name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | SERIKALI imelipa kiasi cha Shilingi bilioni 17.46 kwa waathirika wa mlipuko mabomu yaliyotokea katika Kambi ya JWTZ Mbagala, Dar es Salaam Aprili 29, 2009. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, amesema kiasi hicho kilicholipwa kwa wananchi 12,647 si fidia bali ni mkono wa p... |
null | SERIKALI imetenga jumla ya Shilingi bilioni 250 kujenga Gridi ya Taifa kutoka Songea –Tunduru – hadi Masasi katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023, kwa lengo la kukabiliana na adha ya kukatika kwa umeme. Aidha, kiasi cha Shilingi Bilioni 66.7 zimetengwa kwa lengo la kuanza ujenzi wa njia hiyo. Naibu Waziri wa Nish... |
null | DAR ES SALAAM: Wasanii wa sanaa mbalimbali wametakiwa kujisajili katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa lengo la kupatiwa vibali vya kufanya kazi za sanaa. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mtendaji wa BASATA, Dk. Kedmon Mapana katika onesho la jukwaa la ‘Lady in Red’ iliyofanyika katika Ukumbi wa Warehouse, Masaki ... |
null | WATENGENEZAJI na wasambazaji wa kimataifa wavitambaa na vitenge vya wax, HOLLANTEX wamemtangaza msanii wa muziki wa Bongo flava Diamond Platinumz kuwa balozi mpya wa chapa ya bidhaa zao nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na HOLLANTEX, makubaliano yamefikiwa na msanii huyo mwenye umr... |
null | DAR ES SALAAM: WABUNIFU wa mavazi nchini wamebuni na kuonyesha mavazi 12 tofauti maalumu yatakayovaliwa na wazazi Mama au Baba wanaolea watoto njiti. Vazi hilo ni maalum ambalo litamsaidia muhusika kumlea vizuri mtoto ambae amezaliwa kabla ya muda ‘ Njiti” akiwa hospitalini na hata baada ya kuruhusiwa kutoka Hospitalin... |
null | MAVAZI ni sehemu ya urembo na huvaliwa kulingana na matukio, hafla au shughuli husika. Vilevile mavazi hupendeza zaidi iwapo mvaaji atavaa kulingana na umbo lake. Ukivaa mavazi kwa mpangilio yatakufanya uonekane nadhifu na mtanashati. Tambua umaridadi huficha umaskini ndio maana jambo muhimu ni kupangilia mavazi yako, ... |
null | DAR ES SALAAM: Imekuwa ni jambo la kawaida katika jamii zetu kwa sasa, kuona hata watoto wadogo wakiwa katika mitindo mbalimbali ya nywele kichwani bila kujali umri wa watoto wenyewe, je kuna usahihi katika hili? Sio mbaya mtoto kupendeza, lakini unapaswa kuangalia aina ya urembo na mapambo unayomwekea. Kusuka kwa wato... |
null | WABUNIFU wa mitindo na mavazi mjini Geita wameanzisha tamasha la maonesho ya sanaa na mavazi, ‘Golden Fashion Festival’, ili kuunga mkono juhudi za kuvutia watalii zilizoanzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika filamu ya Royal Tour. Mratibu wa tamasha hilo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Mitindo ya Kasikana Collection, Be... |
null | DAR ES SALAAM: WACHEZAJI wa Masubwi wameingia rasmi kutangaza utalii kupitia mchezo wa ngumi kupitia Pambano la ‘sisi kwa sisi’ linalotarajia kufanyika Novemba 25, 2023 jijini Arusha Kupitia mchezo huo bondia Abdallah Pazi maarufu kama “Dulla mbabe anatarajiwa kuzichapa na Bondia kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia y... |
null | ARUSHA: RAIS Samia Suluhu Hassan amezitaka mahakama kutoka nchi wanachama 16 za Kusini na Mashariki mwa Afrika kutumia teknolojia za kisasa katika kusikiliza kesi na kutatua migogoro mbalimbali ya kibiashara inayojitokeza barani Afrika. Kiongozi huyo amesema mahakama ni lazima zijipange kusuluhisha migogogro inayoibuka... |
null | UELEWA duni pamoja na kupuuzwa kwa sheria ya mtoto ya mwaka 2009 miongoni mwa wazazi, walezi na taasisi imetajwa kuwa kiini kikubwa cha ongezeko la matukio ya ukatili dhidi ya watoto mkoani Geita. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Geita, Paulina Majogoro amesema hayo katika mahafari ya 11 ya kidato... |
null | WANAFUNZI wanne kati ya 19 waliopata ujauzito wakiwa shuleni katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamerejea kuendelea na masomo yao baada ya kujifungua. Kurejea kwao shuleni ni utekelezaji wa mwongozo wa kuwarejesha shuleni wanafunzi waliokatiza masomo katika elimu ya msingi na sekondari kutokana n... |
null | KAGERA: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza bweni moja katika shule ya sekondari ya wasichana Omumwani Iliyoko kata ya Nshambya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kupelekea mali za wanafunzi na thamani zilizoko katika chumba hicho kuungua. Bweni hilo limelipuka moto majira ya saa 2.30 usiku na kusogeza ... |
