name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
**Katika juhudi za kuendelea kuwa jukwaa bora zaidi kwa watumiaji na wafanyabiashara, Snapchat imezindua kipengele kipya kinachoitwa Sponsored Snaps. ** *Hatua hii inachochea mapinduzi makubwa katika sekta ya matangazo mtandaoni, ikilenga kupanua fursa kwa wamiliki wa brand na wafanyabiashara duniani kote.* **Sponsor...
null
## Mitandao ya kijamii ambayo inaongelewa hapa katika maswala ya tiki ya bluu ni Facebook na Instagram ambayo yote iko chini ya kampuni ya Meta. Ni wazi kwamba mitandao mingi ya kijamii kwa sasa inapitia magumu, kumbuka huduma ya kulipia ili upate tiki ya blue hata katika mtandao wa twitter imefanyika hivyo hivi kari...
null
### LinkedIn ni moja ya mitandao ya kijamii ambayo imejikita zaidi katika kukutanisha wataalamu wa mambo mbalimbali na hata kuwa mstari wa mbele katika suala la kuunganisha watu na ajira. Sababu ya amri hiyo kutolewa kwa makampuni yanayojihusisha na utoaji wa huduma ya intaneti imetokana na kile kilichosemwa kwamba **...
null
## Leo ukiongelea makampuni ambayo yana thamani kubwa katika soko kwa sasa huwezi kuacha kuitaja Facebook. Hii imetokea baada ya kampuni hiyo kufikisha thamani ya dola trilioni moja za kimarekani. Thamani yake kabisa kwa sasa ambayo imeripotiwa na mtandao wa yahoo uliojikita katika maswala ya fedha imeripotiwa kwamba...
null
Katika juhudi za kuendelea kuwa jukwaa bora zaidi kwa watumiaji na... Mtandao wa Snapchat licha ya ukubwa wake wote, mtandao huu wa kijamii ulikua... Ni wazi kuwa mtandao wa snapchat ndio mtandao ambao ulileta mapinduzi katika... Mitandao ya kijamii inazidi kutushangaza, pengine teknolojia hii sio mpya... Hapa naju...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45947
null
**Katika juhudi za kuendelea kuwa jukwaa bora zaidi kwa watumiaji na wafanyabiashara, Snapchat imezindua kipengele kipya kinachoitwa Sponsored Snaps. ** *Hatua hii inachochea mapinduzi makubwa katika sekta ya matangazo mtandaoni, ikilenga kupanua fursa kwa wamiliki wa brand na wafanyabiashara duniani kote.* **Sponsor...
null
**Utangulizi** Alan Turing ni jina ambalo linaonekana mara nyingi kwenye vitabu vya sayansi na teknolojia. Yeye ndiye aliyepata kutambulika kama “Baba wa Sayansi ya Kompyuta” kutokana na mchango wake mkubwa katika uwanja huu. Katika makala hii, tutazungumzia maisha ya Turing, mafanikio yake, na jinsi alivyobadili ulim...
null
# Bombe The **bombe** (UK: /bɒmb/) was an electro-mechanical device used by British cryptologists to help decipher German Enigma-machine-encrypted secret messages during World War II.[1] The US Navy[2] and US Army[3] later produced their own machines to the same functional specification, albeit engineered differently...
null
#### Tumezoea kuona tovuti nyingi zikiishia na ‘.org’, ‘.eu’ na ile maarufu kabisa yaani ‘.com’. Sasa na kwa mara ya kwanza karibu miaka 30 iliyopita afrika imepata utambulisho wake wa kipekee katika ulimwengu wa intaneti. Utambulisho huu wa aina yake ni faraja na habari njema kwa waafrika wote kwani nasi nasi tunawe...
null
### Shirika la ndege la Uingereza limekumbwa na msukosuko baada ya kupatwa na tatizo la kompyuta katika viwanja viwili vya ndege vikubwa jijini London. Shirika la ndege la Uingereza limethibitisha kwamba tatizo hilo sio kwa sababu ya udukuzi ama makosa ya kimtandao bali linatokana na kushindwa kufanya kazi kwa kifaa. ...
