name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
Hot News - Quick Links - Top Stories - Entertainment - Sports Naibu katibu Mkuu Wizara ya elimu sayansi na teknolojia Prof… Zaidi ya wadau 900 wa sekta ya misitu na mazingira… Wadau wa elimu wakiwemo Camfed wametakiwa kuendelea kushirikiana na wadau… Naibu katibu Mkuu Wizara ya elimu sayansi na teknolojia Prof… Zaidi y...
null
Rapa Tekashi 6ix9ine alifikia makubaliano ya kumaliza kifungo chake cha sasa, akikubali kutumikia kifungo cha mwezi mmoja jela kwa kukiuka masharti ya kuachiliwa kwake baada ya kukutwa na hatia, waendesha mashtaka walisema Jumatano. Makubaliano hayo na waendesha mashtaka wa shirikisho yalielezewa katika barua iliyoidhi...
null
Shirika la watoto duniani, UNICEF, limezindua mpango wa kuchangisha kiasi cha dola za Marekani bilioni 9.9 kwa ajili ya mwaka ujao ili kutoa msaada kwa mamilioni ya vijana na watoto walioathiriwa na vita pamoja na mizozo mingine duniani. Kwa mujibu wa UNICEF, fedha hizi zitasaidia katika majibu ya dharura kwa migogoro ...
null
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, dira mpya ya maendeleo ya taifa ya mwaka 2050 itaijenga Tanzania kuwa taifa jumuishi lenye ustawi, haki na linalojitegemea. Prof. Kitila ameeleza hayo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi D...
null
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amesema Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 imefanikiwa kuboresha hali ya maisha ya Mtanzania kwa kufanikisha utoaji bora wa huduma za kiafya kwa kusogeza huduma hizo kwa zaidi ya asilimia 78 kwa kuhakikisha kuwa kila Mtanzania anapata huduma za afya...
null
Huku kesi ya ufisadi inayomkabili Benjamin Netanyahu ikiendelea wiki hii, Israel ilikumbwa na kashfa nyingine inayomhusisha waziri mkuu na madai ya uvujishaji wa nyaraka za siri. Eli Feldstein, mshauri wa zamani wa Netanyahu, anatuhumiwa katika kesi ya kuvujisha waraka wa siri kuhusiana na mazungumzo ya mateka huko Gaz...
null
SHARE Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 7, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article Good news kwa mashabiki wa soka kupitia kwa kampeni ya Amsha Amsha Next...