name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zimesaini waraka muhimu kuimarisha mchakato wa kutafuta amani katika eneo linalokabiliwa na machafuko la mashariki mwa Congo. Hayo yamesemwa jana Jumatatu na Angola ambayo inasimamia mchakato huo. Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Angola imesema mawaziri wa mambo ya nje wa ... |
null | Matangazo Kwa upande wake, Wizara ya Ulinzi ya Urusi iliripoti kuwa zaidi ya droni 30 za Ukraine zilidunguliwa katika ardhi yake usiku wa kuamkia Jumapili. Mkuu wa mkoa wa Kursk magharibi mwa Urusi amesema droni ishirini na saba na makombora mawili vilirushwa kwenye anga ya mkoa huo na wanajeshi wa Ukraine. Wakati huoh... |
null | Matangazo Kim ameyasema hayo Alhamisi wakati wa maonesho ya ulinzi yalioonesha baadhi ya mifumo ya silaha yenye nguvu zaidi ya Korea Kaskazini. Kauli yake inakuja ikiwa ni miezi michache kabla ya Donald Trump kuingia rasmi madarakani kama rais wa Marekani. Katika muhula wake wa kwanza wa uongozi, Trump aliwahi kukutana... |
null | Mkutano huo wa wiki mbili kwenye mji wa Baku kuna uwezekano utaingia katika muda wa ziada, huku kukiwa na maelezo muhimu kuhusu makubaliano ambayo bado hayajatolewa, achilia mbali kuafikiwa. Soma pia: Umoja wa Mataifa wataka mataifa kuwa na utayari ili kupata makubaliano katika mkutano wa COP29 Suala kuu la kipaumbele ... |
null | Matangazo Uchaguzi huo unatazamwa kama kipimo cha Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye alichukua madaraka mwaka 2021 kwa ahadi za mageuzi na kuboreshwa kwa uhuru wa raia na kuwakatisha tamaa waangalizi wa kimataifa, ambao wanaashiria kurejea kwa sera za ukandamizaji za mtangulizi wake. Awali Ijumaa chama chake- CHADEMA kil... |
null | Matangazo Ujumbe wa Umoja wa Mataifa kwa Afghanistan leo Jumanne umesema utawala wa Taliban umewakamata kiholela na kuwazuia wanahabari 256 tangu ulipochukua madaraka miaka mitatu iliyopita. Katika ripoti hiyo mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Roza Otunbayeva, amesema waandishi wa habari nchini Afgha... |
null | Viongozi wa nchi za Kusini mwa Afrika wamekubaliana jana Jumatano kuongeza kwa mwaka mmoja uwepo wa wanajeshi wa kikanda waliotumwa kupambana na waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuahidi kufanya kazi pamoja ili kufikia amani nchini Msumbiji, ambako matokeo ya uchaguzi yaliopingwa na upinzani yame... |
null | Matangazo Mjumbe huyo wa Marekani amekutana na spika wa bunge la Lebanon Nabih Berri anayeliwakilisha kundi la Hezbollah katika mazungumzo hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yanasimamiwa na Marekani na Ufaransa. Ziara ya Hochstein inafanyika katika wakati ambapo mapambano yanaendelea kuripotiwa kati ya Israel na Hezbollah. ... |
null | Majira ya alfajiri ya Jumapili katika mazungumzo ya Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi, nchi kutoka kote ulimwenguni zilifikia makubaliano kuhusu jinsi mataifa tajiri yanavyoweza kuchangia fedha kusaidia nchi maskini kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Hata hivyo, makubaliano hayo siyo bora kabisa, kwa... |
null | Rasimu mpya ya mkataba wa Tabianchi iliyotangazwa kwenye mkutano wa COP29 nchini Azerbaijan imeshindwa kutatua mkwamo kuhusu ufadhili, huku mataifa yakigawanyika kuhusu makubaliano ya ufadhili wa dola trilioni moja, yanayotarajiwa kuchukua nafasi ya ahadi ya kila mwaka ya dola bilioni 100 iliyotolewa na mataifa tajiri ... |
null | Matangazo Serikali ya Australia imewasilisha muswada bungeniwa kupiga marufuku mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka 16, ambao unaweka faini ya hadi dola milioni 32 kwa ukiukaji. Mfumo wa uthibitishaji wa umri, kama biometriki, utatumika kutekeleza sheria hii, ambayo ikipitishwa, itakuwa miongoni mwa kali... |
null | Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amerejea nyumbani leo Jumatano baada kuhudhuria mkutano wa kilele wa kundi la G20 nchini Brazil katikati ya shinikizo linaloongezeka ndani ya chama chake juu ya iwapo anafaa kuwa mgombea wa Ukansela kwenye uchaguzi wa mapema uliopangwa kufanyika mwakani. Scholz, mwanachama wa chama cha ... |
null | Siasa25.11.2024 Matangazo ya MchanaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:00:00Siasahttps://p.dw.com/p/4nOafNakili kiunganishiMatangazo |
null | Matangazo Kisiwa hicho hakijawahi kutembelewa na papa. Francis atakutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wakati wa ziara yake ya siku moja mnamo Desemba 15. Mkutano huo umepangwa muda mfupi kabla Papa Francis kurejea Roma. Wiki moja kabla ya ziara ya Papa Francis huko Corsica, Kanisa kuu la Notre-Dame huko Paris li... |
null | Shirika linalowahudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limetahadharisha kwamba idadi ya watoto nchini Haiti waliosajiliwa na magenge yenye silaha imeongezeka kwa asilimia 70 katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Shirika hilo limeonya kwamba watoto wanakaribia aslimia 50 ya idadi jumla ya wanachama wa magenge hayo... |
null | Kimataifa22.11.2024 Taarifa ya Habari AsubuhiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video08:00Kimataifahttps://p.dw.com/p/4nIRmNakili kiunganishiMatangazo |
null | Marekani ndio mwanachama pekee wa Baraza la Usalama aliyepiga kura ya kupinga mswada huo. Wanachama wengine 14 - wakiwemo washirika wa Marekani ambao ni Uingereza na Ufaransa - waliuunga mkono. Soma pia: Wapalestina 15 wauawa na jeshi la Israel huko Gaza Mwakilishi wa Marekani alikosoa mpango huo kwa kutoungaisha usiti... |
null | Jeshi la anga la Ukraine limesema Urusi imefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani usiku kucha nchini Ukraine na kuharibu majengo na "miundombinu muhimu" katika mikoa kadhaa. Soma: Urusi na Ukraine zashambuliana vikali na droni baada ya mazungumzo ya simu ya Trump na Putin Jeshi hilo la anga la Ukraine limesema Ur... |
null | Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov ameyasema hayo Ijumaa siku moja baada ya Rais Putin kusema kuwa jeshi lake liliishambulia ngome ya kijeshi ndani ya Ukraine kwa kutumia kombora jipya la masafa marefu aina ya Oreshnik. Akizungumza na wanahabari, Peskov amesema kuwa ujumbe mkuu wa shambulio hilo ni kuwa maamuzi ya kizem... |
null | Nchi za Umoja wa Ulaya, Marekani na mataifa mengine tajiri katika mkutano wa hali ya hewa, COP29 unaofanyika nchini Ezerbaijan, yamekubali kuongeza ufadhili wa hadi dola bilioni 300 ifikapo mwaka 2035 kwa ajili ya kuyasaidia mataifa yanayoendelea kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Maamuzi hayo yamefikiwa baada ... |
null | Matangazo Katika hotuba yake mjini Istanbul amesema wanadhani ni muhimu kwamba uamuzi huo wa kijasiri ufanywe na wanachama wote wa mkataba uliounda mahakama hiyo kwa kurejesha imani ya ubinadamu katika mfumo wa kimataifa. Mahakama ya ICC ilitoa waranti dhidi ya viongozi wa Israel na mkuu wa jeshi la Hamas Mohammed Deif... |
null | Matangazo Hata hivyo Zelensky amesema wataendelea kupambana kwa kuwa wana uzalishaji wao wa silaha ingawa hautoshi. Soma pia: Zelenskiy: Mwaka 2025 kuamua atakayeshinda vita Ukraine Rais mteule wa Marekani Donald Trump amekuwa akionyesha kupinga hatua ya utawala wa Biden kuipatia Ukraine mabilioni ya dola tangu kuanza ... |
