name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:58 Maisha na Afya Matukio Articles Kuhusu Back to top XS SM MD LG |
null | Radio 16:30 - 17:00 VOA Express VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VO... |
null | Hatua hiyo ya kisheria inahakikisha kwamba Mkuu wa Jeshi Jenerali Asim Munir, ambaye amekuwa madarakani kwa miaka miwili, ataendelea kuongoza jeshi lenye nguvu la nchi hiyo mpaka Novemba 2027. Shughuli za bunge, zilizorushwa moja kwa moja kwenye vyombo vya habari, zilishuhudia maandamano ya kutatiza kutoka kwa wabunge ... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has been copied to you... |
null | Serikali ya DRC na Uganda zimeanza kuwarejesha raia waliokwama wakiwa wamejiunga na kundi la ADF wakiwaunganisha na jamii zao. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Serikali ya DRC na Uganda zimeanza kuwarejesha raia waliokwama wakiwa wamejiunga na kundi la ADF wa... |
null | Zvi Kogan mwenye miaka 28 kiongozi wa Orthodox alipotea Alhamisi alikuwa na duka la vyakula vya Kosher mjini Dubai. Masuala mbalimbali ya kikanda na kimataifa ikijumuisha masuala ya Palestina na Lebanon pamoja na suala la nyuklia yatajadiliwa. Kenya ilisisitiza haihusiani na kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani na mkosoa... |
null | Polisi wanasema kampeni hiyo ilisababisha vifo vya watu 6,000 huku makundi ya haki za binadamu yanakadiria maelfu waliuawa Waziri wa mambo ya nje Antony Blinken amesema sera ya kizuizi cha Visa itatumika kwa watu maalum wanaohujumu demokrasia Polisi nchini Malawi walimkamata Kaliati, katibu mkuu wa chama cha upinzani c... |
null | Zaidi ya watu 61,000 wanakadiriwa kufariki dunia huko Khartoum katika kipindi cha miezi 14 ya vita vya Sudan. Upigaji kura wa Rais kwenye eno lililojitenga na Somalia la Somaliland umekamilika Jumatano bila matatizo yoyote. Utawala wa kijeshi wa Mali Jumatano umemkamata mwanasiasa mashuhuri nchini kutokana na kukosoa u... |
null | Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, UN, umesema kikosi cha kijeshi cha dharura nchini Sudan, RSF, kimetekeleza ukatili mkubwa sana dhidi ya raia, unajisi na kuwateka wanawake na kuwatumia kama watumwa wa ngono, katika vita vita vya zaidi ya miezi 18 nchini humo. |
null | Umoja wa Ulaya utamwita balozi wake kutoka Niger baada ya utawala wa kijeshi wa nchi hiyo kutilia shaka usimamizi wa ujumbe wa Umoja wa Ulaya wa misaada ya kibinadamu iliyokusudiwa kwa waathiriwa wa mafuriko Rais wa China Xi Jinping alifanya ziara fupi nchini Morocco siku ya Alhamisi, kulingana na vyombo vya habari vya... |
null | Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, UN, umesema kikosi cha kijeshi cha dharura nchini Sudan, RSF, kimetekeleza ukatili mkubwa sana dhidi ya raia, unajisi na kuwateka wanawake na kuwatumia kama watumwa wa ngono, katika vita vita vya zaidi ya miezi 18 nchini humo. |
null | Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, UN, umesema kikosi cha kijeshi cha dharura nchini Sudan, RSF, kimetekeleza ukatili mkubwa sana dhidi ya raia, unajisi na kuwateka wanawake na kuwatumia kama watumwa wa ngono, katika vita vita vya zaidi ya miezi 18 nchini humo. |
null | Misri imesema Jumatatu kwamba zaidi ya watu darzeni moja, wengi wao wakiwa raia wa kigeni, hawajulikani walipo baada ya boti ya kitalii kuzama kwenye bahari ya Shamu, huku wengine 28 wakiokolewa. Ninatoa wito nchi wanachama kutimiza wajibu wao na kuhakikisha wanafuata mkataba wa kimataifa unaopiga marufuku mabomu Mamla... |
null | Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, UN, umesema kikosi cha kijeshi cha dharura nchini Sudan, RSF, kimetekeleza ukatili mkubwa sana dhidi ya raia, unajisi na kuwateka wanawake na kuwatumia kama watumwa wa ngono, katika vita vita vya zaidi ya miezi 18 nchini humo. |
