name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Kama kuna teknolojia ambayo imenufaika sana kutokana na hali ya vita, basi ni... SpaceX inatazamiwa kufanya safari yake ya kwanza kwenda kwenye Mwezi miaka... Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa habari za teknolojia utakuwa umeshawahi... Mambo si mazuri kabisa kwa upande wa Facebook baada ya kukumbwa na kashfa...
null
### Video, sauti na picha za sayari ya masi / mirihi zilizotumwa kupitia misheni mpya ya NASA inayokwenda kwa jina la Perseverance zimeweka rekodi mpya katika teknolojia na mafanikio ya NASA na sekta nzima ya tafiti za kisayari. Kwa mara ya kwanza, watu wote duniani kupitia simu zetu za mkononi tunaweza kupata picha n...
null
### SpaceX na jaribio jingine la Starship, nalo limeenda vizuri hatua zote ila likaenda vibaya tena kwenye kutua. mashabiki wa makubwa yanayofanyika katika sekta ya teknolojia za anga, kama mimi 😀 tarehe 2 Februari wote tulikuwa tunasubiria kwa hamu na kutazama majaribio mengine ya teknolojia za ndege ya Starship. H...
null
### Marubani wafanya makosa mengi katika kipindi cha mwaka mmoja na lawama zimeelekezwa kwenye janga la Covid 19. Tokea mwezi Mei mwaka jana hadi kipindi hichi makampuni mengi ya ndege yamepunguza safari zake kutokana na kuwa na abiria wachache. Suala hili limesababisha marubani wengi kuwa kazini mara chache sana kuli...
null
Elon Musk kutoa zawadi ya dola milioni 100, ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 230... Injini za ndege kutoka Urusi zilikuwa maarufu pia miaka mingi iliyopita kabla... Jaribio la Starship lafanyika kwa mafanikio wiki hii. Starship ni ndege... Elon Musk ampiku Zuckerberg kwenye orodha ya matajiri wakubwa duniani. Kwa sasa...
null
SpaceX inatazamiwa kufanya safari yake ya kwanza kwenda kwenye Mwezi miaka... Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa habari za teknolojia utakuwa umeshawahi... Mradi wa kutengeneza magari yenye uwezo wa kupaa umeanza rasmi nchini... Uamuzi wa kujitoa Umoja wa Ulaya unaifanya Uingereza kufikiria kila namna... Kilimo c...
null
Japokuwa mwezi uliopita mkurugenzi mkuu wa ndege hizo alisema kuwa atapunguza... Baada ya mshikemshike na vikwazo kwa mpango wao wa FreeBasics huko nchini... Droni, au ndege ndogo zisizokuwa na rubani zimekuwapo kwa muda mrefu sasa na... Solar Impulse 2(Si2) ni jina iliyopewa ndege ya kwanza kurushwa na rubani huku....
null
**iPhone, simu iliyobadilisha kabisa tasnia ya teknolojia ya simu za mkononi, imekuwa ikivunja rekodi mbalimbali tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2007. Kutoka kwa mapinduzi ya kiteknolojia hadi umaarufu wa kipekee kwenye soko, iPhone imeacha alama isiyofutika. ** *Katika makala hii, tutaangazia rekodi kubwa ambazo iPhone...
null
### Kumbuka India ndio soko la tatu kwa ukubwa duniani katika biashara ya simu janja. Katika hii vita ya nani anashakili kwa kiasi kikubwa soko hilo Apple ametupwa mbali na mpinzani wake wa siku zote (Android). Ni wazi kwamba simu nyingi zinazotumia programu endeshaji ya Android huwa zinapatikana kwa bei ya chini kid...
null
### Licha ya App hii kukua kwa kasi ndani ya kipindi cha mda mchache bado haijatosheka na ukuaji huo. App ya snapchat bado inaendelea kufanya maboresho na vipengele kadha wa kadha. Kumbuka hapo awali App hiyo (SnapChat) iliongeza ‘Filter’ mbali mbali kama lenzi na zingine. Yote haya yanafanyika kwa lengo la kuwavutia...
null
### Je, wewe ni mshabiki wa mpira wa miguu au michezo mingine kama mpira wa kikapu na tennis? Kama jibu ni ndiyo, basi utaipenda programu ya 365Scores. Hii ni programu za kitumi cha mkononi itakayokuletea habari, itakayo kukumbusha kuhusu mechi punde itakapoanza, kukujulisha yenyewe punde goli la timu unayofuatilia li...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45986
null
**iPhone, simu iliyobadilisha kabisa tasnia ya teknolojia ya simu za mkononi, imekuwa ikivunja rekodi mbalimbali tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2007. Kutoka kwa mapinduzi ya kiteknolojia hadi umaarufu wa kipekee kwenye soko, iPhone imeacha alama isiyofutika. ** *Katika makala hii, tutaangazia rekodi kubwa ambazo iPhone...