null | Kundi hilo la wanaume 14 liliibuka lenyewe kutoka kwenye mgodi wa bafflesfontein usiku wa kuamkia leo wakati operesheni ya kuifunga migodi haramu ya madini ikiendelea nchi nzima. Msemaji wa polisi Athlenda Mathe anasema kuwa mvulana wa miaka 14 alikuwa miongoni mwa wanaume waliojitokeza na amethibitisha kile ambacho po... |
null | Matangazo Mabaki ya droni za Ukraine yaliyokuwa yakianguka yamesababisha moto katika kituo cha viwanda eneo la Kaluga kiasi kilometa 200 kusini magharibi mwa mkuu wa Urusi, Moscow. Gavana wa eneo hilo Vladislav Shapsha amesema hivi leo kwamba hakuna majeraha yaliyotokea na kwamba droni tatu za Ukraine zimeharibiwa. Hat... |
null | SiasaMatangazo ya Machana. 23.11.2024To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:00:00Siasahttps://p.dw.com/p/4nLcKNakili kiunganishiMatangazo |
null | Chama tawala cha CCM kimesambaza viongozi wake wakuu katika mikoa mbalimbali kuzindua kampeni zao leo huku wapinzani, ACT-Wazalendo na Chadema nao wakinoa wembe ule ule. Licha ya kulia rafu hasa katika mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vyama vya upinzani katika taifa hili la Afrika Ma... |
null | Hayo yamesemwa na mwenyekiti mwenza wa cha Social Democratic - SPD. Haya yanajiri baada ya mpinzani wake mkuu ndani ya chama, Waziri wa Ulinzi Boris Pistorius, kukataa kugombea. Pistorius alisema Scholz ndiye mgombea sahihi wa chama. Pia alisema itatuma ishara mbaya kumvua kansela aliyeko madarakani wadhifa wake. Ujeru... |
null | SiasaMatangazo ya Jioni. 23.11.2024To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video59:59Siasahttps://p.dw.com/p/4nLuYNakili kiunganishiMatangazo |
null | Matangazo Watu wengine sita waliuawa kwenye shambulizi hilo. Wakati huo huo shambulizi kama hilo kwenye upande wa kusini mwa taifa hilo limesababisha vifo vya wahudumu watano wa afya. Katika eneo la Gaza mkurugenzi wa hospitali ya Kamal Adwan, kituo cha afya kati ya vichache vyenye kutoa huduma kidogo huko kaskazini mw... |
null | Hatua ya Marekani kuiruhusu Ukraine kutumia makombora yake ya masafa marefu kushambulia miundombinu ya kijeshi ndani ya Urusi imeibua wasiwasi kwa washirika wa Ukraine barani Ulaya, hasa baada ya Urusi kutishia kutumia silaha zake za nyuklia. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemtaka mwenzake wa China Xi Jinping kutumi... |
null | Shirika linaloshughulikia masuala ya uhamiaji la Umoja wa Mataifa IOM, limesema zaidi ya watu 40,000 wameyakimbia makazi yao katika mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince, katika kipindi cha siku kama kumi hivi mwezi huu, huku mji huo ukikabiliwa na ongezeko la machafuko na uhalifu unaofanywa na magenge. Shirika hilo limeie... |
null | AfrikaRwanda na DRC zasaini hati muhimu kuendeleza juhudi za amaniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:51Afrikahttps://p.dw.com/p/4nR5sNakili kiunganishiMatangazo |
null | MichezoBayern yatanua mwanya kileleni mwa jedwaliTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:45Michezohttps://p.dw.com/p/4nPoINakili kiunganishiMatangazo |
null | SiasaRomaniaMwangaza wa Ulaya:Duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais RomaniaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:51SiasaRomaniahttps://p.dw.com/p/4nS5ZNakili kiunganishiMatangazo |
null | Matangazo Mji wa Tel Aviv ulishambuliwa baada ya Israel kufanya shambulio kubwa la anga katika mji wa Beirut, ambako watu 29 waliuawa mwishoni mwa wiki. Hezbollah imesema pia imeshambulia sehemu mbili za kijeshi mjini Tel Aviv na kwenye vitongoji vya mji huo kulipiza kisasi. Polisi nchini Israel imeeleza kuwa athari ya... |