null | Jengo la ghorofa nne lilianguka Jumamosi katika soko la Kariakoo na timu ya wataalamu 19 imeteuliwa kukagua majengo ya eneo hilo Wapiga kura nchini Gabon wameidhinisha kwa wingi katiba mpya, serikali imesema Jumapili, ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja baada ya wanajeshi walioasi kumpindua rais wa muda mrefu wa nchi hiyo na... |
null | Rais wa China Xi Jinping alifanya ziara fupi nchini Morocco siku ya Alhamisi, kulingana na vyombo vya habari vya serikali kutoka nchi zote mbili. Jeshi la polisi Afrika kusini -SAPS na maafisa wa jeshi wamesema juhudi za uokoaji kwa ajili ya wachimbaji madini waliokwama chini ya ardhi zinaendelea huku kukiwa na wasiwas... |
null | Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, UN, umesema kikosi cha kijeshi cha dharura nchini Sudan, RSF, kimetekeleza ukatili mkubwa sana dhidi ya raia, unajisi na kuwateka wanawake na kuwatumia kama watumwa wa ngono, katika vita vita vya zaidi ya miezi 18 nchini humo. |
null | Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC itamhukumu Al hassan ag Abdoul Aziz raia wa Mali mwenye msimamo mkali kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanywa Timbuktu mwaka 2012. Jengo la ghorofa nne lilianguka Jumamosi katika soko la Kariakoo na timu ya wataalamu 19 imeteuliwa kukagua majengo ya eneo hilo ... |
null | Ninatoa wito nchi wanachama kutimiza wajibu wao na kuhakikisha wanafuata mkataba wa kimataifa unaopiga marufuku mabomu Mamlaka ya Bandari, Bahari, na Mto Madagascar (APMF) imesema boti hizo zilisafiri kutoka Somalia kuelekea eneo la Ufaransa. Zvi Kogan mwenye miaka 28 kiongozi wa Orthodox alipotea Alhamisi alikuwa na d... |
null | Matokeo hayo yanaweza kudhoofisha nguvu ya Ishiba na pengine kusababisha Japan kuingia katika hali ya sintofahamu ya kisiasa. Uganda imeshuhudia visa hivyo huku watu wakikimbilia kuiba mafuta kutoka kwenye malori yaliyopata ajali barabarani. Baadhi ya majengo yaliyoharibiwa yako katika kambi ya kijeshi ya Parchin nchin... |
null | Kundi ndogo nchini Somalia lenye mahusiano na lile kigaidi la Islamic State linazidi kuwa kubwa, kutokana na kile Umoja wa Mataifa unakielezea kama miminiko ya wapiganaji wa kigeni. Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Zambia wameelezea wasiwasi wao kutokana na ongezeko la ukamataji na kuzuiliwa kwa muda mrefu kwa viongo... |
null | Zaidi ya watu 61,000 wanakadiriwa kufariki dunia huko Khartoum katika kipindi cha miezi 14 ya vita vya Sudan. Upigaji kura wa Rais kwenye eno lililojitenga na Somalia la Somaliland umekamilika Jumatano bila matatizo yoyote. Utawala wa kijeshi wa Mali Jumatano umemkamata mwanasiasa mashuhuri nchini kutokana na kukosoa u... |
null | Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, UN, umesema kikosi cha kijeshi cha dharura nchini Sudan, RSF, kimetekeleza ukatili mkubwa sana dhidi ya raia, unajisi na kuwateka wanawake na kuwatumia kama watumwa wa ngono, katika vita vita vya zaidi ya miezi 18 nchini humo. |
null | Vita vinavyoendelea nchini Sudan kwa mara nyingine vinajadiliwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, UN, kukiwa kuna rasimu ya azimio lililoandikwa na Uingereza. Mwanahabari wa Sweden mwenye asili ya Eritrea ambaye amekuwa kizuizini Eritrea bila mawasiliano kwa zaidi ya miaka 23 Jumatatu amepewa tuzo ya Sweden ya ... |
null | Mamia ya wanafamilia waliokata tamaa kwa ajili ya ndugu zao wachimba madini haramu waliokwama kwenye mgodi Afrika Kusini wamemiminika nje ya mgodi huo wakisubiri kwa matumaini kuwa wapendwa wao watatoka chini ya ardhi. Zaidi ya watu 61,000 wanakadiriwa kufariki dunia huko Khartoum katika kipindi cha miezi 14 ya vita vy... |
null | Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, UN, umesema kikosi cha kijeshi cha dharura nchini Sudan, RSF, kimetekeleza ukatili mkubwa sana dhidi ya raia, unajisi na kuwateka wanawake na kuwatumia kama watumwa wa ngono, katika vita vita vya zaidi ya miezi 18 nchini humo. |
null | WHO ilitangaza mpox ni dharura ya afya ya umma duniani kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili Kuondoka kwa kundi hilo kulichangiwa na hasira namna utawala wa Biden ulivyoshughulikia vita huko Gaza. Polisi wamefyatua risasi na gesi ya kutoa machozi wakati mamia ya waandamanaji wakiingia mitaani kupinga uchaguz... |

