name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
No media source currently available Wanawake wenye msongo wa mawazo washauriwa kupata ushauri badala ya Skanka
null
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
null
Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:53 VOA Express Subscribe Subscribe Apple Podcasts Subscribe Home Kuhusu Vijana wanataka wasiachwe nyuma katika kulinda ma...
null
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
null
No media source currently available Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Ofisi ya Waziri Mkuu wa Mauritius imesema hatua ya kufunga mitandao ya kijamii ni muhimu kwa usalama wa taifa. Hatua ya Masisi kukubali kushindwa imejiri kabla ya matokeo rasmi kutangazwa. Matokeo rasmi yanatarajiwa baadae. Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini Choe Son Hui, amewasili Moscow kwa mazungumzo na mwenz...

Takriban watu 51 wamekufa kutokana na mafuriko yaliyotokea mashariki mwa mkoa wa Valencia nchini Uhispania kutokana na mvua za vipindi zilizonyesha jumanne ambazo pia zimeharibu Barabara na kupelekea miji kukumbwa na mafuriko, maafisa wamesema leo. Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameandikia barua Wazir...
null
Baraza la mpito la Haiti, ambalo liliundwa ili kurejesha mfumo wa demokrasia nchini humo, Jumapili limetia saini amri ya kiutendaji ya kumfuta kazi kaimu waziri mkuu Garry Conille, na kuteuwa mfanyabiasha Alix Didier Fils-Aime, ambaye awali aliitaka kazi hiyo, kuchukua nafasi yake.
null
Jengo la ghorofa nne lilianguka Jumamosi katika soko la Kariakoo na timu ya wataalamu 19 imeteuliwa kukagua majengo ya eneo hilo Kundi la viongozi wa zamani na wataalamu wa hali ya hewa wanasema mazungumzo ya kila mwaka ya Umoja wa Mataifa ya hali ya hewa hayafai tena kwa malengo yaliyoko. Kundi la kutetea haki za bina...
null
Zvi Kogan mwenye miaka 28 kiongozi wa Orthodox alipotea Alhamisi alikuwa na duka la vyakula vya Kosher mjini Dubai. Masuala mbalimbali ya kikanda na kimataifa ikijumuisha masuala ya Palestina na Lebanon pamoja na suala la nyuklia yatajadiliwa. Kenya ilisisitiza haihusiani na kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani na mkosoa...
null
Baraza la mpito la Haiti, ambalo liliundwa ili kurejesha mfumo wa demokrasia nchini humo, Jumapili limetia saini amri ya kiutendaji ya kumfuta kazi kaimu waziri mkuu Garry Conille, na kuteuwa mfanyabiasha Alix Didier Fils-Aime, ambaye awali aliitaka kazi hiyo, kuchukua nafasi yake.
null
Mamia ya wanaharakati wa mazingira waliandamana siku ya Jumamosi katika mji wa Busan Korea Kusini kudai kuwa na ahadi kubwa zaidi za kimataifa za kupambana na taka za plastiki katika mazungumzo ya Umoja wa Mataifa mjini humo wiki ijayo. Takriban watu elfu moja wakiwemo wa vikundi vya asili, vijana na wakusanya taka was...
null
Chama cha Waziri Mkuu wa India Narendra Modi na washirika wake wanatazamiwa kurejea mamlakani katika jimbo tajiri zaidi la taifa hilo, vituo vya televisheni viliripoti leo Jumamosi, ikiwa ni msukumo wa kutia moyo kwa kiongozi huyo wa Kihindu baada ya uchaguzi mkuu uliokatisha tamaa. Huko Maharashtra makao makuu mji mku...
null
Vikosi vya Israel vilifanya mashambulizi kadhaa makubwa ya anga Alhamisi kulenga vitongoji vya kusini mwa Beirut, siku moja baada ya kufanya mashambulizi makubwa mashariki na kusini mwa Lebanon, na kuua watu 52 na kujeruhi wengine 161, kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Lebanon. Mkuu wa NATO, Mark Rutte, Alhamisi amesema ...
