name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
Israel ilitangaza vita dhidi ya Hamas baada ya kundi hilo kufanya shambulizi la kigaidi dhidi ya Israel tarehe 7 Oktoba, lililouwa watu wapatao 1200. Maelfu ya Wapalestina wameuawa katika mapigano katika Ukanda wa Gaza. Kusikiliza matangazo, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi:...
null
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani, Boris Pistorius, alisema Ujerumani na nchi nyingine wanachama wa jumuiya ya kujihami NATO wanapanga kuimarisha utengenezaji wa silaha ndani ya Ukraine kujibu hatua za Urusi katika vita vinavyoendelea. Pistorius aidha amesema utengenezaji na manunuzi ya droni zinazoendeshwa kutumia akili m...
null
SiasaTaarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video08:00Siasahttps://p.dw.com/p/1Bu0UNakili kiunganishiMatangazo
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 13.11.2024 13 Novemba 2024 Rais mteule Donald Trump awateua wapambe wake 07.11.2024 7 Novemba 2024 Harri...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Teknolojia Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi India: Makampuni yakabiliwa na mashambulizi ya mtandaoni India: Mak...
null
Data collection and logging Each time one of the websites of DW.COM and the data on it is accessed, a log file is created and saved with the following information: - name of the file or data accessed - date and time of access - the amount of data transferred - confirmation on whether the data was accessed successfully ...
null
Vita hivyo vilichochewa na mzozo wa Gaza yapata miezi 14 iliyopita. Hayo yanaripotiwa wakati mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Josep Borrell akisema Israel haina sababu ya kulikataa pendekezo hilo la kusitisha mapigano. Vyanzo vinne vya ngazi ya juu vya Lebanon vimeliambia shirika la habari la Reuters kuwa, mpan...
null
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
null
Mashambulizi hayo yamefanywa baada ya jeshi la Israel kuushambulia mji wa Beirut na kusababisha vifo vya makumi ya watu mwishoni siku moja kabla. Jeshi la Israel limesema kundi la Hezbollah lilifanya mashambulizi ya mfululizo wa roketi kuelekea Israel jana Jumapili. Limeongeza kuwa nyumba kadhaa ziliharibiwa au kuteket...
null
Vijana wanawakilisha takriban asilimia 77 ya bara la Afrika. Je, hali ya maisha ya vijana barani Afrika ikoje? Je, upi mustakabali wao? Matumaini yao ni gani? Mijadala, maelezo na ripoti.
null
Jeshi la Israel limeshambulia kwa mabomu mji mkuu wa Lebanon, Beirut, na kuharibu jengo karibu na wilaya zenye idadi kubwa ya watu za Nuwairi na Ras al-Naba. Haya ni kulingana na walioshuhudia na vyanzo vya usalama. Hata hivyo hakukuwa na ripoti za majeruhi au maelezo zaidi kuhusu tukio hilo. Jeshi la Israel halikutoa ...
null
Mkutano huo unafanyika chini ya kiwingu cha ushindi wa rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ambaye anatarajiwa kuibadilisha pakubwa sera ya nje ya Marekani atakapochukua hatamu za uongozi mwanzoni mwa mwaka ujao. Kwenye agenda ya mkutano huo unaoanza katika mji mdogo wa Fiuggi ulioko umbali wa takribani kilomita 80 m...
null
Katika taarifa, Turk amesema alishtushwa na kutekwa nyara kwa Besigye mnamo Novemba 16, 2024 nchini Kenya na kurejeshwa kwake kwa nguvu nchini Uganda . Turk ameihimiza serikali hiyo ya Uganda kumwachilia huru Besigye na kuhakikisha kwamba hatua zozote zaidi zinazochukuliwa kukabiliana na tuhuma zinafanyika kwa kuzingat...
null
Mashirika hayo mawili ya Umoja wa Mataifa yamesema kimataifa, mpenzi au mwanafamilia alihusika kwa vifo vya takriban wanawake na wasichana 51,100 mwaka 2023, ongezeko kutoka takriban waathiriwa 48,800 mwaka 2022. Mataifa yatoa data zaidi ya ukatili dhidi ya wanawake Ripoti hiyo iliyotolewa leo ambayo ni Siku ya Kimatai...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Vichwa vya habari Ruka sehemu inayofuata Vichwa vya habari vya wiki Vichwa vya habari vya wiki Mwangaza wa Ulaya:Duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais Rom...
