name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Ligi Kuu England: 'Ubingwa ni wetu' - anasema nahodha wa Man City Nahodha wa Manchester City, Kyle Walker anasema ubingwa wa Ligi Kuu ya England ni wao, huku timu yake ikitarajia kushinda taji la tano mfululizo, jambo ambalo halijawahi kushuhudiwa. City ilikuwa klabu ya kwanza kushinda taji mara minne mfululizo katika ... |
null | Mambo matano ya Ten Hag kuzingatia Man Utd - Author, Phil McNulty - Nafasi, Chief football writer at Villa Park Mkufunzi wa Manchester United Erik ten Hag atajivunia hatua yoyote atakayopiga hata kama ni ndogo kiasi gani anapopambana kuwashawishi waajiri wake kwanini anapaswa kusalia Old Trafford kwa muda mrefu. Mechi ... |
null | Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 17.06.2024 Vigogo wanne wa Ulaya wanataka kumsajili Xavi Simons wa Barcelona, Liverpool wapata pigo la kukataliwa kwa ofa ya kumnunua mlinzi wa Lille Leny Yoro, na Chelsea wamesalia imara gharama yao ya mchezaji Levi Colwill. Manchester United , Arsenal , Manchester City na Bayern Munich z... |
null | Ijue historia ya Ligi Kuu ya England - Author, Rashid Abdallah - Nafasi, BBC Swahili - Twitter, Msimu mpya wa 2024/25 wa Ligi Kuu ya England umeng’oa nanga wiki iliyopita. Timu 20 zinawania kuchukua taji la ligi hiyo. Mwisho wa msimu timu tatu zitashuka daraja na nyingine tatu zitapanda. Soka ya kisasa ilianzia Uingere... |
null | Je, Manchester United iko tayari kupigania taji la ligi baada ya matokeo mabaya dhidi ya wapinzani? - Author, Simon Stone - Nafasi, BBC Manchester United ilikamilisha ziara yake ya mechi tatu nchini Marekani, kwa kuchapwa mabao 3-0 na wapinzani wao wa muda mrefu Liverpool huko South Carolina. Vijana wa Erik ten Hag wal... |
null | Chelsea yatumia pauni milioni 95 kununua wachezaji sita - Author, Emlyn Begley - Nafasi, BBC Chelsea imekuwa na shughuli nyingi katika soko la usajili, msimu huu wa joto, ikileta wachezaji watano wapya hadi sasa na mmoja yuko njiani. Wamemsajili nani? Tosin Adarabioyo Beki wa kati Tosin Adarabioyo alijiunga na Chelsea ... |
null | Tetesi za soka Ulaya Jumatano 07.08.2024 Arsenal wamesalia kwenye kinyang'anyiro cha kumsajili mshambuliaji wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen, 25, licha ya kumtaka Paris St-Germain. (Gianluca di Marzio via X), Brighton wamefanya mawasiliano na mchezaji huru, beki wa zamani wa Bayern Munich na Borussia Dortmund Mats H... |
null | Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 01.11. 2024 Klabu ya Sporting imeafikia makubaliano ya kumruhusu meneja Ruben Amorim kuondoka katika klabu hiyo na kujiunga na Manchester United wakati wa mapumziko ya kimataifa ya Novemba. (Telegraph - Subscription Required) United italipa fidia kuwezesha idadi ya wafanyikazi wa Amorim kuun... |
null | Mpigie kura mchezaji bora wa soka wa kike wa BBC mwaka huu Upigaji kura kwa mchezaji bora wa BBC wa mwaka 2024 umefunguliwa. Mashabiki kutoka duniani kote wanaweza kupiga kura kwa mcheaji wanayempenda katika orodha ya wachezaji watano ambao ni Barbra Banda, Aitana Bonmati, Naomi Girma, Caroline Graham Hansen, Sophia Sm... |
null | Tanzania: Tathmini ya hotuba ya Rais Samia: “Kwenye msiba, huwezi kumpangia mtu alieje” - Author, Sammy Awami - Nafasi, BBC Swahili - Akiripoti kutoka Tanzania Wachambuzi wa siasa wameonesha kushangazwa kwa kiasi fulani na ukosoaji wa Rais Samia Suluhu Hassan juu ya hisia za umma kuhusiana na tukio la kutekwa na kisha ... |
null | Polisi wapiga marufuku maandamano ya Chadema, CCM walaani utekaji - Author, Sammy Awami - Nafasi, BBC Swahili - Akiripoti kutoka Dar es Salaam Jeshi la polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyokuwa yamepangwa na chama cha upinzani Chadema kufanyika jijini Dar es Salaam tarehe 23 Septemba 2024. Msemaji ... |
null | Clara Luvanga: Mchezaji wa Tanzania na Al Nassr azungumzia kuhusu 'shujaa' Ronaldo na azma yake ya kuwa mchezaji bora Afrika - Author, Mark Lomas - Nafasi, Mwanahabari wa Michezo Wakati michuano mipya ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Saudia itakapoanza Ijumaa, mshambuliaji wa Al Nassr ya Tanzania, Clara Luvanga atakuwa anata... |