null
### Huawei Mate XT. Siku ileile ambayo Apple ilizindua simu za iPhone 16, Huawei ilizindua simu yake inayosubiriwa kwa hamu, Mate XT — simu ya kwanza yenye uwezo wa kupinda mara tatu ambayo imetengenezwa kwa wingi na itaanza kupatikana kwa watu hivi karibuni. Ikiwa ni ya kwanza ya aina yake kwenye soko, Mate XT inauz...
null
## Huawei licha ya kupitia changamoto nyingi katika soko miaka kadhaa iliyopita bado wanahakikisha kuwa wateja wake wanapata bidhaa kutoka kwao. Huawei ni moja kati ya makampuni makubwa sana yanayojihusisha na maswala ya kutengeneza na kuuza simu na bila kuachana na aina nyingine ya teknolojia. Kupitia katika tovuti...
null
### Ukuaji wa teknolojia umegusa kila sekta ikiwemo sekta ya Kilimo. Teknolojia ya kilimo ni matumizi ya teknolojia katika kilimo ili kuboresha mavuno, ufanisi wa kazi pamoja na kuongeza faida. Kuna faida nyingi za kutumia teknolojia katika kilimo ikiwemo usimamiaji mzuri wa mashamba na kuongezeka kwa uzalishaji wa maz...
null
### Huawei # Huawei Mate XT launched, the world’s first tri-fold smartphone On September 10, Huawei launched Mate XT Ultimate Design, the world’s first tri-fold smartphone, which could unfold into a full size tablet and fold into a traditional phone. #### Display The phone has a 10.2-inch screen, the first ever and...
null
### Katika mahojiano ya hivi karibuni na Fox News, Mwenyekiti wa Microsoft na tajiri namba moja duniani Bill Gates, amebainisha kuwa amebadili simu na sasa anatumia simu yenye mfumo wa Android. “Hivi karibuni nimebadili kwenda Simu ya Android yenye wingi wa programu za Microsoft”, alisema katika mahojiano hayo. **Ali...
null
Huawei Mate XT. Siku ileile ambayo Apple ilizindua simu za iPhone 16, Huawei... HarmonyOS ni programu endeshi maarufu kabisa ya Huawei ambao ni magwiji kabisa... Ni wazi kwamba china ni moja kati ya soko kubwa kabisa katika maswala mazima ya... Huawei ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika Nyanja nzima ya say...
null
HuaweisimuUchambuzi Huawei Mate XT: Simu ya Mapinduzi Yenye Mikunjo Mitatu, Huawei katika Ubunifu wa Juu kabisa teknokona September 12, 2024 Huawei Mate XT. Siku ileile ambayo Apple ilizindua simu za iPhone 16, Huawei...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45979
null
### Huawei Mate XT. Siku ileile ambayo Apple ilizindua simu za iPhone 16, Huawei ilizindua simu yake inayosubiriwa kwa hamu, Mate XT — simu ya kwanza yenye uwezo wa kupinda mara tatu ambayo imetengenezwa kwa wingi na itaanza kupatikana kwa watu hivi karibuni. Ikiwa ni ya kwanza ya aina yake kwenye soko, Mate XT inauz...
null
## Huawei ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika Nyanja nzima ya sayansi na teknolojia, mara kwa mara kampuni imekua ilileta teknolojia kubwa ambazo huwa zinawashangaza wengi. Kuna kupindi Huawei kupitia sekta ya kutengeneza na kuuza simu janja iliweka rekodi mara baada ya kupita baadhi ya chapa kubwa duniani ...
null
## Huawei ina program endeshi (OS) ambayo sio Android na imeendaliwa rasmi katika kuhakikisha kuwa inatumika katika vifaa vya Huawei na inajulikana kama HarmonyOS. Huawei wameweka wazi kwamba toleo la HarmonyOS 4.00.108 litakua linaruhusu baadhi ya simu za Huawei kutumia toleo hilo. Orodha Nzima Ni Hii Hapa - Huawe...
