name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Mfumo wa kura za wajumbe wa kamati maalum ya uchaguzi ulianzishwa na waasisi wa Katiba ya Marekani mwaka 1787, wakati huo Marekani likiwa ndio kwanza ni taifa jipya huru kufuatia kujikombowa kutoka ukoloni wa Uingereza kupitia vita. Waasisi wa taifa hilo walitaka kuanzisha mfumo wa uchaguzi ambao hautakusanya madaraka ...
null
Kura za maoni zilizochapishwa Jumapili kabla ya mdahalo huo utakaofanyika Jumanne usiku kwa saa za Marekani, zinaonesha ushindani kwenye kinyang'anyiro cha urais ni mkali. Wagombea hao wawili wanachuana bega kwa bega, japo kura za maoni za Jumapili zinaonesha Trump anaongoza kwa kuungwa mkono na karibu nusu ya wapigaku...
null
Kupitia taarifa, Rais mteule wa Marekani Donald Trump alimteua meneja wake wa kampeni, Susie Wiles, kuwa mkuu wa wafanyakazi wa ikulu ya White House. Huo ukiwa uteuzi wake mkuu wa kwanza tangu kushinda uchaguzi wa wiki hii. Trump alimmiminia sifa Susie akisema "Susie ni imara, mwerevu, mbunifu, anapendwa na kuheshimiwa...
null
Yeyote anayelenga kufanya utafiti wa kina katika kumbukumbu za Ujerumani za kabla ya Vita vya Pili vya Dunia, anahitaji kuwa na ujuzi na kuwa na uwezo wa kusoma aina fulani za mwandiko ambazo kwa sasa zimetoweka kabisa katika matumizi ya kila siku katika lugha ya Kijerumani.Bunge la Ulaya laidhinisha sheria za kusimami...
null
Hitilafu kubwa ya mifumo ya kompyuta na kukatika kwa mtandao imeshuhudiwa mapema hii katika maeneo mbalimbali duniani, shughuli mbalimbali ikiwemo usafiri wa anga, mawasiliano ya simu na hata matangazo ya televisheni kuanzia Australia, Marekani hadi Ulaya yameathirika. Makampuni makubwa ya ndege kuu za Marekani kama De...
null
TeknolojiaFahamu kuhusu wizi wa taarifa binafsi mtandaoniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:45Teknolojiahttps://p.dw.com/p/4igpBNakili kiunganishiMatangazo
null
Idara nyingi za serikali na sekta ya teknolojia ni miongoni sekta muhimu zinazolengwa na mashambulio ya hivi karibuni ya uombaji fidia mtandaoni nchini India. Huku huduma za afya, benki, utengenezaji na biashara ya mtandaoni pia zikiathiriwa. Aina ya kawaida ya mashambulizi ya mtandaoni hutumia programu ya usimbaji fic...
null
TeknolojiaMpenzi aliyetengenezwa kwa teknolojia ya Akili MnembaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:45Teknolojiahttps://p.dw.com/p/4j86TNakili kiunganishiMatangazo
null
TeknolojiaAkili mnemba katika sokaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:45Teknolojiahttps://p.dw.com/p/4hkAANakili kiunganishiMatangazo
null
Conditions of participation - By submitting comments, pictures, videos, audio files and texts, participants consent to the publication of the material received, of their name and country of origin (e-mail addresses won’t be published). - DW reserves the right to check, edit or shorten submissions for editorial purposes...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Dakika 34 zilizopita Dakika 34 zilizopita Israel yaishambulia Beirut kabla ya usitishaji mapigano Saa 6 ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 EU yahimiza usitishaji wa vita vya Israel na Hezbollah 23.11.2024 23 Novemba ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 19.11.2024 19 Novemba 2024 Ukraine: Uamuzi wa Marekani utabadili mwelekeo wa vita 13.11.2024 13 Novemba ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 12.11.2024 12 Novemba 2024 Trump amemteua Mike Waltz kuwa mshauri wa Usalama wa Taifa 08.11.2024 8 Novem...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 21.11.2024 21 Novemba 2024 Ukraine yaishambulia Urusi na makombora ya Uingereza 20.11.2024 20 Novemba 20...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Dakika 34 zilizopita Dakika 34 zilizopita Israel yaishambulia Beirut kabla ya usitishaji mapigano Saa 24...
