name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | ### Kukamatwa na Kuachiliwa kwa Pavel Durov wa Telegram: Uhuru wa Kujieleza Mtandaoni na Changamoto zake
Kukamatwa na kuachiliwa kwa Pavel Durov, Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram,...
Telegram, moja ya programu maarufu zaidi za kutuma ujumbe mfupi duniani,...
Katika zama hizi za kidijitali, Telegram huonekana kama ni ... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45915 |
null | ### Kukamatwa na kuachiliwa kwa Pavel Durov, Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram, kumezua mjadala mkubwa kuhusu usawa kati ya uhuru wa kujieleza na majukumu ya wakuu wa kampuni za mitandao ya kijamii.
Durov alikamatwa katika uwanja wa ndege wa Paris kama sehemu ya uchunguzi wa kisheria unaohusisha madai kadhaa ya uhalifu... |
null | ### Kama wewe ni mtumiaji wa App ya Google Photos basi fahamu uwezo wa kuhariri picha zako utadhidi kuwa bora zaidi baadhi ya Google kuamua huduma ambazo zilikuwa kwa watumiaji wa Google Pixels tuu au wale wanaolipia huduma ya Google One, zinaenda kufunguliwa kwa watumiaji wote bure.
Hii inamaanisha kuwa unaweza kufur... |
null | ### Tayari tulishaandika kuhusu maamuzi ya Facebook ya kuboresha zaidi huduma yao ya kuchat ya Messenger – Soma – Facebook Kuifanya Messenger Kuwa Zaidi Ya Messenger!. Katika kuzidi kuonesha uboreshwaji wa huduma hiyo kampuni hiyo imetumia anuani yao ya www.messenger.com kwa ajili ya huduma hiyo.
### Kwa sasa mtu ataw... |
null | ### Kwa mara ya nne Space x wamefanikiwa kutua roketi katika meli baada ya kuitumia kupeleka mzigo katika anga.
### Jambo hili lilikuwa ni ndoto miaka kadhaa iliyopita na kufanikiwa kwake ni dalili kwamba sasa roketi zitatumiwa kwa zaidi ya safari moja jambo ambalo litapunguza kwa kiasi kikubwa gharama za kurusha rok... |
null | Google Photos is the home for all your photos and videos, automatically organized and easy to share.
- “The best photo product on Earth” – The Verge
- “Google Photos is your new essential picture app” – Wired
The official Google Photos app is made for the way you take photos today and includes essential features l... |
null | # Google Photos: Backup & Edit 4+
## Smart Photo and Video Storage
-
- Free
- Offers In-App Purchases
## Screenshots
## Description
Google Photos is a smarter home for all your photos and videos, made for the way you take photos today.
“The best photo product on Earth” – The Verge
“Google Photos is your new ess... |
null | ### Kampuni ya Apple imetoa mwaliko kwa waandishi wa habari za teknolojia na wadau mbalimbali wa tasnia hiyo kuhudhuria tukio maalum katika ukumbi wa Steve Jobs Theater huko Cupertino, California siku ya Jumatano tarehe 12 Septemba 2018.
Siku hiyo inatarajiwa kuambatana na kutangazwa simu mpya za iPhone 9 na iPhone 1... |
null | Kama wewe ni mtumiaji wa App ya Google Photos basi fahamu uwezo wa kuhariri...
Ulimwengu wa teknolojia unaendelea kupiga hatua kwa kasi ya ajabu. Leo,...
Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia ya Artificial Intelligence (AI), Akili...
Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya akili mnemba (AI) imebadilisha...
Maen... |
null | Kama wewe ni mtumiaji wa App ya Google Photos basi fahamu uwezo wa kuhariri...
Maisha yetu yanazidi kuwa rahisi na hii yote inasababishwa na ukauji wa...
Picha za kunakili ukurasa ni njia mojawapo ya kupata kile ambacho kinaonekana...
Kwa wiki kadhaa vyanzo mbalimbali vya habari vimekuwa vikitoa dondoo kwa yale...
... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45860 |
null | ### Kama wewe ni mtumiaji wa App ya Google Photos basi fahamu uwezo wa kuhariri picha zako utadhidi kuwa bora zaidi baadhi ya Google kuamua huduma ambazo zilikuwa kwa watumiaji wa Google Pixels tuu au wale wanaolipia huduma ya Google One, zinaenda kufunguliwa kwa watumiaji wote bure.
