name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida ...
null
Zaidi ya watu milioni 24 wana ugonjwa wa kisukari Afrika ambako ugonjwa unaongezeka kwa kasi kutokana na kubadilika mitindo ya maisha Zaidi ya watu milioni 24 wana ugonjwa wa kisukari Afrika ambako ugonjwa unaongezeka kwa kasi kutokana na kubadilika mitindo ya maisha
null
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. Matangazo haya yanafuatilia kwa makini habari za siku nzima na kufafanua maelezo yake ili msikilizaji aweze kufahamu undani wa habari ...
null
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida ...
null
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida ...
null
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida ...
null
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida ...
null
Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share Duniani Leo by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has been copied to your clipboard Auto 240p 360p 480p 720p 1080p No media sou...
null
Sekta za Uchumi na uwajibikaji nchini Malawi vinaisihi serikali kushughulikia dosari katika mfumo wa ununuzi wa umma. Kulingana na ripoti ya shirika la Transparency International ya mwaka 2023, mataifa mengi ya Afrika yanashuhudia kudumaa kwa juhudi za kupambana na ulaji rushwa, au kushindwa kupiga hatua dhidi ya ufisa...

Jarida la Wikiendi wiki hii linajadili siasa za maafisa wa serikali kuondolewa madarakani kupitia mchakato wa bunge na baraza la seneti. Suala la msingi linakuja ni iwapo hii ni njia mbadala ya kuhakikisha uwajibikaji na uongozi bora. Jarida la Wikiendi linaangazia namna ambavyo sera za uwekezaji kwa serikali za Afrika...

Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za pongezi kwa rais mteule wa Marekani kufuatia ushindi katika uchaguzi mkuu wa Marekani ambapo alichaguliwa tena kuwa rais ya nchi hiyo kwa mara ya pili. JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagu...
null
JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagua atakayeongoza White Houuse. Jarida la Wikiendi wiki hii linajadili siasa za maafisa wa serikali kuondolewa madarakani kupitia mchakato wa bunge na baraza la seneti. Suala la msingi linakuja ni i...

Ushawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakati huo huo Uganda Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wote ni wanawake, na nchini Kenya wanawake wanashikilia nyadhifa muhimu za ugavana. Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za ponge...

Je hatua gani zinachukuliwa kukabiliana na M-pox katika Ukanda wa Afrika Mashariki? Ugonjwa wa homa ya Nyani (M-pox) umekuwa tishio barani Afrika hususani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambako kuna maambuluzi zaidi ya asilimia 90. Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uchaguzi Kenya 2013 - ...
null
Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za pongezi kwa rais mteule wa Marekani kufuatia ushindi katika uchaguzi mkuu wa Marekani ambapo alichaguliwa tena kuwa rais ya nchi hiyo kwa mara ya pili. JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagu...
null
Jarida la Wikiendi wiki hii linajadili siasa za maafisa wa serikali kuondolewa madarakani kupitia mchakato wa bunge na baraza la seneti. Suala la msingi linakuja ni iwapo hii ni njia mbadala ya kuhakikisha uwajibikaji na uongozi bora. Jarida la Wikiendi linaangazia namna ambavyo sera za uwekezaji kwa serikali za Afrika...
null
Jarida la Wikiendi wiki hii linajadili siasa za maafisa wa serikali kuondolewa madarakani kupitia mchakato wa bunge na baraza la seneti. Suala la msingi linakuja ni iwapo hii ni njia mbadala ya kuhakikisha uwajibikaji na uongozi bora. Jarida la Wikiendi linaangazia namna ambavyo sera za uwekezaji kwa serikali za Afrika...
null
Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za pongezi kwa rais mteule wa Marekani kufuatia ushindi katika uchaguzi mkuu wa Marekani ambapo alichaguliwa tena kuwa rais ya nchi hiyo kwa mara ya pili. JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagu...
null
Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za pongezi kwa rais mteule wa Marekani kufuatia ushindi katika uchaguzi mkuu wa Marekani ambapo alichaguliwa tena kuwa rais ya nchi hiyo kwa mara ya pili. JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagu...
null
Ushawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakati huo huo Uganda Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wote ni wanawake, na nchini Kenya wanawake wanashikilia nyadhifa muhimu za ugavana. Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za ponge...
null
Je, Kongamano la Afrika na China lina umuhimu kwa Afrika au ni kuongeza mzigo wa mikopo? Kiungo cha moja kwa moja Wiki iliyopita viongozi wa Afrika walikutana katika kongamano lililofanyika katika jiji la Beijing huko China. Katika kongamano hilo la tisa la ushirikiano kati ya bara la Afrika na China, mbali na mikopo z...
