name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Wagombea kadhaa wengine wanawania pia nafasi hiyo ya juu kabisaa nchini Marekani. Kamala Harris, mwenye umri wa miaka 60, alishinda uteuzi wa Chama cha Democratic baada ya Joe Biden kusitisha kampeni yake, na hivyo kuwapa Wademokrat nafasi ya kuwasilisha maono mapya ya Marekani tofauti na ajenda ya Trump. Harris, senet...
null
Msaidizi wa zamani wa Ikulu ya White House amesema aliyekuwa rais Donald Trump alijaribu kuchukua kwa nguvu usukani wa gari linalombeba rais mnamo Januari 6, mwaka 2021 baada ya kikosi chake cha ulinzi kukataa kumpeleka katika majengo ya bunge, ambapo wafuasi wake walikuwa wamelivamia bunge la Marekani. Katika ushuhuda...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matthew Ward Agius Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Matthew Ward Agius Taarifa zilizoonesha na Matthew Ward Agius Nini kinatokea ikiwa mg...
null
Hatua hiyo inachelewesha zaidi kesi dhidi yake kuhusu njama ya kutaka kupindua matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2020. Mahakama hiyo ya juu zaidi Marekani imesema itasikiliza kesi hiyo katika wiki ya Aprili 22 na kuongeza kuwa, kesi hiyo ya kutaka kupindua matokeo ya uchaguzi, itasimama kwa sasa. Trump ameupokea vyema uamuz...
null
Matangazo Trump lakini amesema kwamba itakuwa vigumu kwa umma kukubali kifungo atakachopewa. Trump ameratibiwa kuhukumiwa Julai 11, siku nne tu kabla Warepublican hawajakusanyika kumchagua rasmi mgombea wao atakayepambana na mgombea wa chama cha Demcoratic Joe Biden, katika uchaguzi utakaofanyika Novemba. Kifungo cha j...
null
Jaji katika mahakama ya New York amekubali kuchelewesha hukumu katika kesi ya utoaji hongo inayomkabili rais wa zamani Donald Trump hadi baada ya uchaguzi wa mwezi Novemba. Jaji Juan Merchan ametangaza uamuzi wake hapo jana, akisema kuwa anataka kuepusha minong'ono kwamba hukumu hiyo inalenga kubadili mwelekeo wa kampe...
null
Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social siku ya Jumatatu, Trump alisema kwamba siku hiyo ya Alhamis "atakamatwa na Mwanasheria mwenye misimamo mikali, Fani Wills" ambaye alifungua mashitaka ya nne katika mwaka huu dhidi ya rais huyo wa zamani. Jaji katika kesi hiyo, awali aliidhinisha dhamana ya Dola za Kimarek...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: DW Zainab Aziz Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Zainab Aziz Taarifa zilizoonesha...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Changamoto na mchango wa wanawake vijijni katika maendeleo Changamoto na mchan...
null
Waendesha mashtaka nchini Marekani wamewasilisha mashtaka mapya dhidi ya rais wa zamani Donald Trump. Mashtaka hayo yamewasilishwa kujibu hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Juu ya Marekani iliyosema kwamba marais wa Marekani kwa jumla wanayo stahiki ya kinga dhidi ya kushtakiwa kwa makosa ya uhalifu wanapokuwamo madarak...
null
Rais wa Marekani Joe Biden na makamu wake Kamala Harris wamefanya kampeni pamoja kwa mara ya kwanza jana Jumatatu katika tukio la hadharani linaloonesha umoja tangu Harris alipochukua nafasi ya Biden kama mgombea wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa Novemba 5. Viongozi hao wawili wamehudhuria hafla ya kuadhimisha...
null
Utafiti huu unatolewa wakati ambapo washindani hao wanatarajiwa kupambana kwa hoja kwenye mdahalo utakaoonyeshwa kwenye televisheni kwa mara ya kwanza. Utafiti wa hivi karibuni unathibitisha kwamba Trump anaendelea kuungwa mkono na takriban nusu ya wapiga kura, licha ya sifa mbaya kama mhalifu aliyehukumiwa, na licha y...