null | Matangazo Mashambulizi ya anga ya Israeli dhidi ya jeshi la Lebanon yameua mwanajeshi mmoja na kujeruhi wengine 18, huku Hezbollah ikijibu kwa kurusha maroketi ndani ya Israel. Katika Ukanda wa Gaza, Israeli imewataka wakaazi wa vitongozi vya mashariki mwa Ukanda huo kuhama, na kusababisha wimbi jipya la watu kuyahama ... |
null | Matangazo Besent, 62, ndiye mwanzilishi wa kundi la makampuni ya "hedge fund Key Square." Awali alikuwa afisa mkuu wa uwekezaji wa ofisi nyingine iitwayo "Fund Management" na anachukuliwa kuwa mtaalam wa jumla wa ulimwengu uwekezaji.Pamoja na kumtaka awajibike katika kupunuza deni la taifaTrump amesema Besent atashughu... |
null | Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kiongozi wa Urusi, Vladmir Putin anaitumia Ukraine kama uwanja wa kufanyia majaribio silaha zake. Tuhuma hizo za Zelensky amezitowa baada ya ripoti za jeshi la nchi yake kuonesha kwamba Urusi imeishambulia Ukraine kwa kutumia kombora la masafa marefu la kuvuka mabara. Rais Zel... |
null | Matangazo Onyo hilo la wizara hiyo inayodhibitiwa na kundi la Hamasliimekuja siku moja baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kutoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa ulinzi Yoav Gallant ikiwa ni zaidi ya mwaka tangu kuanza kwa vita vya Gaza. Madaktari wa Gaza wamesem... |
null | Rais Xi Jinping wa China ameanza ziara rasmi nchini Brazil leo baada ya kuhudhuria mikutano miwili ya kilele ikiwemo wa kundi la G20 uliomalizika jana kwenye mji wa mwambao wa Rio de Janenairo. Xi alilakiwa na mwenyeji wake Rais Luiz Inacio Lula da Silva mjini Brasilia kwa hafla ya kufana iliyojumuisha heshima ya zulia... |
null | Matangazo Katika hotuba yake ya jana jioni kwa njia ya vidio Zelensky amesema mtu anapoanza kutumia nchi zingine sio tu kwa ugaidi, bali pia kwa majaribio yao makombora mapya kupitia ugaidi, hakika huo ni uhalifu wa kimataifa. Hapo awali, Putin alielezea matumizi ya kombora la masafa ya kati kama mtihani wa mafanikio c... |
null | Migogoro20.11.2024 Matangazo ya JioniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:00:00Migogorohttps://p.dw.com/p/4nDJmNakili kiunganishiMatangazo |
null | Jeshi la SADC linaisaidia serikali ya Kongo kupigana na makundi ya waasi. Ujumbe huo wa kijeshi ulipelekwa Kongo mnamo Desemba 2023 kuhudumu kwa mwaka mmoja. Soma pia: Vikosi vya SADC vyafanya msako dhidi ya M23 Taarifa iliyotolewa baada ya viongozi wa kikanda kukutana katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare ilielezea wasi... |
null | Wakati mkutano wa bodi ya Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Matumizi ya Nishati ya Atomiki – IAEA ulianza mjini Vienna, wanadiplomasia waliliambia shirika la habari la AFP kuwa Paris, Berlin, London na Washington ziliwasilisha rasmi muswada wa kuikemea Iran. Azimio hilo linatarajiwa kupigiwa kura Alhamisi, kwa mujibu w... |
null | Taarifa ya Mahakama ya ICC imesema majaji wa mahakama hiyo wametoa hati za kukamatwa kwa watu wawili, Benyamin Netanyahu na Yoav Gallant. Viongozi hao wanatuhumiwa na mahakama hiyo ya kimataifa kwa uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita uliofanywa angalau kuanzia Oktoba 8, 2023 hadi Mei 20, mwaka huu. Mei 20 nd... |
null | Matangazo Hayo yameelezwa na shirika la habari la Axios lililomnukuu afisa mwandamizi wa Marekani ambaye jina lake halikutajwa. Serikali ya Israel imesema leo inaelekea kufikia makubaliano ya kusitisha vita na Hezbollah japo kulikuwepo na masuala ambayo bado yanapaswa kushughulikiwa. Maafisa wa Lebanon licha ya tamko l... |
null | Siasa26.11.2024 Matangazo ya AsubuhiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video52:00Siasahttps://p.dw.com/p/4nQXRNakili kiunganishiMatangazo |