null
Matangazo Wito huo wa viongozi wa G20 umetolea sambamba na ule wa kuachiliwa kwa mateka na kuruhusu raia kurejea salama katika makazi yao. Aidha viongozi hao waliokutana mjini Rio de Janeiro nchini Brazil, wamesema katika taarifa yao ya pamoja kwamba wanahimiza mipango yote muhimu na yenye kujenga ambayo inaunga mkono ...
null
Wakati huo huo jeshi la Israel limedai kuwa limemuuwa kamanda mmoja mkuu wa kundi la Hezbollah anayedaiwa kuhusika na mashambulizi ya makombora kusini mwa Lebanon. Katika taarifa, wizara ya mambo ya kigeni ya Israel imesema kuwa imeufahamisha Umoja wa Mataifa kuhusiana na kusitishwa kwa mahusiano yake na UNRWA katika m...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Dakika 34 zilizopita Dakika 34 zilizopita Israel yaishambulia Beirut kabla ya usitishaji mapigano Saa 6 ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Erdogan apongeza ujasiri wa ICC kwa viongozi wa Israel 23.11.2024 23 Novemba ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: Babu Zingo/DW Babu Abdalla Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Babu Abdalla Taarifa...
null
Matangazo Jeshi la Israel limesema miongoni mwa maeneo 30 yenye mafungamano na Hezbollah yaliyoshambuliwa ni pamoja na handaki lenye dhahabu na mamilioni ya dola lililokuwa likimilikiwa na kampuni ya kifedha ya Al-Qard al-Hassan kusini mwa mji wa Beirut. Soma pia: Wanamgambo wa Hezbollah wadai kuvishambulia vikosi vya ...
null
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema katika ripoti yake iliyotolewa hii leo Alhamisi kwamba wapalestina katika Ukanda wa Gaza, wakati wote wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na operesheni ya kijeshi ya Israel kwa kiwango ambacho kinatosha kusema kuwa ni uhalifu wa kivita na uhalifu ...
null
Matangazo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani mashambulizi ya wiki za hivi karibuni dhidi ya ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon unaofahamika kwa kifupi kama UNIFIL. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatano, Baraza la Usalama limezitolea mwito pande zote kuheshimu ulinzi na usalama...
null
Ushirikiano kati ya taifa la Ujerumani na serikali ya kaunti ya Baringo umefanikisha zoezi hilo la siku 14 ambalo pia lilihusisha utoaji wa vifaa vya kisasa vya kuzima moto. Zaidi ya maafisa 28 wamepokea mafunzo kutoka kwa kundi la kutoa misaada na elimu kwa zima moto kutoka Ulaya maarufu kama European Support Team. Ch...
null
Asili na mazingiraKenyaJuhudi za wanawake kukabili athari za tabia nchiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:45Asili na mazingiraKenyahttps://p.dw.com/p/4mxJtNakili kiunganishiMatangazo
null
Kindiki ameapishwa rasmi Ijumaa(01.11.2024) kuwa naibu wa rais wa tatu baada ya Rigathi Gachagua kutimuliwa katikati ya mwezi Oktoba kwa makosa ya ufisadi, kukiuka katiba na matumizi mabaya ya madaraka. Haya yanajiri baada ya jopo la majaji watatu kuondoa kikwazo jana kilichozuwia naibu wa rais mpya kuapishwa. Profesa ...