null | Grossi ataenda Iran kujadili program yake ya nyuklia na anatarajia kufanya kazi vyema na rais mteule wa Marekani Donald Trump. Nchi hiyo yenye watu milioni 1.3 inajitangaza yenyewe kama kiungo kati ya Afrika na Asia. Idara ya usafiri wa anga ya Russia lilisema viwanja vya ndege vya vitatu vilibadilisha mwelekeo wa anga... |
null | Matokeo ya mwisho bado hayajatolewa lakini kiongozi wa upinzani Navin Ramgoolam anaonekana kuwa waziri mkuu kwa mara ya tatu Wachambuzi wanasema ongezeko la malalamiko ya kiuchumi hasa miongoni mwa vijana yalichangia ushindi mkubwa wa Boko. Trump alisema Elise ni mpiganaji imara, mwenye nguvu, na mwerevu anayeliweka ta... |
null | Wapiga kura wa Senegal watachagua bunge jipya siku ya Jumapili huku viongozi wapya wa nchi wakilenga kupata wingi mkubwa wa viti. Vita vinavyoendelea nchini Sudan kwa mara nyingine vinajadiliwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, UN, kukiwa kuna rasimu ya azimio lililoandikwa na Uingereza. Mwanahabari wa Sweden m... |
null | WHO ilitangaza mpox ni dharura ya afya ya umma duniani kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili Kuondoka kwa kundi hilo kulichangiwa na hasira namna utawala wa Biden ulivyoshughulikia vita huko Gaza. Polisi wamefyatua risasi na gesi ya kutoa machozi wakati mamia ya waandamanaji wakiingia mitaani kupinga uchaguz... |
null | Jengo la ghorofa nne lilianguka Jumamosi katika soko la Kariakoo na timu ya wataalamu 19 imeteuliwa kukagua majengo ya eneo hilo Wapiga kura nchini Gabon wameidhinisha kwa wingi katiba mpya, serikali imesema Jumapili, ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja baada ya wanajeshi walioasi kumpindua rais wa muda mrefu wa nchi hiyo na... |
null | Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, UN, umesema kikosi cha kijeshi cha dharura nchini Sudan, RSF, kimetekeleza ukatili mkubwa sana dhidi ya raia, unajisi na kuwateka wanawake na kuwatumia kama watumwa wa ngono, katika vita vita vya zaidi ya miezi 18 nchini humo. |
null | Nigeria na India zimekubaliana Jumapili, kuimarisha ushirikiano wao katika usalama wa usafiri baharini, masuala ya ujasusi, na vita dhidi ya ugaidi wakati wa ziara ya kitaifa ya waziri mkuu wa India Narenda Modi. Mamia ya wanafamilia waliokata tamaa kwa ajili ya ndugu zao wachimba madini haramu waliokwama kwenye mgodi ... |
null | WHO ilitangaza mpox ni dharura ya afya ya umma duniani kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili Kuondoka kwa kundi hilo kulichangiwa na hasira namna utawala wa Biden ulivyoshughulikia vita huko Gaza. Polisi wamefyatua risasi na gesi ya kutoa machozi wakati mamia ya waandamanaji wakiingia mitaani kupinga uchaguz... |
null | VOA Express VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafua... |
null | Kwa Undani Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 25, 2024 Utata unakumba j... |
null | Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha katiba DRC Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Ju... |
null | ratiba ya matangazo 16:30 - 17:00 VOA Express VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Duniani Leo Video Tube Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:59 Duniani Leo Video Tube Jioni Duniani Leo Video Tube VOA-TVMC11 VOA-TVMC12 VOA-TVMC13 LIVE Jioni... |
null | Jioni Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo. - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchagu... |
null | Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 25, 2024 Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha katiba DRC - Novemba 25, 2024 Serekali ya DRC yatak... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search VOA Swahili Audio Tube Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:59 live Jioni Embed Jioni Embed The code has been copied to your clipboard. The URL has been copie... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search VOA-TVMC12 Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:59 VOA-TVMC12 Jioni Duniani Leo Video Tube VOA-TVMC11 VOA-TVMC12 VOA-TVMC13 LIVE Jioni Duniani Leo Video Tube ... |