null
## Huawei ni moja kati ya makampuni makubwa sana kwenye swala la teknolojia. Vifaa vyake vingi ambavyo vinaingia katika soko moja kwa moja huwa vinafanya vizuri. Kwa sasa kampuni imetambulisha spika za masikio –zile ambazo hazina waya—ambazo wamezipa jina la Huawei FreeBuds 5. Spika hizi zimewaaacha wengi mdomo wazi...
null
## Ni wazi kwamba ili simu janja ikamilike mara nyingi huwa vinachukuliwa vifaa vya kampuni mbalimbali na kuunganishwa ila kuunda simu janja lakini Huawei ni moja kati ya makampuni yanayopunguza adha hii. Huawei ni moja kati ya makampuni ya kiteknolojai ambayo yanapokea vizingiti vingi ila bado kamapuni inapambana kw...
null
## Licha ya baadhi ambayo kampuni ya Huawei imewekewa lakini bado siku hadi siku inazidi kuwashangaza watu maana *hawapoi!* Huawei ni moja kati ya makampuni makubwa kabisa katika maswala mazima ya teknolojia na ni wazi kuwa wana vitu vingi sana chini yao na kimojawapo ni utengenezaji na uuzaji wa simu janja. Fununu ...
null
HuaweiMate XsimuSmartphonesTeknolojia Muonekano Wa Huawei P60 Pro wavuja Mtandaoni! Hashiman (@hashdough) Nuh January 28, 2023 Licha ya baadhi ambayo kampuni ya Huawei imewekewa lakini bado siku hadi siku... HuaweiMate XsimuTeknolojia Tuendelee tuu kusubiri kuhusu Mate X kuingia sokoni Mato Eric July 28, 2019 Kama kun...
null
## Soko la simu janja za kujikunja linazidi kutanuka kwa kiasi kikubwa, watengenezaji wengi wa simu janja wameingia katika soko hili. Honor nao wameamua kuja na Magic Vs ikiwa ni simu janja ya kujikunja. Hii sio mara ya kwanza kwa kampuni ya Honor kutoka China kuja na simu ya kujikunja, na simu hii ni sehemu tuu ya m...
null
## Honor ni chapa ambayo mara ya kwanza kabisa ilikua inamilikiwa na kampuni ya Huawei na baadae ukauzwa na ikawa inajitegemea, kwa sasa chapa hiyo inakuja na program endeshi ya kwake inayojulikana kama MagicOS 7.0. Honor ni chapa ambayo inazalisha mambo/vitu vingi sana vinavyohusiana na mambo ya teknolojia kama vile...
null
## Ni miaka miwili imeshapita tangia toleo la mwisho la Huawei Mate kutoka, Mwaka huu mwezi septemba Huawei itatambulisha rasmi Mate 50. Huu ni mwendelezo wa matoeo ya Mate ambayo ni matoleo ya juu kabisa katika kampuni ya Huawei na jina lake mara nyingi huwa linajiendesha lenyewe. Ukiachana na baadhi ya vikwazo amb...
null
### Katika ulimwengu wa sasa teknolojia ya 5G inaendelea kushika kasi kwani makampuni mengi yamekuwa yakiwekeza kwa kiasi kikubwa na kuja na vifaa vya kidijiti ambayo vina uwezo wa kuendana na kasi ya teknolojia husika. Honor ambayo hapo awali ilikuwa chini ya mwamvuli wa Huawei lakini ikaamua kusimama yenyewe na kut...
null
### Tumeshaingia nusu yapili ya mwaka 2022 si vibaya tukatazama matoleo mapya ya simu za makampuni mbalimbali yanayotarajiwa kutoka katika kipindi hiki cha mwaka. Tutapangilia matoleo hayo kufuata mwezi ambao simu inategemewa kuzinduliwa, kuanzia hapa karibuni. **Nothing Phone (1)** Kampuni ya Nothing imepanga kuzi...
null
### Mauzo ya simu janja nchini Uchina katika robo ya nne ya mwaka 2021 yameshuka kwa asilimia 11 lakini hilo halijafanya Honor kushindwa kushika nafasi ya pili tangu itoke chini ya mwamvuli wa Huawei. Takwimu zilizotolewa na Counterpoint (kampuni iliyojikita kufanya utafiti wa mauzo ya simu janja kwa kila robo ya mwa...
null
Mauzo ya simu janja nchini Uchina katika robo ya nne ya mwaka 2021 yameshuka... Baada ya mafanikio makubwa ya haraka, TikTok wapo kwenye hatihati ya kufungiwa... Uchina ni moja ya nchi ambayo haina haiba katika kuweka katazo katika kitu... Uchina kama taifa kubwa linaongoza kwa kuwa na magari yanayotumia nishati ya....
