name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Waziri Mkuu wa Mauritius Pravind Jugnauth amekubali leo Jumatatu kwamba muungano wake unaelekea katika hali ya kusuasua katika uchaguzi wa bunge unaozozaniwa na kuzusha njia kwa upinzani kuchukua madaraka. Matokeo ya mwisho katika upigaji kura wa Jumapili bado hayajatolewa, lakini kiongozi wa upinzani Navin Ramgoolam a... |
null | Dozi 899,000 za awali za chanjo zimewasili katika nchi 9 barani Afrika ambazo zimeathiriwa sana na ugonjwa wa mpox ambao uko barani humo hivi sasa, Shirika la afya duniani-WHO na taasisi nyingine za afya zilisema siku ya Jumatano. WHO ilitangaza mpox ni dharura ya afya ya umma duniani kwa mara ya pili katika kipindi ch... |
null | Kufikia mwendo wa saa kumi na mbili alfajiri saa za Washington DC, Trump alikuwa akiongoza kwa kura 277 za wajumbe huku Harris akiwa na 224. Awali, Trump alipata ushindi katika majimbo yaliyokuwa na ushindani mkubwa ya Pennsylvania, Georgia na North Carolina na kumpa angalau kura 267 kati ya kura 270 zinazohitajika kup... |
null | Chama cha Republican kilishinda viti vingi katika bunge la seneti kwa kupata viti 51 kati ya 100 katika uchaguzi wa Jumanne. Udhibiti wa Baraza la Wawakilishi ambalo kwa sasa linashikiliwa na Warepublican ulikuwa bado haujaamuliwa kufikia mapema Jumatano. Viti vyote 435 katika Baraza la Wawakilishi vilikuwa kwenye kiny... |
null | Mapema Jumatano Trump alishinda uchaguzi wa urais wa Marekani baada ya kupata kura za wajumbe 292 kati ya 538. Harris hivi sasa ana kura 224. Makamu Rais wa Marekani atoa hotuba ya kukubali matokeo Kiungo cha moja kwa moja Makamu Rais wa Marekani na mgombea kwa tiketi ya Demokratik Kamala Harris akitoa hotuba ya kukuba... |
null | No media source currently available Jibu hapana mpaka pale wanapokuwa maraia. Kupata uraia ni mchakato mrefu ambao unaanza na kupata “green card” ambayo pia inajulikana kama kadi ya ukaazi halali wa kudumu. Sunday Shomari wa VOA anaeleza mchakato huo… Ona maoni Forum |
null | Makamu Rais Kamala Harris anataka sheria kali za udhibiti wa bunduki. Mpinzani wake, Rais wa zamani Donald Trump, ameahidi kuondoa masharti ya kudhibiti bunduki. Tukio la ufyatuaji risasi katika Shule ya Sekondari ya Apalachee. huko Winder, Georgia siku ya Jumatano ambalo limesababisha vifo vya watu kadhaa na wengine s... |
null | April tulizungumza na mmoja wa wanachama wa Waafrika wanaoishi ughaibuni ambaye pia anafikiria kutopiga kura. Jeff Swicord hivi karibu alimtembelea tena kuona kama ugombea wa Kamala Harris umemfanya afikirie tena uamuzi wake. Mkamiti Kibayasi anaisoma ripoti kamili. Mpiga kura wa Diaspora atoa maoni yake baada ya Kamal... |
null | Pia aliwarai wale ambao hawajaamua nani watampigia kura, akisisitiza kwamba amezisaida jamii za wachache na kwa mara nyingine kutilia shaka mchakato wa uchaguzi wa Marekani. Ungana na mwandishi wetu kwa taarifa kamili... Trump awahimiza wafuasi wake wa Republikan kumpatia fursa mara nyingine kuliongoza taifa Kiungo cha... |
null | Makamu Rais Kamala Harris, ambaye pia yuko katika kiyang’anyiro cha White House, alijiunga na wale ambao walikuwa wakishutumu ziara ya Trump na kudai ilikuwa ni ‘kujionyesha kisiasa.’ Sheria ya serikali kuu na sera za Pentagon na hivyo inaweza kusababisha ugomvi na mfanyakazi katika makaburi hayo. Siku ya Jumamosi, Har... |
null | Pia kuleta ahueni ya uchumi, kutokana na ahadi zake za kuhitimisha vita hivyo, huku wakizitaka nchi za Afrika kujifunza kutokana na uchaguzi huo. Wachambuzi wa siasa nchini Tanzania wanasema ushindi huo umetokana na sera za Donald Trump zilizojikita katika kumaliza migogoro ya kivita, kupunguza ushuru pamoja na kupungu... |
null | Ungana na mwandishi wa VOA akikuletea wasifu kamili wa mgombea huyo wa urais. Endelea kusikiliza. Wasifu wa Mgombea Urais kwa Tiketi ya Republikan Donald Trump Kiungo cha moja kwa moja Katika muda wa miaka tisa Rais wa zamani na pengine rais ajaye wa Marekani Donald Trump amekigeuza chama cha Republikan katika nchi ina... |
