name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Vita kama hivyo vinaweza kusababisha madhara makubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa na upande wowote. Israel na Hezbollah zina funzo kutokana na vita vyao vya mwisho, vilivyotokea mwaka 2006, vilivyodumu kwa mwezi mzima na kumalizika kwa kile wadadisi wa mambo walichokiita sare. Pia wamekuwa na miezi minne ya kujiandaa kwa v... |
null | Ni nadra kwa Muislamu kusema maneno haya, lakini Kholoud Khardoum, aliye na miaka 53, anaeishi nchini Iraq yuko wazi kabisa kwamba, sio kila ramadhani inahusu dini, saa nyengine inahusu mazingira na utamaduni wa watu kuja pamoja. Aliiambia DW kuwa Iraq ni nchi yenye waislamu wengi, lakini katika maeneo ambayo jamii mba... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Israel yaishambulia Beirut kabla ya usitishaji mapigano Hata... |
null | Mkutano huo unafanyika chini ya kiwingu cha mizozo duniani, mkwamo kwenye majadiliano ya mabadiliko ya tabianchi na kishindo kilichotokana na kuchaguliwa tena Donald Trump kuwa rais wa Marekani. Viongozi wa kundi la G20 walianza kuwasili kwenye ukumbi wa mikutano kiasi saa moja iliyopita wakilakiwa kwa heshima ya zulia... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: DW Bakari Ubena Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Bakari Ubena Taarifa zilizoones... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: DW Jacob Safari Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Jacob Safari Taarifa zilizoones... |
null | Israel imeongeza shinikizo, ikionya kuwa iko tayari kuanzisha operesheni kamili za kijeshi dhidi ya Hamas katika mji wa kusini mwa Gaza wa Rafah, eneo la mwisho ambalo mpaka sasa halijavamiwa na vikosi vya ardhini. Soma pia: Israel yakabiliwa na shinikizo kubwa kuhusu vita vyake Gaza Israel iliviondoa vikosi vyake kusi... |
null | Malori hayo ya misaada ya Mpango wa Chakula Duniani yamewasili kaskazini mwa Gaza huku kukiwa na tishio kubwa la njaa . WFP imesema imewasilisha chakula cha kutosha kwa watu 25,000 katika mji wa Gaza ikiwa ni msafara wa kwanza wenye mafanikio kuelekea eneo hilo tangu Februari 20 mwaka huu. Jeshi la Israel (IDF) limesem... |
null | Katika siku za hivi karibuni, baada ya mashambuliano makubwa ya makombora kati ya Israel na Hezbollah, kiongozi wa Misri Abdel-Fattah el-Sissi alizungumza na mmoja wa majenerali wakuu wa Marekani, ambapo alitahadharisha juu ya hatari ya kuongezeka zaidi kwa mgogoro wa Gaza. Rais huyo wa Misri amesema jumuiya ya kimatai... |
null | Mashirika ya chakula ya Umoja wa Mataifa yameonya juu ya kitisho cha njaa kali zaidi katika maeneo 16 duniani ambayo yapo kwenye mizozo katika miezi ijayo. Maeneo hayo yanayotajwa kwenye ripoti hiyo ni pamoja na Palestina, Sudan, Sudan Kusini, Mali na Haiti. Migogoro ndiyo chanzo kikubwa cha ukosefu mkubwa wa chakula k... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Israel yaishambulia Beirut kabla ya usitishaji mapigano Hata... |
null | Iran ilirusha zaidi ya droni na makombora 300 usiku wa kuamkia Jumapili kuelekea Israel, kulipiza kisasi baada ya Israel kushambulia ubalozi mdogo wa Iran ulioko mji wa Damascus mwanzoni mwa mwezi Aprili. Wakati droni na makombora hayo yalikuwa angani, washirika wa Israel waliingilia kati na kuisaidia Israel. Je ni kwa... |
null | Mashambulizi ya anga na ardhini, yaliyochochewa na shambulio la kushtukiza la kundi la Hamas dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7, yameenea hadi kusini mwa Gaza. Mapigano bado yanaendelea kaskazini mwa ukanda huo, ingawa Israel inasemaHamas ilipoteza udhibitikatika eneo hilo mwezi mmoja uliopita. Mike Martin, afisa wa zamani... |