null
Matangazo Vyombo vya habari nchini Marekani vimeripoti kwamba usalama unaimarishwa kuelekea mkutano huo, ikiwemo kioo kisichopenya risasi kuzungushwa katika jukwaa atakalotumia mgombea huyo wa urais wa chama cha Republican. Shirika la Secret Service linalotoa huduma kwa wanasiasa mashuhuri nchini Marekani lilikuwa lime...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: DW/L. Richardson Mohammed Khelef Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Mohammed Khele...
null
Matangazo Akiangazia eneo la kusini mashariki mwa jimbo la Pennsylvania, Trump alifanya kampeini yake mjini Reading ulioko umbali wa maili 30 kutoka mji wa Allentown ambapo Harris aliandaa hafla yake nusu saa baadaye . Wagombea urais Marekani wapiga kampeni za lala salama Nevada Trump aliwaambia wapiga kura kwamba ikiw...
null
Watu takriban milioni 244 wenye umri wa miaka 18 na zaidi ndiyo wana haki ya kupiga kura. Hata hivyo, katika baadhi ya majimbo ya Marekani, wale waliopatikana na hatia ya makosa makubwa ya jinai hawaruhusiwi kupiga kura. Kando na rais, wabunge wa Baraza la Wawakilishi na Seneti pia wanachaguliwa. Jumla ya viti 469 vina...
null
Biden mwenye umri wa miaka 81, na Trump mwenye umri wa miaka 78, hawakusalimiana kwa kupeana mikono wakati waliposimama jukwaani katika studio za makao makuu ya televisheni ya CNN mjini Atlanta. Hakukuwa na watazamaji ukumbuni na vipaza sauti vilizimwa wakati kila mmoja akizungumza. Soma pia: Mamilioni ya Wamarekani ku...
null
Maputo yaliteremka kwenye uwanja wa United Arena, wakati Makamu wa Rais Kamala Harris alipokubali rasmi uteuzi chama cha Democratic kuwa mgombea wake wa urais, na kuhitimisha wiki nne za harakati tangu wakati mgombea wa awali, Rais Joe Biden, alipojiondoa katika kinyang'anyiro hicho. Mkutano huo Mkuu wa Democratic ulik...
null
Akizungumza kwa maneno yaliyosikika vyema huku akiwa mwenye nguvu na uchangamfu, Biden aliwataka raia wa Marekani wamchague Harris badala ya Trump, ambaye alimuita mhalifu aliye na mashtaka mahakamani. "Huwezi kusema tu kwamba unaipenda nchi yako unaposhinda," alisema Biden, akizungumzia madai ya Trump kwamba matokeo y...
null
Katika hotuba zao zilizofuatiana Obama na mkewe, wameisifu rikodi ya kisiasa na utumishi ya Kamala Harris wakimwelezea kuwa kiongozi aliye tayari kubeba majukumu mazito ya kuingoza dola hiyo kubwa na yenye nguvu duniani. Wote wawili wamesema tajriba ya Kamala Harris inatosha kuwasaidia Wamarekani kurejesha matumaini na...
null
Kamala Harris ametoa hotuba kubwa kabisa maishani mwake wakati akikubali uteuzi wa kuwa mgombea urais wa chama cha Democratic. Makamu huyo wa rais wa Marekani mwenye umri wa miaka 59 aliangazia matumaini na hadithi ya maisha yake, akionesha utofauti na maono ya mpinzani wake wa chama cha Reupblican Donald Trump. Mgombe...
null
Hata hivyo hakukuwepo uthibitisho juu ya maafikiano hayo kutoka kwa makamu wa rais Kamala Harris. Donald Trump ameandika kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth kwamba wapinzani hao wamekubaliana kuwa mdahalo huo kwenye kituo cha televisheni cha ABC News utaendeshwa chini ya sheria sawa na mdahalo wa kituo cha CNN ulio...
null
DW Kiswahili | Saumu MwasimbaPicha: DW/L. RichardsonSaumu MwasimbaMhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW.
null
Harris aliyekuwa na mgombea mwenza wake, Gavana wa Minnnesota Tim Walz, alizungumzia masuala mapana kuanzia uhamiaji haramu, uchumi hadi mzozo katika Ukanda wa Gaza, katika mahojiano na kituo cha televisheni cha CNN: "Joe Biden na mimi na serikali yetu tulishirikiana na Bunge kuhusu suala la uhamiaji ambalo ni muhimu s...