null | Kamala Harris, anasema: “Mama yangu alikuwa kipaji, alikuw ana urefu wa futi tano, kahawia na mwenye lafudhi.” Hadithi ya Kamala Harris inanza mwaka 1964 alipozaliwa, Kwenye vitongoji mbali mbali na vyema maendeleo katika eneo la San Franscisco Bay. Mwandishi wa VOA Khadija Riyami anasimulia.. Forum |
null | Siku ya uchaguzi, wapiga waliojiandikisha wanakwenda katika vituo vya kupigia kura kumchagua mgombea uraia wa chama chao. Rais kimsingi ataamuliwa na mfumo maarufu unaoitwa kura wa wajumbe. Kura za wajumbe inaundwa wa wawakillishi, au wapiga kura, ambao wametengwa kulinga na matokeo ya kupiga kura katika kila jimbo. Ma... |
null | “Nafikiri Marekani iko katika nafasi ya kipekee… dunia inaangalia kwa ukaribu sana uchaguzi wa Marekani kila unapofanyika”, ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili… 'Dunia inaangalia kwa ukaribu sana Uchaguzi wa Marekani' Kiungo cha moja kwa moja Wafanyakazi wa Ubalozi wa Marekani nchini Ethiopia wanaeleza ni... |
null | Katika kampeni, anazungumzia kuhusu siku muhimu za maisha yake huko Nebraska na vile zilivyoweza kumjenga, mgombea na gavana. Mwandishi wa VOA Natasha Mozgovaya alitembelea jimbo hilo kufahamu mengi zaidi jinsi watu wa Nebraska wanavyo mkumbuka na hisia zao juu yake. Sunday Shomari anaisoma ripoti kamili. Wasifu wa mgo... |
null | Lakini kuna wapiga kura waliobaki ambao wanasema hawajaamua kati ya Kamala Harris na Donald Trump. Ungana na wachambuzi wa siasa za Marekani wakikupa sababu inayofanya kuwepo makundi hayo mawili... Sababu za wapiga kura Marekani kuamua rais wanayemtaka na wengine wakitafakari Kiungo cha moja kwa moja Baadhi ya Wamareka... |
null | No media source currently available Vijana kutoka barani Afrika watuma ujumbe mbalimbali kwa Rais ajae atakaye chaguliwa kuongoza Marekani kutoka Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, Burkina Faso na Ethiopia, kuhusu masuala muhimu ya kitaifa na kimataifa. Ona maoni Forum |
null | Pia utaweza kusikia fikra za Mmarekani mwengine huko Somalia kuhusu Marekani kuwekeza zaidi katika bara la Afrika. Pia utaweza kujua uhusiano ulioko kati ya Marekani na Somalia kupitia maelezo ya Balozi wa Marekani nchini Somalia. Ungana na mwandishi VOA akikuletea taarifa kamili. Endelea kusikiliza... Mmarekani aeleza... |
null | Kwa sababu hii, wagombea urais wa Marekani wanaweza kuingia katika kinyang’anyiro hicho rasmi wakati wowote kabla ya uchaguzi. Haya ni maelezo kamili... Kampeni za Uchaguzi Marekani Zinaendelea Muda Mrefu Kuliko Nchi Nyingine Zote Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uchaguzi Kenya 2013 - Ke... |
null | JD Vance alikulia katika eneo la Appalachia kaskazini alisoma katika chuo mashuhuri kinachojulikana kama Ivy League na huenda atakuwa makamu rais kijana katika historia ya Marekani. Lakini kabla ya kufika hapo mwandishi wa Sauti ya Amerika Carolyn Presutti ametutayarishia wasifu wake unaosimuliwa hapa na abdushakur Abo... |
null | Hii kitadamuni inarejea nyuma takriban miaka 200 iliyopita wakati Marekani ilipokuwa ikionekana tofauti sana na ilivyo hivi leo. Kennes Bwire anatupasha zaidi. Mwishoni mwa miaka ya 1700 na mwanzoni mwa 1800, majimbo ya Marekani yaliitisha uchaguzi wa rais katika kipindi cha siku 34, ambayo uligeuka kuwa na matatizo. W... |
null | Ungana na mwandishi wetu akikuletea sababu inayopelekea kuwepo wasiwasi huo, Endelea kusikiliza... Wasiwasi unatokana na nini wakati Marekani ikielekea katika uchaguzi Novemba 05? Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uchaguzi Kenya 2013 - Kesi za Wakenya Mbele ya ICC - Fainali za Kombe la Af... |
null | Afrika yataka usawa wa utekelezaji demokrasia kwa wote "Matarajio yetu katika uongozi mpya ni suala la demokrasia. Sisi ni wafuasi wa demokrasia. Kwa vile wao wanaunga mkono demokrasia katika nchi yao tunakubali hivyo," mmoja wa watoa maoni huko Afrika ataka demokrasia utekelezaji wake uwe kwa usawa kwa nchi zote. Ende... |
null | Mapema Jumatano Trump alishinda uchaguzi wa urais wa Marekani baada ya kupata kura za wajumbe 292 kati ya 538. Harris hivi sasa ana kura 224. Makamu Rais wa Marekani atoa hotuba ya kukubali matokeo Kiungo cha moja kwa moja Makamu Rais wa Marekani na mgombea kwa tiketi ya Demokratik Kamala Harris akitoa hotuba ya kukuba... |
null | Wagombea wa chama cha Republikan akiwemo Ron DeSantis, Nikki Haley, na Vivek Ramaswamy wanataka kumuondoa Rais wa zamani Donald Trump ambaye ni mgombea mkuu, hatimaye kuwa mgombea wa chama hicho kukabiliana na Rais aliyeko madarakani Joe Biden katika uchaguzi mkuu wa Novemba 2024. Endelea kusikiliza ripoti kamili ya ma... |
null | Viongozi wa dunia walitoa pongezi kwa Donald Trump baada ya makadirio ya vyombo vya habari kuonyesha kuwa alipata ushindi mnono katika uchaguzi wa rais wa 2024 wa Marekani. Trump alimshinda mpinzani wake wa chama cha Democratic Kamala Harris, na hivyo kuashiria kurejea kisiasa kwa rais huyo wa zamani wa chama cha Repub... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share Makamu Rais wa Marekani atoa hotuba ya kukubali matokeo by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has been copied to your clipboard... |
null | Harris, mgombea wa Democratik, na Trump, ambaye ni mgombea wa Repablikan, wote wawili walielekea kwenye jimbo la North Carolina kabla ya kuelekea Wisconsin, wakati Harris pia akifanya kampeni kwenye jimbo jingine muhimu mashariki mwa Marekani la Pennsylvania. Majimbo hayo matatu ni muhimu yakiwemo pia Michigan, Georgia... |
null | Leban Seyoum ni mtu mwenye bidii sana. Anafanya kazi masaa mengi akiendesha kampuni ndogo ya usafiri yenye magari makubwa ya mizigo. “Tutaiacha iendelee kuwaka kwa dakika chache," anasema. Alikuja Marekani na familia yake alipokimbia vita kati ya Ethiopia na Eirtrea mwaka 2000. Leban Seyoum, mfuasi wa Trump anaeleza:“W... |
null | Watu 18 wauwawa Msumbiji katika mapambano na polisi wakiandamana kupinga matokeo ya uchaguzi. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Watu 18 wauwawa Msumbiji katika mapambano na polisi wakiandamana kupinga matokeo ya uchaguzi. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ... |
null | Mdahalo huo uliowakutanisha ana kwa ana kwa mara ya kwanza, kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Novemba. Jukwaa liliandaliwa kwa kile ambacho huenda ikawa ni muda muhimu wa kampeni kuelekea uchaguzi wa rais wa Marekani Novemba 5. Wagombea hao wawili hawajawahi kukutana au hata kuzungumza kwa simu, lakini Jumanne walisimama um... |
null | Majimbo haya yanayoshindaniwa yanashuhudia kampeni kali za kisiasa na za gharama, na wapiga kura wake wanaushawishi mkubwa katika uchaguzi huo. Kwa hivyo hili linafanyika vipi? Majimbo mengi zaidi yanatabirika kuwa mekundu au bluu (Republikan au Democratic), hivyo chaguzi zao hazina ushindani. Lakini katika swing state... |
null | Biden alimkaribisha Trump kwa ziara ya kawaida, kuonyesha kuwa Januari 20 kutakuwa na makabidhiano ya amani ya madaraka katika demokrasia ya marekani kati ya kiongozi wa sasa wa Marekani na mtendaji mkuu anayeingia katika wadhifa huo. Utamaduni wa kumkaribisha rais anayeingia madarakani ni moja ya jambo ambalo Trump ha... |
null | Sikiliza ripoti kamili ikielezea kero mbalimbali zinazohusu ushirikiano uliopo kati ya Afrika na Marekani. Endelea kusikiliza... 'Afrika imeamka hatuwezi kukubali mtu yoyote kutuamuru...' "Afrika imeamka hatuwezi kukubali mtu yoyote kutuamuru hata kama ni Marekani" ni moja ya ujumbe kutoka kwa wananchi wa Afrika kwa wa... |
null | Vitisho vya awali vilitokea Jumanne na kusababisha kusimamishwa kwa muda upigaji kura kwenye baadhi ya vituo katika sehemu za kusini mashariki mwa jimbo la Georgia. Lakini maafisa kwa haraka walithibitisha havikuwa vya kweli. “tulitambua chanzo chake kuwa Russia,” alisema waziri wa mambo ya nje wa Georgia Brad Raffensp... |
null | Hata hivyo, hesabu ya kura kitaifa haiamui mgombea gani anashinda kuingia White House. Electoral College yaani kura za wajumbe ndiyo zenye kauli ya mwisho. Lakini utaratibu huu unafanya kazi vipi. Wakati wagombea wanaposhinda kura ya umma, ina maana wamepata kura nyingi zaidi kuliko mshindani wake. Lakini hivi sivyo ra... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share Majaji wa mahakama ya ICC watoa kibali cha kukamatwa viongozi wa Israeli by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has been copied ... |
null | Rais wa Kenya alihutubia taifa, afanya maamuzi makubwa ikiwemo mabadiliko katika mikataba. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Rais wa Kenya alihutubia taifa, afanya maamuzi makubwa ikiwemo mabadiliko katika mikataba. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kis... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share ZULIA JEKUNDU: Wiki ya mitindo ya Lagos yafana by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has been copied to your clipboard Auto 240... |
null | ZULIA JEKUNDU: Wiki ya mitindo ya Lagos yafana Matukio - Novemba 23, 2024 Mwanamuziki Chris Stapleton atwaa tuzo 4 za muziki wa Country - Oktoba 13, 2024 Mwanamuziki mkongwe Cissy Houston akumbukwa - Oktoba 07, 2024 Mwigizaji John Amos akumbukwa kwa kazi zake Forum |
null | Pia utaweza kupata ushahidi mwingine kutoka kwa Shirika la Wanawake lisilokuwa la kiserikali linalotetea maslahi ya uchumi wa Zambia na usawa wa kijinsia wakieleza changamoto zinazowakabili wanawake nchini humo. Juliet Chibuta, mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya National Women Lobby anatoa kwa muhtasari yale ambayo yame... |
null | Jumanne 26 Novemba 2024 - Novemba 23, 2024 Mwanamuziki Chris Stapleton atwaa tuzo 4 za muziki wa Country - Oktoba 15, 2024 Ni namna gani jamii inaangazia huduma ya kiroho katika uponyaji. - Oktoba 07, 2024 Mwigizaji John Amos akumbukwa kwa kazi zake - Oktoba 03, 2024 Mambo ya kukumbukwa aliyoyaacha nyota wa NBA Marehem... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:49 Back to top XS SM MD LG |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:49 Video Matukio Kuhusu Back to top XS SM MD LG |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share Je, ni alama zipi zinaifanya Zambia kuwa imeimarika katika kukabiliana na hujuma za ufisadi? by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The ... |
null | Ripoti mpya wiki hii ya Timu ya Ufuatiliaji wa Vikwazo ya Umoja wa Mataifa kwa Somalia inaonya kwamba wapiganaji, wakiwemo baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati, wamesaidia kundi lenye uhusiano na Islamic State, linalojulikana kama IS-Somalia, kuwa na ukubwa wa zaidi ya mara mbili na kufikia kati ya wapiganaji 600 na 700... |
null | Umoja wa Ulaya utamwita balozi wake kutoka Niger baada ya utawala wa kijeshi wa nchi hiyo kutilia shaka usimamizi wa ujumbe wa Umoja wa Ulaya wa misaada ya kibinadamu iliyokusudiwa kwa waathiriwa wa mafuriko, Shirika la Huduma za Nje la Ulaya (EEAS) lilisema Jumamosi. Serikali ya Niger ilitoa taarifa siku ya Ijumaa iki... |
null | Zaidi ya wachimbaji haramu 1000 tayari wametoka katika wiki za hivi karibuni wakati polisi wakiendelea na msako, angalau mwili mmoja wa mtu aliyekufa umeletwa juu ya ardhi . Mamia wanaaminika bado wamekwama chini ya ardhi kwenye shimo lenye kina cha zaidi kilomita 2. Taasisi za kiraia zinaowawakilisha wale waliobaki ka... |
null | Issa Kaou N’Djim ambaye awali alimuunga mkono kiongozi wa sasa wa kijeshi wa Mali , Kanali Assimi Goita, alikamatwa kwa tuhuma za kumtusi kiongozi wa taifa jirani, ambayo ni hatia nchini Mali, mfanyakazi mmoja wa mahakama amesema. Mafanyakazi huyo aliambia shirika la habari la AP bila kutaka kutajwa kuwa hakuwa na idhi... |
null | Ushindi huo unahitajika ili kuweza kutekeleza ahadi zao za mageuzi mkubwa waliotoa na kuweza kuingia madarakani miezi minane iliyopita. Miongoni mwa ahadi hizo ni mageuzi ya kiuchumi, usawa wa kijamii na kupambana na rushwa. Rais Bassirou Faye, alipata asili miami 54 za kura mwezi march na hivyo kuongeza matumaini ya i... |
null | Huku ushahidi ukionyesha kuwa kutokana na mzozo huu mbaya huenda idadi ikawa kubwa zaidi kuliko ilivyorekodiwa awali, kwa mujibu wa ripoti ya watafiti kutoka Uingereza na Sudan. Idadi hiyo inajumuisha watu takriban 26,000 waliouwawa kikatili, idadi inakadiriwa ni kubwa zaidi ya ile inayotumiwa hivi sasa na Umoja wa Mat... |
null | Al Hassan alikutwa na hatia Juni 26 kwa jukumu lake katika polisi ya Kiislamu wakati waasi walipoikamata Timbuktu. Mashtaka yalijumuisha mateso na vitendo vya ukatili. Majaji walimkuta na hatia Al Hassan akiwa na mchango mkubwa katika kundi la Kiislamu la Ansar Dine ambalo liliweka sheria ya Sharia katika mji. Hata hiv... |
null | Zaidi ya asilimia 91 ya wapiga kura wameidhinisha katiba mpya katika kura ya maoni iliyofanyika Jumamosi, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Gabon Hermann Immongault amesema katika taarifa yake iliyosomwa kwenye televisheni ya taifa. Waliojitokeza walikadiriwa kuwa asilimia 53.5 taarifa yake iliongeza kusema. Matokeo ya mwish... |
null | Rais wa China Xi Jinping alifanya ziara fupi nchini Morocco siku ya Alhamisi, kulingana na vyombo vya habari vya serikali kutoka nchi zote mbili. Xi alikaribishwa mjini Casablanca na Mwanamfalme Moulay El Hassan na ziara hiyo ilionyesha uhusiano mkubwa wa urafiki, ushirikiano, na mshikamano kati ya watu wa Morocco na C... |
null | Kupitia barua iliyotiwa saini na Maaskofu 11, wamelalamikia kile wamesema ni kuminywa kwa uhuru wa demokrasia kufuatia mashitaka yaliyofuguliwa dhidi ya viongozi 6 wa upinzani, wanahabari pamoja na wanaharakati. Baraza hilo ndilo linaloongoza kanisa Katoliki nchini humo, chini ya uongozi wa Ignatius Chama, ambaye ni as... |
null | Iran imesema Jumapili kuwa itafanya mazungumzo ya nyuklia katika siku zijazo na nchi tatu za Ulaya ambazo zilianzisha azimio la kupinga azimio dhiai yake lililopitishwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kudhibiti silaha za atomiki. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Iran, Esmaeil Baghaei amesema mkutano wa manaibu ma... |
null | Kampuni ya Adani Energy Solutions ilisema Jumamosi kwamba Kenya kufuta mradi wa usambazaji umeme wa takriban dola milioni 736 ilikuwa hakuna haja ya kuelezea kanuni zozote kwa mujibu wa sheria ya kanuni za hisa za India kwa vile ilikuwa ndani ya mpango wa kawaida wa biashara. Kampuni ilisema ilikuwa inajibu ombi la kut... |
null | Wachimbaji wako katika mvutano na polisi ambao wamezuia kupelekewa chakula na maji, na wanajaribu kuwalazimisha kutoka ili wakamatwe kwa sababu ya kuingia kinyume cha sheria kwenye machimbo ulioachwa wakitafuta dhahabu zilizobaki , hili ni tatizo la kawaida Afrika Kusini. Zaidi ya wachimbaji haramu 1000 tayari wametoka... |
null | Modi amekutana na Rais Bola Tinubu na kurudia tena kile wanachokieleza ni kuimarisha ushirikiano wa usalama kati ya mataifa yao makuu ya Asia na Afrika. Taarifa iliyotolewa na ikulu ya Abuja, inaeleza kwamba viongozi hao wawili walijadili juu ya masuala ya kiuchumi, ulinzi, huduma za afya na usalama wa chakula kati ya ... |
null | Tume ya uchaguzi ya kitaifa ya Somaliland ilisema kuwa zoezi hilo lilifungwa saa 12 za jioni kwenye vituo 2,000 vya kupigia kura. Zaidi ya wapiga kura milioni moja walikuwa wamejiandikisha kupiga kura, wakati shughuli za kuhesabu kura zikianza mara moja baada ya vituo kufungwa, tume ya uchaguzi imeongeza kusema. Mwenye... |
null | Wafanyakazi wa uokoaji nchini Tanzania walifanya kazi ya kuwafikia watu ambao bado wamekwama katika jengo lililoporomoka katika mji mkuu wa kibiashara wa Dar es Salaam leo Jumatatu, huku idadi ya vifo ikiongezeka na kufikia 16. Shughuli za uokoaji zinaendelea kwa sababu baadhi ya watu bado wamekwama katika jengo hilo, ... |
null | Ofisi ya Waziri Mkuu wa Mauritius imesema hatua ya kufunga mitandao ya kijamii ni muhimu kwa usalama wa taifa. Hatua ya Masisi kukubali kushindwa imejiri kabla ya matokeo rasmi kutangazwa. Matokeo rasmi yanatarajiwa baadae. Mafisa wa kijeshi, na wanadiplomasia wa Marekani na Korea Kusini wamesema Alhamisi kwamba wengi ... |
null | China imeongeza juhudi za kuimarisha ushirikiano na Umoja wa Ulaya baada ya uchaguzi wa Marekani, wakati maafisa wake wa ngazi ya juu, pamoja na vyombo vya habari wakisema kuwa hatua hiyo itakuwa na manufaa kwa Beijing na Brussels. Wizara ya Biashara ya China imeishutumu Marekani kwa kile imekitaja kama matumizi mabaya... |
null | Dhoruba kubwa iliyokuwa ikipita Kaskazini mwa California siku ya Alhamisi iliangusha theluji kubwa na mvua kubwa na kusababisha mafuriko Saa kadhaa baada ya mteule wake wa kwanza kujitoa, Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ametangaza chaguo lake jipya la mwanasheria mkuu kwa kumteua Pam Bondi. Serikali ya Marekani,... |
null | WHO ilitangaza mpox ni dharura ya afya ya umma duniani kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili Kuondoka kwa kundi hilo kulichangiwa na hasira namna utawala wa Biden ulivyoshughulikia vita huko Gaza. Washirika wa Marekani barani Ulaya wamempongeza Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, kufuatia ushindi wake kat... |
null | Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua Susie Wiles, aliyekuwa meneja wa kampeni yake ya ushindi, kuwa mkuu wa wafanyikazi wa White House, na kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia nafasi hiyo yenye ushawishi. WHO ilitangaza mpox ni dharura ya afya ya umma duniani kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili Ku... |
null | China imeongeza juhudi za kuimarisha ushirikiano na Umoja wa Ulaya baada ya uchaguzi wa Marekani, wakati maafisa wake wa ngazi ya juu, pamoja na vyombo vya habari wakisema kuwa hatua hiyo itakuwa na manufaa kwa Beijing na Brussels. Wizara ya Biashara ya China imeishutumu Marekani kwa kile imekitaja kama matumizi mabaya... |
null | Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua Susie Wiles, aliyekuwa meneja wa kampeni yake ya ushindi, kuwa mkuu wa wafanyikazi wa White House, na kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia nafasi hiyo yenye ushawishi. WHO ilitangaza mpox ni dharura ya afya ya umma duniani kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili Ku... |
null | Mgombea urais wa chama cha Democratic Kamala Harris anafanya kampeni huko Michigan Jumapili huku mpinzani wake wa chama cha Republican Donald Trump akisimama katika majimbo matatu ya mashariki yenye ushindani mkali Ofisi ya Waziri Mkuu wa Mauritius imesema hatua ya kufunga mitandao ya kijamii ni muhimu kwa usalama wa t... |
null | Ofisi ya Waziri Mkuu wa Mauritius imesema hatua ya kufunga mitandao ya kijamii ni muhimu kwa usalama wa taifa. Hatua ya Masisi kukubali kushindwa imejiri kabla ya matokeo rasmi kutangazwa. Matokeo rasmi yanatarajiwa baadae. Mafisa wa kijeshi, na wanadiplomasia wa Marekani na Korea Kusini wamesema Alhamisi kwamba wengi ... |
null | Wagombea wote wawili walifanya kampeni Jumatatu huko Pennsylvania, moja ya majimbo yaliyotazamwa kwa karibu. Je umewahi kufikiria kwanini uchaguzi wa rais wa Marekani mara zote hufanyika wakati wa majira ya kipupwe na siku ya Jumanne? Wamarekani wanakwenda kwenye vituo hivi leo Novemba 5 kupiga kura kumchagua rais ajay... |
null | Dhoruba kubwa iliyokuwa ikipita Kaskazini mwa California siku ya Alhamisi iliangusha theluji kubwa na mvua kubwa na kusababisha mafuriko Saa kadhaa baada ya mteule wake wa kwanza kujitoa, Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ametangaza chaguo lake jipya la mwanasheria mkuu kwa kumteua Pam Bondi. Serikali ya Marekani,... |
null | Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken alimtambua Gonzalez katika ujumbe wa X ambapo pia alidai kuwa ni heshima wapiga kura wa Venezuela. Utawala wa Rais wa Marekani, Joe Biden umesema Gonzalez alipata kura nyingi zaidi katika uchaguzi ulipingwa wa Julai 28 lakini umeshindwa kumtambua kama rais mteule. Tume... |
null | Wizara ya Biashara ya China imeishutumu Marekani kwa kile imekitaja kama matumizi mabaya ya kanuni za biashara nje ya nchi. Kushuka kwa vifo kutokana na utumizi kupita kiasi wa dawa za kulevya hapa Marekani mwaka huu kumetoa matumaini kwa wataalam kwamba hatua muhimu zimepigwa katika kupambana na janga hilo. Rais-mteul... |
null | Ikiwa imebaki miezi miwili utawala wa Rais Joe Biden, umalizike, Marekani inazidisha msaada wa kifedha, kijeshi na kidiplomasia kwa juhudi za Kyiv, kujilinda dhidi ya uvamizi wa Russia. Jengo la ghorofa nne lilianguka Jumamosi katika soko la Kariakoo na timu ya wataalamu 19 imeteuliwa kukagua majengo ya eneo hilo Rais ... |
null | Mahakama ya Juu ya Marekani Jumanne imepinga ombi la aliyekuwa mgombea huru wa urais Robert F. Kennedy Jr, la kuondolewa kwenye karatasi ya kura ya majimbo ya Wisconsin na Michigan, kwenye uchaguzi wa Novemba 5. Mashambulizi kadhaa yaliyolenga masanduku ya kubebea kura kote Marekani yameongeza shinikizo kwa maafisa wa ... |
null | Polisi wanasema kampeni hiyo ilisababisha vifo vya watu 6,000 huku makundi ya haki za binadamu yanakadiria maelfu waliuawa Waziri wa mambo ya nje Antony Blinken amesema sera ya kizuizi cha Visa itatumika kwa watu maalum wanaohujumu demokrasia Polisi nchini Malawi walimkamata Kaliati, katibu mkuu wa chama cha upinzani c... |
null | Matokeo ya mwisho bado hayajatolewa lakini kiongozi wa upinzani Navin Ramgoolam anaonekana kuwa waziri mkuu kwa mara ya tatu Wachambuzi wanasema ongezeko la malalamiko ya kiuchumi hasa miongoni mwa vijana yalichangia ushindi mkubwa wa Boko. Trump alisema Elise ni mpiganaji imara, mwenye nguvu, na mwerevu anayeliweka ta... |
null | Matokeo hayo yanaweza kudhoofisha nguvu ya Ishiba na pengine kusababisha Japan kuingia katika hali ya sintofahamu ya kisiasa. Uganda imeshuhudia visa hivyo huku watu wakikimbilia kuiba mafuta kutoka kwenye malori yaliyopata ajali barabarani. Baadhi ya majengo yaliyoharibiwa yako katika kambi ya kijeshi ya Parchin nchin... |
null | Rais-mteule wa Marekani, Donald Trump Jumatano alikwenda White House kwa mara ya kwanza baada ya miaka minne kukutana na Rais anayeondoka mamlakani Joe Biden. Mamlaka ya kitaifa ya kusimamia safari za ndege hapa Marekani Jumanne imetangaza kuwa itapiga marufuku safari za ndege za Marekani kuelekea Haiti kwa siku 30 kuf... |
null | Mwanasheria mkuu wa zamani wa Florida, Bondi, alikuwa ni miongoni mwa wanasheria wa timu ya mawakili wa Trump wakati wa kesi yake ya kwanza iliyokuwa nia ya kumuondoa madarakani. Bondi amekuwa mwendesha mashitaka zaidi ya miaka 18, na alikuwa mwanamke wa kwanza kushikili wadhifa wa mwanasheria mkuu wa Florida. Pia ni m... |
null | Kabla ya siku ya uchaguzi Democrats walikuwa na udhibiti mdogo wa Seneti na Republicans katika Baraza la Wawakilishi. Viongozi wa dunia walitoa pongezi kwa Donald Trump baada ya makadirio ya vyombo vya habari kuonyesha kuwa alipata ushindi mnono katika uchaguzi wa rais wa 2024 wa Marekani. Msafara wa takriban wahamiaji... |
null | Grossi ataenda Iran kujadili program yake ya nyuklia na anatarajia kufanya kazi vyema na rais mteule wa Marekani Donald Trump. Nchi hiyo yenye watu milioni 1.3 inajitangaza yenyewe kama kiungo kati ya Afrika na Asia. Idara ya usafiri wa anga ya Russia lilisema viwanja vya ndege vya vitatu vilibadilisha mwelekeo wa anga... |
null | Jengo la ghorofa nne lilianguka Jumamosi katika soko la Kariakoo na timu ya wataalamu 19 imeteuliwa kukagua majengo ya eneo hilo Rais wa Marekani Joe Biden, ameanza safari ya kihistoria ya Brazil Jumapili, akiwa rais wa kwanza wa Marekani aliyepo madarakani kutembelea msitu wa Amazon. China imeongeza juhudi za kuimaris... |
null | Zvi Kogan mwenye miaka 28 kiongozi wa Orthodox alipotea Alhamisi alikuwa na duka la vyakula vya Kosher mjini Dubai. Masuala mbalimbali ya kikanda na kimataifa ikijumuisha masuala ya Palestina na Lebanon pamoja na suala la nyuklia yatajadiliwa. Kenya ilisisitiza haihusiani na kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani na mkosoa... |
null | Mashambulizi kadhaa yaliyolenga masanduku ya kubebea kura kote Marekani yameongeza shinikizo kwa maafisa wa majimbo na mitaa, wanaotarajia kuwepo kwa uchaguzi wa amani wa rais mwaka huu. Polisi wanasema kampeni hiyo ilisababisha vifo vya watu 6,000 huku makundi ya haki za binadamu yanakadiria maelfu waliuawa Waziri wa ... |
null | Dhoruba kubwa iliyokuwa ikipita Kaskazini mwa California siku ya Alhamisi ilisababisha theluji kubwa na mvua kubwa na kusababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo, baada ya kuua watu wawili na kukatika kwa umeme kwa maelfu ya watu katika Pasifiki Kaskazini Magharibi. Watabiri wa hali ya hewa walionya kwamba hatari ya m... |
null | Serikali ya Marekani, Jumanne imemtambua mgombea wa upinzani wa Venezuela, Edmundo Gonzalez, kama rais mteule wa nchi hiyo ya Amerika Kusini, miezi kadhaa baada ya Rais Nicolas Maduro kutangaza ushindi wa uchaguzi wa Julai. Ikiwa imebaki miezi miwili utawala wa Rais Joe Biden, umalizike, Marekani inazidisha msaada wa k... |
null | Huldah Momanyi Hiltsley aliweka historia hapo Novemba 5 alipokua mhamiaji wa kwanza mzaliwa wa Kenya kuchaguliwa mbunge wa jimbo la Minnesota. Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua Thomas Homan, ambaye alikuwa kaimu mkuu wa uhamiaji kwenye muhula wake wa kwanza, kama mkuu wa uhamiaji kwenye serikali yake mpya. ... |
null | Mgombea urais wa chama cha Democratic Kamala Harris anafanya kampeni huko Michigan Jumapili huku mpinzani wake wa chama cha Republican Donald Trump akisimama katika majimbo matatu ya mashariki yenye ushindani mkali Ofisi ya Waziri Mkuu wa Mauritius imesema hatua ya kufunga mitandao ya kijamii ni muhimu kwa usalama wa t... |
null | Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu alianza mkondo wa mwisho wa msimu wa sherehe akiwa madarakani kweye White House kwa kutoa msamaha kwa bata mzinga wawili ambao hawatachinjwa wakati wa Sikukuu ya Kutoa Shukurani mwishoni mwa wiki, wakiwa kusini mwa jimbo la Minnesota. Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameondolewa ... |
null | Ninatoa wito nchi wanachama kutimiza wajibu wao na kuhakikisha wanafuata mkataba wa kimataifa unaopiga marufuku mabomu Mamlaka ya Bandari, Bahari, na Mto Madagascar (APMF) imesema boti hizo zilisafiri kutoka Somalia kuelekea eneo la Ufaransa. Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema kuwa “ana wasi wasi” kutokana na... |
null | China imeongeza juhudi za kuimarisha ushirikiano na Umoja wa Ulaya baada ya uchaguzi wa Marekani, wakati maafisa wake wa ngazi ya juu, pamoja na vyombo vya habari wakisema kuwa hatua hiyo itakuwa na manufaa kwa Beijing na Brussels. Wizara ya Biashara ya China imeishutumu Marekani kwa kile imekitaja kama matumizi mabaya... |
null | Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris, na rais wa zamani Donald Trump Jumatano wamepeleka kampeni zao kwenye majimbo yenye ushindani mkubwa, ikiwa juhudi ya kushawishi wapiga kura zikiwa zimebaki siku 6 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu ambao umekuwa vigumu kutabiri. Mahakama ya Juu ya Marekani Jumanne imepinga o... |
null | Serikali ya Marekani, Jumanne imemtambua mgombea wa upinzani wa Venezuela, Edmundo Gonzalez, kama rais mteule wa nchi hiyo ya Amerika Kusini, miezi kadhaa baada ya Rais Nicolas Maduro kutangaza ushindi wa uchaguzi wa Julai. Ikiwa imebaki miezi miwili utawala wa Rais Joe Biden, umalizike, Marekani inazidisha msaada wa k... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:51 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano SUBSCRIBE: Apple Podcasts Subscribe Back to ... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:51 Alfajiri Subscribe Subscribe Apple Podcasts Subscribe Home Kuhusu Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuh... |
null | Katiba ya Marekani haielezi chochote kuhusu vyama vya siasa, na George Washington – yeye mwenyewe rais wa kwanza na pekee kuchaguliwa bila ya kuwakilisha chama cha siasa – alitahadharisha dhidi ya vyama katika hotuba yake ya kuliaga taifa. Hii hapa ripoti kamili ikisomwa na mwandishi wa VOA Kennes Bwire... Uchaguzi wa ... |
null | - Julai 28, 2023 JARIDA LA WIKI JULY 29 2023 - Agosti 24, 2021 Kenyatta ashauri makamu wake ajiuzulu - Februari 23, 2021 Tundu Lissu amkosoa Magufuli - Februari 23, 2021 Lisu amkosoa Magufuli kuhusu Covid-19 - Mei 15, 2019 Freedom House report on NGOs - Septemba 21, 2018 Kwa nini wapinzani wakimbilia CCM Tanzania? - Fe... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.