null
Matangazo Kenya ilikana kuhusika, lakini wakili Erias Lukwago alidai serikali ya Kenya ilihusika. Alisema alipata nyaraka za Besigye licha ya upinzani kutoka idara za ujasusi za Kenya. Msemaji wa serikali ya Uganda alidai operesheni hiyo ilifanyika kwa ufahamu wa Kenya. Uganda imekuwa ikiendeleza ukandamizaji wa upinza...
null
SiasaKenyaJe, vijana ambao huandamana Kenya hutumiwa na wanasiasa?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:49SiasaKenyahttps://p.dw.com/p/4mxJqNakili kiunganishiMatangazo
null
Mazoea ya tabia ni mojawapo ya sababu iliyotajwa kuchangia ongezeko la ugonjwa Kichocho, au Kisonono cha damu katika Bonde la Ziwa Victoria. Jamii za eneo hili hasa wavuvi wakihusishwa na uchafuzi wa Ziwa kutokana na kufanya haja ndogo na kubwa ndani na ufuoni mwa Ziwa wanapokuwa katika shughuli za uvuvi, za kinyumbani...
null
Ziwa hilo la Bonde la Ufa ndilo kubwa zaidi la maji ya chumvi duniani. Kenya na Ethiopia zina mpaka wa pamoja wa Ziwa Turkana na mito ya bonde la Omo inamimina maji yake humo. Mji wa Kalokol ni sehemu ya wavuvi kupakua samaki wao Kina cha maji ya Ziwa Turkana kinaendelea kuongezeka na vijumba vimejikuta vikifunikwa na ...
null
Kauli hiyo imetolewa na Waziri mpya wa ulinzi wa Israel, Israel Katz, ambaye amedokeza kuwa Israel kwa sasa inayo "fursa" ya kuilenga miundombinu ya nyuklia ya Iran ambayo amesema kwa sasa iko katika hatari ya kushambuliwa. Hata hivyo, Mkuu wa shirika la kimataifa la kudhibiti matumizi ya nyuklia IAEA Rafael Grossi ame...
null
Hezbollah ilirusha mamia ya roketi na droni nchini Israel mapema Jumapili, wakati jeshi la Israel likisema liliipiga Lebanon kwa takriban ndege 100 kuzuia shambulio kubwa zaidi, katika moja ya makabiliano makubwa zaidi ya miezi zaidi ya 10 ya vita vya mpakani. Makombora yalionekana yakizunguka angani alfajiri, yakiacha...
null
Afif amesema hayo wakati taarifa nyingine kutoka IDF zikisema mchana huu kwamba vikosi vyake vimekuwa vikifanya uvamizi kusini mwa Lebanon kwa miezi kadhaa, na kugundua mahandaki na mipango ya uvamizi ya kundi hilo. Mapema hii leo, jeshi la Israel, IDF lilitangaza kuanzisha operesheni ya ardhini nchini Lebanon ambayo s...
null
Jeshi la Israel, IDF limesema ndege zake zimeshambulia maficho ya silaha ya Hezbollah yaliyopo chini ya ardhi. Mwandishi wa habari wa shirika la habari la AFP ameripoti moshi mkubwa mweusi uliotanda kati ya majengo mawili katika eneo la Haret Hreik, baada ya mashambulizi hayo. Shambulizi hili limefanywa baada ya siku t...
null
Ndege za kivita za Israel zimefanya mashambulizi ya nguvu huko kusini mwa Beirut kwa lengo la kutaka jeshi lake liweze kudhibiti sehemu zinazoshikiliwa na Hezbollah. Shirika la msalaba mwekundu la Lebanon limesema, kiasi ya raia watano wameuwawa na wengine 15 wamejeruhuiwa, wakati ndege hizo zilipolipiga madaraja kaska...