null | Viongozi wa mataifa ya kiarabu wampongeza Trump, wakiwa na imani kwamba atasaidia kurejesha amani Mashariki ya Kati Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 25, 2024 Utata unakumba... |
null | Kiongozi wa upinzani wa Somaliland Abdirahman Mohamed Abdullahi kutoka chama cha waddani ameshinda uchaguzi wa urais. Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. - masaa 2 yaliop... |
null | Serekali ya DRC yatakiwa kuondoa utawala wa kijeshi Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 25, 2024 Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha katiba DRC - Novemba 25, 2024 Sereka... |
null | Vijana katika COP29 nchini Azerbaijan wanasema wanataka siti na ushirikishwaji wa moja kwa moja wa majadiliano ya mabadiliko ya tabia nchi. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi. - masaa 2 yaliopita VOA Express - ... |
null | Mwanaharakati wa wanawake wa shirika la Open Talk la Kenya anaelezea elimu wanayotoa kusitisha visa vya ukatili kwa wanawake na wasichana VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi. - masaa 2 yaliopita VOA Express - No... |
null | VOA Express VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafua... |
null | Pakistan imesitisha huduma za simu za mkononi na internet katika maeneo yenye wasiwasi wa usalama. Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jam... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search VOA-TVMC13 Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:59 VOA-TVMC13 Jioni Duniani Leo Video Tube VOA-TVMC11 VOA-TVMC12 VOA-TVMC13 LIVE Jioni Duniani Leo Video Tube ... |
null | Je Nifanyeje? Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana - Kipindi cha dakika 30 kinacholenga vijana kwa kufuatulia maisha ya vijana, hasa wasichana, kuwasaidia kufanya maamuzi mazuri ya kiafya na kijamii ambayo yanaweza kuwa na maana katika maisha yao milele. Kipindi hiki kina sehemu ya habari za afya, majadi... |
null | Kwa Undani Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 25, 2024 Utata unakumba j... |
null | Mpinzani wa Museveni afikishwa kwenye mahakama ya kijeshi Uganda Mpinzani wa Museveni afikishwa kwenye mahakama ya kijeshi Uganda - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 25, 2024 Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha katiba DRC - Novemba 25, 2024 Serekali ya... |
null | Jioni Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo. - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchagu... |
null | Jioni Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo. - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchagu... |
null | Kundi jipya la wanamgambo kwa jina Lakurawas, laibuka kaskazini magharibi mwa Nigeria Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 25, 2024 Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha ka... |
null | Umoja wa Ulaya wamwita balozi wake kutoka Niger Umoja wa Ulaya wamwita balozi wake kutoka Niger - masaa 3 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 25, 2024 Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha katiba DRC - Novemba 25, 2024 Serekali ya DRC yatakiwa kuondoa utawala wa k... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search VOA-TVMC11 Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 20:00 VOA-TVMC11 VOA Swahili Audio Tube Duniani Leo Video Tube VOA-TVMC11 VOA-TVMC12 VOA-TVMC13 VOA Swahili Audio... |
null | Alfajiri Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. - masaa 3 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 25, 2024 Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha katiba DRC - Novemba 25, 2024 Serekali ya DRC yatakiwa kuondoa utawala wa kijes... |