null | Tundu Lissu atangaza kuishtaki Tigo, serikali ya Tanzania - Author, Florian Kaijage na Sammy Awami - Nafasi, BBC Swahili - Akiripoti kutoka Tanzania Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu amesema amemuelekeza mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki kampuni ya Mi... |
null | Waridi wa BBC: Watu walijaa kwa wingi kuwashangaa wanawake wakipigana masumbwi - Author, Na Eagan Salla - Nafasi, BBC Dar es Salaam Monica Joshua Mwakasanga mzaliwa Mbeya nyanda za juu kusini mwa Tanzania ndiye bondia wa kwanza mwanamke kwa Tanzania ambaye mpaka anashuka ulingoni mwaka 2012 kwa mara ya mwisho alikuwa a... |
null | Waridi wa BBC: Maisha ya uyatima utotoni yalinifanya niwahudumie watoto njiti - Author, Martha Saranga - Nafasi, BBC Swahili - Akiripoti kutoka Tanzania ‘’Mume wangu alinipa ruhusa bila kinyongo kukumbatia watoto njiti, tena hatua hii ni kwa sababu anafahamu namna ninavyopenda watoto,’’ Mariam Mwakabungu anaieleza BBC ... |
null | Treni ya umeme Tanzania ni mwanzo mpya kwa Afrika Mashariki - Author, Basillioh Rukanga & Alfred Lasteck - Nafasi, BBC Jengo lenye rangi kama madini adimu ya tanzanite, ni jengo la reli mpya jijini Dar es Salaam – ambayo ni ishara ya hamu ya mafanikio katika usafiri Tanzania. Treni zinazotumia umeme nchini Tanzania, am... |
null | Kwanini mageuzi ya kusitasita ya Samia yanachochea hasira ya kisiasa nchini Tanzania? - Author, Basillioh Rukanga - Nafasi, BBC Wimbi la hivi karibuni la utekaji nyara, kukamatwa na mauaji ya kikatili ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani nchini Tanzania, yameonekana kufifisha mwanga wa matumaini ya kisiasa - ambayo ... |
null | Rais Samia aagiza majengo yote Kariakoo kukaguliwa; waliofariki wafikia 13 Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kuundwa kwa timu ya kukagua hali ya kimuundo ya majengo yote jijini Dar es Salaam na hasa katika eneo la Kariakoo lenye shughuli nyingi, kufuatia jengo la ghorofa nne kuporomoka mapema Jumamosi. Rais alisema Jum... |
null | Mtanzania aliyekuwa Israel: ‘Kupiga ng'ombe kuliniepusha kuuawa na Hamas Oktoba 7’ Na Alfred Lasteck BBC Dar es Salaam 'Niliambiwa nimeachishwa kazi kwa kosa la kupiga ng’ombe, na baada ya Oktoba 7 ndipo niliamini Mungu alikuwa na sababu zake na kumtumia bosi wa shamba nililofanya kazi kunihamisha na kunitoa kwenye ene... |
null | Je, maandamano ya Chadema yamefanikiwa? - Author, Rashid Abdallah - Nafasi, BBC Swahili - Twitter, Msururu wa maandamano ya kusimamisha shughuli na kutikisa nchi kwa sehemu kubwa yalimaliza wakati wa utawala wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, wingi wa maandamano ya wakati huo – yalikifanya chama cha Demokrasia na Maendeleo... |
null | Waridi wa BBC: Wanaharakati wa masuala ya wanawake wanapaswa kuheshimu haki za wanaume - Author, Na Martha Saranga - Nafasi, BBC Swahili, Dar es Salaam Mimi nililelewa katika familia ambayo wazazi walipendana sana na niliwaona wakipendana. Sikulelewa katika familia ya magomvi. Gertrude Mongela anasema hali hiyo ilimpa ... |
null | 'Mama yangu bado amenaswa kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka' - Author, Alfred Lasteck - Nafasi, BBC News - Akiripoti kutoka Dar es Salaam Mwanaume mmoja kutoka Tanzania, Dar es Salaam, ameiambia BBC kwamba anasubiri kusikia habari za mama yake, ambaye bado amekwama chini ya kifusi siku mbili baada ya jengo kuanguk... |
null | Hali yerejea kawaida Dar es Salaam viongozi Chadema wakiendelea kushikiliwa - Author, Florian Kaijage - Nafasi, BBC Swahili Hali imerejea kuwa ya kawaida jijini Dar es Salaam baada ya polisi kuimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya jiji la kibiashara la Dar es Salaam nchini Tanzania wakati ambapo maandamano yaliyo... |
null | Kituo cha kupandikiza mimba Tanzania kinachobeba matumaini ya wanaotafuta watoto - Author, Halima Nyanza - Nafasi, BBC Swahili "Kwa kweli tumefurahi sana kupata huduma ya aina hii hapa nchini, na hasa katika hospital yetu ya taifa Muhimbili, kwa sababu watu wetu wengi uwezo wa kusafiri nje hawana, hivyo tunapopata hudu... |
