name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | ### Kwa miaka kadhaa sasa Infinix wamekuwa wakiendelea kutoa simu janja ambazo ni mwendelezo wa familia ya “Note” ambapo miezi kadhaa ilitoka Infinix Note 10 Pro.
Familia ya Infinix Note imekuwa ikishindana kwa karibu sana na simu janja za Samsung Note lakini kila moja inajitofautisha kwa namna yake na mwisho wa siku ... |
null | ### Unapoizungumzia Infinix Hot 10t ni simu janja ambayo ina wiki tu tangu kuzinduliwa kwake na tayari inaweza kupatikana nchini Tanzania kwa urahisi tuu.
Ni nadra sana kwa simu kuzinduliwa kisha kuanza kupatikana nchini Tanzania ndani ya wiki moja tangu kuzinduliwa kwake lakini hilo limewezekana kwa rununu Infinix Ho... |
null | Huduma ya kuweka namna za siri kwenye kadi zetu za simu limekuwepo kwa miongo...
Tangu Julai Mosi ya mwaka huu nchini Tanzania matumizi ya nenosiri kwenye kadi...
Unapoizungumzia Infinix Hot 10t ni simu janja ambayo ina wiki tu tangu...
Tigo na Zantel Tanzania ni kampuni za mawasiliano ambazo zimekuwa zikifanya...
... |
null | ## Xtok imerudi tena kwa mwaka huu wa 2021 na mada ikiwa ”je ni lazima kuwa na uzoefu wa hiyo kazi ilikuajiriwa?” Je wewe upo upande gani?
Unakubali au unakataa basi ili hoja zako ziweze sikika tafadhali bila ya kukosa Infinix Mobility LTD wakiwa kama wadhamini wa kubwa wa Xtok wanakukaribisha kuhudhuria kwenye mdaha... |
null | ### Kampuni ya Infinix inafahamika kwa matoleo ya bei ya chini yenye kiwango kizuri cha ubora, na simu yao ya Infinix Smart 4 inadhihirisha hilo. Ni simu nzuri, hasa kwa bei ya chini yenye mfumo endeshi wa Android, betri nzuri na camera nzuri pia.
Simu hii iliingia sokoni rasmi tarehe **Oktoba 2019.**
### Sifa za si... |
null | ## Kupitia kurasa zao pendwa za mitandao yao ya kijamii kampuni ya simu ya Infinix imezindua rasmi sifa za simu mpya aina ya Infinix **NOTE 7** au unaweza iita **BIGIMAKINI**.
Infinix NOTE 7 ni simu yenye sifa lukuki zenye kuvutia kuanzia umbo lake kubwa lenye upana wa kioo cha **nchi 6.95 na megapixel 48 kamera** pa... |
null | ### Kupitia ukurasa wao wa Instagram, kampuni ya simu za mkononi Infinix Mobile Tanzania wametoa tamko kwamba baada ya Infinix S5 sasa wanakuja na Infinix S5 Pro ikiwa ni muendelezo wenye maboresho.
Hata hivyo Infinix hawakutoa sifa za simu hio lakini inasemekana itakuja na Kamera inayotokeza kwa juu (Pop up Camera) n... |
null | ## Katika Kusheherekea sikukuu ya wapendanao, kampuni ya simu, Infinix Mobile Tanzania imezindua rasmi duka Jipya, maarufu kama Infinix Smart Hub, lililopo China Plaza Kariakoo.
Hili ni duka la pili la kuzinduliwa na kampuni hiyo huku lengo kuu ni kuwafikia wateja wake kwa urahisi zaidi. Katika uzinduzi huo afisa wa ... |
null | ## Hivi unalikumbuka tolea la S4 kutoka simu za Infinix? Naam! Ni moja kati ya yale matoleo yanayotoka katika ‘S Series’ . Hivi Sasa kampuni ya Infinix inakuletea toleo lingine linalojulikana kama Infinix S5. Simu hii imekuja sambamba na msimu wa sikukuu hivyo tegemea promoseni ambayo ina zawadi kedekede kutoka kwao In... |
null | Baada ya uzinduzi rasmi wa Infinix ZERO 6 nchini Tanzania, simu yenye...
Bidhaa za kidijiti kwa wale ambao tunapenda kuagiza vitu nje kwa bei ya...
Kampuni ya Transsion Holdings imezindua simu mpya ya Infinix Hot 6 pro na...