null
Nchini Tanzania, ambayo pia ni mpokeaji mkubwa wa misaada ya maendeleo ya Marekani kuanzia ile inayohusu afya, kilimo, biashara na utawala bora, uchaguzi huu unajadiliwa kwa mapana ya aina yake kwa kuzingatia sera za wagombea wote wawili. Ingawa wagombea wote kwa sehemu kubwa katika kampeni zao wamezingatia zaidi masua...
null
Kwenye hotuba yake aloitoa kwenye bustani ya mawaridi nje ya majengo ya ikulu ya White House, Rais Biden amesema anajiandaa kuhakikisha ubadilishanaji madaraka kwenda kwa Donald Trump unafanyika kwa desturi zilizooleka nchini humo. Ahadi hiyo ni tofatui kabisa na kile alichokifanya Trump mwaka 2020 ambapo alikataa kuya...
null
Wakati matumizi ya teknolojia hiyo yakianza kuwavutia wengi ikiwamo vijana wanachipua katika elimu ya vyuo vikuu kumekuwa na wasiwasi kutokana na serikali kutoweka bayana kuhusu sera inayoangazia eneo hilo. Hatua hiyo inakuja wakati mjadala kuhusu matumizi ya teknolojia hiyo ukiwa umeanza kuchomoza katika maeneo mbalim...
null
DW imezindua mradi wake mpya wa mfululizo wa makala kuhusu historia ya Ujerumani ambazo zinaangazia sifa ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika. Kupitia mtazamo wa Kiafrika, vipindi kumi vinaelezea jinsi Ujerumani ilivyokuja kujiunga baadaye katika kinyang'anyiro hicho, ilivyokumbana na upinzani mkali, na ilivyojihusish...
null
Kampuni ya Woermann ilikuwa nini? Kampuni ya meli na biashara ya C. Woermann — kutoka Hamburg — ilianzisha duka la kwanza mjini Douala, Kameruni, mnamo mwaka 1868. Ilifanya biashara kwenye Mwambao wa Afrika Magharibi. Adolph Woermann alichukuwa biashara hii ya familia kutoka kwa baba yake, Carl Woermann, mwaka 1874. Ki...
null
Matangazo Guterres amesema licha ya teknolojia hii ya Akili ya kubuni kuwa muhimu lakini inatishia demokrasia na haki za binaadamu. Guterres amelitaka jopo hilo kuharakisha mchakato wa kuandaa mapendekezo yatakayoainisha namna ya kudhibiti matumizi ya AI hadi ifikapo mwishoni mwa mwaka 2023, kuanzia kitisho hadi fursa ...
null
Bunge la Ulaya mjini Strasbourg nchini Ufaransa, limeidhinisha kwa mara ya mwisho sheria kadhaa za Umoja wa Ulaya zitakazotumika kusimamia matumizi ya teknolojia ya Akili za kubuni, ikiwemo mifumo kama ya ChatGPT. Maafisa waandamizi wa Umoja wa Ulaya wamesema sheria zilizopitishwa ambazo kwa mara ya kwanza zilipendekez...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu 404 - ukurasa haujapatikana Unaonaje ukivuta pumzi kubwa na kufanya pozi la mti? Nenda ukurasa wa mwanzo wa dw.com
null
Shirika la uchunguzi la mtandao la NetBlocks limesema Tanzania na kisiwa cha Ufaransa cha Mayotte ndizo zilizoathirika zaidi na hitilafu hiyo ya mtandao wa Intaneti. Kupitia ukurusa wa kijamii wa X, zamani ukijulikana kama Twitter, Netblocks imesema nyaya za mawasiliano za chini ya habari za SEACOM na EASSy zimeharibik...
null
Uchunguzi huo ni hatua ya hivi karibuni ya kuikagua kampuni mama ya Meta kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Kidijitali, DSA, ya mataifa 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya. Na ikiwa ni htua ya kutekeleza kanuni zilizoanza kutumika mwaka jana kwa lengo la kusafisha mitandao ya kijamii na kuwalinda watumiaji wa mitandao. Halma...