null
JamiiTanzaniaWakaazi wanasemaje baada ya jengo kuanguka, Kariakoo?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:43JamiiTanzaniahttps://p.dw.com/p/4nAaQNakili kiunganishiMatangazo
null
JamiiMeltem Özdem - Kinara wa wanawake warusha maputo ya kitaliiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:03Jamiihttps://p.dw.com/p/4mxDTNakili kiunganishiMatangazo
null
Je, Polisi wapewe mafunzo maalumu kukabili maandamano?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video02:46https://p.dw.com/p/4jkHjNakili kiunganishiMatangazo
null
Kutana na mwanamke mtunisha misuli kutoka KenyaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video06:07https://p.dw.com/p/4hBbHNakili kiunganishiMatangazo
null
AfyaAfrikaChangamoto ya watoto wenye mahitaji maalumu GhanaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:36AfyaAfrikahttps://p.dw.com/p/4kgcFNakili kiunganishiMatangazo
null
AfyaUpasuaji wa kubadilisha nyonga TanzaniaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:29Afyahttps://p.dw.com/p/4makANakili kiunganishiMatangazo
null
JamiiBenin kitovu cha utalii barani AfrikaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video04:12Jamiihttps://p.dw.com/p/4ff5xNakili kiunganishiMatangazo
null
JamiiKurunzi: Kijana anayeuza miche ya mauaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video02:34Jamiihttps://p.dw.com/p/4lAtfNakili kiunganishiMatangazo
null
Mkasa wa kuporomoka kwa jaa la taka, KampalaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video02:38https://p.dw.com/p/4jSLDNakili kiunganishiMatangazo
null
SiasaTanzaniaMbowe ang'aka kuhusu faulo za uchaguzi wa serikali za mitaaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:01SiasaTanzaniahttps://p.dw.com/p/4nAZoNakili kiunganishiMatangazo
null
JamiiManusura wa Kariakoo asimulia alivyookolewaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video05:03Jamiihttps://p.dw.com/p/4nCLxNakili kiunganishiMatangazo
null
Uvaaji wa kofia za Kiyoruba na maana yake To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video00:37https://p.dw.com/p/4gkXkNakili kiunganishiMatangazo
null
SiasaHali ya usalama ilivyoimarishwa Dar es salaamTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video00:36Siasahttps://p.dw.com/p/4kyLcNakili kiunganishiMatangazo
null
Kwanini Lesotho ndio nchi yenye baridi kali Afrika?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video04:55https://p.dw.com/p/4mMkGNakili kiunganishiMatangazo
null
Afrika KusiniNomfusi: Jinsi huzuni na masaibu yaweza kuchochea ufanisiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video05:59Afrika Kusinihttps://p.dw.com/p/4nFisNakili kiunganishiMatangazo
null
JamiiIdadi ya waliokufa kwa kuporomoka kwa ghorofa yafikia 13To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:18Jamiihttps://p.dw.com/p/4n6adNakili kiunganishiMatangazo
null
SiasaTanzaniaChadema kuwasilisha mashtaka dhidi ya Kamishna wa Polisi TanzaniaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video02:46SiasaTanzaniahttps://p.dw.com/p/4jSyvNakili kiunganishiMatangazo
null
JamiiAfrikaNarcolepsy ni ugonjwa unaosababisha kulala sanaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:27JamiiAfrikahttps://p.dw.com/p/4n7gcNakili kiunganishiMatangazo
null
Mapambo yanayotengenezwa kwa kutumia shangaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video00:42https://p.dw.com/p/4gkXYNakili kiunganishiMatangazo
null
TanzaniaMaumivu makali ya hedhi hudhibitiwaje?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video05:27Tanzaniahttps://p.dw.com/p/4fEC0Nakili kiunganishiMatangazo
null
AfrikaMsichana anayepigania kutokomeza ndoa za utotoniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video04:41Afrikahttps://p.dw.com/p/4fTZ4Nakili kiunganishiMatangazo
