name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
Msimu wa kilimo wa mwaka 2022, Tanzania ilizalisha tani 5,152 za soya, kutoka tani 44,106 zilizozali | Msimu wa kilimo wa mwaka 2022, Tanzania ilizalisha tani 5,152 za soya, kutoka tani 44,106 zilizozalishwa mwaka 2021.
Anguko hilo la uzalishaji wa soya ni mara nane zaidi ya kiasi kile kilichozalishwa katika mwaka 2021, kwa mujibu wa taarifa ya hali ya uchumi ya mwaka 2022.
Ingawa taarifa hiyo inaweka wazi kuwa, mabadil... |
Umekutana na nini kilichokuonyesha tofauti ya ulichofunzwa na uhalisia wa maisha ya sasa? Au mwenzet | Umekutana na nini kilichokuonyesha tofauti ya ulichofunzwa na uhalisia wa maisha ya sasa? Au mwenzetu mafunzo uliyopewa yanaakisi unayokutana nayo?
Maswali hayo yanajenga msingi wa hoja ya kukithiri kwa mabadiliko ya mwenendo wa maisha, unaohitaji mfumo na mbinu mpya ili kuishi katika ulimwengu wa sasa.
Unakumbuka ulif... |
Licha ya Dar es Salaam kuonekana Jiji pendwa na watu, hivi unajua kuwa Pwani ndiyo Mkoa kimbilio la | Licha ya Dar es Salaam kuonekana Jiji pendwa na watu, hivi unajua kuwa Pwani ndiyo Mkoa kimbilio la wengi nchini?
Kwa taarifa yako, katika mwaka 2022 jumla ya watu 667,676 walikimbilia Pwani, huku 142,910 wakifungasha virago kulihama Jiji la Dar es Salaam.
Kulingana na taarifa ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, ... |
‘Muungwana akivuliwa nguo huchutama’ ndiyo usemi unaoakisi kilichofanywa na mfanyabiashara, Rostam A | ‘Muungwana akivuliwa nguo huchutama’ ndiyo usemi unaoakisi kilichofanywa na mfanyabiashara, Rostam Aziz baada ya kukiangukia Chama cha Majaji Tanzania (JMAT), akikiomba radhi kutokana na kauli yake iliyotafsiriwa kuidharau mahakama.
Rostam aliitoa kauli hiyo, Juni 26, mwaka huu wakati anafafanua kuhusu Mkataba wa Ushir... |
Haikuchukua muda mrefu kwa bilionea, Rostam Aziz kukiomba radhi Chama cha Majaji Tanzania (JMAT), ku | Haikuchukua muda mrefu kwa bilionea, Rostam Aziz kukiomba radhi Chama cha Majaji Tanzania (JMAT), kutokana na kauli yake iliyotafsiriwa kuidharau mahakama.
Rostam alitoa kauli hiyo, Juni 26, mwaka huu katika mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai (IGA), ... |
Siku tisa baada ya mfanyabiashara, Rostam Azizi kushuku uhuru wa Mahakama ya Kisutu, Chama cha Majaj | Siku tisa baada ya mfanyabiashara, Rostam Azizi kushuku uhuru wa Mahakama ya Kisutu, Chama cha Majaji Tanzania (JMAT) kimemjia juu kikimtaka athibitishe tuhuma alizozitoa dhidi ya mahakama hiyo.
Rostam aliishuku mahakama hiyo Juni 26, mwaka huu alipozungumzia sakata la bandari akisema, “hakuna mwekezaji atawekeza kweny... |
Wananchi milioni 51.3 katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wanakabiliwa na c | Wananchi milioni 51.3 katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wanakabiliwa na changamoto ya usalama duni wa chakula.
Hiyo ni kulingana na tathmini iliyofanywa mwaka 2020/21 na kwamba idadi hiyo ni sawa na asilimia 13.5 ya wakazi wote milioni 380 wa SADC.