null
Matangazo Mabenki, maduka makubwa na taasisi nyingine kote duniani, zimeripoti kukatika kwa huduma zinazohusisha intaneti, huku baadhi ya mashirika ya ndege yakitoa tahadhari ya kucheleweshwa au kusitishwa safari za ndege. Tatizo hilo limeathiri safari za ndege nchini Marekani, limetatiza matangazo ya televisheni nchin...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 17.11.2024 17 Novemba 2024 Narendra Modi na Rais Tinubuwakutana mjini Abuja, Nigeria Ruka sehemu inayofu...
null
Ofisi ya Shirikisho ya Ulinzi wa Katiba ya Ujerumani (BfV) pamoja na shirika la ujasusi wa ndani la nchi hiyo, zimesema kuwa shughuli za kijasusi za Urusi na habari za upotoshaji viliongezeka mno mnamo mwaka 2022 nchini Ujerumani na wanakadiria kuwa hali hiyo itaendelea pia mwaka huu. Katika ripoti mpya iliyochapishwa ...
null
Matangazo Wakurugenzi hao waliitwa mbele ya kamati ya bunge ya mahakama kujadili madhara ya teknolojia na mgogoro wa unyanyasaji kingono kwa watoto mitandaoni. Wakurugenzi hao wanakabiliwa na wimbi la hasira, kwa kushindwa kuwalinda watoto kwenye mitandao ya kijamii, ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa wazi wa kingono na...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 08.11.2024 8 Novemba 2024 Modi apinga kurejeshwa kwa sehemu ya uhuru wa Kashmir Ruka sehemu inayofuata R...
null
Akisimulia tukio la mauaji ya mwanafunzi aliyehadaiwa mtandaoni, ambalo wamekuwa wakilifanyia uchunguzi, Kamisha wa Kaunti ya Nakuru, Lyford Kibaara, anasema ukosefu wa usalama kwa watoto na vijana kwenye mtandao ni hali inayotia wasiwasi. Yisa vingi vya unyanyasaji mtandaoni vinachangiwa na upatikanaji rahisi wa maudh...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 10.10.2024 10 Oktoba 2024 Bilionea Ratan Tata wa India afariki dunia akiwa na miaka 86 Ruka sehemu inayo...
null
Matangazo Afisa mmoja wa NATO ameliambia shirika la habari la Ujerumani DPA, kwamba wataalamu wa jumuiya hiyo wa masuala ya mitandao wanalishughulikia tukio hilo linaloathiri baadhi ya tovuti. Kauli hiyo imejiri baada ya ripoti za mitandao ya kijamii kudokeza kwamba huenda wadukuzi wenye mafungamano na Urusi wamedukua ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Kocha Bayern Munich apinga Kombe la Dunia kila miaka miwili Kocha Bayern Munic...
null
Your partner for first-class entertainment in hotels, cruise ships and airlines. Discover DW's extensive range of content Learn more about DW's travel partnerships All about user numbers and DW's target group Learn more about DW's in-flight entertainment offerings A world of content for licensing partners Europe in all...
null
The DG8, comprising leaders from eight international public service media organizations, met in Sydney to address the growing threat of online censorship and strategize collaborative solutions. State Secretary for Social Affairs Aziz Bozkurt and Alexander Straßmeir, President of the State Office for Health & Social Aff...
null
A platform to seek solutions — together Experience the best moments from the 17th edition of DW's international media conference, which hosted 1,500 participants and 140 speakers from over 120 countries. Journalists are key stakeholders in international fora on internet and data governance, argues Nobel laureate Ressa....
null
Advertising We captivate audiences with credible content that they can rely on. Benefit from our strengths - a brand that people believe. We captivate audiences with credible content that they can rely on. Benefit from our strengths - a brand that people believe.
null
Conditions of use for the DW App 2.1 The DW app and its content may not be used for commercial purposes or transmitted for use by third parties. The DW app and its content may also not be commercially or non-commercially publicized, transmitted, broadcast or made available in any way without the expressed consent of De...
null
To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video Germany's coalition government collapse has set the stage for an early election in February 2025. German Chancellor Olaf Scholz has called for a confidence vote in December, one he is expected to lose.