null
Maafisa wa Palestina wanasema shambulizi la ndege zisizo na rubani za Israel katika kliniki moja kaskazini mwa Gaza ambako watoto walikuwa wakipatiwa chanjo ya polio lilijeruhi watu sita wakiwemo watoto wanne. Lakini Jeshi la Israel lilikanusha kuhusika. Mgombea urais wa chama cha Democratic Kamala Harris anafanya kamp...
null
Katika hotuba yake kwenye maonyesho ya kijeshi siku ya Alhamis mjini Pyongyang, Kim alisema uzoefu wake wa awali wa mashauriano na Washington ni kuangazia sera yake ya “uchokozi na uadui” dhidi ya Pyongyang, KRT imesema. Wakati wa utawala wa Rais-mteule Donald Trump, Trump na Kim walifanya mikutano mitatu isiyo ya kawa...
null
Kundi la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch Alhamisi limeishutumu Israel kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu kutokana na vita vyake dhidi ya kundi la Hamas huko Gaza, dai ambalo imelikanusha. Idhaa ya Uajemi ya Sauti ya Amerika Alhamisi imeelezea kushtushwa na pia kuomboleza kufuatia kujiua k...
null
Baraza la mpito la Haiti, ambalo liliundwa ili kurejesha mfumo wa demokrasia nchini humo, Jumapili limetia saini amri ya kiutendaji ya kumfuta kazi kaimu waziri mkuu Garry Conille, na kuteuwa mfanyabiasha Alix Didier Fils-Aime, ambaye awali aliitaka kazi hiyo, kuchukua nafasi yake.
null
Grossi ataenda Iran kujadili program yake ya nyuklia na anatarajia kufanya kazi vyema na rais mteule wa Marekani Donald Trump. Nchi hiyo yenye watu milioni 1.3 inajitangaza yenyewe kama kiungo kati ya Afrika na Asia. Idara ya usafiri wa anga ya Russia lilisema viwanja vya ndege vya vitatu vilibadilisha mwelekeo wa anga...
null
Uhispania inapeleka wanajeshi 7,500 katika eneo lake la mashariki lililokumbwa na mafuriko makubwa, serikali ilisema Jumatatu Israel Jumapili imesema imeanzisha uvamizi wa ardhini Syria, kushikilia kile kilichoelezwa na Syria kujihusisha na mitandao ya Iran inayowasaidia wanamgambo katika eneo hilo. Wizara ya ulinzi ya...
null
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameishutumu Marekani kwa kuongeza mvutano na uchokozi, amesema rasi ya Korea haijawahi kukabiliwa na hatari ya vita vya nyuklia kama sasa, shirika la KRT linalomilikiwa na serikali limesema. Rais wa China Xi Jinping alifanya ziara fupi nchini Morocco siku ya Alhamisi, kulingana n...
null
Kundi la viongozi wa zamani na wataalamu wa hali ya hewa wanasema mazungumzo ya kila mwaka ya Umoja wa Mataifa ya hali ya hewa hayafai tena kwa malengo yaliyoko. Kundi la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch Alhamisi limeishutumu Israel kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu kutokana na vita vyake...
null
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu Jumanne amemfukuza kazi Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant kutokana na kutoaminiana wakati wa vita vya Gaza dhidi ya Hamas, ofisi yake imesema. Wagombea wote wawili walifanya kampeni Jumatatu huko Pennsylvania, moja ya majimbo yaliyotazamwa kwa karibu. Wabunge wa muungano unaotawala ...
null
Kundi la viongozi wa zamani na wataalamu wa hali ya hewa wanasema mazungumzo ya kila mwaka ya Umoja wa Mataifa ya hali ya hewa hayafai tena kwa malengo yaliyoko. Kundi la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch Alhamisi limeishutumu Israel kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu kutokana na vita vyake...
