name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Habari › Ajira › Nafasi 490 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 490 za Ajira Serikalini swahilitimes August 12, 2024 0 123 POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 10 POST Emplo...
null
Fahamu historia ya Simba Tundu Lissu na jinsi ya kumuona baada ya Kizimkazi Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), mnyama anayezidi kuwa maarufu nchini Tanzania kwa sasa ni ‘Simba Tundu Lissu’ ambaye alizaliwa Dar es Salaam Zoo, nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam eneo la Mw...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Habari › Ajira › Nafasi 301 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 301 za Ajira Serikalini swahilitimes August 5, 2024 0 143 POST: MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA I (ACCOUNT...
null
Is Bali The World’s Worst Destination for Animal Cruelty? Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re...
null
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuharibu noti za benki kwa kuzirusha sakafuni kitendo ambacho ni kinyume cha sheria. Taarifa iliyotolewa na Jeshi hilo imesema, Julai 18, 2024 zilisambaa picha za video zikionesha watu wakiwa kwenye sherehe wakiwa wanatoa zawadi za fedha za noti kadh...
null
Wanaotuhumiwa kuvunja na kuiba usiku wakamatwa Rukwa Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limesema katika kipindi cha mwezi Julai, 2024 limekamata watuhumiwa 28 wakijihusisha na matukio ya uvunjaji hasa nyakati za usiku. Katika taarifa iliyotolewa kwa umma na Jeshi la Polisi imesema watuhumiwa hao wamekutwa wakiwa na mali zidh...
null
Kiongozi yeyote wa kidini atakayefanya miujiza, uponyaji au baraka kwa njia ya udanganyifu kwa lengo la kuwaibia Wakenya wasio na hatia, atakabiliwa na hatia ya kutenda kosa na kulipa faini ya ya Ksh. 5 milioni [TZS milioni 104.7] au kifungo cha miaka kumi gerezani au vyote viwili endapo mapendekezo ya kikosi kazi kili...
null
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 ilimalizika Jumapili, huku nchi kadhaa zikitwaa medali kuanzia dhahabu hadi shaba, na nchi nyingine nyingi zikiondoka mikono mitupu. Marekani ndiyo iliyoongoza kutwaa medali nyingi, kwa kujinyakulia medali 40 za dhahabu na jumla ya medali 126, ikiishinda China iliyopata medali 91, ziki...
null
Maisha ni safari yenye changamoto na furaha, yenye mabadiliko na maendeleo. Unapaswa kuyafurahia maisha kwa kufanya kile kilicho sahihi pasipo kujali nani anasema nini. Haya ni mambo muhimu ambayo watu huchelewa kujifunza maishani mwao; 1.Muda Maisha ni mafupi na kila mtu atakufa. Kilicho muhimu ni kufurahia maisha, ku...
null
Rais Samia aiagiza TRC kufunganisha reli na usafiri wa anga Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), kuhakikisha vipande vya reli ya kisasa ya SGR inayoendelea kujengwa nchini vinakamilika kwa wakati na kwa viwango na ubora uliokubaliwa. Akizungumza katika...
null
Jeshi la Polisi limesema kauli aliyoitoa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Theopista Mallya kuhusu binti aliyefanyiwa ukatili kuwa ‘alikuwa kama anajiuza’ si msimamo wa Jeshi la Polisi. Kauli hiyo imefuatia baada ya RPC kuzungumza na chombo cha Habari hapa nchini kwa njia ya simu ambapo...
null
Miili ya watu watatu yafukuliwa nyumbani kwa mganga wa kienyeji, saba wakamatwa Jeshi la Polisi linawashikilia watu saba akiwemo mganga wa kienyeji, Nkamba Kasubi kwa kosa la mauaji ya watu watatu ambao wanadaiwa kuuawa na kufukiwa nyumbani kwa mganga huyo mkoani Singida. Kati ya miili hiyo, miwili imetambuliwa ambapo ...
null
Masoud Kipanya amfungulia rasmi mashtaka Mwijaku akidai fidia kwa kumchafua Mchoraji wa katuni maarufu na mtangazaji, Ally Masoud maarufu kama Masoud Kipanya amemfungulia mashtaka Burton Mwemba ‘Mwijaku’ kwa tuhuma za kumchafua kwenye mitandao ya kijamii. Mahtaka hayo yaliyofunguliwa katika mahakama kuu ya Tanzania Ago...