Hii inamaanisha kuwa unaweza kufur... |
null | ### Je, unatafuta mchezo mzuri wa kuchangamsha akili na kukuza ubunifu wako? Usiangalie mbali, pakua gemu la Flow. Flow ni mchezo wa kipekee unaounganisha vipengele vya mafumbo na mbio, na kuifanya kuwa chaguo bora kwa watu wa rika zote.
### Jinsi ya Kucheza #Flow
#Flow unachezwa kwa kuunganisha dots za rangi sawa kw... |
null | ### Baada ya kiu ya watumiaji wa WhatsApp kusubiri kipengele cha kuweza kufuta meseji uliyomtumia mtu, sasa rasmi kipengele hicho kimewezeshwa kwa watumiaji takribani wote duniani kote.
Kipengele hicho kitamuwezesha mtu kufuta meseji aliyotuma kwa rafiki yake au kwenye kundi (Group Whatsapp) pindi pale atakapoona kuna... |
null | ### Katika ulimwengu wa sasa vifaa vya kidijiti vinatengezwa kuweza kufanya kazi mbalimbali ambazo hata bila ya mhusika kutumia nguvu; teknolojia ya leo unaweza ukaiweka simu kwamba ikifika saa fulani izime/iwake, ipige kengele, intaneti izime, n.k.
Binafsi ni mtu ambaye natumia muda mwingi tuu kwenye mtandao nikifany... |
null | charlie tranter
Amazing! I love it! So calming and relaxing. For all those complaining about ads, there's this amazing, high tech thing called Root, these amazing apps called Lucky Patcher and AdAway, pair them all together, you get a complete experience, all levels unlocked, no ads, all for free. Look into rooting. B... |
null | # Flow Free 4+
## Fun and Relaxing Brain Puzzle
## Big Duck Games LLC
### Designed for iPad
-
- Free
- Offers In-App Purchases
## Screenshots
## Description
Flow Free® is a simple yet addictive puzzle game.
Connect matching colors with pipe to create a Flow®. Pair all colors, and cover the entire board to solv... |
null | ### Arrow Launcher sasa itafahamika kwa jina la Microsoft Launcher, Kampuni ya Microsoft imetangaza kubadili jina.
Arrow inayozalishwa na Microsoft ilianza kutumika tangu mwaka 2015 katika Simu Janja za Android na imekuwa na watumiaji wengi sehemu kadhaa za Dunia.
Launcher ni app mojawapo katika simu za mfumo wa Andr... |
null | Je, unatafuta mchezo mzuri wa kuchangamsha akili na kukuza ubunifu wako?...
Ndio kupitia Google.Com unaweza ukacheza michezo mingi tuu, hii watu wengi...
XBox ni moja kati ya kifaa cha magemu chenye watumiaji wengi na umaarufu mkubwa...
Rockstar Games Inc ndio inamiliki gemu la GTA na mengine mengi, gemu hizi ni...
... |
null | Je ushawahi kujiuliza maana ya i katika iPhone na iOS? Kwa nini Apple wanatumia...
Je, unatafuta mchezo mzuri wa kuchangamsha akili na kukuza ubunifu wako?...
Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia ya Artificial Intelligence (AI), Akili...
HarmonyOS ni programu endeshi maarufu kabisa ya Huawei ambao ni magwiji kabisa.... |
null | Je, unatafuta mchezo mzuri wa kuchangamsha akili na kukuza ubunifu wako?...
XBox ni moja kati ya kifaa cha magemu chenye watumiaji wengi na umaarufu mkubwa...
Rockstar Games Inc ndio inamiliki gemu la GTA na mengine mengi, gemu hizi ni...
Ni wazi kwamba kampuni za magemu zinafanya vizuri sana kwa kipindi hichi na ni... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45815 |
null | ### Je, unatafuta mchezo mzuri wa kuchangamsha akili na kukuza ubunifu wako? Usiangalie mbali, pakua gemu la Flow. Flow ni mchezo wa kipekee unaounganisha vipengele vya mafumbo na mbio, na kuifanya kuwa chaguo bora kwa watu wa rika zote.