null | Matangazo Usafiri wa umma umetatizika pakubwa huku hali ya tahadhari ikitangazwa baada ya kimbunga Bert kuipiga Uingereza na Wales na kuandamana na mvua kubwa na upepo mkali. Mvua ya kiasi milimita 130 imenyesha katika maeneo mbalimbali na kusababisha mito kufurika na maji kuenea hadi barabarani. Takriban nyumba 350,00... |
null | Waromania wanapiga kura Jumapili katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais katikati mwa mfumuko mkubwa wa bei ambao unaweza kumnufaisha kiongozi wa mrengo wa kulia, George Simion. Kura hiyo inazindua wiki mbili za uchaguzi nchini Romania, ikiwemo uchaguzi wa bunge na duru ya pili ya uchaguzi wa rais Desemba 8. Miongoni... |
null | Akilihutubia taifa lake kwa njia ya televisheni jioni ya jana, Rais Vladimir Putin wa Urusi ametangaza kuwa Urusi imetumia aina mpya ya kombora la masafa ya kati, kushambulia kituo cha kijeshi cha Ukraine. "Wataalamu wetu wa makombora waliliita Oreshnik. Majaribio yalifanikiwa. Lengo la uzinduzi lilifikiwa. Moja ya maj... |
null | Shinikizo limeongezeka leo Jumatano kwa mataifa tajiri kutoa ahadi ya kuchangia dola Trilioni 1 kila mwaka kuyasaidia mataifa masikini kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Wawakilishi wa nchi zinazoendelea kwenye mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya tabianchi wa COP29 uaofanyika mjini Baku, Azerbaijan wan... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Marekani: Israel na Lebanon wameafikiana kusitisha vita 23.11.2024 23 Novemba... |
null | Maafisa wa huduma za afya wa Gaza wamesema watu wanne, wawili kati yao wakiwa ni watoto wenye umri kati ya miaka 7 na 9 wameuwawa kwenye kambi yenye mahema ya kuwahifadhi watu wasio na makazi katika eneo la Al Mawasi lililotengwa kuwa eneo la kupitisha misaada ya kiutu. Watu wengine wawili wameuwawa katika makazi ya mu... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Marekani: Israel na Lebanon wameafikiana kusitisha vita 23.11.2024 23 Novemba... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita NATO yajadili kuimarisha utengenezaji silaha Ukraine 25.11.2024 25 Nov... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Mkuu wa NATO Rutte afanya mazungumzo na Trump huko Florida 23.11.2024 23 Nove... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 25.11.2024 25 Novemba 2024 Marekani: Israel na Lebanon wameafikiana kusitisha vita 23.11.2024 23 Novemba... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Erdogan apongeza ujasiri wa ICC kwa viongozi wa Israel 16.11.2024 16 Novemba ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Mkuu wa NATO Rutte afanya mazungumzo na Trump huko Florida 23.11.2024 23 Nove... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Maoni ya wahariri juu ya Uturuki, Uhispania na Benki Kuu ya Marekani Maoni ya ... |
null | Kulinga na duru za serikali mjumbe huyo wa Marekani atakutana na spika wa bunge la Lebanon Nabih Berri, anaeliwakilisha kundi la Hezbollah katika majadiliano hayo. Kwa wiki sasa kumekuwa na madai ya kuwepo pendekezo la kusitisha mapigano kutoka Marekani. Duru za usalama za Lebanon zinasema pande hizo mbili hasimu, Isra... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Mkuu wa NATO Rutte afanya mazungumzo na Trump huko Florida 23.11.2024 23 Nove... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita NATO yajadili kuimarisha utengenezaji silaha Ukraine 25.11.2024 25 Nov... |
null | SiasaIsrael yaanzisha uvamizi mpya kaskazini mwa GazaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:00:00Siasahttps://p.dw.com/p/4lSVMNakili kiunganishiMatangazo |
null | Picha: Klaus Ohlenschläger/picture allianceMatangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki) |
