name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema usafiri wa treni ni biashara kubwa, hivyo haliwezi kuruhusu kushindwa kuifanya. Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa alisema hayo jana asubuhi alipozungumza katika kipindi cha Clouds 360 kilichorushwa na kituo cha televisheni ya Clouds cha Kampuni ya Clouds Media ya Dar es Sa...
null
Wadau wa elimu wakiwemo Camfed wametakiwa kuendelea kushirikiana na wadau wengine na serikali katika programu zake zenye lengo la kusaidia watoto hasa wakike kwenye suala la elimu kwa kuongeza kasi na uwekezaji wa sera mpya iliyoboreshwa. Hayo yamesemwa na Ernest Hinju Mkurugenzi msaidizi elimu ya watu wazima na elimu ...
null
Search 9 Notification Show More Top Stories Kongamano kubwa la Kimataifa la Utafiti wa Kisayansi wa Misitu Lakutanisha watu zaidi ya 900 3 hours ago Top Stories Wadau wa elimu Watakiwa kushirikiana kuunga mkono serikali 3 hours ago Top Stories Teknolojia kuchangia Maendeleo ya nchi. 3 hours ago Top Stories Msaidizi wa ...
null
Watoto saba wa Rapper Sean Combs maarufu Diddy ambaye November 4 2024 ametimiza umri wa miaka 55, wameungana saa kadhaa zilizopita kuwasiliana kwa simu na kumtakia Baba yao heri ya siku ya kuzaliwa. Diddy ambaye alizaliwa November 4 1969 Harlem, New York, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa gerezani akisubiri hat...
null
Naibu katibu Mkuu Wizara ya elimu sayansi na teknolojia Prof Daniel Mushi amesema ili nchi ipige hatua kimaendeleo ni lazima kutumia tenkolojia ambayo inamchango mkubwa Katika kuleta mabadiliko nchini na duniani kwa ujumla. Porofesa Mushi ameyasema hayo wakati akizungumza katika kongamano la tatu la kimataifa la vyuo v...
null
Shirika la haki za Binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa Israel inatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika ukanda wa Gaza kulingana na ripoti yake iliyotolewa mapema leo hii ambapo Shirika hilo limebainisha kuwa vitendo vya Israel vinavyosababisha maafa makubwa kwa Raia wa Kipalestima vinaonye...
null
“Skudu Makudubela perfomance zero, hauziki, chenga hatari kama Okocha, Ronaldinho (+video) Kipindi hiki cha usajili Pascal Mwakyoma amefanya mahojiano na Mchambuzi wa Soka Ramadhan Mbwaduke kubwa kuchambua baadhi ya sajili za msimu huu wa 2023/24. Hapa na leo nakuletea uchambuzi wa… Silaha hatari, nzito duniani za maan...
null
Log In Powered by WordPress Username or Email Address Password Remember Me Lost your password? ← Go to Millard Ayo Notifications
null
UONGOZI wa klabu ya Yanga, umesema fedha zinazotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan zimeongeza ari kubwa kwa wachezaji kuipigania timu yao. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Yanga, Hafidh Salehe, wakati wa uchezeshaji wa droo ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam hatua ya robo fainali,...
null
Maduka ya wafanyabiashara zaidi ya kumi na nyumba za kulala wageni pamoja biashara mbalimbali zinadaiwa kufungwa kutoka kwa kukosekana kwa umeme kwa zaidi ya siku 4 huku chanzo kikidaiwa ni kupasuka na kuungua kwa trasifoma iliyopo katika stand ya kikatiti kata ya kikatiti wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Wananchi pamoj...
null
Mwanamke mmoja wa Florida aitwaye Sarah Boone hatimaye amehukumiwa kwenda jela maisha kwa Kumuua Mpenzi wake kwa kumfungia kwenye sanduku la nguo kwa masaa kadhaa hadi kufa, Jaji wa Mahakama ya Jimbo la Florida, Michael Kraynick ameamua. Boone, mwenye umri wa miaka 47, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kutiw...