Baada ya kuweka makala ya uchambuzi wa simu janja ya Infinix Note 4 Pro baadhi... |
null | Baada ya uzinduzi mkubwa wa simu aina ya Infinx Hot 40 Pro na Hot 40i kufanyika...
Kuna App nyingi sana katika soko la App la App Store lakini hizo ni chache sana...
Apple ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika swala zima la teknolojia na...
Instagram kwa sasa ni moja kati ya mitandao ya kijamii ambayo ni maa... |
null | WhatsApp ni moja kati ya mtandao wa kijamii unarahisisha mazungumzo baina ya...
XBox ni moja kati ya kifaa cha magemu chenye watumiaji wengi na umaarufu mkubwa...
Ngoja kwanza, sio hashtags kabisa lakini vile vile huwezi sema sio hashtag...
Samsung ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika swala zima la kutengen... |
null | AndroidAppleiOSIPhonesimuTeknolojia iPant? Hii Kwa Ajili Ya iPhone 6 Plus! Hashiman (@hashdough) Nuh September 30, 2014 Labda tatizo sio simu kwamba ni kubwa ila nguo yako ya ‘kubana’.... |
null | ### Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidijitali, maneno kama “blockchain” yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara. Lakini je, blockchain ni nini hasa? Na kwa nini imekuwa maarufu sana katika sekta ya teknolojia na fedha? Katika makala hii, tutaangalia kwa undani teknolojia hii ya kisasa na jinsi inavyobadilisha jinsi... |
null | ### miaka ya karibuni sio rahisi kuona simu janja mpya ilitoka ikiwa haina kamera ya mbele na hii ikitokana na ukuaji wa teknolojia lakini pia hata watumiaji wenye kupenda picha za ‘Kujipiga mwenyewe’.
LG (*Life’s Good*) wanaonekana wanataka simu zao zijazo ziwe za kitofauti na washindani wengine kwa kuamua kwenda ku... |
null | ### Uingereza itakuwa nchi ya kwanza duniani kuanza kutumia chanjo ya korona / Covid19. Chanjo hiyo iliyetengenezwa na makampuni mawili makubwa ya utengenezaji dawa ya Pfizer na BioNTech ina uwezo wa zaidi ya asilimia 95% kumkinga mtu na Korona.
BionTech ni kampuni ya kiteknolojia za sekta ya biolojia ya nchini Ujerum... |
null | ### Kuna kipindi ilikuwa kwamba ukisikia skrini (kioo) basi mawazo yako yanapata taswira ya kitu kikubwa na chenye mwinuko fulani nyuma yake (kisogo). Miaka imeenda na teknolojia ya skrini haijabaki nyuma. Skrini za kisasa ni nyembaba, nyepesi na zinapatikana kwenye vifaa vingi vya majumbani na kazini. Kwa upande wa si... |
null | TeknolojiaUchambuzi Blockchain Technology: Mabadiliko ya Kidijitali Yanayovunja Mipaka kwa Kuhakikishia Usalama wa Taarifa Duniani. LanceBenson August 20, 2024 Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidijitali, maneno kama... |

null | IntanetiTeknolojiaUchambuzi Hizi Hapa Nchi 10 za Afrika Zinazoongoza kwa Kasi ya Mtandao wa Internet. LanceBenson August 21, 2024 Ulimwenguni hivi leo kuwa na mtandao wa intaneti wenye kasi ni msingi muhimu...
TeknolojiaUchambuzi Blockchain Technology: Mabadiliko ya Kidijitali Yanayovunja Mipaka kwa Kuhakikishia Usala... |
null | TeknolojiaUchambuzi Blockchain Technology: Mabadiliko ya Kidijitali Yanayovunja Mipaka kwa Kuhakikishia Usalama wa Taarifa Duniani. LanceBenson August 20, 2024 Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidijitali, maneno kama... |
null | TeknolojiaUchambuzi Blockchain Technology: Mabadiliko ya Kidijitali Yanayovunja Mipaka kwa Kuhakikishia Usalama wa Taarifa Duniani. LanceBenson August 20, 2024 Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidijitali, maneno kama... |
null | TeknolojiaUchambuzi Blockchain Technology: Mabadiliko ya Kidijitali Yanayovunja Mipaka kwa Kuhakikishia Usalama wa Taarifa Duniani. LanceBenson August 20, 2024 Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidijitali, maneno kama... |
null | TeknolojiaUchambuzi Blockchain Technology: Mabadiliko ya Kidijitali Yanayovunja Mipaka kwa Kuhakikishia Usalama wa Taarifa Duniani. LanceBenson August 20, 2024 Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidijitali, maneno kama... |
null | TeknolojiaUchambuzi Blockchain Technology: Mabadiliko ya Kidijitali Yanayovunja Mipaka kwa Kuhakikishia Usalama wa Taarifa Duniani. LanceBenson August 20, 2024 Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidijitali, maneno kama... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45882 |
null | ### Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidijitali, maneno kama “blockchain” yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara. Lakini je, blockchain ni nini hasa? Na kwa nini imekuwa maarufu sana katika sekta ya teknolojia na fedha? Katika makala hii, tutaangalia kwa undani teknolojia hii ya kisasa na jinsi inavyobadilisha jinsi... |
null | ### Tecno Pova 6 Pro 5G ni simu mpya iliyotangazwa na Tecno. Hii ni simu yenye muonekano wa kitofauti kwa nyuma, hii ikiwa na pamoja na utumiaji wa teknolojia ya taa za LED kama vile zilivyotumika kwenye simu za Nothing Phone.