null
### Ni bilionea ambaye anajishughulisha na vitu mbalimbali, Bw. Elon Musk na sasa ameamua kuishangaza duniani kwa kuamua kujenga betri kubwa kuliko zote duniani ambalo litatumika kuzalisha umeme na wananchi hawatalipia hata shilingi kupata huduma hiyo 🙄 🙄 . Kwa miaka kadhaa sasa Bw. Elon Musk ameamua kujikita zaidi...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45944
null
**Utangulizi** Alan Turing ni jina ambalo linaonekana mara nyingi kwenye vitabu vya sayansi na teknolojia. Yeye ndiye aliyepata kutambulika kama “Baba wa Sayansi ya Kompyuta” kutokana na mchango wake mkubwa katika uwanja huu. Katika makala hii, tutazungumzia maisha ya Turing, mafanikio yake, na jinsi alivyobadili ulim...
null
### TikTok imetangaza uzinduzi wa “Visionary Voices Africa,”kikundi chake cha kwanza kinachojumuisha wabunifu 15 bora kutoka eneo la Afrika. Kwa kipindi cha wiki chache zijazo, jukwaa hili litatangaza wabunifu hawa pamoja na muziki wa Kiafrika na mitindo mingine ya ubunifu, na kuleta mwangaza kwa vipaji vya Kiafrika. ...
null
### Hivi karibuni limetokea tukio la kushambuliwa kwa miundombinu ya mawasiliano nchini Ufaransa, nyaya kadhaa za nyuzi za optic zinazobeba huduma za mtandao wa kasi (broadband) katika maeneo ya kusini na mashariki mwa nchi hiyo zilikatwa usiku wa kuamkia leo. Tukio hili linakuja wakati Michezo ya Olimpiki ikifanyika j...
null
### Ukiwa mtumiaji wa kompyuta na hasa kama shughuli zako ili kwenda vizuri na kukamilika bila tabu unahitaji kifaaa hicho cha kielektroniki basi huna budi kufahamu mengi ambayo yatakufanya uwe huru bila ya kutegemea mtu mwingine kukusaidia kitu fulani mathalani kulinda faili ndani ya Windows 7, 8, 10. Mara baada ya k...
null
### Kuongeza kasi ya simu na kupunguza ujazo wa kitumi cha mkononi ni mambo yanayofanyika mara nyingi hasa kwa wale wenye vitumi vya hali ya kawaida. Wachache hata hivyo huenda hawajui ujanja huu. **Je unafahamu kuhusu cache na data za android? Fahamu kwa nini kufuta mara moja moja kuna weza saidia simu yako kufanya k...
null
### Instagram inachukua hatua mpya ili kufanya maudhui “yanayoweza kudhuru” yasionekane kwenye programu yake. Kampuni hiyo inasema kwamba kanuni inayosimamia jinsi machapisho yanavyoonyeshwa kwa watumiaji na katika Hadithi sasa itatatiza maudhui ambayo “yanaweza kuwa na uonevu, matamshi ya chuki au yanaweza kuchochea v...
null
### Mara nyingi inakuwa ni ngumu kudogo kwa wengi wetu kuweza kufanikisha kupunguza ukubwa wa faili lakini ukiwa na lengo kwamba ubora wake usipungue. Programu mbalimbali kupitia kompyuta zinaweza kufanya mengi ambayo mengine pengine uliwahi kufikiria kuwa haiwezekani kufanikisha na kama sio mtu wa kutaka kujua mengi...
null
### Je kuna mambo yeyote muhimu ya kufahamu katika ununuaji wa laptop? Lilikuwa swali kutoka kwa rafiki yangu mmoja anayefikiria kununua laptop mpya hivi karibuni. Tumeshaandika makala kadhaa zinazoweza msaidia mtu katika maamuzi ya ununuaji wa laptop lakini katika makala hii tunaangalia vitu vya vichache vinne tuu. ...
null
### Kama unaandika nyaraka yeyote (document) au unatengeneza kitu cha kukielezea au hata kama unapangilia baadhi ya vitu vyako vya kila siku kuna hati hati kubwa unafanya hivyo kwa kutumia ‘Microsoft Office’. Microsoft Office bado ni baba wa yote hayo katika ‘Software’ za kufanyia kazi mbalimbali. Lakini hata hivyo b...
null
Kwa wale ambao walifanikiwa kutumia kompyuta miaka ya mwishoni ya 90 na... Moja ya makampuni nguli kwenye ulingo wa teknolojia imeamua kutanua wigo wa... Programu endeshaji ya Sailfish OS kutoka kwa kampuni ya nchini Finland ya Jolla... Kama unaandika nyaraka yeyote (document) au unatengeneza kitu cha kukielezea au....
null
### Pale vifaa vyetu vinavyokuwa vimeishiwa na bando (MB/GB) WiFi huwa ndio kimbilio letu. WiFi hii ndio hutuwezesha kufanya mambo mbalimbali katika vifaa vyetu kwa kutumia huduma ya intaneti Kuna wengine WiFi wanazo majumbani kwao, wanazitumia kwa matumizi madogo madogo ya kifamilia, wengine zipo katika maofi. Na zi...