null | Zoezi la kufikisha misaada katika Ukanda wa Gaza linaendelea kuwa gumu huku usafirishaji wa misaada hiyo hadi katika eneo la kaskazini lililozingirwa ukiwa hauwezekani, hayo ni kwa mujibu wa afisa wa maswala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd A... |
null | Saleh al-Arouri alikuwa naibu kiongozi wa kundi la Hamas na aliuawa kwa shambulio la ndege isiyo na rubani mjini Beirut siku ya Jumanne. Al-Arouri alikuwa afisa muhimu wa Hamas na hata Hezbollah, makundi mawili yanayoungwa mkono na Iran na ambayo yameorodheshwa na Israel, Marekani, Ujerumani na mataifa mengine kadhaa y... |
null | Josep Borrell alitoa pendekezo lake hilo wakati wa mkutano wa mabalozi na kwa mujibu wa wanadiplomasia wanne waliohusika, mkuu huyo wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya anatarajiwa kulirasimisha pendekezo lake wakati wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya utakaofanyika mjini Brussels mapema wiki ijayo. Mk... |
null | Matangazo Hii ni mara ya tatu ambapo Israel imetoa onyo kama hilo katika muda wa saa 24. Eneo hilo la kusini mwa Beirut limeshambuliwa baada ya jeshi la Israel kutoa amri ya watu kuondoka lilitaja eneo hilo kuwa ni ngome ya kundi la Hezobollah. Picha za chombo cha habari cha AFP zilionyesha moshi mweusi ukifuka katika ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii EU yataka usitishaji mara moja wa vita vya Israel-Hezbollah ... |
null | Vita kama hivyo vinaweza kusababisha madhara makubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa na upande wowote. Iddi Ssessanga anaangazia kitisho juu ya vita hivyo katika ripto ifuatayo. Israel na Hezbollah zina funzo kutokana na vita vyao vya mwisho, vilivyotokea mwaka 2006, vilivyodumu kwa mwezi mzima na kumalizika kwa kile wadadisi... |
null | Matangazo Katika Ukanda wa Gaza karibu watu 12 wameripotiwa kuuawa huku mashirika ya Umoja wa Mataifa yakitahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinaadamu. Wizara ya afya huko Gaza inayodhitiwa na kundi la Hamas imesema idadi jumla ya vifo katika zaidi ya miezi 13 ya vita imefikia watu 43,846. Huko nchini Lebanon , masham... |
null | Kamati hiyo Maalum ya Umoja wa Mataifa imeashiria idadi kubwa ya raia waliojeruhiwa na hali inayotishia maisha ya watu ambayo imewekwa kwa makusudi kwa Wapalestina, tangu wakati wa shambulio baya la Hamas la Oktoba 7, mwaka jana nchini Israel. Soma Pia: Israel yatakiwa kutekeleza hatua za kusitisha mapigano Gaza Kamati... |
null | Tangu Jumanne, Israel imefanya mashambulio kadhaa katika vitongoji vya kusini mwa mji huo, ambao ni ngome ya Hezbollah. Picha za vidio za shirika la habari la AFP zimeonyesha moshi ukitanda juu ya majengo hayo Jumamosi asubuhi. Msemaji wa jeshi la Israeli, Avichay Adraee, aliwataka wakaazi wa kitongoji cha Haret Hreik ... |
null | Matangazo Shinikizo linaongezeka kwa wajumbe kufikia rasimu ya makubaliano kabla ya duru ya mwisho ya mazungumzo nchini Korea Kusini mwezi Disemba. Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa ziliweka shabaha ya kuafikiana juu ya mkataba wa kimataifa ifikapo mwisho wa mwaka huu. Lakini mkutano wa awali uliofanyika Kenya mnamo m... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: DW John Juma Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na John Juma Taarifa zilizoonesha na ... |
null | Matangazo Sheria hiyo mpya iliyotangazwa kwa mara ya kwanza mnamo Februari 2024 inazuia uagizaji kutoka nje, utengenezaji, uuzaji na utumiaji wa mifuko ya plastiki ambayo huishia kutupwa kama taka au kuzikwa ardhini. Wanaharakati wa mazingira na wakaazi wa mji mkuu Mogadishu wameipongeza marufuku hiyo wakisema ilichele... |