null
Amnesty International katika taarifa yake Jumatano iliwashutumu maafisa wakuu wa jeshi la Kongo kwa “uhalifu unaowezekana dhidi ya ubinadamu” katika mauaji katika mji wa kaskazini mashariki wa Goma na kuua watu 56 mwaka jana. Wanajeshi wasomi kutoka kwa Walinzi wa Jamhuri walivamia hekalu la kikundi cha kidini cha mafu...
null
Yanga SC leo imepata ushindi wake wa kwanza wa ligi kuu msimu wa 2020/21 katika uwanja wa Mkapa kwenye game waliyocheza na Mbeya City. Kikosi cha Yanga ambacho kina muunganiko wa Wachezaji wapya wengi, kimefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 ikiwa ni goli pekee lililofungwa na Lamine Moro dakika ya 86. Ushindi huo unai...
null
Zaidi ya wadau 900 wa sekta ya misitu na mazingira wamekutana jijini Arusha kwenye Kongamano la Tatu la Kimataifa la Utafiti wa Kisayansi wa Misitu, linaloandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI). Lengo kuu la kongamano hilo ni kubadilishana uzoefu na kujadili mbinu za kuhifadhi mazingira kupitia misi...
null
SHARE Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 8, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article Dr Mathayo atimiza ahadi zake Same, amwaga mamilioni ya fedha Next Arti...
null
Search 9 Notification Show More Top Stories Kongamano kubwa la Kimataifa la Utafiti wa Kisayansi wa Misitu Lakutanisha watu zaidi ya 900 3 hours ago Top Stories Wadau wa elimu Watakiwa kushirikiana kuunga mkono serikali 3 hours ago Top Stories Teknolojia kuchangia Maendeleo ya nchi. 3 hours ago Top Stories Msaidizi wa ...
null
Baada ya Mchezaji wa Tanzania Mbwana Samatta kusajiliwa na Club ya soka ya Uturuki ya Fenerbahce, millardayo.com imepita kukusanya maoni ya Wadau mbalimbali wanaolifatilia soka kujua wamepokeaje hatua hiyo ya Mbwana kuondoka kwenye Timu inayocheza Premier League Uingereza ambapo tunae Mtangazaji Hodari Salim Kikeke. “F...
null
WAKATI timu ya Simba ikiibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, uongozi wa klabu hiyo umesema ni jambo zuri kuwa na Rais wa nchi anayependa michezo kiasi cha kuongeza motisha katika utafutaji magoli muhimu ya kuzivusha timu za nchi yake kwenye michuano ya Kimataifa. Hayo yamekuja k...
null
Nyota wa Marekani Megan Fox ametangaza kuwa anatarajia mtoto wake wa kwanza na mwanamuziki Machine Gun Kelly. Mwigizaji huyo alirejea kwenye mitandao ya kijamii ili kuonesha ujauzito wake akiwa na wafuasi wake karibu milioni 21, akishiriki picha akiwa ameshika tumbo lake huku akiwa amepakwa rangi nyeusi mwilini na pich...
null
Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Palestina aliutaka ulimwengu Jumatano kuliokoa dhidi ya marufuku ya Israel ambayo itakuwa na “matokeo mabaya” kwa mamilioni ya watu walionaswa katika vita huko Gaza. Philippe Lazzarini, anayeongoza shirika hilo linalojulikana kwa jina la UNRWA, aliambia mata...
null
SADC imeitisha mkutano wa kilele mjini Harare kuanzia Novemba 16 hadi 20 “kimsingi kushughulikia masuala yanayoibuka yenye umuhimu wa kikanda,” waziri wa habari wa Zimbabwe alisema Jumanne. Zimbabwe kwa sasa inashikilia uenyekiti wa zamu wa SADC. “Mkutano huo pia unatarajiwa kuarifiwa kuhusu matukio ya hivi karibuni ya...
