "Kazi" ] }
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa...
Kilimo huweza kupigana na janhga la nini nchini
{ "text": [ "Njaa" ] }
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa...
Kilimo kimeweza kuwaleta nani pamoja
{ "text": [ "Watu" ] }
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa...
Ujenzi wa viwanda mashinani umesaidia na nini
{ "text": [ "Watu wanaacha kuhamia mijini" ] }
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia t...
Rukia anaumwa na wapi
{ "text": [ "Kichwa" ] }

Daktari anachukua nini mezani
{ "text": [ "Kifaa" ] }
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia t...
Daktari anamdunga nini Rukia
{ "text": [ "Sindano" ] }
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia t...
Rukia anafaa kulala ndani ya nini
{ "text": [ "Neti" ] }
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia t...
Kwa nini daktari anamwambia malize dawa zile
{ "text": [ "Ili aweze kupona" ] }
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia t...
Mgonjwa anaitwa nani
{ "text": [ "Rukia Mbone" ] }

Daktari atamchukua Rukia nini
{ "text": [ "Vipimo" ] }
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia t...
Rukia anaugua ugonjwa upi
{ "text": [ "Malaria" ] }
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia t...
Kwa nini Rukia amepata Malaria
{ "text": [ "Hajakuwa akilala ndani ya neti" ] }
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii...
Kilimo kimeleta manufaa mengi katika nchi gani
{ "text": [ "Kenya" ] }
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii...
Kilimo kimeongeza nini
{ "text": [ "Chakula" ] }

Kilimo inasaidia wananchi kupata nini ya kuimarisha maisha
{ "text": [ "Kazi" ] }
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii...
Kilimo imesaidia kupata pesa zipi
{ "text": [ "Za kigeni" ] }
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii...
Mchango wa serikali ni upi katika kilimo
{ "text": [ "Kuwaelimisha wananchi umuhimu wa kilimo" ] }
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii...
Ni nini upandaji wa mimea tofauti

Kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini wapi
{ "text": [ "Kenya" ] }
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii...
Kilimo inawasaidia wananchi kupata nini
{ "text": [ "Kazi" ] }
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii...
Kilimo imesaidia Serikali kupata nini
{ "text": [ "Pesa" ] }
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii...
Ni vipi kilimo hupunguza umaskini
{ "text": [ "Kwa vile watu wanapata vyakula" ] }
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuat...
Ni nini njia kuu ya kuimarisha uchumi
{ "text": [ "Kilimo" ] }
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuat...
Asilimia gani huchangia katika elimu
{ "text": [ "80%" ] }
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuat...
Kilimo cha nini huchangia mlo
{ "text": [ "Mahindi" ] }
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuat...
Kilimo cha uvuvi husaidia kuimarisha nini
{ "text": [ "Uchumi" ] }
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuat...
Ni nini jukumu la mkenya
{ "text": [ "Kutoa umaskini na kutushidia shida" ] }
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuat...
Kilimo ni njia kuu ya kuimarisha nini
{ "text": [ "Uchumi" ] }
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuat...
Kilimo cha mahindi husaidia watu kupata nini
{ "text": [ "Mlo" ] }
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuat...
Kilimo cha samaki husaidia kuimarisha uchumi wa nini
{ "text": [ "Kenya" ] }
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuat...
Ni nini husaidia kupata nyama na maziwa
{ "text": [ "Mifugo" ] }
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuat...
Ni kwa vipi kilimo huwa na manufaa mengi
{ "text": [ "Kwa kuchangia kumaliza umaskini" ] }
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, i...
Ni nini kazi ya kulima na kupanda mazao
{ "text": [ "Kilimo" ] }
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, i...
Mojawapo ya mazao yanayotokana na kilimo ni nini
{ "text": [ "Chakula" ] }
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, i...
Ni nini wameweza kufugwa nchini
{ "text": [ "Wanyama" ] }
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, i...
Wanyama hutupa nini
{ "text": [ "Mbolea" ] }
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, i...
Ni vipi wakulima watapewa motisha
{ "text": [ "Kuwalipa vizuri katika kazi ya kilimo" ] }
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, i...
Ni nini kazi ya kupanda mazao shambani
{ "text": [ "Kilimo" ] }
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, i...
Chakula hutokana na nini

Mazao mengine hutumika kama nini
{ "text": [ "Dawa" ] }
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, i...
Mazao yanaweza kusafirishwa wapi
{ "text": [ "Ughaibuni" ] }
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, i...
Serikali inachangia vipi katika kilimo
{ "text": [ "Serikali inawapa wakulima ushauri" ] }
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tu...
Umoja ni nguvu utengano ni?
{ "text": [ "Udhaifu" ] }

Katika siasa za migawanyiko ni nadra sana kukoseka nini?
{ "text": [ "Vita" ] }
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tu...
Siasa nzuri huboresha nini?