null | Shirika hilo la Umoja wa Mataifa lenye makao yake nchini Kenya limefafanua sera zinazoweza kutumiwa ili kushughulikia mzozo wa taka za plastiki, wiki mbili kabla wajumbe kutoka nchi mbalimbali kukutana mjini Paris nchini Ufaransa kwa duru ya pili ya mazungumzo ya kuandaa mkataba wa kimataifa unaolenga kutokomeza taka z... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Dakika 51 zilizopita Dakika 51 zilizopita Guterres: Mitandao ya kijamii na AI inazidisha chuki Saa 6 zil... |
null | Kulingana na Cris Kacita, mkuu wa operesheni za programu ya udhibiti wa mpox nchini Kongo, wamesalia na dozi 53,921 za chanjo kwa matumizi katika magereza - ambapo watu wako katika hatari kubwa kutokana na hali duni - lakini wanahitaji zaidi ya dozi 162,000 ili kuzindua mpango wa chanjo katika mji mkuu Kinshasa. Soma p... |
null | Vyanzo vya ndani vimeeleza kuwa wanamgambo wa M23 wameuchukuwa mji huo baada ya mapigano makali baina yao na makundi ya vijana wanaojiita wazalendo ambao baada ya kuzidiwa walikimbilia mji wa Pinga ulio umbali wa takribani kilomita 35 na mji huo wa Kalembe uliotwaliwa na M23. Asubuhi Alhamisi wapiganaji wa kundi hilo w... |
null | Makundi ya misaada yanasema idadi ya watu wanaohitaji huduma za afya imeongezeka mno wakati mapigano nayo yakishika kasi. Wengi wamekata tamaa, kiasi cha kutamani kujiua, wakidhani hiyo ndio namna ya kujipumzisha dhidi ya madhila yanayowakabili. Nelly Shukuru, mwenye miaka 51, aliyeyakimbia makazi yake kutokana na mapi... |
null | Kuchukuliwa kwa mji huo kumewapa sasa nafasi kubwa waasi hao kuviteka vijiji vyenye utajiri mkubwa wa madini wilayani Walikale. Mji huo wa Kalembe unaochukuliwa kuwa njia muhimu ya kuelekea katika wilaya yenye madini ya Walikale, umekumbwa na ghasia tangu mwaka wa 2021 wakati M23 ilipoanzisha tena mashambulizi katika m... |
null | Matangazo Ripoti za vyombo vya habari zinasema, Ujerumani sasa itafanya uchaguzi wa mapema, mnamo Februari 23 mwakani. Duru zinasema makubaliano kuhusu tarehe ya uchaguzi yamefikiwa Jumanne (12.11.2024) kati ya viongozi wa bunge kutoka chama cha Scholz cha Social Democrats (SPD) na kile cha Kihafidhina cha Christian De... |
null | Akiwa amesaliwa na miezi michache ofisini, Rais Joe Biden anaanza ziara zake za kuaga. Atawasili nchini Ujerumani Oktoba 18. Ziara hizi zinaanza baada ya kiongozi huyo kuahirisha ile ya awali ili kushughulikia janga la Kimbunga Milton. Kwenye ziara hii, Biden atakuwa rais wa kwanza wa Marekani tangu George H. W. Bush k... |
null | Wanasheria na wanasiasa nchini Ujerumani wanaandaa mipango ili kuilinda mahakama ya juu ya nchi dhidi ya uwezekano wa kuhujumiwa, endapo serikali zinazopinga demokrasia zitaingia madarakani mnamo siku za usoni, baada ya kutukia utata katika nchi mbili ambazo pia ni wanachama wa Umoja wa Ulaya. nchi hizo ni Hungary na P... |
null | Kutokana na hali hiyo ambayo haikutarajiwa na Ujerumani, kumekuwa na masuali ya kwanini na jinsi gani serikali mjini Berlin inapaswa kuendelea na miradi ya ushirikiano eneo hilo. Ujerumani inauchukulia ukanda wa Sahel kuwa eneo la kimkakati. Na kwa muda mrefu imekuwa mdau muhimu katika juhudi za kuleta utulivu na maend... |
null | Kansela Scholz ambaye hapo awali baada ya kuvunjika serikali yake ya muungano wa vyama vitatu alitangaza kuwa hatua hiyo ingefanyika katikati ya mwezi Januari mwakani ambapo chini ya sheria za uchaguzi za Ujerumani ingewezekana uchaguzi kufanyika mwishoni mwa mwezi Machi mwaka ujao lakni sasa Kansela wa Ujerumani amese... |