### Jinsi ya Kucheza #Flow
#Flow unachezwa kwa kuunganisha dots za rangi sawa kw... |
null | ### Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia ya Artificial Intelligence (AI), Akili Mnemba imekuwa na nafasi kubwa katika kuboresha maisha na kazi zetu kila siku. Katika chapisho hili, tutachunguza programu tano bora za bure za AI ambazo unaweza kutumia kuboresha ufanisi wako binafsi na kuongeza tija katika kazi zako.
###... |
null | ### Licha ya kuwa watu wengi wanasema kuwa mtandao huo umekua ukiiba (ukinakili) vipengele mbalimbali kutoka snapchat bado hili halijawashusha kasi yao.
Mpaka sasa kampuni bado inafanya juu chini ili kuhakikisha kuwa watumiaji wa mtandao huo wanatumia kile kilicho bora zaidi.
Kampuni imekuja na sticker ambazo mtu un... |
null | ### Google Finance ni tovuti maalum ya Google kwaajili ya habari za kibiashara pamoja na taarifa za kifedha. Tovuti hii ilianzishwa na Google mwaka 2006 na inasaidia watumiaji kuona dhamani za hela, Utendaji wa sekta mbalimbali katika soko la Marekani, Orodha ya masoko bora na habari muhimu za kibiashara.
Kama wewe n... |
null | ### Kwa watu waliokweishatumia usafiri wa mabasi ya mwendo kasi jijini Dar es Salaam basi wanajua moja ya changamoto kubwa iliyokuwepo ni ukataji wa tiketi. Kadi janja kwa ajili ya usafiri wa mabasi hayo zaanza kupatikana.
Kadi janja hizo (Smart cards) zitasaidia kwa kiasi kikubwa katika kupunguza foleni za ununuaji ... |
null | AIChatGPTTechnologyTeknolojiaUchambuzi Programu 5 Bora za Bure za AI(Akili Mnemba). Unaweza Kuzitumia Kuboresha Maisha na Kazi Zako. LanceBenson July 3, 2024 Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia ya Artificial Intelligence (AI), Akili... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45758 |
null | ### Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia ya Artificial Intelligence (AI), Akili Mnemba imekuwa na nafasi kubwa katika kuboresha maisha na kazi zetu kila siku. Katika chapisho hili, tutachunguza programu tano bora za bure za AI ambazo unaweza kutumia kuboresha ufanisi wako binafsi na kuongeza tija katika kazi zako.
###... |
null | ## Apple Music ni moja katika ya masoko ya muziki yanalipa vizuri wasanii na watengenezaji wengine wa maudhui ya sauti.
Lakini kwa sasa Apple music nayo ina masharti mapya kwa waandaji wa maudhui hao, na kwa haraka haraka ni maamuzi mazuri.
Kwa haraka haraka ni kwamba kampuni ya Apple inauza bidhaa ambazo sio za kwa... |
null | ### Binti wa miaka 12 huko Marekani (Colorado) anashikiliwa na polisi baada ya kujaribu kumuua mama yake mara mbili kwa sumu kisa iPhone. Binti huyo alimuwekea mama yake sumu ya ‘Bleach’ kisa mama yake kumpokonya iPhone yake siku chache kabla ya tukio hilo.
#### Ilikuwaje?
Mara ya kwanza mama huyo kugundua kinywaji c... |
null | ### Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri sana wa TeknoKona utakuwa unajua kuhushiana na gari la kujiendesha lenyewe kutoka Apple (iCar?).
Kama ulipitia swali la hapa basi jibu lake ni 2021. Na sababu za kusogezwa mbele kwa muda zipo nyingi tuu lakini ile kubwa ni kwamba kampuni inaboresha teknolojia ambayo italiwezesha gar... |
null | ### Kufuatia uzinduzi wa simu za iPhone kwa mwaka 2018 ambazo zinahusisha iPhone XS, iPhone XS Max na iPhone XR, imebainika kwamba sasa simu zake nyingi za modeli zilizopita, ikiwamo iPhone X, sasa hazitatengezwa tena.
Simu hizo zilizoondolewa sokoni, na ambazo pia zimefutwa rasmi katika tovuti ya Apple ni pamoja na i... |
null | Apple Music ni moja katika ya masoko ya muziki yanalipa vizuri wasanii na...
Apple Music ambayo inamilikiwa na kmapuni ya Apple ni huduma inayohusu maswala...