null | Abiria waliokwama katika treni waokolewa baada ya siku mbili - Author, Prapurao Anandan - Nafasi, BBC Jumapili iliyopita saa 02:25 usiku treni ya kuelekea Chennai, India iliondoka kutoka kituo cha reli cha Tiruchendur. Takribani abiria 957 walikuwa wakisafiri katika treni hiyo. Lakini wasafiri hawakujua kwamba safari i... |
null | Miji mitano bora inayoifanya dunia kuwa mahali pazuri - Author, Amanda Ruggeri - Nafasi, BBC Taasisi ya Global Destination Sustainability Index (GDSI), hufichua miji ambayo inajikita kuelekea dunia ya baadaye yenye kuzalisha kiasi kidogo cha gesi ya kaboni. Mabadiliko ya tabia nchi, wataalamu wanaonya yanaweza kusababi... |
null | Msumbiji: Je, unazijua mbinu zinazotumika kukabiliana na vimbunga? - Author, Nomsa Maseko - Nafasi, BBC Mjenzi wa Msumbiji, José Joaquim amedhamiria kutoiweka tena familia yake katika hofu wakati wa kimbunga katika nyumba iliyochoka. Wakati kimbunga Idai kilipopiga kwenye ufuo wa Msumbiji miaka mitano iliyopita, alikuw... |
null | Sauti zinazoonya kuhusu vimbunga Na Sarah Griffiths BBC Future Nguvu ya kutisha na ya uharibifu ya vimbunga huwa ni ya ghafla kama vile vurugu, lakini sasa wanasayansi wanasikiliza vielelezo ili kuunda mifumo mipya ya tahadhari za mapemazinazoweza kusaidia kuepukana na tahadhari za vimbunga ambazo mara nyingine huwa ni... |
null | COP28 Dubai ni nini na ni kwa nini ni muhimu? Na Mark Poynting Mtafiti wa mabadiliko ya tabia nchi na mazingira, BBC News Viongozi wa dunia wanakutana kujadili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika mkutano mkubwa wa Umoja wa Mataifa mjini Dubai. Mkutano huu unafanyika baada ya mwaka wa matukio mabaya ya hali y... |
null | Tanzania yatia saini moja ya mikataba mikubwa ya mazingira inayohusisha hifadhi za taifa Tanzania imetia saini mkataba wa moja ya miradi mikubwa ya upunguzaji wa hewa ya mkaa Afrika Mashariki. Tanzania, ambayo ina raslimali ya misitu yenye takribani hekta milioni 48, imeibuka kuwa miongoni mwa wahusika wakuu wa Afrika ... |
null | Tuyajenge Kipindi kinachokuelimisha na kukupa hamasa kuhusu ustawi wa jamii 'Ikiwa unataka kupata mtoto, kwa nini usubiri kupata mwanaume?' 9 Disemba 2024 Fahamu ugonjwa wa preeclampsia ambao umewashangaza wanasayansi 27 Novemba 2024 Waridi wa BBC: Maisha ya uyatima utotoni yalinifanya niwahudumie watoto njiti 27 Novem... |
null | Je, mmea huu unaweza kulisha ulimwengu? Mabadiliko ya tabia nchi , ambayo huleta ukame mkali wa mara kwa mara na mafuriko, yanafanya kuwa vigumu kukuza chakula cha kutosha - kulingana na Umoja wa Mataifa, uzalishaji wa chakula duniani lazima uongezeke kwa 70% ifikapo mwaka 2050. Mwani una uwezo wa kusaidia kulisha idad... |
null | Mafuriko Manyara: Idadi ya watu waliopoteza maisha yafikia 65, makazi zaidi ya 1000 yakiathiriwa na mafuriko Tanzania Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo katika eneo la Katesh wilayani Hanang mkoani Manyara sasa imefikia 65, wale waliojeruhiwa ikifikia 116 kulingana na Waziri Mkuu wa Tanza... |
null | Kipi kingetokea iwapo taifa moja lingepunguza mwanga wa jua kupambana na mabadiliko ya tabia nchi? Iwapo mabadiliko ya hali ya hewa yangekuwa makali sana hadi nchi moja ikaamua kuvunja itifaki ya kimataifa ili kulinda watu wake! Hali hiyo imetokea katika Riwaya ya Kim Stanley Robinson ya 2020, "Ministry for the Future,... |
null | Bangladesh inavyoshuhudia ongezeko kubwa la vifo vitokanavyo na radi Siku ambayo alifikiria kuwa angesherehekea harusi yake, Mamun aliwazika jamaa zake 16. Walikuwa wameuawa na radi wakiwa njiani kuelekea kwenye sherehe. Wakiwa wamevalia sari na suti zao nzuri zaidi, wanafamilia wake walipanda mashua ili kuungana na Ma... |
null | Siku ya Dunia ni nini, na ni yapi mafanikio yake? By Mark Poynting & Maddie Molloy BBC News Climate & Science Kila mwaka, mamilioni ya watu duniani kote hukusanyika kwa ajili ya Siku ya Dunia kusherehekea harakati za mazingira. Maadhimisho ya siku hii yalinza mwaka 1970 nchini Marekani, na sasa imekuwa siku inayoadhimi... |
null | Meya mpanda miti wa Siera Leone Na Tamasin Ford BBC Africa Eye Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 56 pia ni meya wa kwanza wa kuchaguliwa moja kwa moja katika mji wa Freetown - na mtu wa kwanza kushinda muhula wa pili tangu ilipochaguliwa na wakaazi wa mji mkuu wa Sierra Leone miongo miwili iliyopita. BBC Africa Eye il... |