null
Polisi katika Wilaya ya Kyotera Mkoa wa Kati wa Uganda, wanamshikilia Harriet Ampayire mwenye umri wa miaka 23 kwa tuhuma za kumkata sehemu za siri mpenzi wake na kusababisha kifo chake kutokana na kuvuja damu nyingi. Tukio hilo limetokea usiku wa Jumapili baada ya Ampayire kumtuhumu mwanaume huyo aliyejulikana kwa jin...
null
TLS: Tunataka ‘Afande’ afikishwe mahakamani Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimelitaka Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani mtu aliyetambulika kwa jina la ‘afande’ ambaye anadaiwa kuwatuma vijana wanne waliohusika kumbaka na kumlawiti binti kisha video hizo kusambaa mitandaoni. Akizungumza na vyombo vya Habari, ra...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amesema migogoro baina ya wakulima na wafugaji haina tija kwa taifa kwani inaweza kuleta machafuko na kulidhoofisha taifa. Ameyasema hayo wakati akizindua Kampeni ya Tutunzane inayolenga kumaliza migogoro ya ardhi wilayani Mvomero ikihamasisha upandaji wa malisho ya mifugo, uchimbaji wa visima ...
null
Baadhi ya wananchi wamejitolea kumchangia pesa Wakili Peter Madeleka na wenzake kusikiliza kesi dhidi ya SSP Fatuma Kigondo ambaye anatuhumiwa kutuma vijana kumfanyia ukatili binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Duvya Dar es Salaam. Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter) amesema kesi hiyo iliyofunguliwa Agosti 20, ...
null
Travel blogger: ‘Why I’m so over travelling’ Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re divided yiel...
null
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kurekodi na kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu gari aina ya Toyota Noah inayotumika kuwateka watoto katika maeneo mbalimbali. Watuhumiwa hao wanatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kwamba watoto wawili wanaosoma Shule ya Msin...
null
Mwanaume mwenye umri wa miaka 36 amejiua katika eneo la Mwatungo, Masinga nchini Kenya baada ya kutofautiana na mwajiri wake. Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Polisi nchini humo, mwanaume huyo ambaye alikuwa mfugaji katika nyumba hiyo, alifukuzwa kazi hivi karibuni kutoka kwenye nyumba aliyokuwa akifanya kazi kwa mu...
null
Mahakama ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa imemhukumu kifungo cha maisha jela Justine Ludege (20) mkulima na mkazi wa kijiji cha Utengule wilayani humo kwa kosa la kubaka mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka sita. Taarifa hiyo iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo Janu...
null
Rais Samia ameiagiza Wizara ya Afya kukamilisha utafiti wa kitaifa kubainisha hali halisi ya wataalam wa afya nchini walioko kwenye soko la ajira ili serikali itambue nguvu kazi iliyoko nje ya vituo vya tiba ikiwemo kwenye soko la ajira. Akizungumza wakati wa kilele cha Kumbukukizi ya 3 ya Urithi wa Benjamin Mkapa, Rai...
null
Katika tukio la kushangaza lililotokea katika kijiji cha Kiamachongo, Bobasi nchini Kenya, wazazi wazee wameamua kubomoa nyumba ya mtoto wao mmoja kufuatia mzozo wa ardhi uliosababisha mgawanyiko mkubwa katika familia yao. Mzee Arati Momanyi na mkewe wamechukua hatua hiyo ya kuvunja nyumba ya mtoto wao baada ya kudaiwa...
null
Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Detroit nchini Marekani, Kenneth King amesimamishwa kazi kwa muda baada ya kumfunga pingu na kumtishia kumfunga jela msichana mwenye umri wa miaka 15 kwa sababu alionekana kusinzia wakati wa ziara ya shule mahakamani. Jaji huyo amedai hakufurahishwa na kitendo cha msichana huyo anayejulika...