Kwa mara ya kwanza kabisa App hizi zinaanza kupatikana kama App katika Windows...
Kipengele hiki kitaanza rasmi katika vifaa vya iPhone, iPad na hata Apple TV... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45574 |
null | ## Apple Music ni moja katika ya masoko ya muziki yanalipa vizuri wasanii na watengenezaji wengine wa maudhui ya sauti.
Lakini kwa sasa Apple music nayo ina masharti mapya kwa waandaji wa maudhui hao, na kwa haraka haraka ni maamuzi mazuri.
Kwa haraka haraka ni kwamba kampuni ya Apple inauza bidhaa ambazo sio za kwa... |
null | ## Kuna App nyingi sana katika soko la App la App Store lakini hizo ni chache sana kulinganisha na zile ambazo hazipo kabisa katika soko hilo.
Kumbuka Apple ndio wana taratibu ngumu kidogo za kufuata mpaka App iingie katika soko hili la App Store ukilinganisha na masoko mengine kama vile Google Play Store.
Apple ime... |
null | ### Twitter ni moja ya mitandao ya kijamii ambao umejikita zaidi kuhabarisha, kukutanisha na watu lakini katika mtindo wa kipekee kabisa kuanzia idaidi ya maneno kwa chapisho, muonekano wake na sasa inaboreshwa kutanua wigo wa watumiaji kuonyesha hisia zao.
Unachapisha kitu kwenye Twitter watu mbalimbali wanaweza kupe... |
null | ### Kuna ripoti zimezagaa mtandaoni zinazoonesha kuna uwezekano mkubwa wa toleo lijalo iPhone la chini kuwa na diski ujazo wa GB 32 badala ya GB 16 kama ilivyozoeleka kwa muda mrefu. Toleo la iPhone linalosuburiwa kwa sasa ni iPhone 7.
Kwa mara ya kwanza kabisa Apple kuanza kuja na matoleo ya iPhone ya GB 16 ilikuwa m... |
null | *Google Maps *imekuwa msaada mkubwa sana kwa wale wote ambao wanakwenda au wanataka kwenda sehemu ambayo hajawahi kuifika/kutoifahamu kabisa. Sasa Google imeamua kurahisisha mambo kwenye *Google Map*.
Katika masasisho ambayo yalianza kupatikana mapema mwaka huu huu ila si wengi wanaojua hasa kwa nchi za Afrika ni kwa... |
null | App StoreAppleapps Apple Itaanza Kukubali App Ambazo Hazipo Kwenye App Store! Hashiman (@hashdough) Nuh December 19, 2023 Kuna App nyingi sana katika soko la App la App Store lakini hizo ni chache sana...
App StoreAppleIPhoneTeknolojia APPLE: Tegemea Ongezeko La Matangazo Ndani Ya iPhone Yako! Hashiman (@hashdough) Nu... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45498 |
null | ## Kuna App nyingi sana katika soko la App la App Store lakini hizo ni chache sana kulinganisha na zile ambazo hazipo kabisa katika soko hilo.
Kumbuka Apple ndio wana taratibu ngumu kidogo za kufuata mpaka App iingie katika soko hili la App Store ukilinganisha na masoko mengine kama vile Google Play Store.
Apple ime... |
null | ### Mtandao wa kijamii wa X, uliokuwa ukifahamika kama Twitter, unategemea kuja na uwezo wa kupiga simu za video na sauti kwa watumiaji wake. Elon Musk, mmiliki wa mtandao wa X, alitoa taarifa kupitia andiko lake kwenye mtandao huo wa kijamii.
Vipengele vipya vitakuwa available kwenye iOS, Android, Mac, na PC, na hav... |
null | ## YouTube ni mtandao wa kijamii wenye jina kubwa sana na unasifika kwa mambo mengi ikiwemo ushambazaji wa picha n.k lakini kubwa kabisa ni usambazaji wa video kupitia mtandao huo na wengi mnakifahamu kipengele cha YouTube Stories.
Licha ya YouTube Kuwa na vipengele vingi imeonekana dhahiri kwamba wanapunguza baadhi ... |
null | ## Masisho ya App yamekua ni mengi sana siku hizi na WhatsApp wanazidi kuushangaza ulimwengu kwa kuzidi kuongeza vipengele na kuboresha huduma yake.