null
Marekani, Jumatano imezuia azimio la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa likitaka kusitishwa kwa mapigano ya Gaza na kuachiliwa kwa mateka wa Israel, ikisema kuwa lugha iliyopendekezwa ingetuma ujumbe usio sahihi kwa Hamas. Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameitaka jumuiya ya kimataifa kutimiza ahadi zake za...
null
Iran imekaidi matakwa ya kimataifa ya kudhibiti mpango wake wa nyuklia na imeongeza hifadhi yake ya uranium iliyorutubishwa hadi kufikia viwango vya kuwa silaha, kulingana na ripoti ya siri ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuangalia nyuklia Russia na Ukraine kila moja ilifanya mashambulizi makubwa ya ndege zisizo na r...
null
Russia imejumuisha maeneo ambayo imechukuwa huko Ukraine katika ripoti yake ya hivi karibuni ya makadirio ya utoaji wa hewa chafu kwenye Umoja wa Mataifa, ikipelekea kupingwa na maafisa wa Ukraine na wanaharakati katika mkutano wa hali ya hewa wa COP29 wiki hii. Hatua hiyo ya Moscow inakuja wakati Rais wa Russia Vladim...
null
Baraza la mpito la Haiti, ambalo liliundwa ili kurejesha mfumo wa demokrasia nchini humo, Jumapili limetia saini amri ya kiutendaji ya kumfuta kazi kaimu waziri mkuu Garry Conille, na kuteuwa mfanyabiasha Alix Didier Fils-Aime, ambaye awali aliitaka kazi hiyo, kuchukua nafasi yake.
null
Polisi wanasema kampeni hiyo ilisababisha vifo vya watu 6,000 huku makundi ya haki za binadamu yanakadiria maelfu waliuawa Waziri wa mambo ya nje Antony Blinken amesema sera ya kizuizi cha Visa itatumika kwa watu maalum wanaohujumu demokrasia Polisi nchini Malawi walimkamata Kaliati, katibu mkuu wa chama cha upinzani c...
null
Kabla ya siku ya uchaguzi Democrats walikuwa na udhibiti mdogo wa Seneti na Republicans katika Baraza la Wawakilishi. Viongozi wa dunia walitoa pongezi kwa Donald Trump baada ya makadirio ya vyombo vya habari kuonyesha kuwa alipata ushindi mnono katika uchaguzi wa rais wa 2024 wa Marekani. Waziri Mkuu wa Israel Benjami...
null
Ninatoa wito nchi wanachama kutimiza wajibu wao na kuhakikisha wanafuata mkataba wa kimataifa unaopiga marufuku mabomu Mamlaka ya Bandari, Bahari, na Mto Madagascar (APMF) imesema boti hizo zilisafiri kutoka Somalia kuelekea eneo la Ufaransa. Maelfu ya wafuasi wa waziri mkuu wa zamani wa Pakistan aliyefungwa jela Imran...
null
Chombo cha habari cha serikali kimesema Jumatatu kwamba Iran imemuuwa mpinzani Mjerumani mwenye asili ya Iran, Jamshid Sharmahd, baada ya kumpata na hatia ya ugaidi. Polisi wanasema kampeni hiyo ilisababisha vifo vya watu 6,000 huku makundi ya haki za binadamu yanakadiria maelfu waliuawa Waziri wa mambo ya nje Antony B...
null
Pentagon imepuuzia shutuma mpya za Russia, kwamba Marekani, inasukuma vita vya Ukraine katika eneo hatari zaidi kuwa si maneno ya msingi na kuinyooshea kidole Moscow na washirika kwa kuongezeka mgogoro. Rais Joe Biden, anaomba karibu dola bilioni 100 za msaada wa dharura wa maafa baada ya vimbunga Helene na Milton, na ...