null
Hot News - Quick Links - Top Stories - Entertainment - Sports Naibu katibu Mkuu Wizara ya elimu sayansi na teknolojia Prof… Zaidi ya wadau 900 wa sekta ya misitu na mazingira… Wadau wa elimu wakiwemo Camfed wametakiwa kuendelea kushirikiana na wadau… Naibu katibu Mkuu Wizara ya elimu sayansi na teknolojia Prof… Zaidi y...
null
Saudi Arabia kuthibitishwa na FIFA kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia la soka la wanaume 2034 siku ya Jumatano, na kuipa ufalme huo wenye utajiri wa mafuta tuzo yake kubwa zaidi kwa matumizi makubwa ya michezo ya kimataifa yanayoendeshwa na Mwanamfalme Mohammed bin Salman. Uamuzi huo unakamilisha mchakato wa zabuni wa mie...
null
SHARE Rhino The Don anaenda kumaliza mwaka 2024 kibabe anakukaribisha kutazama video ya ngoma yake mpya inaitwa ‘One more time’ TAGGED:videompya Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article UNICEF yazindua mpango wa kuwasaidia watoto walioathirika na mizozo duniani Next Article Habari kubwa za ...
null
SHARE Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 7, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 7, 2024 Next Article Uzinduzi Sam...
null
Mashabiki wa soka wa Tanzania, sasa wanaweza kujishindia zawadi mbalimbali ikiwa pamoja na fedha kupitia kampeni ya Amsha Amsha iliyozinduliwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-Bet Tanzania na Halotel. Meneja Masoko wa M-Bet, Levis Paul aliema kuwa mbali ya zawadi ya fedha ya Sh50,000 kwa washindi wawili kwa siku...
null
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh Saad Mtambule amewataka wajasiriamali kujiunga kwenye vikundu ili vitambulike na kuviwezesha kupata mikopo ya serikali kwa urahisi ikiwemo kutoka halimashauri. Mh Saad Mtambule ameyeasema hayo akiwa katika kata ya Bunju wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam wakati akiongea na vikundi v...
null
Rais wa Nigeria Bola Tinubu aliamuru Jumatatu (Nov. 04) kuachiliwa mara moja kwa watoto wote wanaokabiliwa na kesi kwa sasa kwa kushiriki katika maandamano ya gharama ya maisha. Tangazo hilo lilitolewa na Waziri wa habari na kuhitimisha wiki za hasira za umma. Jumla ya waandamanaji 76 walishtakiwa kwa makosa 10 ya uhal...
null
Vikosi vya Israel vilifanya mauaji mawili dhidi ya familia katika Ukanda wa Gaza katika muda wa saa 24 zilizopita, na kusababisha mauaji ya Wapalestina 19 na wengine 69 kujeruhiwa, kulingana na ripoti za matibabu. Walithibitisha kuwa idadi ya vifo vya Wapalestina kutokana na mashambulizi ya Israel tangu Oktoba 7, 2023 ...
null
UJENZI wa majengo ya mabweni na jengo la utawala katika Taasisi ya Sayansi za Baharini (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), iliyopo Buyu visiwani Zanzibar umefikia asilimia 50 kukamilika. Ukiwa unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Agosti 2025 na kuanza kutumika, ujenzi huo ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa ...
null
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amezindua rasmi matumizi ya mfumo wa teknolojia inayotumika kuboresha utoaji wa huduma za afya (Afya-Tek) ndani ya Mfumo Jumuishi wa Kidigitali wa Afya ngazi ya jamii. Hafla hiyo ilifanyika Desemba 10, 2024 Kibaha mkoani Pwani na kuhudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe. Nic...
null
Shule ya Msingi Mazola, iliyopo katika kijiji cha Mazola, kata ya Doda, wilaya ya Mkinga, imepata afueni kubwa baada ya kukabidhiwa matundu ya vyoo 12 vilivyojengwa kwa msaada wa Shirika la World Vision kwa kushirikiana na serikali. Ujenzi huo umegharimu shilingi milioni 86.4 na unalenga kuboresha mazingira ya elimu kw...
