name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Taarifa ya WAFA inasema mashambulizi hayo yametokea katika mji wa Deir Al-Balah, eneo ambalo linafahamika kuwa ni kambi Nuseirat na mji mwingine wa Al-Zawayda. Jeshi la Israel limesema vikosi vyake viliweza kuwabaini na kuwaangamiza wapiganaji kadhaa wenye silaha katikati ya mji wa Gaza katika operesheni mahususi kwa a... |
null | Taarifa hiyo imesema Safieddine aliuawa wiki tatu zilizopita kufuatia shambulio katika vitongoji vya kusini mwa Beirut. Hakujawa na kauli ya haraka kutoka kwa Hezbollah inayothibitisha hatima ya Safieddine, ambaye alikuwa mhubiri mwenye ushawishi mkubwa. Israel imesema shambulizi hilo pia liliwauwa viongozi wengine 25 ... |
null | Kwa maneno ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas, Yahya Sinwar, siku ya Jumatano yanamaanisha kuwa "Hamas haitatawala tena Gaza." Kwa mtazamo wake, kifo cha Sinwar, ambacho kilithibitishwa Alhamisi, kinaashiria mwanzo wa "siku baada ya Hamas." Hata hivyo, wachambuzi wanaon... |
null | Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy amesema kwenye taarifa kwamba Israel inalazimika kuhakikisha raia wanalindwa na njia zinakuwa wazi ili kuruhusu misaada ya kuokoa maisha kupitishwa na kuongezwa kuwa haya ni miongoni mwa masuala yatakayozungumzwa kwenye mkutano huo waliouitisha. Amesisitiza kwamba hali ya... |
null | Matangazo Hayo yameelezwa hapo jana na Makamu wa rais Kamala Harris ambaye amesisitiza kuwa nia yao ni kuvimaliza vita katika eneo hilo. Harris ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama cha Democratic amesema idadi ya Wapalestina wasio na hatia ambao wameuawa huko Gaza haikubaliki. Wizara afya ya Gaza inayodhibitiwa na... |
null | Serikali ya Israel kupitia Waziri wake wa Mambo ya Nje Israel Katz imethibitisha kumuua Yahya Sinwar. Awali, jeshi la Israel lilikuwa likisubiri vipimo vya vijinasaba (DNA) ili kuthibitisha utambulisho kiongozi huyo aliyeuawa. Sinwar, anachukuliwa kama mratibu mkuu wa shambulio la Oktoba 7 mwaka 2023 dhidi ya Israel am... |
null | Israel imesema hospitali ya Hariri haikuwa sehemu ya shambulizi hilo bali ililenga ngome ya kundi la Hezbollah.Kwa upande wa jeshi la Israel katika taarifa yake iliyotolewa leo limesema limevishambulia vituo kadhaa vya kuhifadhia silaha vya kundi la Hezbollah na kambi za kijeshi usiku kucha ikiwemo na kambi muhimu ya j... |
null | Chanzo kimoja cha kidiplomasia kimeliambia shirika la habari la AFP siku ya Jumamosi (Novemba 9) kwamba tayari Qatar ilishazijulisha Israel na Hamas kwamba madhali zinakataa kufikia makubaliano kwa nia njema, basi taifa hilo la Ghuba lisingeweza kuendelea kuwa mpatanishi. Kwa mujibu wa chanzo hicho, ambacho hakikutaka ... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Mashambulizi ya droni ya Hezbollah yatikisa Jeshi la Israeli... |
null | Umoja wa Mataifa ulilaani siku ya Ijumaa (Novemba 11) ongezeko kubwa la idadi ya raia wanaouawa kwenye vita vya Israel katika Ukanda wa Gaza, ukisema wanawake na watoto wanakaribia 70% ya maelfu ya vifo ulivyoweza kuvithibitisha. Ofisi ya Haki za Binaadamu ya Umoja wa Mataifa ilisema ilikuwa imeweza kuthibitisha vifo 8... |
null | Viongozi wa Mataifa ya Ghuba ikiwa ni pamoja na Mwana mfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman walikutana na viongozi wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels katika mkutano wa kwanza wa kilele baina ya pande hizo siku ya Jumatano, kwa matumaini kwamba mazungumzo yao yanaweza kusaidia kupunguza kitisho kinacholetwa na kusamb... |
null | Wizara ya ulinzi ya Marekani imetangaza kuwa itapeleka huko Israel wanajeshi pamoja na mifumo ya hali ya juu ya ulinzi wa anga, wakati huu serikali ya mjini Tel-Aviv ikijiandaa kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya Iran. Kufuatia kauli hiyo, Iran imesema hivi leo kuwa kwa sasa haioni sababu za kuend... |
