name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
## Apple ni moja kati ya kampuni kubwa sana na mara kwa mara limekua likiweka rekedi nyingi sana katika sekta ya teknolojia. Kwa mwaka jana pia kampuni ya Apple ilitoa ripoti ya vifaa vyake ambavyo vinatumiwa na wateja wake lakini kwa mwaka huu mpaka kufika sasa kampuni imetoa ripoti ambayo inasema kwa sasa wamefikia...
null
## Kwa kawaida kabisa makampuni mengi huwa yanaachana na bidhaa Fulani haswa kama bidhaa hiyo ni yenye kuhitaji masasisho ya hapa na pale, Apple wenyewe wameachana kabisa na vifaa kadhaa mwaka 2022. Apple mpaka sasa wana bidhaa na huduma nyingi sana chini ya mwamvuli wake, kuna baadhi ya bidhaa hizo zipo katika muend...
null
Kwa kawaida kabisa makampuni mengi huwa yanaachana na bidhaa Fulani haswa kama... Kumbuka iPod ya kwanza kabisa iliingia sokoni mwaka 2001 na ikabadilisha kabisa... Ujio wa toleo la iPod Touch la mwaka 2019 unaleta ujumbe mkubwa sana... Hakika, teknolojia ya simu imesaidia sana hata hivyo bado imefanya vifaa... Hyp...
null
## Moja ya kompyuta ambayo imeleta mapinduzi makubwa katika maswala mazima ya teknolojia ya komyputa na ilikua ikimilikiwa na Steve Jobs, yule wa Apple inapigwa mnada. Ngoja kwanza! kwa sasa sio kompyuta kamili (Kwa mfano Apple 1 yote), kwa sasa ni sakiti tuu au kwa kimombo wanasema ni Printed Circuit Board (PCB). S...
null
## Kipengele cha ‘Optimized Battery Charging’ kinafanya MackBook zijaze chaji kwa haraka mpaka kufikia asilimia 80 na kisha chaja inakua haiingii tena. Hata hivyo kipengele hichi sio cha ajabu sana maana kina maana kubwa. Sawa inaweza ikawa inashangaza hivi lakini Apple wamesema sio vizuri kwa mabetri ya lithium-ion ...
null
### Hivi ndivyo vilivyotangazwa na Apple katika tukio lao la jana. Apple wametambulisha toleo lingine la iPhone 12 – lenye rangi la urujuani (purple) na vifaa vingine kadhaa vipya vinavyotumia prosesa ya kisasa ya M1. Prosesa ya M1 inaleta maboresho makubwa katika vifaa vya familia ya Apple. ### 1. iPhone 12 ya Uruj...
null
### Apple watambulisha prosesa mpya za M1 kwa ajili ya kutumika katika laptop zake za Macbook. Kupitia prosesa hii wameweza kutengeneza laptop zenye ufanisi bora zaidi ukilinganisha na kama laptop hizo zingekuja na prosesa za Intel. Kwa muda mrefu Apple wamekuwa wakitengeneza laptop zao kwa kutumia prosesa kutoka kam...
null
### Kampuni ya Apple hivi sasa imetangaza upanuzi wa huduma zake kwa kuongeza upatikanaji katika nchi mbalimbali Duniani zikiwepo nyingi za afrika. Kampuni hiyo imetangaza upatikanaji wa huduma maarufu kama vile duka la programu(**App Store**), Duka la games(**Apple Arcade**), Muziki wa Apple( **Apple Music**), **App...
null
### Kwa wale ambao walifanikiwa kutumia kompyuta miaka ya mwishoni ya 90 na mwanzoni wa miaka 2000 basi kompyuta ya kutumia ilikuwa ni inayotumia programu endeshaji ya Windows 95. Windows 95 ilitolewa rasmi tarehe 15 Agosti mwaka 1995 na ndio toleo la Windows lilibadilisha kabisa mfumo wa programu endeshaji na kufanya...
