name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | JamiiTanzaniaAthari za mafuriko nchini TanzaniaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:46JamiiTanzaniahttps://p.dw.com/p/4fsarNakili kiunganishiMatangazo |
null | Asili na mazingiraJapanMiaka 13 tangu kutokea ajali ya FukushimaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:48Asili na mazingiraJapanhttps://p.dw.com/p/4dYUGNakili kiunganishiMatangazo |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Katika mahojiano ya Kinagaubaga Meya wa Jiji la Dar es S Kat... |
null | SiasaAfrikaKinagaubaga kwa ripoti ya HRW na majibu ya Profesa KabudiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:50SiasaAfrikahttps://p.dw.com/p/4m5E1Nakili kiunganishiMatangazo |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Iran kufanya mazungumzo ya Nyuklia na mataifa ya Ulaya 21.11.2024 21 Novemba ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Philipp Sandner Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Philipp Sandner Taarifa na Philipp Sandner Je Ulaya ina nafasi gani katika soko la Cobalt ya Congo? J... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 22.11.2024 22 Novemba 2024 Rais wa China Xi Jinping afanya ziara nchini Morocco 22.11.2024 22 Novemba 20... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 22.11.2024 22 Novemba 2024 Rais wa China Xi Jinping afanya ziara nchini Morocco 22.11.2024 22 Novemba 20... |
null | Mji wa Rubaya wenye migodi mikubwa ya madini huko wilayani Masisi karibu kilometa 65 kutoka Goma, ulidhibitiwa na waasi wa M23 mwaka mmoja baada ya kuondoshwa na wapiganaji vijana wazalendo Februari mwaka jana. Milio ya mizinga ilisikika mchana kutwa wa hiyo jana Jumanne kote kwenye mji huo ambamo M23 walikuwa wakizile... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 19.06.2024 19 Juni 2024 Wabunge wa Marekani wakutana na Dalai Lama Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Ucha... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Greenpeace yachukizwa na makubaliano ya COP29 23.11.2024 23 Novemba 2024 COP ... |
null | Katika ripoti yenye kurasa 98, shirika la Amnesty na lile la Kongo IBGDH ( Initiative pour la Bonne Gouvernance et les Droits Humains) yamegundua kuwa jamii zinazoishi karibu na miji yenye migodi kama Kolwezi, jimboni Lualaba,kusini Mashariki mwa Kongo, hulazimishwa kuyahama makazi yao ili kupisha miradi ya uchimbaji m... |
null | Nchi zilizoendelea kiviwanda ‘lazima ziweke shinikizo kwa [mashirika ya kimataifa] kukomesha biashara haramu. ... Simu za kiganjani mlizo nazo hapa katika nchi zenu zina damu ya Wakongo.’ Ndivyo alivyosema Félix Tshisekedi, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika mahojiano maalum na DW mjini Berlin. Tshi... |
null | Urusiimefanya shambulizi la droni mapema leo katika mji mkuu wa Ukraine, Kiev huku vitengo vyote vya mifumo ya ulinzi wa anga wa makombora vikiingia kazini kuyazuia mashambulizi hayo. Hayo yamesemwa na jeshi la Ukraine. Watu walioshuhudia wameliambia shirika la habari la Reuters kwamba wamesikia milipuko kadhaa iliyosi... |
null | Akizungumza mjini Berlin siku ya Alkhamis (Aprili 4) wakati wa kuwasilisha muundo mpya wa jeshi, Waziri Pistorius alisema jeshi la Ujerumani (Bundeswehr) litakuwa na matawi manne ya majeshi na kamandi moja ya pamoja. Mbali na jeshi la ardhini, jeshi la anga na jeshi la majini, tawi la nne la jeshi la Ujerumani litakuwa... |
null | Baraza hilo halikutoa tamko la pamoja ispokuwa kutaja kuwa eneo hilo liko katika hatari ya kushuhudia vita vya kikanda na kuzitaka pande zote kujizuia na kutoa kipaumbele kwa diplomasia. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kwa upande wake kuwa nchi yake itajibu vikali uchokozi wowote kutoka sehemu yoyote h... |
