name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | ### Ni mwaka mwingine ambapo nchini Tanzania yanafanyika yakiwa yameanza Mei 17-22 2021 yanayofanyika jijini Dar es Salaam pale jengo la LAPF Tower-Makumbusho, Kijitonyama kwa nyakati tofauti tofauti huku watu wakiweza kushiriki kwa njia ya mtandao pia.
Maadhimisho ya Wiki ya Ubunifu Tanzania yamekuwa yakifanyika kwa ... |
null | ### Kuna mazoea ya kutumia kitu kwa muda mrefu bila ya kujua wasifu wake halisi. Hili linapatikana sana miongoni mwetu.
### Mfano kuna mtu ni dereva wa gari wa muda mrefu lakini akiulizwa sifa ya gari anayoiendesha huwa haijui. Au Kompyuta ambayo ipo ofisini kwake au nyumbani aitumiayo kila siku, lakini hajui wasifu w... |
null | ### Kwnye dunia ya leo makampuni mengi ambayo yapo kwenye ushindani yanapambana kuweza kuja na bidhaa ambazo zitavutia wateja wengi. Hivi nikuulize unajisikiaje ukiwa na chaji ambayo inajaza betri ndani ya robo saa tu?
Oppo ni moja ya kampuni ambayo inatoa simu janja za kuvutia lakini pia zenye sifa zilizoshiba. Mbal... |
null | Qualcomm Inataka Kununua Intel. Katika habari za hivi karibuni, Qualcomm,...
Arm na Apple waliingia katika makubaliano ya kutengeneza chip kwa ajili ya...
Ni wazi kwamba ili simu janja ikamilike mara nyingi huwa vinachukuliwa vifaa...
Mamilioni ya simu za Android hatarini dhidi ya udukuzi kutokana na matatizo...
Ku... |
null | Qualcomm Inataka Kununua Intel. Katika habari za hivi karibuni, Qualcomm,...
Intel ni moja kati ya kampuni kubwa sana ulimwenguni katika maswala ya...
Intel ni moja kati ya makampuni makubwa kabisa yanayojihusisha na maswala ya...
Kama unahisi teknolojia ya vioo vya kujikunja haijakuacha mdomo wazi pengine...
Intel... |
null | Qualcomm Inataka Kununua Intel. Katika habari za hivi karibuni, Qualcomm,...
Katika ulimwengu wa biashara, kuwa na laptop yenye uwezo mzuri ni jambo muhimu...
Watu wengi tunatumia kompyuta kutazama filamu na sinema (movies) mbalimbali,...
Kujua kiasi cha kifurushi cha mtandao (internet data bundle) unachotumia ni...... |
null | Qualcomm Inataka Kununua Intel. Katika habari za hivi karibuni, Qualcomm,...
Qualcomm waiburuza Transsion mahakamani, Transsion Holdings ni kampuni...
Sony ni moja kati ya chapa kubwa sana katika ulimwengu wa teknolojia, chapa hii...
Sifa ya simu nzuri ni kuwa na kipuri mama chenye uwezo wa kuifanya rununu...
Qualc... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=46048 |
null | ### Qualcomm Inataka Kununua Intel. Katika habari za hivi karibuni, Qualcomm, kampuni maarufu ya utengenezaji wa chip, imeonesha nia ya kununua Intel, moja ya makampuni makubwa zaidi ya teknolojia duniani.
Hii inaweza kuwa moja ya ununuzi mkubwa zaidi katika historia ya teknolojia, na inaweza kubadilisha kabisa tasnia... |
null | ## Intel ni moja kati ya makampuni makubwa kabisa yanayojihusisha na maswala ya kompyuta na vifaa vingine vingi vya kielektroniki ambayo inafanya vizuri sana katika soko.
Ukaichana na ukubwa wake na ufanyaje wake vizuri katika soko kwa muda mrefu lakini bado vyanzo mbalimbali kama the verge vinasema kuwa kampuni ina ... |
null | ## Kama unahisi teknolojia ya vioo vya kujikunja haijakuacha mdomo wazi pengine hii inaweza ikakufanya hivyo, kwa sasa Samsung na kampuni ya Intel inaangia jikoni katika kuhakikisha inazalisha kompyuta…
…Pengine ikawa kompyuta ya kwanza ambazo inaongezeka ukubwa kwa kuongezwa hapo hapo, yaaani kwa mfano kioo hichi ch... |
null | ## Intel imemteua Bwana. Matt Poirier kuwa makamu wa raisi katika kitengo cha maendeleo ya biashara…..