null | Mafuriko Kenya: Jinsi mafuriko yanavyofichua hali mbaya ya mazingira ya Nairobi Kila kitu kimetota maji katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, na kwingineko. Inaonekana ni kana kwamba mvua imekuwa ikinyesha bila kuacha kwa wiki sita, na athari imekuwa mbaya sana. Kufikia sasa zaidi ya watu 120 wamepoteza maisha, wakiwemo t... |
null | Saa ya Siku za Mwisho za dunia iko sekunde 90 kabla ya janga - Author, Jane Corbin - Nafasi, BBC Saa ya Siku ya Mwisho - ni saa ya ishara ambayo inaonyesha jinsi dunia ilivyo karibu kuharibiwa na silaha za nyuklia. Mwaka 2024 saa hiyo itasalia kwenye sekunde 90 kufikia uharibifu wa dunia kutokana na shughuli za kibinaa... |
null | Kipini: Kijiji cha pwani ya Kenya kinachotoweka baharini - Author, Wycliffe Muia - Nafasi, BBC News, Kipini Wakati Roberto Macri alipojenga hoteli yake ya kifahari katika kijiji cha Kipini, pwani ya Kenya ilikuwa takribani mita 100 (330ft) kutoka kwenye Bahari ya Hindi. Kwa karibu miongo miwili biashara yake ilistawi w... |
null | Mafuriko Manyara: 'Hakuna kilichobaki, watoto wetu wote wamekwenda' - Author, Alfred Lasteck, Manyara na Lizzy Masinga, Dar es Salaam - Nafasi, BBC Swahili Marieta Banga, ambaye alipoteza watu wanane wa familia katika maporomoko ya matope Wilaya ya Hanang Kaskazini mwa Tanzania anasema hakuna kilichosalia, bado ana uch... |
null | Tunawezaje kukabiliana na joto kali? - Author, James Gallagher - Nafasi, BBC Joto linaweza kumuathiri kila mtu, lakini baadhi ya watu wako hatarini zaidi. Wazee na watoto wachanga wanakabiliwa na hatari na madhara makubwa zaidi. Joto la mwili linapoongezeka, mishipa ya damu hupanuka. Hilo husababisha kupungua kwa shini... |
null | Upandaji kemikali mawinguni ni nini na Je, ulisababisha mafuriko ya Dubai? Dubai imekumbwa na rekodi ya mafuriko katika muda wa saa 24 zilizopita, na kuzua uvumi wa kupotosha kuhusu upandaji wa kemikali kwenye mawingu (cloud seeding) Kwa hivyo mvua ilikuwa isiyo ya kawaida kiasi gani na ni sababu zipi zilizofanya kunye... |
null | Landais: Kijiji ambacho kila mtu ana ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu Landais Alzheimer, kijiji kilichopo kusini-magharibi mwa Ufaransa - wanakijiji wote wana tatizo la kupoteza kumbukumbu. Mkulima wa zamani Francis anachukua gazeti lake - na ninapendekeza twende tukanywe kahawa katika mgahawa maarufu wa kijiji hicho. Ni... |
null | Kipi hutokea miilini mwetu tunapoumizwa na mapenzi? Maumivu ya moyo, kuupasua moyo vipande vipande au tamathali zozote tunazotumia kujaribu kuelezea tabu tuipatayo, baada ya kukataliwa au kutengana na mtu ambaye bado tunampenda. Mwandishi Susan Sontag ameandika katika Reborn, "mapenzi yanaumiza. Ni kama kujisalimisha i... |
null | Mazoezi rahisi unayoweza kufanya na kufurahia msimu wa sikukuu - Author, Na Lizzy Masinga - Nafasi, BBC Swahili Kutokana na ongezeko hilo la uzito wa mwili, idadi ya magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, magonjwa ya viungo, PCOD, ugumba imeongezeka. Nyakati hizi, magonjwa haya sio tu kwa watu waz... |
null | Je, kusahau kumbukumbu za nyuma kuna faida? - Author, David Robson - Nafasi, BBC Kumbukumbu isiyo kamili na kumbukumbu za uwongo ni vipengele muhimu vya akili, mwanasayansi wa mishipa ya fahamu Charan Ranganath anabishana katika kitabu kipya cha “Why We Remember.” Profesa wa saikolojia kutoka Chuo Kikuu cha California,... |
null | Jinsi kukoroma kunaweza kuathiri uhusiano "Nilikuwa na wasiwasi kwamba ikiwa ningezungumza na mume wangu kuhusu hili, angeudhika." Alifikiri kukoroma ni sehemu ya kifurushi kinachokuja na ndoa. Lakini ilikuwa ikimuumiza mumewe, na uhusiano wao. "Alianza kuamka sana wakati wa usiku na akawa na huzuni asubuhi," aliambia ... |
null | Kipi hutokea kwenye ubongo tunapokaribia kufa? - Author, Margarita Rodriguez - Nafasi, BBC Mwaka 2023, watafiti walichapisha utafiti uliochunguza wagonjwa wanne ambao walikuwa katika usingizi mzito (coma) wakiwa katika mashine. "Walikuwa wakifa kutokana na magonjwa mbalimbali," anasema mwanasayansi wa mishipa ya fahamu... |