null
JamiiAfrikaFundi selemala asieona namna anavyotaza fursaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video02:36JamiiAfrikahttps://p.dw.com/p/4ljI6Nakili kiunganishiMatangazo
null
SiasaAfrikaWalioachana na wizi wa mifugo huko Afrika MasharikiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:17SiasaAfrikahttps://p.dw.com/p/4mtYONakili kiunganishiMatangazo
null
SiasaSIku 1,000 za vita vya UkraineTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:44Siasahttps://p.dw.com/p/4nAa0Nakili kiunganishiMatangazo
null
AfyaKurunzi Afya: Tatizo la kukosa usingiziTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video02:21Afyahttps://p.dw.com/p/4kz9YNakili kiunganishiMatangazo
null
Kutoka London hadi Lagos peke yake kwa gariTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video05:40https://p.dw.com/p/4jrUNNakili kiunganishiMatangazo
null
Mji wangu - Soweto To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video02:56https://p.dw.com/p/4jgqLNakili kiunganishiMatangazo
null
JamiiTanzaniaMsanii aliyejitosa kutetea haki za MaalbinoTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:01JamiiTanzaniahttps://p.dw.com/p/4jZ3DNakili kiunganishiMatangazo
null
Magauni ya harusi kuchanganywa na vitambaa vya rangi To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video00:41https://p.dw.com/p/4gkXiNakili kiunganishiMatangazo
null
Changamoto za mimba za utotoniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video05:39https://p.dw.com/p/4gD7UNakili kiunganishiMatangazo
null
AfyaAfrikaJe, unazifahamu dalili za ukomo wa hedhi, kuna hatari yoyote na unawezaje kuzitambua na kushuzishughulikia kwa namna salama? To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:38AfyaAfrikahttps://p.dw.com/p/4lFlaNakili kiunganishiMatangazo
null
SiasaBesigye afikishwa mahakama ya kijeshiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:16Siasahttps://p.dw.com/p/4nDKDNakili kiunganishiMatangazo
null
Vyakula maarufu vya mitaa ya KinshasaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video04:59https://p.dw.com/p/4iU1UNakili kiunganishiMatangazo
null
JamiiKenyaWaswahili wanavyozilinda tamaduni zaoTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:36JamiiKenyahttps://p.dw.com/p/4mvfJNakili kiunganishiMatangazo
null
UjerumaniUungwaji mkono wa AfD mashariki mwa UjerumaniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:05Ujerumanihttps://p.dw.com/p/4jn4hNakili kiunganishiMatangazo
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Kwanini Lesotho ndio nchi yenye baridi kali Afrika? Kwanini Lesotho ndio nchi ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: Saumu Njama/DW Saumu Njama Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Saumu Njama Taarifa ...
null
Israeli inaonekana kuwa tayari kupitisha mpango wa Marekani wa kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah. Haya ni kwa mujibu wa afisa mkuu wa Israel. Soma kwa kina kuhusu makubaliano hayo: Israel na Lebanon zakubali masharti ya kusitisha vita Baraza la usalama la Israel linatarajiwa kukutana baadaye leo Jumanne il...
null
Matangazo Idadi hiyo inajumuisha vifo vya watu 24 vilivyotokea saa 24 zilizopita. Kulingana na takwimu za wizara hiyo ya afya, watu wengine 104,638 wamejeruhiwa huko Gaza tangu vita vilipoanza baada ya wapiganaji wa Hamas kuishambulia Israel mnamo Oktoba 7, mwaka uliopita. Wakati hayo yanaarifiwa, mamlaka ya Palestina ...
null
Matangazo Gavana wa Mykolaiv Vitaliy Kim amesema kupitia mtandao wa mawasiliano wa Telegram kwamba wahandisi wamefanikiwa kurejesha umeme katika sehemu kubwa iliyoshambuliwa. Gavana huyo amefahamisha kuwa, hakukuwepo majeruhi na kwamba mfumo wa ulinzi wa anga umefanikiwa kuangusha droni mbili zilizoshambulia eneo hilo....