null
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) amewasili na kupokelewa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya kuapishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Disemba, 2024. Mapokezi hayo yamefanyika katika Ofisi za Idara ya Uhamiaji Zanzibar n...
null
Kipindi hiki cha usajili Pascal Mwakyoma amefanya mahojiano na Mchambuzi wa Soka Ramadhan Mbwaduke kubwa kuchambua baadhi ya sajili za msimu huu wa 2023/24. Hapa na leo nakuletea uchambuzi wa kidata kumhusu Skudu Makudubela bonyeza PLAY hapa chini kutazama
null
Ndani ya AyoTV nimekuandalia makala fupi juu ya Silaha kumi nzito za maangamizi duniani, nyingine hata hazitumiki, bonyeza PLAY hapa chini kutazama makala hii Ndani ya AyoTV nimekuandalia makala fupi juu ya Silaha kumi nzito za maangamizi duniani, nyingine hata hazitumiki, bonyeza PLAY hapa chini kutazama makala hii
null
New Zealand hivi karibuni itapiga marufuku TikTok kwenye vifaa vyote vinavyoweza kufikia bunge lake kufikia mwisho wa mwezi huu, na kuwa nchi ya hivi punde zaidi kuweka kizuizi rasmi kwenye ukurasa maarufu wa mitandao ya kijamii unaomilikiwa na kampuni ya teknolojia yenye makao yake Beijing. Wakiongozwa na Merika, idad...
null
Kamati ya Uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa (UNECA), imesema uchumi wa Afrika kwa mwaka huu unatarajiwa kukua kwa asilimia 3.9, ikilinganishwa na asilimia 3.6 za mwaka jana. Akiwasilisha ripoti kuhusu maendeleo ya kiuchumi na kijamii barani Afrika kwenye kikao cha 55 cha kamati hiyo, Mkurugenzi wa Idara ya Uchumi na...
null
Dan Ashworth ameacha wadhifa wake kama mkurugenzi wa michezo katika klabu ya Manchester United baada ya miezi mitano tu, klabu hiyo ilithibitisha Jumapili. Ashworth aliwasili rasmi mwezi Julai baada ya suluhu inayofikia mamilioni ya pauni kufikiwa na klabu ya zamani ya Newcastle United. Mchezaji huyo mwenye umri wa mia...
null
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya wanawake na uzazi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Temeke mnamo tarehe 3 Disemba, 2024 wamefanikiwa kumfanyia upasuaji Mwanamke mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa Dar es salaam na kuondoa uvimbe wenye Kilogramu 7 kwenye mfuko wa mayai wa upande wa kulia uliomtesa kwa miaka...
null
Serikali ya Uingereza imepanga kupiga marufuku matangazo ya Televisheni ya Vyakula vyenye sukari nyingi kama vile burgers, muffins na vyakula vingine vinavyosadikika kama vyakula vibaya kwa afya (junk food) kwa lengo la kupambana na ongezeko la uzito mkubwa kwa Watoto ambapo marufuku hiyo ikitarajiwa kutekelezwa kuanzi...
null
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September 14, 2020,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. GWAJIMA “HAITOKUWA ELFU 8, ITAKUA 4, NIMEANZA KAZI NA SIJACHAGULIWA KUWA MBUNGE”
null
Wanasema tembea ujionee, au tulia uletewe….. sasa leo kwenye kumbukumbu za utafiti tumekutanishwa na hii moja inayohusu Watu wenye nywele nyingi mwilini, huu ni utafiti uliofanywa na Dr. Aikarakudy Alias. Utafiti huu unaonesha kwamba Binadamu kuwa na kiwango kikubwa cha nywele mwilini kunachangia kwa kiasi kikubwa kumf...
null
Kutokana na hali ya udumavu nchini Wizara saba cana nchini pamoja na taasisi za utafiti zimekutana kwenye kikao kazi cha Wataalam katika kujadili masuala ya huduma za afya na lishe shuleni ambapo wamejikita katika utekelezaji ambao utaleta matokeo katika sekta ya elimu. Hayo yamejiri mjini Morogoro wakati wa Program ya...