null
Mamlaka ya Palestina imesema hatua ya Marekani kuzuia azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa inaipa Israel ujasiri kuendelea na uhalifu wake huko Gaza na Lebanon. Ni kwa mara ya nne Marekani imetumia kura yake ya turufu kupinga azimio la usitishwaji mapigano huko Gaza wamesema viongozi wa Mamlaka ya Palestina....
null
Siasa26.11.2024 Matangazo ya MchanaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video59:59Siasahttps://p.dw.com/p/4nR5vNakili kiunganishiMatangazo
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 22.11.2024 22 Novemba 2024 Wapiganaji watano wa Hamas wauwawa Kaskazini mwa Gaza 18.11.2024 18 Novemba 2...
null
Miongoni mwa masuala yenye utata, ni iwapo mkataba huo utazuia uzalishaji wa plastiki, uwezekano wa kupiga marufuku kemikali zinazohofiwa kuwa sumu kwa afya ya binadamu na jinsi ya kulipia utekelezaji. Baadhi ya nchi, ikiwemo kile kinachoitwa ‘Muungano wa Matarajio ya Juu' (HAC), ambao unashirikisha mataifa mengi ya Af...
null
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Mkuu wa Bunge la EU aonya kuongezeka msimamo mkali Ujerumani 22.11.2024 22 No...
null
Matangazo Kurt-Schumacher-Str. 3 53113 Bonn Post address: Deutsche Welle D-53110 Bonn Germany Tel. +49.228-429.0 Fax. +49.228-429-3000 info@dw.com Value Added Tax identification number: DE123052407 Legally represented by the Director General Peter Limbourg. This legal notice extends to the social media profiles of Deut...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Jopo la WHO lasema mpox bado ni kitisho cha afya duniani 13.11.2024 13 Novemb...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Kane wa Bayern atupia hat trick dhidi ya Augsburg Kane wa Bayern atupia hat tr...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Miundo ya data za faragha
null
AfyaUnalijua tatizo la Shoulder impingement Syndrome?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:48Afyahttps://p.dw.com/p/4mvJ5Nakili kiunganishiMatangazo
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Mazingira Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Je Ulaya ina nafasi gani katika soko la Cobalt ya Congo? Je Ulaya in...
null
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video Kila msichana ana nafasi sawa kuwa jasiri - Msichana Jasiri!
null
Taarifa iliyotolewa na jeshi na shirika la Ujasusi la Israel Shin Bet siku ya Ijumaa, imesema wamewaangamiza wanamgambo hao akiwemo kamanda wa tawi la kijeshi la Hamas la Al-Qassam Brigades pamoja na kamanda mwingine wa ziada wa tawi hilo walioshiriki katika mauaji ya Oktoba 7 nchini Israel yaliosababisha kuzuka kwa vi...
null
Matangazo ya moja kwa moja | saa 12:00 asubuhi , saa 07:00 mchana, saa 12:00 jioni (Afrika Mashariki)To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videohttps://p.dw.com/p/4RVvlNakili kiunganishiMatangazo
null
SiasaUkraine yarusha makombora ya ATACMS kuelekea UrusiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video02:30Siasahttps://p.dw.com/p/4nH7SNakili kiunganishiMatangazo
null
DW Kisuaheli inakuletea vidio maalumu kuhusu masuala ya afya. Jinsia na Mwili ni mfululizo wa video zinazogusia jinsia yako na mwili wa mwanamke na hasa tukiangazia viungo ambavyo huchukuliwa kama "sehemu za siri". Watalaamu watafafanua mengi ambayo pengine hujayafahamu bado.