null | We continue with our topic THE PASSIVE VOICE The passive voice in the negative offers no special difficulty.It follows the same rules as in the affirmative.Thus: Bahati anapendwa,Bahati is loved Bahati hapendwi(negative), Bahati is not loved Bahati alipendwa, Bahati was loved Bahati hakupendwa,Bahati was not loved Baha... |
null | MKUU wa Mkoa Kagera, Hajjat Mwassa amewataka wakazi wa mkoa kuwa watulivu, kuzingatia taratibu uchaguzi na kurejea nyumbani badaa ya kupiga kura huku wakisubiri matokeo. Akizungumza mara badaa ya zoezi hilo kukamilika kwenye Kituo cha Uwanja wa Ndege mtaa wa Pwani kata ya Miembeni leo Novemba 27, RC Mwassa ameonya yoyo... |
null | OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa maelekezo tisa kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa unaofanyika leo Tanzania Bara. Uchaguzi huo unasimamiwa na kuratibiwa na Tamisemi baada ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kutupa shauri lililofunguliwa kupinga kutumika kwa kanuni za mwa... |
null | JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limemkamata Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Eliewaha Mgonja (42). Mgonja anatuhumiwa kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa mkoani humo. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa ... |
null | MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas amepiga kura na kuonyesha matumaini kuwa viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa watakuwa na mchango mkubwa katika kusukuma maendeleo ya mkoa wa Iringa na taifa kwa ujumla. Akizungumza mara baada ya kushiriki katika zoezi la upigaji kura kuch... |
null | WANANCHI wa Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa wataowaletea maendeleo katika maeneo yao. Akizungumza baada ya kupiga kura katika kituo cha kupigia kura cha mtaa wa Kilimanjaro kata ya Nanyamba, msimamizi wa uchaguzi wa Halm... |
null | JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imeitengea Tume ya Kiswahili Afrika Mashariki (EAKC) Dola za Marekani 1,502,535 (takribani Sh 3,584,736,742 za Tanzania) katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24 kuiwezesha kupanga na kutekeleza malengo yake. Aidha, EAKC imefadhili wanafunzi watano wa shahada ya uzamili kufanya utafiti wa Kisw... |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | Mzalendo Featured • Kitaifa TFA YAPONGEZWA NA WIZARA YA KILIMO KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WAKULIMA. 6 hours ago Featured • Kitaifa WANAWAKE NYAMAGANA WAPATA MAJIKO YA NISHATI SAFI KUPITIA KAMPENI YA SIKU 16 DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA YA BARRICK NA WASHIRIKA WAKE 6 hours ago Featured • Kitaifa WANAWAKE WAHAMASISHWA KUC... |
null | Mzalendo Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 2,2024 Written by mzalendoeditor aa Facebook X Google+ Pinterest LinkedIn You may also like About the author mzalendoeditor View all posts Habari Kitaifa Kimataifa Michezo Burudani Makala |
null | Mzalendo Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 22,2024 Written by mzalendoeditor Facebook X Google+ Pinterest LinkedIn You may also like About the author mzalendoeditor View all posts Habari Kitaifa Kimataifa Michezo Burudani Makala |
null | Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika Kitaifa Uwanja wa Majimaji, Songea mkoani Ruvuma tarehe 01 Desemba 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri Mku... |
null | Mzalendo Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 18,2024 Written by mzalendoeditor Facebook X Google+ Pinterest LinkedIn You may also like About the author mzalendoeditor View all posts Habari Kitaifa Kimataifa Michezo Burudani Makala |
null | Wanawake nchini wameendelea kuhamasishwa kuchangamkia fursa zitokanazo na nishati safi ya kupikia zikiwamo za utengenezaji wa majiko banifu na mkaa mbadala. Rai hiyo imetolewa leo mkoani Dar es Salaam na Mtaalam wa Jinsia na Nishati kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Dkt. Joseph Sambali wakati akitoa mada kuhusu ... |