null | Kiini cha madai hayo ni kituo cha kimoja cha kijeshi kusini mwa Israel ambacho kilianzishwa kushughulikia washukiwa wanaounga mkono wanamgambo baada ya shambulizi la Hamas na kundi washirika la Islamic Jihad dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7, 2023, ambalo lilisababisha takribani watu 1,140 kuuawa na zaidi ya 240 kuchukuli... |
null | Akizungumza na vyombo vya habari mjini Geneva msemaji wa Umoja wa Mataifa Jeremy Laurence ameeleza kuwa wameziona ripoti hizo zinazotia wasiwasi na kuwa hakuna mtu anayepaswa kubaguliwa au kufanyiwa vurugu kwa misingi ya utaifa, dini, kabila au asili. Rais wa Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya, Ursula von der Leyen kupi... |
null | Mjadala huo katika nchi ya Malaysia uliibuliwa mwishoni mwa mwezi uliopita na Bruce Gilley, ambaye ni profesa wa Chuo Kikuu cha Portland huko Marekani. Profesa huyo alidai wakati wa kongamano katika mji mkuu wa Kuala Lumpur kwamba nchi hiyo ya Kusini-mashariki mwa Asia haiwezi kamwe kuwa rafiki wa kutumainiwa wa nchi z... |
null | Mkutano wa kilele wa nchi zaidi ya 50 za Kiarabu na Kiislamu ulikamilika jana katika mji mkuu wa Saudia Riyadh na ulitoa nafasi kwa viongozi hao kuzungumza kwa kauli moja kuhusu machafuko yanayolikumba eneo la Mashariki ya Kati, ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja tangu kuanza kwa vita vya Israel na Hamas katika Ukanda wa Ga... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii EU yataka usitishaji mara moja wa vita vya Israel-Hezbollah ... |
null | Kulingana na makubaliano hayo yaliyosainiwa Januari mosi, Ethiopia ambayo ni taifa lisilokuwa na bandari yake, itakodisha takriban kilomita 20 ya sehemu ya bandari ya Berbera iliyoko eneo la Somaliland kwa miaka 50, kwa kubadilishana hisa katika makampuni ya serikali ya Ethiopia na vilevile uwezekano wa kutambua eneo h... |
null | SiasaRais Ruto atamudu kuwatuliza vijana wanaondamana Kenya?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:22Siasahttps://p.dw.com/p/4hQtXNakili kiunganishiMatangazo |
null | Haya yanajiri baada ya ripoti zilizotolewa kuonesha zaidi ya vijana 34 hawajulikani walipo. Viongozi wa kidini kutoka mjini Mombasa nchini Kenya wamekosoa vitendo vya mauaji na uharibifu wa mali wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha yaliyofanyika alhamisi wiki iliyopita. Kundi la mashirika yanayopigania mageu... |
null | Wanamgambo hao wameongeza kuwa walilifanya mashambulizi hayo katika kijiji cha Markaba kwa kutumia roketi na makombora karibu na kijiji cha Kfar Kila. Katika Ukanda wa Gaza Wanajeshi wa Israel wameyashambulia makazi ya watu na na kuzizingira shule na makazi ya muda wakati wakitanua operesheni za kijeshi katika eneo la ... |
null | Matangazo Wito huo umetolewa katika mkutano wa kilele wa viongozi wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu, uliofanyika mjini Riyadh Saudi Arabia, na kutoa fursa kwa viongozi wake kuzungumza kwa sauti moja juu ya machafuko yanayoendelea Mashariki ya Kati. Mwanamfalme wa Saudia bin Salman aitisha usitishwaji wa mapigano Gaza, ... |
null | Matangazo Tume ya Haki za binadamu ya Ethiopia ilikadiria mwezi Februari kwamba watu wapatao 45 waliuliwa Januari 29 na vikosi vya serikali katika mji wa Merawi kufuatia mapigano na wapiganaji wa kundi la Fano. Shirika la Human Rights Watch limeutaka Umoja wa Afrika usitishe upelekaji wa vikosi vya serikali ya Ethiopia... |