null | LIVE TALK: Wimbi la vyama vya upinzani kushinda uchaguzi mkuu Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo. - masaa 3 yaliopita ... |
null | Je Nifanyeje? Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana - Kipindi cha dakika 30 kinacholenga vijana kwa kufuatulia maisha ya vijana, hasa wasichana, kuwasaidia kufanya maamuzi mazuri ya kiafya na kijamii ambayo yanaweza kuwa na maana katika maisha yao milele. Kipindi hiki kina sehemu ya habari za afya, majadi... |
null | Meza ya waandishi inamulika kuanguka kwa jengo huko Kariakoo nchini Tanzania, na kukamatwa Kizza Besigye kiongozi wa upinzani huko Uganda. Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika hab... |
null | Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wito watolewa kutatua changamoto zao Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wito watolewa kutatua changamoto zao - masaa 3 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 25, 2024 Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha katiba DRC - Nove... |
null | Matukio - Novemba 26, 2024 Duniani Leo - Novemba 25, 2024 Duniani Leo - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini |
null | Baada ya Naibu Rais wa Kenya Kindiki anasema yuko tayari kumuunga mkono Rais Ruto. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Baada ya Naibu Rais wa Kenya Kindiki anasema yuko tayari kumuunga mkono Rais Ruto. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti ... |
null | Mrepublikan Donald Trump amekuwa ameshinda uchaguzi wa mwaka 2024 na kuwa mhalifu wa kwanza aliyepatikana na hatiya kuchaguliwa na kushika wadhifa wa juu wa kitaifa. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari |
null | Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Uchaguzi Novemba 5 kuamua atakayeingia White House na Chama gani kitadhibiti Bunge la Marekani Matukio - Novemba 26, 2024 Duniani Leo - Novemba 25, 2024 Duniani Leo - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita ... |
null | Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Matukio - Novemba 26, 2024 Duniani Leo - Novemba 25, 2024 Duniani Leo - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Keny... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share JARIDA LA WIKIENDI: linaangazia ushawishi wa Wanawake katika uongozi Afrika Mashariki by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has... |
null | JARIDA LA WIKIENDI: linaangazia ushawishi wa Wanawake katika uongozi Afrika Mashariki Kiungo cha moja kwa moja Ushawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakati huo huo Uganda Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wote ni wanawake, na n... |
null | Venant Rutunga alirejeshwa kutoka Uholanzi hadi Rwanda mwaka 2021, ambako alifikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kuelekeza mauaji katika robo karne iliyopita. Mwendesha mashtaka alisema mashahidi walimhusisha Rutunga kwa kuwaleta maafisa wa polisi kwenye taasisi ya utafiti wa kilimo (ISAR), ambako aliwahi kuwa mkuruge... |
null | Kwa siku za hivi karibuni nchi hiyo imegonga vichwa vya habari kutokana na sakata la wakimbizi na watafuta hifadhi kutoka Uingereza kupelekwa Rwanda lakini pia sintofahamu kati yake na shirika la kutetea haki za wakimbizi, UNHCR. Zaidi ya wakimbizi 136, 00 wanapatikana katika kambi mbalimbali za wakimbizi nchini Rwanda... |
null | Jimbo la Kivu Kaskazini la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limekuwa katika mtego wa uasi wa M23 toka mwishoni mwa 2021, huku kundi hilo likitwaa maeneo mengi na kuweka utawala sambamba katika maeneo yanayodhibitiwa. Kinshasa imeishutumu Rwanda kwa kuunga mkono kundi la waasi la M23 linaloongozwa na Watutsi. Kigali hai... |
null | Kiongozi huyo anakabiliana na wapinzani wawili ambao wamedai kuwa amesalia madarakani kwa muda mrefu zaidi. Hata hivyo Kagame amesema kuwa wafuasi wake wanataka awanie kwa muhula mwingine. Akizungumza na wanahabari baada ya kukamilisha mkutano wake wa mwisho wa kampeni, Kagame alisema kuwa vipaumbele vyake kwenye taifa... |