null
Polisi nchini India wamewaokoa wanawake 17 wanaotokea Afrika Mashariki kutoka katika biashara ya ukahaba katika wilaya ya Hyderabad baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema. Kwa mujibu wa vyombo vya ndani vya India, kati ya wanawake hao 17, 14 ni Wakenya, wawili ni Waganda, na mmoja ni Mtanzania. Kikosi cha Kupamba...
null
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limeanza kufanya ufuatiliaji na uchunguzi wa taarifa ya kupotea kwa kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela wilayani Rungwe mkoani Mbeya ambayo inasambaa katika mitandao ya kijamii. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema wamepokea taarifa ya kutoweka kwa ki...
null
Tanzania inashika nafasi ya pili barani Afrika kwa uzalishaji wa tumbaku baada ya Zimbabwe ambapo kwa mwaka huu wa 2024 imezalisha tani 122,000 za tumbaku kutoka tani 65,000 mwaka 2021. Hayo yameelezwa na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi kwenye ujenz wa Kiwanda cha ...
null
Jeshi la Polisi lafanikiwa kumpata binti aliyefanyiwa ukatili, wanne washikiliwa Jeshi la Polisi limesema limefanikiwa kumpata binti aliyeonekana kwenye video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii akifanyiwa ukatili, na kwa sasa amehifadhiwa eneo salama na anaendelea kupatiwa huduma zinazostahili mtu aliyefanyiwa ukat...
null
Mwaka 2024, biashara ndogo zimeendelea kushamiri barani Afrika, huku zikichangia pakubwa katika ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya watu. Hapa kuna baadhi ya biashara ndogo zilizofanya vizuri kwa mwaka 2024, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya utafiti; Ujasiriamali wa Kidijitali (Digital Entrepreneurship) Biashara ...
null
TRC yaomba radhi treni ya umeme kuzima kwa saa mbili Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza katika ya stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha Kimataifa (SGR) iliyokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma kusimama kwa muda wa saa...
null
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya aina yoyote yaliyopangwa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya kwa mwamvuli wa kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani. Taarifa iliyotolewa na jeshi hilo imesema hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii wameonekana na kusikika ...
null
Ripoti ya Mapitio ya Hali ya Mwenendo wa Uchumi wa Tanzania kwa mwaka 2024 iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), inaonesha kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa kiuchumi na kijamii na kuwa kinara miongoni mwa nchi za Afrika Mashariki, licha ya changamoto zinazoikabili dunia ikiwemo athari za UVIKO-19, mabad...
null
The 21 Best Songs About Summer And Sunshine Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re divided yield...
null
Waziri Ndejembi aagiza hati za ardhi zitolewe kwa wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka Menejimenti na watumishi wa Wizara ya Ardhi kuondoa urasimu na kutoa hati milki za ardhi kwa wakati. Ameyasema hayo leo wakati wa kikao na wajumbe wa Menejimenti ya Wizara hiyo mara baa...
null
Camier ‘in Discussions’ for Honda Suzuka Eight-Hours Ride Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re...
null
Safari ya abiria wa basi la Shabiby Line kutoka Mbeya kuelekea Dodoma ilikumbwa na kadhia isiyotarajiwa hapo jana, baada ya mvulana mwenye umri wa miaka minne kutoka kijiji cha Ndolela, Iringa, kuvunja kioo cha basi hilo kwa kutumia manati akiwa upande wa pili wa barabara. Tukio hilo lilisababisha kucheleweshwa kwa saf...
null
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemweka chini ya ulinzi mwanaume aliyefahamika kwa jina la Musa Sasi (32) anayefanya kazi ya kibarua katika kiwanda cha pombe ya banana kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake Lucy Haule (29), mfanyakazi wa kiwanda cha pombe kali iitwayo nguvu banana wine. Katika taarifa iliyoto...
null
Take a Tour of the Breathtaking Marcel Breuer Riverfront Retreat Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl ...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Habari › Ajira › Nafasi 21 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 21 za Ajira Serikalini swahilitimes October 9, 2023 0 33 POST: MHASIBU – 1 POST Employer: Ofisi ya Rais,...