null | Hadi sasa hakuna aliyekiri mauaji hayo, vidole vyote vinaelekezwa kwa Israel ambayo imebandika kwenye ukurasa wake wa Facebook picha ya Haniyeh ikiwa na maneno "ameangamizwa". Mengi zaidi yatakuja kufahamika baadaye kuhusu mashambulizi yaliyomuua mmojawapo wa viongozi wakubwa wa mapambano dhidi ya ukaliaji wa Israel kw... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Mfumo wa kidijitali wa matumizi ya maji Maji Smarti ni mfumo... |
null | JamiiNamna akili ya kubuni AI inavyotumiwa kuwarubuni watuTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:48Jamiihttps://p.dw.com/p/4ftleNakili kiunganishiMatangazo |
null | Mtindo wa maishaTanzaniaJe unasoma masharti wakati wa manunuzi mtandaoniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:52Mtindo wa maishaTanzaniahttps://p.dw.com/p/4jSb9Nakili kiunganishiMatangazo |
null | SiasaAfrika KusiniANC yakosa wingi wa kura kuweza kulidhibiti BungeTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video39:34SiasaAfrika Kusinihttps://p.dw.com/p/4gmeZNakili kiunganishiMatangazo |
null | SiasaKenyaRais wa Kenya William Ruto apendekeza kupandisha kodiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video39:12SiasaKenyahttps://p.dw.com/p/4fyxINakili kiunganishiMatangazo |
null | Ipi hatima ya Ulaya baada ya uchaguzi wa bunge la Ulaya?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video30:00https://p.dw.com/p/4h1t8Nakili kiunganishiMatangazo |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Mwalimu Nyerere, kiongozi adimu mwenye maono Mnamo wiki hii ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Nomfusi: Jinsi huzuni na masaibu yaweza kuchochea ufanisi Ji... |
null | Matangazo Rais VolodymyrZelensky amesema taarifa za kiintelijensia za nchi hiyo, zimebaini kwamba kundi la kwanza la wanajeshi wa Korea Kaskazini wataanza kutumika katika vita hivyo kati ya Jumapili na Jumatatu. Nchi za Magharibi zimeonya kuwa hatua kama hiyo itachochea zaidi vita hivyo vya takriban miaka mitatu na kul... |
null | Wizara ya mambo ya nje ya Korea Kusini imewasilisha kwa balozi wa Urusi mjini Seoul malalamiko ya kupinga kile ilichokiita kupelekwa kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini nchini Urusi kwa ajili ya kupigana nchini Ukraine. Naibu waziri wa mambo ya nje wa Korea Kusini, Kim Hong-kyunc, amesema ushiriki wa wanajeshi wa Korea Ka... |
null | Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Alhamisi kuwa nchi yake ina taarifa za kijasusi kuwa wanajeshi 10,000 kutoka Korea Kaskazini wanaandaliwa kujiunga na majeshi ya Urusi wanaopigana dhidi ya nchi yake. Zelensky ameonya kuwa nchi ya tatu ikiingilia vita hivyo basi vitageuka na kuwa "vita vya dunia." Zelensky ame... |
null | Matokeo ya Uchaguzi wa Bunge la UlayaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:48https://p.dw.com/p/4gvY9Nakili kiunganishiMatangazo |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Mwangaza wa Ulaya:Duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais Romania... |
null | SiasaMabadiliko ya uongozi kwenye Jumuiya ya kijeshi ya NATO To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:45Siasahttps://p.dw.com/p/4hTipNakili kiunganishiMatangazo |
null | UchumiMfumuko wa bei unavyobadili maisha ya wakazi wa Ulaya To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:50Uchumihttps://p.dw.com/p/4UAJNNakili kiunganishiMatangazo |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Afrika inaweza kudhibiti soko la malighafi za nishati safi? ... |
null | Lakini hadi sasa utajiri wa madini hayo haukuwanufaisha wananchi kutokana na kwamba migodi hiyo iko kwenye mikono ya makampuni ya kimataifa. Mwishoni mwa miaka ya 1990 serikali ya nchi hiyo imezivutia kampuni hizo za migodi kwa kupunguza kodi na leseni zake kuwa rahisi. Hata hivyo kunakuwepo na mizozo kwenye sehemu nyi... |