null
Information about receiving TV and radio programming in your region. Stay tuned even when you're offline. Download the weekly program preview and monthly highlights for DW English. Find out when and how to listen to DW radio programmings. Information about receiving DW’s TV programming in your region via local TV provi...
null
Data Privacy Policy Data collection and logging Each time one of the websites of DW.COM and the data on it is accessed, a log file is created and saved with the following information: - name of the file or data accessed - date and time of access - the amount of data transferred - confirmation on whether the data was ac...
null
Legal notice Deutsche Welle Kurt-Schumacher-Str. 3 53113 Bonn Postal address: Deutsche Welle D-53110 Bonn Germany Tel. +49.228-429.0 Fax. +49.228-429-3000 info@dw.com Value Added Tax identification number: DE123052407 Legally represented by the Director General Peter Limbourg. This legal notice extends to the social me...
null
Las claves del siglo XXI en la ciencia, la tecnología, la medicina y el medio ambiente. To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
null
Explore our bespoke programs, designed for experts in media, politics, universities and NGOs. If you are seeking professional exchange with our experts and wish to explore one of the DW locations, please contact our Visitor Service. DW's visitor service hosts guests from around the world. Join our dialogue on the lates...
null
Taking on responsibility: Everything you need to know about our management, boards, leaders and employees. Our mission: Present Germany as a liberal democracy rooted in European culture and promote cross-cultural exchange. DW's Bonn headquarters sits on the Rhine; in Berlin, DW's offices and studios are located on Volt...
null
Experience DW on your smartphone, tablet, smart TV, voice assistant or newsletter. Here you can find general information about DW's digital and mobile program offers. Welcome to Deutsche Welle's newsletter service. The newest headlines and background reports right on your mobile device. Watch DW's TV content live or on...
null
To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video Germany's coalition government collapse has set the stage for an early election in February 2025. German Chancellor Olaf Scholz has called for a confidence vote in December, one he is expected to lose.
null
Gewalt gegen Frauen und Mädchen ist eine der am weitesten verbreiteten Menschenrechtsverletzungen. Dazu gehören nicht nur körperliche Angriffe, sondern auch sexuelle und emotionale Gewalt sowie deren Androhung. To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 vide...
null
Skip to content Skip to main menu Skip to more DW sites In focus German election 2025 Middle East crisis Russia's war in Ukraine Latest audio Latest videos Live TV Advertisement Latest videos Skip next section Top video Top video Can tech solve the salmon industry's biggest problem? Colombia: Trans sex workers in Bogot...
null
Strong partnerships make the difference. Strong Partnerships make the Difference. DW audio content for professional broadcasters A world of content for licensing partners Your partner for first-class entertainment in hotels, cruise ships and airlines. Information about receiving TV and radio programming in your region....
null
DW (Deutsche Welle) is Germany's international broadcaster and one of the most successful and relevant international media outlets. Every story moves us towards an informed world: We are open-minded, rational and straightforward. Find out more about who we are and what we stand for in this video. DW's object is the pro...
null
A world of content for licensing partners From ice hockey in the Himalayas to eco-friendly construction, our documentaries have something for all interests. Fatherhood, wealth and poverty, food security, iconic cities, heavenly islands, lost civilizations, online trolls and migraine hell all feature in our returning se...
null
Please follow the information in this FAQ to request copies of programs or if you want to license DW content. From newsletters and RSS feeds, to live streams and video on demand: we provide answers to questions about DW’s online content. Questions and answers about DW’s radio programming and audio on demand. Questions ...
null
Accessibility statement DW (Deutsche Welle) strives to make its offer accessible to all users. It should be designed in a way that complies with the national legal provisions for the implementation of Directive (EU) 2016/2102 of the European Parliament. The legal basis in Germany is the BITV 2.0, which is based on the ...
null
Our team is diverse in its areas of expertise, combining global insight with regional knowledge. UK Correspondent Senior International Correspondent US Correspondent Turkey Correspondent East Africa Correspondent and host of The 77 Percent DW Brussels Bureau Chief DW Riga Bureau Chief DW Delhi Bureau Chief DW East Afri...