null
### Unaweza ukawa umeshawahi kujiuliza swali hili; Kwa nini kompyuta inaanza kuwa nzito au kutofanya kazi vizuri baada ya muda? Umenunua kompyuta umeitumia vizuri ila baada ya muda flani; miezi au ata miaka inaanza kuwa nzito na programu hazifanyi kazi vizuri tena kama awali. Unasasisha (update/upgrade) programu hizo ...
null
### Hyper wmeamua kuingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuendeleza kasi yao ya kutoa bidhaa ambazo zina kitu/vitu vya kipekee amabvyo vinazidi vingine; safari hii kimemeshi chenye nguvu sana. Ni siku kadhaa tu Hyper walitambusha kumemeshi ambacho hakitumii waya na kina uwezo wa kuchaji AirPods lakini hiyo bado ik...
null
### Ni nadra sana kwa kampuni kama Apple kutangaza kuwa itafanya matengenezo ya bidhaa fulani ambazo zimekwisha kununulika bila ya kuwatoza gharama yoyote wahusika lakini daima huwa kuna sababu maalum. Ulimwengu mzima unajua kuwa nchi ya Japan ilikumbwa na mafuriko mapema mwezi Julai 2018 hivyo katika taarifa rasmi y...
null
**AirDrop ni teknolojia ya kitofauti inayopatikana kwa watumiaji wa vifaa vya Apple kama vile iPhone, iPad, iPod na Macs.** **Kupitia teknoloj****ia ya AirDrop, basi watumiaji wa vifaa hivyo wanaweza kutumiana mafaili na data kwa haraka zaidi kulinganisha na njia zingine zozote za bila kutumia waya zinazopatikana kwa ...
null
### Inawezekana mwaka huu usiwe mwaka mzuri kwa Apple kwani imekuwa ikikabiliana kwa kulipa faini kwa makampuni mbalimbali kutokana na kuwa na hatia. Apple ni kampuni nguli katika masuala ya teknolojia lakini kwa kuendelea kukutwa na hatia kwa kosa la kuiba hatia miliki inaishushia hadhi kampuni hiyo. Kwa mara nyingi...
null
### Baada ya upatikanaji wa huduma ya WhatsApp kwenye kompyuta kupitia kivinjari cha kompyuta kama vile Chrome na Firefox sasa WhatsApp wameamua kuleta programu spesheli kwenye kompyuta – Windows na Mac. Ujio huu unaweza ukawa mwanzo wa uletaji pia wa uwezo mbalimbali kwa toleo la WhatsApp la kompyuta. Muda si mrefu t...
null
### Kama unapenda kupicha picha Luminance HDR ni kwa ajili yako. Hivi ulishawahi kupiga picha ambayo mwanga ukawa mdogo sana au ukawa mwingi sana? Kwa mfano hata ukipiga picha mbele ya jua unaweza ukashangaa katika picha linatokea jua (kali) na mtu katika hali ya weusi ulipitiliza (kiasi cha kwamba unaweza usione sur...
null
### Katika miaka ya karibuni kampuni ya Google ilinunua teknolojia na huduma mbalimbali, moja ya manunuzi waliyoyafanya ni pamoja na Nik Software. Kampuni inayomiliki app na programu mbalimbali za uboreshaji na ubunifu wa picha. Google walinunua kampuni ya Nik Software mwaka 2012. Nik Software wakati huo walikuwa wana...
null
appsKompyutaMacTeknolojiaWindows Leawo Music Recorder: Rekodi muziki na sauti kwenye Kompyuta kwa Urahisi! teknokona March 18, 2016 Unasikiliza nyimbo au kitu flani kutoka kwenye mtandao na unataka urekodi ili...