null
### Kwenye ulimwengu wa simu janja ni vigumu kutoitaja Huawei na hii inatokana na rununu ambazo wamekuwa wakizitoa kwa miaka tuu na bado safari yao inaendelea. Hivi karibuni walizindua Huawei Nova 8 SE ambayo yenyewe ni ya 4G. Kwa miaka ya karibuni Huawei imekuwa ikipitia kipindi kigumu kibiashara kwenye mataifa meng...
null
### Mapato ya Huawei yaporomoka zaidi huku vikwazo vya kibiashara walivyowekewa na serikali ya Marekani vikionekana kuchangia zaidi tatizo hili. Ni zaidi ya miezi tisa sasa kampuni hii inakutana na kuporomoka kwa mapato katika ripoti zake. Mapato ya Huawei yaliporoka kwa asilimia 32 katika kipindi cha miezi mitatu ya ...
null
### Huawei ambao wamekuwa wakipeleka programu endeshi ya kwao kwenye simu janja nyingi zaidi wanatazamiwa kufanya uzinduzi wa bidhaa mbalimbali mnamo Oktoba 21 ya mwaka huu. Katika uzinduzi huo ambao utafanyika Vienna-Austria saa 10 jioni saa za Afrika Mashariki na Bw. Derek Yu-Rais wa Mashariki ya kati ya Ulaya, Ulay...
null
### Takwimu za mauzo ya simu janja kwa mwezi Julai pekee huko Uchina zinaonyesha kwa makampuni makubwa kama Apple kuzidiwa nguvu na washindani wenza. Nchi ambayo Apple inapata wakati mgumu wa kufanikisha inaibuka kinara kimauzo ni Uchina; ni nadra kwa kampuni hiyo kuyazidi washindani wenza ambao ni wazawa nchini humo....
null
Programu endeshi (HarmonyOS 2.0) ambayo haijafikisha hata miezi mitatu tangu... Katika programu endeshi kubwa hivi sasa HarmonyOS ni miongoni mwao ambao hadi... Unakumbuka kuna kipindi Huawei ilikua iko juu sana? ilikua ikichuana vikali... Katika mipango ambayo Huawei ipo nayo kwa sasa ni kutoa simu janja yenye kame...
null
Huawei wamekuwa kazini kwa miezi kadhaa wakitengeneza programu endeshaji ya... Simu ya Huawei Y5 Prime toleo la 2018 ni moja ya simu ya bei nafuu kutoka kwa... Huawei wazidi kuporomoka kimauzo katika soko la uuzaji simu duniani. Data... Huawei wataendelea kutengeneza simu bila huduma za Google kwenye simu zake hadi....
null
Kila siku kuna simu janja mpya inatoka, iwe ni toleo jipya au simu ambayo... Taarifa zinasema kwamba Kampuni ya Huawei itasitisha kupeleka bidhaa zake... Karibu miezi miwili sasa tangu Huawei Mate 10 kuanza kupatikana nchi nyingi... Tunajua kabisa kuwa hapo awali takwimu zilikua zinaonyesha Samsung akiwa namba... K...
null
### Misheni ya Polaris Dawn, inayoendeshwa na SpaceX, ni hatua kubwa katika uvumbuzi wa kibiashara wa anga za juu. Uzinduzi wake uliofanyika tarehe 10 Septemba 2024, haukuwa safari nyingine tu ya angani, bali ni hatua ya kijasiri ya kusukuma mipaka ya kile kinachowezekana katika misheni za kibinafsi za anga za juu. P...
null
### Kampuni ya Marekani ya Orion Span Inc ya imetangaza mpango wa kujenga hoteli ya kwanza ya anga ya juu iitwayo ‘Stesheni ya Aurora’. Mpango huo bado uko kwenye kipindi cha kukusanya uwekezaji, lakini sasa watu wanaweza kuweka nafasi safari ya kwenda hoteli hii kwa kulipa dola za kimarekani elfu 80 kama amana ya kw...
null
### Uamuzi wa kujitoa Umoja wa Ulaya unaifanya Uingereza kufikiria kila namna ambayo itawasaidia wao baada ya kukamilisha mchakato mzima wa kujiondoa kutoka kwenye umoja huo miezi kadhaa ijayo. Mwaka 2003, Umoja wa Ulaya iliridhia ujenzi wa satelaiti kwa matumizi ya pamoja inayofahamiika kama *Galileo* ambayo inatara...