null | Blinken amesema Israel imechukuwa hatua nyingi kushughulikia mzozo wa kibinadamu kabla ya kukamilika kwa muda uliowekwa na utawala wa Rais wa Marekani anayeondoka Joe Biden, lakini mengi yanahitajika kufanywa. Blinken asema "sasa ni wakati" wa kuvimaliza vita vya Gaza Katika mkutano na waandishi wa habari leo wakati wa... |
null | Kiongozi wa Hezbollah, Naim Kassem, alisema katika hotuba iliyorushwa jana Jumatano kwamba kundi hilo litakuwa tayari kujadiliana usitishaji vita pale tu adui atakapositisha uvamizi wake, hotuba ambayo ilikuwa inaashiria kumalizika kwa kipindi cha maombolezo ya siku 40 tangu kuuawa kwa kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nas... |
null | Haya yanafanyika wakati shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch likisema, kufungwa kwa mtandao huo ni ukiukwaji wa uhuru wa kujieleza. Mamlaka pia imeufungia mchezo maarufu wa mtandaoni wa Roblox. Human Rights Watch imetoa wito kwa serikali kuurudisha mtandao huo wa Instagram, ambao Rais Recep Tayyip ... |
null | Kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Palestina Wapalestina wawili wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel na wa tatu ameuawa kutokana na kupigwa risasi katika kambi ya wakimbizi ya Nur Shams ambayo mapambano yamekuwa yakiendelea mara kwa mara. Jeshi la Israel kwa upande wake limesema vikosi vyake viliwalenga wapigana... |
null | Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya amani Jean-Pierre Lacroix amekiambia kikao cha dharura cha baraza la usalama la umoja huo kilichofanyika jana jioni kwamba wanajeshi wawili wa kikosi cha UNIFIL walijeruhiwa kwenye mashambulizi ambayo amesema yanakiweka kikosi kizima cha kulinda amani ka... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Wakio Mbogho Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Wakio Mbogho Taarifa na Wakio Mbogho Zimamoto wa Baringo waelimishwa na kupewa misaada na Ulaya Zimamoto... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 16.07.2024 16 Julai 2024 Gambia yashikilia uamuzi wa kupiga marufuku ukeketaji 09.07.2024 9 Julai 2024 W... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 04.10.2024 4 Oktoba 2024 IMF yapokea maombi ya kuitathmini Kenya 02.10.2024 2 Oktoba 2024 Wabunge waridh... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Uchaguzi Mkuu Kenya 2017 Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 04.10.2024 4 Oktoba 2024 IMF yapokea maombi ya kuitathmini Kenya 02.10.2024 2 O... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita Wanawake Sudan wakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia Ruka sehemu inayo... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita Wanawake Sudan wakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia Ruka sehemu inayo... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Wanawake Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita Wanawake Sudan wakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia Ruka seh... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Kenya ilihusika na kukamatwa kwa Besigye asema wakili wake Ruka sehemu inayof... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Miaka 50 ya Uhuru wa Kenya Miaka 50 ya Uhuru wa Kenya Miaka 50 baada ya uhuru ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 6 zilizopita Saa 6 zilizopita Wanawake Sudan wakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia Ruka sehemu inayo... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Greenpeace yachukizwa na makubaliano ya COP29 23.11.2024 23 Novemba 2024 COP ... |