null
### Bwana Elon Musk, mmiliki wa mtandao wa kijamii wa X, uliokuwa unafahamika kwa jina la Twitter, amesema wanaangalia uwezekano wa kuondoa uwezo wa watu ku’block watumiaji wengine kwenye mtandao huo wa kijamii. Jambo limepokelewa kwa utofauti na aina tofauti ya watumiaji wa mtandao huo, huku wengine wakiufurahia na h...
null
## China safari hii imekuja kivingine, kwa sasa imetoa tamko kuwa waandaaji wa App (developer) wawe wametokea China au zihusishe ubia na kampuni au wananchi wa nchini China. Kingine cha msingi ni kwamba waandaaji hao wa App wanatakiwa kuweka anuani zao na taarifa za muhimu kuhusiana na biashara hiyo. Kumbuka China k...
null
### Kampuni ya Meta, wamiliki wa Facebook, Instagram na Whatsapp imetangaza rasmi kwamba itaondoa uwezo wa matumizi ya ujumbe mfupi yaani SMS kwenye app ya Messenger kwa watumiaji wa Android. Mabadiliko yataanza rasmi mnamo Septemba 28, 2023. Hii inamaanisha kuwa watumiaji wa Android ambao wamekuwa wakitumia app ya Me...
null
### App ya Threads inayomilikiwa na kampuni ya Meta, wamiliki wa Facebook, Instagram na Whatsapp inatarajiwa kuanza kupatikana kwa watumiaji duniani kote Ijumaa ya wikiendi hii. Threads ni app inayolenga kuleta ushindani dhidi ya Twitter. Mwezi wa Julai haujaanza vizuri kwa tajiri Elon Musk, amefanya maamuzi kadhaa ya...
null
## Apple ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika Nyanja ya sayansi na teknolojia. Mara kwa mara kampuni imekua ikija na vifaa ambavyo vinaleta mapinduzi makubwa katika teknolojia na sasa ni zamu ya Vision Pro. Ikumbukwe Apple ndio wamiliki wa vifaa kama vile iPhone, iPad, Mac na huduma zingine nyingi tuu kama v...
null
## WhatsApp licha ya ukubwa ambayo mpaka sasa inayo, bado haijawahi kupumzika katika kuhakikisha kuwa inakuja na mambo mapya na maboresho mengi katika huduma yake. Mitandao mingi inatoa huduma za simu za makundi, na kuna mitandao mingine ni mahususi kabisa katika kupiga simu za video au kuendesha mikutano kwa njia hi...
null
### Kutokana na kuwepo maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia na mawasiliano, Hivi sasa kupata pesa mtandaoni imekuwa rahisi zaidi kuliko hapo awali. Kuna tovuti nyingi zinazotoa fursa kwa watu kufanya kazi ndogo ndogo na kupata malipo au kupitia programu za affiliate. *Kwenya makala hii tumekuandalia tovuti tan...
null
Unapozungumzia **gaming**, PlayStation ni jina lisilo na mshindani. Kila **gamer** anajua nguvu na ubora wa kifaa hiki. Lakini sasa, kuna changamoto mpya—uchaguzi kati ya **PS5** na **PS5 Slim**. Je, unapaswa kuchagua ipi? Hebu tuchambue kwa undani na kufahamu tofauti kuu kati ya hizi **console** mbili maarufu. ## Muo...
null
### Elon Musk ni jina ambalo limejulikana sana katika ulimwengu wa teknolojia na uvumbuzi. Safari yake imejaa juhudi zisizo na kifani, maono makubwa, na ubunifu wa hali ya juu. Kuanzia PayPal hadi SpaceX, Tesla, na sasa Twitter, maisha ya Elon yamejaa hadithi za kushangaza na mafanikio makubwa. #### Maisha ya Awali na...
null
Samsung Unpacked 2024 inakaribia, na wapenzi wa teknolojia kote ulimwenguni wanatarajia kwa hamu kile ambacho kampuni hii maarufu itafichua. Tukio hili litafanyika leo Jumatano, Julai 10, na litaonyesha uvumbuzi mpya wa Samsung katika teknolojia ya simu za mkunjo, saa mahiri, na vifaa vingine vya kisasa. #### Tukio la...