Hebu tuiangalie kwa undani:
### Muundo:
**Ndani ya Boksi**: Pova 6 Pro inakuja na ‘earpho... |
null | ### Wiki iliyopita, kampuni ya Nothing ilizindua bidhaa yao ya pili, ikiwa ni simu, inayoitwa Nothing Phone 1. Simu hii ni mwendelezo wa juhudi za kampuni hiyo katika kutengeneza bidhaa ambazo zitafanya muunganiko wa kielektroniki kushindana na miunganiko ya bidhaa (Ecosystem) kutoka kampuni nyingine, hasa Apple ambao ... |
null | **Kampuni ya Microsoft imeamua kufanya toleo la programu maarufu ya uandishi ya MS Office kuwa bure kwenye simu na tableti zinazotumia programu uendeshaji za Android, iOS na Windwos OS. Wachambuzi mbalimbali wanachukulia uamuzi kuwa moja ya uamuzi mkubwa zaidi kuchukuliwa na kampuni hiyo.**
Kabla ya uamuzi huu program... |
null | ### Je umeshashusha toleo jipya la Instagram?
**Wameleta uwezo wa wewe kuweza kubadilisha maneno/maelezo ya picha uliyotuma. Kawaida ilikuwa kama ukikosea maelezo ya picha husika ilikuwa inakubidi uifute na kuiweka upya.**
**Pia utaweza kupata mapendekezo ya watu wa kuwafualitia (kuwa-Follow) kwa uraisi zaidi.**
... |
null | This is the Tecno Pova 6 Pro 5G - Tecno's major Mobile World Congress announcement. In typical Tecno fashion, it ships with many accessories - 3.5mm earbuds, a charger, USB cable, and a case.
The Pova 6 Pro has a mighty 6,000mAh battery and Tecno kindly pairs it with a powerful 70W charger. The case has color-matched ... |
null | ### Unapoitaja nchi ya Korea Kaskazini wazo la kwanza linalomjia mtu ni ubora wao wa utengezaji wa makombora hatari ya kivita pamoja na silaha za nyuklia.
### Ni kweli, Korea kaskazini inaaminika kumiliki zaidi ya silaha 1000 zenye uwezo tofauti ikiwemo kombora la maasafa marefu ambalo linaweza kuishambulia Marekani.
... |
null | Qualcomm waiburuza Transsion mahakamani, Transsion Holdings ni kampuni...
Tecno Pova 6 Pro 5G ni simu mpya iliyotangazwa na Tecno. Hii ni simu yenye...
TECNO ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika maswala mazima ya...
Moja ya matukio makubwa ambayo yamefanyika Mwezi huu wa Mei ni uzinduzi wa simu...
Tecno Sp... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45617 |
null | ### Kampuni ya Canal+, ambayo ni kampuni kubwa ya vyombo vya habari kutoka Ufaransa, imejitosa katika mazungumzo ya kununua MultiChoice, kampuni mama ya DSTV huko Afrika Kusini.
Canal+, ambayo kwa sasa ndiye mwekezaji mkubwa katika Multichoice, ilithibitisha kuwasilisha barua kwa Bodi ya Wakurugenzi ya MultiChoice. Ka... |
null | ### Tecno Pova 6 Pro 5G ni simu mpya iliyotangazwa na Tecno. Hii ni simu yenye muonekano wa kitofauti kwa nyuma, hii ikiwa na pamoja na utumiaji wa teknolojia ya taa za LED kama vile zilivyotumika kwenye simu za Nothing Phone.
