name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
UHABA wa ajira nchini bado ni tatizo. Baadhi ya wanasiasa walishasema ni bomu linaloweza kulipuka wakati wowote. Ni jambo ambalo si tu limeongeza umaskini bali hata baadhi ya watu kuamua kujitoa uhai kwa sababu ya msongo wa mawazo uliosababishwa na ukosefu wa ajira. Baadhi ya wahitimu wako mitaani wanarandaranda kusaka...
null
TIMU ya Soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), imepangwa Kundi C pamoja na mabingwa watetezi, Afrika Kusini (Banyana Banyana), Ghana na Mali katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON). Fainali za WAFCON zitafanyika kuanzia Julai 5 hadi 26, mwakani nchini Morocco. Katika droo iliyofanyika jijini Rabat juzi,...
null
MWANAFUNZI wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari Miyandi, wilayani Ikungi, mkoani hapa, Felista Charles (16), aliyezuiwa hospitalini kwa siku saba baada ya kushindwa kulipa deni la Sh. milioni 1.3 ameruhusiwa baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi kulilipa. Binti huyo ambaye alilazwa Hospitali Teule ya Makiu...
null
Kitaifa Samia asema umaarufu wake uliibeba Chadema RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilipata wabunge 115 na madiwani wengi kwa sababu ya umaarufu na kukubalika kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. 18 Feb 2024 Siasa Zaidi © 2024 IPPMEDI...
null
KWA miaka mingi, kumekuwa na kasumba iliyojengeka kwa watumishi wa umma au wafanyakazi wa sekta binafsi kukataa kwenda katika mikoa ya pembezoni pindi wanapopangiwa kwenda huko. Mikoa hiyo ni Rukwa, Kigoma, Katavi, Mtwara na Lindi. Hali hiyo pia ilizikumba baadhi ya wilaya zilizokuwa na tatizo la miundombinu au mawasil...
null
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amekiagiza Chuo cha Kodi (ITA), kufanya utafiti maalum ili kubaini namna ya kukusanya kodi ya biashara za mtandaoni. Katika taarifa yake iliyosomwa kwa niaba yake na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya, wakati wa mahafali ya 17 ya ITA, Dar es Salaam juzi, Dk. Nchem...
null
KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amesema chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu wamejipanga kuhakikisha wanashinda kwa kishindo. Makalla ameyasema hayo jana akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kibamba jijini Dar es...
null
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amesema Kigoma si mkoa wa kupatia cheki namba (ajira) na kuhama kwa visingizio vya kuifuata familia au ugonjwa. Kutokana na hali hiyo , amewataka watumishi kuachana na dhana kuwa mkoa ni wa pembezoni na hauna fursa za kiuchumi. San...
null
Katuni 2d ago Msamba 10 Nov 2024 03 Nov 2024 Msamba 27 Oct 2024 Msamba 06 Oct 2024 Msamba 29 Sep 2024 Msamba 22 Sep 2024 Msamba 08 Sep 2024 Msamba 11 Aug 2024 28 Jul 2024 Msamba 21 Jul 2024 Msamba 30 Jun 2024 23 Jun 2024 Msamba 16 Jun 2024 Msamba 09 Jun 2024 Msamba 02 Jun 2024 Msamba 26 May 2024 Msamba 19 May 2024 13 M...
null
TAHARUKI ilizuka jana asubuhi baada ya jengo la ghorofa nne kuporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam na hadi jioni aliyefariki dunia alikuwa mtu mmoja na wengine 40 kujeruhiwa. Tukio hilo lilitokea kati ya Mtaa wa Congo na Mchikichi, baada ya jengo hilo lenye maduka ya biashara kuporomoka na kufukia watu na mali ziliz...
null
MZEE wa Kanisa la Waadventista Wasabato la Muheza Central, wilayani hapa mkoani Tanga, John Mdoe, amewafuturisha waumini wa dini ya Kiislamu. Mdoe kwa kushirikiana na familia yake, wametoa sadaka hiyo kwa zaidi ya Waislamu 100 juzi nyumbani kwake, Mtaa wa Mdote. Mgeni rasmi alikuwa Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah ...