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Wizara ya Afya Gaza yasema idadi ya vifo yafikia watu 44,235 22.11.2024 22 No...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 22.06.2024 22 Juni 2024 Miili 14 ya wahamiaji yakutwa baharini 14.06.2024 14 Juni 2024 Viongozi wakuu wa...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 17.11.2024 17 Novemba 2024 Nchi za G7 zasisitiza kuendelea kuiunga mkono Ukraine Ruka sehemu inayofuata ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Wizara ya Afya Gaza yasema idadi ya vifo yafikia watu 44,235 25.11.2024 25 No...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 17.11.2024 17 Novemba 2024 Nchi za G7 zasisitiza kuendelea kuiunga mkono Ukraine Ruka sehemu inayofuata ...
null
Mwaka 2016 mara tu baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa, rais Yoweri Museveni alitajwa kuwa mshindi. Lakini upinzani ukiongozwa na Dr. Kizza Besigye na chama chake cha FDC walipinga matokeo hayo wakisisitiza kuwa yeye ndiye aliyeshinda na kwa hiyo alikuwa tayari kuunda serikali mpya. Kanda ya video ilisambazwa ...
null
Sherehe za maadhimisho ya siku ya vuguvugu la chama tawala nchini Uganda, NRM ambayo pia huitwa siku ya ukombozi zimefanyika wilayani Kikumiro katikati mwa nchi. Akiongoza sherehe hizo za miaka 37 ya utawala wake, rais Museveni ameorodhesha mafanikio kadhaa ambayo Waganda wanajivunia na muhimu ni suala la kukomesha uka...
null
Mke wa mwanasiasa kinara wa upinzani nchini Uganda Kiza Besigye amesema mumewe anashikiliwa kwenye jela moja ya kijeshi baada ya kukamatwa kwa nguvu nchini Kenya. Winnie Byanyima, mke wa Besigye na Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Ukimwi, UNAIDS, ametoa taarifa hizo leo kupitia mtandao wa kijamii wa ...
null
Meya wa mji wa Kampala Erias Lukwago ambaye pia ni rais wa chama cha FDC ameelezea kuwa muungano huo ni mwendelezo wa harakati zao za kuikomboa Uganda kutoka katika utawala wa kiimla wa rais Yoweri Museveni. Habari za viongozi wakuu wa upinzani kutangaza muungano huo zimetolewa wakati wananchi mbalimbali wakiendelea ku...
null
Matangazo Wakali wake Eria Lukwago ameliambia shirika la habari la AFP kwamba Besigye, mwenye umri wa miaka 68, alifikishwa mahakamani hapo chini ya ulinzi mkali wa vyombo vya dola huku akiwa amefungwa pingu mikononi. Lukwago amesema mwanasiasa huyo amepinga kesi yake mbele ya mahakama ya kijeshi akisema raia wa kawaid...
null
FDC ni miongoni mwa vyama vikubwa vya kisiasa nchini Uganda kinachoongozwa na Dkt Kizza Besigye, mwanasiasa mkonwe wa upinzani nchini humo ambaye amewahi kugombea urais mara nne. Wakili wao, Erias Lukwago, amewaambia waandishi wa habari nje ya mahakama mjini Kampala kwamba watu hao walikamatwa nchi jirani ya Kenya kati...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: John Juma/DW Tatu Karema Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Tatu Karema Taarifa zi...
null
Hatua hii ya vyama vitano vya upinzani kusaini mkataba wa kimkakati inachukuliwa wiki moja baada ya Rais Museveni kusaini mwingine na rais wa chama cha DP, Norbert Mao na kumteua kwa wadhifa wa waziri. Haijafahamika kama huo ndiyo umewatia hima wanasiasa wa upinzani kuamua kushirikiana ili wasije wakaonekana na wafuasi...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 17.11.2024 17 Novemba 2024 Kimbunga Man-yi chaipiga Ufilipino 17.11.2024 17 Novemba 2024 Kimbunga Man-yi...