null | Kuanzia Zimbabwe, yenye utajiri mkubwa wa madini ya Lithium hadi kobalti huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mahitaji ya madini muhimu kwa ajili ya teknolojia ya nishati safi yanazidi kuongezeka, wakati mataifa mengi duniani yakiwa mbioni kuachana na matumizi ya nishati inayochafua hali ya hewa na kuongeza joto duni... |
null | Angola: Tajiri wa mafuta mwenye sura nyingi Angola inashika nafasi ya pili barani Afrika katika nchi zinazochimba mafuta kwa wingi. Hivi karibuni Angola inatarajia pia kuuza gesi. Wakati uchumi wa nchi hiyo ukikuwa, tofauti katika jamii zinaongezeka. Maisha ya kila siku katika matope Zaidi ya watu 400,000 wanaishi kati... |
null | Hadi hivi karibuni tu bara la Afrika lilizingatiwa kuwa muujiza wa kiuchumi kutokana na ustawi wa uchumi, ambao wakati mwingine ulivuka asilimia 10. Lakini sasa hali imeanza kubadilika kutokana na kuanguka kwa bei ya mafuta na kutokana na kupungua kwa utashi wa malighafi katika soko la China. Hizo ni habari zilizoandik... |
null | Asili na mazingiraDhahabu ya TanzaniaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video05:18Asili na mazingirahttps://p.dw.com/p/17h4YNakili kiunganishiMatangazo |
null | Bila ya mafuta hakuna kinachoweza kufanyika nchini Nigeria. Asilimia 80 ya pato la taifa nchini humo hutokana na mafuta ghafi. Tokea kuanza kwa uzalishaji wa mafuta hapo mwaka 1958 nchi hiyo imepanda juu na kushika nafasi ya nane duniani kwa kusafirisha nje kwa wingi mafuta. Lakini hali hiyo haikuweza kuwapa neema watu... |
null | SiasaAfrikaSaidi Nguba "Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi wake"To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:45SiasaAfrikahttps://p.dw.com/p/4lXK2Nakili kiunganishiMatangazo |
null | Ruto atetea rikodi ya uongozi wake wa miaka miwiliTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video10:46https://p.dw.com/p/4kkYdNakili kiunganishiMatangazo |
null | SiasaMsimamo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa ZanzibarTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:38Siasahttps://p.dw.com/p/4jSDCNakili kiunganishiMatangazo |
null | FasihiTuzo za fasihi na waandishi wanawake wa KiafrikaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:50Fasihihttps://p.dw.com/p/4irsbNakili kiunganishiMatangazo |
null | JamiiFamilia ya kada wa upinzani aliyeuawa Tanzania yateta To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video09:46Jamiihttps://p.dw.com/p/4kUoNNakili kiunganishiMatangazo |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Katika mahojiano ya Kinagaubaga Meya wa Jiji la Dar es S Kat... |
null | Matumizi yaliokithiri ya muguka na madhara yake kiafyaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video04:17https://p.dw.com/p/4gawgNakili kiunganishiMatangazo |
null | Kutibu majeraha yaliosababishwa na vita UkraineTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video02:59https://p.dw.com/p/4fIv7Nakili kiunganishiMatangazo |
null | KenyaMafuriko yaacha homa ya mapafu kwa watoto KenyaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video04:04Kenyahttps://p.dw.com/p/4fnxvNakili kiunganishiMatangazo |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Unajua namna Yoga inavyoweza kukusaidia kiafya? Nina uhakika... |
null | Tajiri huyo wa chama cha Republican mwenye umri wa miaka 78, amemtangaza Tom Homan kama mkuu wa uhamiaji na mipaka, akimtwika jukumu la kutimiza ahadi yake ya kuwatimua wahamiaji wasio na vibali. Aidha, gazeti la New York Times, limeripoti kwamba Trump anatazamiwa kumteua Seneta wa Florida Marco Rubio kuwa waziri wa ma... |
null | Msemaji wa Ikulu ya White House Karine Jean-Pierre amesema mkutano wa Rais mteule Donald Trump na Biden umedhamiria kuhakikisha kuwa makabidhiano hayo ya mamlaka yanakwenda vizuri kabla ya kuapishwa kwa Trump mwezi Januari. Jean Pierre amesema kuwa, "Kwa kweli linapokuja suala la ni kwanini Rais Biden anafanya hivi, ni... |
null | Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kupitia ukurasa wake wa X amempongeza Trump kwa ushindi wake aliouita wa kihistoria. Amesema kurejea kwake katika ikulu ya White House ni mwanzo mpya kwa Marekani na kwa ushirikiano mkubwa kati ya Israel na Marekani. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema ataendelea kushirikia... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: John Juma/DW Rashid Chilumba Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Rashid Chilumba Ta... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 09.11.2024 9 Novemba 2024 Von der Leyen apewa jukumu la kuukarabati uchumi wa Ulaya 08.11.2024 8 Novemba... |
null | Wakuu wa mataifa na viongozi wengine wa ngazi ya juu kote duniani wakiwemo kutoka barani Afrika wamempongeza Donald Trump kwa ushindi wake. Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi amemtakia Trump kila la heri na mafanikio katika jitihada za kufikia malengo ya watu wa Marekani. Amesema anatumai kushirikiana naye katika kurej... |
null | Kiongozi huyo mwenye mtazamo wa kizalendo anatarajiwa kuongoza nchi hiyo tena kwa kipindi cha miaka minne, ambapo atakuwa karibu na washirika wake wa kisiasa na kupambana na maadui wa ndani na nje. Ingawa Trump anaweza kuwa na mipango mahsusi ya kukuza maslahi ya Marekani, historia yake inaonyesha kwamba masuala ya Afr... |
null | Matangazo Waltz, mfuasi kindakindaki wa Trump amekuwa mkosoaji mkubwa wa shughuli za China katika Ukanda wa Asia-Pasifiki na kuitahadharisha Marekani kujiandaa na mzozo mkubwa unaoweza kutokea kwenye ukanda huo. Mwanajeshi huyo wa zamani amekuwa akizisifu sera za kigeni na mitizamo ya Trump huku akiikosoa vikali serika... |
null | Katika mkutano wake wa Kampeni mjini Las Vegas Kamala Harris amemkosoa vikali Trump kwa maoni aliyoyaita "ya udhalilishaji mkubwa" kwa wanawake. Ameyasema hayo akiirejea kauli ya mpinzani wake huyo aliyesema katika mkutano wake wa Jumatano huko Green Bay Wisconsin kuwa atawalinda wanawake, "watake wasitake." Akiizungum... |
null | Kinyang'anyiro cha kuingia katika Ikulu ya White House kati ya mgombea wa chama cha Republican Donald Trump na mgombea wa chama cha Democratic Kamala Harris kinaonekana kuwa kikali, huku taifa hilo likisubiri kwa hamu matokeo ya mojawapo ya uchaguzi mkali zaidikatika historia ya Marekani Matokeo ya uchaguzi huo yataamu... |
null | Matangazo Idara hiyo imekuwa ikiyumba tangu shambulizi la Julai 13 dhidi ya Trump kwenye mkutano wa kampeni huko Pennysylvania, na kusababisha Mkurugenzi wa idara hiyo Kimberly Cheatle kujiuzulu na kukiri kwamba walishindwa kiulinzi. Maafisa watano wa idara hiyo pia wako likizo wakisubiri uchunguzi kukamilika kuhusiana... |
null | Matangazo Soma pia:Uchaguzi wa Marekani: Nini kinatokea siku ya uchaguzi na baadae? Harris ambaye ni wa chama cha Democratic na makamu wa rais wa sasa na Trump ambaye ni mgombea wa chama cha Republican anayetafuta muhula wa pili wa miaka minne, kwa wiki hizi za mwisho wamekuwa wakizunguka kupiga kampeni katika majimbo ... |
null | Maisha ya Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump yamo hatarini na kitisho kikubwa ni kutoka Iran. Wasimamizi wa kampeini yake wamesema idara ya ujasusi ya Marekani ilitoa onyo hilo na kusema kuwa uhalisia wa kitisho hicho kutoka Iran ni mkubwa. Haikubainika mara moja ikiwa vitisho hivyo vilivyoelezwa na wasimamizi wa ... |
null | Akizungumza mbele ya umati mkubwa uliofurika katika bustani iliyoko karibu na Ikulu ya White House na Mnara wa Washington, Harris amesema atawasikiliza Wamarekani wakati wote hata kama hawatompigia kura. Alichagua eneo hilo la mjini Washington DC kwa sababu ndilo ambalo Mrepublican Trump alitumia kuuchochea umati uliov... |