null
Biashara Waziri asisitiza utafiti makusanyo ya kodi kwa biashara za mtandaoni WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amekiagiza Chuo cha Kodi (ITA), kufanya utafiti maalum ili kubaini namna ya kukusanya kodi ya biashara za mtandaoni. Biashara 2d ago Biashara Walimu wagoma kufundisha kisa mishahara 2d ago Biashara Wafany...
null
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, ameshangazwa na idadi ndogo ya waombaji wa nafasi za kazi kada ya afya waliokuwa wameomba katika mikoa ya Kigoma, Katavi, Lindi na Mtwara. Wakati waombaji katika mikoa hiyo ikiwa ndogo, mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma ina...
null
WAKAZI wa Kata ya Malolo Tarafa ya Mikumi Wilayani Kilosa mkoani Morogoro, wamemkataa Hakimu wa eneo hilo kwa kile wanachodai kuwa ni amekaa muda mrefu huku akionesha kupenda rushwa. Akijibu tuhuma hizo Mbunge wa Mikumi, Denis Londo alikiri kutokuwepo kwa sheria inayoruhusu kiongozi yoyote kukaa muda mrefu sehemu moja....
null
Taasisi ya Maendeleo kwa Viziwi Tanzania (TAMAVITA) imewataka wagombea wanaotarajia kuongoza serikali za mitaa, vijiji, na vitongoji kuhakikisha wanawajali watu wenye ulemavu kwa kuwapatia huduma bora bila ubaguzi. Aidha, taasisi hiyo imesisitiza umuhimu wa kuhakikisha majengo ya umma yanayojengwa yanakuwa na miundombi...
null
Picha Kitaifa Mashine ya kuchakata sharubati 07 Jul 2024 Kitaifa Matukio tofauti miili tisa ya wanafunzi wa Shule ya Ghati Memorial ikiagwa Arusha 14 Apr 2024 Kitaifa Wachezaji timu ya Kitunda FC wakiwa mazoezini 24 Mar 2024 Kitaifa Waziri Majaliwa akabidhi cheti cha Kijiji kwa viongozi Lindi 24 Mar 2024 Kitaifa Mvua y...
null
Matukio tofauti miili tisa ya wanafunzi wa Shule ya Ghati Memorial ikiagwa Arusha Picha: Getrude Mpezya Picha: Getrude Mpezya Picha: Getrude Mpezya Picha: Getrude Mpezya Picha: Getrude Mpezya Picha: Getrude Mpezya Picha: Getrude Mpezya © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED
null
Mashine ya kuchakata sharubati PICHA: MIRAJI MSALA PICHA: MIRAJI MSALA PICHA: MIRAJI MSALA © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED
null
WADAU wa kupinga ukatili wa kijinsia wameiomba Serikali kuifanyia mabadiliko Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 ili kuongeza umri wa mwanamke kuolewa kuwa ni miaka 18 ili kukomesha matukio ya ukatili huo. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo katika zoezi la uchangiaji damu kuelekea Siku ya Kupinga Ukatili wa Kijinsia Duniani...
null
WAFANYAKAZI 25 wa kutoka nchini Marekani chini ya Mtandao wa Kimataifa wa Wafanyakazi wa Kujitolea (PEACECORPS) wameapishwa kwa ajili ya kuanza kazi hiyo nchini. Akizungumza katika hafla fupi ya uapisho mapema wiki hii jijini Tanga, Balozi wa Marekani Nchini, Michael Battle, alisema wafanyakazi hao wapo tayari kuihudum...
null
Video RC atembelea kituo ambacho wahuni wameiba daftari Kitaifa 20 Oct 2024 By Mwandishi Wetu , Nipashe Jumapili Published at 06:49 PM Oct 20 2024 Latest Videos RC atembelea kituo ambacho wahuni wameiba daftari 20 Oct 2024 'Watanzania kataeni kugawanywa kwa ukabila'- Dk. Nchimbi 02 Jun 2024 Ufafanuzi Meli iliyozama Ziw...
null
WANANCHI 1,500 wa vijiji vitatu vya Kihangaiko, Msata na Pongwemsumbula katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani, wametishia kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kutokana na kutolipwa fidia zao kwa zaidi ya miaka mitatu sasa. Wakizungumza juzi katika kijiji cha Kihangaiko wakati wa kujadili suala lao...
null
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salumu Mwalimu, ameahidi kuwa endapo wagombea wa chama hicho watapata ridhaa ya kuongoza serikali za mitaa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, hakuna mwananchi atakayelazimishwa kutoa fedha kwa huduma za kugongewa mhuri au kupata nyaraka mbalimb...