Hebu tuiangalie kwa undani:
### Muundo:
**Ndani ya Boksi**: Pova 6 Pro inakuja na ‘earpho... |
null | ### Katika muongo wa 2000 hadi 2010, ulimwengu wa teknolojia ulishuhudia mabadiliko makubwa katika sekta ya mawasiliano, hasa kupitia simu za mkononi. Huu ulikuwa ni wakati ambao simu zilianza kubadilika kutoka kuwa vifaa vya kupigia simu na kutuma ujumbe tu, hadi kuwa zana muhimu za kijamii na kibinafsi.
*Simu kama ... |
null | ### Microsoft kuifungia LinkedIn nchini China ni Jambo ambalo limetokea baada ya mtandao huu wa kijamii kukabiliana na maswali kuhusu kuzuia baadhi ya akaunti za waandishi wa habari.
Microsoft ilisema kuwa “ulazima wa kutii sheria za serikali ya China umekuwa ni changamoto”.
Makamu wa rais mwandamizi wa LinkedIn Moh... |
null | ### Katika ulimwengu wa “Kileo” watu wengi duniani wana akaunti Instagram ambayo imekuwa kivutio cha cha watu duniani kote na hata kusababisha uraibu. Sasa wamezindua “*Reels*“.
Uweo wa kupakia picha jongefu ambazo si ndefu (kati ya sekunde 15 hadi 60) zimekuwa kivutio cha wengi ambapo hivi sasa TikTok ipo katika umaa... |
null | ### Kuna matoleo kadhaa ya toleo la simu janja ndogo kutoka Samsung ifahamikayo kama Samsung Galaxy Star Pro. Leo tutazama toleo la GT S7262 ambalo ndio hasa linapatikana katika nchi zinazoendelea, pamoja na Tanzania.
### Kwanza kabisa fahamu ya kwamba simu hii ni ya bei nafuu sana na inalenga kwa watu wenye bajeti nd... |
null | Katika muongo wa 2000 hadi 2010, ulimwengu wa teknolojia ulishuhudia mabadiliko...
BlackBerry ni jina lenye hishima kubwa na na kampuni mbili hadi sasa kwa...
BlackBerry kama kampuni wamejiweka pembeni kuhusu biashara ya simu janja tangu...
Inafahamika ulimwenguni kote kwamba BlackBerry wameachana na utengenezaji wa... |
null | HTCHTC OneUchambuzi Nini Kiliwakuta HTC? Kupanda na Kushuka kwa Manguli hawa wa Teknolojia. LanceBenson September 2, 2024 HTC ilikuwa moja ya majina makubwa katika ulimwengu wa teknolojia ya simu za...
MobileMotorolaNokiasimuTeknolojiaUbunifuUchambuzi Simu Zilizoacha Alama: Miaka ya 2000 Hadi 2010 LanceBenson July 5, ... |
null | Katika muongo wa 2000 hadi 2010, ulimwengu wa teknolojia ulishuhudia mabadiliko...
Motorola inajiandaa kuzindua simu mpya mbili za Moto G mnamo Septemba. Moto G84...
Pengine mwaka huu simu janja nyingi za kujikunja zitatoka, Mpaka sasa...
Ni wazi kuwa kila toleo la program endeshi linapotoka kunakuwa na baadhi ya...... |
null | Katika muongo wa 2000 hadi 2010, ulimwengu wa teknolojia ulishuhudia mabadiliko...
Vivo ni moja kati ya Makampuni makubwa sana katika maswala mazima ya...
Hii ni moja katika ushirika mkubwa sana ambao umeshawahi kutokea unaohushisha...
Kampuni ambayo inamiliki chapa ya Nokia, HMD Global imekuja na simu tatu, simu...... |
null | MobileMotorolaNokiasimuTeknolojiaUbunifuUchambuzi Simu Zilizoacha Alama: Miaka ya 2000 Hadi 2010 LanceBenson July 5, 2024 Katika muongo wa 2000 hadi 2010, ulimwengu wa teknolojia ulishuhudia mabadiliko...
AfyasimuTeknolojia Hukumu ya Mahakama: Simu ya mkononi imesababisha uvimbe katika ubongo wa mtumiaji Siyan April 2... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45761 |
null | ### Katika muongo wa 2000 hadi 2010, ulimwengu wa teknolojia ulishuhudia mabadiliko makubwa katika sekta ya mawasiliano, hasa kupitia simu za mkononi. Huu ulikuwa ni wakati ambao simu zilianza kubadilika kutoka kuwa vifaa vya kupigia simu na kutuma ujumbe tu, hadi kuwa zana muhimu za kijamii na kibinafsi.