null | Kwanza, kama ilivyo kwa utamaduni uliozoeleka kwenye mataifa ya kidemokrasia, Bibi Harris alimpigia simu Trump kukubali kushindwa na kumpongeza rais huyo wa zamani wa Marekani kwa ushindi aloupata utakaomrejesha ikulu ya White House kwa miaka mingine minne. Kwenye hotuba yake ya kukubali kushindwa, Harris amewarai Wama... |
null | SiasaAmerika ya KaskaziniTrump: Ushindi huu ni mageuzi makubwa ya kisiasaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video02:15SiasaAmerika ya Kaskazinihttps://p.dw.com/p/4mhfyNakili kiunganishiMatangazo |
null | Matokeo ya kwanza ya uchaguzi wa Marekani yametangazwa katika kijiji kimoja kidogo cha Dixville Notch katika jimbo la New Hampshire ambako wagombea wanakabana koo. Mgombea wa chama cha Democratic Kamala Harris na mgombea wa chama cha Republican Donald Trump wamepata kura tatu kila mmoja, kama ilivyotangazwa kwa maandis... |
null | Matangazo Akizungumza na waandishi habari Ijumaa jioni kwenye Ikulu ya White House, Biden amesema hafahamu ikiwa uchaguzi wa Novemba utakuwa wa amani. Biden alionyesha mashaka kuhusiana na upinzani wa chama cha Republican ikiwa utakukubali matokeo ya uchaguzi. Kampeni za uchaguzi zinapozidi kupamba moto, hofu ya kuchoc... |
null | Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani vurugu za kisiasa kufuatia jaribio la kumuua Donald Trump ambalo linadaiwa kufanywa na mshukiwa aliyewahi kusafiri hadi Ukraine kuunga mkono juhudi za vita. Akitoa salamu za pole kuhusu tukio hilo, Zelensky amesema ni "jambo jema kwamba mshukiwa wa tukio hilo amekamatwa harak... |
null | Mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump alimshambulia Makamu wa Rais Kamala Harris katika mkutano wa hadhara kwenye Ukumbi wa Madison Square, New York, Jumapili usiku. "Umeharibu nchi yetu. Hatutavumilia tena, Kamala, umefukuzwa kazi. Toka kabisa. Umefukuzwa," Trump aliuambia umati. Pia alimwita Harris "mtu ... |
null | SiasaHarris kuchuana vikali na Trump. Nani kuibuka mshindi leo?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:04Siasahttps://p.dw.com/p/4mdybNakili kiunganishiMatangazo |
null | Trump aliendelea kuulaumu uhamiaji haramu kwa kusababisha ghasia za magenge nchini Marekani, akiahidi kuwa atazuia kile alichokiita "uvamizi wa wahalifu wanaoingia nchini humo" iwapo atashinda uchaguzi wa Novemba 5. Soma pia: Trump na Harris kuendelea na kampeni za mwisho mwisho Aidha ametoa wito wa adhabu ya kifo kwa ... |
null | Ushindi wa Mrepublican huyo mwenye utata, ukifuatia moja ya kampeni zenye uhasama zaidi katika historia ya kisasa ya Marekani, ulikuwa wa kushangaza zaidi ikizingatiwa mkururo wa mashtaka yasiyo na kifani yaliyofunguliwa dhidi yake, jaribio la kuuawa, na onyo kutoka kwa mkuu wake wa zamani wa utumishi kwamba yeye ni "f... |
null | Maafisa wa idara ya ulinzi wa viongozi, Secret Service walifyatua risasi baada ya kumuona mtu akiwa na bunduki karibu na klabu ya gofu ya Trump ya West Palm Beach huko Florida wakati mgombea huyo wa urais wa chama cha Republican akicheza gofu. Hakuna majeraha yaliyoripotiwa. Maafisa wanasema mtu huyo alikimbia kwa kutu... |
null | Kampeni za urais nchini Marekani zimeingia dakika za lala salama kuelekea uchaguzi mkuu wa kesho. Akiwa kwenye kampeni zake, mgombea urais wa chama cha Democratic ambaye pia ni makamu wa rais Kamala Harris amejaribu kuwarai wapiga kura ambao wanagadhabishwa na vita vya Gaza. Naye mgombea wa chama cha Republic ambaye pi... |
null | Zikiwa zimebaki siku sita kuelekea uchaguzi wa Marekani, mgombea wa chama cha Democratic, Kamala Harrris katika hotuba yake akiwa kwenye Chuo Kikuu cha Wisconsin mjini Madison, Harris amesema ni wakati wa uongozi wa kizazi kipya kuingia madarakani nchini humo. Mgombea huyo wa Democratic anayeongoza kwa kiasi kidogo kat... |