null
Maoni Kasumba vijana kuhusu ajira mikoa ya pembezoni imepitwa na wakati Nov 24 2024 Ulinzi katika miundombinu SGR uimarishwe ili kudhibiti uhalifu Nov 10 2024 Sheria udhibiti ajira kwa wageni iongezewe meno Nov 3 2024 Hatua zichukuliwe kuwaokoa watoto katika majanga haya Oct 27 2024 Kumuenzi Nyerere ni kuyaishi matendo...
null
Gain unparalleled exposure and reach your target audience by advertising with us. Our platform offers a unique opportunity to showcase your brand, products, or services to a wide range of potential customers. With our highly engaged audience and strategic advertising placements, your message will be seen by the right p...
null
HATIMAYE kikosi cha JKT Tanzania kinatarajia kurejea dimbani baada ya siku 29 kucheza dhidi ya Prisons katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam. Utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa timu hiyo, tangu Oktoba 26, mwaka huu, ilipocheza mechi ya mwisho dhidi ya Dodoma...
null
Makala Zijue dalili za mtu mwenye sukari “HIYO siku naikumbuka sana. Ni kama jana tu kwangu maana donda lilianza kama utani. Kilianza kimchubuko kidogo ambacho kilisababishwa na kujikwaa kwenye kimti mguuni. Hata sikuchukulia maanani maana nilijua itakuwa kama siku zote ni kimchubuko cha kawaida kitapona ndani ya siku ...
null
Siasa Samia asema umaarufu wake uliibeba Chadema RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilipata wabunge 115 na madiwani wengi kwa sababu ya umaarufu na kukubalika kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. Kitaifa 18 Feb 2024 Siasa Zaidi © 2024 I...
null
WALIMU wa Shule ya Sekondari ya Jumuiya ya Wazazi (CCM) Meta, iliyoko katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya, wamegoma kufundisha na kusimamia mitihani, kwa madai ya kutolipwa mishahara yao kwa zaidi ya miaka mitatu. Wakizungumza na waandishi wa habari juzi walimu hao walisema, wamechoshwa na hali ngumu ya maisha inayowak...
null
MSAIDIZI wa ndani ni hitaji la kila mwanamke ambaye yuko katika shughuli za kiuchumi. Pamoja na umuhimu huo, kuna utumikishaji mkubwa wa watoto chini ya miaka 18, umri ambao ni wa mtoto kuwapo katika mfumo wa elimu. Licha ya serikali kuweka mazingira wezeshi kwa mtoto kusoma bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato ch...
null
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa juzi kati ya timu yake dhidi ya Pamba Jiji na kushinda bao 1-0, Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, imempa mwanga na mbinu za kuwaangamiza wapinzani wao, Bravos do Maquis kutoka Angola. Simba itawaalika Bravos do Maquis katika mechi ya kwanza ya hatua y...
null
WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken amehimiza uchaguzi mkuu wa Senegal ambao umeahirishwa, ufanyike haraka iwezekanavyo katika tarehe iliyokuwa imepangwa au kama sio hivyo basi ufanyike haraka bila kucheleweshwa. DW imeripoti kuwa, Blinken ameonesha wasiwasi kuhusu kucheleweshwa kwa uchaguzi huo baada ya...
null
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajiwa kuendelea na maandamano yake ya amani leo jijini Mwanza, ikiwa ni mwanzo wa awamu ya pili ya maandamano hayo katika majiji yote nchini. Maandamano hayo yanafanyika licha ya taifa kuwa katika siku ya mwisho ya maombolezo ya siku tano ya kifo cha aliyekuwa Waziri M...
null
JOTO la uchaguzi ndani ya Chama cha ACT - Wazalendo limeendelea kupanda. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Dorothy Semu na Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Mbarala Maharagande, wamechukua fomu kuwania nafasi ya Kiongozi Mkuu wa chama hicho, ambayo sasa iko chini ya Zitto Kabwe. Nimeamua, ninaamni kwenye...
null
Kimataifa Mahakama yamgomea Naibu Rais Kenya MAHAKAMA ya Rufani nchini Kenya chini ya jopo la majaji watatu imekataa kuingilia kati mchakato wa kuondolewa madarakani kupitia ombi la kuzuia mchakato huo. 16 Oct 2024 Waziri Blinken ataka uchaguzi Senegal ufanyike haraka 14 Feb 2024 Siasa Zaidi Kitaifa Lissu, Biteko watun...