null
Mbunge wa Same Magharibi, Mhe. David Mathayo,ameanza ziara ya siku sita katika jimbo la Same Magharibi na kuanza kutekeleza ahadi alizozitoa kwa wananchi wake. Akianzia kijiji cha Nasuro kata ya Mwembe mhe,Mathayo ametoa mifuko 100 ya saruji ya kujenga nyumba ya mwalimu katika shule ya msingi Nasuro, shilingi 1,760,000...
null
Majibu yaliyopatikana baada ya Watalamu kufanya utafiti kuhusu Binadamu kunywa pombe wakati wa kula naona yatawafurahisha Wanywaji wengi wa pombe kwani imeonekana kufanya hivyo wakati wa kula kuna faida. Utafiti huo uliochapishwa kwenye Journal Epidemiology umeeleza kwamba kunywa pombe kidogo huku unakula chakula kunas...
null
Polisi Jijini Nairobi nchini Kenya wanafanya uchunguzi ambapo mwanamke aitwaye Jesca Sibwe mwenye umri wa miaka 42 ambaye amekutwa amefariki dunia baada ya kulala guesti usiku kucha na shemeji yake aitwaye John Kisongona Mareko. Inasemekana marehemu Jesca Sibwe ambaye anatoka Kasarani alianza kuugua ghafla kabla ya kuk...
null
Watu wenye silaha wamewauwa takriban watu 16 wakati wa shambulizi kaskazini magharibi mwa Nigeria, serikali ilisema Jumapili. Washambuliaji hao walivamia eneo la Serikali ya Mtaa ya Zangon Kataf katika jimbo la Kaduna na kufyatua risasi Jumamosi baada ya makabiliano na polisi katika kituo cha ukaguzi, Yabo Ephraim, mse...
null
SHARE Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 13, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya, Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 13, 2023 Next Article Simba yamvulia k...
null
Waziri wa mambo ya nje wa Israel anaripoti baadhi ya maendeleo kuelekea kusitisha mapigano, licha ya Hezbollah kusema haijui lolote kuhusu hilo. Waziri mpya wa mambo ya nje wa Israel alisema Jumatatu kwamba kumekuwa na “maendeleo fulani” katika juhudi za kumaliza mapigano na Hezbollah ya Lebanon. Lakini msemaji wa kund...
null
Casemiro amefurahishwa na mabadiliko ya Ruben Amorim akiwa Sporting Lisbon na anasema kila mtu ana hamu ya kujifunza kutoka kwa kocha mkuu mpya wa Manchester United. Ruud van Nistelrooy alipunguza pazia kwenye utawala wake wa mechi nne kama meneja wa muda wa United kwa ushindi wa 3-0 wa Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya L...
null
Manchester United na Chelsea wanatarajiwa kuwa mstari wa mbele kwenye foleni ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Sporting Lisbon Viktor Gyokeres na watatiwa moyo na ripoti kwamba bei yake imeshuka. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uswidi yuko katika mfumo wa maisha yake, akiwa amefunga mabao 23 katika mechi 17 pekee za ma...
null
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku ikiwahakikishia wananchi hao kuwa wote watafikiwa. Akizungumza wakati wa ziara ya Wabia wa Maendeleo walipotembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na REA, ...
null
SHARE Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article VideoMPYA: Rhino The Don anakukaribisha kwenye ‘One more time’ Next Art...
null
Mashindano ya Samia Supa Cup ya Kata ya Msasani yameanza kwa vishindo huku huku Diwani wa Kata hiyo, Luca Neghest akimwaga vifaa vya michezo kwa timu mbalimbali. Mashindano hayo yalizinduliwa na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Manispaa ya Kinondoni, Shaweji Abdalla Mkumbula kwa kushirikiana na viongozi wengine mbalim...
null
Wajasiriamali wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wametakiwa kuhakikisha wanakuwa wabunifu na kuongeza ujuzi ili kutengeneza bidhaa zenye ubora zaidi. Kauli hiyo imetolewa Jana Novemba 3, 2024 na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulrmavu, Zuhura Yunus wakati akizu...