null
Mwanariadha Rebecca Cheptegei alifariki dunia jana, siku nne baada ya mpenzi wake kumwagia petroli na kumchoma nyumbani kwake magharibi mwa Kenya. Mwanariadha huyo ni wa tatu wa kike kuuawa nchini Kenya tangu mwaka 2021. Mwanzilishi wa shirika la Usikimye linalopambana na ukatili wa kijinsia Njeri Migwi amesema ukatili...
null
Wanawake kutoka mashirika mbalimbali ya utetezi wa haki za wanawake wamekutana hapa Bukavu kutahmini mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia ya zaidi ya muongo mmoja sasa. Jinsi wanawake walivyogeuzwa shabaha ya wapiganaji Kongo Kwenye mkutano wao huu, wanasema ingawa unyanyasaji dhidi ya wanawake umepunguwa katika siku...
null
Maelfu ya watu waliandamana kote duniani hapo jana Jumamosi kulaani ukatili dhidi ya wanawake katika siku ya kimataifa inayolenga kutokomeza uhalifu huo. Katika taarifa yake, Rais wa Marekani Joe Biden, alisema kuwa janga la ukatili wa kijinsia linaendelea kuleta maumivu na dhuluma kwa wengi. Italia, ambayo imetikiswa ...
null
Ripoti hiyo iliyozinduliwa mjini Arusha kaskazini mwa Tanzania pia imeonesha kuwa mauaji mengi ya wanawake hao yanafanywa na ndugu wa karibu, kwa imani za kishirikina na wivu wa kimapenzi. Utafiti wa ripoti hiyo uliofanyika katika mikoa ya Geita, Shinyanga, Mwanza, Dar es Salaam na Kilimanjaro, pamoja na mambo mengine ...
null
Matangazo Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Amani ya Nobel Berit Reiss-Andersen, akimtangaza mshindi wa tuzo hiyo mjini Oslo leo amesema Narges Mohammadi, ametunukiwa kwa ujasiri wake wa kupigania haki na kupinga ukandamizaji wa wanawake nchini mwake. Mohammadi ni miongoni mwa wanaharakati wanawake wa Iran ambao wamekuwa...
null
Kulingana na takwimu za Ofisi ya BKA wanawake 180,715 wa nchini Ujerumani waliripoti kufanyikiwa matendo ya unyanyasaji majumbani katika kipindi cha mwaka 2023. Idadi hiyo ni ongezeko la asilimia 5.6 ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Naibu Kiongozi wa Idara ya Kitaifa ya Polisi inayochunguza makosa ya jinai Michael...
null
Wanawake nchini Afghanistan waliandamana kwa muda mfupi mjini Kabul wakitaka haki zao zitambuliwe katika mkesha wa Siku ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa ya kutokomesha ukatili dhidi ya wanawake. Wanawake wa Afghanistan wamebanwa nje ya maisha ya umma tangu kurejea madarakani kwa kundi la Taliban Agosti mwaka jana, laki...
null
Watu tisa wamekufa na wengine watatu kujeruhiwa kufuatia maporomoko ya ardhi huko Nyabibwe katika jimbo la Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Thomas Bakenga, mkuu wa mtaa wa Kalehe amesema nyumba kadhaa zilisombwa na mafuriko ya mvua na matope katika mji wa wakulima wa Nkubi na kuharibu masham...
null
Matangazo Uchunguzi unaendelea baada ya ndege ya mizigo ya kampuni ya DHL iliyokuwa ikisafiri kutokea Ujerumani kuelekea Lithuania kuanguka jana Jumatatu na kuua mtu mmoja na kuwajeruhi wengine watatu. Mkuu wa huduma za uokoaji na zima moto wa Lithuania Renatas Po·ela amesema ndege hiyo ambayo ilianza safari yake kutok...
null
MigogoroKimataifa20.11.2024: Taarifa ya Habari ya AsubuhiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video08:00MigogoroKimataifahttps://p.dw.com/p/4nBOzNakili kiunganishiMatangazo