…kazi hii itaanza rasmi tarehe 30 mwezi huu wa tano. Kwa haraka haraka ni kwamba Kampuni ya Intel imeamua kufanya maamuzi hayo ili kuongeza nguvu (majeshi) katika timu yake.
Kumbuka kampuni ya Intel ni kampuni ngul... |
null | ### Intel imefichua mipango yake ya kujenga kituo kikubwa cha semiconductor huko Ohio, ambacho Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni Pat Gelsinger anatarajia kuwa kituo hicho kitakuwa “Sehemu kubwa zaidi ya utengenezaji wa silicon duniani” Kampuni hiyo inatenga dola bilioni 20 kujenga kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari 1,000 h... |
null | ### Kuna kavita kachinichini ka Intel vs Apple, kitu kinachoonesha ni jinsi gani kwenye biashara marafiki wanaweza wakageuka na kuwa washindani ndani ya muda mfupi.
Mwishoni mwa mwaka jana Apple walitambulisha prosesa zao mpya zinazokwenda kwa jina la M1, prosesa hizi zinazotumika kwenye laptop zake zilisababisha waac... |
null | ### Marekani yaweka vikwazo zaidi kwa Huawei. Katika hatua za mwisho zilizochukuliwa na Rais Trump dhidi ya Huawei ni kuwanyima uwezo wa kununua prosesa za Intel, hii ikiwa na vikwazo vingine kadhaa.
Serikali ya Bwana Trump inaondoka ikiwa imechukua hatua kadhaa zinazoumiza sana kampuni ya Huawei.
Kutokana na vikwazo... |
null | ### Wadukuzi walipwa takribani Tsh Bilioni 200. Katika tukio la kihistoria, kampuni ya Cencora, imelipa dola milioni 75 kupitia mfumo wa malipo ya Bitcoin baada ya kushambuliwa na kundi la wahalifu wa mtandao linalojulikana kama Dark Angels. Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea katika historia ya uhalifu wa mtan... |
null | **Bitcoin ni fedha ya kidigitali ambayo huondoa uhitaji wa waamuzi na wasimamizi wa fedha kama benki na serikali na badala yake kutumia mtandao wa kompyuta zenye uwezo wa kuthibisha manunuzi moja kwa moja kati ya watumiaji.**
Kwa kawaida fedha husimamiwa na Benki kuu pamoja na serikali lakini tukija kwenye swala la Bi... |
null | ### Twitter kuwa X. Mmiliki wa app ya Twitter na mfanyabiashara maarufu, Bwana Elon Musk alitangaza na tayari hatua zimeanza kuchukuliwa za kuifanya app ya Twitter kuwa app ya kila kitu (super app), zaidi tuu ya mtandao wa kijamii, na inahusisha kubadili jina la kampuni kwenda X.
Tayari picha zimesambaa kuonesha mabad... |
null | ### Kwa mujibu wa Microsoft ni kwamba toleo la Windows 10 litakuwa linapokea masasisho (updates) kwa njia ya moja kwa moja. Njia hiyo imekuwa ikitumika kwa baadhi ya matoleo ya nyuma ya Windows.
Masasisho hufanyika kwa ajili ya kuboresha au kurekebisha pale penye upungufu katika toleo la Windows. Masasisho ya Windows ... |
null | ### Microsoft na Facebook waunganisha nguvu katika utengenezaji wa mkongo wa kusafirisha data za huduma ya intaneti unaounganisha bara la Amerika na Ulaya. Tayari kuna mikongo mingine ila huu unakuwa wa kwanza kuunganisha Marekani na Kusini mwa Ulaya.
Waya wa mkongo huo utaunganisha mji wa Virginia Beach katika jimbo ... |
null | Wadukuzi walipwa takribani Tsh Bilioni 200. Katika tukio la kihistoria, kampuni...
Historia ya Bitcoin. Kwa mara ya kwanza Bitcoin kuongelewa mtandaoni ilikuwa ni...
Bitcoin ni fedha ya kidigitali ambayo huondoa uhitaji wa waamuzi na wasimamizi...
Moja ya makampuni makubwa yanayotengeneza magari yanayotumia nishati ... |
null | Wadukuzi walipwa takribani Tsh Bilioni 200. Katika tukio la kihistoria, kampuni...
### Milipuko ya Vifaa vya Mawasiliano vya Hezbollah, Udukuzi wa Kivita – Israel ndio mshitakiwa Number 1
Katika tukio lisilotarajiwa na lenye kutisha, Pagers (vifaa vya mawasiliano)...