null
Uingereza iliripoti Jumanne kesi mbili mpya za mpox, inayojulikana kama clade 1b, na kuongeza idadi ya jumla ya nchi hiyo kufikia tatu. Shirika la Usalama wa Afya la Uingereza (UKHSA) lilisema katika taarifa kwamba kesi hizo zilitambuliwa kati ya mawasiliano ya makazi ya mgonjwa wa kwanza, ambaye aligunduliwa huko Lond...
null
Tottenham inaripotiwa kuwa tayari inaangalia uwezekano wa kuchukua nafasi ya meneja anayesumbua Ange Postecoglou, na mgombea kutoka ndani ya Premier League anasemekana kuwa wa kuvutia. Kulingana na ripoti kutoka kwa Uhamisho wa Soka, Spurs watakuwa tayari kuchukua hatua ya kumteua meneja wa Ipswich Town Kieran McKenna ...
null
Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo ACP Advera Bulimba amesema kuwa ofisi yake imejipanga kutoa elimu kwa wakulima kuhusu matumizi ya mbolea katika msimu ujao wa kilimo ili kuongeza uzalishaji na tija ya mazao yanayolimwa wilayani humo. ACP Bulimba ameyasema hayo leo wakati alipotembelewa ofiini kwake na Bodi ya Wakurugenzi w...
null
Mwanzoni ilisemekana kuwa ni zoezi la utayari lakini Jeshi la Polisi limethibitisha kwamba ni ajali ya kweli iliyotokea Bukoba Mkoani Kagera ya Ndege ndogo ya Jeshi kuanguka kando ya Ziwa Victoria baada ya Marubani kutaka kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Manispaa ya Bukoba. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa...
null
Mamlaka ya Brazili ilisema Jumatatu kwamba nyota wa soka Neymar alipigwa faini ya reais milioni 16 (dola milioni 3.33, milioni 28.6) kwa kukiuka sheria za mazingira wakati wa ujenzi wa jumba lake la kifahari kusini mashariki mwa Brazil. Mradi huo wa kifahari ulikiuka sheria kuhusu matumizi na usafirishaji wa vyanzo vya...
null
Makamu wa Rais wa Sevilla Jose Maria del Nido Carrasco, amethibitisha kwamba hawatampa mchezaji huru Sergio Ramos kama njia ya kurejea La Liga msimu huu. Mkataba wa beki huyo wa kati mwenye umri wa miaka 37 katika klabu ya Paris Saint-Germain umekamilika, na anawinda klabu mpya. Kulingana na ripoti nyingi, Ramos alikuw...
null
SHARE Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 17, 2023,nakukaribisha kutazama kile kili5hoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya, Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 17, 2023 Next Article Serikali ya New ...
null
Rapa na mjasiriamali Snoop Dogg ameamua kupanua himaya yake ya biashara tena, wakati huu akijikita katika safu ya bidhaa bora za kahawa na maharagwe yanayopatikana nchini Indonesia. Ameshirikiana na mjasiriamali wa kahawa wa Kiindonesia Michael Riady kuzindua INDOxyz. “biashara hii ni ya kiwango cha juu kwani ni kahawa...
null
Serikali ya Syria ilianguka mapema Jumapili katika mwisho wake wa kushangaza wa utawala wa miaka 50 wa familia ya Assad, baada ya mashambulizi ya ghafla ya waasi kuvuka eneo linaloshikiliwa na serikali na kuingia mji mkuu katika siku 10. Televisheni ya taifa ya Syria ilirusha taarifa ya video ya kundi la wanaume wakise...
null
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Uwezeshaji Vijana ya StartHub Africa kupitia programu ya ‘YouthIgnite Student Founders Fellowship’ imefanya uwezeshaji wenye thamani ya shilingi milioni 80 kwenye miradi 20 ya kibunifu ya biashara za wanafunzi kutoka vyuo vikuu 10 ...