Kwa upande wa ujumbe imekua ni jambo la kawaida maana tayari kipengele cha ujumbe wa kupotea kipo katika App ya WhatsApp na sasa ni zamu ya picha na video.
Hii inafanya... |
null | ### Tanzania ni nchi changa sana kwenye masuala ya uhalifu wa kwenye mtandao na mara baada mara baada ya kuhudhuria mkutano wa wadau na wana TEHAMA mwishoni mwa mwezi Oktoba 2017 tulifahamu mengi ambayo Tanzania imekumbana nayo katika vita ya kupambana na uhalifu wa kwenye mtandao.
Katika vitu ambavyo Tanzania inasum... |
null | Elon Musk ni jina ambalo limejulikana sana katika ulimwengu wa teknolojia na...
Elon Musk na Apple wanagongana tena! Wakati huu, vita ni juu ya akili ya Mnemba...
Mtandao wa kijamii wa X, uliokuwa ukifahamika kama Twitter, unategemea kuja na...
Bwana Elon Musk, mmiliki wa mtandao wa kijamii wa X, uliokuwa unafahamik... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45144 |
null | ### Mtandao wa kijamii wa X, uliokuwa ukifahamika kama Twitter, unategemea kuja na uwezo wa kupiga simu za video na sauti kwa watumiaji wake. Elon Musk, mmiliki wa mtandao wa X, alitoa taarifa kupitia andiko lake kwenye mtandao huo wa kijamii.
Vipengele vipya vitakuwa available kwenye iOS, Android, Mac, na PC, na hav... |
null | apps WhatsApp Kuja Na Uwezo Wa Ku’Log In Kwa Kutumia Barua Pepe (Email)! Hashiman (@hashdough) Nuh 11 months ago
Mitandao ya Kijamii Uwezo Wa Kutumia Akaunti (Namba) Mbili Tofauti Ndani Ya WhatsApp Moja Wanukia! Hashiman (@hashdough) Nuh 12 months ago
Spotify Spotify Kuwasaidia Wasanii Kuuza Bidhaa Zao Kwa Njia Hii! ... |
null | ### Iwe unatuma barua pepe ya kitaalam au hata ile ya kawaida ya kuwatumia marafiki na familia bado kuna hati hati kubwa kuwa tunazituma barua pepe hizo vibaya/kimakosa.
Kwa mfano inatakiwa uwa “blind carbon copy” (BCC) watu wegi unaowatumia barua pepe ya kwa pamoja bila kuziweka wazi taarifa zao bila ruhusa zao. Lak... |
null | ### Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Twitter Parag Agrawal anaendelea kurekebisha uongozi wa kampuni. Baada ya kuwaondoa wakuu wa uhandisi na usanifu mwezi uliopita, Agrawal analeta viongozi wapya wa timu ya usalama. Kampuni hiyo ilithibitisha kwa The New York Times kwamba mkuu wa zamani wa usalama Peiter Zatko ameondoka, h... |
null | ### Kama zilivyo simu janja zetu tunaweza vile vile ku’screen shot’ hata ‘screen’ ya kompyuta zetu. Ni wazi kuwa kuna muda tunataka kuchukua baadhi ya taarifa fulani katika kompyuta na kunakili tukio husika katika kompyuta ikawa ndio njia rahisi kabisa
Leo TeknoKona inakuletea njia mbili za kuwezesha kulifanya hilo. ... |
null | ### Wakati iOS na Android zimekua kwa kiasi kikubwa na zina vipengele mbalimbali vinavyo fanana lakini kile kikubwa cha kuwatofautisha ni keyboard.
Simu za android ziliwezesha keyboard kutoka kwa watu wengine ambao waliweka application (keyboard) hizo katika google playstore, Apple hawakufanya hivyo toka mwanzo. Tang... |
null | ## Tumeona makampuni mengi sasa yakiwa yanatafuta njia mbadala za kupata mapato, licha ya sehemu zake za matangazo ambazo tumezizoea, Apple nao waja na hili kupitia App Store.