*Simu kama ... |
null | ## Ni wazi kwamba kwenye soko la simu janja za kukunja na kukunjua Kampuni ya Samsung kupitia simu zao za Samsung Galaxy Z Fold 4 Na Samsung Galaxy Flip 4 ndio wameshikilia usukani.
Vipi kuhusiana na makampuni mengine? Ni wazi kuwa yameingia katika aina hii ya simu janja lakini ni kwamba bado ushindani ni mkubwa sana... |
null | ## Oppo ni kampuni kubwa sana ambayo inajihusisha na teknolojia nyingi ikiwemo kutengeneza na kuuza simu na sasa imekuja na toleo la Oppo Find N2.
Toleo hili ni toleo jipya na muendelezo wa matoleo ya Oppo Find N, lakini pia tuliandika kuhusu fununu kuhusiana na simu hii. Soma zaidi >>HAPA<<
Oppo Find N2 ni moja kat... |
null | ## Ni kawaida kwa makampuni mengi ya simu kupata malighafi na vipuri kwa makampuni mengine ya pembeni –ndivyo dunia ilivyo—kwa upande wa Apple ni hivyo hivyo.
Japo makampuni mengi kama Apple huwa hayawaweki wazi kila wanapochukua vipuri au malighafi hizo kutokana sababu zao wenyewe, lakini kwa sasa Sony wamewejwa.
i... |
null | Far far away, behind the word mountains, far from the countries Vokalia and Consonantia, there live the blind texts. Separated they live in Bookmarksgrove right at the coast of the Semantics, a large language ocean.
A small river named Duden flows by their place and supplies it with the necessary regelialia. It is a p... |
null | Kampuni ya Canal+, ambayo ni kampuni kubwa ya vyombo vya habari kutoka...
Netflix ndio kinara wa huduma za burudani kwa njia ya ku’stream, kampuni...
Hizi habari zimesambaa sana kwamba kampuni nguli ya kiteknolojia yaani Apple...
Far far away, behind the word mountains, far from the countries Vokalia and...
Far far... |
null | # Ultimate Gadgets Guide + What Is Hot This Season
Far far away, behind the word mountains, far from the countries Vokalia and Consonantia, there live the blind texts. Separated they live in Bookmarksgrove right at the coast of the Semantics, a large language ocean.
A small river named Duden flows by their place and ... |
null | ### Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyowasiliana, na hata tunavyoishi kwa sasa. Katika miaka ya hivi karibuni, A.I imeanza kutumika kama mtaalamu wa mahusiano ya kimapenzi, ikitoa ushauri na tiba kwa wapenzi wanaokumbana na changamoto mbalimbali.
*Lakini, je, A.I inaweza kwel... |
null | ### Suala la kuweza kuhamisha mazungumzo ya WhatsApp kutoka kwenye iOS kwenda Android sio shaka tena kwani inawezekana! Kama hilo limewezekana basi hata upande wa pili wa (kutoka Android kwenda iOS)shilingi pia mambo yanapikika.