null
Jarida la Wikiendi linaangazia namna ambavyo sera za uwekezaji kwa serikali za Afrika Mashariki zinavyobadilika na kukaribisha ubia wa sekta binafsi. Wiki hii makala ya Jarida la Wikiendi inaangalia siasa na utawala nchini Kenya, kufuatia mswaada wa kutaka kumfungulia mashtaka na kutaka aondolewe ofisini Naibu Rais wa ...
null
Ushawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakati huo huo Uganda Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wote ni wanawake, na nchini Kenya wanawake wanashikilia nyadhifa muhimu za ugavana. Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za ponge...
null
Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za pongezi kwa rais mteule wa Marekani kufuatia ushindi katika uchaguzi mkuu wa Marekani ambapo alichaguliwa tena kuwa rais ya nchi hiyo kwa mara ya pili. JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagu...
null
Huenda kutakuwepo na marekebisho kwenye mkataba unaoratibu malengo ya pamoja ya mataifa NCQG baada ya maazimio katika mkutano wa COP 29 kupendekeza dola bilioni 220 za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa Ushawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiy...
null
JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagua atakayeongoza White Houuse. Jarida la Wikiendi wiki hii linajadili siasa za maafisa wa serikali kuondolewa madarakani kupitia mchakato wa bunge na baraza la seneti. Suala la msingi linakuja ni i...
null
Huenda kutakuwepo na marekebisho kwenye mkataba unaoratibu malengo ya pamoja ya mataifa NCQG baada ya maazimio katika mkutano wa COP 29 kupendekeza dola bilioni 220 za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa Ushawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiy...
null
JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagua atakayeongoza White Houuse. Jarida la Wikiendi wiki hii linajadili siasa za maafisa wa serikali kuondolewa madarakani kupitia mchakato wa bunge na baraza la seneti. Suala la msingi linakuja ni i...
null
Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za pongezi kwa rais mteule wa Marekani kufuatia ushindi katika uchaguzi mkuu wa Marekani ambapo alichaguliwa tena kuwa rais ya nchi hiyo kwa mara ya pili. JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagu...
null
Ushawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakati huo huo Uganda Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wote ni wanawake, na nchini Kenya wanawake wanashikilia nyadhifa muhimu za ugavana. Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za ponge...
null
Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za pongezi kwa rais mteule wa Marekani kufuatia ushindi katika uchaguzi mkuu wa Marekani ambapo alichaguliwa tena kuwa rais ya nchi hiyo kwa mara ya pili. JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagu...
null
JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagua atakayeongoza White Houuse. Jarida la Wikiendi wiki hii linajadili siasa za maafisa wa serikali kuondolewa madarakani kupitia mchakato wa bunge na baraza la seneti. Suala la msingi linakuja ni i...
null
Ushawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakati huo huo Uganda Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wote ni wanawake, na nchini Kenya wanawake wanashikilia nyadhifa muhimu za ugavana. Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za ponge...
null
Afrika itarajie nini baada ya Donald Trump kurejea madarakani? Kiungo cha moja kwa moja Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za pongezi kwa rais mteule wa Marekani kufuatia ushindi katika uchaguzi mkuu wa Marekani ambapo alichaguliwa tena kuwa rais ya nchi hiyo kwa mara ya pili. Makundi - Afrika - Marekani - Afya -...
null
Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share Afrika itarajie nini baada ya Donald Trump kurejea madarakani? by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has been copied to your cl...
null
Moto huo ulitokea katika shule ya Hillside Endarasha Academy iliyoko kwenye kaunti ya Nyeri ulianza Alhamisi usiku, polisi walisema, wakibainisha kuwa chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na umri wa wastani wa waathirika ni takriban miaka tisa. Shule hiyo, ambayo ina wanafunzi wapatao 800 wenye umri wa miaka mitano ...
null
Kesi hiyo ilibainika baada ya kanisa linaloendeshwa na Daniel Mururu katika kaunti ya Meru, katikati mwa Kenya, kuchomwa moto na wakazi wenye hasira mwishoni mwa mwezi uliopita. Mururu, wa Kanisa la Pentekoste la Afrika Mashariki nchini Kenya, pamoja na wazee wa kanisa na washemasi, wanatuhumiwa kwa vitendo vya udhalil...
null
Kwa mujibu wa shirika la habari la AP, mkuu wa Idara ya kitaifa ya wanyamapori Erustus Kanga, amesema kuwa idadi kubwa ya ndovu kwenye mbuga ya Mwea ni ishara ya utunzaji bora wa wanyama hao ndani ya miongo mitatu iliyopita. “Hii ni ishara kuwa uwindaji haramu umeshuka, na kwamba ndovu wanashamiri,” Kanga ameongeza kus...