null | Matokeo ya awali yanaonesha Donald Trump anaongoza. Matokeo rasmi hayajatangazwa, lakini Donald Trump ameshajitangaza mshindi. Kura za uchaguzi wa urais Marekani zaendelea kuhesabiwa Trump ametangaza kushinda urais akisema ni ushindi wa kihistoria ambao haujashuhudiwa nchini humo. Kwenye hotuba mbele ya ushindi kwa waf... |
null | Wagombea wote wawili wanakabiliwa na kinyang'anyiro kikali katika majimbo saba muhimu, huku uchunguzi wa maoni ukiashiria mashaka juu ya matokeo. Harris anaelelekeza nguvu kwenye mji muhimu wa East Lansing, katikati mwa mashaka kutoka kwa Wamarekani wenye asili ya Kiarabu wanaochukizwa na msimamo wake kuhusu vita vya G... |
null | SiasaNi akina nani wengine hupigiwa kura Marekani?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:17Siasahttps://p.dw.com/p/4maR3Nakili kiunganishiMatangazo |
null | Makamu wa Rais Kamala Harris akikubali kushindwa katika kinyang'anyiro hicho lakini akiahidi kwamba bado mapambano yanaendelea. Kwa mujibu wa msemaji wa timu ya kampeni ya Trump, Steven Cheung, Biden alimpigia simu Trump kumpongeza kwa ushindi huo na kumualika kutembelea Ikulu ya White House ili kuratibu makabidhiano y... |
null | Vituo vya kupigia kura katika majimbo ya mashariki ikiwemo New York vimefunguliwa saa kumi na mbili asubuhi kwa saa za Marekani na kadri muda unavyozidi kusonga Wamarekani wengi wanaendelea kujitokeza kupiga kura zao. Watafiti wa kura za maoni wanasema hakuna mgombea yeyote wa urais kati ya Kamala Harris wa chama cha D... |
null | Matangazo Mgombea wa Democratic Harris amepata kura 3 sawa na mwenzake wa Republican Trump. Matokeo hayo yametangazwa muda mfupi baada ya saa sita usiku wa kuamkia leo. Kijiji hicho kilicho karibu na mpaka wa Canada kimeshuhudia vituo vya kupigia kura kufunguliwa saa sita usiku. Kijiji cha Dixville Notch kimekuwa na ut... |
null | SiasaAmerika ya KaskaziniJe Kamala anaweza kumshinda Trump katika uchaguzi 2024?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01:58SiasaAmerika ya Kaskazinihttps://p.dw.com/p/4ibIFNakili kiunganishiMatangazo |
null | Timu ya kampeni ya mgombea huyo ilisema kwenye taarifa yake ya jana kwamba Ofisi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa ilimpa taarifa kwamba kumekuwa na juhudi za wazi za kumuua kutoka Iran, kwa lengo la kuihujumu Marekani na kupandikiza machafuko. Kwa mujibu wa timu hiyo, idara ya ujasusi inaamini kumekuwa matukio ya mash... |
null | Akizungumza mbele ya umati mkubwa uliofurika katika bustani iliyoko karibu na Ikulu ya White House na Mnara wa Washington, Harris amesema atawasikiliza Wamarekani wakati wote hata kama hawatompigia kura. Soma pia: Trump na Harris kuendelea na kampeni za mwisho mwisho Alichagua eneo hilo la mjini Washington kwa sababu n... |
null | Kamala Harris na mpinzani wake Donald Trump waliendeleza kampeni zao katika kinyanganyiro cha urais wakati kura mpya ya maoni ikionyesha kwamba makamu wa rais hana ushawishi wa kutosha miongoni mwa baadhi ya wapiga kura wa jadi wa chama cha Democrats. Harris alikuwa North Carolina, jimbo lililoathiriwa na kimbunga wiki... |
null | Matangazo Maafisa wengi wa shirika la upelelezi la Marekani,FBI walimfyetulia risasi mtu mmoja aliyekuwa na bunduki katika eneo la kichaka,karibu na eneo la uwanja wa mchezo wa mpira wa Golf,alikokuwa anacheza Trump huko Florida. Mshukiwa huyo alifanikiwa kukimbia na kuacha bunduki yake aina ya Ak-47 na vitu vingine la... |
null | Mahakama ya Juu ya Marekani imetupilia mbali kesi inayohusu upigaji wa kura kwa njia ya posta iliyowasilishwa na chama cha Republican katika jimbo la Pennsylvania, siku chache tu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa rais nchini humo. Majaji walikataa ombi la chama cha Republican lililotaka kura zilizopigwa mapema katika ... |