null
Filamu 5 kali za kutazama wikendi hii Unafahamu filamu kali zilizotoka hivi karibuni? Huhitaji kufikiria zaidi, kwani hapa kuna filamu mpya na kali zitakazokupa utulivu na kufurahia wikendi yako. The Engineer Wakati Israel imekumbwa na mlolongo wa milipuko ya kigaidi, binti wa seneta wa Marekani anakufa katika mojawapo...
null
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeripoti kuwa Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata viongozi wake kwa madai kuwa wameingia pasi na kuwa na kibali cha Polisi. Kupitia ukurasa wa Twitter, chama hicho kimeeleza kuwa Polisi walisimamisha gari la chama likiwa barabarani na kuwakamata viongozi wanaosimam...
null
Uber yasitisha baadhi ya huduma zake Tanzania Uber Tanzania imetangaza kusitisha huduma zake za UberX, UberXL na UberX Saver nchini Tanzania kuanzia leo Aprili 14, 2022. Katika taarifa yake kampuni hiyo imesema kuwa kanuni za sasa za usimamizi wa sekta hiyo si rafiki na zimekuwa changamoto kubwa katika uendeshaji wa bi...
null
Kuchagua mavazi yako ya harusi inapaswa kuwa makini pia. Unachohitajika kufanya ni kujiweka katika viatu vya bibi harusi na kufikiria juu ya kile angetaka kuona katika siku yake kuu. Hivi ni vitu sita ambavyo hutakiwi kuvaa unapohudhuria sherehe ya harusi. Nguo nyeupe Kuvaa nguo nyeupe kwenye harusi si jadi nzuri, isip...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amesema umeme unaozalishwa katika mradi wa kufua umeme wa Kikagati – Murongo, unaotekelezwa katika bonde la Mto Kagera utaboresha shughuli mbalimbali za kibiashara pamoja na kuongeza uwekezaji zaidi nchini. Akizungumza leo katika hafla ya uzinduzi wa mradi huo nchini Uganda akiambatana na mweny...
null
Rais Samia: Tukio la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo limetupa funzo Rais Samia Suluhu Hassan amesema hadi kufikia asubuhi ya leo, idadi ya vifo vilivyosababishwa na jengo kuporomoka katika eneo la Kariakoo imefikia 20, ambapo Serikali imeshirikiana na familia kuwastiri marehemu huku waliojeruhiwa wakibakia watatu pekee h...
null
More News - Tanzania yapongezwa namna Bandari ya Dar inavyohudumia Afrika Mashariki December 11, 2021 - Fanya mambo haya 13 kama uko kwenye miaka ya 20+ July 10, 2023 Yaliyojiri - Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 - Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024 - Benki ya D...
null
Hospitali ya KCMC yataja vipimo vya magonjwa 5 inavyotoa bure Kuanzishwa kwa huduma za kibingwa bobezi katika hospitali hiyo na kuanzisha matibabu na uchunguzi wa saratani pamoja na ujenzi wa wodi ya wagonjwa wa saratani, kutapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa wagonjwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road na k...
null
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuiongezea nguvu Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kumteua Dkt. Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu ili waweze kusimamia na kuratibu shughuli za Serikali kwa pamoja. Ameyasema hayo leo Septemba 02, 2023 wakati akimkaribisha rasmi Naibu Waziri Mkuu katika ofis...
null
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema imebaini kuwepo kwa majukwaa na programu tumizi ‘Applications’ zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu. BoT imetaja orodha ya programu hizo ambazo hazina kibali na kuutaka umma kutojishughulisha na program hizo, huku ikieleza kuwa...
null
More News - Nchi 20 zinazoongoza kwa rushwa Afrika July 16, 2022 - Uingereza kuleta wawekezaji wa biashara na utalii nchini Tanzania November 1, 2021 Yaliyojiri - Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024 - Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024 December 10, 2024 - Rais Samia atoa msam...
null
Simba Sport Club imesema kuwa walichokipoteza dhidi ya Polisi Tanzania ni kidogo kulinganisha na kikubwa ambacho wanapaswa kukipigania katika mechi ijayo ya kufuzu robo fainali dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Akizungumza leo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Msemaji wa Simba, Ahmed A...