Je, unakumbuka siku ulipofungua barua pepe yako y... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=46040 |
null | ### Wadukuzi walipwa takribani Tsh Bilioni 200. Katika tukio la kihistoria, kampuni ya Cencora, imelipa dola milioni 75 kupitia mfumo wa malipo ya Bitcoin baada ya kushambuliwa na kundi la wahalifu wa mtandao linalojulikana kama Dark Angels. Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea katika historia ya uhalifu wa mtan... |
null | ### YouTube Hype ni kipengele kipya kinachokuja kwa watumiaji wa YouTube kwenye App, tovuti na TV. Kipengele hiki kinalenga kuwasaidia watengeneza maudhui wadogo kupata hadhira kubwa zaidi kwa msaada wa mashabiki wao.
### YouTube Hype ni Nini?
Hype ni kipengele kipya ambacho kinaruhusu watazamaji wa YouTube “kuhype” ... |
null | About
Press
Copyright
Contact us
Creator
Advertise
Developers
Terms
Privacy
Policy & Safety
How YouTube works
Test new features
© 2024 Google LLC |
null | ### WhatsApp kutotuma data za watumiaji wake kwenda Facebook kwa sasa ni kitu cha uhakika kwa watumiaji wa baadhi ya nchi.
Uwamuzi wa Facebook kununua app hii maarufu mwaka 2014 ulichukuliwa na wengi kuwa lengo kuu ni kwa Facebook kuona jinsi ya kutumia data zinazowahusu mamilioni ya watumiaji.
Na kuna kipindi kulifa... |
null | ### Tunaishi katika wakati ambao teknolojia inashika kasi sana na kugusa watu wa kila aina katika kila kona za dunia. Makampuni yanafanya maamuzi tofauti kuendana na jambo hili na moja ya mifano hii ni uamuzi huduma ya WhatsApp kuongeza rangi tofauti ya ngozi kwenye vikatuni vya maongezi.
Si lazima sasa, kutumia vikat... |
null | ### Kuna mabadiliko makubwa yametokea ya jinsi mfumo mzima wa anuani za tovuti mbalimbali zinasimamiwa. Kwa kiasi flani tunaweza sema serikali ya Marekani imepoteza umiliki wa intaneti.
### Nini kimetokea?
Jumamosi hii serikali ya Marekani kupitia Wizara yake ya Biashara imeipa rasmi shirika la ICANN mfumo wa mzima w... |
null | YouTube Hype ni kipengele kipya kinachokuja kwa watumiaji wa YouTube kwenye...
Elon Musk ameendelea kusukuma mipaka ya maendeleo ya teknolojia kupitia mtandao...
### Kukamatwa na Kuachiliwa kwa Pavel Durov wa Telegram: Uhuru wa Kujieleza Mtandaoni na Changamoto zake
Kukamatwa na kuachiliwa kwa Pavel Durov, Mkurugenz... |
null | YouTube Hype ni kipengele kipya kinachokuja kwa watumiaji wa YouTube kwenye...
Instagram kwa sasa ni moja kati ya mitandao ya kijamii ambayo ni maarufu sana...
Mtandao wa kijamii wa X, uliokuwa ukifahamika kama Twitter, unategemea kuja na...
Mtandao wa WhatsApp unahakikisha kuwa unawapa watumiaji wake aina nyingi za... |
null | YouTube Hype ni kipengele kipya kinachokuja kwa watumiaji wa YouTube kwenye...
YouTube ni wazi kabisa kwamba haipatani kabisa na vizuizi vya matangazo na kwa...
YouTube ni moja kati ya mitandao ya kijamii yenye umaarufu mkubwa na...
Moja ya kitu ambacho kinawashangaza wengi ni kwamba mtandao huo wa YouTube...
YouTu... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=46031 |
null | ### YouTube Hype ni kipengele kipya kinachokuja kwa watumiaji wa YouTube kwenye App, tovuti na TV. Kipengele hiki kinalenga kuwasaidia watengeneza maudhui wadogo kupata hadhira kubwa zaidi kwa msaada wa mashabiki wao.
### YouTube Hype ni Nini?
Hype ni kipengele kipya ambacho kinaruhusu watazamaji wa YouTube “kuhype” ... |
null | ### Usalama wa Barua Pepe. Katika dunia ya sasa ya teknolojia, usalama wa mtandaoni ni moja ya masuala muhimu, hasa tunapozungumzia barua pepe. Wadukuzi wanazidi kubuni mbinu za kuiba taarifa binafsi kupitia barua pepe zisizo salama.
Ili kuzuia hili, kuna hatua kadhaa ambazo zinaweza kukusaidia kulinda barua pepe yak... |
null | ### Google waleta na app itakayowasaidia watumiaji wa simu zake kuweza kuepukana na upigiwaji wa simu za usumbufu na matangazo kutoka huduma au watu wanaotaka kuwauzia bidhaa/huduma mbalimbali.