null | Wanaume wanaotumia Viagra wanaweza kupunguza hatari ya kupoteza kumbukumbu - utafiti Wanaume wanaotumia madawa ya matatizo ya nguvu za kiume, kama vile Viagra, wanaweza kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa ubongo wa Alzeima, utafiti umebaini. Katika utafiti uliowahusisha wanaume zaidi ya 260,000, wale ambao wanatumia ... |
null | Sayansi: Kipimo cha damu kinavyoweza kugundua mawazo ya kujiua - Author, Nikolay Voronin - Nafasi, BBC Sonona na mawazo ya kujiua vinaweza kutambuliwa kwa kipimo rahisi cha damu, wanasema wanasayansi wa Chuo Kikuu cha California, San Diego School of Medicine (USA). Waligundua kuwa msongo wa mawazo, sonona na mawazo ya ... |
null | Ubongo wa nzi kuleta mafanikio katika kuuelewa ubongo wa binadamu - Author, Pallab Ghosh - Nafasi, BBC Wanaweza kutembea, kuelea juu na madume wanaweza hata kuimba nyimbo za mapenzi ili kuwavutia majike - yote haya kwa ubongo mdogo kuliko kichwa cha pini. Wanasayansi wanaotafiti ubongo wa nzi wamegundua ulipo, umbo na ... |
null | Acha tabia hizi 11 zinazouharibu ubongo wako Kuna watu wengi ambao hawapendi kutoka nje tena. Wengine hupenda kutumia wakati wao wakiwa wamelala kwenye chumba chenye giza au kusikiliza muziki kwa sauti kubwa kwenye vipokea sauti vya masikioni. Lakini utafiti umebaini kwamba tabia yako ina athari mbaya kwenye ubongo. Ka... |
null | Mwanasayansi wa mishipa ya fahamu asiyeamini uwepo wa hiari - Author, Margarita Rodriguez - Nafasi, BBC Daktari wa mishipa ya fahamu (neva), Robert Sapolsky, ambaye ni profesa wa biolojia na elimu ya neva katika Chuo Kikuu cha Stanford, nchini Marekani, anaamini hakuna hiari. Ni mmoja wa wanasayansi wanaoheshimika na j... |
null | Telepathy: Chipu ya ubongo ambayo Elon Musk anadai aliiweka ndani ya mwanadamu inaleta mashaka gani? Je, siku inakaribia ambapo wanadamu wataweza kudhibiti kompyuta kwa kutumia akili zao? Mjasiriamali Elon Musk alichochea mjadala huo kwa kutangaza siku ya Jumatatu kwamba kampuni yake ya Neuralink ilifanikiwa kupachika ... |
null | Nchi ambazo kuna unywaji pombe zaidi duniani Shirika la Afya Duniani, WHO linasema kuwa watu milioni 2.6 hufariki dunia kutokana na unywaji pombe kila mwaka. WHO inasema unywaji pombe huongeza hatari ya kupata magonjwa hatari kama vile magonjwa ya moyo, saratani ya ini na afya mbaya ya akili. Haya yamo katika ripoti mp... |
null | Kwa nini kuwa mkarimu kwa wengine kunaweza kuwa na faida kwa afya na mwili wako? Sote tungependa njia za haraka na rahisi za kuboresha afya zetu, lakini tunapata ushauri unaokinzana. Kwa hiyo, ikiwa utajaribu jambo moja tu kuboresha hali yako ya kiakili na kimwili, inaweza kuwa vipi? Labda chai ya kijani ili kuongeza n... |
null | Unawezaje kukabiliana na upweke? Takwimu zinatuambia kuwa vijana na wanawake ndio wanao uwezekano mkubwa wa kusema kuwa wana upweke - huku takriban mara mbili ya vijana wenye umri wa miaka 16-29 wakikubali kujisikia wapweke ikilinganishwa na wale wenye umri wa miaka 70 na zaidi. Ikiwa uko peke yako, hauko na watu: .'Pe... |
null | "Nililazwa hospitalini kwa miaka 50 licha ya kutokuwa na ugonjwa wowote"- Charles Esler Na Lucy Adams Mwandishi wa Masuala ya Kijamii, BBC News Charles Esler aliishi zaidi ya miaka 50 ndani ya milango iliyofungwa ya hospitali licha ya kutokuwa na ugonjwa wowote mbaya. Charles, ambaye ana matatizo kidogo ya kujifunza na... |
null | Tafsiri za ndoto na ni kwa nini tunashangaa juu ya maana ya ndoto Kulingana na mtandao wa kutafuta wa Google mwaka 2022, mojawapo ya maswali maarufu yaliyoulizwa na watumiaji nchini Uturuki kwa injini ya utafutaji ni nini maana ya ndoto zao. BBC Kituruki iligundua jinsi simulizi za ndoto zilivyoibuka katika utamaduni w... |
null | Kwanini tunashindwa kukumbuka ndoto zetu tunapoamka? Wengi wetu tunapata wakati mgumu kukumbuka tulichoona kwenye ndoto zetu. Je, ni nini kinachosababisha hili ? Ninahisi kwamba walimu pia wako mahali fulani karibu, lakini mawazo yangu yanalenga watu wawili wakubwa, siwezi kukumbuka ni akina nani. Ninamwona mtu waziwaz... |
null | Mwanamke aliyepatwa na usingizi safarini ajikuta peke yake ndani ya ndege Mwanamke mmoja amesema aliachwa peke yake ndani ya ndege baada kuangusha usingizi mzito akiwa safarini. Tukio hilo limemkuta Bi Tiffani Adams Juni 9 mwaka huu ambaye alikuwa akisafiri kwa kutumia Shirika la Ndege la Canada kutoka jiji la Quebec k... |