null
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamika kunyimwa nafasi ya kutoa salamu za pole katika hafla ya kuuaga mwili wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa. Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, ameelekeza malalamiko kwa Itifaki ya Kamati ya Maandalizi kuwa haikuwapa nafasi ya kufanya hivyo kama vyama vingi...
null
MAHAKAMA ya Rufani nchini Kenya chini ya jopo la majaji watatu imekataa kuingilia kati mchakato wa kuondolewa madarakani kupitia ombi la kuzuia mchakato huo. Aidha, mahakama hiyo imesema mchakato huo utaendele kama ulivyopangwa bila kuingiliwa ba mamlaka hiyo kwa sasa. Mahakama iliyoketi mapema leo Jumatano Oktoba 16,2...
null
ALIMANUSURA vurugu zitokee jana kwenye maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya msafara wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kuingiliana na ule wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko. Sisi tumeandamana kwa lengo la kufikisha serikalini kero ambazo zin...
null
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, kimewataka wanaCCM kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa kuwa wa huru na haki kuanzia kura za maoni hadi uteuzi, na kwamba pesa au utajiri wa mtu usiwe kigezo cha kupewa uongozi. Mwenyekiti wa CCM mkoani humo, Mhandisi Joseph Masunga amesema katika chaguzi za mwaka huu 2024 c...
null
BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) na wadau wengine wa haki na utawala bora, wameitaka Mahakama kutoa tamko kuhusu kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Itikadi na Uenezi, Paul Makonda dhidi ya chombo hicho. Mimi mwenyewe hapa kuna mtu alinidhulumu nyumba, halafu...
null
NILIUTAZAMA mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Fountain Gate iliyokuwa ikicheza nyumbani dhidi ya Pamba Jiji FC, nikakubaliana na mawazo ya viongozi wa klabu mbalimbali nchini kusajili makipa kutoka nje ya nchi. Mechi hiyo iliyochezwa, Novemba 5, Uwanja wa Kwaraa, Babati mkoani Manyara, ilishuhudiwa, Fountain Gat...
null
WAKATI uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu, Novemba 27, lakini vilio vya kuenguliwa kwa wagombea katika kinyang’anyiro hicho vinasikika kila kona. Idadi kubwa ya wagombea hao ni kutoka vyama vikuu vya upinzani vya CHADEMA, ACT-Wazalendo na CUF ambao walijaza fomu katika ngazi ya m...
null
WANAFUNZI wa kidato cha nne wameanza mitihani ya taifa kukamilisha safari ya kuhitimu daraja hilo la taaluma. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dk. Said Mohamed wakati akitangaza kuanza kwa mtihani huo Jumatatu wiki hii ukitarajiwa kuendelea hadi mwisho wa mwezi huu ifikapo Novemba 29. A...
null
Kitaifa Lissu, Biteko watunishiana kugombea njia ALIMANUSURA vurugu zitokee jana kwenye maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya msafara wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kuingiliana na ule wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko. 21 Feb 2024 Cheo c...
null
LILIKUWA ni jambo la kushangaza, kuhuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja pale mwamuzi Omri Mdoe alipoonekana kumsukuma mchezaji Yusuph Dunia katika mchezo wa Ligi Kuu kati ya Mashujaa na Simba, uliochezwa Ijumaa iliyopita katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. Mdoe alionekana kufanya tukio hilo akiwa katika ...
null
KUNA kundi la vijana katika jamii, ambalo ni muhimu katika ujenzi wa taifa, kwa kuwa lina nafasi ya kutegemewa, kwani ni nguvukazi sahihi katika ustawi wa taifa. Kundi hilo ni pana, linategemewa na katika kila nyanja, likitazamwa kuanzia ngazi ya familia, serikali, mashirika, taasisi zikiwamo asasi za kiraia katika kul...
null
KARIBU kila sehemu wananchi wanaendelea kuhamasishwa kuchangia ujenzi wa miradi hasa majengo kwa ajili ya maabara za sekondari za kata. Hayo yanafanyika, kwa sababu kila sekondari ya kata inapaswa kuwa na maabara tatu kwa masomo ya fizikia, kemia na bailojia ambazo ujenzi wake unajengwa kwa kushirikisha nguvu ya serika...
