name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Elon Musk atanufaika vipi na urais wa Donald Trump? - Author, Lily Jamali - Nafasi, North America technology correspondent Kurudi kwa Donald Trump katika Ikulu ya White House kunaweza pia kuwa ushindi kwa mmoja wa wafuasi wake wanaoonekana: Elon Musk. Mtu tajiri zaidi duniani alisalia na Trump usiku wa uchaguzi huko Fl... |
null | Sababu 10 zinazoweza kumpatia ushindi Harris au Trump Imesalia siku moja tu, ambapo kinyang'anyiro cha kuwania Ikulu ya White House kimepamba moto - katika ngazi ya kitaifa na katika majimbo muhimu zaidi yanayoshindaniwa. Zoezi la kupiga kura limekaribia,kukiwa na tofauti ndogo kati ya Donald Trump au Kamala Harris wak... |
null | Nini kitaamua uchaguzi wa Marekani na kwanini kuna ushindani mkali sana? Anthony Zurcher Mwandishi wa Amerika ya Kaskazini Haijatokea kamwe katika historia ya hivi karibuni ya kisiasa za Marekani kwamba matokeo ya urais yamekuwa ya mashaka sana- Huu ni ushindani usio wa kawaida. Huku uchaguzi uliopita uliamliwa kwa ush... |
null | Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, upigaji kura kwa barua za posta hufanyikaje? Wamarekani wanaweza kuchagua rais wa nchi hiyo yenye ushawishi mkubwa zaidi duniani kwa njia ya posta, licha ya upigaji kura huo kutiliwa shaka na rais wa zamani na mgombea wa sasa Donald Trump hapo mwanzoni. Zaidi ya mwezi mmoja kabla ya uchag... |
null | Uchaguzi wa Marekani 2024: Ahadi saba za Trump atakazozitekeleza kama rais - Author, James FitzGerald - Nafasi, BBC Donald Trump anarejea Ikulu ya White House, baada ya kuahidi atachukua hatua kuhusu masuala ya uhamiaji, uchumi na vita nchini Ukraine. Na katika Bunge la Congress, Chama chake cha Republican kinadhibiti ... |
null | Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, muhula wa pili wa Donald Trump utakuwaje? Kwa baadhi ya wachambuzi, wanaamini Rais Donald Trump ataendelea pale alipomalizia mwaka 2020 - mwishoni mwa muhula wake wa kwanza wa urais. Mradi mmoja ambao haujakamilika ni kufunga mpaka wa kusini mwa Marekani kwa ujenzi wa ukuta - sera hii ya ... |
null | Uchaguzi wa Marekani 2024: Kwa nini Kamala Harris ameshindwa? Mwezi mmoja uliopita, Kamala Harris alionekana kwenye kipindi cha The View cha ABC kwa mahojiano. Alipoulizwa, atafanya kipi cha tofauti na rais aliyeko madarakani, Joe Biden: Akajibu, "hakuna jambo linalokuja akilini." Jibu la Harris – likawa tangazo la sha... |
null | Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, kuna pengo la kijinsia katika uchaguzi huo? - Author, Katty Kay - Nafasi, BBC Kwa mujibu wa kura ya maoni, Donald Trump ana uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa wanaume, huku wanawake kwa sehemu kubwa wakisema watampigia kura Kamala Harris. Pengo la kijinsia linaweza kusaidia kuamua uchaguzi ... |
null | Trump atachukuwa lini hatamu ya uongozi wa Marekani? - Author, George Bowden - Nafasi, BBC News, Washington Mrepublican Donald Trump atakuwa rais ajaye wa Marekani - baada ya kupata ushindi wa kihistoria ambao umemrejesha tena katika Ikulu ya White House. Kinyang'anyiro kati yake na mgombea wa chama cha Democratic Kama... |
null | Uchaguzi wa Marekani 2024: Ijue familia ya Donald Trump - Author, Ana Faguy - Nafasi, BBC News, Washington Kabla ya siasa, Donald Trump alijenga himaya yake kwa biashara ya mamilioni ya pesa. Jina lake sasa - ni sawa na Chama cha Republican, na watu mbalimbali wa familia ya Trump sasa wana ushawishi. Hawa ni baadhi ya ... |
null | Kwanini Wamarekani wamempa Trump nafasi nyingine? - Author, Sarah Smith - Nafasi, North America editor Hakika huu ni ushindi wa kushangaza zaidi katika historia ya kisiasa ya marekani. Miaka minne baada ya kuondoka Ikulu ya White House, Donald Trump anatazamiwa kurejea tena, baada ya mamilioni ya Wamarekani kupiga kura... |
null | Jimbo la Marekani linalowavutia raia wa kigeni kwa pato kubwa Suala la uhamiaji haramu linajadiliwa katika uchaguzi wa Marekani. Wagombea wa urais wa Marekani Kamala Harris na Donald Trump, wanasema kuwa watapunguza idadi ya wahamiaji haramu kutoka Mexico kuingia nchini mwao. Hata hivyo, serikali ya Republican katika j... |