null
Wabunge wa upinzani nchini Korea Kusini wamesema watapiga kura ya kumfungulia mashtaka Rais Yoon Suk Yeol kwa jaribio lake la kutangaza sheria ya kijeshi. Hayo yanajiri wakati waziri wa ulinzi anayeshtumiwa kwa kumshauri rais huyo juu ya kutangaza sheria ya kijeshi akijiuzulu. Wabunge hao kutoka chama cha upinzani cha ...
null
Bondia wa Tanzania, Cosmas Cheka ameshinda pambano dhidi ya Mmalawi, Hannock Phiri lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Walipigana wa uzito wa Light kuwania UBO International Title ambapo pambano hilo lilikuwa la round 12. Kwa uamuzi wa majaji ameonekana kushinda japo mpinzani wake ameonekana kutokubaliana na uam...
null
Lilian Lema ni mwanamke anayeishi Arusha ambaye amefanya kazi ya udereva kwa miak 17, lakini amepitia sehemu mbalimbali nakufanya kazi ikiwemo kazi ya kilimo na baadaye alibadilisha muelekeo nakwenda chuo cha VETA kusomea udereva na sasa hivi ameaminiwa nakuajiriwa kumwendesha mkurugenzi mkuu wa taasisi inayohusika na ...
null
Katika kuendeleza kutangaza vivutio vya utalii na utunzaji wa mazingira nchini Wilaya ya Kilombero iliyopo Mkoani Morogoro imefanya tamasha maalum linalofahamika kwa jina la Kilombero Festival ambalo limejumuisha taasisi mbalimbali za utalii,Kilimo na utamaduni. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero wakili Dunstan Kyobya amesema...
null
Ni mara ngapi tumesherehekea siku za kuzaliwa za Watu wetu na zetu wenyewe alafu mishumaa ikajazwa kama yote kwenye keki za birthday ili kunogesha keki na tukio lenyewe? ukweli ni kwamba inaweza kuwa ni mara nyingi tumefanya hivyo… sasa leo kuna hizi ripoti za utafiti tumeletewa. Ripoti yenyewe inasema imegundulika kwa...
null
Taarifa ya Rais Faure Gnassingbe imeeleza kuwa, Komi Selom Klassou ambaye amekuwa Waziri Mkuu tangu Juni 2015 amejiuzulu pamoja na Serikali yake. Klassou aliwasilisha maombi ya kujiuzulu kwa Rais Gnassingbe ambaye amempongeza yeye na Serikali kwa kazi ambayo wamefanya wakiwa madarakani. Kumekuwa na matarajio ya mabadil...
null
Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imesema katika ripoti ya leo, Jumatatu kwamba uagizaji wa silaha wa nchi za Ulaya uliongezeka kwa kasi katika mwaka uliopita kutokana na vita vya Ukraine, na kwamba nchi hiyo yaani Ukraine, imekuwa ya tatu kwa kununua kwa wingi zaidi silaha duniani 2022. Kwa...
null
SHARE Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam March 13 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article Msusi aibuka na IST mbele ya Mim Mars ‘kakimbiwa na Mumewe kaachiwa watoto...
null
Idadi ya vifo kutokana na mashambulizi ya anga ya Jumatatu ya Urusi katika miji kadhaa katika mkoa wa Dnipropetrovsk nchini Ukraine iliongezeka hadi sita, mamlaka za mitaa zilisema Jumanne. Gavana wa Dnipropetrovsk Serhiy Lysak alisema kwenye Telegram kwamba mwili wa mtoto wa tatu ulipatikana chini ya vifusi katika jij...
null
Wizara ya Elimu na Elimu ya Juu ilisema kuwa wanafunzi 12,061 waliuawa na 19,467 walijeruhiwa tangu kuanza kwa uvamizi wa Israeli kwenye Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi mnamo Oktoba 7, 2023. Wizara ya Elimu ilisema katika taarifa yake kwamba idadi ya wanafunzi waliouawa katika Ukanda wa Gaza tangu kuanza kwa uvam...
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null