null
TUNAPOZUNGUMZIA kuhusu kaya maskini, tunagusa zile zenye umaskini wa kukithiri. Ni lile kundi ambalo wanakwama kumudu matumizi ya milo mitatu kwa siku ikibaki kuwa bidhaa adimu kwao. Wao ni wa mlo mmoja kwa siku, tena unaopatikana kwa shida. Nasema, kaya hizo zinakwama hata kuwapeleka watoto wao kliniki au shule. Uwezo...
null
DAR ES SALAAM ni mji mkubwa wa kibiashara, pilika ni nyingi, likiongoza kwa idadi kubwa ya watu nchini, kwa kuwa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, inaitaja kuwa na zaidi ya watu milioni tano. Ukubwa wake ni mithili ya majiji mengine na miji, linakumbwa na foleni kubwa za magari barabarani ambayo ni kero kwa abiria...
null
ELIMU ya awali kwa mtoto ni ya muhimu, kwani humjengea mtoto msingi mzuri wa kujua kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK), humjenga na kumwandaa kujiunga na elimu ya msingi. Mbali na hayo, elimu hiyo humsaidia mtoto kujua kumudu stadi za awali na pia humsaidia kujua stadi mbalimbali za ubunifu na kukuza lugha na kupanua ue...
null
MWENGE wa Uhuru umehitimisha mbio za mwaka 2024 Oktoba 14 jijini Mwanza, kinachofuata ni maandalizi ya ratiba nyingine mwakani. Katika kilele cha mbio hizo wiki iliyopita, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, anasema miradi 16 yenye thamani ya Sh. bilioni 8.6 ime...
null
KUMEKUWAPO na ongezeko kubwa la watoto wa mitaani wanaolala nje ya maduka usiku nchini hasa kwenye majiji mkubwa. Hilo limemshtua Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga, akalizungumza bayana bungeni wakati akichangia Maendeleo ya Taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2025/26. "Watoto ...
null
HADI sasa elimu ya kukabiliana na majanga inatakiwa kutiliwa mkazo katika jamii, ili kunusuru vifo vya watu na uharibifu wa mali zao. Kila mara imekuwa ikiripotiwa matukio ya watu kufa kwa kusombwa na maji, ajali, vyombo vya moto, nyumba kuungua na wengine kuangukiwa na kuta. Wananchi wamekuwa wakiitupia lawama serikal...
null
KINADHARIA na kimantiki, inapotamkwa kuwapo kundi fulani linajitambulisha, pia kuwa watetezi wa haki za binadamu, basi hutakiwa kuonekana ya kweli. Ndani ya hilo, hutakiwa kuwapo ilani na matamko mbalimbali yanayohusu wakati husika wa kutetewa na kupewa kipaumbele matamko hayo, ili jamii na wahusika waone ni kweli wana...
null
INAONEKANA kuna matatizo ya 'maspesholisti' wa kupiga mipira iliyokufa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na soka la nchi hii kwa ujumla. Kwa mujibu wa takwimu za Kitengo cha Dawati la Michezo la Nipashe, kati ya mabao 135, yaliyofungwa mpaka leo hii kwa msimu huu, ni sita tu yamefungwa kwa mipira ya faulo za moja kwa moja....
null
NYOTA wawili wa Tanzania wanaounda kundi la The Ramadhan Brothers, ambao walitwaa ushindi wa jumla katika shindano la kusaka vipaji la la America's Got Talent (AGT) Fantasy-Legue, wameanza safari ya siku sita kupanda Mlima Kilimanjaro, kuupeleka ushindi huo juu ya kilele cha Uhuru chenye urefu wa mita 5,895 kutoka usaw...
null
MAWAKALA wa Usalama wa Marekani jana walivamia jumba la rapa, Sean "Diddy" Combs au Puff Daddy lililoko Holmby Hills kwa ajili ya uchunguzi, huku yeye mwenyewe akitokomea kusikojulikana. Sababu hasa ya uvamizi huo bado haijawekwa wazi, lakini P Diddy hivi karibuni amehusishwa na madai ya unyanyasaji wa kijinsia na bias...