null
Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App. · Ushirikiano huu ambao umepewa nguvu na TripSiri unaendeleza dhamira ya Vodacom ya kuekelea dunia ya kidigitali Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super App...
null
Rubik - © Copyright BKNinja. All Rights Reserved. [pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/12/jkt.pdf”]
null
Zungumza naye Kuwa na wivu inamaanisha kuna kitu ambacho kinamsumbua, kitu ambacho anahisi utakifanya. Tafuta muda ambao ametulia na umwambie namna ambavyo wivu wake unakukosesha furaha. Mhakikishie kuwa unampenda kisha mshawishi akwambie ni kitu gani hasa ambacho umewahi kukifanya mpaka kumfanya kuwa namna hiyo. Chung...
null
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/09/Msimamo-wa-ACT-Wazalendo-SAKATA-LA-BANDARI-Na-Mapendekezo-1.pdf” title=”Msimamo wa ACT Wazalendo SAKATA LA BANDARI Na Mapendekezo (1)”] [pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/09/Msimamo-wa-ACT-Wazalendo-SAKATA-LA-BAN...
null
Katika hali ya kushangaza mamlaka nchini Nigeria zimesema kuwa hazifahamu ilipo timu ya madaktari 15 wa binadamu raia wa China iliyowasili nchini humo mapema Aprili mwaka huu. Timu hiyo iliwasili nchini Nigeria kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya virusi vya corona, ambapo serikali ya China ilisema kuwa wataalam ha...
null
Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga ameshauri Rais Uhuru Kenyatta avunje bunge la nchi hiyo kutokana na kutokuwa na wabunge wanawake wakutosha. Katika barua yake kwa Kenyatta, Maraga amesema kutokuwepo kwa wabunge wanawake wa kutosha ni ukiukwaji wa katiba na ubaguzi dhidi ya wanawake. Katiba ya Kenya inaeleza kuwa jinsia...
null
Watumishi wa afya wapigwa marufuku kuchati kazini Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu amewapiga marufuku watumishi wa afya katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini kuchati wakiwa eneo la kazi kwa kuwa wanashindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo. Agizo hilo limefuata baada ya ongezeko la malalamiko kutoka...
null
Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024Nafasi 38 za Ajira Serikalini December 2, 2024Nafasi 80 za Ajira Serikalini November 26, 2024 More News - Diamond afuta picha zenye bendera ya ubaguzi February 22, 2022 - Wazee wa Yanga watishia kutonunua bidhaa za Azam kisa Fei Toto December 28, 2022 Yaliyojiri - Dada wa...
null
Taasisi ya Kitaifa ya Lishe nchini Misri imetoa wito kwa watu kula miguu ya kuku badala ya nyama kutokana na gharama ya miguu ya kuku kuwa nafuu zaidi, hatua iliyowakasirisha wananchi wengi wakidai ni alama ya umasikini uliokithiri nchi humo. Kwa mujibu wa ripoti, nchi hiyo ya Afrika Kaskazini inakabiliwa na mfumuko wa...
null
Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024Nafasi 38 za Ajira Serikalini December 2, 2024Nafasi 80 za Ajira Serikalini November 26, 2024 More News - Barcelona yataka kumsajili tena Messi March 31, 2023 - Rais Samia asema usasa unawaharibu vijana June 13, 2023 - Jeshi Polisi: Askari aliyejiua hastahili heshima ya k...
null
Barrick Tanzania yashinda tuzo tano za usalama mahali pa kazi Barrick Tanzania imeshinda tuzo tano katika hafla ya utoaji wa tuzo za Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ya 2024 iliyofanyika jijini Arusha ambapo Mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu umeshinda tuzo kubwa ya mshindi wa juu wa jumla katika Tuzo ya Afya ...
null
Baadhi ya Waislamu nchini Kenya wameishutumu serikali ya Kenya kwa kuwapotosha watu baada ya kutangaza kuwa Ijumaa ni siku ya mapumziko kwa ajili ya Eid al-Fitr. Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Kenya, Kithure Kindiki alitangaza siku ya Jumatano kwamba Ijumaa ni siku ya mapumziko kwa ajili ya Eid. Yemen: Watu 78 wafarik...
