name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Kwanini kuna hofu juu ya teknolojia ya akili bandia? Tangu kuzinduliwa kwake mwishoni mwa Novemba 2022, teknolojia ya akili bandia ya ChatGPT, inayotumia akili ya bandia (AI) kujibu maswali au kuunda ujumbe unapohitajika kutoka kwa watumiaji, imekuwa programu ya intaneti inayokua kwa kasi zaidi katika historia. Katika ... |
null | Mkate tosti unaweza kuchangia saratani, wataalamu wameonya Mkate, chipsi na viazi pamoja na vyakula vingine havifai kuchomwa au kupikwa hadi kupata rangi ya hudhurungi, wataalamu wameonya. Badala yake, wanasema zinafaa kupikwa hadi viwe na rangi ya manjano iliyokolea dhahabu. Wanasema hilo litapunguza ulaji wa kemikali... |
null | Mkate wa kombamwiko ulio na protini nyingi zaidi ya nyama, lakini je unaweza kuula? Tazama mkate huu kwenye picha. Bila shaka unakaa kama mkate mwingine wowote wa kawaida. Hatahivyo umepikwa kwa kombamwiko. Hasaa, umetumika unga uliotengenezwa kutokana na wadudu hao. Watafiti wa vyakula Brazil walivumbua unga huu kama ... |
null | Tiba ya homoni kwa wanawake waliokoma hedhi ni nini? hatari na faida zake Kuanzia hali ya joto na ukungu wa akili hadi maumivu ya viungo na kukosa usingizi. Kuna dalili nyingi zinazoambatana na ukoma wa hedhi na kipindi cha mpito hadi hatua hii ya maisha ya uzazi ya mwanamke. Lakini kwa wanawake ambao wanakabiliwa na b... |
null | Ni kwanini hatari ya mshituko wa moyo huongezeka miongoni mwa wanawake waliofikia ukomo wa hedhi? Magonjwa ya moyo ni chanzo cha vifo vya wanawake kote duniani, lakini yamesalia kutobainika na kutotibiwa, kulingana wataalamu wa magonjwa ya moyo. Kwa Dkt Susan Connolly, daktari wa magonjwa ya moyo katika Chuo cha Galway... |
null | Je, kuinua vyuma kunafanya hedhi kukoma kabla ya wakati? Adele Johnston alikuwa akila vizuri na kufanya mazoezi ya kujenga mwili. Adele, ambaye alishinda medali ya dhahabu katika mashindano ya kuinua vyuma, alianza kupoteza nywele zake. Pia kutokwa na damu kwenye fizi, mapigo ya moyo kuongezeka, kuwashwa na ngozi na ku... |
null | Fahamu mambo 7 kuhusu ubongo wako ambayo yamekuwa yakitajwa lakini sio ya kweli Kuna mawazo ambayo hukaa kwa muda mrefu kwasababu yana uwezo kubaini dhana za ajabu huku mengine yakiwa hayawezi kuepuka ukali wa kisayansi. Katika karne ya 4 Aristotle alichukulia ubongo kama kiungo cha pili ambacho kilitumika kupoza damu ... |
null | Ubongo wa binadamu una nini kinachotufanya kuwa na akili kuliko viumbe wengine? Emmanuel Stamatakis, Andrea Luppi na David Menon, The Conversation Binadamu hana mpinzani katika eneo la utambuzi. Hakuna kiumbe mwingine yoyote anayefanya uchunguzi kwenye sayari nyingine, kuzalisha chanjo za kuokoa maisha, au kutunga mash... |
null | Njia nane za kuboresha uwezo wa ubongo wako Umeshajipata katika hali ambapo unajaribu bila mafanikio kukumbuka jina la mtu au kitu falani au mahala fulani lakini huwezi kukumbuka kabisa? Mara nyingi tunaambiwa kuwa uwezo wa kukumbuka unapungua wakati mtu anazidi kuwa mzee. Lakini kuna matumaini kuwa kuna njia za kubore... |
null | David Sinclair: Mwanasayansi anayedai “uzee ni ugonjwa" na unaweza kutibiwa Uzee ni uhalisia na hauepukiki , huwa hatma ya kila mtu. Hali hii huwa inakaribia hatua ya mwisho ya maisha ya binadamu, lakini mwanasayansi wa maumbile David Sinclair anakanusha mtazamo huo. Kwa mujibu wa utafiti ambao umefanywa zaidi ya miong... |
null | Je unaweza kuzuia kuzeeka kwa kuishi kama 'mzee kijana'? Wakati uzee unapoanza hutegemea mahali unapoishi duniani. Lakini pia inaweza pkutegemea kwa kiasi fulani jinsi unavyochukulia kuzeeka. Je, unaweza kuchelewesha uzee kwa mtazamo chanya? Je, unadhani ni umri gani unaohesabika wastani wa umri wa kati? Ni miaka 40 ha... |
null | Utafiti: Je ni wakati gani ambao mtu anafaa kuitwa mzee? Mwanamke wa umri wa miaka 45 anayeishi Papua New Guinea atahisi kuwa na umri wa miaka 76 nchini Ufaransa ama Singapore. Na atahisi kuwa na umri kama huo anavyohisi mwanamke wa miaka 65. Hayo ndio matokeo ya utafiti mkubwa uliofanywa na wanasayansi wa kimataifa na... |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa Pakua Nakala Hapa |
null | Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa Pakua Nakala Hapa |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,amewataka viongozi wa chama na jumui... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Unaweza kutuma SMS/WhatsApp Namba Za Simu Zifuatazo 0734398138 Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo mat... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilianza rasmi Februari 5, 1977 kutokana na kuunganishwa vyama vya Tanganyika African Nat... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, k... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. KILIMANJARO YAITIKA UFUNGUZI KAMPENI YA CCM SERIKALI ZA MITAA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Mambo y... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wa... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. BUKOMBE WANATAKA MAENDELEO NA MAENDELEO NI CCM - DKT. BITEKO 📌 Asema Vyama Vishindane kwa Sera na Utekelezaji wa A... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. HAPI AHIMIZA KAMPENI ZENYE STAHA ILI KUWAPATA VIONGOZI BORA. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ndugu. ... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Unaweza kutuma SMS/WhatsApp Namba Za Simu Zifuatazo 0734398138 Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo mat... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, k... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kuchukua hatua mbali mbali pamoja na kutekeleza mkakati wa usalama bar... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Unaweza kutuma SMS/WhatsApp Namba Za Simu Zifuatazo 0734398138 Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo mat... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Idara ya Organaizesheni ni moja kati ya Idara nne za CCM. Idara hii imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya Mwak... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kitaendelea kutunza,kuthamini na kuenzi hazi na ya wazee waliohudumu kw... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. WAZIRI BASHE AMTHIBITISHIA BALOZI DKT. NCHIMBI KUWA SERIKALI ITAFUNGUA MAGHALA YA (NFRA) KUANZA KUNUNUA MAZAO KWA W... |
null | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. RAIS SAMIA AKABIDHIWA TUZO YA MARIDHIANO NA MWENYEKITI WA CHADEMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Sami... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.