null | Kagame alipata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa mwezi uliopita kwa kupata asilimia 99.18 ya kura, na kumpa fursa ya kukaa madarakani kwa miaka mingine mitano. Zaidi ya marais 10 na viongozi wengine wa heshima kutoka mataifa ya Afrika walihudhuria hafla ya kuapishwa kwake katika uwanja wa michezo wenye viti 45,000... |
null | Angola imekuwa mpatanishi katika mzozo mashariki mwa DRC katika jimbo la Kivu Kaskazini, ambapo waasi wa M23 wamekuwa wakipambana na jeshi la Congo tangu mwishoni mwa 2021. “Mkutano wa mawaziri kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Jamhuri ya Rwanda, uliofanyika leo (Jumanne) mjini Luanda chini ya upatanishi wa J... |
null | Kongamano hilo linalohudhuliwa na takriban wajumbe 5,000 wakiwemo wakulima, wakuu wa serikali mbalimbali wabunifu na wasomi kujadili mikakati ya kukomesha njaa kwa takriban watu milioni 20 wanaokabiliwa na baa la njaa barani Afrika na kuwawezesha kunapata lishe. Mmoja wa washiriki wa mkutano huo kutoka Tanzania Joleta ... |
null | Mkuu wa Tume ya taifa ya uchaguzi Oda Gasinzigwa amewataja Kagame, Frank Habineza wa chama cha Democratic Green Party na mgombea huru Philippe Mpayimana kama wagombea katika uchaguzi wa tarehe 15 Julai. Wote Habineza na Mpayimana walikuwa pia wagombea pekee walioruhusiwa kushindana na Kagame katika uchaguzi wa mwaka 20... |
null | Kagame amekutana na umati wa wafuasi waliompokea kwa furaha kwenye mikutano ya kampeni ambayo inadhihirisha kutoepukika kwa ushindi wake anapowania muhula wa nne kama rais. Wakati wapinzani wake Frank Habineza wa Democratic Green Party of Rwanda na mgombea huru Philippe Mpayimana wamepata taabu kuvuta umati kwenye hafl... |
null | Akijitayarisha kuingia madarakani kwa mhula wa nne, baada ya kushinda asili mia 99.15 za kura kufuatana na matokeo ya awali kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 66 alisema hii leo kwamba matokeo hayo yanaonesha uwamunifu aliopewa na Wanyarwanda na sio takwimu tu kwani ni idadi kubwa mno. Amesema anatumaini kufanya kazi p... |
null | Wapiga kura walikuwa milioni tisa na katika kura milioni saba zilizokwishahesabiwa Rais Paul Kagame amepata asilimia 99.15 ya kura zote. Frank Habineza wa chama cha Green Party of Rwanda(DGPR) amepata asilimia 0.53 ya kura zilizokwishahesabiwa huku mgombea binafsi wa Phillipe Mpayimana akipata asilimia 0.32 za kura zil... |
null | Mawakili wanaoliwakilisha Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) walisema Jumatatu kuwa mfumo wa hifadhi ya Rwanda una mapungufu, kama sehemu ya changamoto kwa sera ya serikali ya Uingereza ya kuwafukuza wanaotafuta hifadhi huko. Mawakili hao walisema sera hiyo inahatarisha wanaotafuta hifadhi kukab... |
null | Emmanuel Nkunduwimye, alikutwa na hatia ya uhalifu wa kivita na mauaji ya halaiki pamoja na ubakaji wa mwanamke wa Kitutsi. Nkunduwimye, ambaye alikamatwa kwa mara ya kwanza Ubelgiji, 2011, alikuwa mmiliki wa gereji katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali, Aprili 1994 wakati mauaji ya kimbari yalipoanza. Gereji yake ilikuwa ... |
null | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeishutumu Rwanda kwa kuweka vikwazo katika mazungumzo yanayoendelea kutatua mzozo wa waasi wa M23 mashariki mwa DRC ambao umesababisha zaidi ya watu milioni 1.7 kuyahama makazi yao. Maoni ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Congo Therese Kayikwamba Wagner kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa... |
null | Waziri mkuu Keir Starmer alitangaza siku ya Jumamosi kwamba mpango wa uhamiaji wa serikali inayoondoka madarakani ya chama cha Conservative, “umekufa na kuzikwa.” Tayari mpango huo ulikuwa umekabiliwa na changamoto kadhaa za kisheria, huku Mahakama ya Juu ya Uingereza ikisema katika uamuzi wake wa mwezi Novemba mwaka j... |