null
Ninatoa wito nchi wanachama kutimiza wajibu wao na kuhakikisha wanafuata mkataba wa kimataifa unaopiga marufuku mabomu Mamlaka ya Bandari, Bahari, na Mto Madagascar (APMF) imesema boti hizo zilisafiri kutoka Somalia kuelekea eneo la Ufaransa. Maelfu ya wafuasi wa waziri mkuu wa zamani wa Pakistan aliyefungwa jela Imran...
null
Matokeo hayo yanaweza kudhoofisha nguvu ya Ishiba na pengine kusababisha Japan kuingia katika hali ya sintofahamu ya kisiasa. Uganda imeshuhudia visa hivyo huku watu wakikimbilia kuiba mafuta kutoka kwenye malori yaliyopata ajali barabarani. Baadhi ya majengo yaliyoharibiwa yako katika kambi ya kijeshi ya Parchin nchin...
null
WHO ilitangaza mpox ni dharura ya afya ya umma duniani kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili Kuondoka kwa kundi hilo kulichangiwa na hasira namna utawala wa Biden ulivyoshughulikia vita huko Gaza. Jeshi la Ukraine, Jumatano limesema lilitungua ndege zisizo na rubani 38 kati ya 63 ambazo vikosi vya Russia vil...
null
Vikosi vya Israel vilifanya mashambulizi kadhaa makubwa ya anga Alhamisi kulenga vitongoji vya kusini mwa Beirut, siku moja baada ya kufanya mashambulizi makubwa mashariki na kusini mwa Lebanon, na kuua watu 52 na kujeruhi wengine 161, kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Lebanon. Mkuu wa NATO, Mark Rutte, Alhamisi amesema ...
null
Makundi ya wanamgambo yameongeza mashambulizi dhidi ya timu zinazotoa chanjo za polio, pamoja na polisi wanaowalinda nchini Pakistan, licha ya kuzuka kwa kesi mpya za maambulizi ya ugonjwa huo nchini. Waendesha mashitaka wa taifa la Georgia wamesema Jumatano kwamba wameanzisha uchunguzi kutokana na uchaguzi wa bunge wa...
null
Chama cha Waziri Mkuu wa India Narendra Modi na washirika wake wanatazamiwa kurejea mamlakani katika jimbo tajiri zaidi la taifa hilo Mamia ya wanaharakati wa mazingira waliandamana siku ya Jumamosi katika mji wa Busan Korea Kusini kudai kuwa na ahadi kubwa zaidi za kimataifa za kupambana na taka za plastiki. Russia im...
null
Mkuu wa jeshi la Uganda, ambaye ni mtoto wa kiume wa rais Yoweri Museveni, Generali Muhoozi Kainerugaba, amesema kwamba hakuna rais atakayeongoza Uganda na kwamba hilo ni jukumu la wanajeshi au polisi. Mahakama ya juu nchini Burundi Alhamisi ilithibitisha kifungo cha maisha dhidi ya waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, ...
null
Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa cha Afrika, CDC, pamoja na wizara ya Afya ya Rwanda, Alhamisi wamesema kuwa kesi za maambukizi ya ugonjwa wa Marburg nchini humo zimeshuka. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeishutumu Rwanda kwa kuweka vikwazo katika mazungumzo yanayoendelea kutatua mzozo wa waasi wa M23 masharik...
null
Jumanne 26 Novemba 2024 - Machi 30, 2024 Movie ya Nigeria ya Over the Bridge yashamiri - Januari 05, 2024 Maine yasema Trump hatokuwa kwenye orodha ya wagombea urais - Desemba 22, 2023 Matatizo ya kisheria dhidi ya Trump yaendelea kujitokeza - Novemba 23, 2023 Sherehe za siku kuu ya Thanksgiving - Novemba 17, 2023 Mkut...