null
### Ndege ya shirika la ndege la Oman imepasua tairi ikiwa inatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jumamosi jioni. ### Hakuna aliyejeruhiwa katika tukio hili ambalo uchunguzi bado unaendelea na vyanzo vya awali vya habari vinasema kwamba hii ilitokana na kuwapo kitu katika njia ya ndege. Ndege hiyo na...
null
### Jared Isaacman Mission Commander Jared Isaacman is the CEO of Shift4 (NYSE: FOUR), the leader in integrated payment processing solutions. He is an accomplished pilot & astronaut with over 7,000 flight hours of aviation experience, including ratings in multiple experimental and ex-military aircraft. He was the com...
null
AngaSpaceX Polaris Dawn: #SpaceX inazidi kujikita katika kumiliki biashara wa Safari za Anga za Juu teknokona September 12, 2024 Misheni ya Polaris Dawn, inayoendeshwa na SpaceX, ni hatua kubwa katika...
null
Misheni ya Polaris Dawn, inayoendeshwa na SpaceX, ni hatua kubwa katika... Takriban satelaiti zote za mtandao za Starlink ambazo roketi ya SpaceX Falcon 9... Tangazo la kazi na ahadi ya mishahara minono limetolewa na Huawei. Kama upo... Kiongozi wa juu katika taasisi inayojihusisha na utafiti wa masuala ya anga... ...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45968
null
### Misheni ya Polaris Dawn, inayoendeshwa na SpaceX, ni hatua kubwa katika uvumbuzi wa kibiashara wa anga za juu. Uzinduzi wake uliofanyika tarehe 10 Septemba 2024, haukuwa safari nyingine tu ya angani, bali ni hatua ya kijasiri ya kusukuma mipaka ya kile kinachowezekana katika misheni za kibinafsi za anga za juu. P...
null
### Katika tukio la kila mwaka la **Apple Glowtime Event 2024**, kampuni ya Apple imewasilisha bidhaa mpya na maboresho kadhaa yaliyosubiriwa kwa hamu kubwa. Haya hapa ni matukio makuu na bidhaa zote zilizozinduliwa: ### 1. **iPhone 16 Series** Apple imezindua rasmi mfululizo wa **iPhone 16** ambao unajumuisha: **iP...
null
### Simu nyingi katika miaka ya karibuni zimekuwa zikiwekewa nakshi nakshi kwa sehemu inapokuwa kamera ya mbele kuachwa uwazi mithili ya herufi “V” au kuwa na duara dogo kuzunguka eneo hilo la kamera ya mbele. Samsung wanaonekana kutaka kuja na kioo ambacho kitakuwa hakina duara dogo kwenye eneo la kamera ya mbele na...
null
### Hivi karibuni unaweza jikuta umenunua kompyuta mpyaaaa alafu ikatae kuwekwa Windows 7 na 8.1. Yaani zaidi ya kutumia toleo la Windows 10 haitakubali Windows 7 au 8 au ata itakapokubali haitafanya kazi kwa ufanisi mzuri. ### Katika uamuzi ambao umewashangaza wengi kampuni ya Microsoft imesema itanyima kutoa huduma ...
null
### Wateja zaidi ya laki moja wakosa intaneti baada ya makampuni yanayotoa huduma ya intaneti kushambuliwa na kirusi kiitwacho Mirai. Kiasi hicho cha udukuzi kimeingia katika kumbukumbu kutokana na kuathiri kompyuta nyingi sana. Uharibifu huo ullizikumba kampuni kubwa kama *Talk Talk, *shirika la Posta la Uingereza n...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45964
null
### Katika tukio la kila mwaka la **Apple Glowtime Event 2024**, kampuni ya Apple imewasilisha bidhaa mpya na maboresho kadhaa yaliyosubiriwa kwa hamu kubwa. Haya hapa ni matukio makuu na bidhaa zote zilizozinduliwa: ### 1. **iPhone 16 Series** Apple imezindua rasmi mfululizo wa **iPhone 16** ambao unajumuisha: **iP...
null
### Katika kusaidia bidhaa za mbalimbali za Apple kuweza kupatikana kirahisi mara zinapopotea AirTags kimekuwa ni kifaa muhimu sana kwa wale ambao wanapenda kuweka ulinzi kwenye vitu vyao vya kidijiti. AirTag kifaa kidogo (mithiri sarafu) ambacho kinatengenzwa na Apple kazi yake ikiwa ni kumuwezesha mtu kupata kifaa ...