null | Matangazo Makamu wa rais wa Kenya aliyeondolewa, Rigathi Gachagua, amesema kikosi chake cha ulinzi kimeondolewa na hivyo basi Rais William Ruto atawajibika iwapo lolote litamtokea. Gachagua, ambaye anapinga mashtaka dhidi yake akisema yamechochewa kisiasa, amewaambia waandishi wa habari kwamba usalama wake uko hatarini... |
null | Naibu mpya wa rais nchini Kenya ameapishwa leo, wiki mbili baada ya mtangulizi wake kuondolewa madarakani kupitia muswada wa bunge wa kutokuwa na imani naye. Aliondolewa kuhusiana na tuhuma za ufisadi na kuchochea mgawanyiko wa kikabila. Kithure Kindiki ameapishwa katika hafla iliyofanyika jijini Nairobi, na kuhudhuriw... |
null | Mahakama ya kuu ya Kenya imeendelea kuisikiliza rufaa ya naibu wa rais wa Kenya aliyeondolewa madarakani Rigathi Gachagua, kupinga mchakato uliomuengua kwenye kiti chake wiki iliyopita. Kesi hiyo inaendelea wakati Rais Wiliam Ruto akisema mahakama inayoisikiliza haina mamlaka ya kufanya hivyo. Kesi hiyo inasikilizwa ba... |
null | Jopo la majaji watatu likiongozwa na Eric Ogola aliyeshirikiana na Anthony Mrima na Freda Mugambi, lilifutilia mbali amri hiyo iliyomzuwia naibu wa rais mteule Kithure Kindiki kuapishwa rasmi na kuanza majukumu yake mapya. Jopo hilo liliamuru kuwa ofisi ya naibu wa rais ikiendelea kuwa wazi itasababisha mkwamo wa kikat... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Thelma Mwadzaya Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Thelma Mwadzaya Taarifa na Thelma Mwadzaya Ruto afutilia mbali mkataba tata na kampuni ya Adani Ruto ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Kenya ilihusika na kukamatwa kwa Besigye asema wakili wake 23.11.2024 23 Nove... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 30.10.2024 30 Oktoba 2024 ICC kuthibitisha mashitaka dhidi ya mbabe wa kivita Kony Ruka sehemu inayofuat... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Uchaguzi Uganda 2021 Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 21.09.2024 21 Septemba 2024 Mtoto wa Museveni asema hatowania urais 2026 Ruka sehem... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Kenya ilihusika na kukamatwa kwa Besigye asema wakili wake 20.11.2024 20 Nove... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Musa Naviye Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Musa Naviye Taarifa zilizoonesha na Musa Naviye Dhuluma dhidi ya watoto zaongozeka Busia Wat... |
null | Takriban watu 70 wakiendelea kupokea matibabu katika majimbo ya Siaya na Homabay yaliyopo eneo la Nyanza Magharibi mwa Kenya huku maafisa wa afya wakichukua hatua katika baadhi ya sehemu kwenye eneo la Bonde la Ufa. Matukio ya mikurupuko ya ugonjwa wa Kipindupindu yamekuwa yakishuhudiwa katika sehemu maeneo mbali mbali... |
null | Mgomo huu ambao umeathiri hospitali za umma kote nchini Kenya umeibua hali ya mahangaiko miongoni mwa wagonjwa ambao wengi wamelalamikia kukosa huduma hasaa zinazohitaji utaalamu wa madaktari kama vile upasuaji. Madaktari Kenya wapewa siku 5 waache kugoma Alvester Goldmea na Billy Aoko ni miongoni mwa wagonjwa waliotaf... |