Simu hizo maarafu kwa jina la kimombo la ‘spam calls’, ni tatizo kubwa sana katika nchi zilizoendelea kuliko ata kwa nchi zin... |
null | ### Zoezi la WhatsApp kuwafungia kwa muda watumiaji wa GB WhatsApp na WhatsApp Plus lilianza takribani miezi miwili iliyopita limezidi kuchachamaa, na sasa kampuni ya WhatsApp imetoa angalizo kwa wale ambao hurudi tena kwenye apps hizo tena na tena.
Katika taarifa rasmi iliyotolewa na WhatsApp – inayomilikiwa na kampu... |
null | ### Kama tunavyojua kila baada ya muda wataalamu wa mtandao wa kijamii wa WhatsApp huleta masasisho (Updates) mbalimbali mapya kwa ajili ya kuboresha huduma zao.
Hivi karibuni imefahamika timu ya WhatsApp inajaribu kupima uwezo wa kuonesha status kwenye orodha za chats/mazungumzo ndani ya app hiyo.
Ripoti mbalimbali... |
null | Usalama wa Barua Pepe. Katika dunia ya sasa ya teknolojia, usalama wa mtandaoni...
Gmail ni moja kati ya jukwaa kubwa kabisa ambalo linahusisha na maswala mazima...
Gmail ndio huduma inayotumia na watu wengi sana katika maswala ya barua pepe...
Gmail ni jukwaa kubwa ambalo kwa sasa limevuka kabisa ile hali ya kutuma... |
null | Usalama wa Barua Pepe. Katika dunia ya sasa ya teknolojia, usalama wa mtandaoni...
Je, unafahamu kuwa unaweza kushirikisha(kushare) picha na video zenye ubora wa...
Kupoteza akaunti yako ya Instagram kwa udukuzi ni jambo ambalo linaweza kuleta...
Nawezaje kurudisha WhatsApp yangu? – Hili ni moja la swali ambalo...
... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=46020 |
null | ### Usalama wa Barua Pepe. Katika dunia ya sasa ya teknolojia, usalama wa mtandaoni ni moja ya masuala muhimu, hasa tunapozungumzia barua pepe. Wadukuzi wanazidi kubuni mbinu za kuiba taarifa binafsi kupitia barua pepe zisizo salama.
Ili kuzuia hili, kuna hatua kadhaa ambazo zinaweza kukusaidia kulinda barua pepe yak... |
null | ### Mauzo ya simu za iPhone 16 zilizozinduliwa hivi karibuni yameonesha kuwa ya chini kuliko ilivyotegemewa. Kupitia data/takwimu za mauzo ya awali (preorder), na data zinazohusu uzalishaji na usafirishaji wa simu hizo, watafiti wameona picha isiyonzuri kwa mauzo ya simu hizo kwa mwaka huu.
Kuna simu milioni 37 za iPh... |
null | ### Kila mtu ana lake la kusema kuhusu Sigara za umeme (E-Cigarettes): Waulize watu 10 kuhusu usalama wake na utapata majibu 10 tofauti. Pengine hata ubishi mkubwa unaweza kuzuka kwani hakuna taarifa za kutosha za kitafiti za kuzima ubishi kwa sasa. Hata-hivyo, kuna vitu vichache ambavyo wataalamu wanakubaliana.
Uvut... |
null | ### Dunia imekuwa ni kijiji na pale unapohitaji kufahamu kitu mtandaoni basi sio kitu cha ajabu kutafuta majibu mtandaoni na basi ni lazima utatumia kitu kinachoitwa “Kivinjari” (Mozilla, Opera Mini, Safari, n.k) ambacho kinasimama kama moja ya nyenzo ya kufanikisha kupata kile ambacho unaktafuta kwenye mtandao.
Imek... |
null | ### Watumiaji wa simu za Apple ambao wanatumia iPhone 6 Plus ambazo zina matatizo ya kamera yaani kamera inakua inatoa picha zenye ukungu (blurry) kidogo. Kama matatizo hayo yanakukumba huu unaweza ukawa ndio msaada juu ya simu yako hiyo.
Apple wameanzisha programu mahususi inayoitwa ‘iSight Camera Replacement Progra... |
null | Mauzo ya simu za iPhone 16 zilizozinduliwa hivi karibuni yameonesha kuwa ya...
### Matukio Makuu ya Apple Glowtime Event 2024: Hivi Ndivyo Ilivyokuwa!
Katika tukio la kila mwaka la Apple Glowtime Event 2024, kampuni ya Apple...
Apple Intelligence, Kamera Bora Zaidi, Na Maisha Marefu ya Betri Katika...
Je ushawahi k... |
null | AppleIPhonesimuTeknolojia Mauzo ya iPhone 16 yapo chini ukilinganisha na ya iPhone 15 na mengine teknokona September 18, 2024 Mauzo ya simu za iPhone 16 zilizozinduliwa hivi karibuni yameonesha kuwa ya...
AppleIPhonesimuSmartphones Wakati iPhone 15 Bado Haijatoka, Hii Ndio iPhone 16! Hashiman (@hashdough) Nuh May 23, ... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=46012 |
null | ### Mauzo ya simu za iPhone 16 zilizozinduliwa hivi karibuni yameonesha kuwa ya chini kuliko ilivyotegemewa. Kupitia data/takwimu za mauzo ya awali (preorder), na data zinazohusu uzalishaji na usafirishaji wa simu hizo, watafiti wameona picha isiyonzuri kwa mauzo ya simu hizo kwa mwaka huu.
Kuna simu milioni 37 za iPh... |
null | ### Katika tukio lisilotarajiwa na lenye kutisha, Pagers (vifaa vya mawasiliano) zinazotumiwa na wanachama wa kundi la Hezbollah zililipuka kwa wakati mmoja katika maeneo mbalimbali ya Lebanon na Damascus, Syria.
Tukio hili, lililotokea tarehe 17 Septemba 2024, limesababisha vifo vya watu 16 na kujeruhi zaidi ya watu ... |
null | ### Kutokana na sababu mbalimbali unaweza ukawa unabadilisha simu janja mara mbili hadi tatu kwa mwaka mzima na si suala la kufichika kuwa ushindani kwenye biashara ya vitu vya kidijiti ni mkubwa sana.
Mwezi Septemba mwaka huu kuna simu nyingi tuu ambazo zimetoka na mojawapo ni Xiaomi Poco X3 NFC ambapo kampuni husika... |
null | ### Kampuni ya Mozilla imekubali rasmi ya kwamba mpango wake wa kutoa na kuuza simu zinazotumia programu endeshaji yake ya Firefox OS umeshindwa.
### Walishafanikiwa kwa ushirikiano na makampuni kadhaa kutoa simu kadhaa zinazotumia programu endeshaji hiyo lakini hazikufanikiwa sana kimauzo. Soko la programu endeshaji... |
null | ### Unasikiliza nyimbo au kitu flani kutoka kwenye mtandao na unataka urekodi ili uweze sikiliza baadae? Au ata sauti kutoka kwenye muvi n.k…programu ya Leawo Music Recorder ni programu inayoweza fanya hayo yote.
**Kupitia programu ya Leawo Music Recorder utaweza;**
- Kurekodi nyimbo au sauti yeyote inayocheza kutok... |
null | TeknolojiaUdukuziUsalama Milipuko ya Vifaa vya Mawasiliano vya Hezbollah, Udukuzi wa Kivita – Israel ndio mshitakiwa Number 1 teknokona September 18, 2024 Katika tukio lisilotarajiwa na lenye kutisha, Pagers (vifaa vya mawasiliano)... |
null | ### Milipuko ya Vifaa vya Mawasiliano vya Hezbollah, Udukuzi wa Kivita – Israel ndio mshitakiwa Number 1
Katika tukio lisilotarajiwa na lenye kutisha, Pagers (vifaa vya mawasiliano)...
### Kukamatwa na Kuachiliwa kwa Pavel Durov wa Telegram: Uhuru wa Kujieleza Mtandaoni na Changamoto zake
Kukamatwa na kuachiliwa kwa... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=46002 |
null | ### Katika tukio lisilotarajiwa na lenye kutisha, Pagers (vifaa vya mawasiliano) zinazotumiwa na wanachama wa kundi la Hezbollah zililipuka kwa wakati mmoja katika maeneo mbalimbali ya Lebanon na Damascus, Syria.
Tukio hili, lililotokea tarehe 17 Septemba 2024, limesababisha vifo vya watu 16 na kujeruhi zaidi ya watu ... |
null | ### Kukamatwa na Kuachiliwa kwa Pavel Durov wa Telegram: Uhuru wa Kujieleza Mtandaoni na Changamoto zake
Kukamatwa na kuachiliwa kwa Pavel Durov, Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram,...
Hivi karibuni tumeshuhudia mgogoro wa ubaguzi kupitia mifmu ya kidigitali...
Je ushawahi kujiuliza maana ya i katika iPhone na iOS? Kwa... |
null | Katika ulimwengu wa teknolojia, kampuni mbili kubwa zinazoshindana vikali ni...
Unapozungumzia gaming, PlayStation ni jina lisilo na mshindani. Kila gamer...
Elon Musk ni jina ambalo limejulikana sana katika ulimwengu wa teknolojia na...
Samsung Unpacked 2024 inakaribia, na wapenzi wa teknolojia kote ulimwenguni...
... |
null | Eesha Khare ni msichana Wa kihindi mwenye urai wa marekani ambae ameweza...
Mfumo wa World Wide Web umefikisha miaka 21 wiki wii, na kwa wale wasiomjua...
Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu, Vodacom, imeandaa shindano kwa...
Tunaposema teknolojia inavuka mipaka na kurahisisha mambo hatukosei kabisa,...
Wajapa... |
null | ### SpaceX na rekodi za Anga, inaendelea kuweka rekodi za kitofauti na za kipekee katika usafiri wa anga za juu, safari iliyopewa jina Polaris Dawn imezidi kuwaweka kama kampuni ya mfano katika safari za anga.
Safari ya kwenda anga ya juu kutoka uso wa dunia, eneo lenye mionzi mikali (radition) ya jua, ilizinduliwa mn... |
null | ### Shirika la Airbus limetangaza kwamba ifikapo mwaka 2021 litasitisha uzalishaji wa ndege zake aina ya A380 superjumbo kutokana na kukosekana kwa soko.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika hilo ifikapo mwaka 2021 oda zilizokuwepo za ndege aina ya A380 zitakabidhiwa kwa wanunuzi na uzalishaji wa ndege hizo u... |
null | ### Novemba 2 mwaka huu imetimia miaka 20 tokea kituo cha anga cha kimataifa (International Space Station) kianze kutumiwa na wanasayansi wa anga.
Kituo hicho chenye uzito wa zaidi ya tani 420 kinaizunguka dunia mara 16 kila siku kikienda kwa kasi ya zaidi ya kilometa 27,300 kwa saa.
Kituo cha Kimataifa cha anga kin... |
null | ### Raha ya teknolojia ndio hii hapa! Teknolojia inakuwa na taifa linaamua kukua nayo. Teknolojia hii inaweza ikawa inajulikana sana kwa simu na vifaa vingine vya kiteknolojia, lakini malipo? Mmmh!
Makampuni kama vile Apple na Google yanaweza yakawa yamepata mshindani mkubwa sana kama teknolojia hii ikiteuliwa kama n... |
null | ### Embu fikiria! Jinsi ya kuangalia namba ya toleo la simu yako ya Android. Au kupata menu ya Lugha katika simu yako ya iPhone. Huwa inasumbua kiasi. Sasa fikiria kufanya hivyo kwa mtu asiyeona kabisa. Mwanzo ilikuwa haiwezekani kabisa, lakini sasa si kitu tena.
Shukrani ziwafikie magwiji wa simu janja ulimwenguni, ... |
null | SpaceX na rekodi za Anga, inaendelea kuweka rekodi za kitofauti na za kipekee...
Misheni ya Polaris Dawn, inayoendeshwa na SpaceX, ni hatua kubwa katika...
Ndege kubwa kuliko zote duniani, Antonov AN-225, imeharibiwa wakati wa uvamizi...
Takriban satelaiti zote za mtandao za Starlink ambazo roketi ya SpaceX Falcon 9... |
null | SpaceX na rekodi za Anga, inaendelea kuweka rekodi za kitofauti na za kipekee...
Misheni ya Polaris Dawn, inayoendeshwa na SpaceX, ni hatua kubwa katika...
Huduma ya intaneti ya Starlink ndani ya Kenya 😎 . Huduma ya intaneti ya...
Kwenye ulimwengu wa sasa unazungumzia masuala ya anga la mbali hakika huwezi...
Spac... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45990 |
null | ### SpaceX na rekodi za Anga, inaendelea kuweka rekodi za kitofauti na za kipekee katika usafiri wa anga za juu, safari iliyopewa jina Polaris Dawn imezidi kuwaweka kama kampuni ya mfano katika safari za anga.
Safari ya kwenda anga ya juu kutoka uso wa dunia, eneo lenye mionzi mikali (radition) ya jua, ilizinduliwa mn... |
null | ## NASA ni shirika la utawala wa Anga ambalo linahusika na maswala yote yanayohusiana na anga huko nchini marekani. Shirika hili ni moja kati ya mashirika makubwa kabisa na yenye heshima sana duniani.
Habari hii imetolea na NASA wenyewe hapo ijumaa na wamesema huduma hii ya ku’stream itaanza kupatikana mwaka huu na i... |
null | NASA ni shirika la utawala wa Anga ambalo linahusika na maswala yote...
Kwenye ulimwengu wa sasa unazungumzia masuala ya anga la mbali hakika huwezi...
Kutokana na ukuaji wa teknolojia NASA imekuwa sehemu ya kutafuta ubunifu mpya...
SpaceX kuwashusha wanaanga mwezini mwaka 2024. Kwa muda mrefu sasa shirika la...
Ka... |
null | ### Kwenye ulimwengu wa sasa unazungumzia masuala ya anga la mbali hakika huwezi kuacha kuitaja SpaceX ambayo imekuwa ikifanya mambo mengi kuliko hata ambavyo ilidhaniwa wakati inaanza.Katika kipindi kifupi SpaceX imeweza kuvunja rekodi yake mwenyewe.
Ni miezi saba tu imepita tangu tuanze mwaka 2022 lakini tayari Spa... |
null | ### Ndege kubwa kuliko zote duniani, Antonov AN-225, imeharibiwa wakati wa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, kulingana na maafisa wa Ki- Ukraine, na kusababisha wasiwasi na huzuni katika ulimwengu wa anga. Ndege hiyo kubwa iliyopewa jina la “Mriya,” au “ndoto” kwa Kiukreni, iliegeshwa katika uwanja wa ndege karibu na Ky... |
null | AngaAntonovNdegeNdegeTeknolojiaUchambuziUsafiri Ndege kubwa kuliko zote duniani imeharibiwa nchini Ukraine Semu Msongole February 28, 2022 Ndege kubwa kuliko zote duniani, Antonov AN-225, imeharibiwa wakati wa uvamizi... |
null | Ndege kubwa kuliko zote duniani, Antonov AN-225, imeharibiwa wakati wa uvamizi...
Elephant walk ni msemo unaotumika na USAF wakati wa kupaki ndege za kijeshi kwa...
Kampuni changa ya Boom ipo hatua chache karibu na kurudisha ndege za abiria za...
Umewahi kupanda ndege? Teknokona leo tunakuletea orodha ya Mashirika b... |
null | Boeing, jina lililowahi kuwakilisha uvumbuzi na ufundi wa hali ya juu katika...
Ubunifu wa siti za ndege za ghorofa uliooneshwa kwenye maonesho ya sekta ya...
Ndege kubwa kuliko zote duniani, Antonov AN-225, imeharibiwa wakati wa uvamizi...
Joby Aviation inashirikiana na shirika la ndege la Japani ANA kuleta huduma ... |
null | Ndege kubwa kuliko zote duniani, Antonov AN-225, imeharibiwa wakati wa uvamizi...
Joby Aviation inashirikiana na shirika la ndege la Japani ANA kuleta huduma za...
Kampuni changa ya Boom ipo hatua chache karibu na kurudisha ndege za abiria za...
Gari lenye uwezo wa kupaa kwa kasi ya zaidi ya kilomita 160 kwa lisaa (... |
null | ### Takriban satelaiti zote za mtandao za Starlink ambazo roketi ya SpaceX Falcon 9 ilibeba nje ya anga tarehe 3 Februari hazitafikia obiti iliyokusudiwa. SpaceX imefichua kuwa dhoruba ya kijiografia iliyotokea siku moja baada ya kupaa ilikuwa na athari kubwa kwa satelaiti kama 40 kati yao wataingia tena au tayari wame... |
null | ### Elephant walk ni msemo unaotumika na USAF wakati wa kupaki ndege za kijeshi kwa kufuatana kabla ya kupaa, zinapokuwa katika mpangilio wa karibu. Mara nyingi, hufanyika mara moja kabla ya ndege kuanza safari.
Jeshi la anga la Merika linashirikiana na washirika wake, Jeshi la anga la Australia na Jeshi la Kujilinda... |
null | ### Dunia inakabiliana na janga la mabadiliko ya tabia ya nchi ambayo yanasababishwa na sababu nyingi zikiwemo matumizi ya nishati inayozalisha hewa chafu, uwepo wa magari kwa wingi barabarani yanayotumia mafuta. Watalamu wa teknolojia nao hawapo mbali katika matumizi ya teknolojia kufanya kazi kwa ufanisi mathalani up... |
null | Vyanzo mbalimbali vimedai kuwa kampuni ya Snapchat imezalisha Drone zake za...
Kwa Snapchat sio kitu cha kushangaza sana kuja na teknolojia kama hizi si...
Dunia inakabiliana na janga la mabadiliko ya tabia ya nchi ambayo...
Serikali ya Marekani itaweka kampuni nane za China ikiwa ni pamoja na...
Kilimo cha siku hi... |
null | ### Kutokana na ukuaji wa teknolojia NASA imekuwa sehemu ya kutafuta ubunifu mpya ambao hautumi nguvu kazi nyingi bali teknolojia na kuleta matokeo chanya.
Dunia ina majanga mbalimbali ya asili ambayo yanafanya watu kuweza kufikiria ili kupata njia sahihi ya kukabiliana nayo na hata kuwa na uwezo wa kupunguza madhara... |
null | ### Kampuni changa ya Boom ipo hatua chache karibu na kurudisha ndege za abiria za spidi kubwa. Siku ya Jumatano, kampuni hiyo ilitangaza mipango ya kujenga kituo cha utengenezaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Piedmont Triad huko North Carolina. Kiwanda cha ndege kitakapokamilika, “The Overture Superfactory” k... |
null | ### Umewahi kupanda ndege? Teknokona leo tunakuletea orodha ya Mashirika bora ya Ndege Duniani unayoweza kutumia katika safari zako. Kuna mashirika mengi ya ndege duniani na yamegawanyika katika makundi tofauti tofauti kama Mashirika ya ndege ya nchi, mashirika ya ndege ya kibiashara na ndege za kukodisha.
Aina za nd... |
null | ### Unazifahamu ndege kubwa kuliko zote duniani? Teknokona leo tunakuletea orodha ya Ndege zote kubwa duniani pamoja na taarifa zake kwa undani zaidi. Nchi zinazoongoza kwa utengenezaji wa ndege ni Marekani, Russia na China na mara nyingi huwa zinashirikiana katika utengenezaji na uundaji wa ndege hizi.
Ndege ya kwan... |
null | Boeing, jina lililowahi kuwakilisha uvumbuzi na ufundi wa hali ya juu katika...
Unazifahamu ndege kubwa kuliko zote duniani? Teknokona leo tunakuletea orodha...
Concorde ilikuwa ni ndege ya abiria yenye uwezo mkubwa wa spidi kushinda hata...
NASA ni shirika la kitaifa la Utawala wa Anga nchini Marekani linalohusika ... |
null | ### NASA ni shirika la kitaifa la Utawala wa Anga nchini Marekani linalohusika na utafiti pamoja na utengenezaji wa teknolojia za Anga. Shirika hili la NASA lilianzishwa maalum kwaajili ya kusimamia mambo makuu manne ikiwemo kufanya tafiti kuhusu chimbuko la dunia pamoja na sayari zingine na Kutengeneza teknolojia za k... |
null | AngaNASANdegeTeknolojia Fahamu kuhusu Shirika la NASA Semu Msongole November 17, 2021 NASA ni shirika la kitaifa la Utawala wa Anga nchini Marekani linalohusika na... |
null | ### Shirika la usalama wa anga Marekani, FAA, limeshasema kwamba ndege za Boeing 737 Max zipo huru kutumika tena baada ya maboresho yaliyofanywa na kampuni ya Boeing ili kuepusha ajali nyingine tena. Ila inaonekana bado watu na makampuni kadhaa hawana haraka ya kuzitumia.
Ndege za Boeing 737 Max zilikuja zikisifika sa... |
null | ### SpaceX kuwashusha wanaanga mwezini mwaka 2024. Kwa muda mrefu sasa shirika la anga la Marekani, NASA, limekuwa linafanya kazi na makampuni kadhaa katika kuja na kifaa cha kuweza kutumika kwa ajili ya kuwashusha wanaanga mwezini.
Baada ya kipindi cha mpito cha kuangalia teknolojia kadhaa kutoka makampuni hayo, NASA... |
null | ### Kupitia toleo la Starship la SN10 kwa mara ya kwanza kampuni ya SpaceX imefanikiwa kurusha juu na kuitua tena roketi ndege yao kwa mafanikio makubwa.
SpaceX ni kampuni iliyojikita katika kufanikisha safari za anga kwa gharama nafuu, na ili kuwezesha kufanikiwa wanawekeza katika kuja na roketi ndege itakayokuwa ku... |
null | ### Kama kuna teknolojia ambayo imenufaika sana kutokana na hali ya vita, basi ni teknolojia inayohusisha safari za anga. Roketi ya V2 ni roketi ambayo ilianza kutumiwa na wajerumani katika vita ya pili ya dunia, teknolojia yake imechangia kwa kiasi kikubwa teknolojia za sasa za safari za anga.
### Ilikuwaje?
Wakati... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.