null | Ripoti ya Durham: FBI yakosolewa na wakili maalum katika uchunguzi wa Trump na Urusi Ripoti iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu imekosoa vikali jinsi Shirika la Ujasusi la Marekani (FBI) inavyoshughulikia uchunguzi wake kuhusu madai ya uhusiano kati ya Urusi na kampeni ya Trump ya 2016. Katika ripoti ya kurasa 306, wa... |
null | Rais wa Marekani Joe Biden ajikwaa na kuanguka katika hafla ya Colorado Rais wa Marekani Joe Biden amejikwaa na kuanguka alipokuwa akikabidhi cheti cha diploma katika sherehe ya kuhitimu kwa Chuo cha Jeshi la Wanahewa la Marekani huko Colorado. Bw Biden, ambaye ndiye rais mkongwe zaidi wa taifa hilo anayehudumu akiwa n... |
null | Je, Trump anaweza kufungwa jela na maswali mengine muhimu Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amefunguliwa mashtaka kuhusiana na matukio ya ghasia za tarehe 6 Januari 2021 katika Bunge la Marekani. Mwanasiasa huyo wa chama cha Republican anakanusha kufanya makosa na kuelezea kesi hiyo kuwa ya "kichekesho". Tayari a... |
null | Uchaguzi wa mchujo Iowa : Nini maana ya ushindi mkuu wa Trump kwa wapinzani wake? Na Anthony Zurcher Mwandishi wa Amerika Kaskazini, Des Moines, Iowa Labda ulikuwa ushindi wa kushangaza zaidi katika historia ya vikao vya Iowa. Donald Trump alishinda kwa kishindo katika kinyang'anyiro cha kwanza katika kinyang'anyiro ch... |
null | Je, Donald Trump anakabiliwa na mashtaka gani ya jinai kuhusu nyaraka za siri? Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump anakabiliwa na mashtaka ya jinai kuhusu kushughulikia nyaraka za siri baada ya kuondoka Ikulu ya White House. Maelezo ya mashtaka yanayohusiana na nyaraka zilizopatikana nyumbani kwake Mar-a-Lago mnamo... |
null | Je, Trump anaweza kugombea urais baada ya kuenguliwa Maine na Colorado? - Author, Tom Geoghegan - Nafasi, BBC Donald Trump ameenguliwa kuwania urais katika majimbo mawili ya Colorado na Maine. Ina maana gani kwa uchaguzi mkuu mwakani? Trump yuko mstari wa mbele kupitia chama cha Republican kugombea uchaguzi wa Novemba ... |
null | China Je, kwa nini wafanyakazi wengi wa China wanalengwa na kuuawa duniani kote? 12 Novemba 2024 Ushindi wa Trump unamaanisha nini kwa Ukraine, Mashariki ya Kati na China 8 Novemba 2024 Urusi na China zina jukumu lipi katika mzozo kati ya Israel na Iran? 4 Novemba 2024 Tajiri mpya wa China: Je, muanzilishi wa TikTok ni... |
null | Je, ni wakati wa viongozi wakongwe wa Marekani kustaafu? Nomia Iqbal & Alex Lederman BBC News, Washington, DC Ghafla neno lisilojulikana, "gerontocracy," ambalo linamaanisha serikali inayotawaliwa na watu ambao ni wakongwe zaidi ya wengine, sasa linazidi kuwa sehemu ya msamiati wa Wamarekani. Sio mengi yanayowaunganish... |
null | Je, Trump anaweza kugombea urais baada ya kukutwa na hatia? Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kutiwa hatiani kwa mashtaka ya jinai, baada ya jopo maalum la mahakama mjini New York kumpata na hatia katika mashtaka yote 34 dhidi yake. Mashtaka hayo yote yanahusiana na kughushi rekodi za biashara y... |
null | Wauaji wa mwanariadha wa Uganda wahukumiwa kifungo cha miaka 35 Kenya imewahukumu wanaume wawili kifungo cha miaka 35 kila mmoja kwa mauaji ya mwanariadha wa Uganda Benjamin Kiplagat mwishoni mwa mwaka jana. Mkimbiaji huyo wa mbio za kuruka viunzi kwenye Olimpiki aliuawa kwa kuchomwa kisu mkesha wa Mwaka Mpya katika mj... |
null | Majimbo saba yatakayoamua mshindi wa uchaguzi wa Marekani 2024 - Author, James FitzGerald - Nafasi, BBC News Takriban watu milioni 240 wanatarajiwa kupiga kura katika uchaguzi wa mwaka huu wa Marekani, lakini ni idadi ndogo tu kati yao ambayo huenda wakatatua swali la nani atakuwa rais. Wataalamu wanaamini kuna majimbo... |
null | Biden atakwenda wapi baada ya kuondoka Ikulu? Daima Joe Biden amekuwa akiyahesbu maeneo mawili kama nyumbani - Ireland na Delaware. Atakapoondoka Ikulu katika kipindi cha miezi kadhaa ijayo ataelekea Delaware. Umri wake wa miaka 81 – ulikuwa chanzo cha kuondoka kwenye kinyang'anyiro cha urais baada ya muhula mmoja. Bab... |
null | Ndani ya jimbo ambalo vita vya Mashariki ya Kati vinaweza kubadili matokeo ya uchaguzi wa Marekani Siku ya kupiga kura inapokaribia katika uchaguzi wa rais wa Marekani, jumuiya ya Wamarekani wa Michigan inajikuta katika njia panda. Huku kura za wajumbe15 za uchaguzi za jimbo hilo (ambazo ni ufunguo wa kuamua matokeo ya... |
null | Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, Trump na Harris wana sera gani? Wapiga kura wa Marekani watachagua, kati ya Makamu wa Rais wa chama cha Democratic, Kamala Harris na Donald Trump wa Republican. Zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya uchaguzi mkuu mwezi Novemba, ni wakati wa kuzielewa sera za wawili hao. Mfumuko wa bei Harr... |
null | Kampuni ya mtandao wa kijamii ya Trump yapata dola bilioni 1 kutoka kwa wawekezaji Mradi mpya wa Donald Trump wa mtandao wa kijamii umechangisha $1bn (£755m) kutoka kwa wawekezaji kabla ya kuorodheshwa katika soko la hisa. Taasisi ya habari na teknolojia ya Trump inatarajia kuzindua programu hiyo ya mitandao ya kijamii... |
null | Kurejea kwa Trump Ikulu kunaweza kubadilisha muelekeo wa vita vya Ukraine? Na Anthony Zurker Katika maisha yake mafupi lakini yenye matukio mengi ya kisiasa, Donald Trump ameonyesha mara kwa mara tabia ya kumuonea huruma Rais wa Urusi Vladimir Putin. Katika kilele cha mkutano wa Urusi-U.S nchini Finland mnamo mwaka 201... |
null | Wanaigeria wanaoingia kwenye mtego na kulaghaiwa kwa kuwa wapenzi wa jinsia moja Na Ian Wafula & Tamasin Ford BBC Africa Eye Wakati Nigeria ilipopitisha sheria kali zaidi barani Afrika dhidi ya mapenzi ya jinsia moja, intaneti ilibadilika kuwa mahala pa wapenzi wa jinsia moja na watu wa jamii ya LGBT kwa ujumla pa kuwa... |
null | Papa apendekeza kuwa Kanisa Katoliki huenda likawabariki wapenzi wa jinsia moja Na Christy Cooney BBC News Papa Francis amependekeza kuwa atakuwa tayari kuona Kanisa Katoliki likibariki wapenzi wa jinsia moja. Akijibu kundi la makadinali waliomwomba ufafanuzi juu ya suala hilo, alisema ombi lolote la baraka linapaswa k... |
null | Mtazamo: Vita vya Afrika Mashariki kuhusu utamaduni na mapenzi ya jinsia moja Katika mfululizo wa barua zetu kutoka kwa waandishi wa habari wa Kiafrika, mwandishi wa Kitanzania Sammy Awami anaangazia ni nini kilicho nyuma ya hatua za hivi karibuni dhidi ya mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki. Kuanzia kupiga marufuk... |
null | Bunge la Uganda lapitisha tena muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja Bunge nchini Uganda, kwa mara ya pili, limepitisha mswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja unaotoa adhabu ya kifo kwa kile kinachojulikana kama makosa ya kukithiri. Mswada huo uliopitishwa kwa mara ya kwanza mwezi Machi, ulirejeshwa bungeni na ma... |
null | San Diego: Kitovu cha wapenzi wa jinsia moja ambacho hakijatambuliwa sana Marekani California kwa muda mrefu imekuwa ikijulikana kama mojawapo ya majimbo yenye maendeleo, uvumilivu na urafiki wa LGBTQ+ nchini Marekani. Los Angeles ilikuwa nyumbani kwa shirika la kwanza la Marekani la kutetea haki za wapenzi wa jinsia m... |
null | Mahakama ya Juu: Je, India iko mbioni kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja? Mahakama ya Juu ya India inasikiliza hoja za mwisho kuhusu idadi ya maombi ya kutaka kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja. Mikutano hiyo "inapeperushwa moja kwa moja kwa maslahi ya umma". Huku wapenzi wa jinsia moja na wanaharakati wa LGB... |
null | Je, Kenya ipo mbioni kupitisha sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja? Katika ishara ya hivi karibuni ya kuongezeka kwa chuki dhidi ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja katika nchi tofauti za Afrika, mbunge wa upinzani nchini Kenya anaongoza kampeni za bunge kuharamisha jamii ndogo ya LGBTQ nchini humo. Hatua ya... |
null | Ethiopia: 'Jinsi densi katika Tiktok ilivyo hatarisha maisha yangu' Wakati klipu ya wanaume wawili wakicheza densi kwenye tafrija nchini Ethiopia ilipowekwa kwenye mtandao wa TikTok, iliibua wimbi la chuki dhidi ya wapenzi wa jinsia moja na hatimaye kumlazimisha mmoja wao kutoraka nchini humo. Wawili hao hawakujua kwam... |
null | ‘Furaha yetu imeongezeka mara tatu’ - Kutana na wanaume wa Thailand walio katika uhusiano ‘Furaha yetu imeongezeka mara tatu’ - Kutana na wanaume wa Thailand walio katika uhusiano Nini hufafanua upendo? Kwa kukaidi kanuni za kawaida za uhusiano, vijana watatu nchini Thailand wamekumbatia ‘uhusiano wa pande tatu'. Je, M... |