Kadhalika, idadi hiyo ni ongezeko la asilimi... |
Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( | Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kujiwekea mikakati na sera za kuboresha sekta ya kilimo, bado zinatajwa kuwa na njaa.
Amesema ni wakati sasa nchi hizo zitumie mikakati na sera hizo ili kuufanya ukanda wa SADC kuwa mzalishaji na msambazaji mkubwa ... |
Tamati ya maisha ya mwanaume mmoja imefikia jana wilayani Moshi, baada ya kuuawa wakati akifanya map | Tamati ya maisha ya mwanaume mmoja imefikia jana wilayani Moshi, baada ya kuuawa wakati akifanya mapenzi katika moja ya uchochoro mkoani Kilimanjaro.
Mwanaume huyo ambaye hadi sasa jina lake halijafahamika, aliuawa kati ya saa 8 na 9 usiku, alipokuwa anafanya kitendo hicho na mmoja wa wanawake wanaofanya biashara ya ng... |
Umewahi kujiuliza lolote kuhusu mkataba wa ushirikiano (IGA) wa uwekezaji na uboreshaji bandari ya D | Umewahi kujiuliza lolote kuhusu mkataba wa ushirikiano (IGA) wa uwekezaji na uboreshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai?
Unapata maswali yasiyojibika kuhusu mkataba huo au hofu juu ya kile kinachoelezwa na wengi kwamba mkataba huo ni sawa na kuiuza bandari ya Dar es Salaam?
Gazeti hili li... |
Hatua ya Taasisi ya Times Higher Education (THE), kutaja orodha ya Vyuo Vikuu bora Kusini mwa Jangwa | Hatua ya Taasisi ya Times Higher Education (THE), kutaja orodha ya Vyuo Vikuu bora Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa mwaka 2023, imewagusa wadau, baadhi wakitilia shaka vigezo vilivyotumika.
Orodha hiyo iliyotangazwa na taasisi ya THE kutoka Uingereza, imekitaja Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) kuwa nafa... |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itafanyika kazi maoni na ushauri wote unaotolewa na wa | Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itafanyika kazi maoni na ushauri wote unaotolewa na wananchi kuhusu sakata la uwekezaji bandari kati yake na Dubai.
Kauli ya Majaliwa, ameitoa kujibu wito wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), ulioitaka Serikali kupokea maoni ya wananchi na kufafanua vifungu vinavyowat... |
Mjadala wa ukomo wa muda wa utumishi wa Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma umeibua dosari k | Mjadala wa ukomo wa muda wa utumishi wa Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma umeibua dosari katika Katiba, baada ya kile kilichoelezwa na wadau kuwa, vifungu vilivyopo katika Katiba ya sasa vinaleta mkanganyiko wa kisheria juu ya suala hilo.
Chimbuko la mjadala huo ni taarifa kuwa, Rais Samia Suluhu Hassan amemu... |
Kukosekana ushirikishwaji wa wananchi, mlolongo mrefu wa utatuzi wa migogoro na ukinzani wa kisheria | Kukosekana ushirikishwaji wa wananchi, mlolongo mrefu wa utatuzi wa migogoro na ukinzani wa kisheria ni miongoni mwa kasoro zilizotajwa kugubika mkataba wa ushirikiano katika uwekezaji na uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai.
Msingi wa kasoro zote hizo zilizotajwa na Chama cha Wa... |
Swali la nani atakayekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, baada ya Profesa Ibrahim Juma ndilo linalogonga vic | Swali la nani atakayekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, baada ya Profesa Ibrahim Juma ndilo linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa.
Kuibuka kwa swali hilo nyakati hizi, kunatokana na mkuu huyo wa muhimili wa mahakama, kufikisha umri wa miaka 65 wiki iliyopita, ambao kwa mujibu wa Katiba uongozi wake unapaswa kukoma.
Ibara ya 1... |
Juzi nilimsikia mmoja wa wasomi wabobevu wa masuala ya Sayansi ya Siasa na utawala wa umma kutoka Ch | Juzi nilimsikia mmoja wa wasomi wabobevu wa masuala ya Sayansi ya Siasa na utawala wa umma kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandara akieleza kuhusu mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa nchi za Afrika.