Vita hueneza nini?
{ "text": [ "Chuki" ] }

Kidole kimoja hakivunji nini?
{ "text": [ "Chawa" ] }

Umoja ni nguvu na utengano ni nini?

Kidole kimoja hakiwezi kuvunja nani?
{ "text": [ "Chawa" ] }
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tu...
Undungu si kufanana bali ni?
{ "text": [ "Kufaana" ] }
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tu...
Katika siasa za mgawanyiko, ni nadra kukose nini?
{ "text": [ "Vita" ] }
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tu...
Nani wanaendeleza siasa za mgawanyiko?
{ "text": [ "Viongozi" ] }
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo hua...
Vijana wamejihusisha na uhusiano wa nini
{ "text": [ "Kimapenzi" ] }
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo hua...
Ni nini hutokana na uhusiano wa kimapenzi
{ "text": [ "vifo" ] }
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo hua...
Uhusiano wa kimapenzi umeleta matumizi ya dawa zipi
{ "text": [ "Kulevya" ] }
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo hua...
Vijana wanafaa kuwa na marafiki aina gani
{ "text": [ "Wema" ] }
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo hua...
Ni nini husababisha uja uzito kwa vijana
{ "text": [ "Uhusiano wa kimapenzi miongoni mwa vijana" ] }
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo hua...
Nani wanajihusisha na mapenzi
{ "text": [ "vijana" ] }
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo hua...
Mimba za mapema zinawapata vijana walioko wapi
{ "text": [ "Shuleni" ] }
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo hua...
Vijana wanajihusha na mapenzi kwa sababu ya ushauri mgani
{ "text": [ "mbaya" ] }
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo hua...
Vifo vya mapema hutokana na uhusiano wa nini
{ "text": [ "Kimapenzi" ] }
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo hua...
Kwa nini ugonjwa wa ukimwi unaenea
{ "text": [ "Kutokana na uhusiano wa kimapenzi wa mapema" ] }
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, n...
Anataka kutoa nini
{ "text": [ "Hotuba" ] }
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, n...
Mtihani wa kitaifa ni nini
{ "text": [ "Daraja" ] }
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, n...
Ni lazima ujitolee nini ili kufaulu
{ "text": [ "mhanga" ] }
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, n...
Mwanafunzi ahudhurie masomo ya nini
{ "text": [ "Maktaba" ] }
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, n...
Kwa nini mwanafunzi anahitaji wakati wa kupumzika
{ "text": [ "Ili kutuliza akili wakati imechoka" ] }
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, n...
Azma ya hotuba ni jinsi ya kujiandaa kwa mitihani ipi
{ "text": [ "Kitaifa" ] }
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, n...
Mwanafunzi hudurusu ni aliyokuwa amesahau hapo awali
{ "text": [ "Masomo" ] }
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, n...
Ukitaka kufaulu ni lazima ujitolee nini
{ "text": [ "mhanga" ] }
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, n...
Ukitaka kufaulu unawatafuta nani
{ "text": [ "Walimu" ] }
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, n...
Nidhani husaidia vipi kufaulu masomoni
{ "text": [ "Kwa kuzingatia ratiba ya shule" ] }
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa ...
Ghulamu anaitwa nani
{ "text": [ "Kauleni" ] }

Kauleni aliishi katika kitongoji kipi
{ "text": [ "Magomeni" ] }
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa ...
Kauleni alijiunga na shule ipi
{ "text": [ "Busuamka" ] }

Kauleni aliazimia kuwa nini
{ "text": [ "Daktari" ] }
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa ...
mbona machozi ya simanzi yalimtoka Kauleni
{ "text": [ "Alimpoteza mamake" ] }
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa ...
Hapo zamani palikuwa na jamaa aliyeitwa nani
{ "text": [ "Kauleni" ] }
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa ...
Kauleni alijiunga na shule gani