null | Kamati ya UNESCO jana ililijumussha Ziwa Turkana ambalo ni muhimu sana nchini Kenya na eneo linalojumuishwa kati ya maeneo ya chimbuko la binadamu, katika orodha ya turathi zinazokabiliwa na hatari ambapo wataalamu hao waliokutana Bahrain wameonesha kwamba athari za bwawa la Ethiopia zinaongeza kitisho katika eneo hilo... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Greenpeace yachukizwa na makubaliano ya COP29 23.11.2024 23 Novemba 2024 COP ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Greenpeace yachukizwa na makubaliano ya COP29 23.11.2024 23 Novemba 2024 COP ... |
null | Bali pia inakausha na kugeuza mila na tamaduni za jamii za wanaadamu na kuwafanya sasa kugeukia mifumo mipya ya maisha ambayo hawaikuwahi kuwepo hapo awali. Katika tamasha la utamaduni la Marsabit na Ziwa Turkana lilioandaliwa katika kaunti ya Marsabit nchini Kenya, Mariam Lemuska hakusikiliza ngoma au muziki. Badala y... |
null | JamiiOngezeko la maji Ziwa Turkana lawaongezea wakaazi dhikiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03:44Jamiihttps://p.dw.com/p/4FvNoNakili kiunganishiMatangazo |
null | Shambulio la jana Jumatatu lililenga mgahawa ambao unatumiwa na watu waliokimbia mapigano katika eneo la Muwasi ambalo ni kitovu cha kile kilichotangazwa ukanda salama. Katika shambulio hilo takriban watu 11 wakiwemo watoto wawili waliuwawa hii ni kwa mujibu wa hospitali ya eneo hilo ya Nasser ambapo majeruhi walipelek... |
null | Safari hiyo aliyosema itafanyika siku chache zijazo inatarajiwa, wakati kukiwa na mivutano mikali Mashariki ya Kati kutokana na vita kati ya Israel na kundi la Hamas. Itafanyika pia kukiwa na hali ya sintofahamu baada ya Donald Trump kushinda urais katika uchaguzi wa Marekani. Soma zaidi: IAEA ina wasiwasi kuhusu vinu ... |
null | Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Nasser Kanaani, amesema Jumanne kuwa wito wa Ufaransa, Ujerumani na Uingereza hauna mantiki, wala mashiko ya kisiasa na unakinzana na kanuni za sheria za kimataifa. Kwa mujibu wa Kanaani, wito wa mataifa hayo ambao haukulaani uhalifu wa kimataifa unaofanywa na Israel, unaitaka ... |
null | Wasiwasi unazidi kutanda, huku Marekani ikipeleka nyambizi ya makombora na meli ya kubeba ndege. katika hatua ya kuonyesha uungaji mkono kwa mshirika wake muhimu. Iran na washirika wake wa Lebanon Hezbollah, wameapa kulipa kisasi cha mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas mjini Tehran, na kamanda wa Hezbollah mjini Bei... |
null | Kundi la Hezbollah limesema mashambulizi iliyafanya ni kulipiza kisasa cha mauaji ya kamanda wake mkuu. Jeshi la Israel limesema katika taarifa kwamba, ndege zake za kivita ziliharibu maelfu ya roketizilizokuwa zimeelekezwa na Hezbollah kaskazini na katikati mwa Israel, na zilikuwa zinalenga kushambulia katikati mwa ta... |
null | Kundi hilo la Hezbollah limevurumisha zaidi ya roketi 50 na kuharibu nyumba kadhaa za raia katika eneo linalokaliwa kwa mabavu na Israel la milima ya Golan. Hezbollah imesema hilo ni jibu kwa shambulio la Israel huko Lebanon usiku wa Jumanne ambalo lilisababisha kifo cha mtu mmoja na kuwajeruhi wengine 19. Jeshi la Isr... |
null | Matangazo Taarifa ya jeshi hilo imeeleza kuwa al-Maqdah ameuawa leo katika shambulizi la anga katika eneo la Sidon, kusini mwa Lebanon. Israel imedai kuwa al-Maqdah ni kaka wa Mounir Maqdah anayeongoza kikosi cha mashahidi cha Al Aqsa, ambacho ni tawi la wapiganaji la chama cha Fatah, cha na imawatuhumu wote kwa kupang... |
null | Hii ni hotuba ya kwanza tangu shambulio la Israel lilipomuua kiongozi wa kundi hilo Hassan Nasrallah, ambaye bado haijulikani lini atazikwa, baada ya mwili wake kutambuliwa Jumamosi. Naim Qaseem amesema wako tayari kwa lolote hata kwa mapambano ya ardhini na vikosi vya Israel na kwamba wataendeleza mwongozo ulioachwa n... |