null | Waziri wa Afya, Jenista Mhagama (wa pili kulia ) katika Banda la Amref Tanzania akipokea maelezo kutoka kwa Dkt. Edwin Kilimba, Mkurugenzi wa mradi wa Afya Thabiti Amref Tanzania (wa kwanza kushoto). Waziri wa Afya, Jenista Mhagama katika Banda la Amret Tanzania akipokea maelezo kutoka kwa Dkt. Edwin Kilimba, Mkurugenz... |
null | Mzalendo Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 19,2024 Written by mzalendoeditor Facebook X Google+ Pinterest LinkedIn You may also like About the author mzalendoeditor View all posts Habari Kitaifa Kimataifa Michezo Burudani Makala |
null | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na wananchi, walimu, wafanyakazi na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Zingibari iliyopo Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga Oktoba 23, 2024 ambapo vyumba vya madarasa manne na matundu nane ya vyoo vimejengwa. ….. Na Mwandishi We... |
null | Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) Bi. Zainab Kitima amewapongeza vijana wote waliojitokeza kugombea na kushinda nafasi za uongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi ulifanyika Novemba 27, 2024. Bi. Kitima ametoa pongezi hizo leo akiwa mjini Morogoro, ikiwa ni siku ya pili baada y... |
null | Baadhi ya wanufaika katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi akiongea katika hafla hiyo Makamu Mkuu wa wa chuo cha SAUT Prof. Costa Ricky Mahalu akiongea katika hafla hiyo Wanufaika wakifuatilia matukio katika hafla hiyo Wanufaika wakifuatilia matukio katika hafla hiyo *** Ukiwa ... |
null | Mzalendo Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 17,2024 Written by mzalendoeditor Facebook X Google+ Pinterest LinkedIn You may also like About the author mzalendoeditor View all posts Habari Kitaifa Kimataifa Michezo Burudani Makala |
null | Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Mweli akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Chama cha Wakulima Tanganyika (TFA) .uliofanyika Jijini Arusha. Wanahisa wakifuatilia Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Chama cha Wakulima Tanganyika (TFA). Mkurugenzi Wa chama cha Wakulima Tanganyika (TFA) Jastin Shirima akizungumza na ... |
null | *Wananchi 3,255 kila wilaya ya mkoa huo kunufaika* Wakala wa Nishati Vijiji (REA) kupitia kampuni ya Manjis Logistics Ltd, imeanza rasmi Mradi wa kusambaza majiko ya gesi 22,785 kama sehemu ya kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha na kuwawezesha Watanzania, kuendelea kutumia nishati safi ya kupikia katika mkoa wa Kagera. M... |
null | Mzalendo Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 21,2024 Written by mzalendoeditor Facebook X Google+ Pinterest LinkedIn You may also like About the author mzalendoeditor View all posts Habari Kitaifa Kimataifa Michezo Burudani Makala |
null | [tdc_zone type=”tdc_content”][vc_row][vc_column width=”1/1″][td_block_trending_now sort=”random_posts” limit=”5″][td_block_big_grid_5 td_grid_style=”td-grid-style-1″ category_id=”” sort=”modified_date” tdc_css=”eyJhbGwiOnsiZGlzcGxheSI6IiJ9fQ==”][/vc_column][/vc_row][vc_row][vc_column width=”2/3″][/vc_column][vc_column ... |
null | Mzalendo Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 24,2024 Written by mzalendoeditor Facebook X Google+ Pinterest LinkedIn You may also like About the author mzalendoeditor View all posts Habari Kitaifa Kimataifa Michezo Burudani Makala |
null | Mzalendo Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 23,2024 Written by mzalendoeditor Facebook X Google+ Pinterest LinkedIn You may also like About the author mzalendoeditor View all posts Habari Kitaifa Kimataifa Michezo Burudani Makala |
null | *Tanzania na Singapore Kuongeza Kiwango cha Ufanyaji Biashara* *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa uhusiano wa Tanzania na Singapore ni wa muda mrefu na kuwa nchi hizo zinatakiwa kuangalia sababu za uwepo wa uhusiano huo na kuon... |
null | Msajili wa Hazina Bw. Nehemiah Mchechu (katikati) akipata maelezo kuhusu mashine ya kisasa ya kuchakata uchafu na kuzalisha mbolea na gesi asilia kutoka kwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu Petro Mwamlima (kulia) katika kituo cha Atamizi Oktoba 21, 2024, Kushoto ni Makamu Mkuu wa Taasisi Prof. Maulilo Kipanyula. Na Mwa... |