null
Mkuu wa Taasisi ya kimataifa inayoangazia Wakimbizi wa Ndani, IDMC Alexandra Bilak ameliambia shirika la habari la AFP baada ya kuchapisha ripoti hii leo Jumanne kwamba, idadi hiyo ni karibu nusu ya watu walioyakimbia makazi yao ulimwenguni. Amesema wameshuhudia idadi hiyo ya Afrika ikiongezeka mara tatu zaidi ya watu ...
null
Iran na Saudi Arabia zinaendelea na urekebishaji wa tahadhari wa mahusiano yao baada ya makubaliano yaliyosimamiwa na China mwaka 2023. Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, mjini Riyadh mwezi Oktoba na mkutano wake na Mrithi wa Kiti cha Ufalme Mohammed bin Salman inaashiria kuimarika kwa uhusiano. S...
null
Ligi ya mabingwa barani Ulaya Champions league itatimua vumbi tena leo, jumla ya mechi tisa zitapigwa katika viwanja mbalimbali. Wawakilishi wa Ujerumani Bayern Munich watakua nyumbani kuialika PSG huku Bayer Leverkusen ikishuka dimbani kucheza na RB Salzburg, RB Leipzig itakua ugenini dhidi ya Inter Milan. Barcelona i...
null
Matangazo Jeshi la Urusi limeahidi kujibu mashambulizi mapya ya anga yanayofanywa na Ukraine ndani ya Urusi kwa kutumia makombora ya Marekani aina ya ATACMS. Kupitia ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Telegram, wizara ya ulinzi ya Urusi imesema inapanga hatua za kulipiza kisasi bila ya kutoa maelezo zaidi. Wizara hiyo...
null
Matangazo Scholz anatarajiwa kuidhinishwa rasmi kwenye mkutano mkuu wa chama cha SPD utakaofanyika Januari 11. Hayo yameelezwa na vyanzo viwili vya chama hicho cha kisosholisti na hivyo kumpa nafasi Scholz kuongoza kwa muhula wa pili iwapo atashinda kwenye uchaguzi huo. Kura hiyo inafanyika baada ya kuvunjika serikali ...
null
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kwamba mitandao ya kijamii na akili mnemba isiyodhibitiwa inazidisha misukumo mibaya zaidi ya binadamu, kuruhusu matamshi ya chuki kuenea na kuchochea ghasia. Akizungumza katika mkutano wa ngazi ya juu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na Itikadi Kali...
null
Waziri huyo akizungumza katika mji huo mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini, alitishia kumkamata Rais Paul Kagame na Wanyarwanda wote na Wakongo wanaomuunga mkono. "Nchi yetu haitatawaliwa na Wanyarwanda kamwe. Muelewe vizuri kwamba tutawakamata, na Kagame mwenyewe tutamkamata pia. Nyinyi nyote mlioko katika mawasiliano na ...
null
Matukio muhimu ya barani Ulaya, mahusiano kati ya Ulaya na Afrika, namna Umoja wa Ulaya unavyoshughulikia masuala mbalimbali kama uhamiaji, na pia mtazamo wa maisha ya kila siku barani humo. Makala inayoonesha namna Wajerumani wanavyoishi, jinsi demokrasia yake inavyofanya kazi na taswira mbalimbali za kitamaduni, kisi...
null
Mwanadiplomasia mkuu wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell, ametoa wito wa usitishaji vita wa haraka katika mzozo wa Israel na Hezbollah wakati wa ziara yake nchini Lebanon Jumapili, wakati kundi hilo la wanamgambo likidai kufanya mashambulizi kadhaa ya kuvuka mpaka. Mapema wiki hii, mjumbe maalum wa Marekani, Amos Hochstei...
null
Matangazo Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasilian...
null
Kama kawaida katika mikutano ya viongozi wakuu, usalama umeimarishwa zaidi mjini Rio De Jeneiro hasa baada ya jaribio la shambulio la bomu siku ya Jumatano nje ya Mahakama ya Juu ya Brazil huko Brasilia. Brazil inashikilia urais wa zamu wa G20 mwaka huu na imeweka kipaumbele katika kupambana na njaa, umaskini na ukosef...
null
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video Mjadala unaowashirikisha wataalamu, wachambuzi, wanasiasa, wakijalidili masuala ya kimataifa na kikanda, kujenga uwelewa wa wasikilizaji juu ya masuala yanayogusa maisha yao katika nyanja zote.