null
Jumanne 26 Novemba 2024 - Novemba 22, 2019 Jamii za kiarabu Israel zakumbwa na ghasia - Juni 17, 2019 Mashindano ya Mieleka Sudan - Mei 10, 2019 ‘Wanaoleta mabadiliko : Waandamanaji’ - Februari 01, 2018 Duniani Leo 1st February 2018 - Desemba 26, 2017 Wanubi waadhimisha siku ya utamaduni wao mjini Nairobi, Kenya - Mach...
null
Jumanne 26 Novemba 2024 - Februari 09, 2015 CAN_Hereve_Renard_Ivory_Coast_480 - Februari 05, 2015 CAN_Coach_Renard_Cote_d_ivore_press - Novemba 30, 2014 Polisi wa Misri wa wafurusha waandamanaji Cairo - Novemba 25, 2014 Kama huna kazi Kisumu - Oktoba 29, 2014 Rais Mohamud wa Somalia atembelea Barawe - Oktoba 16, 2014 E...
null
Mwanasiasa maarufu wa upinzani wa Uganda alikamatwa wakati wa uzinduzi wa kitabu nchini Kenya mwishoni mwa wiki na kusafirishwa hadi Uganda, anashikiliwa katika jela ya kijeshi mjini Kampala, mke wake amesema leo katika mtandao wa kijamii wa X. Huldah Momanyi Hiltsley aliweka historia hapo Novemba 5 alipokua mhamiaji w...
null
Hotuba ya Rais mteule Donald Trump Makamu Rais Harris atoa hotuba ya kukubali matokeo - 26 Novemba 2024 Trump kuondolewa mashitaka yaliokuwa yakimkabili mahakamani - 25 Novemba 2024 Trump aeleza kuwa na wasi wasi kuhusu vita vya Ukraine - 25 Novemba 2024 Maelfu ya wafuasi wa Imran Khan waandamana Pakistan - 24 Novemba ...
null
Jumanne 26 Novemba 2024 - Novemba 25, 2024 REPORT SIKU 16 ZA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA.mp3 - Mei 28, 2024 Biden na Trump watafuta kura za wanawake - Mei 01, 2024 Rwanda yaunda mkakati mpya wa ajira kwa vijana - Februari 05, 2024 Ziara ya rais wa Poland nchini Kenya kuimarisha ushirikiano - Desemba 19, 2023 Moise Katum...
null
Juhudi zinazofanywa na kundi la Vijana nchini Burkina Faso wanahamasisha amani, umoja na ustahmilivu kati ya Waislamu na Wakristo wakati wa kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan na Pasaka. Lamina Traore anaripoti kutoka Ouagadougou. Mkamiti Kibayasi anaisoma ripoti kamili. Sekta ya filamu ya Nigeria, aghlabu hujulikana...
null
Jumanne 26 Novemba 2024 - Agosti 15, 2016 Maisha magma kwa Wabrazil wakati Olimpik ikiendelea - Agosti 11, 2016 Kinachoendelea mpaka sasa huko Rio De Janeiro - Agosti 08, 2016 Idd Ligongo na muhtasari wa matukio ya Olimpiki, Rio 2016 . - Agosti 04, 2016 Biko Adema azungumzia matumaini ya timu ya Rugby - Juni 24, 2016 P...
null
Jumanne 26 Novemba 2024 - Aprili 05, 2020 Mahojiano na George Osewe wa Mbagathi Hospital - Aprili 05, 2020 Mahojiano na Mwenyekiti wa Hospitali ya Mbagathi, George Osewe - Machi 09, 2015 Mjadala: Siku ya Wanawake Duniani 2015 - Novemba 07, 2014 LIVE TALK - Sakata la China na Tanzania - 29:40 - Oktoba 15, 2014 Live Talk...