Ukaichana na kuwa Apple ni moja kati ya makampuni ya kiteknolojia ambayo yanapata mapato mengine sana lakini bado wameona waanze kuonyesha baa... |
null | ### WhatsApp ni moja kati ya mitandao ya kijamii maarufu unaomilikiwa na kampuni ya Meta, Kwa sasa ipo kwenye muendelezo wa ubunifu ili kumuwezesha mtumiaji kuweza kuweka ujumbe wa sauti sehemu ya WhatsApp Status. Haya ni mabadiliko yatakayomuwezesha mtumiaji kurekodi sauti na kuweka kwenye sehemu yake ya status ambapo... |
null | ## Kulingana na taarifa ambazo zimetoka kwa watafiti na wachanganuzi kutoka katika kampuni ijulikanayo kama Sensor Tower, ni kwamba kuna ugumu katika App za kawaida kupata nafasi za juu ukilinganisha na App za magemu katika soko la App Store.
Mpaka App yoyote ishike nafasi za juu kama vile katika kumi bora kuna mambo... |
null | ### Twitter yatozwa faini ya $150m nchini Marekani baada ya maafisa wa kutekeleza sheria kuishutumu kwa kutumia kinyume cha sheria data za watumiaji kusaidia kuuza matangazo yaliyowalenga.
Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) na Idara ya Haki wanasema Twitter ilikiuka makubaliano iliyokuwa nayo na wadhibiti, hati za ... |
null | ## WhatsApp imekua na maboresho/masasisho (Update) nyingi sana katika siku za karibuni, lakini fikiria uwezo wa kutoka kwenye group kimya kimya.
Hii kwa namna moja au nyingine inamaanisha kuwa mwana kikundi (Group) anaweza akajitoa kimya kimya katika group husika bila ya mtandao wa WhatsApp kutaarifu kila mwanachama ... |
null | ## Lengo kubwa ni kuiweza kuitambua/kuipata App bora kabisa kwa mwaka 2022 kwenye Windows kupitia Microsoft Store.
Wametenga App zote katika makundi matatu ambayo wameyapanga kama ifuatavyo
File Management
Utility
Open Platform
Nia na madhumu wanasema ni katika kuhakikisha kuwa wanatambua App mbalimbali ambazo ni... |
null | ### Google wapiga marufuku uwepo wa apps za kurekodi mazungumzo ya simu kuwepo kwenye soko lake maarufu la apps la Google Playstore kuanzia Mei mwaka huu.
Ifikapo tarehe 11 Mei, apps zote zenye uwezo wa kurekodi mazungumzo ya simu zitaondolewa kutoka kwenye soko hili maarufu la apps kwa watumiaji wa simu za Android.
... |
null | ### Elon Musk afanikiwa kuinunua Twitter, jambo ambalo limeendelea kuleta mazungumzo mengi mtandaoni ya kuunga mkono au kupingwa na baadhi ya watumiaji wa mtandao huu maarufu.
Wiki chache nyuma tuliandika kuhusu Bwana Elon Musk kuweka ofa ya kununua mtandao wa kijamii maarufu wa Twitter, unaofahamika sana kama sehemu ... |
null | ## Kipengele hiki kutokea instagram wengi walikua wanakisubiria kwa hamu sana, lakini hapo hapo kumbuka katika mtandao wa TikTok kipengele hiki kipo muda mrefu tuu.
Reels za instagram mara ya kwanza ulikuwa huwezi kuzishusha zikaingia kabisa katika kifaa na mtuamiji kuamua kuzisambaza kule anapotaka.
Kwa mfano kwa T... |
null | ## Mtandao wa instagram ni moja kati ya mitandao mikubwa sana na inategemewa kwa kiasi kikubwa kama sehemu ya mawasiliano na usambazaji wa taarifa mbalimbali.
Kwa sasa kampuni ya Instagram inakuja na vipengele vitatu vikubwa ambavyo ni Notes ambacho kimeshatoka, Group Profile amabcho kinatoka hivi karibuni na Candid ... |
null | ## Kipengele hiki hakikuwepo kabisa katika mtandao wa Instagram na ilikua kama ukitaka kuliwezesha hili ni lazima uwe na App nyingine – sasa litawezekana kwa baadhi ya akaunti katika mtandao huo.
Instagram ni mtandao wa kijamii ambao unatumiwa na watu wa aina tofauti tofauti na hata hivyo kila mtu ana lengo la kutumi... |
null | ## Makampuni ya teknolojia mengi yanapitia magumu na mengi kimbilio lao kubwa limekua ni kupunguza baadhi ya wafanya kazi katika makampuni yao.