null
Sikiliza makala kemkem tulizokuandalia To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video Vijana wanawakilisha takriban asilimia 77 ya bara la Afrika...
null
https://p.dw.com/p/4M5LWNakili kiunganishiPicha: DAVID H. CALZADA/Zoonar/picture allianceMatangazoEmail: kiswahili@dw.com Web: https://www.dw.com/kiswahili Facebook: https://www.facebook.com/dw.kiswahili/ Instagram: dw_kiswahili/ YouTube: https://www.youtube.com/@Kiswahili Anuani ya posta: DW Idhaa ya Kiswahili 53110 B...
null
Jamii yoyote yenye mafanikio huwa ni matokeo ya moja kwa moja ya mchango wa wanawake kwa kiasi kikubwa. Sisi hapa DW Kiswahili tunatambua mchango huo. Kila msichana ana nafasi sawa kuwa jasiri - Msichana Jasiri!
null
DW (Deutsche Welle) strives to make its website accessible to everyone. The web presence should be designed in such a way that it is in accordance with the national legislation on implementing the Directive (EU) 2016/2102 of the European Parliament. This declaration on accessibility applies to the version of this websi...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Sauti zetu Ruka sehemu inayofuata Sauti kuu Sauti kuu Matangazo ya moja kwa moja | saa 12:00 asubuhi , saa 07:00 mchana, saa 12:00 jioni (Afr...
null
Makala inayoangazia wapi na vipi haki za binaadamu zinavunjwa barani Afika na ulimwenguni kwa ujumla na namna mashirika ya haki za binaadamu yanavyozipigania.
null
Waziri wa Afya wa Ethiopia Ayele Teshome, amesema mzozo usioisha katika eneo la vita la Amhara nchini Ethiopia umezorotesha mfumo wake wa afya. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Addis Ababa, Ayele, amesema athari za mzozo huo kwa huduma za afya na binadamu ni mbaya mno.Takriban wafanyakazi wanane wa kutoa misaad...
null
JamiiMfumo wa kidijitali wa matumizi ya majiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:45Jamiihttps://p.dw.com/p/4mvUzNakili kiunganishiMatangazo
null
Matangazo Wanajeshi wanne wameuwawawakati wa mapigano karibu na bunge la Pakistan kati ya vikosi vya usalama na waandamanaji waliokuwa wanashinikiza kuachiliwa kutoka jela kwa Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan. Wizara ya mambo ya ndani ilithibitisha vifo hivyo lakini haikubainisha waliohusika, huku Waziri Mkuu Shehbaz S...
null
JamiiNi kwanini vijana wameyapa kisogo mapishi?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:45Jamiihttps://p.dw.com/p/4myNLNakili kiunganishiMatangazo
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Mada A - Z A Abd al-Aziz Bouteflika Abiy Ahmed Ali Abkhazia Abu Bakar al-Baghdadi Abu Sayyaf ADF Adhabu ya kifo Adolf Hitler AFCON AFCON 2019 AfD Afgha...
null
SiasaMatangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video52:00Siasahttps://p.dw.com/p/HJzkNakili kiunganishiMatangazo
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Michezo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Kane wa Bayern atupia hat trick dhidi ya Augsburg Kane wa Bayern atupi...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Ni kwanini vijana wameyapa kisogo mapishi? Ni kwanini vijana wameyapa kisogo m...
null
Takriban kilomita 7000 kusini mwa Brussels, karibu na mji wa Kolwezi kunakochimbwa madini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Paul Zagabe Nbanze anafanya kazi katika mgodi wa shaba na cobalt. Hapa, wachimba migodi hufanya kazi kwa mikono yao na kubeba magunia ya kilo 50 ya mawe migongoni mwao. Sauti zisizokoma za ...
null
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na Katibu Mkuu wa NATO Mark Rutte, mjini Brussels wakati ambapo utawala unaoondoka wa Rais Biden unataka kuhakikisha juu ya misaada kwa Ukraine kabla ya Donald Trump kurejea madarakani. Rais mteule Trump, ameutilia mashaka msaada huo kwa Ukraine na anasema ata...