null
Teknolojia ya kidijitali inavyoleta mapinduzi ya kiuchumi Tanzania Katika miaka ya karibuni ukuaji wa teknolojia ya kidijitali umezipa nchi nyingi faida mbalimbali za kibunifu ambazo zinazochochea maendeleo ya watu na ukuaji wa uchumi. Moja ya teknolojia hizo bunifu ni huduma za afya kidijitali (m-health). Katika nchi ...
null
Madaktari feki wakamatwa Muhimbili Hospitali ya Taifa Muhimbili imewakamata madaktari feki wawili waliojitambulisha kwa jina la Josephat Joseph na Khamis Hamad Bakari baada ya uongozi wa hospitali hiyo kupata taarifa kutoka kwa raia wema. Watuhumiwa hao wamedaiwa kuwahadaa wagonjwa na ndugu zao kuwa wao ni madaktari na...
null
Ajali za barabani zinachangikia kwa kiasi kikubwa kupunguza nguvu kazi ya taifa, na kuacha majozi kwa familia kuwapoteza wapendwa wao. Wiki ya nenda kwa usalama barabarani imepewa nguvu na Meridiabet ambapo Msaidizi wa kitengo cha usalama barabarani Kawe Inspekta Alex Duguza alitoa elimu ya kujikinga na ajali za baraba...
null
Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda na mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba ameweka wazi nia yake ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu nchini humo utakaofanyika mwaka 2026. Jenerali Muhoozi kupitia ukurasa wake wa Twitter ameweka ujumbe huo huku akidhihirisha kwamba ...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Error 404 404 Page not found Oops! The page you were looking for was not found. Perhaps searching can help. Latest Articles Habari Maisha Dada wa kazi akutwa amejin...
null
Mahakama yaelekeza Jeshi la Polisi kuwasaka walipo kina Soka na wenzake Mahakama Kuu Dar es Salaam, imelielekeza Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kujua mahali walipo viongozi wa Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Temeke wanaodaiwa kupotea tangu Agosti 18, mwaka huu. Akitoa taarifa hiyo, Wakili Peter Madeleka...
null
Polisi wakamata mifugo 1,448 iliyoharibu ekari 387 Kilimanjaro Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo na Migogoro ya Mifugo Tanzania limekamata mifungo 1,448 ambayo imeharibu jumla ya ekari 387 ya mashamba ya wakulima yenye mazao tofauti tofauti yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 660. Kamanda ...
null
Serikali ya Sudan imetaifisha mali zenye thamani ya $4 bilioni (TZS 9.3 trilioni) kutoka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo, Omar al-Bashir, familia yake na watu wake wa karibu. “Makadirio yetu ya awali ya thamani ya mali tulizotaifisha kutoka kwenye kampuni na majengo mbalimbali ni $3.5 bilioni hadi $4 bilioni,” msem...
null
Padri Baltazar Sulle (63) ambaye ni Paroko wa Parokia ya Haydom, Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu Mkoa wa Manyara amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Manyara kwa madai ya wizi wa TZS milioni 20 za kaka yake. Akisomewa mashitaka hayo na Wakili wa Serikali mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi, Maria...
null
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Abdurhamid Yahya Mzee amesema hakuna haja ya kuandikwa katiba mpya na badala yake iliyopo ifanyiwe marekebisho katika vipengele vyenye utata. Ameyasema hayo jana baada ya kuwasilisha maoni yake kwa kikosi kazi cha ukusanyaji maoni kuhusu masuala y...
null
Kampuni ya Uwekezaji kwenye utalii na ranchi za wanyama, Mwiba Holdings Ltd imetishia kuwachukulia hatua kali za kisheria wanasiasa waliosambaza taarifa za uongo kupitia mikutano yao, wakidanganya kwamba kampuni hiyo (na mmiliki wake Thomas Dan Friedkin) imepewa umiliki wa ekari milioni 6 za eneo la hifadhi ya wanyama ...
null
Wizara ya Afya yataja makundi ya wanafunzi wasiotakiwa kuvaa barakoa Yaliyojiri - Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 - Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024 - Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024 December 10, 2024 - Rais Samia atoa msamah...