null
Chepngetch mwenye umri wa miaka 30 anakua mwanamke wa kwanza kushinda mara tatu mbio za Chicago akivunja pia rikodi ya dunia ya 2:11:53 iliyowekwa na Muethiopia Tigst Assefa mwaka 2023 mjini Berlin. “Nina furaha sana, Ninajivunia, kwani hii ilikua ndoto yangu ambayo iliyofanikiwa,” amesema Chepngetich bingwa wa dunia w...
null
Hilo limefanyika licha ya shirika la Amnesty International kuelezea wasiwasi kuwa wanaweza kukabiliwa na mateso nyumbani ikiwa watafukuzwa nchini. Ilikubali ombi la kuwafukuza kwa sababu ya uhusiano wenye nguvu kati ya nchi hizo mbili, taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora ilisema, na kuongeza kuwa i...
null
Wakenya wanasema janga hilo baya limesababisha kwa mara nyingine haja ya haraka wa kuimarisha hatua salama katika shule nchini humo. Shule ya Endarasha Hillside Academy iliungua septemba 6 na kuchoma bwenila wanafunzi wakati watoto wa kiume walikuwa wamelala. Vyombo vya habari vya ndani vimesema waathirika waliungua vi...
null
Rais Ruto aliyefanya kampeni kwa ajili uchaguzi wa Agosti 2022, alijiita kama mtu wa watu, lakini maandamano ya ghasia yanayopinga sera zake za uchumi yameharibu sura yake ndani ya nchi na kuchafua msimamo wake nje ya nchi, wamesema wachambuzi. Kiongozi huyo anayekabiliwa na ukosoaji mkubwa tangu aliposhinda uchaguzi u...
null
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, taarifa hiyo imetolewa Jumanne, na hospitali moja ya Kenya alipokuwa akipatiwa matibabu. Cheptegei mwenye umri wa miaka 33, aliyeshiriki kwenye michezo ya Olimpiki ya hivi karibuni mjini Paris, alikufa siku nne baada ya shambulizi hilo la Septemba mosi, kutokana na majeraha y...
null
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, chama cha mawakili nchini, LSK, pamoja na shirika la kutetea haki za binadamu la Kenya Human Rights Commission, KHRC, wameiambia mahakama Jumatatu, kwamba Kenya inaweza kujipatia dola bilioni 1.85, zinazohitajika kukarabati uwanja huo jijini Nairobi, bila msaada kutoka nje. M...
null
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, taifa hilo la Afrika Mashariki pamoja na maafisa wa IMF walitangaza kukubaliana kuhusu tathmini ya 7 ya program ya dola bilioni 3.6 hapo Juni, lakini kukamilika kwa tathmini za mwisho kuelekea kutolewa kwa fedha hizo kulitatizwa na maandamano ya kitaifa. Zaidi ya watu 60 wali...
null
Moto ulizuka katika bweni la shule ya watoto wadogo katikati mwa Kenya alfajiri ya Ijumaa, na kuuwa watoto wa kiume 17 waliokuwa wamelala polisi walisema. Televisheni ya Citizen ilisema moto huo umewateketeza waathirika kiasi cha kutotambulika. Picha kutoka eneo la tukio zilionyesha mabati na masanduku ya chuma yaliyou...
null
Ruto ameandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa X baada ya kikao hicho kwamba amani na usalama katika eneo hilo umeimarika kwa kiwango kikubwa kutokana na ushirikiano kati ya Kenya na washirika wake kote duniani. Ruto amesema kwamba uongozi wa eneo hilo utaendelea kuwa imara dhidi ya uhalifu na kulinda amani na utul...
null
Haya yanajiri baada ya akina mama wazazi wa waandamanaji kukusanyika nje ya wizara ya sheria Jumanne kuwasilisha orodha ya waliouawa katika msururu wa maandamano yaliyofanyika kati ya mwezi Juni na Agosti. “Tunachotaka kwa serikali yetu ni haki,” alisema Caroline Mutisya, ambaye alimpoteza mwanawe Erikson Kyalo. Alisem...
null
Miswada ya fedha inayowasilishwa bungeni kila mwanzoni mwa mwaka wa fedha ndiyo chombo kikuu cha serikali kuweka bayana hatua zake za kuongeza mapato ikiwa ni pamoja na kupandisha kodi. Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa mwishoni mwa mwezi uliopita kwamba Sheria ya Fedha ya mwaka jana ilikuwa kinyume na katiba lilikuwa pigo k...