Katika maelezo yake, Profesa Mukandara alitaja takwimu zinazoonyesha karibu robo ya nchi h... |
Mfumo mbaya wa mgawanyo wa rasilimali, matumizi mabaya ya mipaka ya nchi na maslahi ya mataifa ya nj | Mfumo mbaya wa mgawanyo wa rasilimali, matumizi mabaya ya mipaka ya nchi na maslahi ya mataifa ya nje ni miongoni mwa sababu zilizotajwa kuwa kiini cha migogoro ya wenyewe kwa wenyewe katika nchi za Afrika.
Sababu hizo zinatajwa na wanazuoni wakati karibu robo ya mataifa 54 ya Afrika yanakabiliwa na migogoro ya wenyewe... |
Si ushamba, lakini ndivyo uhalisia ulivyo kwamba ni kiu ya wengi kuishi maghorofani na aghalabu anay | Si ushamba, lakini ndivyo uhalisia ulivyo kwamba ni kiu ya wengi kuishi maghorofani na aghalabu anayeishi kwenye nyumba za namna hiyo, hutafsiriwa kuwa na uwezo kiuchumi.
Maisha katika nyumba hizo, si rahisi kushuhudia wapangaji wakizozana hadharani au familia moja kuwa na uhuru wa kuingia kwenye eneo la mwingine kupig... |
Tulikuwa tunahesabu mwaka na sasa imebaki miezi sita kabla ya kuanza utekelezaji wa rasimu ya sera y | Tulikuwa tunahesabu mwaka na sasa imebaki miezi sita kabla ya kuanza utekelezaji wa rasimu ya sera ya elimu na mitalaa, ambayo kimsingi imekuja na mabadiliko makubwa katika sekta hiyo.
Sera na mitalaa hiyo kwa mujibu wa Kamati iliyoshiriki kukusanya maoni, inatarajiwa kuanza kutekelezwa katika mwaka wa masomo 2024, kw... |
Zikiwa zimebaki siku mbili kwa Serikali kupitisha bajeti yake ya mwaka wa fedha 2023/24, chama cha C | Zikiwa zimebaki siku mbili kwa Serikali kupitisha bajeti yake ya mwaka wa fedha 2023/24, chama cha Chadema kimesema kilichowasilishwa katika mapendekezo kinawapa matumaini hewa wananchi.
Kauli yake hiyo inatokana na kile ilichokifafanua kuwa, uzoefu unaonyesha malengo ya makusanyo kulingana na bajeti za kila mwaka haya... |
auli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwamba Serikali haitapuuza maoni ya wananchi kuhusu Mkataba wa | auli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwamba Serikali haitapuuza maoni ya wananchi kuhusu Mkataba wa Ushirikiano wa Uendeshaji na Uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam, imewaibua wadau wakitaka utekelezaji wa vitendo.
Hii ni kauli ya kwanza ya Serikali mbali na zile za kujibu mapigo ilizozitoa kutokana na ukosoaji m... |
Huenda bidhaa ya maji, ikawa miongoni mwa zitakazopanda bei, iwapo bajeti ya Serikali ya mwaka wa fe | Huenda bidhaa ya maji, ikawa miongoni mwa zitakazopanda bei, iwapo bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2023/24 itapitishwa.
Matarajio ya ongezeko la bei katika bidhaa hiyo, yanatokana na hatua iliyopendekezwa na Serikali ya kuongeza ushuru maalum wa asilimia 10 katika bidhaa zisizo za petroli zinazohusisha maji.
Hata ... |
Serikali imetaka kufuatwa utaratibu wa uuzaji wa mazao yakiwemo ya chakula nje ya nchi, ikisisitiza | Serikali imetaka kufuatwa utaratibu wa uuzaji wa mazao yakiwemo ya chakula nje ya nchi, ikisisitiza haijapiga marufuku wakulima kufanya hivyo, isipokuwa wanapaswa kuzingatia sheria.