null | Sayansi Kwanini binadamu hufurahia kula kwa pamoja? 29 Novemba 2024 Je, nywele zako zimekuwa zikipukutika polepole ? hii hapa tiba 22 Novemba 2024 Je, viumbe wa ajabu wanaweza kumrejeshea binadamu uhai kwa kutumia kifaa hiki? 8 Novemba 2024 Walibadilishwa baada ya kuzaliwa : Namna wanawake wawili walivyobaini kuwa tofa... |
null | Utapiamlo na uzito kupita kiasi unavyoathiri nchi maskini Utafiti uliochapishwa katika jarida la matibabu la Lancet unaonya kwamba idadi kubwa ya nchi zenye kipato cha chini zinakabiliwa na ukosefu wa lishe bora vile vile shida ya uzito kupita kiasi. Watafiti wanasema shida hii ya utapiamlo' inaweza kuwa na athari kwa ... |
null | Faida za wanandoa kulala vitanda viwili tofauti Ni kawaida kwa wanandoa kulala vitanda tofauti nyakati fulani, mmoja wenu anaposafiri au kuugua. Utafiti uliochapishwa katika mtandao wa relationshipsnsw.org.au -unaonyesha ikiwa wanandoa wanalala vitanda viwili tofauti au vyumba viwili - kuna faida za kiakili na kimwili.... |
null | Hivi, Unalala masaa mangapi usiku? Hivi, Unalala masaa mangapi usiku? Angalau saa tano za kulala usiku zinaweza kupunguza uwezekano wa zaidi ya miaka 50 ya matatizo mengi ya afya sugu, watafiti wanasema. Afya mbaya inaweza kuvuruga usingizi - lakini usingizi duni unaweza pia kuwa na madhara. Hivi,Unalala masaa mangapi ... |
null | Korea Kusini: Kwa nini wengi wanatatizika kulala? Korea Kusini ni moja ya nchi ambayo inakabiliwa na tatizo la kulala duniani, hali ambayo imeendelea kuathiri watu wake. Ji-Eun alianza kutatatizika kulala wakati alipozidiwa na kazi kiasi cha kukosa muda wa kupumzika. Kwa wastani alifanya kazi kutoka saa moja asubuhi ha... |
null | Njia za kuboresha usingizi wako kulingana na tafiti za kisayansi Ili kuadhimisha Siku ya Usingizi Duniani, huu ndio mwongozo wetu unaotegemea sayansi wa kupata usingizi bora, kulingana na misimu na uzoefu kutoka zamani. Ni asubuhi ya kawaida ya siku za juma. Kuna mwanga unaopitia madirishani, huku milio mingi ya ndege ... |
null | Kwa nini unapaswa kulala wakati huo huo kwa wiki nzima? Tofauti ndogo ya mazoea ya kulala kati ya siku za kazi na siku za kupumzika kunaweza kusababisha mabadiliko yasiyofaa kwa bakteria kwenye matumbo yetu, utafiti unaeleza. Kwa mujibu wa utafiti wa karibu watu wazima 1,000 uliofanywa na wanasayansi wa Chuo cha King L... |
null | Jamii Mwanasiasa wa Uingereza aliyedanganya kuhusu kifo chake 22 Novemba 2024 Kwa nini ni vigumu kusema ‘hapana?’ 16 Novemba 2024 Waridi wa BBC: Nimebadili maisha ya wanawake elfu 10 kwa taulo za bure 16 Oktoba 2024 Faida za aiskrimu na mitindo ya utengenezaji wake 14 Septemba 2024 Waridi wa BBC:‘Mimi na wadogo zangu 7... |
null | 404Page cannot be found Sorry, we're unable to bring you the page you're looking for. Please try: - Double checking the url - Hitting the refresh button in your browser - Searching for this page using the BBC search bar Alternatively, please visit the BBC News homepage. |
null | Eneo ambalo lingejengwa jiji la Akon sasa ni malisho ya mbuzi Mwimbaji wa RnB Akon anasema mipango yake iliyocheleweshwa sana ya Jiji la Akon - jiji la Afrika kwenye pwani ya Senegal - "inasonga mbele kwa asilimia 100,000. Ingawa mbuzi kwa sasa wanapata malisho eneo hilo, anasema kuwa wakosoaji wataonekana "wajinga san... |
null | Shah Rukh Khan: Kwa nini haiba na umaarufu wake vimedumu mpaka sasa? Mwezi uliopita, mwigizaji wa India Shah Rukh Khan alisherehekea miaka 30 ya kuwa katika tasnia ya filamu za Kihindi. Shrayana Bhattacharya, mwandishi wa kitabu kuhusu kudumu kwa umaarufu wa mwigizaji huyo wa Bollywood, anaeleza kwa nini bado ni miongo... |
null | Filamu Idris Elba: Kwa nini ninapanga kuhamia Afrika? 23 Oktoba 2024 Filamu ya utekaji nyara wa ndege ya India yazua utata 4 Septemba 2024 Ajali ya nyota wa Nigeria ilivyoilazimu Nollywood kuzingatia usalama 10 Juni 2024 Oscar Academy Awards: Mambo 11 unayohitaji kujua kuhusu Tuzo za 96 10 Machi 2024 Bob Marley na mamb... |
null | Pathaan ya Shah Rukh Khan: Nyota wa Bollywood kurudi tena Filamu ya hivi karibuni zaidi ya mwigizaji wa Bollywood, Shah Rukh Khan, Pathaan, ambayo itatoka wiki ijayo, imekuwa ikigonga vichwa vya habari nchini India kwa wiki kadhaa zilizopita. Hilo halishangazi kwani Khan ni miongoni mwa nyota wakubwa na wanaopendwa zai... |