null
Kwa mijibu wa shirika la habari la Reuters, mkataba huo utagharimu dola bilioni 1.3, Ndii amesema Jumapili, kupitia ukurasa wake wa X. Kampuni ya Adani pamoja na Benki ya Maendeleo ya Afrika kufikia sasa hawajasema lolote kuhusiana na mkataba huo. Mpango tofauti kati ya serikali ya Kenya na kampuni ya Adani wa kukaraba...
null
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, mkopo wa takriban dola milioni 600, chini ya mpango wa IMF, na ambao muda wake unamalizika mwaka ujao, umekwama tangu serikali ilipositisha mpango wa kukusanya dola bilioni 2.7 kupitia kodi, kufuatia maandamano ya kitaifa. Maandamano hayo yalioongozwa na vijana na ambayo zaid...
null
Katika uamuzi wake Jumanne Jaji Chacha Mwita ameruhusu kesi hiyo kuendelea. Gashagua anatarajia kusimama mbele ya bunge la taifa katika Seneti ambako mashitaka dhidi yake yatasikilizwa. Gashagua amesisitiza kwamba jaribio la kutaka kumuondoa madarakani lina ushawishi wa kisiasa na kueleza kujiamini kwake kwamba mahakam...
null
Polisi nchini Kenya wamewataka waandamanaji kuepuka kuandamana hadi uwanja wa ndege wa mji mkuu na viunga vyake, huku taasisi ya kuendesha uwanja huo ikiwataka abiria kufika saa kadhaa kabla ya safari za ndege kutokana na kuimarishwa kwa ukaguzi wa usalama. Maandamano yanayoongozwa na vijana kote nchini Kenya kupinga m...
null
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, Kanja ambaye amekuwa akikaimu wadhifa huo tangu katikati ya mwezi Julai, ni polisi mwenye uzoefu wa karibu miongo minne, aliyewahi kuhudumu kama naibu mkuu wa polisi na pia kamanda wa kikosi cha GSU. Makundi ya kutetea haki za binadamu ya Kenya hata hivyo yamedai kuwa vifo ku...
null
Tuhuma hizo “zinakasirisha” na ni “propaganda tupu”, Gachagua alisema katika mkutano na waandishi wa habari, akizitaja kuwa jaribio la “kuniondoa madarakani kutokana na sababu nyingine za kisiasa”. Hakuna mashtaka rasmi yaliyofunguliwa na waendesha mashtaka na hakuna uchunguzi ulionzishwa na mahakama. Lakini Gachagua a...
null
Alitoa pongezi hizo baada ya kushinda katika duru ya kwanza ya uchaguzi huo uliofanyika Jumapili, taarifa ilisema. “Kwa kuzingatia muelekeo wa matokeo ya uchaguzi wa rais na kusubiri tangazo rasmi, nampongeza rais Bassirou Diomaye Diakhar Faye kwa ushindi wake wa duru ya kwanza” alisema Ba katika taafa hiyo. Uchaguzi h...
null
Wapelelezi walivamia nyumba ya Mapisa-Nqakula, siku ya Jumanne kama sehemu ya uchunguzi wa ufisadi, lakini hawakutoa maelezo zaidi kuhusu uchunguzi huo, au madai ya ufisadi. Mapisa-Nqakula, ambaye alikuwa waziri wa ulinzi kutoka 2012 hadi 2021, amekana kufanya makosa yoyote. "Kutokana na uzito wa tuhuma hizo na uvumi m...
null
Nchi hiyo itafanya uchaguzi mkuu tarehe 29 Mei, uchaguzi ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa zaidi tangu ujio wa demokrasia mwaka 1994. Chama tawala cha African National Congress(ANC) kiko katika hatari ya kupata chini ya asilimia 50 ya kura kwa mara ya kwanza tangu kilipoingia madarakani mwishoni mwa enzi ya ut...
null
Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu wa NBA Dikembe Mutombo, ambaye alikuwa mmoja wa wachezaji bora wa safu ya ulinzi katika historia ya NBA na balozi wa muda mrefu wa kimataifa wa mchezo huo amefariki dunia Jumatatu (Septemba 30, 2024) baada ya kuugua ugonjwa wa saratani ya ubongo. Alikuwa na umri wa miaka 58. Familia ...
null
Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share Mambo ya kukumbukwa aliyoyaacha nyota wa NBA Marehemu Mutombo by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has been copied to your cli...
null
Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:58 Maisha na Afya Matukio Articles Kuhusu Jumanne 26 Novemba 2024 Calendar ? Novemba 2024 Jumapili Jumatatu Jumanne Jumat...