null | Je, sheria ya udhibiti wa mapenzi ya jinsia moja Uganda imepokewaje? - Author, Dinah Gahamanyi - Nafasi, BBC Swahili Tangu taarifa kuhusu kupitishwa kwa sheria inayodhibiti mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda kutiwa saini na Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Jumatatu, taasisi na watu mbalimbali wamekuwa wakichukua hatua... |
null | DIRA YA DUNIA TV 09/08/2023 Maelezo ya video, Benki ya Dunia kusitisha mikopo Uganda kutokana na sheria ya LGBT, na Roncliffe Odit. 10 Agosti 2023 |
null | Kizazi cha sasa kisivyotaka kutambuliwa kwa jinsia mbili Vijana wengi walio chini ya miaka 20 wanazidi kuondokana na wazo kwamba jinsia inamaanisha 'mwanaume' au 'mwanamke' pekee na mitazamo hii ina athari. Akiwa kijana wa kundi hilo, Rain Ashley Preece mwenye umri wa miaka 20 anatazama jinsia nje ya kanuni zilizowekwa... |
null | Waislamu waliobadilisha jinsia na kukaribishwa msikitini hawana uhakika wa siku za baadaye Mustakabali wa taasisi pekee ya jumuiya ya Kiislamu nchini Indonesia kwa wanawake waliobadili jinsia uko hatarini baada ya kiongozi wake, Shinta Ratri, kufariki dunia mwezi Februari - na serikali inasema haiwezi kuunga mkono hilo... |
null | Carlo Maria Viganò, askofu mkuu mkosoaji wa Papa Francis ambaye alitengwa na Vatican ni nani? Na Ian Aikman Role,BBC News Askofu Mkuu wa Italia Carlo Maria Viganò, mkosoaji mkubwa wa Papa Francis, alitengwa na Vatican, ofisi ya mafundisho ya Kanisa iliripoti Ijumaa wiki hii. Kasisi huyo mwenye umri wa miaka 83 alipatik... |
null | Ni nchi gani ambazo mapenzi ya jinsia moja ni kinyume cha sheria? Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris amekuwa akikosolewa na maafisa kwa kutoa hotuba zinazopigia debe haki za wapenzi wa jinsia moja wakati wa ziara yake ya siku tatu katika bara la Afrika iliyokamilika hivi karibuni. Bi Kamala alitembeleanchi tatu z... |
null | Katoliki 'Tiba ya uongofu kwa wapenzi wa jinsi moja katika Kanisa Katoliki nchini Italia' 14 Juni 2024 Kwa nini Nicaragua inawafukuza viongozi wa Kikristo? 19 Februari 2024 Maagizo ya Vatican: Askofu Tanzania asema hayupo tayari kuwabariki wapenzi wa jinsi moja 25 Disemba 2023 Kwanini Kanisa Katoliki haliko tayari kuta... |
null | Jinsia 'Nyumbani ni eneo hatari zaidi kwa wanawake na wasichana' - Utafiti 28 Novemba 2024 Julia Pastrana: Mfahamu mwanamke wa karne ya 19 ambaye uso wake ulifunikwa na nywele 24 Novemba 2024 Waridi wa BBC: Nimebadili maisha ya wanawake elfu 10 kwa taulo za bure 16 Oktoba 2024 Waridi wa BBC:‘Mimi na wadogo zangu 7 wote... |
null | Dini Wakati washambuliaji walipoteka eneo takatifu la Waislamu 30 Novemba 2024 Jinsi rais muinjilisti wa Kenya alivyokosana na makanisa 22 Novemba 2024 'Amechaguliwa na Mungu': Wakristo wanaomwona Trump kama mwokozi wao 17 Novemba 2024 Justin Welby: Ifahamu kashfa iliyomuondoa askofu mkuu wa Anglikana 13 Novemba 2024 J... |
null | Papa Francis Carlo Maria Viganò, askofu mkuu mkosoaji wa Papa Francis ambaye alitengwa na Vatican ni nani? 6 Julai 2024 'Tiba ya uongofu kwa wapenzi wa jinsi moja katika Kanisa Katoliki nchini Italia' 14 Juni 2024 Kwa nini Nicaragua inawafukuza viongozi wa Kikristo? 19 Februari 2024 Maagizo ya Vatican: Askofu Tanzania ... |
null | Waliokumbatia jinsia tofauti Huntha aliyefanyiwa upasuaji mara nne akiwa mtoto ili kubadilishwa jinsia yake 23 Juni 2024 'Tiba ya uongofu kwa wapenzi wa jinsi moja katika Kanisa Katoliki nchini Italia' 14 Juni 2024 Kizazi cha sasa kisivyotaka kutambuliwa kwa jinsia mbili 7 Mei 2023 Wazazi wanaowalea watoto wao bila uta... |
null | Papa asema makasisi wa Kanisa Katoliki wanaweza kuwabariki wapenzi wa jinsi moja Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma. Kiongozi hu... |
null | Maagizo ya Vatican: Askofu Tanzania asema hayupo tayari kuwabariki wapenzi wa jinsi moja - Author, Florian Kaijage - Nafasi, BBC Swahili Dar es Salaam Askofu wa Jimbo Katoliki Geita nchini Tanzania, Flavian Kassala amesema hayuko tayari kubariki ndoa ya jinsia moja kwani ni kinyume na maagano ya Mungu ya kutaka binadam... |