null | Haya yanafanyika wakati ambapo jeshi la Israel limepeleka magari ya kivita katika eneo la kaskazini la Jabalia ambako Wapalestina na maafisa wa Umoja wa Mataifa wametahadharisha kuhusu ukosefu wa chakula na madawa. Raia wa Jabalia wamesema jeshi la Israel limelipua nyumba kadhaa kwa mashambulizi ya angani, mizinga na k... |
null | Matangazo Mwanadipiplomasia huyo wa Marekani anatarajiwa kukutana na maafisa wakuu wa Israel ili kujadili namna ya kufufua juhudi za kusitisha mapigano katika ukanda huo baada ya mauaji ya kiongozi mkuu wa Hamas Yahya Sinwar. Blinkenalitua saa chache baada ya Hezbollah kufyatua roketi kadhaa za mashambulizi katikati mw... |
null | Ving'ora vimelia leo asubuhi nchini humo kuonya mashambulizi kutoka Lebanon. Katika taarifa yake, msemaji wa Netanyahu amesema waziri huyo mkuu na mkewe hawakuwepo nyumbani wakati wa mashambulizi hayo. Bado haijaeleweka wazi ikiwa droni hiyo ilirushwa kutokea upande gani miongoni mwa pande zinazopambana na Israel. Hezb... |
null | Matangazo Wizara ya afya ya Gaza ilisema mamia ya wagonjwa na wafanyakazi walikuwa wamezuiliwa katika hospitali ya Kamal Adwan. Wakati hayo yakijiri, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na mwenzake wa Jordan, Ayman Safadi, mjini London. Safadi ameishutumu Israel kwa kuhusika na mauaji ya kikabil... |
null | Matangazo Taarifa hiyo imesema Safieddine aliuawa wiki tatu zilizopita kufuatia shambulio katika vitongoji vya kusini mwa mji wa Beirut. Mkuu wa jeshi la Israel Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema kama walivyowafikia viongozi waandamizi wa Hezbollah, basi watamfikia yeyote ambaye anatishia usalama wa raia wa Israel. H... |
null | Matangazo Jeshi la israel limesema limeyashambulia jumla ya maeneo ya wapiganaji 120 katika Ukanda wa Gaza na nchini Lebanon. Maeneo yaliyoshambuliwa ni pamoja na maghala ya kuhifadhia makombora na majukwaa ya kurushia makombora ya makundi ya Hamas na Hezbollah. Soma zaidi.WFP yasema haitochukua jukumu la UNRWA huko Ga... |
null | Kabla ya Oktoba 7, 2023, na shambulio la Hamas dhidi ya Israel, Baraza la Biashara la UAE-Israel lilikuwa likichapisha kila siku kuhusu uhusiano bora wa kibiashara kati ya Israel na UAE, tangu uhusiano huo uliposawazishwa kupitia Mkataba wa Abrahamu mwaka 2020. Hali hiyo ilibadilika baada ya Oktoba 8, ambapo Baraza lil... |
null | Kwenye taarifa ya video iliyorekodiwa na kutangazwa na kituo cha televisheni cha Al Jazeera, kiongozi wa ngazi za juu wa kisiasa wa Hamas mwenye makao yake nchini Qatar, Khalil al-Hayya alisema na hapa namnukuu, "Tunamuomboleza kiongozi mkuu, kaka aliyeuawa kama shahidi, Yahya Sinwar, Abu Ibrahim," Akaongeza kuwa "Tuna... |
null | Baada ya kupokelewa na Rais Steinmeier, mapokezi ambayo yaliambatana na kwa gwaride la kijeshi Biden alitunukiwa tuzo ya juu zaidi ya Ujerumani, ijulikano kama "Grand Cross of the Order of Merit" mjini Berlin. Kwa kupokea tuzo hiyo, kiongozi huyo sasa anakuwa wa pili baada ya George H. W. Bush. Katika kauli yake ya mwa... |
null | Hakukua na tamko lolote la mapema kuhusiana na chanzo cha milipuko hiyo, ingawa muda mfupi baadae, Jeshi la Israel, IDF liliarifu kupitia mtandao wa X kwamba limevishambulia vituo vya kijeshi nchini Iran. Sehemu ya taarifa hiyo ilisema, IDF ilichukua hatua hiyo kujibu mashambulizi ya mfululizo yaliyofanywa na Iran dhid... |
null | Viongozi wa Umoja wa nchi za Kiarabu na wale waliopo kwenye Jumuiya ya Kiislamu wamekusanyika hivi leo katika mji mkuu wa Saudia - Riyadh, kujadili mzozo unaoendelea kupamba moto katika eneo la Mashariki ya Kati ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja Israel ikipambana na wanamgambo wa Hamas huko Gaza na pia wale wa Hezbollah nc... |
null | Matangazo Kwa mujibu wa idara ya ulinzi ya Gaza, waokoaji wameipata miili mitatu ya watoto kutoka kwenye vifusi vya nyumba yao kaskazini mwa Ukanda huo baada ya nyumba hiyo kushambuliwa alfajiri ya leo. Jeshi la Israel limedai kuwa linaendeleza operesheni zake kwenye kambi ya wakimbizi ya Jabalia, ambako hapo jana lili... |
null | Haya yanafanyika wakati ambapo waziri wa ustawi wa Ujerumani, akiwa anafanya ziara Lebanon ambako Israel inakabiliana na wanamgambo wa Hezbollah pia. Kulingana na madaktari, kati ya hao watu 10 waliofariki dunia Gaza, watu 7 wamefariki katika shambulizi lililofanywa kwenye nyumba zao mbili katika mji wa kaskazini wa Ga... |
null | Matangazo Msemaji wa Hezbollah Mohammed Afif amesema hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari kusini mwa Beirut, ambako jeshi la Israel liliwaagiza raia kuondoka. Mwandishi wa habari wa shirika la habari la AFP amesema muda mfupi baada ya kumalizika kwa mkutano huo Israel ililishambulia eneo hilo. Katika hatua nyingi... |
null | Ofisi ya habari ya mamlaka katika Ukanda wa Gaza iliyo chini ya Hamas imethibitisha vifo hivyo, ikiongeza kuwa miongoni mwao ni wanawake na watoto, huku watu wengine wakiwa bado wamekwama chini ya vifusi vya majengo yaliyobomoka. Israel imesema kuwa ililenga kundi la Hamas, lakini imetilia shaka idadi ya vifo vilivyori... |
null | Afisa wa Umoja wa Mataifa amesisitiza umuhimu wa kusitisha haraka mapigano katika Ukanda wa Gaza na kuitisha suluhisho la mataifa mawili, huku akionya kwamba hali katika Mashariki ya Kati ni hatari zaidi kuliko ilivyokuwa katika miongo iliyopita. Katika kikao cha baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Mashariki y... |
null | Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameyasifia mauaji hayo ya Sinwar akisema, vita hivi vilivyochochewa na shambulizi la Oktoba 7, 2023 bado havijamalizika kufuatia kifo cha kiongozi huyo wa Hamas katika Ukanda wa Gaza anayemtaja kama kiongozi wa shambulizi hilo ila akasema ni mwanzo mzuri katika juhudi za kuuzorotesha uwez... |
null | Msururu wa mashambulizi ya Israel katika kambi ya wakimbizi ya Nuseirat huko Gaza yamesababisha vifo vya takriban watu 42 katika kipindi cha saa 24 huku zaidi ya nusu ya watu waliouawa wakiwa ni wanawake na watoto. Watu wengine 150 wamejeruhiwa. Hayo ni kwa mujibu wa Marwan Abu Naser, Mkurugenzi wa hospitali ya Awda in... |
null | Matangazo Serikali ya Israel kupitia Waziri wake wa Mambo ya Nje Israel Katz imethibitisha kumuua Yahya Sinwar. Sinwar, anatizamwa kuwa mratibu mkuu wa shambulio la Oktoba 7 mwaka 2023 dhidi ya Israel ambalo lilisababisha vifo vya karibu watu 1,200 Shambulizi hilo ndilo lililochochea vita vinavyoendelea sasa vya Israel... |
null | Vyombo vya habari nchini Lebanon vimeripoti kuwa wafuasi wa makundi hayo ya Kishia, Hezbollah na Vuguvugu la Amal, wamewashambulia wandamanaji waliokuwa wameweka vizuizi katika barabara kuu ya mjini Beirut. Kituo cha habari cha Annahar kimesema kuwa wafuasi wa Hezbollah wamewasili wakitumia bodaboda, wakiwa wamejihami ... |
null | Matangazo Kundi la wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon, limesema wapiganaji wake wamedungua ndege isiyoendeshwa na rubani ya Israel iliyokuwa ikiruka kwenye anga la karibu na mpaka kwenye eneo la Kusini mwa Lebanon. Hata hivyo kundi hilo halikutowa maelezo zaidi kuhusu aina ya droni iliyodai kuidunguwa karibu na kij... |
null | Matangazo Akizungumza na waandishi habari akiwa pamoja na waziri wa mambo ya kigeni wa Lebanon mjini Beirut, Borell amesema ni muhimu sana kuepusha Lebanon kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na kundi la Hamas huko Ukanda wa Gaza. Mwanadiplomasia huyo amesema hakuna upande utakaoshinda iwapo kanda nzima ya M... |
null | Matangazo Kundi la Hezbollah nchini Lebanon,limesema leo kwamba limefanya shambulizi la droni dhidi ya kituo cha kamandi ya jeshi la Israel kama sehemu ya kujibu mauaji ya kiongozi wake mwandamizi Wissam Tawil yaliyofanywa jana Jumatatu na mauaji ya wiki iliyopita ya naibu mkuu wa kundi la Hamas. Kundi hilo limefahamis... |
null | Matangazo Hayo yamesemwa hivi leo na Ali Larijani, mshauri mkuu wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei, amesisitiza kuwa Tehran haina nia ya kuhujumu mazungumzo hayo. "Hatuna nia ya kuvuruga chochote. Tunalenga kuupatia suluhisho mzozo uliopo. Kwa hali yoyote ile, tunasimama na watu wa Lebanon na kuwaunga mkono. Wanaole... |
null | Matangazo Netanyahu ameonekana kuongoza kupaza sauti ya kulaani uamuzi wa mahakama hiyo ya Umoja wa Mataifa kuanzia kwa wanasiasa wa kihafidhina, wa siasa kali za mrengo wa kulia na hata walio na misimamo mikali nchini mwake. Waziri huyo amesema Wayahudi sio walowezi katika ardhi yao, mahakama ya The Hague inapotosha u... |
null | Mbali na kuzungumzia makabidhiano ya amani ya madaraka, Trump na Biden ambao ni mahasimu wa muda mrefu wa kisiasa, walijadili pia mizozo inayoendelea duniani ikiwa ni pamoja na vita vya Ukraine na Mashariki ya Kati. Marais hao wawili ambao ukijumuisha umri wao unafikia miaka 159 walisalimiana huku Biden akionekana kuta... |
null | Katika vita hivyo vilivyodumu kwa takriban miezi kumi sasa kuanzia juma lililopita Israel imeongeza mashambulizi ya anga na ardhini na kuuwa watu kadhaa. Wakaazi katika eneo hilo ambao wamekuwa wakiishi kwa wasiwasi wamesema kwamba jeshi la Israel wameyalipua makaazi kadhaa katika muda wa siku tatu zilizopita. Maafisa ... |
null | Bin Salman ametoa wito huo katika mkutano wa kilele wa pamoja wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu unaofanyika mjini Riyadh, Saudi Arabia. Soma pia: Mataifa ya Kiarabu na Kiislamu yatoa wito wa kusitisha vita Gaza na Lebanon Mkutano huo unatarajiwa kusisitiza kwa mara nyingine juu... |
null | Kulingana na Shirika la Habari la Kitaifa la Lebanon NNA, moshi umeonekana ukifuka mjini Beirut wakati mashambulizi hayo yakiendelea, huku uvamizi ukiwa umefika katika eneo la kusini la Bint Jbeil, ambapo majengo yameharibiwa vibaya na mashambulizi ya mabomu. Shirika hilo la habari linasema watu 5 wameuwawa katika mash... |
null | Matangazo Mashambulizi hayo yanafanyika wakati ulimwengu ukitazama juu ya ishara za jinsi uchaguzi wa Marekani unavyoweza kuathiri vita baina ya Israel na makundi ya Hamas na Hezbollah. Soma pia: Takriban watu 30 wauwawa Lebanon kwa mashambulizi ya Israel Na huko kaskazini mwa Gaza mashambulizi ya Israel dhidi ya makaa... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 17.11.2024 17 Novemba 2024 Nchi za G7 zasisitiza kuendelea kuiunga mkono Ukraine Ruka sehemu inayofuata ... |
null | Hatua hiyo inatarajiwa miezi mitano baada ya duru ya mwisho ya mazungumzo yaliyofanyika nchini Kenya. Mwaka 2022, mataifa hayo yaliafikiana kukamilisha mwishoni mwa mwaka huu, mkataba wa kwanza wa Umoja wa Mataifa utakaoshughulikia janga la taka za plastiki zinazopatikana kila mahali huku chembechembe zikipatikana pia ... |
null | SiasaWaandamanaji Kenya wavamia majengo ya Bunge la Taifa To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video00:54Siasahttps://p.dw.com/p/4hU9TNakili kiunganishiMatangazo |
null | Ziara ya Baerbock inajiri mnamo wakati vikosi vya Ukraine vikijitahidi kukabili mashambulizi makubwa ya Urusi mashariki mwa nchi yao. Ziara hiyo ya nane ya Baerbock nchini Ukraine inajiri wakati wakati mgumu katika vita vya Urusi nchini Ukraine ambavyo vimedumu kwa takriban miaka mitatu, ambapo Kiev inapaza sauti kuele... |
null | Waziri wa Fedha wa Ujerumani Christian Lindner ameibua mvutano mpya ambao wachambuzi wanakubaliana kwamba unaiweka serikali ya Ujerumani ya mrengo wa kushoto-kati katika hatari ya kuporomoka. Lindner ambaye ni mwenyekiti wa chama cha kiliberali Free Democrats (FDP) ameandika kurasa 18 za mapendekezo ya kile anachokiita... |
null | Matangazo Akihutubia Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa, Barre amesema jaribio la Ethiopia kunyakua sehemu ya Somalia kwa kisingizio cha kuweza kuifikia bahari ni kinyume cha sheria na sio lazima. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia Taye Atske Selassie alitupilia mbali ukosoaji wa waziri mkuu wa Somalia na kusema inalenga ... |
null | Hali hiyo imehusishwa na makali ya kiangazi yanayoshuhudiwa jimboni humo kwa wakati huu na kulazimisha mifugo waliosalia kutegemea mifuko ya plastiki inayopatikana kiurahisi. Wakati makali ya kiangazi yakiendelea kushuhudiwa katika jimbo hili la Marsabit,hofu imeanza kuwavaa wafugaji ambao mifugo yao imeanza kufariki b... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 24.11.2024 24 Novemba 2024 Greenpeace yachukizwa na makubaliano ya COP29 23.11.2024 23 Novemba 2024 COP ... |
null | Baraza la mazingira la Umoja wa Mataifa limepiga kura kwa kauli moja kupitisha azimio hilo katika mkutano uliofanyika Nairobi nchini Kenya. Rais wa baraza hilo na waziri wa mazingira wa Norway Espen Barth Eide amesema taka za plastiki zimegeuka kuwa janga na azimio hilo linaandika historia mpya. Mkataba huo utaangalia ... |
null | Kila mwaka, tani za nguo za msaada hupelekwa katika mataifa yanayoendelea lakini wastani wa asilimia 30 huishia katika maeneo ya kutupa taka ama kurundikwa katika masoko ya ndani hali inayowezesha kukatizwa kwa utengenezaji wa ndani. Ripoti hiyo, inaonesha kuwa tatizo hilo lina madhara makubwa nchini Kenya, ambako takr... |
null | Kauli hiyo ya Umoja wa Mataifa imetolewa kwenye mkutano wa 25 wa Kimataifa wa kujadili gonjwa la UKIMWI uliofunguliwa rasmi siku ya Jumatatu mjini Munich, Ujerumani. Takwimu za mwaka 2023 zinaonyesha kupungua kwa idadi ya vifo na maambukizi mapya pamoja na uboreshaji wa upatikanaji wa matibabu kwa wagonjwa walio na Vir... |
null | Katika mahojiano maalum na DW, Rais wa Malawi Lazarus Chakwera alisisitiza suala ambalo wenzake wengi barani Afrika wamekuwa wakisisitiza kwa miaka mingi: uwakilishi mdogo wa nchi za Afrika kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Chakwera amesema wamekuwa wakishinikiza kuangaaziwa upya kwa hali hiyo ili Afrika iw... |
null | Katika ripoti ya kulaani mfumo huo, ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea kwa kina jinsi gani watu katika taifa hilo lililojitenga na la kimabavu "wanavyodhibitiwa na kunyonywa kupitia mfumo mpana wa kazi za kulazimishwa". Mkuu wa ofisi hiyo Volker Turk, alisema kuwa "ushahidi katika ripoti hiyo unato... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii Maudhui yote kwenye mada hii Guterres: Mitandao ya kijamii na AI inazidisha chuki Kiongoz... |
null | Matangazo Hayo yamesemwa na mkuu wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa barani Afrika CDC, Jean Kaseya mnamo siku ya Alhamisi. Idadi kubwa ya vifo vimetokea katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ambayo ndiyo kitovu cha mripuko wa homa hiyo. Kaseya ametahadharisha kwamba maradhi hayo yanapindukia kiwango cha kuweza ... |
null | Kampuni ya Abbott Molecular yenye makao yake makuu Illinois, kaskazini mwa jiji la Chicago nchini Marekani ndiyo imepewa kibali na WHO kusambaza vifaa vya upimaji ambavyo vinatoa majibu katika muda mfupi (PCR). Shirika la afya duniani limesema kipimo hicho kinachoitwa Alinity m MPXV, kina uwezo wa kutambua vinasaba yaa... |
null | Matangazo Mkuu wa timu ya kukabiliana na mpox nchini humo, Cris Kacita, ameonya kuwa kampeni ya kusambaza chanjo inaweza kuchukuwa muda mrefu kuliko siku kumi zilizotarajiwa mwanzoni. Kampeni ya chanjo ya mpox nchini Kongo ilizinduliwa mwezi huu katika eneo la mashariki lililoathirika zaidi. Kwa mujibu wa shirika la ha... |
null | Kulingana na kituo cha CDCdozi 300 za kwanza zilitolewa mnamo siku ya Jumanne karibu na mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Nchi hiyo ndio imeathirika zaidi, ikiwa na takribani visa 24,000 na zaidi ya vifo 700 vinavyohusishwa na kirusi cha Mpox kati ya Januari na Agosti. Akizungumza kwa njia ya simu na waandishi... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Benjamin Kasembe Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Benjamin Kasembe Taarifa na Benjamin Kasembe M23 waukamata tena mji wa Kalembe mashariki ya Kongo M2... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi Ripoti na Uchambuzi Vita nchini Kongo yaongeza mzozo wa afya ya akili Vita nchini Kongo yaongeza m... |
null | Wafanyakazi wa mashirika ya misaada ya kiutu na makundi ya kiraia wanasema mamilioni ya watu mashariki mwa Kongo bado hawajafikiwa na misaada licha ya mapigano kusitishwa kwa wiki mbili. Wafanyakazi hao wanasema kipindi hicho cha wiki mbili ambacho wiki moja tayari imeshakwisha kamilika, hakitoshi. Soma pia: AU walaani... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 21.11.2024 21 Novemba 2024 SADC kubakisha wanajeshi mashariki mwa DRC kwa mwaka mmoja 21.11.2024 21 Nove... |
null | Makabiliano ya jana Ijumaa yalitokea katika mji wa Kanyabayonga, ulioko kaskazini mwa uwanja wa mapambano katika mkoa wa Kivu Kaskazini. Mkoa huo umekumbwa na machafuko tangu mwaka wa 2021 wakati M23 walipoanzisha tena harakati zao za mapigano katika eneo hilo. Mji wa Kanyabayonga unazingatiwa kuwa mlango wa kuingia Bu... |
null | Wakati mapigano baina ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 yakiendelea kupamba moto katika baadhi ya maeneo mkoani Kivu Kaskazini. Waziri Mkuu Judith Suminwa ameutembelea mji wa Goma pamoja na makambi ya wakimbizi karibu na mji huo unaokabiliwa na kitisho cha usalama. Waziri mkuu huyo amewaahidi... |
null | Maombolezo yalifanyika kwenye uwanja wa michezo mjini Goma ambapo viongozi mbalimbali kutoka serikali kuu walishiriki. Watu hao ni wale waliofariki tangu kuzuka kwa vurugu baina ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 miaka minne iliyopita kwenye eneo hilo. Imekuwa ni siku ya huzuni sana hapa mjini Goma ambapo shughuli zilis... |
null | Mapigano hayo mapya yalivunja makubaliano ya usitishwaji mapigano ambayo yalikuwa yamedumu kwa wiki kadhaa. Duru za eneo hilo zimeeleza kuwa alfajiri ya jana Jumapili, waasi wa M23 walipambana na wanamgambo wa Wazalendo na kuwajeruhi raia 14 wakiwemo vijana wawili. Usitishaji mapigano kati ya jeshi la DRC na waasi wa M... |
null | Rais wa Marekani Barrack Obama amewahimiza wafuasi wote wa chama cha Democratic kumpigia kura kwa wingi Hillary Clinton siku ya uchaguzi wiki ijayo na kuonya kwamba Donald Trump mgombea urais wa chama cha Republican ni tishio kwa haki za kijamii ambazo ziliafikiwa kupitia hali ngumu , taifa la Marekani na dunia nzima k... |
null | Nenda kwenye maudhui Nenda kwenye orodha kuu Nenda tovuti zaidi za DW Yanayoangaziwa Uchaguzi wa Marekani 2024 Mzozo wa Israel na Hamas Bundesliga Sauti zetu Vidio zetu Matangazo Ruka sehemu inayofuata Habari Habari 09.11.2024 9 Novemba 2024 Meya wa Berlin asema Novemba 9 ni muhimu kwa hali zote 09.11.2024 9 Novemba 20... |
null | Matangazo Biden pia ameratibiwa kukutana na viongozi wengine wa Ulaya akiwemo Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa na Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer. Ujerumani na Marekani wamekuwa wasaidizi wakubwa wa misaada ya kijeshi kwa Ukraine wakati inapopambana na uvamizi wa Urusi. Lakini msemaji wa Ikulu ya White House, Ka... |
null | Msemaji wa kamisheni ya Ulaya katika masuala ya biashara na kilimo Miriam Garcia Ferrer ameiambia DW kuwa moja ya madhumuni ya ziara Von Der Leyen ni kuwa Umoja wa Ulaya unataka kuondokana na ubaguzi wa makampuni na bidhaa za Umoja wa Ulaya kadri wawezavyo na kuepuka upotoshaji katika masuala ya biashara. Ferrer hakuta... |
null | Hayo yanajiri wakati Rais wa Misri Abdel-Fattah Al-Sisi ameonya juu ya hatari ya kutanuka kwa mzozo huo kwa namna ambayo ni ngumu kufikirika alipokutana na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken, alieko Mashariki ya Katika kushinikiza muafaka wa kusitisha vita Gaza. Hamas imesema katika taarifa kuwa matamshi... |
null | Matangazo Mazungumzo hayo muhimu mjini Washington yanatazamiwa kujikita kwenye vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza pamoja na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Soma zaidi: EU yaungana kuhusu Ukraine, lakini haitatoa uanachama wa haraka Biden na viongozi hao wa Ulaya watajadili pia masuala ya ushirikiano katika masuala ... |
null | Matangazo Rais Biden atakutana na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na Rais Frank-Walter Steinmeier. Hii ni baada ya kuifuta safari yake iliyokuwa imepangwa wiki hii kutokana na kimbunga Milton kilichopiga jimbo la Florida. Ziara ya awali ya Biden nchini Ujerumani ilikuwa ifanyike kati ya Oktoba 10 na 12 ambapo angeliku... |
null | Bunge la Ujerumani Bundestag limeidhinisha kwa idadi kubwa ya wabunge mamlaka mpya inayoliruhusu jeshi la Ujerumani Bundeswehr kupeleka hadi wanajeshi 700, pamoja na vifaa ikiwemo manuari ya vita Hessen kwenda bahari ya Shamu hadi angalau Februari mwaka 2025. Ni sehemu ya tume ya Umoja wa Ulaya inayolenga kuhakikisha u... |
null | Mazungumzo hayo kati ya maafisa wa ulinzi wa Ujerumani yalichapishwa Ijumaa na mkuu wa shirika la utangazaji la Urusi, RT, Margarita Simonyan. Akizungumza wakati wa ziara yake Vatikani, Scholz ameitaja kadhia hiyo kuwa "suala zito sana." Ndani yake, maafisa wandamizi wa jeshi la anga wanajadili uwezekano wa kinadharia ... |
null | Kwenye mahojiano na shirika la habari la Ujerumani, DPA, Alexander Graf Lambsdorff, balozi wa Ujerumani huko Moscow amesema alikuwa na mazungumzo kuhusu maswala ya nchi hizi mbili katika wizara ya mambo ya nje ya Urusi. Alikanusha madai ya kwamba aliitishwa ili kujieleza na kusema kulikuwa na mwaliko wa kujadili masual... |
null | Matangazo Shulze ametoa kauli hiyo wakati akianza ziara nchini Burkina Faso na Benin kwa mazungumzo ya kisiasa jana Jumatatu. Schulze amekuwa waziri wa kwanza barani Ulaya kuiziuru Burkina Faso tangu yalipotokea mapinduzi ya kijeshi mwezi Septemba mwaka 2022, yaliyomweka madarakani Ibrahim Traoré kuwa kiongozi wa taifa... |
null | Duru za kidiplomasia nchini Mali zimesema Rais wa Mali aliyeondolewa madarakani kwenye mapinduzi ya kijeshi mnamo mwezi Agosti, Ibrahim Boubacar Keita,alisafirishwa mwishoni mwa wiki na kupelekwa Falme za Kiarabu kwenda kupata matibabu. Kiongozi huyo wa Mali aliyeondolewa madarakani ameandamana na mkewe, Aminata Maiga ... |
null | Niger, mshirika muhimu wa nchi za Magharibi katika mapambano dhidi ya uasi wa wanamgambo wa kiislamu katika eneo la Sahel, imewakaribisha wanajeshi wa nchi kadhaa za kigeni. Ufaransa ina vikosi 1,500 nchini Niger, vikisaidiwa na ndege zisizorushwa na rubani na ndege za kivita. Ilikuwa na vikosi vya kupambana an uasi Af... |
null | Hatua inayoashiria kumalizika kwa zaidi ya muongo mmoja wa operesheni za Ufaransa dhidi ya wapiganaji wa itikadi kali katika eneo la Sahel. Wakati huo huo Ufaransa nayo imesema itafunga ubalozi wake nchini humo. Luteni wa jeshi la Niger Salim Ibrahim amesema kwamba tarehe ya leo inaashiria mwisho wa mchakato wa kuondol... |
null | Hatua za kiusalama zinaimarishwa wakati mawaziri hao wawili kutoka Ujerumani wakiwasili kwenye Kambi ya Castor. Hapa ndipo yalipo makaazi rasmi ya kikosi cha jeshi la Ujerumani, Bundeswehr, kwenye mji wa Gao ulio kwenye eneo tete la kaskazini mwa Mali. Waziri wa Ulinzi Boris Pistorius na mwenzake wa maendeleo, Svenja S... |
null | Watu wengine milioni tano zaidi wanakabiliwa na ukosefu mkubwa wa usalama wa upatikanaji wa chakula, huku Burkina Faso, Niger na Nigeria zikiwa miongoni mwa nchi zilizoathiriwa sana. Ripoti ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa iliyowasilishwa kwa baraza la usalama la umoja huo jana Jumanne inasema miongoni mwa mambo yana... |
null | Wapiganaji wa itakadi kali za dini ya kiislamu walianza vitimbi kwa mara nyingine mwezi Agosti mwaka huu. Kwanza waliuteka nyara mji wa kihistoria wa Timbuktu na kuzifunga njia zote kuu za barabara kuzuia yeyote kuufikia. Baadaye wakafanikiwa kuweka vizingiti kwa safari kwenye mto unaokatisha mji huo na hata kulifunga ... |
null | Akizungumza na waandishi habari mjini Budapest, Scholz amepuuza madai yanayotolewa na wanasiasa wenzake kwamba anaelenga kuuchelewesha uchaguzi kwa malengo ya kukamilisha kwanza vipaumbele vyake vya kisiasa. Ujerumani ilitumbukia kwenye mzozo wa kisiasa mapema wiki hii kufuatia kusambaratika kwa serikali ya muungano wa... |
null | Vyama vya upinzani vya Ujerumani na makundi ya wafanyabiashara wamemhimiza Kansela Olaf Scholz kuitisha uchaguzi mpya haraka. Scholz alimtimua Waziri wa Fedha Christian Lindner wa chama kinachounga mkono sera za kibiashara cha Free Democratic – FDP. Hatua hiyo ilimlazimu Lindner ambaye amekuwa akitofautiana wazi wazi n... |
null | Ushindi huo unampa Kansela Scholz ahueni dhidi ya ukosoaji unaomkabili kuhusu uongozi wake ndani ya chama hicho. Chama cha SPD kilipata ushindi wa dakika za mwisho katika jimbo la mashariki mwa Ujerumani la Brandenburg, ambako kimekuwa kikiliongoza tangu kuungana tena kwa Ujerumani mbili mwaka 1990. Kulingana na shirik... |
null | Mpango huo unajumuisha ahadi ya kutengeneza silaha mpya za masafa marefu. Washirika hao wawili wa NATO wamesema muafaka huo, unaofahamika kama Trinity House Agreement, utaimarisha uwezo wao wa kushirikiana na kufanya luteka za kijeshi kwenye mpaka wa mashariki mwa jumuiya hiyo, na kuboresha uwezo wao wa kuzuia mashambu... |
null | Kura hiyo ya imani itafungua njia ya kwenda kwenye uchaguzi wa mapema mnamo mwezi Februari. Kansela Scholz amesema hayo katika tamko la serikali, alilolitoa bungeni mapema Jumatano, wiki moja baada ya serikali yake ya mseto kuvunjika. Katika tamko hilo Kansela Scholz pia alizungumzia juu ya uhusiano na Marekani na juu ... |
null | Matangazo Waziri wa Uchumi wa Ujerumani Robert Habeck, amesema kuwa makubaliano hayo kuhusu hidrojeni hayamaanishi kuwa serikali zitafanya kila kitu ilikukamilisha mradi huo. Habeck amesema wanasayansi, wanafunzi na wafanyabiashara wa nchi mbili hizi lazima pia wajihusishe na mpango huo wa uzalishaji nishati mbadala. M... |
null | Banaszak alipata asilimia 92.88 ya kura, akipata nafasi ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka miwili. Brantner alichaguliwa kuwa mwenyekiti mwenza mwingine wa chama hicho kwa asilimia 78.15 ya kura, na amekuwa mwanachama wa Bundestag ya Ujerumani tangu uchaguzi wa kitaifa wa 2021. Soma pia: Serikali ya Ujerumani yasambarat... |
null | TeknolojiaUjerumaniWanafunzi wa Kijerumani Wasaidia Shule TanzaniaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video02:37TeknolojiaUjerumanihttps://p.dw.com/p/4lu1CNakili kiunganishiMatangazo |
null | Matangazo Mazungumzo hayo yatafanyika pembezoni mwa mkutano wa kilele wa mataifa yanaoyoongoza kiuchumi duniani G20 utakaofanyika nchini Brazil. Scholz na Xi watakutana siku ya Jumanne na kujadili vita vya Ukraine na Mashariki ya Kati, uhusiano kati ya China na Ujerumani pamoja na usawa wa kibiashara duniani. Scholz am... |
null | Polisi nchini Ujerumani imesema kuwa imegundua kupungua kwa asilimia 13 ya watu wanaovuka mpaka kinyume cha sheria katika kipindi cha wiki tatu za kwanza tangu kuanza kwa ukaguzi wa kudumu wa mipakani, ikilinganishwa na wiki tatu zilizopita kabla ya kuanza kwa zoezi hilo. Hayo ni kwa mujibu wa takwimu za polisi zilizot... |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.