null
Matangazo Meya wa mji wa Kyiv Vitali Klitschko amesema mji huo mkuu wa Ukraine umekabiliwa na shinikizo la mashambulizi ya droni usiku wa kuamkia leo. Watu walioshuhudia wameliambia shirika la habari la Reuters kwamba wamesikia mfululizo wa milipuko katika kile kilichosikika kama mifumo ya ulinzi wa anga ikiwa kazini. ...
null
Katika mahojiano aliyofanyiwa na DW wakati wa ziara yake jimboni Hawaii nchini Marekani, waziri Pistorius alizungumzia sera ya ulinzi ya Ujerumani inavyobadilika katikati mwa mizozo mingi ya kimataifa. Pistorius alikuwa Hawaii kusimamia ushiriki wa kikosi cha majini cha jeshi la Ujerumani Bundeswehr, katika luteka ya k...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Mfumo wa kidijitali wa matumizi ya maji Mfumo wa kidijitali wa matumizi ya maj...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Mwalimu Nyerere, kiongozi adimu mwenye maono Mwalimu Nyerere, kiongozi adimu m...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Upasuaji wa kubadilisha nyonga Tanzania Upasuaji wa kubadilisha nyonga Tanzani...
null
Kauli za karibuni kutoka kwa viongozi hao zilijiri saa chache tu baada ya bunge la Ukraine kusitisha shughuli zake kuhusiana na ongezeko la hofu ya shambulizi la kombora. Soma pia: Siku moja baada ya Moscow kufyatua kombora jipya kwenye mji wa Ukraine wa Dnipro, Putin amesema kutakuwa na majaribio zaidi ya kombora jipy...
null
Katibu Mkuu wa NATO Mark Rutte, amewaambia waandishi wa habari mjini Brussels nchini Ubelgiji kwamba leo anaweza kuthibitisha kuwa vikosi vya Korea Kaskazini vimepelekwa katika eneo la Kursk. Rutte amesema mwingilio huo wa Korea Kaskazini, unaashiria kutanuka kwa vita hivyo vya Urusi nchini Ukraine. Ukraine yasema wana...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Maandamano ya vurugu Uingereza Maandamano ya vurugu Uingereza Uingereza inakab...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Afrika inaweza kudhibiti soko la malighafi za nishati safi? Afrika inaweza kud...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Kinagaubaga kwa ripoti ya HRW na majibu ya Profesa Kabudi Kinagaubaga kwa ripo...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Unajua namna Yoga inavyoweza kukusaidia kiafya? Unajua namna Yoga inavyoweza k...
null
Trump na Rais Joe Biden anayemaliza muda wake, ambao ni mahasimu wa muda mrefu wa kisiasa, walijadili mizozo ya Ukraine na Mashariki ya Kati, sambamba na makabidhiano ya amani ya madaraka. Biden amempongeza Trump kwa ushindi wake, wakati alimpokaribisha katika ofisi ya rais na kusalimiana naye kwa kushikana mkono, akim...
null
Matangazo Rais mteule Donald Trump ametangaza kuwa Bilionea Elon Musk, ataongoza idara mpya ya serikali ya ufanisi, pamoja na Vivek Ramaswamy ambaye hapo awali aligombea urais. Trump amesema katika taarifa kwenye jukwaa lake linaloitwa "Truth Social” kwamba Musk na Ramaswamy watafungua njia kwa utawala wake, ya kuondok...
null
Matangazo Miongoni mwa viongozi waliozungumza kwa njia ya simu na Trump ni pamoja na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ambapo wawili hao wamejadili hali kwenye kanda ya Mashariki ya Kati na kile ofisi ya Netanyahu imekitaja kuwa "kitisho cha Iran". Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine naye amesema amezungumza na ...
null
Matangazo Kwenye taarifa iliyotolewa na ofisi yake, Guterres amejiunga na viongozi wengine duniani kumpongeza Trump kwa ushindi aloupata na kusisitiza kwamba ushirikiano kati ya Marekani na Umoja wa Mataifa ni nguzo muhimu kwenye mahusiano ya kimataifa. Muhula wa kwanza wa Trump madarakani ulishuhudia mashambulizi ya k...