null | Ukristo Jinsi rais muinjilisti wa Kenya alivyokosana na makanisa 22 Novemba 2024 'Amechaguliwa na Mungu': Wakristo wanaomwona Trump kama mwokozi wao 17 Novemba 2024 Justin Welby: Ifahamu kashfa iliyomuondoa askofu mkuu wa Anglikana 13 Novemba 2024 Sanda ya Kristo: Wanasayansi wathibitisha "usahihi wa historia yake." 24... |
null | Ukatoliki Carlo Maria Viganò, askofu mkuu mkosoaji wa Papa Francis ambaye alitengwa na Vatican ni nani? 6 Julai 2024 Fahamu kuhusu Jiji la Fatima linalotembelewa sana na Wakristo kutoka kote duniani 19 Mei 2024 Kwa nini Nicaragua inawafukuza viongozi wa Kikristo? 19 Februari 2024 Kwa nini kanisa la Kiafrika linaipinga ... |
null | Uislamu Wakati washambuliaji walipoteka eneo takatifu la Waislamu 30 Novemba 2024 Je, Trump anafanya nini kuwavutia wapiga kura Waislamu? 31 Oktoba 2024 Je, jeshi la Israel lina nguvu ya kupigana na maadui wengi kwa wakati mmoja? 7 Oktoba 2024 Kipi ni marufuku kwa wanawake na wanaume katika sheria mpya kali za Taliban?... |
null | Haki za wachache na wanaotengwa Hadithi ya mwanamke aliyelazwa kwa miaka 12 katika hospitali ya magonjwa ya akili kwa sababu hawakuielewa lugha yake 16 Juni 2024 Wairan wanaosherehekea Pasaka kisiri 1 Aprili 2024 Changomoto za kuishi kama mpenzi wa jinsi moja katika nchi ya Kiislamu 28 Machi 2024 2:37 Video, ‘Furaha ye... |
null | Thailand Shule ambapo wanafunzi wanabuni sheria na hata kuwaajiri waalimu 22 Juni 2024 Changomoto za kuishi kama mpenzi wa jinsi moja katika nchi ya Kiislamu 28 Machi 2024 2:37 Video, ‘Furaha yetu imeongezeka mara tatu’ - Kutana na wanaume wa Thailand walio katika uhusiano , Muda 2,37 15 Februari 2024 Falun Gong: China... |
null | Zifahamu nchi ambazo wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja hunyongwa Watu wawili wa mwisho kunyongwa nchini Irani wanaweza kuwa ni Mehrdad Karimpour na Farid Mohammadi, walionyongwa mwishoni mwa Januari mwaka huu. Karimpour alikuwa na umri wa miaka 32 na Mohammadi alikuwa na umri wa miaka 29. Walishtakiwa na mamlaka... |
null | Jinsi sheria mpya inavyowabana wapenzi wa jinsia moja Urusi "Mimi ndiye malkia pekee niliyebaki nahangaika nchini Urusi," Danya ananiambia kwa majivuno yote wakati akijiremba vipodozi vya kuashiria shetani mweupe mbele ya kioo. Tumekaa jikoni kwake huku bendera yenye rangi za upinde wa mvua ikiwa imepamba ukuta. Danya ... |
null | Gharama ya Maisha Kwanini Uturuki inataka kujiunga na muungano wa kiuchumi unaoongozwa na Urusi na China? 18 Septemba 2024 'Sina damu mikononi mwangu,' asema Ruto 1 Julai 2024 Sura mpya za maandamano - Wanamapinduzi wa Kenya wa Gen Z wanaopinga kodi 20 Juni 2024 Tende: Mashambulizi ya Houthi yanavyotatiza upatikanaji k... |
null | Kwa nini uchaguzi wa Uturuki unafuatiliwa kwa karibu barani Afrika - Author, Na Marina Daras - Nafasi, BBC World Service Ushawishi wa Uturuki barani Afrika umekuwa ukiongezeka kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka 20 iliyopita na yeyote atakayeshinda duru ya pili ya uchaguzi wa urais Jumapili itabidi afikirie wapi... |
null | Kundi la Brics ni nini na malengo yake ni yapi? Viongozi wa kundi la mataifa ya Brics - Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini - wamekutana tarehe 22 Agosti mjini Johannesburg, na suala kuu litakuwa ikiwa ni kukubali wanachama wapya. Taifa mwenyeji wa mkutano huo, Afrika Kusini, limesema kuwa nchi 40 au zaidi sa... |
null | Jinsi nchi za Magharibi zinavyopoteza ushawishi barani Afrika - Author, Na Andrew Harding - Nafasi, BBC News, Johannesburg Eneo tajiri zaidi la Afrika linaanda kongamano kubwa wiki hii huku kukiwa na mchanganyiko wa fahari,afueni na dalidli za wasi wasi fulani. Sandton - wilaya iliyopo nje kidogo ya jiji la Johannesbur... |
null | Mfumko wa bei Kwanini Uturuki inataka kujiunga na muungano wa kiuchumi unaoongozwa na Urusi na China? 18 Septemba 2024 Maelfu ya waandamanaji wasisitiza kuondolewa kwa Muswada wa fedha wa 2024 jijini Nairobi 25 Juni 2024 Sura mpya za maandamano - Wanamapinduzi wa Kenya wa Gen Z wanaopinga kodi 20 Juni 2024 Muswada wa F... |
null | Vita vya Ukraine: Putin asema vikwazo vya Magharibi ni pigo kwa maisha ya raia wa Ulaya Vladimir Putin amelaani vikwazo vya Magharibi vilivyowekwa kwa sababu ya vita vya Urusi nchini Ukraine akivitaja kuwa homa inayoleta tishio kwa ulimwengu mzima. Katika hotuba yake kwenye kongamano la kiuchumi mjini Vladivostok, alis... |