null
Kama hii leo ingekuwa ni mwaka 2019, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan wala asingefikiria mara mbili kukutana na Abdel Fattah el-Sissi wa Misri. Kwa mtizamo wake, el-Sissi alikuwa "ni muuaji." Lakini nyakati za maneno makali zimekwisha. Na Jumatano hii El Sissi alikaribishwa mjini Ankara kwa mara ya kwanza kabisa. "...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Israel yaishambulia Beirut kabla ya usitishaji mapigano Hata...
null
Maafisa walio na karibu na mazungumzo hayo wanasema Israel inataka kuendeza uwepo wa kijeshi katika njia nyembamba kwenye mpaka kati ya Gaza na Misri ambayo inauita ukanda wa Philadelphia, pamoja na eneo ililoliunda linaloitenganisha Gaza Kaskazini na Kusini.Je, maeneo hayo yana umuhimu gani kwa Israel? Haijabainika wa...
null
Hata hivyo inaaminika kwamba atatafuta uungwaji mkono katika hatua za kuushughulikia mzozo wa Israel na Palestina. Uteuzi wa waziri mkuu wa zamani wa Estonia, Kaja Kallas kama mwanadiplomasia mkuu wa Umoja wa Ulaya, ulivuma kwa kiasi kikubwa huku Israeli ikipata afueni. Magazeti ya Israel yaliangazia hasira za nchi hiy...
null
Iwe kwa uzuri au ubaya, ni watu wachache mno ambao majina yao yatakumbukwa zaidi katika muktadha wa vita hivi vya Gaza kuliko Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Shambulio la Oktoba 7 la Hamas, liligharimu maisha ya Waisraeli wapatao 1,200 huku watu zaidi ya 200 wakichukuliwa mateka na kundi hilo la wanamgambo wa...
null
Matumizi ya jeshi yameongezeka mara dufu, ukuaji wa uchumi umekwama hasa katika maeneo hatari ya mpakani ambako wakaazi wake walihamishwa. Wachumi wanasema huenda Israel ikakabiliwa na kudorora kwa uwekezaji pamoja wakati vita ikiharibu bajeti na kuilazimisha kufanya maamuzi magumu kati ya masuala ya kijamii na jeshi. ...
null
Jeshi hilo la anga la Israel lililenga jengo la Bint Jbeil, kunakofanyika operesheni za kundi la Hezbollah. Silaha nyingi za kundi hilo pia zinasemekana kuhifadhiwa katika jengo hilo. Jeshi la Israel limesema katika shambulizi hilo wanamgambo 15 waliuwawa. Kwa upande wake Hezbollah imesema shambulizi hilo la Beirut, li...
null
Matangazo Kwa mujibu wa chanzo cha serikali, mjumbe huyo wa Marekani atakutana leo mchana na spika wa bunge Nabih Berri anayeliwakilisha kundi la Hezbollah katika mazungumzo hayo. Ziara ya Hochstein, Lebanon, inafanyika katika wakati ambapo jeshi la Israel limeripoti leo Jumanne, kwamba kiasi maroketi 40 yamefyetuliwa ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Israel na Lebanon zakubali masharti ya kusitisha vita Baraza...
null
Tshisekedi ameitoa kauli hiyo wakati mkutano wa hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa mjini NewYork ukiingia siku yake ya tatu ambapo viongozi mbalimbali wataendelea kuhutubia juu ya changamoto zinazoikabili dunia ikiwa ni pamoja na vita na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi. Tshisekedi ambaye ametaka kuondolewa kwa wana...
null
Michel Barnier, aliyewahi kuwa mpatanishi wa Umoja wa Ulaya kwenye mazungumzo ya Brexit, anateuliwa na Rais Macron katikati ya sintofahamu ya kisiasa nchini humo, na ambaye anakabiliwa na jukumu zito la kuiunganisha serikali. Barnier mwenye miaka 73, anakuwa waziri mkuu mwenye umri mkubwa kabisa kuteuliwa katika histor...