null | Mzalendo Featured • Kitaifa TFA YAPONGEZWA NA WIZARA YA KILIMO KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WAKULIMA. 6 hours ago Featured • Kitaifa WANAWAKE NYAMAGANA WAPATA MAJIKO YA NISHATI SAFI KUPITIA KAMPENI YA SIKU 16 DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA YA BARRICK NA WASHIRIKA WAKE 6 hours ago Featured • Kitaifa WANAWAKE WAHAMASISHWA KUC... |
null | WATAFITI 111 kutoka mataifa kumi ulimwenguni wamekutana katika kongamano la Elimu lililoandaliwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kuwasilisha na kujadili matokeo ya tafiti zao mbalimbali walizozifanya kuhusiana na elimu msingi na kutoa mapendekezo namna ya kuikuza elimu hiyo nchini. Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, ... |
null | Na Gideon Gregory, Dodoma. Malalamiko dhidi Mkuu wa Chuo cha Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamin Sedoyeka yameendelea kusikilizwa leo mbele ya Baraza la Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma kwa makosa Manne ya kukiuka maadili ya viongozi wa umma. Kitika kikao hicho cha kusikiliza tuhuma dhidi ya Mkuu ... |
null | WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe barabara ya Kata ya Milola inawekwa lami mapema iwezekanavyo. Amefikia hatua hiyo baada ya Mhandisi Zengo kukiri kuwa walishapokea fedha kias... |
null | Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa na Vijiji utakaofanyika Novemba 27, 2024. Waziri Mkuu alijiandikisha kwenye kituo cha shule ya msingi Nandagala iliyopo kitongoji cha Nanguruwe, Kata ya Nandagala, Ruangwa Mkoani Lindi.... |
null | Kitivo cha Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimehimizwa kuendelea kutoa elimu ya ujasiriliamali ambayo itasaidia vijana na makundi mbali mbali katika jamii kuweza kujiajiri na kuondokana na dhana ya kusubiri kuajiriwa pale wanapomaliza masomo yao ya chuo kikuu. Akifungua mdahalo wa kitaalu... |
null | Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini (CGP) Jeremiah Yoram Katungu, jioni ya leo tarehe 16 Oktoba 2024, amempokea Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Taifa, Balozi Khamis Kagasheki, pamoja na aliyekuwa Kamishna mstaafu wa Jeshi la Magereza, Juma Malewa. Ujumbe wa Bodi hiyo unatarajia kufanya kikao katika Mkoa wa Mwanz... |
null | Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati wa Kongamano na Jukwaa la Majadiliano kuhusu Masuala ya Nishati kwa Bara la Afrika( AEMP) kwa ngazi ya Mawaziri unaofanyika Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza wakati wa Kongamano na Ju... |
null | Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb) akiwa na Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na Viongozi wa Wizara wakiongozwa na Naibu Waziri Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Morogoro wakiangalia miche iliyopo katika kitalu cha kuo... |
null | Na Mwandishi wetu- Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imelipongeza Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa kuendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo kuhakikisha kunakuwa na ushiriki wa Wananchi katika shughuli za uchumi na kujiletea maendeleo. Pongezi hizo zimetolewa na M... |
null | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo,akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 kwenye Kamati ya Bajeti. Dodoma, Tanzania Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji (OR-MU), leo imewasilisha mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2025/26 kwenye kam... |
null | Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) akisalimiana na Mhe. Prof.Margaret Kamar kutoka Kenya ambaye ameongoza Ujumbe wa Kamati ya Bunge La Pan Afrika kuhusu Utafiti na Utetezi katika Masuala ya Biashara, Forodha na Uhamiaji katika Utekelezaji wa Mpango wa Majaribio ya ufanyaji biashara chini ya Mkat... |
null | Mkuu wa mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela, leo jioni, tarehe 22 Oktoba, 2024 akiongea na Wanahabari mara baada ya kumpokea rasmi mkandarasi, kampuni ya CCC (Beijing) Industrial & Commercial Ltd; kampuni kutoka China, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 105 vya majimbo saba (7) ya mkoa w... |
null | Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Janeth Hiza (Kulia), akiwakaribisha Machifu wa Jiji la Mbeya walipotembelea Banda la Wizara ya Fedha, katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yanayoe... |