Meta, kampuni ambayo inamiliki mitandao ya Facebook, WhatsApp Na Instagram imeweka wazi mpango wake wa kupunguza maelfu ya wafanyakazi.
Namba halisi ya wafanya kazi ambayo i... |
null | ## Nadhani kama ni mtumiaji mzuri wa huduma ya story katika mtandao wa kijamii wa instagram utakua umeshaona kama unakua unarekodi video ndefu kidogo inakua inajigawa gawa katika sekunde 15.
Kwa sasa marekebisho yamefanyika na hiili litaweza kwenda mpaka sekunde 60. Hapa inamaana hakuna haja ya video hizo kujivunja v... |
null | ## Mtandao wa kijamii wa Instagram ni wazi kuwa unazidi kukua kwa kasi na licha ya yote hayo bado inazidi kuongeza vipengele kadha wa kadha katika kuhakikisha kuwa inalifaniisha hilo.
Nadhani umeshawahi kuona katika mtandao wa instagram mtu ame-repost kitu chochote kwa kutumia App zingine ambazo ziko nje ya mtandao w... |
null | ## Meta ni kampuni ambayo inamilikia mitandao maarufu sana ya kijamii ya WhatsApp, Facebook na Instagram. Kwa sasa kampuni iko na mpango wa kuongeza vipengele vya kulipia katika mitandao hiyo.
Cha msingi kujua hapa ni kwamba kama kipengele au vipengele hivyo vikitolewa basi vitakua vikitumika na hao ambao wataamua ku... |
null | ## Hapa tunawaongelea watoto ambao wako chini ya umri wa miaka 16, mtandao wa instagram unatambua watoto hao kama chini ya umri na kwa sasa maudhui yao yanatolewa jicho la tatu.
Instagram inaamini kwamba kuna maudhui ambayo hayatakiwi kabisa kuonekana kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 16—ambao ni jambo jema kabi... |
null | ## Meta inamiliki mitandao ya kijamii ya WhatsApp, Facebook Na Instagram. Pengine hili sio la kushangaza sana maana tokea mwanza tunajua kama mitandao hii mitatu inaingiliana kwa namna moja au nyingine.
Hata whatsApp wakati unatumia ‘status’ kuna kipengele cha kutuma ‘status’ hiyo moja kwa moja katika mtandao wa Face... |
null | ### Instagram ni moja ya mtandao wa kujamii unaotumiwa na watu wengi duniani na hata kuwa sehemu ya chanzo cha mapato. Hii inatokana na kwamba watu wengi wanatumia Instagram kwa mambo mengi tuu ikiwemo kufanya biashara kidijitali.
Unaweza usikubali kuwa una uraibu wa kutumia Instagram lakini hilo linawezekana kabisa.... |
null | ## Instagram ina maboresho kadha wa kadha, mara kwa mara kumekua na maboresho au vipengele vipya ambayo wanakuja navyo.
Sasa ni zamu ya biashara za karibu, inaelekea awali watumiaji wa mtandao huo walikua wanatapa shida kutambua biashara ambazo zipo karibu yao kwa namna moja au nyingine.
Toleo hili jipya ni kwamba l... |
null | Instagram ni mtandao wa kijamii wenye umaarufu mkubwa sana na umejikita Zaidi...
Ni wazi kuwa huduma hii imekua inafanyiwa majaribio kwa muda sasa, huu ndio...
Instagram ni mtandao wa kijamii maarufu sana hasa katika maswala ya picha na...
Instagram ni maarufu duniani kote na ina zaidi ya miaka 11 tangu iletwe kwa..... |
null | Kama ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa Instagram ni wazi kuwa utakua unajua...
Zaidi ya mwezi mmoja uliopita TeknoKona tuliandika kuhusu maboresho ambayo...
Licha ya watumiaji wengi wa Instagram ni wenye simu janja lakini wapo ambao...
Programu tumishi-Instagram kwa mara nyingine tena inaongezewa kipengele...