Kauli hiyo ya Serikali inakuja baada ya mkwamo wa siku kadhaa wa malori 120 yenye shehena ya mahindi Himo mkoani Kilimanjaro kuelekea Keny... |
Hatimaye furaha imegeuka balaa, baada ya Serikali kuingilia kati sherehe ya harusi iliyokuwa ikifung | Hatimaye furaha imegeuka balaa, baada ya Serikali kuingilia kati sherehe ya harusi iliyokuwa ikifungwa, huku bi harusi akiwa ni mwanafunzi anayetarajia kujiunga na kidato cha tano mwaka huu.
Tukio hilo lililotokea katika Kijiji cha Mwawaza mkoani Shinyanga, kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa huo, Christine Mndeme lilifanyika k... |
Wakulima 2,034 kutoka Mikoa ya Manyara, Dodoma, Morogoro na Shinyanga wamewezeshwa kitaaluma ili kuw | Wakulima 2,034 kutoka Mikoa ya Manyara, Dodoma, Morogoro na Shinyanga wamewezeshwa kitaaluma ili kuwa na uwezo wa kufanya kilimo kitakachohusisha matumizi ya zana bora na elimu ya fedha.
Mafunzo hayo yaliyotolewa na Kampuni ya EFTA na Wizara ya Kilimo, yamehusisha wakulima wanawake 527 na wanaume 1507 ili wawe na uwezo... |
Itakuhitaji zaidi ya Sh50 milioni kukamilisha ujenzi wa nyumba ya vyumba viwili kitaalamu, iwapo map | Itakuhitaji zaidi ya Sh50 milioni kukamilisha ujenzi wa nyumba ya vyumba viwili kitaalamu, iwapo mapendekezo ya Serikali ya kutoza ushuru katika vifaa mbalimbali vya ujenzi yatapitishwa.
Kabla ya mapendekezo hayo , ujenzi wa nyumba ya vyumba viwili, yenye sebule choo na bafu kitaalamu, ukomo wa gharama za kuijenga iki... |
‘Ni safu kuelekea michakato ya kisiasa’ ni neno fupi lililotumiwa na wataalamu wa siasa kutafsiri ut | ‘Ni safu kuelekea michakato ya kisiasa’ ni neno fupi lililotumiwa na wataalamu wa siasa kutafsiri uteuzi alioufanya Rais Samia Suluhu Hassan wa wasaidizi wake katika eneo la siasa na uhusiano na jamii.
Kauli za wasomi hao zinakuja siku moja baada ya Rais Samia kufanya uteuzi huo, uliohusisha wateule wanne katika eneo h... |
Balozi wa zamani wa Tanzania nchini Sweden, Dk Willibrod Slaa amesema upinzani wake dhidi ya mkataba | Balozi wa zamani wa Tanzania nchini Sweden, Dk Willibrod Slaa amesema upinzani wake dhidi ya mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji Bandari kati ya Kampuni ya DP World na Tanzania, haulengi kukataa wawekezaji, huku akiishauri Serikali irekebishe kasoro zinazolalamikiwa.
Hoja hiyo ya Dk Slaa inapigia msumari ile iliyoibul... |
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema ameutaka uongozi wa Seneti y | Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema ameutaka uongozi wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu ya chama hicho, kuandaa kanzidata ya wahitimu wa elimu ya juu.
Kwa mujibu wa Mjema, kanzidata hiyo itarahisisha kuwapata wataalamu wa kada mbalimbali zinapotokea fursa.
Kauli hiyo aliitoa jijini Dar ... |
Unatumia kipimo gani kuthibitisha ubora wa tofali za mchanga kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako? una | Unatumia kipimo gani kuthibitisha ubora wa tofali za mchanga kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako? unafahamu athari za kutumia tofali hizo kiholela katika ujenzi?