null
### Watumiaji wa Apple walianza kutumia na kupata vifuatiliaji vya AirTag kwa zaidi ya nusu mwaka na sasa watumiaji wa Android pia wanaweza kuvitumia. Kampuni ya Apple imetoa programu ya Android ambayo inaruhusu wale walio na programu endeshi hiyo kupata AirTags. Programu, inayoitwa Tracker Detect itaruhusu watumiaji...
null
### Usalama wa vitu vyetu vya kidijitali ni muhimu sana hasa ukizingatia ulimwengu huu buliotawaliwa na teknolojia ambapo bidhaa nyingi ni ghali. Ni kitu kizuri kama inawezekana kutunza Air Tag na AirPods Pro sehemu moja. Wengi wetu tunafahamu bei ya AirPod Pro; kwa kifupi tuu ni ghali lakini pia ni ndogo kwa umbo kia...
null
*Apple Intelligence, Kamera Bora Zaidi, Na Maisha Marefu ya Betri* ### Katika uzinduzi wake mpya, Apple imeleta mapinduzi kwa kutangaza iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max, vifaa vilivyoboreshwa kwa ubunifu wa hali ya juu na uwezo wa kuvutia. Simu hizi mpya zinatambulisha sifa za kipekee kama vile chipu ya A18 Pro, skr...
null
## iOS ni progamu endeshaji ambazo zinapatikana katika vifaa vya iPhone na iPad. Kwa sasa toleo ambalo lipo ni lile la iOS 14 lakini iOS 15 bado iko njiani. Tunajua kabisa kila toleo lazima linakuwa linakuja na kitu cha utofauti na toleo la nyuma (maboresho) jambo hili ni moja kati ya vitu vinavyowapa watu shauku juu...
null
#### Leo, WhatsApp imetangaza kupitia Twitter kwamba programu yao maarufu ya WhatsApp inatumika kuhudumia ujumbe bilioni 10 kila siku. Kwa undani zaidi kuna takribani ujumbe takribani bilioni 4 zinazoingia na zinazotoka bilioni 6. WhatsApp Messenger ni programu ambayo inaruhusu kubadilishana ujumbe bila ya kutumia mfu...
null
## Kwenye vifaa vingi vya kielektroniki ambavyo tunatumia huwa vinakusanya baadhi ya taarifa zetu sio? Lakini kingine kizuri mara nyingi huwa hazikusanywi mpaka vifaa hivyo vituombe ruhusa, moja ya kifaa hicho ni simu ya iPhone kutoka Apple. Kuna sehemu huwa inauliza ila App fulani iweze kufuatilia baadhi ya taarifa ...
null
AppleIPhone Apple Yazindua iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max: Ina Nguvu, Inakuja na Chipu Mpya na Yenye Ufanisi Zaidi LanceBenson September 10, 2024 Apple Intelligence, Kamera Bora Zaidi, Na Maisha Marefu ya Betri Katika...
null
Apple Intelligence, Kamera Bora Zaidi, Na Maisha Marefu ya Betri Katika... Hadi kufikia nusu mwaka 2024 tumeshuhudia maendeleo makubwa katika teknolojia... Kwa mantiki hiyo ni kwamba chini ya 8% ndio zinapigwa na kamera za kawaida? Hii... Si mara zote unaweza kupata picha nzuri kwa kutumia simu yako, tunafahamu kuna...
null
Apple Intelligence, Kamera Bora Zaidi, Na Maisha Marefu ya Betri Katika... Apple iko mbioni kuzindua iPhone 16 na iPhone 16 Plus, simu zinazotarajiwa... Katika ulimwengu wa sasa, simu za mkono zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu.... Watu wengi hununua simu zilizotumika kwa mda (used phones) kutokana na hali ya... ...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45961
null
*Apple Intelligence, Kamera Bora Zaidi, Na Maisha Marefu ya Betri* ### Katika uzinduzi wake mpya, Apple imeleta mapinduzi kwa kutangaza iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max, vifaa vilivyoboreshwa kwa ubunifu wa hali ya juu na uwezo wa kuvutia. Simu hizi mpya zinatambulisha sifa za kipekee kama vile chipu ya A18 Pro, skr...