Unafaha... |
null | instagramMtandaosimu Kipya Instagram: ‘Photo Tagging’! teknokona May 4, 2013 Watanzania wengi zaidi wanajiunga Instagram kwa sasa, hivyo nimeona ni muhimu...
appsinstagramIntanetiMtandaosimu Instagram Wabadili Maamuzi! teknokona December 19, 2012 Mtandao wa jamii maarufu duniani katika masuala ya picha umebadilisha vi... |
null | Find Your Account
Find Your Account
Please enter your email address or mobile number to search for your account.
Cancel
Search
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Places
Games
Marketplace
Meta Pay
M... |
null | Please enable JavaScript in your browser or upgrade to a JavaScript-capable browser to register for Facebook.
People who use our service may have uploaded your contact information to Facebook. Learn more.
By clicking Sign Up, you agree to our Terms. Learn how we collect, use and share your data in our Privacy Policy ... |
null | Notice
Zaloguj się, aby kontynuować.
Zaloguj się do Facebooka
Zaloguj się, aby kontynuować.
Zaloguj się
Nie pamiętasz nazwy konta?
·
Zarejestruj się na Facebooku
Polski
English (UK)
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Zarejestruj się
Zaloguj się
Messenger
Faceboo... |
null | Notice
Debes iniciar sesión para continuar.
Iniciar sesión en Facebook
Debes iniciar sesión para continuar.
Iniciar sesión
¿Olvidaste tu cuenta?
·
Regístrate en Facebook
Español
English (UK)
Polski
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Registrarte
Iniciar sesión
Messenger
... |
null | Notice
Vous devez vous connecter pour continuer.
Se connecter à Facebook
Vous devez vous connecter pour continuer.
Se connecter
Informations de compte oubliées ?
·
S’inscrire sur Facebook
Français (France)
English (UK)
Polski
Español
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
S’inscrire
Se conne... |
null | Notice
Devi effettuare l'accesso per continuare.
Accedi a Facebook
Devi effettuare l'accesso per continuare.
Accedi
Non ricordi più come accedere all'account?
·
Iscriviti a Facebook
Italiano
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Iscriviti
Accedi
Messenge... |
null | Notice
Norėdami tęsti, turite prisijungti.
Prisijunkite prie sistemos „Facebook“
Norėdami tęsti, turite prisijungti.
Prisijungti
Pamiršote prisijungimo vardą?
·
Užsiregistruoti „Facebook“
Lietuvių
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Prisiregistruoti
Pr... |
null | Notice
Trebuie să te conectezi pentru a continua.
Conectează-te la Facebook
Trebuie să te conectezi pentru a continua.
Conectează-te
Ai uitat contul?
·
Înscrie-te pe Facebook
Română
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Înscrie-te
Conectează-te
Messeng... |
null | Notice
登录后才能继续。
登录 Facebook
登录后才能继续。
登录
忘记账户了?
·
注册 Facebook 账户
中文(简体)
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
注册
登录
Messenger
Facebook Lite
视频
地点
游戏
Marketplace
Meta Pay
Meta Store
Meta Quest
Ray-Ban Meta
Meta AI
Instagram
Threads
筹款活动
服务
选民信息中心
隐私权政策
隐... |
null | Notice
Você deve se conectar para continuar.
Entrar no Facebook
Você deve se conectar para continuar.
Entrar
Esqueceu a conta?
·
Cadastre-se no Facebook
Português (Brasil)
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Deutsch
العربية
Cadastre-se
Entrar
Messenger
Facebook Lite
Vídeo
Locai... |
null | Notice
Melde dich an, um fortzufahren.
Bei Facebook anmelden
Melde dich an, um fortzufahren.
Anmelden
Passwort vergessen?
·
Für Facebook registrieren
Deutsch
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
العربية
Registrieren
Anmelden
Messenger
Facebook Lite
Video
Orte
... |
null | Notice
يجب عليك تسجيل الدخول للمتابعة.
تسجيل الدخول إلى فيسبوك
يجب عليك تسجيل الدخول للمتابعة.
تسجيل الدخول
هل نسيت الحساب؟
·
التسجيل في فيسبوك
العربية
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
إنشاء حساب في فيسبوك
تسجيل الدخول
Messenger
Facebook Lite
فيديو... |
null | Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
You must log in to continue.
Log in
Forgotten account?
·
Sign up for Facebook
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Places
Games
Marketplace
Meta... |
null | Facebook helps you connect and share with the people in your life.
Log in
Forgotten password?
Create new account
Create a Page
for a celebrity, brand or business.
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.