null
Infographics Jumanne 26 Novemba 2024 - Oktoba 25, 2024 Election 2024 Map - Agosti 08, 2024 Medal Tracker Africa - Julai 31, 2024 Olympic Medals Widget 2024 Africa - Oktoba 21, 2021 Radio and Television Affiliate Display Swahili - Novemba 06, 2018 House Race - Uchaguzi wa Baraza la Wawakilishi - Novemba 06, 2018 Senate ...
null
Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:55 Page doesn't exist URL, you requesting is not reachable. Please use Search above to see if you can find it elsewhere B...
null
Jumanne 26 Novemba 2024 - Novemba 03, 2023 Binti Shupavu, mradi unaowasaidia wasichana kujiamini. - Julai 14, 2023 Dunia inaadhimisha siku ya ujuzi kwa vijana - Agosti 30, 2018 Monalisa muigizaji filam Tanzania - Machi 07, 2018 Miss Universe Tanzania katika New York fashion week - Machi 07, 2018 Vanessa Mdee - Februari...
null
Jumanne 26 Novemba 2024 - Februari 04, 2023 VOA Mitaani: Uamuzi wa Mahakama Kuu Kenya waibua hisia mseto - Septemba 03, 2022 VOA Mitaani: Wakazi wa Mombasa wamtaka gavana mpya kuchukua hatua - Agosti 21, 2022 Kwa nini wanasiasa wahama vyama baada ya uchaguzi Kenya?
null
Kulingana na vyanzo kadhaa vya habari vya Marekani, Trump analenga kuteua Seneta wa Florida Marco Rubio kuwa waziri wa mambo ya nje, na Gavana wa South Dakota Kristi Noem, kuwa waziri wa Usalama wa Ndani. Wote Rubio na Noem walikuwa kwenye orodha ya watu ambao wangekuwa wagombea wenza, miezi kadhaa iliyopita. Ingawa Tr...
null
Tanagazo hilo linaonekana kama hatua ya kutimiza ahadi ya kuwarejesha makwao wahamiaji haramu. Kupitia mtandao wake wa Truth Social Jumapili, Trump alisema kuwa Homan mwenye umri wa miaka 62 atasimamia mipaka ya nchi kuanzia mpaka wa Mexico upande wa kusini hadi kaskazini karibu na Canada. Aliongeza kusema kuwa hana sh...
null
Wakati mataifa mengi duniani yakijaribu kuangalia ushindi wa Trump utaathiri vipi sera za mambo ya nje za Marekani, wachambuzi wanasema huenda Beijing inalenga kuitenganisha Marekani na Umoja wa Ulaya. Alicia Bachulska mtaalam kwa sera za mambo ya nje za China kwenye Baraza la Ulaya la Uhusiano wa Kigeni amesema kwamba...
null
Umoja wa Mataifa pia umesema kuwa utasitisha safari za ndege nchini humo, hali ambayo huenda ikaathiri upelekaji wa misaada pamoja na wafanyakazi wa misaada. Ndege iliyoshambuliwa iligongwa kwa risasi wakati ilipokuwa karibu kutua Jumatatu kwenye mji mkuu wa Haiti wa Port au-Prince, huku mmoja wa wafanyakazi wake akije...
null
Katika mkutano wa G20, Rio de Janeiro, Brazil, ambapo viongozi wa mataifa 20 makubwa kiuchumi duniani wanakutana, maafisa wa Marekani wanashinikiza uwezekano wa kuwepo kwa lugha ya nguvu zaidi kuhusu Ukraine, Naibu Mshauri wa Usalama wa Kitaifa, John Finer ameiambia VOA wakati wa mkutano wa Jumatatu. Wanadiplomasia wa ...
null
Ziara hiyo ni kuashiria kile White House, inakiita “urithi” katika kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa, akiisimamia katika masuala ya kiuchumi kati ya nchi katika kutumia mapinduzi ya nishati safi. Biden aliwasili Manaus, mji mkuu wa jimbo la Amazonas, mlango wa msitu mkubwa zaidi duniani. Rais Biden alitangaza kuw...