Kwa sababu moja au nyingine unaweza ukawa unamiliki simu janja ambazo zinatumia programu e... |
null | AITeknolojiaUchambuzi Je, Akili Mnemba (A.I) Inaweza Kuwa Mshauri na Mtaalamu wa Mahusiano ya Kimapenzi? LanceBenson August 13, 2024 Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi,... |
null | AITeknolojiaUchambuzi Je, Akili Mnemba (A.I) Inaweza Kuwa Mshauri na Mtaalamu wa Mahusiano ya Kimapenzi? LanceBenson August 13, 2024 Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi,... |
null | AITeknolojiaUchambuzi Je, Akili Mnemba (A.I) Inaweza Kuwa Mshauri na Mtaalamu wa Mahusiano ya Kimapenzi? LanceBenson August 13, 2024 Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi,... |
null | AITeknolojiaUchambuzi Je, Akili Mnemba (A.I) Inaweza Kuwa Mshauri na Mtaalamu wa Mahusiano ya Kimapenzi? LanceBenson August 13, 2024 Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi,... |
null | AITeknolojiaUchambuzi Je, Akili Mnemba (A.I) Inaweza Kuwa Mshauri na Mtaalamu wa Mahusiano ya Kimapenzi? LanceBenson August 13, 2024 Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi,... |
null | AITeknolojiaUchambuzi Je, Akili Mnemba (A.I) Inaweza Kuwa Mshauri na Mtaalamu wa Mahusiano ya Kimapenzi? LanceBenson August 13, 2024 Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi,... |
null | AITeknolojiaUchambuzi Je, Akili Mnemba (A.I) Inaweza Kuwa Mshauri na Mtaalamu wa Mahusiano ya Kimapenzi? LanceBenson August 13, 2024 Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi,... |
null | AITeknolojiaUchambuzi Je, Akili Mnemba (A.I) Inaweza Kuwa Mshauri na Mtaalamu wa Mahusiano ya Kimapenzi? LanceBenson August 13, 2024 Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi,... |
null | AITeknolojiaUchambuzi Je, Akili Mnemba (A.I) Inaweza Kuwa Mshauri na Mtaalamu wa Mahusiano ya Kimapenzi? LanceBenson August 13, 2024 Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi,... |
null | AITeknolojiaUchambuzi Je, Akili Mnemba (A.I) Inaweza Kuwa Mshauri na Mtaalamu wa Mahusiano ya Kimapenzi? LanceBenson August 13, 2024 Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi,... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45872 |
null | ### Teknolojia ya akili mnemba (A.I) imebadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyowasiliana, na hata tunavyoishi kwa sasa. Katika miaka ya hivi karibuni, A.I imeanza kutumika kama mtaalamu wa mahusiano ya kimapenzi, ikitoa ushauri na tiba kwa wapenzi wanaokumbana na changamoto mbalimbali.
*Lakini, je, A.I inaweza kwel... |
null | ### Nikola Tesla ni jina kubwa katika sayansi na teknolojia. Alizaliwa 1856, Tesla alikuwa zaidi ya mhandisi wa umeme – alikuwa mwanamazingira aliyeota ndoto zilizobadilisha dunia.
**Mvumbuzi wa AC**
Uvumbuzi wake wa umeme wa AC ndio tunayotumia leo, kuruhusu miji kuwa na taa na teknolojia mpya.
**Mawazo ya Kizazi ... |
null | #### Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi katika nchi nyingi, ikiwa ni pamoja na Tanzania. Teknolojia kama ikitumiwa ipasavyo hutoa fursa kubwa ya kuboresha kilimo na kufanya uzalishaji kuwa wenye tija zaidi. Hapa tunachunguza baadhi ya teknolojia mpya ambazo zinaweza kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo.
**Matumizi y... |
null | KilimoTeknolojia Kilimo na Tech: Teknolojia mpya zitakazo kufanya ufanye kilimo cha chenye tija na cha kisasa zaidi. LanceBenson April 8, 2024 Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi katika nchi nyingi, ikiwa ni pamoja na...
KilimoTeknolojiaUchambuzi Fahamu kuhusu Teknolojia ya Kilimo Semu Msongole November 22, 2021 Ukuaji ... |
null | Instagram inafanya majaribio kuongeza uwezo wa watumiaji wake kuruhusiwa kuchapisha video za Reels zenye urefu wa hadi dakika 3. Hii ni hatua muhimu katika kuboresha uzoefu wa watumiaji wake, kwa kuwapa fursa ya kushirikisha maudhui marefu zaidi kwenye jukwaa hilo ikilinganishwa na kikomo cha sasa cha sekunde 90.
Kama... |
null | Boeing, jina lililowahi kuwakilisha uvumbuzi na ufundi wa hali ya juu katika anga, limeshuhudia kushuka kwa sifa yake na Bidhaa zake zimekuwa zikilalamikiwa kwa viwango vya usalama kwa muda sasa. Msukosuko huu wa Boeing ulizia kwenye muungano mkubwa kati ya kampuni ya Boeing na McDonnell Douglas uliofanyika mwaka 1997.... |
null | ### Katika ulimwengu wa teknolojia, mambo mapya ya kushangaza hayakomi. hasa katika zama hizi ambapo teknolojia inazidi kusonga mbele kwa kasi, Samsung wameleta kwetu uvumbuzi mpya unaovutia – Pete Janja ya Samsung Galaxy.
Pete hii si tu kwa ajili ya urembo, bali ni kifaa chenye uwezo wa kipekee ambao unaweza kubadili... |
null | Katika ulimwengu wa teknolojia, mambo mapya ya kushangaza hayakomi. hasa katika...