null | Kuingia kwa wanajeshi wa Israel nchini Lebanon kumevitanuwa vita hivyo baada ya wiki moja ya mashambulizi yake ya anga yaliyouwa mamia ya watu nchini Lebanon. Operesheni hiyo ya ardhini ya Israel imekuja katika wakati ambapo nchi hiyo imekuwa ikifanya mashambulizi dhidi ya maeneo ya kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beir... |
null | "Sisi, Lebanon, tupo tayari kulitekeleza Azimio Namba 1701 na mara tu baada ya mapigano kusimamishwa tutakuwa tayari kulipeleka jeshi la Lebanon kusini mwa Mto Litani kutimiza majukumu yake kikamilifu kwa kushirikiana na jeshi la kulinda Amani la Umoja wa Mataifa," alisema Kaimu Waziri Mkuu wa Lebanon, Najib Mikati. Wa... |
null | Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameiambia Iran ambayo ndio mfadhili mkuu wa makundi yanayopambana na Israel ya Hamas na Hezbollah kwamba hakuna eneo lolote huko Mashariki ya Kati wasiloweza kulifikia huku akiwaonya watu wa Iran kwamba utawala wao unalitumbukiza eneo hilo kwenye giza na vita. Iran ambayo imesem... |
null | Maafisa wa jeshi la Israel wamesema oparesheni ya ardhini nchini Lebanon inahusisha uvamizi kwenye maeneo machache ambayo wanasema ni kitisho kwa usalama wa Israel. Wanajeshi wa Israel walivuka mpaka usiku wa kuamkia leo kuingia Lebanon baadhi wakitembea kwa mguu na wengine ndani ya vifaru vya kijeshi huku ndege za kiv... |
null | Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema leo nchi yake itaendelea kujadili mapendekezo ya kusitisha mashambulizi nchini Lebanon wakati Marekani ikitoa hadhari kwamba kutanuka kwa mzozo huo kutafanya iwe vigumu kwa raia wa kila upande kurejea kwenye makaazi yao. Netanyahu aliye ziarani nchini Marekani kuhutubia ... |
null | Maafisa wa afya wa Palestina wamesema takribani watu 11 waliuawa karibu na Al-Falouja karibu na Jabalia, huku wengine 10 wakiuawa Bani Suhaila, mashariki mwa Khan Younis. Mapema leo, shambulizi la anga la Israel liliharibu nyumba tatu huko Sabra, na miili miwili iligunduliwa katika eneo hilo, huku zoezi la kuwatafuta w... |
null | Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ametoa pia wito wa kuwaheshimu walinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon ambao wamelishutumu jeshi la Israel kwa kuwashambulia kwa makusudi. Ninaendelea kufuatilia kwa wasiwasi kile kinachotokea Mashariki ya Kati na ninatoa wito kwa mara nyingine tena na kwa ... |
null | Wanajeshi wa Israel wamekishambulia kwa risasi hivi leo kituo kikuu cha uchunguzi cha kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, UNIFIL kilichopo katika mji wa Naqoura kusini mwa Lebanon na kuwajeruhi watu wawili. Hayo yameelezwa na chanzo cha Umoja wa Mataifa ambacho kimeongeza pia kuwa vikosi vya I... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 EU yamrejesha nyumbani balozi wake Niger 23.11.2024 23 Novemba 2024 Hofu hosp... |
null | Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati ameutolea wito hivi leo Umoja wa Mataifa kupitisha azimio linalotaka usitishwaji mapigano mara moja kati ya Israel na Hezbollah, na kwamba ameiagiza Wizara ya Mambo ya Nje kuwasilisha ombi hilo kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Waziri Mkuu huyo wa Lebanon amelaani pia masham... |