null | Filamu za kutazama wakati huu wa mapumziko - Author, Lizzy Masinga - Nafasi, BJ Kipindi cha mwisho wa mwaka ni wakati wa mapumziko ya wanafamilia kuelekea sikukuu ya Krisimasi na mwaka mpya. Kipindi hiki wanafamilia, ndugu na jamaa hukutana pamoja kufurahia majira haya kwa namna mbalimbali ikiwemo kutazama filamu kwa a... |
null | Jinsi Coolio alivyobadilisha ulimwengu wa hip-hop na wimbo "Gangsta's Paradise" Coolio aliposikia sauti ya wimbo uliokuja kuwa Gangsta Paradise, alikuwa na maoni sawa na sisi wengine. "Nilihisi, 'wow, napenda sana wimbo huu.' Rapa huyo - mzaliwa wa Pennsylvania na kukulia huko Compton, Los Angeles - alikuwa nyumbani kw... |
null | Madonna ashindwa kuzuia barua za uhusiano wake na Tupac Shakur kupigwa mnada Msanii wa muziki wa pop Madonna amepoteza kesi ya kumzuia rafikiye wa zamani kutouza barua za kuvunjika kwa uhusiano wa kimapenzi kati yake na Tupac Shakur, ikiwemo kichana. Jaji wa New York alitupilia mbali kesi ya Madonna dhidi ya Darlene Lu... |
null | Unyanyasaji wa Nyumbani 'Nyumbani ni eneo hatari zaidi kwa wanawake na wasichana' - Utafiti 28 Novemba 2024 'Siwezi kulala': Mauaji ya mwanariadha yanaashiria nini kuhusu usalama wa wanawake nchini Kenya 21 Septemba 2024 Je ,video ya Diddy akimshambulia mpenzi wake wa zamani itatia kaburini umaarufu wake kwenye hip hop... |
null | R. Kelly: Nyota aliyehukumiwa kwa kuwanyanyasa kingono wasichana ''Msanii huyu 'mnyama' ametumia usanii wake kwa kunyanyasa wasichana wadogo wasiokuwa na uwezo wa kujitetea''. ''Alitumia watu wake wa karibu katika kutafutiwa wasichana hao na kuwanyanyasa kingono''. Maneno ya wakili wa Marekani jimbo la mashariki la New... |
null | Rumba ya Congo yashinda hadhi ya kulindwa na UNESCO Moja ya aina ya muziki na dansi yenye ushawishi mkubwa zaidi ya Kiafrika, rumba ya Congo, sasa ina hadhi ya kulindwa na Unesco. Ni kilele cha kampeni za nchi mbili - Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na nchi jirani ya Congo-Brazzaville. Zote mbili zinamiliki ufalme wa ... |
null | Uchaguzi wa DRC 2023 Miaka 35 bila Franco: Mjadala wa kumuenzi nguli wa rhumba DRC waendelea 12 Oktoba 2024 3:03 Video, Mtu Sanamu: kutana na kijana wa DRC mwenye kipaji cha kujigeuza kuwa kama sanamu , Muda 3,03 6 Machi 2024 Kwa nini DRC imepinga makubaliano ya vito vya thamani kati ya Rwanda na Umoja wa Ulaya? 23 Feb... |
null | 'Villa Vieux Bokul': Nyumba ya marehemu Papa Wemba kuwa 'Hifadhi ya Rumba' DRC Nyumba ya nyota wa muziki wa Soukous ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- marehemu Papa Wemba inatarajiwa kufunguliwa rasmi leo Jumapili 24 Aprili 2022. Nyumba hiyo ilinunuliwa na serikali ya DRC na sasa itakuwa "Hifadhi ya Ru... |
null | Utamaduni Mataifa 5 ambayo yatakusaidia kujua chimbuko la ukoo wako 26 Novemba 2024 Mfalme aliyekatazwa kumuona mama yake 16 Novemba 2024 Chumvi hufanya nini katika mwili wako? 15 Oktoba 2024 Kwanini wanandoa wa asili tofauti ni maarufu China? 14 Septemba 2024 Wakunga walioacha kuwaua wasichana wachanga na kuanza kuwao... |
null | Mashabiki washangilia kuungana tena kwa wasanii wa P-Square Nigeria Wawili hao - wanaojumuisha mapacha Peter na Paul Okoye - walitofautiana miaka kadhaa iliyopita kwa sababu ya ugomvi wa kifamilia, na kutengana mnamo 2017. Moja kwa moja Ambia Hirsi Mtoto aokolewa na paka Mumbai Mtoto wa kike wa siku tano, ambaye alioko... |
null | Mkewe Will Smith atishia kususia tuzo za Oscar Je,Jada Pinket mkewe nyota wa filamu Will Smith hatashiriki katika tuzo za Oscar? Nyota huyo aliandika katika mtandao wake wa Tweeter siku ya jumamosi akionyesha kukasirishwa na ukosefu wa watu wa rangi tofauti miongoni mwa wale walioteuliwa kuwania tuzo za Oscar. Katika m... |
null | Oscars 2024: Orodha ya walioteuliwa kwa tuzo yatangazwa Hollywood imezindua uteuzi wa tuzo za Oscar za mwaka huu, ambazo zitawatunukia nyota na filamu bora zaidi katika tasnia ya filamu katika kipindi cha miezi 12 iliyopita. Tazama orodha kamili ya wagombea hapa chini. Picha bora American Fiction Anatomy of a Fall Barb... |