null
## Kilichokua kinasubiriwa baada ya tukio la kutambulisha iPhone 14 ni hili la uzinduzi wa Macbook na iPad mpya, habari zilizopo ni kwamba halitakuwepo tena… je ni kitu gani kitafanyika? Ni wazi kwamba lazima vifaa hivyo vipya viingie sokoni, lakini vitaingia kwa namna yake maana vitatambulishwa bila ya uzinduzi amba...
null
### Wakati Apple wanazindua bidhaa zao mwezi wa Septemba kama iliyo kawaida yao kuna vitu kama AirPods 3, kompyuta za MacBook Pro hazikutambulishwa na ilikuwa imetegemewa hivyo. Septemba 14 mwaka huu Apple walizindua iPhone 13, 13 Pro, 13 Pro Max halikadhalika Watch series 7, iPad, iPad Mini na ingawa bado hazijaanza ...
null
## Intel ni moja kati ya kampuni kubwa sana ulimwenguni katika maswala ya teknolojia vivyo hivyo kampuni ya Asus ambayo inasifika sana kwa vifaa vyake vya kiteknolojia kama vile kompyuta n.k Kampuni hizo mbili (Asus na Intel) wameona waingie katika ushirikiano ambao utawawezesha wawili hao kuja na ubunifu ambao utape...
null
### Katika miezi ya karibuni WhatsApp ya kompyuta imekuwa ikiboreshwa na kuweza kufanana kwa karibu kabisa ina ile ya kwenye simu zetu kitu ambacho kwa wale ambao tunaitumia hakika tunaifurahia. Mimi ni mtumiaji mzuri tuu wa WhatsApp ya kompyuta ambayo imekuwa ikinisaidia katika shughuli zangu za kila siku hasa ukizi...
null
### Baada ya miezi kadhaa ya kukata mahusiano na kampuni ya Huawei, brand ya Honor kuja na laptops zinazotumia programu endeshaji ya Windows 10. Hii ni baada ya kukamilika kwa mikataba ya kibiashara na kampuni ya Microsoft. Vikwazo vya Marekani dhidi ya kampuni ya Huawei vimefanya makampuni mengi ikiwa ni pamoja na Mi...
null
### Siku chache zilizopita tuliandika kuhusu ujio wa programu mpya ya huduma ya Google Drive itakayomuwezesha mtumiaji kuweza kufanya backup ya mafaili na mafolda mengi zaidi kwenye kompyuta yake. Sasa inapatikana rasmi. Kwa sasa haifahamiki kama Google Drive tena bali ni **Backup and Sync from Google**. Programu hi...
null
Asus ni kampuni ya kiteknolojia kutoka Tawain, kampuni inajihusisha na mambo... Intel ni moja kati ya kampuni kubwa sana ulimwenguni katika maswala ya... Kampuni ya Asus siku ya leo imepanua jalada lake la kompyuta mpakato (laptops)... Qualcomm ni kampuni kubwa sana inajihusisha na maswala mengi ya teknolojia... AS...
null
AsusIntelKompyutaLaptop Intel Na Asus Kushirikiana Katika Kutengeneza Kompyuta Ndogo (Mini PC)! Hashiman (@hashdough) Nuh July 19, 2023 Intel ni moja kati ya kampuni kubwa sana ulimwenguni katika maswala ya...
null
AsusIntelKompyutaLaptop Intel Na Asus Kushirikiana Katika Kutengeneza Kompyuta Ndogo (Mini PC)! Hashiman (@hashdough) Nuh July 19, 2023 Intel ni moja kati ya kampuni kubwa sana ulimwenguni katika maswala ya...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44942
null
## Moja ya kitu ambacho kinawashangaza wengi ni kwamba mtandao huo wa YouTube umefanya maamuzi hayo ya kuongeza bei ya kifurushi bila kutoa taarifa kwa watumiaji wake. YouTube wameongeza $2 kwa gharama ile ya mwanzo hali ambayo imepelekea bei kupanda mpaka kufikia dola 14 za kimarekani kwa mwezi. Gharama hii itaanza...