null
### Hivi karibuni simu za kukunja zimeleta mapinduzi makubwa kwa wapenzi wa simu za mkononi. Zikiwa na vioo vya kisasa vinavyokunjika, vifaa hivi vinaonesha uvumbuzi mkubwa na uwezo wa kubadilika ili kukidhi mahitaji ya watumiaji. Aina mbili maarufu zinazotawala soko ni simu za *flip* na simu za *fold*. Lakini, ni zipi...
null
### Simu ya kwanza ya Pixel ililetwa Oktoba mwaka 2016, na kwa kiasi flani ni simu zilizopata mafanikio flani. Inasemakana Google waliuza simu za Pixel takribani milioni 4 mwaka 2017. Data za mauzo zilizotolewa na shirika linaloheshimika kwa data, IDC, zinaonesha Google waliuza simu za Pixel milioni 3.9 kwa mwaka jana...
null
#### Siku chache zilizopita niliandika juu ya sakata la simu za Android kuhusishwa na utumwaji wa barua pepe za SPAM baada ya kuathiriwa na kutumiwa na vijidudu flani vya elecktronik maarufu kwa mfumo wa BOTNET. Kwa habari za sasa ni kwamba lawama si kwa programu ya Android ila ni kwa mtumiaji mwenyewe. Ni kweli And...
null
### Simu janja zinazidi kubeba teknolojia za kisasa sana na Google na Lenovo wanazidi kutuonesha ni jinsi gani teknolojia kubwa na za kisasa zinaweza ingizwa kwenye simu janja mapema sana. ### Je ushasikia kuhusu teknolojia ya Virtual Reality (VR) inayohusisha uvaaji wa kitu na kuweza kuona mambo kama vile na wewe upo...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45957
null
### Hivi karibuni simu za kukunja zimeleta mapinduzi makubwa kwa wapenzi wa simu za mkononi. Zikiwa na vioo vya kisasa vinavyokunjika, vifaa hivi vinaonesha uvumbuzi mkubwa na uwezo wa kubadilika ili kukidhi mahitaji ya watumiaji. Aina mbili maarufu zinazotawala soko ni simu za *flip* na simu za *fold*. Lakini, ni zipi...
null
**Elon Musk ameendelea kusukuma mipaka ya maendeleo ya teknolojia kupitia mtandao wake wa kijamii X (zamani Twitter). Safari hii, Musk ameangalia upande wa video, akizindua X TV App, jukwaa jipya ambalo linatoa huduma sawa na YouTube kwenye runinga janja zetu nyumbani. Lakini, je, hii X TV App ifanana vipi na YouTube, ...
null
## Kwa baadhi ya maeneo kama Tanzania mitandao ya picha na video za kingono yamefungiwa, kwa sisi ni wazi mtandao kama vile Pornhub umefungiwa sio? Lakini ilikua ukiingia katika kurasa zake katika mitandao ya kijamii unona vitu wanavyotuma humo. Kila mtandao wa kijamii una vigezo na masharti katika utumiaji wake sio?...
null
### Moja ya mtandao wa kijamii ambayo haina watumiaji wengi duniani ni Twitter lakini imekuwa kwenye ushindani bila kusahau maboresho ambayo yanalengakuufanya kupata wateja wapya lakini kulinda kutopoteza ambao tayari wana akaunti. Inawezekana ukawa una akaunti Twitter lakini si mtumiaji wa mara kwa mara na kuna wengi...
null
### Katika kile kinachoonekana kama maboresho makubwa katika matumizi ya mtandao wa kijamii wa Facebook, kipengele cha kuweza kuhariri picha katika tovuti kimeongezwa. Uwezo huu umekuja ikiwa ni wakati ambao tayari katika apps nyingi za mitandao ya kijamii zina uwezo kufanya uhariri wa picha mnato na video. **Uhariri...
null
Elon Musk ameendelea kusukuma mipaka ya maendeleo ya teknolojia kupitia mtandao... Katika juhudi za kuendelea kuwa jukwaa bora zaidi kwa watumiaji na... Instagram imeleta maboresho mapya ambayo yatabadilisha jinsi unavyotumia... Hivi karibuni, mtandao wa X umetambulisha kipengele kipya kinachoitwa... Threads ni mta...
null
Elon Musk ameendelea kusukuma mipaka ya maendeleo ya teknolojia kupitia mtandao... Hivi karibuni, mtandao wa X umetambulisha kipengele kipya kinachoitwa... Threads ni mtandao ambao hauna muda mrefu sana na umalikiwa na kampuni ya Meta... Threads ni moja kati ya mtandao wa kijamii mpya ambao ujio wake uliwaacha watu....