null | Hilo ni kufuatia utoaji wa chanjo kwa watu walioko hatarini zaidi kama wahudumu wa afya, lakini kesi za mpox zinaendelea kuenea kwenye mataifa mengine ya Afrika. Mwanzoni mwa mwezi huu, Rwanda ilianza kutoa chanjo dhidi ya virusi vya Marburg ili kudhibiti ugonjwa huo unaofanana na Ebola. Kwa mujibu wa shirika la habari... |
null | Kundi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda, ambalo lilikuwa kimya kwa takriban muongo mmoja, lilianzisha mashambulizi katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwishoni mwa 2021 na toka kipindi hicho limeteka maeneo mbalimbali. Uasi huo umeaonekana zaidi kama njia ya Rwanda kuonyesha u... |
null | Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uchaguzi Kenya 2013 - Kesi za Wakenya Mbele ya ICC - Fainali za Kombe la Afrika 2015 - Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26 - Tanzania Yaamua 2015 - Uchaguzi Marekani 2016 - Ziara ya Papa barani Afrika - Uchaguzi Uganda 2016 - Mauaji Orlando - YALI 2016... |
null | - Juni 11, 2024 Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani? - Aprili 25, 2024 Asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhalalishwa bhangi - Machi 05, 2024 Je, nini Super Tuesday? - Machi 05, 2024 Misaada ya kimataifa yaanza kuwasili Sudan - Februari 12, 2024 Polisi wapambana na waandamanai Kinshasa |
null | 'Ninaulizwa kila mara juu ya kufikia wadhifa wa Jenerali, sikuwa nimefikiria' [[Ni mtoto wa wazazi kutoka Zimbabwe na Nigeria na hivi leo anahudumu kama mtunukiwa wa cheo cha Naibu Jenerali msimamizi katika kituo cha Mafunzo ya Ukadeti huko Fort Knox, Kentucky. Mwandishi wa VOA Grace Oyenubi anatupasha zaidi kuhusu Bri... |
null | - Juni 11, 2024 Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani? - Aprili 25, 2024 Asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhalalishwa bhangi - Machi 05, 2024 Je, nini Super Tuesday? - Machi 05, 2024 Misaada ya kimataifa yaanza kuwasili Sudan - Februari 12, 2024 Polisi wapambana na waandamanai Kinshasa |
null | - Juni 11, 2024 Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani? - Aprili 25, 2024 Asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhalalishwa bhangi - Machi 05, 2024 Je, nini Super Tuesday? - Machi 05, 2024 Misaada ya kimataifa yaanza kuwasili Sudan - Februari 12, 2024 Polisi wapambana na waandamanai Kinshasa |
null | - Juni 11, 2024 Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani? - Aprili 25, 2024 Asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhalalishwa bhangi - Machi 05, 2024 Je, nini Super Tuesday? - Machi 05, 2024 Misaada ya kimataifa yaanza kuwasili Sudan - Februari 12, 2024 Polisi wapambana na waandamanai Kinshasa |
null | Majimbo kumi na tano na mkoa mmoja utapiga kura siku ya Super Tuesday mwaka huu. Huko Iowa, matokeo ya uchaguzi wa awali wa Wademokratiki utatangazwa. Majimbo kumi na tano na mkoa mmoja utapiga kura siku ya Super Tuesday mwaka huu. Huko Iowa, matokeo ya uchaguzi wa awali wa Wademokratiki utatangazwa. Forum |
null | - Juni 11, 2024 Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani? - Aprili 25, 2024 Asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhalalishwa bhangi - Machi 05, 2024 Je, nini Super Tuesday? - Machi 05, 2024 Misaada ya kimataifa yaanza kuwasili Sudan - Februari 12, 2024 Polisi wapambana na waandamanai Kinshasa |
null | - Juni 11, 2024 Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani? - Aprili 25, 2024 Asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhalalishwa bhangi - Machi 05, 2024 Je, nini Super Tuesday? - Machi 05, 2024 Misaada ya kimataifa yaanza kuwasili Sudan - Februari 12, 2024 Polisi wapambana na waandamanai Kinshasa |
null | - Juni 11, 2024 Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani? - Aprili 25, 2024 Asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhalalishwa bhangi - Machi 05, 2024 Je, nini Super Tuesday? - Machi 05, 2024 Misaada ya kimataifa yaanza kuwasili Sudan - Februari 12, 2024 Polisi wapambana na waandamanai Kinshasa |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.