null | Matangazo Shirika la Upelelezi nchini humo, FBI, limesema Trump, alilengwa katika kile walichokitaja kama "jaribio la kumuua." Idara ya Usalama wa Taifa na FBI wamesema wanachunguza tukio hilo lililotokea muda mfupi kabla ya saa nane za mchana, kwa majira ya eneo hilo. Rais Joe Biden amekemea kitendo hicho akisema sias... |
null | Mji wa Washington DC haujashuhudia hekaheka zake za kawaida tangu asubuhi ya leo, siku ambayo Wamarekani wanateremka vituoni kumchagua rais mpya. Kulikuwa na magari machache tu barabarani, huku idadi ndogo ya watu wakionekena wakifanya shughuli zao. Soma pia: Harris ama Trump! Wamarekani wamchagua rais wao Akizungumza ... |
null | Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo, Ryan Wesley Routh ametajwa kuwa mshukiwa aliyejaribu kumuua Trump, tukio ambalo lilitokea jana Jumapili. Ryan aliwahi kufanyiwa mahojiano na shirika la habari la AFP mwaka 2022 huko mjini Kyiv Ukraine, ambako alisafiri kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za vita. Ripoti za vyom... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Donald Trump akataa mdahalo mwingine na Kamala Harris Rais w... |
null | Harris, makamu wa rais wa sasa wa chama cha Democratic, na Trump, rais wa zamani anaepeperusha bendera ya Republican kwa mara ya tatu mfululizo, walitumia wiki za mwisho za kampeni kuwashawishi wapiga kura katika majimbo saba muhimu yanayoweza kuamua mshindi. Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa nchini humo mapema leo,... |
null | Donald Trump yupo kwenye hatihati ya kutwaa ushindi wa urais leo hii Jumatano baada ya kushinda jimbo la Pennsylvania, matokeo ambayo yanamweka katika nafasi ya kusubiri alama tatu tu ili aweze kutangazwa rasmi kuwa amemshinda mgombea wa chama cha Democrats Kamala Harris. Hadi sasa Trump ana kura 267 kati ya 270 za waj... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: DW/L. Richardson Bruce Amani Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Bruce Amani Taarif... |
null | Ni suala lenye umuhimu mkubwa kwa ajenda ya utungaji sheria ya rais mteule Joe Biden. Ikiwa Wademocrat wote wawili watashinda, baraza la seneti litagawanyika kwa wajumbe 50 kwa 50 ambapo makamu wa rais Kamala Harris atakuwa mwenye kura ya maamuzi. Soma pia:Biden aongoza katika majimbo muhimu, Georgia na Pennsylvania Mg... |
null | Viongozi wa Umoja wa Ulaya leo wamejaribu kuonyesha msimamo wa katikati wakisisitiza umuhimu wa kujitegemea katika masuala ya usalama ila wakati huo huo wakizungumzia umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na Marekani. Hii ikiwa ni siku moja tu baada ya Donald Trump kushinda muhula wa pilikatika uchaguzi wa Marekani. Rais ... |
null | Rais mteule wa Marekani Donald Trump jana alifanya uteuzi wake wa kwanza wa baraza la mawaziri baada ya ushindi wake katika uchaguzi wa urais, huku akiashiria nia yake ya kuachana na sera ya utawala unaomaliza muda wake kwa kuzungumza na rais wa Urusi Vladimir Putin. Biden awataka Wamarekani "kutuliza joto la kisiasa" ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Mkuu wa NATO Rutte afanya mazungumzo na Trump huko Florida 23.11.2024 23 Nove... |
null | Rais Xi Jinping wa China amesema Beijing na Washington ni sharti zitafute njia ya "maelewano" katika ujumbe alioutuma kwa rais mteule wa Marekani, Donald Trump. Haya yameripotiwa na shirika la utangazaji la China, CCTV. Katika ujumbe wake wa kwanza kwa Trump tangu rais huyo wa zamani ashinde muhula wa pili jana, Xi ame... |
null | Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris amesema kuwa amempigia simu Donald Trump na kumpongeza kwa ushindi wake katika uchaguzi uliofanyika juzi nchini humo. Akitoa hotuba yake ya kukubali kushindwa katika Chuo Kikuu cha Howard hapo jana, Harris alisema atasaidia kuhakikisha kwamba Trump anakabidhiwa madaraka kwa njia... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.