null | Oscars, Brits na Baftas: Je tuzo kuu hujumuisha watu wa tabaka mbali mbali? Je kumekuwa na uwakilishi wa kutosha wa watu tofauti katika tuzo za mwaka huu? Kuanzia tuzo za Bafta mpaka za Brits, tuzo kuu zinazofanyika Januari na Februari zimeshutumiwa sana kwa kutokuwa na uwakilishi wa kutosha wa watu wa tabaka mbali mba... |
null | Hollywood Oscar Academy Awards: Mambo 11 unayohitaji kujua kuhusu Tuzo za 96 10 Machi 2024 Jinsi uraibu wa ponografia ulivyomtia matatani mcheza filamu wa Hollywood 22 Mei 2021 |
null | Kipande kifupi cha maelezo ya filamu kuhusu maisha ya Tupac imetolewa 'All Eyez On Me' ni filamu ya muigo wa maisha ya msanii huyo ikieleza hadithi ya alivyopanda ngazi hadi akawa mtu maarufu na hali tata iliyomzingira alipokuwa juu. Pia itaangazia kifo chake ambacho kilitanda kote ulimwenguni. Aliuza mamilioni ya reko... |
null | Taji la kifalme la msanii Notorious B.I.G. na barua za mapenzi za Tupac Shakur kuuzwa katika mnada Je wewe ni mpenzi wa muziki wa hip-hop na una fedha zinazokuwasha mifukoni mwako? basi huenda huu ni wakati wako. Vazi lenye historia katika muziki wa hip-hop linapigwa mnada - taji hilo la kifalme lilivaliwa na msanii ny... |
null | Madonna azuia mnada wa barua ya uhusiano wake na Tupac Shakur Jaji mmoja nchini Marekani amesitisha mnada wa vitu binafsi vya mwanamuziki Madonna baada ya kusema kuwa haki yake ya faragha ilikiukwa. Jaji wa mji wa New York Gerlad Lebovits aliamuru kesi hiyo kusikizwa kikamilifu mnamo mwezi Septemba tarehe 6, akilizuia ... |
null | Oscars Orodha kamili ya washindi wa Tuzo za Oscar 2024 11 Machi 2024 Oscars 2024: Orodha ya walioteuliwa kwa tuzo yatangazwa 23 Januari 2024 Urusi 'kupunguza mashambulizi karibu na Kyiv na Chernihiv' 29 Machi 2022 Will Smith aomba radhi kwa kumzaba kibao mchekeshaji Rock jukwaani kwenye tuzo za Oscars 28 Machi 2022 Waf... |
null | Zanzibar Idris Elba: Kwa nini ninapanga kuhamia Afrika? 23 Oktoba 2024 Jamii Zanzibar inavyopambania mustakabali wa maisha kwenye matumbawe 5 Juni 2024 Nini kifanywe kuliokoa jahazi la serikali ya ubia Zanzibar? 13 Machi 2024 2:26 Video, 'Nilipenda kuwa wa kwanza kuleta mwanga katika kijiji chetu' , Muda 2,26 13 Februa... |
null | Mchezaji Filamu wa Hollywood Idris Elba aizuru Tanzania Mchezaji Filamu wa filamu za Hollywood Idris Elba anaizuru Tanzaniana mkewe aliyemuoa hivi karibuni Bwana Elba ambaye ni maarufu sana katika umahiri wake wa kucheza filamu za Hollywood anaambatana na mkewe ambapo tayari wamekwishazuru mbuga ya wanyama ya Serengeti... |
null | Filamu ya utekaji nyara wa ndege ya India yazua utata - Author, Neyaz Farooquee - Nafasi, BBC Tamthilia fupi kuhusu kutekwa nyara kwa ndege ya abiria ya India mwaka 1999, imezua mjadala nchini humo kuhusu majina ya watekaji. Imeongozwa na Anubhav Sinha kwa ajili ya Netflix. Tamthilia ya ‘The Kandahar Hijack’ inasimulia... |
null | Afrika Mashariki Uchaguzi serikali za mitaa: Mamia ya wagombea wa upinzani Tanzania waenguliwa, waapa 'kutosusia shamba' 10 Novemba 2024 Kithure Kindiki sasa ndiye Naibu Rais mteule 18 Oktoba 2024 Sababu za kutaka kumuondoa madarakani naibu rais wa Kenya 2 Oktoba 2024 Kitumbua cha Ruto na Gachagua kinavyoingia mchanga ... |
null | Matumizi ya Mihadarati Jinsi mabaharia wanavyosema walidanganywa na kusafirisha Cocaine na Muingereza 30 Septemba 2024 Mwanaume aliyekaa miaka 38 gerezani Marekani na kufa kwa kosa ambalo hakufanya 1 Septemba 2024 Jinsi ghasia za magenge zilivyoteka ‘Paradiso’ ya utalii 11 Aprili 2024 Dawa ya Pregabalin: Ni nini na kwa... |
null | Akili bandia (AI) inaweza kuchukua nafasi za kazi milioni 300 - ripoti Teknolojia ya akili bandia (AI) inaweza kuchukua nafasi za kazi za kudumu sawa na milioni 300, ripoti ya benki ya uwekezaji Goldman Sachs inasema. Inaweza kuchukua nafasi karibu robo ya kazi nchini Marekani na bara lote la Ulaya lakini inaweza kumaa... |
null | Uvumbuzi Jinsi ujumbe uliofichwa miaka 132 iliyopita kwenye chupa ndani ya ukuta wa mnara ulivyopatikana 9 Novemba 2024 Utafiti mpya wa ngozi unaweza kusaidia kupunguza dalili za kuzeeka 27 Oktoba 2024 Tutakula nini kwenye safari za kwenda angani? 1 Juni 2024 Tazama: Baiskeli ya kipekee iliyotengenezwa kutokana na mmea... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.