null | Matangazo Mamlaka ya Lebanon imesema mashambulizi ya anga ya Israel yameharibu kabisa msikiti mkongwe unaotajwa kuwa na karibu miaka 100 katikati mwa kijiji cha Kfar Tibnit, eneo la kusini. Fuad Yassin, Meya wa kijiji hicho kilichopo takriban kilomita nane kutoka mpakani, amesema wamepoteza eneo pendwa lililokuwa likiw... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Israel yatakiwa kuondoka kwenye maeneo inayoyakalia kimabavu Israel yatakiwa k... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi UN: Mauaji ya waandishi duniani yaongezeka kwa asilimia 38 UN: Mauaji ya waand... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Rais Macron amteua Michel Barnier kuwa Waziri Mkuu mpya Rais Macron amteua Mic... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 18.10.2024 18 Oktoba 2024 Wajumbe kushiriki kongamano la mazingira la Colombia Ruka sehemu inayofuata Ri... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 11.11.2024 11 Novemba 2024 Burkina Faso yachunguza vidio ya kukatwa miili ya binaadamu 28.10.2024 28 Okt... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi SADIKI UKIPENDA- Kijiji 'kinacholindwa' na nyoka? SADIKI UKIPENDA- Kijiji 'kin... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Unaufahamu vipi ukuta wa "pelvic floor"? Unaufahamu vipi ukuta wa "pelvic floo... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Habari za uzushi Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Utafiti wa chuo kikuu Oxford waitoa kitanzini Facebook Utafit... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Dakika 59 zilizopita Dakika 59 zilizopita Israel yaishambulia Beirut kabla ya usitishaji mapigano Saa 6 ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 08.10.2024 8 Oktoba 2024 Uingereza yaiadhibu Urusi,kutumia silaha za kemikali Ukraine Ruka sehemu inayof... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Chama cha Verdi chaitisha mgomo wa siku tatu wa Luftansa Chama cha Verdi chait... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Kituo cha Sheria Tanzania chazindua ripoti ya haki Kituo cha Sheria Tanzania c... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 17.11.2024 17 Novemba 2024 Waokoaji waendelea kuwatowa watu kwenye vifusi Dar es Salaam Ruka sehemu inay... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 20.11.2024 20 Novemba 2024 Chadema walalamika wagombea wake kuenguliwa kiholela 18.11.2024 18 Novemba 20... |
null | Vidio ya habari na matukio To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Erdogan apongeza ujasiri wa ICC kwa viongozi wa Israel Ruka sehemu inayofuata... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Erdogan apongeza ujasiri wa ICC kwa viongozi wa Israel 09.11.2024 9 Novemba 2... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 23.11.2024 23 Novemba 2024 Erdogan apongeza ujasiri wa ICC kwa viongozi wa Israel Ruka sehemu inayofuata... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Vihunzi vinavyomkabili Tinubu katika mageuzi yake Nigeria Vihunzi vinavyomkabi... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 1 iliyopita Saa 1 iliyopita Wanajeshi wanne wameuwawa katika maandamano Pakistan 25.11.2024 25 Novem... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari Saa 1 iliyopita Saa 1 iliyopita Sekta ya afya yaathirika pakubwa kutokana na mizozo Ethiopia 25.11.2024 ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 12.11.2024 12 Novemba 2024 Ghana huenda ikashindwa, fainali ya Kombe la Mataifa Afrika Ruka sehemu inayo... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Picha: Sudi Mnette Sudi Mnette Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Sudi Mnette Taarifa zil... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.