null | Je, Ukraine inataka uhakika gani wa usalama kutoka NATO na washirika wake? Dhana ya mfumo wa uhakika wa usalama wa kimataifa kwa Ukraine iimewasilishwa huko Kyiv, mji mkuu wa nchi hiyo. Kwa walioandaa wanaona hautaisaidia Ukraine pekee katika kukabiliana na uvamizi unaoendelea wa warusi, lakini pia kuhakikisha usalama ... |
null | Vita vya Ukraine: Je nani anayeibuka mshindi? Vikosi vya Ukraine vimepata mafanikio ya haraka katika siku za hivi karibuni, na kuchukua tena maeneo makubwa kutoka Urusi. Urusi inasema inajipanga upya na vikosi vyake bado vinashikilia karibu theluthi moja ya nchi. Je mzozo umebadilikaje? Urusi ilivamia Ukraine mnamo Feb... |
null | Uturuki: Ni mataifa gani yanayoiuzia silaha Uturuki? Mataifa mengi ya Ulaya yamesitisha uuzaji wa silha kwa Uturuki kufuatia uvamizoi wake wa kijeshi kaskaini mwa Syria. Mataifa ambayo yamekuwa yakiuzia silaha Uturuki ni Marekani na Ulaya, lakini hivi karibuni taifa hilo limeelekea Urusi kununua mfumo wa kujilinda dhid... |
null | Kombe la Dunia 2022: Ufahamu uwanja uliojengwa kwa makontena ya kusafirishia mizigo Qatar - Author, Eagan Salla - Nafasi, BBC Swahili Uwanja huu umepewa jina la 974 ambayo ni idadi ya makontena ya kusafirishia mizigo yaliyotumika kuujenga na kuufanya kuwa uwanja wa kipekee zaidi duniani, namba 974 pia ni namba inayotum... |
null | Mzozo wa Ukraine: Zifahamu nchi za Ulaya ambazo zimeanza kumlegezea kamba rais Putin Urusi inasema kwamba haitasambaza tena gesi kwa Poland na Bulgaria kwa sababu nchi zote mbili zilikataa kulipa kwa sarafu yake ya Rouble. Umoja wa Ulaya umesema kuwa hatua hii ya Urusi ni sawa na hujuma. Kulingana na ripoti ya Bloomber... |
null | Uholanzi Je, Zirkzee ndiye mshambuliaji ambaye Man Utd imekuwa ikimtafuta? 15 Julai 2024 Utata unaomzunguka mfadhili wa mbegu za kiume aliyezalisha 'watoto 1,000' 12 Julai 2024 Kufariki dunia pamoja: Kwa nini wanandoa hawa waliamua kukatiza maisha yao 9 Julai 2024 Man City kufungua ligi ya Premia dhidi ya Chelsea msimu... |
null | 'Mmechelewa... Kwanini hamkuja mapema?' - Author, Fundanur Öztürk - Nafasi, BBC World Service - Twitter, - Akiripoti kutoka Iskenderun, Turkey "Mmechelewa!" Arzu Dedeoglu akiwapigia kelele wafanyakazi wa uokoaji ambao wamewasili hivi punde katika bandari ya kusini mwa Uturuki ya Iskenderun. Mji uliokumbwa na tetemeko l... |
null | Mambo 7 yanayoonesha kwa nini tetemeko la ardhi Uturuki na Syria ni baya zaidi katika miongo ya hivi karibuni Huku maelfu ya watu wakipoteza maisha yao na kujeruhiwa na majengo na miundombinu kadhaa kuharibiwa, tetemeko la ardhi la kipimo cha 7.8 lililokumba Uturuki na Syria mapema Jumatatu lilikuwa mojawapo ya maafa m... |
null | Taarifa za Ghushi “Ninamchukia Trump, ila yeye anampenda – lakini sote tunaamini majaribio ya kumuua yalipangwa” 23 Septemba 2024 Madai ya uwongo ya 'vifo vilivyopangwa' yanaongezeka katika vita vya Israel-Gaza 22 Disemba 2023 Watu wenye ushawishi mitandaoni wanavyopata pesa kwa vita vya Israel-Hamas 17 Novemba 2023 Zi... |
null | Tetemeko la ardhi Uturuki: Jinsi walionusurika wanavyokabiliana na kiwewe Idadi ya watu waliokufa kutokana na mitetemeko mikubwa ya ardhi iliyoikumba Uturuki na Syria hivi majuzi imepanda zaidi ya 50,000 - na kuwaacha watu wengi zaidi bila makazi. Imeathiri vibaya afya ya akili kwa wale waliopatwa na mkasa huo, moja kw... |
null | Tetemeko kubwa la Uturuki la 1999 lilikuwaje, kwa nini nchi haikupata funzo? Zaidi ya watu 17,000 walikufa na uharibifu ulikadiriwa kuwa dola bilioni 23 za Marekani. Ilitokea saa 3 asubuhi, wakati idadi kubwa ya watu walikuwa wamelala, ambayo iliongeza waathirika wa maafa. Ukubwa wake ulikuwa 7.6 lilipiga katika eneo l... |
null | Mpenzi wa Christian Atsu atoa wito wa vifaa vya kusaidia uokoaji Rafiki wa mchezaji kandanda Christian Atsu, ambaye ametoweka tangu tetemeko la ardhi kutokea Uturuki siku ya Jumatatu, ametaka vifaa vipelekwe kwenye jengo lililoporomoka alimokuwa akiishi. Iliripotiwa Atsu, ambaye anachezea klabu ya Uturuki ya Hatayspor,... |