null
Kulingana na ripoti ya kila mwaka ya Baraza la Wakimbizi la Norway NRC, imeainisha mizozo 10 ya mwaka iliyopita iliyosahaulika na iliyochochewa kwa kiasi kikubwa kisiasa, kijamii na kifedha. Baadhi ya mizozo hiyo ni ile iliyotokea katika mataifa ya Afrika Magharibi na kati au katika mataifa jirani. Mizozo ya nchi 10 il...
null
Muungano wa vyama vya mrengo wa kushoto wa New Popular Front, NFP, uliibuka kwenye uchaguzi huo ukiwa kundi kubwa zaidi, lakini ukikosa wingi wa kutosha kuweza kuunda serikali. Katika Bunge la Ufaransa lenye jumla ya viti 577, muungano wa NFP uma viti 190, ukifuatiwa na muungano wa Macron wa mrengo wa wastani wenye vit...
null
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Andriy Sybiha amesema uamuzi wa rais wa Marekani Joe Biden wa kuiruhusu Ukraine kuishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani, unaweza kuwa msukumo mkubwa kwa Kyiv na unaweza kubadili mwelekeo wa vita. Waziri Sybiha amesisitiza kuwa kadiri Ukraine i...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Israel na Lebanon zakubali masharti ya kusitisha vita Baraza...
null
Matangazo Acted imekuwa ikifanya kazi nchini Niger tangu 2009, ikijishughulisha zaidi na watu waliokimbia makazi yao katika taifa hilo lililokumbwa na ghasia za waasi. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Niger ilitoa taarifa hiyo, bila ya kueleza sababu za kufuta leseni hiyo. Shirika jingine la APBE pia lilikumbwa na kadhia ka...
null
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ameyadhoofisha matumaini ya kupatikana kwa makubaliano na kundi la Hezbollah baada ya Marekani na washirika wengine kutoa wito wa kusimamisha mapigano kwa siku 21 ili kutoa nafasi kwa hatua za kidiplomasia. Netanyahu amesema nchi yake itaendelea kupambana na wanamgambo wa Hezbo...
null
Waraka wa Wizara ya Mambo ya Nje umesema mkutano huo utawakutanisha wajumbe 70 na unalenga kuibua mikakati madhubuti kwa ajili ya Lebanon. Kulingana na waraka huo, msaada huo kimsingi utalenga kutoa huduma kuanzia huduma za afya, chakula, maji, usafi hadi elimu kwa watu walioyakimbia makazi yao. Lebanon imesema inahita...
null
SiasaUfaransaHali yabadilika ghafla kwa chama cha National RallyTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video04:15SiasaUfaransahttps://p.dw.com/p/4i0xSNakili kiunganishiMatangazo
null
Matangazo Kwenye hotuba yake aliyoitoa kwenye viunga vya ikulu ya White House siku mbili tangu kumalizika uchaguzi, Biden amewahimiza Wamarekani kuwa na mshikamano bila kujali upande walioupigia kura katika uchaguzi wa Novemba 5. Biden ametumia hotuba hiyo pia kuwarai wanachama wa chama chake cha Democratic "kutokata t...
null
Utawala wa Biden umeweza kuiondoa Marekani kutoka kwenye mdororo wa kiuchumi baada ya janga la maambukizi ya Uviko na kupunguza kiwango cha ukosefu wa ajira kwa asilimia 3.4 kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa katika nusu karne. Ukosefu wa ajira ulikuwa asilimia 6.4 wakati Biden na Harris walipoingia madarakani mnamo m...
null
Usalama na biashara huria huenda vikawa hatarini. Je, bara hilo kongwe linatarajia nini kutoka katika uchaguzi wa Marekani? Ikiwa watu wa Ulaya wangeweza kumchagua mkuu wa taifa la Marekani Novemba 5, matokeo yangekuwa wazi. Katika nchi za Ulaya Magharibi, asilimia 69 wangempigia kura Kamala Harris, na Ulaya Mashariki,...
null
Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 81 anamaliza wiki hii na kufungua wiki nyingine ngumu kwa mikutano miwili kwenye jimbo lenye ushindani mkubwa la Pennsylvania. Kisha mwanzoni mwa wiki atawakaribisha viongozi wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO kwa mkutano wa kilele mjini Washington. Yote hayo yanamgon...