null
Sekta ya mawasiliano ya simu na kukua kwa teknolojia kunavyobeba fursa za uwekezaji nchini Emilian Kitine, DIT Hakuna shaka yoyote kwamba mapinduzi ya kiteknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu ya kila siku. Ugunduzi wa kupata mtandao wa intaneti ni moja ya mabadiliko makubwa zaidi katika teknolojia, k...
null
Mwanga waanza kuonekana kuelekea tiba ya corona Mmalaka ya Dawa na Chakula (FDA) nchini Marekani imeidhinisha matumizi ya dharura ya dawa ya Ebola, remdesivir, ianze kutumika kutibu virusi vya corona. Kufuatia hatua hiyo, dawa hiyo itaanza kutumiwa na watu walioadhiriwa zaidi na homa ya mapafu (COVID-19). Majaribio ya ...
null
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo ameagiza kukamatwa kwa Kaissy, Mkurugenzi wa Kampuni ya Seif for Tobacco Trading Co. Ltd aliyeingiza nchini makontena zaidi ya mia tano (500) yenye malighafi ya Molasesi iliyoharibika na kuyatelekeza katika Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Ja...
null
Rais wa Malawi: Tufanye chaguzi bila waangalizi wa nje Zikiwa zimebaki siku 20 kufanyika uchaguzi mkuu nchini Tanzania, Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera amesema ni muhimu Afrika ikafanya chaguzi zake bila kuwa na waangalizi wa kimataifa. Dkt. Chakwera amesema hayo katika Ikulu ya Tanzania (Dar es Salaam) wakati wa...
null
Muuguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Amana jijini Dar es Salaam, Joseph Mwampola (59) amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka ya ubakaji na ulawiti. Mtuhumiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Yusto Lubonga. Inadaiwa, mtuhumiwa alite...
null
kuokoa watu waliopata ajali ya ndge ya Precision Air Novemba 06, 2022 wameomba nao kupewa mafunzo ya uokozi. Akisimulia tukio hilo mmoja wa vijana hao amesema baada ya ndege hiyo kuanguka yeye, Majaliwa na wenzake wawili ambao walikuwa mwalo wa Nyamkazi wakiendelea na shughuli zao, walikuwa wa kwanza kufika katika eneo...
null
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimelaani kitendo cha watuhumiwa wa usafirishaji wahamiaji haramu kutumia bendera ya chama hicho kufanyia uhalifu. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM mkoani humo, John Nzwalile medai watuhumiwa wametumia bendera ya CCM kwenye gari ili kufanya uhalifu na kukichafua chama hicho, ...
null
TUNZAA yatangaza ushirikiano mkubwa na Vodacom kupitia M-PESA Wateja wa Vodacom kuanza kutumia huduma za Tunzaa ndani ya aplikesheni ya M-Pesa Super App Tunzaa Digital Holdings Limited (Tanzania), kampuni ya Kitanzania ya teknolojia ambayo imejikita katika kutatua changamoto za tabia za kifedha kwa Waafrika wa kila sik...
null
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Profesa Abel Makubi amesema asilimia 60 ya majeruhi wa ajali hasa ajali zinazohusiana na bodaboda wanaumia sehemu za ubongo. Ameyasema hayo katika mkutano wa kimataifa wa Wataalam wa Ubongo, mishipa ya fahamu na uti wa mgongo uliondaliwa na MOI kwa kushirikiana n...
null
Wananchi wa Mkoa wa Tanga wamepata ahueni ya matibabu, baada Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga kufanyiwa maboresho yakiwemo kuanzishwa kitengo cha kusafisha damu, hatua iliyowapa unafuu kwa wagonjwa kutokwenda mbali kupatiwa matibabu. Hapo awali wagonjwa waliohitaji kupatiwa huduma hiyo iliwabidi wasafiri kwenda Hosp...
null
Katika juhudi za kuboresha huduma za Bandari ya Mtwara, mitambo mpya inayojulikana kama harbour crane ya kupakia na kushusha shehena kwenye meli, imewasili bandarini hapo ikiwa na lengo kuongeza ufanisi na utendaji wa bandari hiyo. Meneja Uhusiano na Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Nicodemus Mushi...