null | Nchi gani ni watengenezaji na watumiaji wakuu wa droni Mashariki ya Kati? Ndege ndogo zisizo na gharama zinaruka angani bila kizuizi. Hupaa na kutua katika mji, msitu, au kwenye meli za vita baharini. Hupeleleza, kufuatilia, kulenga na hata kubadilisha mkondo wa mapigano. Silaha mpya haihitaji jeshi kubwa, mtu anayeion... |
null | Je, nchi za Kiislamu zimesahau uadui baina yao? Kwa kuangalia mwenendo wa miaka michache iliyopita, inaonekana kwamba nchi za Kiislamu za Asia Magharibi zinasahau tofauti zao. Mnamo 2021, Saudi Arabia, UAE, Bahrain na Misri zilimaliza mvutano wao dhidi ya Qatar. Duru kadhaa za mazungumzo pia zimefanyika nchini Iraq kat... |
null | Tetemeko la ardhi Uturuki: Nilizikwa hai na mwanangu mchanga Imepita wiki moja tangu tetemeko kubwa la ardhi liikumbe Uturuki na Syria na kuua maelfu ya watu. Lakini katikati ya hali ya kukata tamaa, pia kumekuwa na hadithi za "miujiza". Huyu ni mmoja wao. Necla Camuz alipojifungua mtoto wake wa pili wa kiume tarehe 27... |
null | Majengo yaliyoporomoka ambayo yalikusudiwa kustahimili matetemeko ya ardhi Kuonekana kwa majumba mapya yakianguka kutokana na tetemeko la ardhi lililoikumba Uturuki kumezua hasira. BBC ilichunguza majengo matatu mapya, yaliyogeuzwa kuwa vifusi, ili kufichua kuhusu usalama wa majengo nchini humo. Matetemeko mawili makub... |
null | 'Je, niko hai kweli?': Operesheni tete ya kuwaokoa dada wawili waliofukiwa kwenye kifusi "Merve! Irem! Merve! Irem," mfanyakazi wa uokoaji Mustafa Ozturk anapaza sauti. Kila mtu karibu nasi ameamriwa kunyamaza. Timu hiyo ya waokoaji inawasaka dada wawili ambao manusura wengine wanasema wamenaswa wakiwa hai chini ya run... |
null | Kwa nini serikali ya Ujerumani imeamua kutoa mafunzo kwa maimamu 100 kila mwaka? Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imetangaza kuwa itawasimamisha kazi taratibu maimamu walinaohubiri dini kutoka Uturuki waliokuwa wakifanya kazi katika misikiti ya nchi hiyo. Taarifa iliyotolewa na Jumuiya ya Masuala ya Kidini ya Kiis... |
null | 'Sijala nyama kwa miezi kadhaa lakini sitajiuza' Tulane, mama wa watoto sita, asiye na mwenzi amedhamiria kutorejea Syria, licha ya kudhulumiwa kingono na kiuchumi. Alikuwa mwalimu nyumbani lakini sasa anafanya kazi Uturuki kama mpishi, akipata lira 6,000 za Kituruki ($220) kwa mwezi. Ni zaidi ya nusu ya kima cha chini... |
null | Walikwenda Syria kuishi na IS, sasa wamerudi nyumbani - Author, Na Eleanora Kulenbekova na Daniel Wittenberg - Nafasi, BBC World Service, Kyrgyzstan "Karibu tena Kyrgyzstan," anasema Shukur Shermatov, akihutubia darasa la wanawake 20. Amevaa kofia ya kitamaduni, lakini hakuna kitu cha kitamaduni kuhusu kituo hiki. Kiko... |
null | 'Wakati ufalme wa Uingereza wenye deni la pauni 300,000 ulipookolewa na watawala wa Kiislamu' Brexit hiyo ilikuwa kali sana, lakini miaka mia nne na nusu iliyopita, uhusiano wa nchi hii na ulimwengu wa Kiislamu ulianza na kuondoka kwa Uingereza kutoka Ulaya. Kufuatia baba yake, mfalme wa Tudor Henry VIII, Malkia Elizab... |
null | Athari za hamaki katika uchaguzi wa Uturuki baada ya tetemeko la ardhi - Author, Orla Guerin - Nafasi, BBC News - Akiripoti kutoka Antakya Hakuna homa ya uchaguzi katika mji wa kale wa Antakya kusini mwa Uturuki - vifusi tu na mateso. "Ninachotaka kutoka kwenye sanduku la kura ni maiti yake na si kitu kingine," anasema... |
null | Daktari wa Syria: 'Mara tu aliponitazama, nilianza kulia' "Muonekano wa macho ya mtoto huyu ulinigusa sana," anasema Dkt Ahmed al-Masri. "Sijui kwanini lakini aliponitazama tu, nilianza kulia." Ilikuwa zaidi ya saa 30 baada ya tetemeko kubwa la ardhi kukumba Uturuki Jumatatu wiki hii na alikuwa amedhoofika. Yeye na dak... |
null | Recep Tayyip Erdogan: Muuza malimau aliyebadilisha hatima ya Uturuki Kutoka katika maisha ya kawaida, Recep Tayyip Erdogan ameibuka na kuwa gwiji wa kisiasa ambaye ameiongoza Uturuki kwa miaka 20 na ameweka alama yake nchini humo pengine kuliko kiongozi yeyote tangu Mustafa Kemal Ataturk, baba wa taifa na rais wa kwanz... |
null | Ushindi wa rais Erdogan umeliwacha taifa likiwa limegawanyika Wafuasi wa Recep Tayyip Erdogan walisherehekea hadi usiku baada ya rais wa muda mrefu wa Uturuki kupata miaka mingine mitano madarakani. "Taifa zima la watu milioni 85 lilishinda," aliwaambia umati wa watu waliokuwa wakishangilia nje ya jumba lake kubwa la k... |