Browse Category
# Accessibility
A wonderful serenity has taken possession of my entire soul, like these sweet mornings of spring which I enjoy with my whole heart. I am alone, and feel the charm of existence in this spot, which was cr... |
null | apps Uwezo Wa Kusikiliza Muziki Huku Mkiwa Kwenye Simu Ya Video Ktk WhatsApp Wanukia! Hashiman (@hashdough) Nuh 10 months ago
apps Meta Kuvunja Mahusiano Haya Kati Ya Chat Za Instagram Na Facebook! Hashiman (@hashdough) Nuh 11 months ago
instagram Uwezo Wa Ku’Share Status Za WhatsApp Katika Mtandao Wa Instagram Wanuk... |
null | ### Tunapenda kuwatahadhalisha wasomaji wetu juu ya mtindo ulioingia siku za karibuni ambapo watu wasio na nia nzuri wanaweza kufanikisha kupokea mawasiliano yote unayoyafanya katika mtandao wa Whatsapp ikiwa ni pamoja na ujumbe picha na hata video.
Mtindo huu ni unatumiwa zaidi na wanaotaka kuwachunguza wenzi (wapenz... |
null | ### Unataka simu ila bado unajiuliza uchague au usichague simu za iPhone au uchukue za Android? Katika makala hii tunakuelezea mambo muhimu ya kufahamu kuhusu simu za iPhone ili kukusaidia pale unapofanya maamuzi ya kununua.
Kumbuka mara nyingi tunaponunua simu huwa tunalenga kukaa nayo kwa muda mrefu kiasi na ata kam... |
null | ### Digital footprint ni alama ya kidigitali ambayo huachwa na mtu anapomaliza kutumia mtandao. Alama hii hubeba kumbukumbu za mambo uliyoyafanya wakati unapokuwa mtandaoni.
Digital Footprint inaweza husisha historia yako ya matendo yako mbalimbali, kama vile uandikaji wako wa maoni yako kwenye mitandao wa kijamii, k... |
null | ### Jambo la simu kufanya masasisho ya apps (programu tumishi) bila ridhaa yako ni jambo linalowakera wengi hasa ukizingatia kuwa wakati simu inafanya masasisho MB’s huenda kwa kasi sana.
Kufanya masasisho ya programu tumishi zilizopo kwenye simu yako ni jambo muhimu ili kuweza kupata mambo mapya yaliyoboreshwa kweny... |
null | ### Unaweza ukawa unatumia kompyuta ambayo kihifadhi data hakijagawanywa. Je, unajua kuwa ni hatari kutumia kompyuta ambayo diski huifadhi haijagawanywa? Pata kufahamu kutoka kwetu, TeknoKona.
Ni muhimu sana kuhakikisha kuwa kompyuta unayotumia hard disk yake imegawanywa na hili kuweza kugawanya *hard disk (HDD)* ya ... |
null | ## Kumbuka jukwaa la barua pepe la Gmail ndio jukwaa kubwa kabisa na lenye watumiaji wengi kuliko majukwaa yote.
Pengine sidhani kama kuna mtu mwenye simu janja (Android?) ambae hatumii huduma ya gmail kwa namna moja au nyingine.
Kitu kimoja tulichokizoea ni kwamba kama unakua unatumia huduma hii na ghafla bando lak... |
null | ### IMEI namba ni kitu muhimu sana wakati pale simu janja yako imeibiwa au umepoteza na unataka kufanya jitihada za kuipata tena. Kwa polisi ni lazima utapeleka na taarifa IMEI ya simu husika. Vilevile, kama una mpango wa kui’track simu hiyo ndio njia mojawapo.
Ni wazi kwamba inajulikana ukiwa na kifaa chako unaweza ... |
null | ### IP Address . Najua inaweza ikawa sio mara yako ya kwanza kulisikia hili neno katika ulimwengu wa teknolojia. Pengine huwa tunalisikia na hatuelewi maana yake? sio dhambi kutoelewa lakini leo naomba TeknoKona ikujuze juu ya hili..
*Unajua bwana, haya mambo bwana!* yaani siku hizi ukitaka kuingia mtandaoni sio lazi... |
null | ### Facebook huingiza kipato kutokana na matangazo, lakini matangazo hayo yanapoendelea kuwa mengi na kuonekana kwenye ukurasa wako huwa yanakera. Ni kweli Facebook haitaki matangazo hayo yaondolewe na hakuna mwongozo rasmi au program ya kuyaondoa.