Kauleni alisomea nini chuoni
{ "text": [ "udaktari" ] }
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa ...
Kauleni alipopata pesa aliingiwa na nini
{ "text": [ "Kiburi" ] }
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa ...
Kwa nini Kauleni alipigwa kalamu
{ "text": [ "Alivaa miwani na kukosa kuwajibika" ] }
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya ki...
Ni ipi llugha ya taifa nchini Kenya na Tanzania
{ "text": [ "Kiswahili" ] }
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya ki...
Kiswahili kinatumiwa kama lugha mojawapo wapi
{ "text": [ "Umoja wa mataifa" ] }
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya ki...
Kiswahili kinafaa kitumiwe kama lugha rasmi wapi
{ "text": [ "Utangazaji" ] }
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya ki...
Masomo shuleni yanafaa yaandikwe kwa lugha ipi
{ "text": [ "Kiswahili" ] }
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya ki...
Ni vipi lugha ya Kiswahili itafaidi ikifunzwa kama lugha ya kigeni
{ "text": [ "Kwa kazi ya ualimu" ] }
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya ki...
Tanzania na Kenya wameidhinisha Kiswahili kama lugha ya nini
{ "text": [ "Taifa" ] }
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya ki...
Kiswahili Kinatumika kama lugha mojawapo ya Umoja wa nini
{ "text": [ "Mataifa" ] }
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya ki...
Kiswahili kitumike kama lugha rasmi katika utangazaji wa nini
{ "text": [ "Habari" ] }
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya ki...
Vyuo vikuu vya ulimwenguni vifunze lugha ipi miongoni mwa zingine
{ "text": [ "Kiswahili" ] }
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya ki...
Juhudi za kuimarisha Kiswahili ni ya nani
{ "text": [ "Wananchi wa Kenya na Tanzania" ] }
3656_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA NCHI. Siasa za migawanyiko hutokea pale mwanasiasa mmoja katika taifa huungwa mkono na wafuasi wengine na kukataliwa na wengine. Siasa hizi mara nyingi hutokea wakati wote wanapoelekea katika uchaguzi mkuu. Mara nyingi huwa na madhara mengi katika jamii na nchi yote kwa ujumla...
Siasa za mgawanyiko husababisha kuenea kwa nini
{ "text": [ "Chuki" ] }
3656_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA NCHI. Siasa za migawanyiko hutokea pale mwanasiasa mmoja katika taifa huungwa mkono na wafuasi wengine na kukataliwa na wengine. Siasa hizi mara nyingi hutokea wakati wote wanapoelekea katika uchaguzi mkuu. Mara nyingi huwa na madhara mengi katika jamii na nchi yote kwa ujumla...
Visa huleta nini kwa bianadamu wasio hatia
{ "text": [ "Vifo" ] }
3656_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA NCHI. Siasa za migawanyiko hutokea pale mwanasiasa mmoja katika taifa huungwa mkono na wafuasi wengine na kukataliwa na wengine. Siasa hizi mara nyingi hutokea wakati wote wanapoelekea katika uchaguzi mkuu. Mara nyingi huwa na madhara mengi katika jamii na nchi yote kwa ujumla...
Ukosefu wa miundo misingi ipi husababisha vifo
{ "text": [ "Hospitali" ] }
3656_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA NCHI. Siasa za migawanyiko hutokea pale mwanasiasa mmoja katika taifa huungwa mkono na wafuasi wengine na kukataliwa na wengine. Siasa hizi mara nyingi hutokea wakati wote wanapoelekea katika uchaguzi mkuu. Mara nyingi huwa na madhara mengi katika jamii na nchi yote kwa ujumla...
Wanasiasa wanawahandaa nani
{ "text": [ "Vijana" ] }
3656_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA NCHI. Siasa za migawanyiko hutokea pale mwanasiasa mmoja katika taifa huungwa mkono na wafuasi wengine na kukataliwa na wengine. Siasa hizi mara nyingi hutokea wakati wote wanapoelekea katika uchaguzi mkuu. Mara nyingi huwa na madhara mengi katika jamii na nchi yote kwa ujumla...
Ni vipi vita huleta uharibifu
{ "text": [ "Kwa kuchoma majumba na magari" ] }