null
## Intel ni moja kati ya kampuni kubwa sana ulimwenguni katika maswala ya teknolojia vivyo hivyo kampuni ya Asus ambayo inasifika sana kwa vifaa vyake vya kiteknolojia kama vile kompyuta n.k Kampuni hizo mbili (Asus na Intel) wameona waingie katika ushirikiano ambao utawawezesha wawili hao kuja na ubunifu ambao utape...
null
### Kampuni ya Asus siku ya leo imepanua jalada lake la kompyuta mpakato (laptops) zinazolenga waundaji wa maudhui nchini India kwa kuzindua kompyuta aina ya ProArt StudioBook 16 OLED na mifano yake mipya ya VivoBook, ambayo ni VivoBook Pro 14 OLED na VivoBook Pro 15 OLED, VivoBook Pro 14X OLED, na VivoBook Pro 16X OLE...
null
## Qualcomm ni kampuni kubwa sana inajihusisha na maswala mengi ya teknolojia ikiwemo kuuza baadhi ya vipuri kwa makampuni makubwa kama vile Apple. Kwa kuwa teknolojia ya simu inakua kwa kasi sana siku hizi basi Qualcomm na yenyewe imeona isisubiri sana imeona kwamba isisubiri ije na simu janja yake. Kampuni imeamua...
null
### Asus wameendelea kutoa simu janja kutoka familia ya “Zenfone” ambapo mwaka huu wamekuja na toleo namba nane katika ule mwendelezo wao. Katika uzinduzi huo ilikuwa sivyo ambavyo ilikuwa ikitarajiwa kwani pengine Zenfone 8 Mini ingezinduliwa pia lakini hilo halikutokea. Kilichofanyika ni kuweka bayana sifa za toleo ...
null
### Katika simu janja ambazo zinavutia kwa macho lakini hata undani wa rununu yenyewe basi Asus wanafanya kweli kuweza kuvutia wateja sehemu nyingi duniani. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa makala za TeknoKona kwa muda mrefu tuu kabla na baada ya kujiunga nao leo hii ikanibidi nikae chini kuandaa undani wa sifa za rununu...
null
### Ukiwa ni mtu unayependa kununua kitu kizuri hasa kwa kutaka kuchagua simu janja kwa jicho la karibu zaidi inawezekana kabisa ukapata wakati mgumu wa kutaka kuchukua simu ipi hasa hizi ambazo zinatumia Android. Wakati fulani huko nyuma nilishawahi kuandika makala kuhusu Asus Zenfone 6 ambayo ina upekee wa aina yake...
null
### Simu ya kamera siku hizi ndio mpango wa kwenda kidijitali zaidi na kuwa huru kupata picha zenye ubora kulinggana na uwezo wa kamera kwenye simu husika. Asus Zenfone 6 ni rununu ambayo ina utofauti wa aina yake, pengine kuja kuvutia wateja wengi. Inaweza ikawa ngumu kidogo kuelewa maana ya “Kamera mbili kwa moja” ...
null
## Lenovo ni moja kati ya kampuni la kiteknolojia linalofanya vizuri sana katika soko, kampuni hili linajulikana sana kwa ubora wake katika soko la simu janja na kompyuta. Lenovo wao kwa sasa kuna aina za simu ambazo wao *wamezipiga chini* hali ya kwamba imewashangaza wengi. Simu hizo si zingine bali ni zile ambazo ...
null
## Pengine unaweza shangaa gemu kwenye kamera ya Snapchat inawezakana vipi lakini kwa kutumia teknolojia ya AR hili linawezekana. Kumbuka magemu kama Pokemon Go yanatumia teknolojia hii, sasa gemu hii ya Snapchat iko hivi yenyewe inakuwezesha kutumia kamera katika App ya Snapchat kuweza kutafuta majini/mashetani kati...