null
MAHAKAMA Kuu Masjala ya Wilaya, Arusha imeahirisha hadi Mei 6, mwaka huu shauri linalomkabili msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Omary Mwanga, maarufu Marioo, na Meneja wake Sweetbert Mwinula, wanaodaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba. Shauri hilo liliahirishwa kwa sababu Jaji Joachim Tiganga...
null
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Mwanga, maarufu Marioo, anayedaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba, anatarajiwa kujitetea Mahakama Kuu Machi 18 na 19, mwaka huu. Marioo na Meneja wake Sweetbert Mwinula wameshtakiwa katika Mahakama Kuu Masjala ya Wilaya ya Arusha mbele ya Jaji Joackim Tiganga, wakid...
null
THE horticultural industry in Tanzania is experiencing rapid changes as it turns its attention to the macadamia nut—a perishable but nutritionally rich and commercially valuable crop. Dr. Jacqueline Mkindi, the Tanzania Horticultural Association (TAHA) chief executive officer, declared over the weekend that macadamia p...
null
PRAGNYA Mohan has been a professional triathlete for nearly a decade, but summers in her native India are now so hot that she can’t train there anymore. She escaped the heat to train in the United Kingdom, but worries about a day when a warming world kills her sport entirely. American discus thrower Sam Mattis describe...
null
Opinion Even a little care can make a difference in tough times Nov 26 2024 Blue economy working group can seize opportunities for ‘big results’ Managing Editor Nov 19 2024 Licensing big internet subsidiaries could boost competition, cut costs Nov 18 2024 UN Biodiversity COP16 (Oct 21 - Nov 1) in perspective Guardian C...
null
Football Sead Ramovic’s era begins as Yanga host Al Hilal YOUNG Africans kick off their CAF Champions League Group Stage campaign thie afternoon as they welcome Sudanese giants Al Hilal to Benjamin Mkapa Stadium. 12h ago CAF sanctions MC Alger: A boost for Yanga ahead of CAF 12h ago Tanzanian football pleasingly on the...
null
A THRILLING fight night aimed at promoting young talent in boxing and kickboxing is scheduled to take place in Dar es Salaam on November 30 at Pulse Hall. Speaking to journalists, event organizer Daniel Kijo confirmed that the event will feature 12 matches showcasing fighters from Mainland Tanzania and Zanzibar. He add...
null
TANZANIA's senior national cricket team would open its campaign in the International Cricket Council (ICC) Men's Cricket World Cup Challenge League B on November 7, meeting Italy in Uganda. The regional showdown - slated for November 6-16 - will witness six teams battle for a spot in the following stage of the ICC Men'...
null
SIMBA SC head coach Fadlu Davids has expressed confidence that his team’s narrow 1-0 win over Pamba Jiji FC in the NBC Premier League has provided valuable preparation for their upcoming CAF Confederation Cup group stage opener against Angola’s Bravos do Maquis. The match, held at CCM Kirumba Stadium in Mwanza, showcas...
null
THE 2024 Women’s Criiio Cricket Festival concluded with a thrilling showcase at the Sokoine University of Agriculture (SUA) ground in Morogoro recently. The celebration, organized by Tanzania Cricket Association (TCA), is an initiative geared towards promoting cricket among women in the country. It turned out to be a h...
null
TANZANIA's senior national cricket team's assistant skipper Kassim Nassor has expressed confidence in the squad's competence and possibility of winning the 2026 ICC Men's T20 World Cup Sub Regional Africa Qualifier A now taking place in Dar es Salaam. The tournament hosts stretched their winning run in the regional sho...
null
AS Young Africans embark on the Sead Ramovic era, their first test comes in an intriguing CAF Champions League clash against Al Hilal at Benjamin Mkapa Stadium tomorrow. Ramovic (pictured), appointed during the international break, faces a baptism of fire as he comes up against a decent Sudanese team that knocked out Y...
null
Cricket Pak Stars A thrash Delaware Upanga SC in 2024 TCA Champions League PAK Stars A's cricketers have expressed a desire to get down to a successful outing in the ongoing Tanzania Cricket Association (TCA) Delaware Champions League, having walloped Delaware Upanga SC A by six wickets recently. 13h ago Morogoro youth...
null
AZAM have shaken off their slow start to the season with an impressive turnaround. Rachid Taoussi ’s side are on a four-game winning streak, showing the grit and quality that propelled them into the CAF Champions League last term. As they prepare to host Kagera Sugar at Chamazi Complex this evening, they have a chance ...