null | Kauli ya Ujerumani imetolewa chini ya kiwingu cha kuripotiwa na Sweden, uharibifu mwingine wa nyaya za mawasiliano za chini ya bahari. Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius akizungumza pembezoni mwa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje mjini Brussels, amesema uharibifu mkubwa umefanywa dhidi ya nyaya za mawasili... |
null | Katibu mkuu wa wakfu wa Ujerumani kwa Afrika unaoandaa tuzo hiyo ya kila mwaka Sabine Odhiambo, amesema jopo la uamuzi limeamua kutoa tuzo hiyo kwa muungano huo kutokana na mchango wake muhimu wa kutatua migogoro katika maeneo manne tofauti nchini humo. Odhiambo amesema kuwa muungano huo ulitunukiwa tuzo hiyo kwa kazi ... |
null | Chama hicho badala yake kinamtaka asafishe njia kwa Waziri wa Ulinzi Boris Pistorius kupitia chama hicho cha Social Democrats (SPD) katika uchaguzi mkuu ujao. Joe Weingarten na Johannes Arlt, ndio wabunge wa kwanza wa SPD kumpigia debe Pistorius ambaye ni maarufu zaidi kuliko Scholz, kulingana na kura za maoni. Mnamo m... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Scholz aidhinishwa na chama chake kugombea tena Ukansela Cha... |
null | Habeck amesema hayo kwenye mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa huko Baku, Azerbaijan. Habeck, kutoka chama cha Kijani na waziri wa serikali ya Ujerumani anayehusika na sera ya hali ya hewa, alizelezea fedha hizo kama "ufadhili mpya" ingawa aliongeza kuwa kwa kiasi kikubwa zilitoka kwenye bajeti ya 2024. Serikali ya U... |
null | Matangazo Hatua hiyo itafikiwa mwishoni mwa kongamano la siku tatu la chama hicho linalomalizika hii leo Jumapili. Waziri wa Uchumi Robert Habeck ana nafasi kubwa kubwa zaidi ya kuchaguliwa kukiongoza chama cha kijani kuliko mpinzani wake mkubwa Waziri wa Mambo ya Nje Annalena Baerbock, aliyegombea ukansela kwa tiketi ... |
null | Kuongezeka kwa idadi ya wahamiaji na wakimbizi ikilinganishwa na hatua ya idadi ndogo ya wanaorudishwa makwao limekuwa suala kubwa la kisiasa nchini Ujerumani, huku wafuasi wa mrengo wa kulia wakitumia hali hiyo katika upingaji wa wa wahamiaji. Kansela Olaf Scholz alitangaza sera kali zaidi ya ukimbizi katika mahojiano... |
null | SiasaAfrikaVurugu za Msumbiji katika magazeti ya UjerumaniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video06:04SiasaAfrikahttps://p.dw.com/p/4moAoNakili kiunganishiMatangazo |
null | Rasimu hiyo iliyotolewa leo Jumatano haijaleta suluhu za hoja za muda mrefu ambazo zimechelewesha makubaliano ya ongezeko la fedha zaidi kwa mataifa masikini yanayoathirika na mabadiliko ya tabianchi. Kufikia makubaliano mapya ya kuongeza fedha kwa ajili ya hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa katika nchi... |
null | Mnamo mwaka 2024, watoto ulimwenguni kote wanatarajiwa kuhitaji msaada wa kibinadamu ili kuwaokoa dhidi ya vitendo vya ukatili, umaskini, ubaguzi, na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia nchi. UNICEF imeitaja Afghanistan kuwa ndio nchi itakayohitaji gharama kubwa zaidi, huku ikitoa wito wa dola bilioni 1.4 kwa mwak... |
null | Viwango vya joto vimevunja rekodi Jumanne hii barani Ulaya na maeneo mengine duniani kutoka Jimbo la California huko Marekani hadi nchini China. Wimbi hilo la joto kali halionyeshi dalili zozote za kupungua. Viwango vikubwa vya joto vitakavyoshuhudiwa barani Ulaya, ni katika visiwa vya Italia vya Sardinia na Sicilia am... |
null | Umoja wa Mataifa: Onyo dhidi ya chuki na ubaguzi wa rangi Novemba 2005 Umoja wa Mataifa uliitangaza January 27 kuwa siku ya kimataifa ya kuwakumbuka wahanga wa mauaji ya Holocaust. Umoja huo ulitangaza kuwa Holocaust, ambamo theluthi moja ya Wayahudu na idadi isiyojulikana ya watu wa jamii za wachache waliuawa, itatumi... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.