null
Matangazo Trump amemteua meneja wake wa kampeni Susie Wiles kuwa mkuu wa utumishi wa ikulu ya White House; wadhifa wenye jukumu la kusimamia shughuli za kila siku za ofisi ya rais na watumishi wake. Kwenye taarifa yake, Trump amesema Susie amemsadia kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi uliomalizika na alikuwa na ...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Trump amemteua Mike Waltz kuwa mshauri wa Usalama wa Taifa M...
null
Seneta wa Marekani Laphonza Butler wa jimbo la California, alikuwa na jibu la kubeza wiki iliyopita alipoulizwa na MSNBC kuhusu uwezekano wa kukabiliwa na wimbi la mashambulizi ya kibaguzi na jinsia. Laphonza alisema yaleteni kwa sababu sisi sio wageni kwa mambo haya. Kundi hilo la washauri ni watiifu sana kwa Harris n...
null
Harris ambaye yuko katika jitihada za kuteuliwa na chama chake cha Democratic, anaonekana kulikabili vyema jukumu la kuwashawishi wapiga kura wenye asili ya Kiarabu huko Michigan, jimbo ambalo Wademocrats wanaamini hapaswi kulipoteza katika uchaguzi wa Novemba. Viongozi wa kijamii wameelezea utayari wao wa kumsikiliza ...
null
Matangazo Shambulio hilo la Ukraine ni la kwanza linalohusisha silaha za Marekani,tangu rais Joe Biden alipoiruhusu Kiev kutumia makombora yake ya masafa marefu dhidi ya Urusi. Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema makombora sita ya masafa marefu aina ya ATACM yamefyetuliwa na Ukraine alfajiri ya leo Jumanne lakini ikaonge...
null
Afisa wa serikali ya Marekani aliyetoa masharti ya kutokutajwa jina amesema Rais Biden ameidhinisha matumizi ya silaha hizo dhidi ya Urusi, suala ambalo limekuwa ombi la muda mrefu la Rais Volodymyr Zelensky. Awali taarifa hizo zilitolewa na magazeti ya New York Times na Washington Post. Afisa huyo amesema ruhusa ya ma...
null
Matangazo Rais wa China Xi Jinping amesema nchi yake iko tayari kufanya hivyo ili kudumisha mawasiliano, kupanua ushirikiano na kudhibiti tofauti zilizopo kati ya nchi hizo kubwa kiuchumi duniani za China na Marekani. Soma Pia: Xi atoa wito wa maelewano na Marekani katika ujumbe wake kwa Trump Xi aliyasema hayo katika ...
null
Wanakutana kabla ya mkutano wa ana kwa ana chini ya wingu la utata wa kidiplomasia kati ya Beijing na Washington uliotokana na ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa Marekani. Xi na Biden waliwasili Lima jana Alhamisi pamoja na viongozi wengine wa dunia kwa mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya ushir...
null
Hayo yamesemwa na afisa wa Marekani aliyezungumza kwa sharti la kutotajwa jina, na hivyo kuthibitisha taarifa zilizochapishwa na vyombo vya habari vya Marekani na ambayo inaashiria mabadiliko makubwa ya sera. Hatua hiyo iliyokuwa ikitakiwa kwa muda mrefu na Kiev, imechukuliwa saa chache baada ya Urusi kufanya mashambul...
null
Mkutano huu unalenga kuimarisha uhusiano kati ya Marekani na China huku ukilenga pia kuhakikisha ushindani haugeuki kuwa mgogoro. Trump ameashiria msimamo mkali dhidi ya China, akitishia ushuru wa asilimia 60 kwa bidhaa za China. Biden na Xi wameonya kuhusu nyakati za misukosuko zijazo, huku Biden akisisitiza umuhimu w...
null
Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Israel na Lebanon zakubali masharti ya kusitisha vita Baraza...
null
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Linda Thomas-Greenfield, anatarajiwa kuutangaza uamuzi huo Alhamisi. Hatua hiyo inachukuliwa wakati ambapo Marekani inajaribu kurekebisha uhusiano wake na Afrika, ambako wengi hawajafurahishwa na suala la Marekani kuunga mkono vita vya Israel huko Gaza, na kuimarisha uhusiano...