null
TANZANIA's senior men's cricket team will be out to stretch its winning run in the 2026 ICC Men's T20 World Cup Sub Regional Africa Qualifier A, taking on Cameroon in Dar es Salaam tomorrow. The tournament hosts thrashed Mali by 10 wickets in the first tie last Saturday and were then expected to face Lesotho at the Uni...
null
THE reason why so many people love football is the unpredictable nature of the sport. If you had mentioned the words ‘title’ and ‘Azam’ in the same sentence in September, you would have been laughed out of the room. Following a slow start to the 2024/25 NBC Premier League season, it feels like Azam have finally turned ...
null
THE Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) has unveiled plans to construct a modern sports and fitness center as part of its strategy to tackle the rising prevalence of non-communicable diseases (NCDs) in Tanzania. MUHAS vice chancellor, Prof. Appolinary Kamuhabwa, announced the initiative during th...
null
A NINE-WICKET loss to Italy via the Duckworth-Lewis (D/L) method has witnessed Tanzania open its campaign in this year's ICC Men's Cricket World Cup Challenge League B on the wrong foot in the tie played in Uganda two days back. In the game held at Entebbe Cricket Oval, Tanzania went in to bat first, ending with 173/10...
null
LIONS A's cricketers opened their quest for a triumphant run in the 2024 Tanzania Cricket Association (TCA) Delaware Champions League grandly, clobbering Delaware Upanga SC A by five wickets early this week. The TCA-organized tournament, involving Division A clubs, is one of the high-profile club events seeking to effi...
null
EFFORTS by the Tanzania Cricket Association (TCA) to improve the standard of the game locally have kept on gaining pace as the body recently held a newly introduced coaching course in Dar es Salaam. The course, dubbed 'Coach the Coaches', has been described as the new era for Tanzania's cricket development. A TCA offic...
null
SIMBA Sports Club solidified their lead in the NBC Premier League standings with a hard-fought 1-0 win against Pamba Jiji at Mwanza’s Kirumba Stadium yesterday. The match’s only goal came in the 23rd minute, when Simba’s Leonel Ateba successfully converted a penalty after being fouled inside the six-yard box by Pamba J...
null
Leading global online sports betting and gaming brand Betway is offering one lucky customer the ultimate football experience – the chance to play on the iconic Emirates Stadium pitch, home of Arsenal Football Club. Betway Tanzania has launched an exclusive promotion tied to the 2024 Premier League season as part of its...
null
COASTAL Union head coach Juma Mwambusi has expressed confidence in his team’s improvement following the recent international break, which provided a crucial opportunity to refine tactics and address key performance issues. Mwambusi (pictured) noted that the break offered an extended period to work with his players, lik...
null
GYMKHANA Cricket Club's cricketers have tightened their grip on the top place in Division B of the 2024 Tanzania Cricket Association (TCA) Dar 20 Overs Cup's Group A, walloping Karibu Tanzanite DCC by 82 runs early this week. The national cricket governing body has organized the showpiece, bringing together 12 teams, a...
null
YOUNG Africans SC head coach Sead Ramovic has expressed confidence in his squad as they gear up to take on Sudanese giants Al Hilal in their CAF Champions League Group Stage opener tomorrow at the Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam. The match marks Ramovic’s first competitive fixture since assuming the helm at the...
null
WITH countless Tanzanians still basking in the glory of the Taifa Stars’ brilliant qualification for the 2025 AFCON, it goes without saying that there is a feel-good factor among Tanzanians across the length and breadth of our great country. Following the Taifa Stars’ splendid exertions to seal a spot at the AFCON fina...
null
TANGA Queens garnered the 2024 TCA National Women's Championship title, commanding a 35-run victory over Morogoro Queens at the Leaders Club ground in Dar es Salaam recently. The Tanzania Cricket Association (TCA) organized showpiece targeted to improve women's cricket standards in the country. After weeks of hard-foug...
null
The Guardian Limited (The Guardian) has firmly positioned itself as a model of excellence, proudly known as The Home of Great Newspapers in Tanzania. IPPMEDIA continues to uphold its esteemed reputation in print, broadcasting and online media. Established in the mid-1990s, The Guardian emerged as a pioneering force in ...