null | Tigris: Mto uliokuwa chanzo cha ustaarabu Kufikia chanzo cha mto Tigris sio kazi rahisi. Mahali ambapo barabara inapoishia, njia ndogo inafuata kwenye mlima ulioporomoka. Njia hiyo nyembamba,inayopinda kuzunguka kilima inakomea kwenye maporomoko ya chemchemi. Njia zote hizi ni mkondo wa maji ambayo hutoweka ndani ya pa... |
null | Fahamu sakata la uhamisho wa Victor Osimhen Na Ian Williams BBC Sport Africa Mkataba wa mkopo wa Victor Osimhen kwa Galatasaray huenda ukamaliza muda wake katika Napoli, mpango wa Italia ambao uligeuka kuwa mbaya zaidi kuliko ulivyotarajiwa Miezi 12 pekee iliyopita, mshambuliaji huyo wa Nigeria alikuwa mmoja wa wacheza... |
null | Ligi Kuu England: Wafahamu wachezaji wapya wa kuwatazama msimu huu Msimu wa Ligi Kuu ya Uingereza unakaribia kuanza. Sote tunawajua nyota maarufu ambao watakuwa katika vichwa vingi vya habari katika msimu mpya - lakini ni wachezaji gani wachanga ambao tunapaswa kuwaangalia? Waandishi wa soka wa BBC Sport wanachagua baa... |
null | Tetesi za soka Ulaya Jumanne 06.08.2024 Newcastle wanakaribia kufikia makubaliano ya zaidi ya pauni milioni 60 kumsajili beki wa kati wa Uingereza Marc Guehi, 24, kutoka Crystal Palace. (Telegraph - Subscription Required) Manchester United wamebadilisha mchezaji wa kiungo cha kati wanayemtafuta kutoka kwa Paris St-Germ... |
null | 'Tutapigana' - Ten Hag bado hajakata tamaa, lakini je, kocha huyo wa Man United anakaribia kupoteza kazi yake? Zilipotimia dakika 90 uwanjani Estadio do Dragao, Erik ten Hag alionekana kukaribia mwisho wake. Timu yake ya Manchester United ilikuwa imepoteza uongozi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Porto na ilikuwa ikie... |
null | Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 23.08.2024 Winga wa Chelsea Raheem Sterling, 29, amepewa ofa kwa Aston Villa lakini Unai Emery hana uhakika kama mshambuliaji huyo wa Uingereza atafaa katika mipango yake. (Mirror) Sterling hakuambiwa kwamba asingeichezea klabu ya Chelsea lakini ameondoa uwezekano wa kuhamia katika ligi ya S... |
null | Ligi Kuu England: Chelsea yatumia £230m kununua wachezaji 11 - kunani? - Author, Nizaar Kinsella - Nafasi, BBC Chelsea inatawala dirisha jingine la usajili. Hili litakuwa ni dirisha la tatu la uhamisho wa majira ya kiangazi tangu klabu hiyo kuwa chini ya wamiliki Behdad Eghbali na Todd Boehly kuanzia 2022. Chelsea imes... |
null | Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 11.11.2024 Manchester City wako tayari kulipa euro 60m (£50m) kama kipengele cha kumuachilia kiungo wa kati wa Real Sociedad Martin Zubimendi, 25, huku wakiendelea kutafuta mbadala wa Mhispania mwenzake Rodri mwezi Januari. (mirror) Kiungo wa kati wa Real Madrid Federico Valverde, 26, ni m... |
null | Tetesi za zoka Ulaya Alhamisi 22.08.2024 Manchester United wamepewa nafasi ya kumsajili beki wa Uingereza Ben Chilwell na Chelsea baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 kuambiwa hayupo katika mipango ya kocha Enzo Maresca. (Sportsport) West Ham wanataka kumsajili kiungo wa kati wa Uhispania Carlos Soler mwenye ... |
null | Yote unayostahili kujua kuhusu Ligi Kuu ya England msimu huu - Author, Emlyn Begley - Nafasi, Mwandishi BBC Sport Ligi ya Premia inaanza wikendi hii, huku Manchester City ikipigiwa upatu kuendeleza ubabe wao katika soka ya England nayo Ipswich ikirejea katika ligi hiyo baada ya misimu 22. Manchester United watakuwa wen... |
null | Ligi Kuu ya England: Timu gani itaizuia Man City kutwaa tena ubingwa? Swali la kila mwaka ni hili - kuna timu yoyote inayoweza kuizuia Manchester City kuchukua ubingwa? Kwa msimu wa tisa mfululizo kikosi hicho cha Pep Guardiola kinapewa nafasi kubwa ya kutwaa taji la Ligi Kuu ya Uingereza. Wameshinda mataji sita kati y... |
null | Tetesi za soka Ulaya Jumanne 12.11.2024 Arsenal wako tayari kutumia pauni milioni 83 (euro milioni 100) kumnunua kiungo wa kati wa West Ham Mohammed Kudus huku mchezaji huyo wa kimataifa wa Ghana mwenye umri wa miaka 24 akitaka kujiunga na The Gunners kucheza soka la Ulaya. (Fichajes - In Spanish} Tottenham wako tayari... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.