### Ili kuodoa hayo matangazo unahitaji kupakua (download) program ya... |
null | ### Unapobadili kifaa chako ni muhimu kuhamisha taarifa zako kutoka kifaa cha zamani kwenda kifaa kipya, hasa kwa WhatsApp wengi mnaweza kujiuliza namna ya kuhamisha WhatsApp chats kutoka Google Drive kwenda iPhone.
### Google Drive ni sehemu ambayo mawasiliano yetu ya WhatsApp (chats) kwa watumiaji wa simu za Android... |
null | ### Moja kati ya maswali ambayo watu wengi wanajiuliza, je WhatsApp wanapata faida? Maana huduma ni ya bure na pia kampuni hiyo ilinunuliwa kwa gharama kubwa na Facebook, huku hakuna matangazo yoyote yanawekwa kwenye WhatsApp kama ilivyo kwenye mitandao kama Facebook, Instagram n.k
### Mimi na wewe tunabaki kuwa na l... |
null | ### Mwaka 2023 umeshaanza, heri ya Mwaka Mpya kutoka timu nzima ya Kona ya Teknolojia / Teknokona. Leo tunakuletea orodha ya makala 10 zilizosomwa zaidi mwaka 2022. Makala kutoka masuala ya maujanja ndizo zinazoongoza kwa kusomwa zaidi.
Hizi ndio makala 10 zilizosomwa zaidi kwa mwaka 2022 kupitia blogu yako namba moja... |
null | ### Si mara zote unaweza kupata picha nzuri kwa kutumia simu yako, tunafahamu kuna baadhi ya simu zinasifika kwa kupiga picha nzuri na zenye ubora mkubwa. Lakini ni vyema uwe unajua namna ya kuweka mipangilio (settings) vizuri ili upate matokeo mazuri unayoyategemea.
Kumbuka kuna watu wana simu nzuri sana, ila bado ... |
null | ## Ni wazi kuwa ndani ya mtandao wa Facebook kuna magemu mengi tuu, kitu ambacho kilipelekea kampuni kuanzisha App, Facebook Gaming kwa ajili ya magemu hayo.
App hii iliachiwa katika masoko yote makubwa ya App kama vile iOS na Android na sio kwamba App ilikua ikifanya vibaya la-ha-sha!
Vyanzo vingi vinasema kuwa pen... |
null | ## Ni wazi TikTok ni moja kati ya mtandao ya kijamii ambao inapata ukuaji mkubwa sana kwa kipindi cha muda mfupi
Licha ya mafanikio hayo bado mtandao wa TikTok unajulikana kama njia kubwa sana inayotumika na watu katika kugundua vipaji
Vipaji hivyo ni kadha wa kadha ikiwemo na ugunduzi wa vipaji vya mziki. Kupitia m... |
null | ### Kukamatwa na kuachiliwa kwa Pavel Durov, Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram, kumezua mjadala mkubwa kuhusu usawa kati ya uhuru wa kujieleza na majukumu ya wakuu wa kampuni za mitandao ya kijamii.
Durov alikamatwa katika uwanja wa ndege wa Paris kama sehemu ya uchunguzi wa kisheria unaohusisha madai kadhaa ya uhalifu... |
null | ### Machapisho ya kisiasa Facebook yanataanza kuonekana mara chache zaidi kwenye utumiaji wa kawaida wa mtandao huo wa kijamii.
Facebook wamesema wanaanza kufanya majaribio ya teknolojia yao ya kupunguza mara ambazo machapisho/post ya kisiasa yanawafikia watu katika eneo la nyumbani(timeline) la mtandao huo wa kijamii... |
null | ### Kampuni ya mawasiliano ya Halotel imezindua kifurushi kipya kisichoisha kitakachowawezesha wateja wake kufanya mawasiliano bila kikomo.
Kifurushi hicho kinakachofahamika kama ‘*SuperHalo*‘ wateja wa Halotel watakaojiunga na kifurushi ambacho watapiga simu au kutumia intaneti hadi kitakapokwisha bila kujali muda w... |
null | ### iPhone XR ni simu mojawapo kati ya 3 zilizozinduliwa na Apple Sept. 12 2018 na wengi wakifurahia ujio wa simu hizo zenye kutofautiana kidogo sana hasa iPhone XS na XS Max.
Kati ya simu zote 3 kutoka Apple kwa mwaka huu (2018) iPhone XR ndio simu ya bei ya rahisi kulinganisha na nyingine ambazo zilitambulishwa sik... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.