null
Ndani ya miezi 12 iliopita hadi Juni 30 mwaka huu, kulikuwa na vifo 97,000 kutokana na dawa za kulevya kulingana na takwimu zilizotolewa Jumatano kutoka Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa. Idadi hiyo imeshuka kwa asilimia 14 kutoka vifo 113,000 vilivyoripotiwa mwaka uliotangulia. Barndon Marshal ambaye ni mtafiti k...
null
Kauli hii imetolewa baada ya kampuni ya kutengeneza vifaa vya umeme ya Taiwan TSMC, kusitisha usafirishaji wa chips kwa China kutokana na shinkizo la Marekani. Vyombo vya habari vinaripoti kwamba kampuni ya TSMC, ambayo ni kubwa duniani kwa utengenezaji wa Chips, ilisitisha usafirishaji wa vifaa hivyo kuanzia Jumatatu ...
null
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo. Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa w...

Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Jioni Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:55 Jioni SUBSCRIBE: Apple Podcasts Subscribe Back to top XS SM MD LG
null
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo. Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa w...
null
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo. Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa w...
null
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo. Ratiba Kila Siku Saa (kwa saa za huku) 19:30 UTC saa ya kimataifa 1630 Muda 30 Sik...
null
Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:55 Jioni Subscribe Subscribe Apple Podcasts Subscribe Home Kuhusu Mpinzani wa Museveni afikishwa kwenye mahakama ya kijes...
null
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo. Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa w...
null
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo. Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa w...
null
Uchaguzi Marekani: Ukusanyaji maoni waonyesha ni vigumu kumtabiri mshindi Kiungo cha moja kwa moja JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagua atakayeongoza White Houuse. Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uc...
null
Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share Uchaguzi Marekani: Ukusanyaji maoni waonyesha ni vigumu kumtabiri mshindi by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has been copied...
null
Shule ya Al- Takamul huko Misrata inawahifadhi takriban wanafunzi 512 waliokoseshwa makazi, baadhi yao o walikuwa nje ya shule kwa takriban miaka miwili. Samah Mohamed alikimbia Sudan na Watoto wake sita akipita katika njia zisizo halali na kupata sehemu ya kufanya kazi na Watoto wake kusoma. “ lengo langu la pili baad...
null
Ripoti ya umoja wa mataifa inasema kwamba waathirika wana umri kati ya miaka nane na 75. Kiwango kikubwa cha ukatili kimetekelezwa na kikosi cha RSF kinachoungwa mkono na wapiganaji wa kiarabu katika jaribio la kuwaadhibu raia kwa kushirikiana na wale wanaowachukulia kuwa maadui. Kikosi cha RSF kinapigana na jeshi la S...
null
Jeshi la Sudan limesema Jumapili kamanda kutoka kwa hasimu wake wa kikosi cha Rapid Support Forces (RSF) ameondolewa na baadhi ya wanajeshi wake, katika kile ambacho kitakuwa ni hatua ya kwanza ya aina hiyo kufanywa na kiongozi wa ngazi ya juu tangu pande hizo zianze mapigano zaidi ya miezi 18 iliyopita. Hakuna tamko l...
null
Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:55 Page doesn't exist URL, you requesting is not reachable. Please use Search above to see if you can find it elsewhere B...
null
Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search VOA Mitaani: Ethiopia kutumia bandari za nchi jirani kuingiza bidhaa zake Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:55 VOA Mitaani: Ethiopia kutumia bandari za nch...
null
Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha katiba DRC Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:55 Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha katiba DRC SUBSCRIBE: A...
null
Ameyasema hayo wakati akijibu kuhusu mashambulizi ya makombora ya masafa marefu yaliyofanywa na Russia katika mji wa ukarine wa Dnipro. Umerov alitoa ufafanuzi huo leo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari akiwa na mwenzake wa Sweden Pal Johnson huko mjini Stockholm, Sweden. Jonson ameongeza kuwa shambulizi la Rus...