null
### Hadi kufikia nusu mwaka 2024 tumeshuhudia maendeleo makubwa katika teknolojia ya simu, hasa katika ubora wa kamera. Kwa wapenzi wa kupiga picha na watumiaji wa kawaida, simu yenye kamera bora ni muhimu. Hii hapa chini ni orodha ya simu tano zenye kamera bora kwa hadi kufika mwezi wa Juni mwaka 2024. ### 1. **Samsu...
null
### Marekani imetangaza kufunga rasmi uuzaji na matumizi ya programu za Kaspersky Lab kuanzia Julai 20, 2024. Watumiaji wa sasa wa Kaspersky nchini humo wataweza kuendelea kutumia programu hizo hadi Septemba 29, 2024, lakini baada ya tarehe hiyo hawatapata tena masasisho(updates) muhimu kwa ajili ya kuboresha usalama. ...
null
Anti VirusKaspersky Programu za Usalama (Anti-Virus) za Kaspersky Lab Zapigwa Marufuku Nchini Marekani LanceBenson June 22, 2024 Marekani imetangaza kufunga rasmi uuzaji na matumizi ya programu za Kaspersky... Anti VirusSayansi R.I.P: John McAfee Yule Wa McAfee Anti Virus, Afariki Akiwa Jela! Hashiman (@hashdough) Nuh...
null
### Fahamu njia ya kuifanya WhatsApp isichukue nafasi kubwa kwenye simu yako ya android. Zuia mafaili kama picha n.k kuchukua nafasi kubwa kwenye simu yako. Kwa watu wenye simu ambazo zina nafasi ndogo upande wa diski uhifadhi ninaamini wanapata changamoto ambayo inabidi wapunguze vitu kwenye simu ndio ipatikane nafa...
null
### QuickLook ni kaprogramu kadogo kanakoleta uwezo mmoja mzuri ambao kwenye programu endeshaji ya MacOS kuja kwenye Windows. Kupitia QuickLook hautakuwa na ulazima wa kufungua faili la picha au video wakati lengo lako lilikuwa kutafuta faili ambalo ni sahihi. Programu hii ni ya ukubwa mdogo na baada ya kuipakua kwen...
null
### Wasomaji wetu wengi wa **teknokona** wamekuwa wakihitaji sana msaada wa kutaka kutumia akaunti mbilimbili za WhatsApp, Instagram, Facebook, Twitter, Snapchat, n.k katika simu moja. Mbinu za kuwa na akaunti mbili kwa programu moja zipo nyingi na zina maelekezo tofauti. Wengi wamekuwa wakilazimika kuweka programu to...
null
### Imekuwa ni jambo rahisi sana kutuma/kupokea kitu kupitia Google Drive hivyo kufanya mawasiliano kufanyika kwa njia ya haraka lakini inawezekana pia unachukizwa na kile ambacho mtu ameamua kukutumia huko, sasa umepewa rungu la kuweza kuzuia watu kukusambazia vitu vyao. Utakubaliana na mimi kwamba uwepo wa Google Dr...
null
### Ni wazi kuwa wengi wetu huwa tunatumia simu zetu kutwa nzima. Na wengine usiku kucha – saa nyingine tunapitiwa na usingizi wakati tunazitumia – kioo cha simu janja ni rahisi kupata uchafu Kuna wengine kama mtu mweupe asingegundua ‘Screen Protector’ sijui simu zetu zingekuwa na kioo cha hali gani hivi sasa Kuna w...
null
### Baada ya kuandika jinsi ya kushusha (kudownload) video kutoka facebook moja kwa moja kwa kutumia kompyuta muamko umekuwa ni mkubwa sana. Wengi wamepongeza makala hiyo na wakaomba namna ya kuweza kujua wataweza vipi kuzishusha video hizo wakiwa wanatumia vifaa vyao vya android. Kama kawaida ya TeknoKona, timu imepi...
null
### Kwenye kuchaji simu ni watu wengu wanafanya makosa mbalimbali ambayo yanasababisha mfumo wa kuchati au ata betri za simu zao kuharibika mapema. Leo fahamu mambo ya uzingatia katika kuchaji simu na kufanya betri zidumu. Fahamu kwa kufuata baadhi ya haya maelezo kutahakikisha betri la simu yako haliwahi kuchoka – hi...
null
## Licha ya kuwa wawili hawa ni wapinzani/washindani wakubwa sana ni mara chache sana tumekua tukisikia WhatsApp kumsema Telegram au kinyume chake. Mengi yameshawahi kutokea na kila mmoja mara nyingi alikua akisemea upande wake bila kusema upande wa mwenzie, lakini hali imebadilika na sasa WhatsApp imesema kuwa teleg...
null
## India ni moja kati ya nchi ambazo zinathamini sana ulinzi na usalama haswa ule wa taarifa (data) za watu wake na sasa wanaijia nchi ya china juu. Japokua wako mstari wa mbele na china lakini ni wazi kwamba wanaziangalia nchi nyingine kubwa kubwa katika bara hilo la asia, App watakazokua na mashaka nazo jambo hili ...
null
Kampuni ya Apple inc ya nchini Marekani inayojihusisha na utengenezaji wa bidhaa mbali mbali za Teknologia ikiwa ni pamoja na simu zilizojipatia umaarufu mkubwa zilizopewa jina la iphone imekua na utamaduni wa wakuwaacha midomo wazi watumiaji wa bidhaa zao pamoja na wapinzani kila wanapotambulisha bidhaa au huduma mpya...
null
Hilo jambo leo naacha kama swali tuu…ila nakaribisha mawazo yenu, nategemea kesho kuandika zaidi kuhusu hili jambo. Je vijana wa Tanzania wanaotumia huduma za intaneti ni asilimia ngapi kati yao utafuta mambo mengine zaidi ya Facebook? 🙂 Timu ya uandishi wa Kona ya Teknolojia ingefurahi kupata sapoti yako ili iendele...
null
**Kwa sasa yamebakia**kama masaa 48 hadi **Ubuntu 11.10**ipate kuwa online kwa watu wote kudownload na kufanya upgrades kwa wale wanaotumia version zingine. Alhamisi ya tarehe 14 ndo siku ya kuzinduliwa kwake. Je unaifahamu Ubuntu? Ushawahi kutumia? Je unahamu ya kuijaribu bila kuaribu Windows XP,Vista or 7.? Basi ka...
null
Shukrani za dhati kwako kwa kuweza kutembelea blog hii na tunaomba radhi kwa kutokuwepo kwa makala wala habari yoyote kwa sasa,. Hii ni kwa sababu blog hii bado ipo katika hatua za mwisho za matengenezo na ni matumaini yetu kuwa punde si punde tutaanza kukupa kile unachostahili, yaani Habari na Makala zilizochambuliwa...
null
Facebook Facebook Wanazidi Kujitutumua, App ya Kamera ya Simu na Sasa ‘Wanaitaka Opera’! teknokona 12 years ago Facebook JIEPUSHE Na Ku’click ‘Link’ Zisizo Na Maana Kwenye Mitandao Ya Kijamii!! teknokona 12 years ago Afrika Makampuni Ya Simu NIGERIA Yapigwa Faini Kutokana Na Kutoa Huduma Mbovu! teknokona 12 years ago
null
It looks like nothing was found here! Jisajili ili uweze kupokea taarifa za habari mpya kila wiki. Tunakutumia taarifa na habari za Kona ya Teknolojia na TechMsaada pekee. Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.
null
### Leo tutakueleza jinsi ya kuweza kufungua mitandao maarufu ambayo inaweza kufunguka/kutumika kwa watu waliokatika nchi flani tu. Hii mara nyingi inakuwa katika mitandao ambayo baadhi ya huduma zao kama vile muziki au video wanajikuta wamebanwa kisheria au kimikatika kuonesha data/huduma husika kwa nchi zingine. Je...
null
### Watumiaji wa uhifadhi wa mtandaoni sasa wanazidi kurahisishiwa jambo hilo, tena haswa kwa wale wanatumia huduma ya Dropbox. Kwa sasa huduma hii inawawezesha kumtumia mtu picha, video au mafaili mengine kwa kutumia Facebook Messenger. Ili kufanya hivi kupitia simu janja yako kuna App mbili za muhimu za kuwa nazo k...
null
#### Watu wengi wanajiunga Twitter kwa sasa Tanzania, na wengi wangependa kuunganisha akaunti zao ili kurahisisha kutuma hali zao (‘status’ zao). Makala hii itakuonyesha jinsi ya kuungannisha akaunti yako ya Twitter na Facebook ili Tweets zako moja kwa moja baada ya wewe kuziposti zitokee pia kwenye akaunti yako Face...
null
# Hola VPN - Your Website Unblocker ## Overview The easiest way to access the Borderless Internet, Hola VPN gets you Access to the global online content you want! Say hello to truly Global content with Hola VPN, the easy-to-use VPN that gets you the Access you want, anytime, anywhere. The internet just got a lot mor...
null
### Kwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani rais wa Marekani ameachana na simu ya BlackBerry baada ya washauri wake kumruhusu kutumia simu janja ya aina nyingine. ### Obama amekili kuanza kutumia simu mpya akizungumza katika kipindi cha Tonight show kinachoendeshwa na Jimmy Fallon na kurushwa na televisheni ya NBC...
null
Password meters zina udhaifu kwa kutofanya kazi vyema, hii iwe tahadhari kwa... Uhalifu wa mtandao ni uhalifu unaoshika kasi duniani katika miaka ya karibuni.... Instagram imefanya maboresho katika mtandao wake wa Instagram kwa watumiaji wa... Leo tutakueleza jinsi ya kuweza kufungua mitandao maarufu ambayo inaweza....
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=1693
null
### Wikiendi iliyopita Airtel wametambulisha huduma mbili kubwa nazo ni kadi ya ‘premier’ kwa wateja wake pamoja na kifaa cha huduma ya WiFI kwa ajili ya manyumbani. ### Je hutegemee nini katika huduma hizi? Tupo hapa kujibu swali hilo. Huduma ya kadi ya Airtel Premier itawapatia wateja wakubwa wa mtandao huo nafasi ...
null
#### Simu nyingi za kisasa huja na programu ya kucheza muziki. Programu hii inatosha kwa mambo ya msingi lakini vipi kama unahitaji muonekano tofauti au mambo mengine matamu zaidi kama kucheza muziki punde unapochomeka hedifoni na kupata picha za wanamuziki sanjari na nyimbo zako? #### Tunachambua app 5 bomba za muzik...
null
### Leo tutakueleza jinsi ya kuweza kufungua mitandao maarufu ambayo inaweza kufunguka/kutumika kwa watu waliokatika nchi flani tu. Hii mara nyingi inakuwa katika mitandao ambayo baadhi ya huduma zao kama vile muziki au video wanajikuta wamebanwa kisheria au kimikatika kuonesha data/huduma husika kwa nchi zingine. Je...
null
### Betri (Battery) ni kitu muhimu sana kwenye simu ambapo watuamiaji wengi huwa makini sana simu zao zisiishe chaji (charge), lakini hii ni changaamoto kutokana na uwepo wa programu (Apps) zinazotumia zaidi betri ya simu na hizi Apps tunazitumia mara kwa mara katika shughuli zetu za kila siku. ### Kuna programu (Apps...
null
Get Smart, Roll Smart – Back to School Dice at 50% Off! Celebrate World Teachers' Day in style with our exclusive Back to School Dice! Sharpen your game and enjoy a 50% discount on this sleek and scholarly dice. Whether you’re a student of the game or a seasoned pro, add a touch of class to your Ludo Matches. Plus, sc...
null
## The apps you love. For over a decade, the App Store has proved to be a safe and trusted place to discover and download apps. But the App Store is more than just a storefront — it’s an innovative destination focused on bringing you amazing experiences. And a big part of those experiences is ensuring that the apps we...
null
### Hivi unajua kuna baadhi ya sehemu duniani watu wana jina moja tuu. Angalia Indonesia watu wengi wanatumia jina moja tuu. Hii inamaanisha nini? hawana baba?. Facebook wametoa ruhusa kwa watu wa indonesia kutumia jina moja tuu. Makala hii itakufundisha wewe mtu wa eneo lingine (sio indonesia) kutengeneza jina moja k...
null
# Secret Phone Killers Ivan Dimitrov | 10th May 2021 #### Secret Phone Killers – Which apps are the most demanding on your phone? Nowadays there is an app for everything, and in a world consumed by technology having phone storage and battery has never been more essential. From Pinterest to pilates, train tickets to ...
null
### Unakumbuka idadi ya herufi ambazo Twitter ilikuwa ikiruhusu kwaenye jina la akaunti ya Twitter? Unaweza usiwe unakumbuka au hata kufahamu kutokana na ukweli usipingika kuwa si watu wengi wanatumia wamejiunga na mtandao wa kijamii wa Twitter. Ni miezi michache tu Twitter ilitangaza uamuzi wake wa **kuongeza idadi ...
null
### Mwaka 2017 kupitia ukurasa wetu wa Facebook tumewasiliana na wasomaji 745 pamoja na kuulizwa maswali zaidi ya 2,980 kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu teknolojia. Kwa wastani kila siku tuliulizwa maswali manne yanayohusu teknolojia. Maswali mengi tuliyoulizwa kwa mwaka 2017 asilimia 95 yalihusu simu janja, 4% y...
null
China safari hii imekuja kivingine, kwa sasa imetoa tamko kuwa waandaaji wa App... Betri (Battery) ni kitu muhimu sana kwenye simu ambapo watuamiaji wengi huwa... Kampuni ya Apple imefanya mabadiliko tena baada ya kurudisha mitandao miwili... Telegram na Apple yote ni makampuni makubwa sana yanayijihusisha na mambo ...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44069
null
## Raisi wa zamani wa marekani alizuliwa/alisimamishwa kuingia na kutumia mitandao yake ya kijamii Facebook na Instagram mpaka sasa inafikia miaka miwili. Trump alisimamishwa kutumia mitandao hiyo ya kijamii inayomilikiwa na Meta baada ya raisi huyo wa zamani kukiuka baadhi ya vipengele na ilianzia facebook na baadae...
null
## Katika mtandao wa kijamii wa Twitter eneo la Direct Message huwa linaonekana katika ukurasa wa mtumiaji wa mtandao huo. Eneo hilo katika mtandao wa Twitter ni mahususi kwa ajili ya kutuma ujembe kwa mtu moja kwa moja kupitia katika ukurasa wake (profile). Ni wazi kuwa mtandao wa kijamii wa Twitter umekua na mabad...
null
### Betri (Battery) ni kitu muhimu sana kwenye simu ambapo watuamiaji wengi huwa makini sana simu zao zisiishe chaji (charge), lakini hii ni changaamoto kutokana na uwepo wa programu (Apps) zinazotumia zaidi betri ya simu na hizi Apps tunazitumia mara kwa mara katika shughuli zetu za kila siku. ### Kuna programu (Apps...
null
### Mawasiliano kwa njia ya barua pepe yamekuwa yakisaidia uharaka wa kupata majibu/kujuliana hali tofauti na mtu akitumia njia ya kutuma barua kwa njia ya Posta (ingawa daima barua za kuandikaina kisha kupata majibu baada ya muda fulani zitabaki kuwa na heshima yake 😉 😉 ). Ingawa siku hizi kuna Telegram, WhatsApp n...
null
### Watumiaji wengi wa barua pepe (e-mail) wanapoingia kwenye uwanja wa kutuma ujumbe katika akaunti zao ama iwe Gmail, Yahoo, Microsoft Outlook, Live Mail, na Mozilla Thunderbird, kuna sehemu inayoonesha CC na BCC. Lakini wapo baadhi ambao wamekuwa hawaelewi nini maana ya hizo herufi na nini matumizi yake kuwepo hap...
null
### Tangia simu ya kwanza ya iPhone kutoka kampuni la Apple kutoka mwaka 2007, simu kwa ujumla zilibadilika. Zilibadilika kwa kiasi kikubwa kutoka kwenye kuwa simu tuu mpaka kuwa simu janja. Sasa hivi simu yako unaweza fanya nayo mambo mengi sana ambayo hata hukuweza fikiria Hivi ulishawahi fikiria kuwa simu zetu haz...
null
Back in April 2019, Google announced that Gmail would natively support email scheduling, and the feature became available on desktop and mobile about a month later. Gmail’s feature is perfectly easy to use, and it has a range of applications for scheduling work and personal messages. Maybe you’re trying to talk to some...
null
### Lengo la kuzidi kuongeza mapato ndani ya kampuni ya Facebook kumeleta uamuzi wa kuleta matangazo ndani ya Facebook Messenger. ### Huduma ya kuchati inayopatikana ndani ya app ya Messenger kutoka mtandao maarufu wa Facebook inaletewa matangazi ndani yake. App ya Facebook Messenger ni moja ya app inayotumika zaidi ...
null
Gmail ni moja kati ya jukwaa kubwa kabisa ambalo linahusisha na maswala mazima... Gmail ndio mtoaji wa huduma ya barua pepe ambae ni maarufu na anatumika Zaidi... Kama una akaunti ya Google ambayo huijaitumia kwa kipindi cha muda mrefu... Gmail ndio huduma inayotumia na watu wengi sana katika maswala ya barua pepe.....
null
Je unafahamu Google na Microsoft wanatumia umeme mwingi kuliko ata Tanzania?... Ndio kupitia Google.Com unaweza ukacheza michezo mingi tuu, hii watu wengi... Simu janja nyingi ziku hizi zinakuja zikiwa na saa janja zake na hilo... Unakumbuka kipindi ugonjwa wa uviko ulivyopamba moto makampuni mengi... Mwezi septemb...
null
Apple ina vifaa vingi sana ambavyo kwa namna moja au nyingine vinaingizia... Samsung wamefanya tukio lao la kutambulisha Simu za Samsung Galaxy Z Fold, Z... Soko la saa janja limepanda kwa asilimia 13 toka mwezi Januari mpaka machi... Apple wanazidi kuhakikisha kuwa wanatoa vifaa vilivyo bora na vinavyorahisisha... ...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=40627
null
### Imekuwa ni jambo la kawaida kwa makampuni yanayofanya biashara ya simu janja kuweka wazi mpango wao wa kupeleka masasisho ya programu endeshi halikadhalika yale yanayohusu kifaa kuzidi kuwa salama ambayo hutoka kila mwezi. Kampuni ya Samsung imeweka wazi mpango wake wa kupeleka masasisho ya programu endeshi kwa m...
null
### Mawasiliano kwa njia ya barua pepe yamekuwa yakisaidia uharaka wa kupata majibu/kujuliana hali tofauti na mtu akitumia njia ya kutuma barua kwa njia ya Posta (ingawa daima barua za kuandikaina kisha kupata majibu baada ya muda fulani zitabaki kuwa na heshima yake 😉 😉 ). Ingawa siku hizi kuna Telegram, WhatsApp n...
null
### Kuna mambo mengi ya kuzingatia wakati ununuzi wa Kompyuta mpya. Lakini wengi wetu tunapotaka kununua Kompyuta yapo tunayoyazingatia. Zaidi huwa tunaangalia ukubwa wa RAM, Hard disk, CPU, GPU na kadhalika. Lakini linapokuja sula la kuchagua kati ya 32-Bit au 64-Bit, hapa huwa hatujali sana vyovyote itakavyokuwa kw...
null
### Ni sawa kabisa kuwa vifaa vya Android huwa vinakuja na mambo mengi mazuri ndani yake. Ukiachana na vipengele vya kawaida ambavyo karibia kila mtu mwenye simu ya Android anavijua kuna vile ambavyo kidogo havijulikani kwa kiasi kikubwa…usijali leo tutakuonyesha vitu 3 muhimu sana kufahamu! Kufahamu mambo haya itaku...
null
### Benki ya NMB na kampuni ya mawasiliano ya Halotel zimeingia mkataba wa makubaliano ya miaka miwili ya kutoa huduma za TEHAMA katika shule za serikali zaidi ya 200 hapa nchini. ## Makubaliano hayo yamefanyika Agosti Mosi mbele ya waandishi wa habari na mwaka wa kwanza NMB itatoa kompyuta 350 kwa shule 100 na jukum...
null
Je ni mambo gani ni muhimu sana ya kuangalia wakati wa kufanya maamuzi ya... Umewahi kujiuliza kuna umuhimu wa kufanya updates za simu yako au upotezee... Android Go, toleo jepesi la programu endeshi ya Android, limefikia rasmi zaidi... Huawei wasema wanategemea vifaa milioni 100 kutumia HarmonyOS kufikia mwisho wa....
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=20720
null
### Kwa muda mrefu wengi wameomba uwezo wa ku’post moja kwa moja video za GIFs kwenye mtandao wa Facebook lakini mtandao huo ulikuwa bado unanyima uwezo huo. Sasa Facebook wametangaza rasmi ya kwamba uwezo huo umeanza kusambaa taratibu kwa watumiaji wake mabilioni duniani kote kwa hawamu. Kwa sasa ili mtu ku’post vid...
null
### Mara nyingi unaweza ukajikuta umejaza apps nyingi kwenye simu yako ya Android na ungependa kupunguza, tatizo linakuja ya kwamba una apps kibao na kazi ya kubofya moja moja itachukua muda wako mwingi. Leo tunakuletea apps mbili bomba zaidi zinazoweza kukusaidia katika hili. Apps hizi zinafanikisha jambo hilo kwa ku...
null
### Labda nikuulize, huwa unatafuta vipi ajira? Je unatumia mtandao au huwa unaenda katika ofisi husika? Kama unatumia mitandao mbali mbali ni vizuri zaidi kwani una uwezo mkubwa sana wa kuona nafasi mbalimbali zikitangazwa. Kingine kikubwa cha kukumbuka ni kwamba dunia inabadilika na kuwa katika hali ya udigitali zai...
null
Easy & Fast & Handy uninstall tool for android, remove apps by several taps. Clean up storage and free up more spaces. ■ Feature ----------------------------- • App remove • Batch uninstall • Battery Usage Tracking • App Usage Tracking • Batch uninstall • Fast uninstall by one click • List all installed apps...