null
Elon Musk ameendelea kusukuma mipaka ya maendeleo ya teknolojia kupitia mtandao... Hivi karibuni, mtandao wa X umetambulisha kipengele kipya kinachoitwa... Threads ni mtandao ambao hauna muda mrefu sana na umalikiwa na kampuni ya Meta... Threads ni moja kati ya mtandao wa kijamii mpya ambao ujio wake uliwaacha watu....
null
Mtandao wa KijamiiTwitter Elon Musk Azindua X TV App: Jukwaa la Video Linalokusudia Kushindana na YouTube. Je, Litafua Dafu? LanceBenson September 5, 2024 Elon Musk ameendelea kusukuma mipaka ya maendeleo ya teknolojia kupitia mtandao...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45950
null
**Elon Musk ameendelea kusukuma mipaka ya maendeleo ya teknolojia kupitia mtandao wake wa kijamii X (zamani Twitter). Safari hii, Musk ameangalia upande wa video, akizindua X TV App, jukwaa jipya ambalo linatoa huduma sawa na YouTube kwenye runinga janja zetu nyumbani. Lakini, je, hii X TV App ifanana vipi na YouTube, ...
null
## Instagram imweka wazi kipengele hichi cha uwezo wa kushusha Reels zote ambazo zinapatikana kwa akaunti ambazo kila mtu anaweza kuziona (public accounts). Kumbuka instagram kuna akaunti za aina mbili, ile ambayo kila mtu anaweza kuingia (public account) na ile nyingine ambayo mpaka utume ombi (private account) na z...
null
Instagram inafanya majaribio kuongeza uwezo wa watumiaji wake kuruhusiwa... Instagram imweka wazi kipengele hichi cha uwezo wa kushusha Reels zote ambazo... Kipengele hiki kutokea instagram wengi walikua wanakisubiria kwa hamu sana,... Meta inamiliki mitandao ya kijamii ya WhatsApp, Facebook Na Instagram. Pengine......
null
## Ngoja kwanza, sio hashtags kabisa lakini vile vile huwezi sema sio hashtag maana vipengele hivi vinafanana kabisa jinsi ya utumikaji. Mtandao wa Threads umeweka wazi kabisa kwamba unakuja na kipengele hicho ambacho kazi yake dhahiri ni kuonyesha au kuweka wazi mada kuu kwa wakati huo kwa mfumo kama wa hashtags. K...
null
## Threads ni moja kati ya mtandao wa kijamii mpya ambao ujio wake uliwaacha watu katika mshangano, na ni wazi siku yake ya kwanza ulipata watumiaji wengi sana. Mtandao huo wa Threads unamilikiwa na Meta ambao wanamiliki mitandao mingine ya kijamii kama vile WhatsApp, Instagram na Facebook. Kilichotokea ni kwamba mf...
null
## Facebook ni moja kati ya mtandao wa kijamii mkongwe kabisa na wenye watumiai wengi zaidi kwa siku. Mara kwa mara mtandao huo wa facebook umeonekana ukiwa unabadilisha nembo yake mpaka kufikia hii ya sasa, na kwa sasa hakuna mabadiliko makubwa. Unaweza ukawa unajiuliza kwanini mtandao unapitia mambo yote hayo, ila...
null
Kama unapitia katika post za mtandao wa X ambao zamani ulikua unajulikana kama... Mtandao wa kijamii wa X, uliokuwa ukifahamika kama Twitter, unategemea kuja na... Mtandao wa kijamii wa Threads watoa toleo la kutumika kwenye vivinjari, baada... Bwana Elon Musk, mmiliki wa mtandao wa kijamii wa X, uliokuwa unafahamik...
null
Watu wengi hupenda kutumia mbadala wa programu halali ya WhatsApp, hizi... YouTube ni mtandao wa kijamii maarufu sana ambao unajihusisha na maswala mazima... Kwa kawaida unaweza kutuma meseji katika mtandao wa WhatsApp kwa namba ambazo... Kwa sasa katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp ukiwa umetuma ujumbe kimakosa.....
null
FacebookMtandao wa Kijamii Facebook au Twitter: Ipi Ilishinda Kombe la Dunia? ecay July 16, 2014 Jumapili ilyopita, nchi ya Ujerumani iliibuka kinara wa fainali za kombe la... IntanetiMtandao wa Kijamii CIA Yajiunga Twitter Kwa Staili Ya Kuvutia teknokona June 7, 2014 Shirika la kijasusi la Marekani (CIA) limejiunga T...