null
Gavana wa jimbo la Baalbek-Hermel, amesema kwamba watu 47 waliuwawa na wengine 22 kujeruhiwa katika eneo lake kwa mashambulizi hayo. Mashambulizi ya Alhamisi, yamefanyika siku moja baada ya mwakilishi wa Marekani, Amos Hochstein, kuondoka Lebanon kwenda Israel, katikati ya msukumo wa kusimamishwa kwa mapigano ya vita v...
null
Geogina Kerubo wa kundi la Global Young Green anasema ni jukumu lao kama wanaharakati kuwaelimisha watu juu ya masuala ambayo ni muhimu yanayowahusu. Maandamano yamefanyika wakati wajumbe wamekuwa wakijadili pendekezo kutoka nchi zilizoendelea kuongeza kiwango cha kugharimia athari za mabadiliko ya hali ya hewa kufikia...
null
Zaidi ya wanajeshi wa Korea Kaskazini 10,000 wamekwenda katika uwanja wa mapambano katika vita dhidi ya Ukraine. Mwito huo imesisitizwa katika mikutano miwili mikubwa ya juma hili ya Brazil, na Peru, ambao uligusia hali ya kushangaza ambapo kiongozi wa China, anajikuta katika wasaa mgumu wa kuweka mambo sawa baina ya R...
null
Jeshi la Israel limesema siku ya Ijumaa kuwa limewaua makamanda wawili waliohusika katika shambulio la Hamas la Oktoba 7, 2023, likiendeleza mashambulizi yake kaskazini mwa Gaza siku moja baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kutoa hati za kukamatwa kwa vita hivyo. Huku Israel ikipigana pia na mshirika wa Hamas Hez...
null
Hisa za kampunzi zake zimeshuka thamani kwa asilimia 20, Alhamisi baada ya kushitakiwa na waendesha mashitaka wa Marekani, kwa shutuma kwamba amewatapeli wawekezaji katika mradi mkubwa umeme wa nguvu za jua nchini India kwa madai kwamba umekuwa ukiendeshwa kwa rushwa. Katika hati ya wazi ya mashitaka ya New York, Adani...
null
Mapigano yalianza majira ya saa moja usiku kwa saa za huko, na kuendelea mfululizo kwa saa moja kabla ya kumalizika amesema ripota wa Reuters. Tahadhari kwenda kwa wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa ambayo Reuters iliona, ilieleza kwamba mashambulizi yalihusiana na kukamatwa kwa mkuu wa zamani wa idara ya taifa ya ujasusi...
null
“Marekani ilifanya kazi kwa wiki kwa nia njema ili kuepuka matokeo haya,” Naibu Balozi wa Umoja wa Mataifa, Robert Wood, amesema baada ya kupiga kura. Ameongeza kusema kwamba waliweka wazi katika muda wote wa mazungumzo, juu ya kutounga mkono usitishaji mapigano vita bila masharti, ambao umeshindwa kuwaachilia mateka. ...
null
Shambulizi la ndege isiyo na rubani ya Russia katika mji wa kaskazini mashariki mwa Ukraine katika mji wa Sumy limeuwa watu wawili na kujeruhi wengine 12 siku ya Ijumaa asubuhi, mamlaka ya mkoa ilisema. Majengo kumi na mbili ya ghorofa, makazi matano binafsi, duka na magari matatu yaliharibiwa baada ya ndege tatu zisiz...
null
Vilevile kimetaka kutolewa kwa ripoti ya kina kuishinikiza Iran kuingia katika mazungumzo maya ya nyuklia. Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, na Marekani, ambazo zimeweka azimio hilo, zimepuuzia hatua za nyakati za mwisho za Iran ambazo wanaziona zisizo ya maana na ukweli za kupunguza kiwango chake cha Uranium ambacho kip...
null
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida ...