name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548 Katika kuadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024, na ... Bandari ya Dar es Salaam yaanza kupokea meli kubwa za mizigo baada ya maboresho Mamlaka... |
null | Waziri Mkuu awataka wahandisi kutekeleza miradi kwa ubora unaoendana na thamani ya fedha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wahandisi wote nchini wazingatie miiko na maadili ya taalum hiyo ikiwemo kutekeleza miradi ya ujenzi kwa ubora unaoendana na thamani ya fedha halisi iliyotolewa. Ameyasena hayo leo kwenye Kong... |
null | Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548 Katika kuadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024, na ... Bandari ya Dar es Salaam yaanza kupokea meli kubwa za mizigo baada ya maboresho Mamlaka... |
null | Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema imeendelea kupokea meli kubwa za mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mafanikio baada ya uwekezaji mkubwa na maboresho mbalimbali ya kiutendaji na utoaji huduma yaliyofanyika katika bandari hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya... |
null | TagsNafasi za Kazi Nafasi 38 za Ajira Serikalini December 2, 2024Nafasi 80 za Ajira Serikalini November 26, 2024 More News - Mwanaume, fanya mambo haya 10 uonekane ‘gentleman’ kwenye uhusiano November 18, 2022 - Mandonga afungiwa mwezi mmoja, kufanyiwa uchunguzi Muhimbili August 14, 2023 - Rais Samia: Tumeruhusu mikuta... |
null | Rais Samia afanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024 December 10, 2024Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548 December 9, 2024TRC yaongeza ratiba ya treni mikoa mitatu December 7, 2024 More News - Kurasa za magazeti ya leo Julai 24, 2020 July 24... |
null | Vodacom: Wateja wanaofanyiwa utapeli waripoti kwetu mapema Kampuni ya Vodacom Tanzania imesema katika ukuaji wa mitandao na teknolojia, Watanzania wengi wanalizwa zaidi na udanganyifu shirikishi (social engineering) ambapo matapeli humfanya mtu atoe taarifa zake binafasi au kumlazimisha kwa namna ya kirafiki kutumia hi... |
null | Katika kuadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024, na wafungwa 1526 wanabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki baada ya kupewa msamaha huu. |
null | Korea yaahidi kuiunga mkono Tanzania katika Sekta ya Maji Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) ametembelea na kufanya mazungumzo na Benki ya EXIM ya Korea ambayo imetoa fedha za utekelezaji wa miradi ya majitaka nchini Tanzania yenye jumla ya Dola za Kimarekani milioni 248.3 (Dar es Salaam dola milioni 90, Dodoma dola mili... |
null | More News - Mwongozo wa gharama za matibabu kuanza kutumika mwaka 2023 December 27, 2022 - Serikali yatangaza kuwasajili madalali wa mazao February 22, 2024 Yaliyojiri - Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024 - Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024 - Polisi Arusha... |
null | ✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Tuesday, December 10 Home › Habari › Ajira › Nafasi 48 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 48 za Ajira Serikalini swahilitimes November 11, 2024 0 29 POST: TUTORIAL ASSISTANT (ACCOUNTING AND FINANC... |
null | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ametangaza hatua muhimu zinazofuata katika mchakato wa kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 baada ya uzinduzi wa Rasimu ya Kwanza ya Dira hiyo uliofanyika leo ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Husse... |
null | Kufuatia taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayodai Askari Polisi kuvamia ofisi za Taasisi ya Reach Out Tanzania iliyopo eneo la Makumbusho kwa lengo la kumkamata Mwanasheria wa taasisi hiyo, Alphonce Lusako, Jeshi la Polisi limesema askari hao walifika kumkamata mtuhumiwa aliyetajwa kwa jina la Emmanuel M... |
null | ✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Tuesday, December 10 Home › Uncategorized › Nafasi 100 za Ajira Serikalini Uncategorized Nafasi 100 za Ajira Serikalini swahilitimes December 10, 2024 0 4 POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 3 POST E... |
null | Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha wametoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya ambao wanapatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru. Akiongea wakati wa kukabidhi mitaji hiyo kwa niaba ya Mwenyekiti wa huo, Mkuu wa Polisi Wilaya ya Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, SSP Georgina ... |
null | Yaliyojiri - Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 - Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024 - Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024 December 10, 2024 - Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548 December 9, 2024 SWT2 All Rights Reserved | 45 Ki... |
null | ✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Blog Blog Habari Miili ya watu watatu yafukuliwa nyumbani kwa mganga wa kienyeji, saba wakamatwa swahilitimes August 26, 2024 Uncategorized Fahamu historia ya Simba... |
null | Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, na Arusha. Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imesema siku ya Jumatano itaongezeka kujumuisha siku ya Jumatatu na Ijumaa, hivyo kufanya jumla ya safari tatu kwa juma... |
null | Mfanyakazi wa ndani aliyefahamika kwa jina moja la Modesta (17) amefariki dunia baada ya kujinyonga Desemba 10, mwaka huu, Mtaa wa Zanzibar katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara. Kamanda wa Polisi mkoani humo, Pius Lutumo amesema mwili wa binti huyo ulikutwa ukiwa unaning’inia kwenye chumba alimokuwa akilala binti huyo... |
null | Nafasi za kazi za mikataba na za kujitolea Hospitali ya Benjamin Mkapa More News - Waziri Mkuu amshukuru Rais kwa kumteua Naibu Waziri Mkuu September 2, 2023 - Hospitali ya KCMC yataja vipimo vya magonjwa 5 inavyotoa bure October 16, 2021 - Magazeti ya Tanzania leo Mei 8, 2020 May 8, 2020 Yaliyojiri - Polisi Arusha wat... |
null | Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 300 [TZS bilioni 786.3] kwa ajili ya kusaidia Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini Tanzania, chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) ambayo inatarajiwa kutekelezwa baada ya kukamilika kwa Awamu ya Pili ya Mpango ... |
null | Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameisisitiza jamii kuendelea kuitunza amani iliyopo wakati nchi ikielekea katika mwaka wa Uchaguzi Mkuu mwakani. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo wakati akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wa Masjid Shaafy uliopo Mombasa Mbuyu Mnene ,W... |
null | Benki ya Dunia imepunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa Kenya kwa mwaka 2024 hadi asilimia 4.7 kutoka asilimia 5.0 ya awali, ikitaja athari za mafuriko, maandamano ya kuipinga serikali na juhudi za kuimarisha fedha. Benki hiyo imesema Kenya imefanikiwa kuimarisha kiwango chake cha ubadilishaji wa fedha za kigeni, ku... |
null | Kimbunga ni dhoruba kali inayoanza juu ya bahari katika maeneo ya tropiki yenye upepo wenye kasi zaidi. Tanzania ilishuhudia kimbunga cha mwisho mwaka 1952 ambacho kilitua mkoani Lindi katika pwani ya Kusini ya nchi. Hivi karibuni, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari juu ya kimbunga Hidaya katika Pw... |
null | Serikali ya Marekani imewataka wamiliki wa TikTok kutoka nchini China kuacha hisa zao katika programu hiyo maarufu ya video au vinginevyo watapigwa marufuku na nchi hiyo. Programu hiyo ya video inayomilikiwa na kampuni ya Kichina ya ByteDance inashutumiwa kuwa hatari kwa usalama wa taifa kupitia data zilizokusanywa kut... |
null | Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548 Katika kuadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024, na ... Bandari ya Dar es Salaam yaanza kupokea meli kubwa za mizigo baada ya maboresho Mamlaka... |
null | Uongozi wa Chuo Kikuu cha Covenant (CU) nchini Nigeria, umepiga marufuku uvaaji wa nguo zote nyeusi na viatu vya ‘Brogues’ kwa wanafunzi chuoni hapo kuanzia kipindi kijacho cha masomo. Taasisi hiyo ya kidini inayomilikiwa na Kanisa la Living Faith Worldwide, imesema nguo nyeusi inaweza tu kuvaliwa na rangi nyingine na ... |
null | Mtanzania ateuliwa kuongoza mamlaka ya mapato Sudan Kusini Raia wa Tanzania, Dkt. Patrick Mugoya ameteuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Sudan Kusini (NRA). Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 6 mwaka huu mjini Juba baada ya kusaini mkataba, Dkt. Mugoya amesema atatengeneza mpango mkakati wa kuwezes... |
null | Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imesema mawasiliano ya barabara kuu ya kutoka Dar es Salaam na mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara yarejea katika eneo la Somangafungu mkoani Lindi kutokana na daraja la Somanga linalounganisha barabara hiyo kukatika na kusababisha barabara hiyo kufungwa kwa saa kadhaa. Kaimu Meneja w... |
null | Mkazi wa Kata ya Lilambo, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Juma Msangi amesema fedha zaidi ya TZS milioni 700 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan zimebadilisha taswira ya upatikanaji wa huduma za afya katika halmashauri hiyo, kwa sababu awali walilazimika kufuata huduma mbali. Amesema kabla ya Ujenzi wa Kituo cha... |
null | Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) imesema bondia wa ngumi za kulipwa, Karim Mandonga hatoshiriki ngumi mpaka atakapopimwa afya yake baada ya kupigwa TKO katika pambano lake na Moses Golola kutoka Uganda lililofanyika Julai 29, 2023 jijini Mwanza. Akizungumza na Swahili Times, Katibu wa TPBRC, George Lukind... |
null | CCM yaongoza kuweka wagombea nafasi zote wapinzani wakiwa na 38% Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji, vitongoji na mitaa huku upinzani ukiweka wagombea 30,977 sawa n... |
null | Tume ya watu 19 yaundwa kuchunguza ubora wa majengo Kariakoo Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekeza majengo yote Kariakoo kufanyiwa ukaguzi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema tayari tume ya watu 19 imeundwa ili kujua ubora wa majengo pamoja na shughuli zinazoendelea katia eneo hilo. Akizungumza leo wakati wa ku... |
null | Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa vyama vya siasa kuzingatia demokrasia ikiwa ni pamoja na misingi ya nchi iliyowekwa na kutumia hoja na fikra zenye tija zinazolenga kuimarisha utendaji serikalini. Akizungumza katika mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia uliofanyika jijini Dar ... |
null | Mwanaume muungwana (gentleman) ni mtu ambaye ana mwenendo mzuri na wa heshima. Pia, muungwana ana sifa fulani zinazowatofautisha na wanaume wengine. Kuwa muungwana kwa mwanamke kutamfanya ajihisi maalumu na pia utaonekana wa tofauti na wanaume walio wengi. Fuatilia namna bora ya kuonesha uungwana wako kwa mchumba au mw... |
null | More News - Mhasibu wa Wilaya ya Same jela miaka 20 kwa uhujumu uchumi March 20, 2024 - Diamond afuta picha zenye bendera ya ubaguzi February 22, 2022 Yaliyojiri - Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 - Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024 - Benki ya Dunia yapunguza m... |
null | TagsBAJETI TAMISEMIBajeti ya TAMISEMIInnocent BashungwaMAAFISA JAMIIPikipiki Milioni 11Pikipiki Milioni 789Ununuzi Pikipiki More News - Godbless Lema akamatwa Kenya akitafuta hifadhi Ubalozi wa Marekani November 8, 2020 - Rais Samia alifumua Shirika la Posta May 3, 2021 - Maneno ya Abdul Nondo baada ya kufutiwa kesi Ma... |
null | Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) limezitaka kampuni za kamari nchini kuondoa mara moja Ligi Kuu ya Zanzibar (PBZ Premier League) katika orodha ya betting kwenye kampuni zao za kamari kwani ni makosa kwa mujibu wa sheria. Katika taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari imesema kuwa Zanzibar haijatoa ruhusa y... |
null | Viongozi wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) wametembelea Mradi wa Kimkakati wa Kuzalisha Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) na kuipongeza Serikali kwa usimamizi wa mradi huo utakaozalisha megawati 2,115 kuanzia Juni, 2024, baada ya ujenzi wake kukamilika. Viongozi wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) wakis... |
null | Alichosema Nugaz baada ya kuondoka Yanga Saa chache baada ya Yanga kutangaza kutomwongezea mkataba, aliyekuwa afisa mhamasishaji wa klabu hiyo, Antonio Nugaz ameushukuru uongozi wa klabu hiyo kwa nafasi waliyompa kwa miaka miwili na kuwatakia heri kuiongoza klabu hiyo. “Kwa udhati wa Moyo wangu naomba niwashukuru Kuanz... |