null | Kikosi Maalumu kutoka jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kilichopewa jukumu la kupeleka Mwenge wa Uhuru na Bendera ya Tanzania katika kilele cha mlima Kilimanjaro kikiwasili katika hifadhi ya taifa ya mlima kilimanjaro tarehe 15 Oktoba, 2024, mkoani Kilimanjaro. ………… Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, ... |
null | WAZIRI wa Madini Mhe.Anthony Mavunde,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari 25 kwa Tume ya Madini ili kuboresha utendaji kazi na kuongeza ukusanyaji wa maduhuri leo Oktoba 21,2024 jijini Dodoma. Na.Alex Sonna-DODOMA WAZIRI wa Madini Mhe.Anthony Mavunde amekabidhi jumla ya magari 25 kwa Tume ya Madini ili kuboresha ... |
null | Ferdinand Shayo ,Arusha. Mkuu wa Wilaya ya Karatu Dadi Kolimba amekipongeza Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia vijijini (CAMARTEC) kwa kusambaza teknolojia na mashine mbali mbali za kulima ,kuvuna na kuchakata mazao pamoja na kuyaongezea thamani ili yaweze kupata bei nzuri katika masoko ya ndani na nje ya nchi hivy... |
null | Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Hungary nchini, mwenye makazi yake Jijini Nairobi nchini Kenya, Mhe. Zsolt Mészáros, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, ambapo Dkt. Nchemba ametoa wit... |
null | Mzalendo Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 11,2024 Written by mzalendoeditor Facebook X Google+ Pinterest LinkedIn You may also like About the author mzalendoeditor View all posts Habari Kitaifa Kimataifa Michezo Burudani Makala |
null | Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam kuhusu Mkutano wa kujadili tathimini ya hali ya mazingira nchini utakaofanyika Jijini Dodoma tarehe 9-10 Septemba, 2024. Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira na Mabadiliko ya tabianc... |
null | Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe akitoa maelezo ya jumla kwa watumishi wa kituo hicho,wawakilishi wa wafanyabiashara na Viongozi wa Wilaya ya Rombo alioongozana nao katika ziara ya kutembelea kituo Cha forodha cha Holili kilichopo wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro. … Naibu Waziri wa Viwanda na Bias... |
null | Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongoza kikao cha Kamati ya Fedha, Uchumi na Biashara ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) cha kujadili masuala ya Muungano kilichofanyika jijini Dodoma. Wa pili kulia ni ... |
null | Meneja wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Imelda Salum akitoa elimu ya Usalama Mtandaoni : Matumizi Sahihi na Salama ya Mtandao kwa Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Shinyanga leo Alhamisi Oktoba 17,2024 Mjini Shinyanga – Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (... |
null | Na Mwandishi Maalum, Dodoma Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amejiandikisha kwenye daftari la wakazi katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma leo tarehe 18, Oktoba 2024. Akizungumza baada ya kujiandikisha, Balozi Nchimbi aliwasisitiza wananchi umuhimu wa kujitokeza kw... |
null | Taasisi ya World Travel Awards imetangaza hifadhi mbili za Tanzania kuwa washindi katika vipengele vya hifadhi na kivutio bora cha utalii barani Afrika kwa mwaka 2024. Hifadhi ya Taifa Serengeti imetangazwa kuwa mshindi katika kipengele cha Hifadhi Bora Barani Afrika (“Africa’s Leading National Park 2024”) wakati Mlima... |
null | Na Gideon Gregory, Dodoma. Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma imemfikisha mbele ya Baraza la maadili, Mkuu wa Chuo cha Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamin Sedoyeka kwa malalamiko Manne ya kukiuka maadili ya viongozi wa umma. Akisoma malalamiko yanayomkabili Prof. Sedoyeka leo Jijini Dodoma mbele ya ... |
null | NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi,akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora baina ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka simamizi za maadili ya kitaluma,kinachofanyika kwa si... |
null | Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akifafanua hoja mbalimbali wakati wa kikao cha kuwasilisha taarifa ya uchambuzi wa Sheria ndogo zilizowasilishwa bungeni katika mkutano wa 16 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo jijini Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Kamati... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.