Maswali haya ni machache kati ya mengi yanayopaswa kuulizwa hasa katika kipindi hiki ambacho maeneo mengi nchini ikiwemo Dar es Salaam, kumeibuka idadi kubwa y... |
Hatma ya uamuzi wa ama kuadhibiwa au vinginevyo kwa Balozi Ali Abeid Karume kwa tuhuma za kuitukana | Hatma ya uamuzi wa ama kuadhibiwa au vinginevyo kwa Balozi Ali Abeid Karume kwa tuhuma za kuitukana CCM na viongozi wake, ipo mikononi mwa uongozi wa chama hicho katika tawi la Mwera anakoishi.
Hilo linatokana na taarifa kuwa, juzi mwanasiasa huyo aliitwa na uongozi huo kwa mahojiano marefu na kinachosubiriwa ni ripoti... |
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameondoka nchini kuelekea nchini Italia kwa ziara ya kikazi ya | Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameondoka nchini kuelekea nchini Italia kwa ziara ya kikazi ya siku nne.
Katika safari hiyo, Mbowe ameambatana na viongozi wengine wawili wa chama hicho, Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu na Katibu Mkuu, John Mnyika.
Hayo yameelezwa leo, Juni 5, 2023 katika taarifa kwa umma iliyot... |
Hatua ya Serikali kuchelewa kuwapangia shule wanazopaswa kwenda wanafunzi wanaotarajia kujiunga na k | Hatua ya Serikali kuchelewa kuwapangia shule wanazopaswa kwenda wanafunzi wanaotarajia kujiunga na kidato cha tano, imeibua wasiwasi kwa wazazi, wakieleza hilo linawapunguzia muda wa kujiandaa.
Wasiwasi huo wa wazazi, unatokana na ukweli kwamba licha ya matokeo ya mtihani wa kidato cha nne kutangazwa Januari 29, mwaka ... |
Uchunguzi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), umebaini kifo cha mwanafunzi wa Chuo | Uchunguzi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), umebaini kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Abdallah hakihusiani na ajali iliyomhusisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Dk Festo Dugange.
Kifo cha mwanafunzi huyo kilitokea mapema Mei mwa... |
Wakati safari ya Watanzania kwenda kupata Katiba mpya ikiendelea, Balozi Willibrod Slaa ameibuka na | Wakati safari ya Watanzania kwenda kupata Katiba mpya ikiendelea, Balozi Willibrod Slaa ameibuka na kukosoa vikali mchakato huo akisema kinachofanyika ni kiini macho na hauna uhalali kisheria.
Hoja ya mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema, inatokana na alichoelezwa kuwa Katiba haipaswi kutungwa kwa maa... |
Sakata la uraia pacha limeendelea kuwa kitendawili kisichoteguka, baada ya diaspora kulalamikia kuto | Sakata la uraia pacha limeendelea kuwa kitendawili kisichoteguka, baada ya diaspora kulalamikia kutoshirikishwa katika uamuzi wa Serikali wa kutoa hadhi maalum kwa raia hao wanaoishi nje ya nchi.
Uamuzi wa Serikali kutoa hadhi maalum kwa diaspora badala ya uraia pacha, ulitangazwa juzi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushi... |
null | ### Contact Us
##### Contacts Us
**Postal Address**
The United Republic of Tanzania
Ministry of Finance
Treasury Square Building 18 Jakaya Kikwete Road
P.O.BOX 2802,
40468 Dodoma.
40468 Dodoma. |
null | - Mwanzo
- Utawala
- Kuhusu Sisi
- Mikoa
-
Miradi
- Tanzania Strategic Cities Project
- MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
- Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
- v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
- Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
- ... |

null | Copyright © 2014 - 2024 e-Government Authority. All Rights Reserved | GMS Version 4.0.0
Warning: This webmail service requires Javascript! In order to use it please enable Javascript in your browser's settings. |

null | null |

null | About
Press
Copyright
Contact us
Creator
Advertise
Developers
Terms
Privacy
Policy & Safety
How YouTube works
Test new features
© 2024 Google LLC |
null | |

Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.