null | Familia yagomea polisi kufukua mwili unaodaiwa kuzikwa kimakosa Jambo la kustaajabisha limetokea katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, baada ya Polisi kushindwa kufukua mwili unaodaiwa kuzikwa kimakosa katika eneo hilo, huku ndugu wakidai hawana taarifa hiyo. Mwili hu... |
null | Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametoa saa 24 kwa Jeshi la Polisi kuwamkamata askari wa TANAPA wanaodaiwa kuwapiga wananchi wa eneo la hifadhi wilayani Mbarali. Hayo yamejiri kufuatia hoja aliyoiwasilisha Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Fransis Mtega juu ya tukio hilo ambalo lilimfanya Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa kuiag... |
null | Jeshi la Polisi lasema halina utani Kufuatia taarifa zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii zikihusisha utani kati ya Jeshi la Polisi na raia, Jeshi la Polisi limesema Jeshi hilo si taasisi iliyoundwa kwa ajili ya kufanya utani bali kutekeleza majukumu hahususi ambayo ni kulinda maisha ya watu na mali zao. Taarifa ya... |
null | Wanafunzi 1,050 wafutiwa matokeo darasa la saba Jumla ya wanafunzi 1,059 kutoka shule 38 wamefutiwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2020 araza la kutokana na udanganyifu uliofanyika wakati wa mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi. Akizungumza wakati akitangaza matokeo ya mitihani hiyo, Katibu Mtendaji wa Bara... |
null | Akiwa kwenye mkutano wa hadhara, Waziri wa Nishati, January Makamba amewahahakikishia wananchi wa Sengerema kuwa maombi yao ya kuunganishiwa umeme ifikapo Agosti yatakuwa yamefanyiwa kazi. Akijibu swali la Mbunge wa Sengerema, Khamis Tabasamu kuhusu wateja walioomba umeme miaka michache iliyopita na hawajaunganishiwa, ... |
null | Ndege aina ya Airbus A220 ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini. Hayo yameelezwa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha. “Leo niko hapa kuwapa habari njema, siku chache zilizopita niliwajulisha ... |
null | Rubik - © Copyright BKNinja. All Rights Reserved. Petroleum Products Cap Prices WEF 6th November 2024 – Kiswahili (2) |
null | Wagoma kuchukua mwili wakidai kijana wao alikuwa na ugomvi na uongozi wa shule Ndugu wa mwanafunzi, Julius Nchagwa aliyekuwa akisoma Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Mogabiri iliyopo wilayani Tarime mkoani Mara, ambaye alifariki baada ya kuanguka katika uwanja wa shule hiyo muda mfupi baada ya kutoka kwenye chu... |
null | Rais Samia kuunda Tume kushughulikia suala la Ngorongoro Rais Samia Suluhu amesema ataunda Tume mbili ambapo moja itachunguza na kutoa mapendekezo kuhusu masuala ya ardhi yaliyolalamikiwa na wakazi wa Ngorongoro, na nyingine itaangalia utekelezaji wa zoezi zima la uhamiaji kwa hiari kutoka eneo la Hifadhi la Ngorongoro... |
null | Imeamchukua Drew Binsky safari za ndege 1,458 na safari za basi na treni 1,117 kutimiza ndoto yake ya kufika katika nchi zote duniani, mzunguko alioufanya ndani ya miaka 10. Akiwa katika nchi ya mwisho, Saudi Arabia amesema kuwa amefanikiwa kuzunguka katika nchi 197 (nne kati ya hizo hazitambuliwi na Umoja wa Mataifa a... |
null | Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kuja na mwongozo wa gharama za matibabu katika vituo vya kutolea huduma za afya vya umma nchini ambao unatarajiwa kuanza kutumika kuanzia mwezi Februari 2023. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofanya ziara ya kushitukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temek... |
null | Nchi 10 za Afrika zenye huduma bora za Polisi Ripoti ya Afrobarometer iliyochapishwa hivi karibuni, imebaini kuwa huduma za polisi barani Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa za uadilifu na weledi, huku asilimia ndogo ya raia wakiridhika na utendaji wa vyombo hivyo vya usalama. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyokusanya... |
null | Serikali imesema imeendelea kuchukua hatua mbalimbali kwa ajili kudhibiti wafanyabiashara wanaoenda kinyume na bei elekezi ikiwa ni pamoja na kuendesha operesheni ya kuwakamata wafanyabiashara wanaoongeza bei kiholela. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Serikali imeanz... |
null | Waziri Mkuu ahimiza viongozi wa vyama vya siasa kudumisha amani uchaguzi wa Serikali za Mitaa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa vyama vya siasa vitakavyoshiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa vinara katika kulinda amani na kukemea viashiria vyote vya uvunjifu wa amani. “Hamasisheni wana... |
null | Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020: Wasifu wa Balozi Ali Karume Na Farid Hashim, Zanzibar Kinyang’anyiro cha mbio za Urais Zanzibar ndani ya CCM kimepamba moto baada ya makada zaidi ya 10 kujitokeza na kuchukua fomu kuomba ridhaa. Mmoja wa waliochukua fomu ni Balozi Ali Abeid Amani Karume. Balozi Karume alikabidhiwa fomu hizo... |
null | Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) ikitangaza mabadiliko ya nauli za mabasi na daladala yatakayoanza Mei 14 mwaka huu, baadhi ya wakala wa mabasi wameeleza kuwa tayari wameshaanza kutumia viwango hivyo mara baada ya bei ya mafuta kupanda. Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Tito Juma wakala wa basi l... |
null | Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mitandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha mtandaoni huku aplikesheni 55 zilikabidhiwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ziondolewe mtandaoni. AKizungumza na gazeti la N... |
null | Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameagiza mashabiki 43,947 waliokata tiketi kwenye mchezo wa Simba SC na Yanga SC ambao uliahirishwa Mei 8, 2021 kurejeshewa tiketi zao kwenye mfumo wa kadi za kuingilia uwanjani. Bashungwa ametia agizo hilo na kuelekaza kuwa mashabiki hao watatumia tiket... |
null | Serikali yaahidi kuwawezesha vijana wabunifu wa TEHAMA Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Serikali itaweka mazingira wezeshi ya kuendeleza vijana wabunifu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). Ndkt. Ndugulile ameyasema hayo leo wakati wa ziara yake ya kutembel... |
null | Kufuatia sakata la kujirudia kukatika kwa umeme wakati wa mechi Uwanja wa Benjamin Mkapa, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pindi Chana ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wanaohusika na uendeshaji wa uwanja ili kupisha uchunguzi. Watumishi waliosimamishwa ni Kaimu Meneja wa Uwanja wa Mkapa, Salum Mtumbuka, M... |
null | Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Angeline Mabula amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Mkandarasi Kampuni ya Ujenzi ya Estim Construction kuhakikisha mradi wa ujenzi wa Morocco Square unakamilika kufikia Juni 30, 2022. Kauli hiyo ya Dkt Mabula inafuatia uamuzi wa serikali kuiruhusu NHC k... |
null | Where to Stay in New York: Hotels by District Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re divided yie... |
null | Simba yaorodhesha makosa waliyofanya Orlando Pirates walipokuja Tanzania More News - Jaji kesi ya Mbowe na wenzake ajitoa September 6, 2021 - Askofu adaiwa kujinyonga kisa madeni May 18, 2024 Yaliyojiri - Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024 - Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 202... |
null | Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza kuchunguzwa kwa taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo Nkasi Kusini, Rukwa kufukuzwa shule kwa madai ya wazazi wao kuiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Agizo hilo limekuja ... |
null | Geita: Mtoto aliyechomwa mikono na mama yake kisa wizi aeleza ukweli Mwanafunzi aliyekuwa anasoma darasa la saba katika Shule ya Msingi Shahende, Kata ya Butobela, wilaya ya Geita mkoani Geita, Helena Paul (13) aliyechomwa moto mikono na mama yake mzazi kwa tuhuma za kumuibia TZS 30,000 amesema mama yao aliwachoma miko... |
null | Mdhibiti Mkuu wa Shirika la Viwango vya Kenya (KEBS) na maafisa wengine 26 wa serikali nchini Kenya wamesimamishwa kazi kutokana na kuingizwa sokoni tani 1,000 za sukari isiyofaa kwa matumizi ya binadamu. Uchunguzi wa vyombo vya usalama unasema kuwa sukari iliyopakiwa katika mifuko 20,000 yenye kilo 50 iliingizwa nchin... |
null | Mkuu wa Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametoa agizo la kuzifungia akaunti zote za benki za jeshi la akiba (Rapid Support Forces) pamoja na kampuni tanzu zake zote. Amri hiyo, imetolewa Jumapili, Mei 14 ambapo bado haijulikani ni athari zipi zitakazojitokeza kwa RSF na jinsi maagizo ya Burhan yatakavyot... |
null | Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi kuwa Tanzania, Kenya na Uganda zimepata nafasi ya kuandaa michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027 na kuzishinda Misri, Senegal, Botswana na Algeria huku Morocco ikitangazwa kuwa wenyeji wa michuano hiyo kwa mwaka 2025. Taarifa hiyo imetolewa leo Jijini Cairo nc... |
null | ✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Error 404 404 Page not found Oops! The page you were looking for was not found. Perhaps searching can help. Latest Articles Habari Maisha Dada wa kazi akutwa amejin... |
null | Taarifa ya Polisi kuhusu kukamatwa kwa Mbowe, Mdee na Zitto watakiwa kujisalimisha Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea na oparesheni kali ya kukamata watu wanaofanya mipango ya kuhamasisha maandamano bila kufuata sheria na kusababisha taharuki kwa wananchi sambamba na mipango ya kuharibu ... |
null | Mwanaume mmoja nchini Kenya Joseph Odongo (81) ambaye alidhaniwa amefariki miaka 50 iliyopita amerejea nyumbani kwao baada ya kuiacha familia yake katika kijiji cha Riwa eneo la Homa Bay mwaka 1972. Odongo ambaye aliondoka nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 30 na kwenda kuishi katika Mji wa Pwani Mombasa, amesema sa... |
null | Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu kuhakikisha anaweza kuona hesabu za mashirika yote anayoyasimamia ikiwa ni pamoja na makusanyo na matumizi yao. Ameyasema hayo katika hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za Umma, iliyofanyika Juni 11, 2024 Ikulu Jijini D... |
null | Benki ya NMB yapata mafanikio ya kihistoria; yatengeneza faida ya TZS bilioni 775 kabla ya kod - Faida kabla ya kodi: Shilingi Bilioni 775, ongezeko la asilimia 26 kwa mwaka - Faida baada ya kodi: Shilingi Bilioni 542, ongezeko la asilimia 26 kwa mwaka - Jumla ya Mapato: Shilingi Trilioni 1.4, ongezeko la asilimia 18 k... |
null | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema kati ya waombaji 171,916 walioomba ajira katika kada ya ualimu na afya kupitia wizara hiyo, waombaji 1,169 walijitambulisha kuwa ni walemavu ambapo zaidi ya watu 419 hawakuwa na ulemavu kama walivyodai. Akizungumza l... |
null | Mashirika ya kiraia nchini Kenya yamelalamikia kuwepo kwa uhaba mkubwa wa kondomu za bure kote nchini humo kutokana na ushuru kuwa mkubwa. Bidhaa za kuokoa maisha kwa kawaida huagizwa na kusambazwa bila malipo lakini kutokana na ushuru kuwa juu, wasambazaji hawafanyi tena usambazaji wa bidhaa hizo nchini Kenya. Wanahar... |
null | Gambo ajitolea kuboresha mazingira ya kazi ya waendesha bodaboda Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama chao kuanzia Februari hadi Desemba 2025. Hatua h... |
null | Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Eliewaha Mgonja, (42) kwa kosa la kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kamanda wa Polisi Mkoa ... |
null | Jeshi la Polisi limesema uchunguzi wa wa video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha tukio la binti aliyefanyiwa vitendo vya ukatili unaendelea vizuri hivyo wananchi waendelee kuwa na subira kwani taarifa itatolewa baada ya kukamilisha yale ambayo sheria za nchi zinavyoelekeza. Katika taarifa iliyotolewa na ... |
null | Moja ya alama maarufu za Dar es Salaam iko hatarini kuondolewa kutokana na upanuzi unaoendelea wa Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi (BRT). Mbuyu mkubwa ulioko Mbuyuni katika eneo la Oysterbay upo katikati ya njia inayopendekezwa ya barabara ya mabasi ya mwendo kasi kando ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi. Mbuyu huo ni wa k... |
null | Katika safari ya kutafuta mwenza wa maisha, ni muhimu kuchukua muda kumjua mtu vizuri kabla ya kuingia katika ndoa. Uchaguzi wa mume ni uamuzi mkubwa unaoweza kuathiri furaha na ustawi wako wa baadaye. Hapa tunaangazia dalili na tabia za mwanaume asiye na sifa za kuwa mume mzuri, ili uweze kuzitambua na kufanya maamuzi... |
null | Familia ya Kamishna Msaidizi wa Polisi (SSP), Fatuma Kigondo imesema inafikiria kufungua mashtaka dhidi ya wote waliosambaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa ndugu yao amehusika kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, Dar es Salaam. Akiandika katika ukurasa wake wa X (zamani Twitter... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.