null
Betway has established itself as a global innovator in the sports betting arena, and part of staying ahead in this ecosystem is the development of new, intuitive and easy-to-use features and products that make betting with Betway both easier and more rewarding. Betway has a great catalogue of features that they’ve brou...
null
TANZANIA's Lightweight boxer Ezra Mwanjwango on Monday became the country's second pugilist to garner a medal in the ongoing All-Africa Games in Ghana. Musa Maregesi was the country's first boxer to win a bronze medal in the ongoing Games. Mwanjwango last Monday night beat DR Congo boxer Frazier Mujinga 5-0 and the for...
null
TANZANIA's sports stakeholders have a chance to win eight return tickets to Dubai, should they win a special promotion, dubbed 'Twenzetu Dubai', conducted by an online betting firm Parimatch Tanzania. According to Parimatch Tanzania's Head of Marketing, Levis Paul, eight fans will win the tickets through the promotion ...
null
Football Sead Ramovic’s era begins as Yanga host Al Hilal YOUNG Africans kick off their CAF Champions League Group Stage campaign thie afternoon as they welcome Sudanese giants Al Hilal to Benjamin Mkapa Stadium. 12h ago CAF sanctions MC Alger: A boost for Yanga ahead of CAF 12h ago Tanzanian football pleasingly on the...
null
THE French Embassy, in collaboration with the Alliance Française in Dar es Salaam, has launched an exhibition project dubbed ‘Boxing Queens’ aiming at bringing Tanzanian female boxers to the fore of one of the main thoroughfares of the city. The two-year exhibition project led by Delphine Blast, was launched in Dar es ...
null
AFTER returning to South Africa, Mamelodi Sundowns' defensive midfielder Teboho Mokoena has challenged his outfit's fans to emulate Yanga supporters when the two sides meet in the 2023/24 CAF Champions League last eight rematch at Loftus Versfeld Stadium in Tshwane on Friday. The Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam...
null
Serengeti Breweries Limited (SBL) today unveiled the Lite Your Imagination campaign for its flagship beer brand, Serengeti Lite. The campaign is designed to inspire young Tanzanians tounleash their creativity, embrace self-expression, and together make things happen, plus have fun while doing it. The unique launch even...
null
Mwajuma Waziri addresses COP29 in Baku Photo: Guardian Correspondent © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED
null
Local News Data commission: Lenders risk fines THE PERSONAL Data Protection Commission (PDPC) has cautioned online lenders against demanding and using personal data of those seeking loans. 7h ago Jubilee Insurance boosts govt’s tree planting campaign with ‘Net Zero’ Initiative 3h ago TCRA, Comoros to team up on ICT adv...
null
Green Cement demand, globally, is estimated at US$38.5 billion in 2024, up from US$35 billion in 2023, and projected to post a CAGR of 10.1 percent between 2024 and 2030 to reach US$68.6 billion by 2030, according to the new report by ResearchAndMarkets.com. In contrast to conventional Portland cement, green cement emp...
null
Ghana's Foreign Exchange Act needs urgent revision to account for the growing influence of financial technology companies in the currency market, banking expert, Dr Richmond Atuahene has advised. Speaking against the backdrop of recent foreign exchange violations by traditional banks, Dr Atuahene said the current regul...
null
Ecobank Transnational Incorporated (ETI), parent of pan-African Ecobank Group, has opened the market at the London Stock Exchange (LSE) to celebrate the successful issuance of its US$400 million Senior Unsecured Eurobond on the London Stock Exchange main market. Jeremy Awori, CEO, Ecobank Group, said: “Our successful N...
null
As the world demands more “new” minerals such as copper, lithium and rare earths for use in smart technologies for decarbonisation and clean energy production, African countries have some key considerations to take into account to garner investment in its rich endowment of these minerals. In a panel hosted by Creamer M...
null
Uganda’s High Commissioner to Tanzania, Fred Mwesigye has underscored the transformative role of the oil and gas sector in both nations' economies. He highlighted the Uganda-Tanzania partnership, supported by the East African Crude Oil Pipeline (EACOP), as a model for regional integration and mutual growth. “Today’s fo...
null
TOURISTS from France and other parts of Europe are expected to flock to the Kilimanjaro and Arusha regions following the launch of direct flights from Paris to Kilimanjaro via Zanzibar. Air France has launched this new route to assist tourists visiting popular tourist destinations, particularly the Mount Kilimanjaro Na...