null
Wateule hao wawili kutoka Florida watakuwa watu muhimu katika utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ya Trump ya "Amerika Kwanza," ambapo rais huyo mteule ameahidi kumaliza vita vinavyoendelea nchini Ukraine na Mashariki ya Kati na kuepuka kuihusisha zaidi Marekani katika mizozo ya kijeshi. Trump, tajiri wa miaka 78 kutok...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Ipi hatma ya kesi zinazomkabili Donald Trump? Donald Trump a...
null
Matokeo ya uchaguzi yamemuweka mgombea huyo wa Republican kifua mbele dhidi ya Mdemokrat Kamala Harris. Akiwahutubia wafuasi wake mapema leo hata kabla ya vyombo vya habari kumtangaza mshindi, rais huyo wa zamani wa Marekani amesema huo ni ushindi wa kisiasa ambao Marekani haijawahi kuushuhudia. "Ahsanteni sana. Hii in...
null
Marekani imeelekea mrengo wa kulia kwa kiasi kikubwa baada ya uchaguzi, ambapo Warepublican wanaounga mkono vuguvugu la Trump la kuifanya Marekani kuwa taifa kuu tena, linalojulikana kama "Make America Great Again, au MAGA, sasa wana wingi katika Seneti na huenda pia wakadhibiti Baraza la Wawakilishi mara kura zote zit...
null
Pia amempongeza Donald Trump wa Republican kwa kuchaguliwa tena kuliongoza taifa hilo. Akiwahutubia maelfu ya wafuasi wake mbele ya majengo ya Chuo Kikuu cha Howard mjini Washington, Bibi Harris amewarai wafuasi wake "kutokata tamaa" akiwataka waendelee kupigania masuala yaliyochochea shauku yao wakati wa kampeni. Harr...
null
Biden anatarajiwa kutoa hotuba yake katika Ikulu ya White House, ambapo ataahidi kusaidia kipindi cha mpito kuanzia sasa hadi kuapishwa kwa Trump hapo Januari 20. Rais huyo ambaye mgombea wake, KamalaHarris, amebwagwa vibaya na Trump kwenye uchaguzi huo, amewataka wanachama wa chama chake cha Democrat kuendelea kupigan...
null
Trump amempiku Mdemocrat makamu wa rais Kamala Harris katika kinyang'anyiro cha kuingia Ikulu ya White House. Televisheni za Marekani zimemtangaza mshindi baada ya matokeo kuonyesha kuwa amepata zaidi ya kura 270 za wajumbe wa kamati maalum ya uchaguzi anazohitaji. Alimbwaga Harris katika majimbo yenye ushawishi yakiwe...
null
Wakati Kamala Harris anaongoza kwa asilimia 1-2 katika kura za umma, mfumo wa kura za wajumbe wa majimbo unaojulikana kama Electoral Colleage, unawapa faida Warepublikani, hasa Donald Trump, na majimbo saba muhimu yanatarajiwa kuamua matokeo. Hali ya ushindani mkali, kanuni tofauti za kupigia kura, na uwezekano kwamba ...
null
Hadi siku ya uchaguzi wa rais wa Marekani tarehe 5 Novemba, Donald Trump, alikuwamo katika hatari ya kwenda jela. Lakini kurejea kwake Ikulu mwaka ujao kunamaanisha kuwepo uwezekano wa kesi kadhaa zilizo mahakamani kutenguliwa ikiwa pamoja na hukumu iliyotolewa na mahakama ya mjini New York inayohusu kughushi nyaraka z...
null
Kulingana na utafiti wa maoni ya wapigakura baada ya mdahalo huo, Kamala Harris mwenye umri wa miaka 59 na ambaye pia ni makamu wa rais wa sasa nchini Marekani, alijinadi vyema zaidi na alimpiku Trump katika mdahalo huo wao wa kwanza na pekee, lakini ambao pia ulisheheni vijembe kati yao. Mdahalo huo uligusia masuala m...