null
Kamati ya kuchunguza mauaji Mtwara na Kilindi yaongezewa siku saba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi, Tanga. Kamati hiyo iliyoanza kazi Februari 4, 2022 ilipaswa kukamilisha ripoti yake ndani ya siku 1...
null
Mwanaume mwenye umri wa miaka 19 anayejulikana kama Joel Kimurgor anayeshukiwa kuiba nguo za ndani za wanawake katika Kijiji cha Tegeyat, Kaunti ya Nandi nchini Kenya amenaswa. Kwa wiki kadhaa kumekuwa na visa vya wanawake kuripoti upotevu wa nguo za ndani kutoka kwenye kamba nyakati za usiku, ambapo walianzisha zoezi ...
null
Katika nchi zinazoendelea ugonjwa huu unazuka kwa kasi kubwa, hiyo inasababishwa na kubadilika kwa mfumo wa maisha na kutojishughulisha au kutokufanya mazoezi. Moyo kushindwa kufanya kazi (heart failure) haimaanishi moyo umesimama kufanya kazi yake ya kusukuma damu, ila ina maana kwamba moyo unasuka damu chini ya kiwan...
null
Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara. Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo ya afya ya uzazi kwa wana...
null
Serikali yachuguza shule inayodaiwa kufundisha wanafunzi kulawiti Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali imetuma timu maalum kwenda mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma juu ya taarifa kuhusu wanafunzi kufundishwa vitendo vilivyo kinyume na maadili katika baadhi ya shule mkoani humo ...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Error 404 404 Page not found Oops! The page you were looking for was not found. Perhaps searching can help. Latest Articles Habari Maisha Dada wa kazi akutwa amejin...
null
Mahakama ya Wilaya ya Mpanda imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Augustino Michese (59) kwa kosa la kumbaka binti yake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo imetolewa Februari 10 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rebecca Mwalusako ambapo amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo tarehe tofauti kati ya Mei hadi Desemba 2...
null
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameunda kamati huru ya uchunguzi ili kuchunguza malalamiko juu ya mitihani ya usajili iliyotolewa na wawakilishi wa madaktari waliohitimu mafunzo ya utarajali (interns) ili kutoa mapendekezo yatakayopelekea kutatuliwa kwa changamoto zitakazobainika. Hatua hiyo ni baada ya wizara kupokea nak...
null
Benki ya NMB imetunukiwa cheti cha kuwa ‘Superbrand’, na kuifanya kuwa benki pekee iliyopata hadhi hiyo nchini Tanzania mwaka huu. Hadhi hiyo ya ‘Superbrands’ inatunukiwa chapa bora zaidi katika uwanja wao kufuatia mchakato mkali wa uteuzi na baraza la Superbrands na watumiaji wa bidhaa na huduma kutoka kote Afrika Mas...
null
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwamba Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amenusurika kufyatuliwa baada ya yeye mwenyewe (RC) kuzungumzia mambo yanayokwamisha kukamilika kwa miradi ya maendeleo kwenye mkoa huo. Rais ametoa onyo hilo wakati akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi na ...
null
Ashikiliwa kwa kumuua baba mkwe wake wakati wakisuluhisha ndoa yake Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Deogratias Mbuya (40) kwa tuhuma za kumuua baba mkwe wake pamoja na kumjeruhi mama mkwe wake kwa panga baada ya kutokea kwa mtafaruko kwenye kikao ambacho kililenga kupatanisha ndoa ya mtuhumiwa huyo. Ka...
null
U.S. Science Leadership Increasingly Challenged in Asia Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re d...
null
Tanzania imelieleza Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu mafanikio iliyoyapata kutokana na hatua ilizochukua kukabiliana na virusi vya corona, ikiwa ni pamoja na kupungua kwa kasi kwa maambukizi na idadi ya wagonjwa wa Covid-19 nchini. Hayo yameelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. ...
null
Mambo matano yatakayojadiliwa kwenye mkutano anaohudhuria Rais Samia, Senegal Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 6 ameondoka nchini kuelekea Dakar, nchini Senegal kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA Summit for Africa). Viongozi wa nchi wanachama 39 kutoka Afrika wanat...