null
### Kuna magemu mengi sana yanayopatikana playstore lakini leo teknokona tunakuletea orodha ya magemu mazuri kwa simu za android yanayopatikana playstore. Magemu huwa hayabagui umri wala jinsia mtu yeyote anaweza kucheza gemu. **Candy crush saga: **Gemu hili lilianzishwa mwaka 2012 na linapatikana kwenye simu za Andr...
null
### Watu wengi wanadhani kuwa michezo ya kompyuta imeandaliwa kwa ajili ya baadhi ya wachezaji tu, wanaojua na kulewa kucheza michezo hiyo; na ni rahisi kuelewa ni kwa nini. Michezo mingi inayoandaliwa ni maarufu na kwa ajili ya makundi fulani ya watu. Hii ni michezo mitano maarufu ya Windows 10, ambayo ni rahisi na m...
null
GemuLenovoMagemu Lenovo Waachana Kabisa Na Uzalishaji Wa Simu Mahususi Kwa Ajili Ya Magemu! Hashiman (@hashdough) Nuh March 29, 2023 Lenovo ni moja kati ya kampuni la kiteknolojia linalofanya vizuri sana katika...
null
Lenovo ni moja kati ya kampuni la kiteknolojia linalofanya vizuri sana katika... Lenovo wametambulisha laptop mpya inayokwenda kwa jina la ThinkPad X1 Fold... Mauzo ya kompyuta 2020 yapo juu, Data za kimauzo kutoka shirika la tafiti za... Motorola One Fusion+ ni simu kutoka Motorola – hivi ni sahihi kusema... Kampu...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44503
null
## Oppo na OnePlus ni makampuni nguli kabisa katika teknolojia ya kutengeneza na kuuza simu japokuwa hayajaishia hapo, bado yana bidhaa kadha wa kadha za kiteknolojia Kampuni hizi – Oppo na OnePlus —zilikumbwa na jambo baya na hii ni baada ya fununu kusambaa kwamba wanaachana kabisa na soko la ulaya. Hii ni kwa maan...
null
## Lenovo ni moja kati ya kampuni la kiteknolojia linalofanya vizuri sana katika soko, kampuni hili linajulikana sana kwa ubora wake katika soko la simu janja na kompyuta. Lenovo wao kwa sasa kuna aina za simu ambazo wao *wamezipiga chini* hali ya kwamba imewashangaza wengi. Simu hizo si zingine bali ni zile ambazo ...
null
### Kwenye ulingo wa simu janja ambazo zina uwezo mkubwa kwa maana ya kuweza kuhimili magemu mazito mojawapo ni Lenovo Legion Y90 ambayo tarehe ambayo rununu hiyo itanzinduliwa imeshafahamika. Kwa wale wanaopenda rununu ambazo zina uwezo mkubwa hasa kwenye upande wa kuitumia rununu kucheza magemu basi tutakuwa tunafa...
null
### Ingawa simu zetu zinaweza kutumika kama ngamizi/kompyuta lakini bado kuna umuhimu wa kuwa na bidhaa hiyo ili kufanikisha shughuli za kila siku kwa urahisi na haraka zaidi kulingana na ufanisi wa bidhaa husika. Iwapo utazungumzia vipatalishi vyembamba ambavyo vinatengenenezwa na makampuni makubwa duniani itakuwa s...
null
### Kwa takribani siku tatu makampuni mbalimbali yanakutana sehemu moja kwa sababu moja tu; kuonyesha vifaa/teknolojia mpya kwa ajili ya michezo aina ya magemu unayoweza kucheza kwenye kompyuta, simu au kifaa kingine tu cha kidijitali. Katika maonyesho hayo ya E3 kwa mwaka 2018 ambayo yatamalizika siku ya Alhamisi (J...
null
## Ni utamaduni wa majukwaa mengi kuweka takwimu za App au hata magemu yao ambayo yamefanya vizfuri katika majukwa hayo, kwa sasa ni zamu ya App Store. Kuna kipindi tuliandika kuhusiana na Microsoft Store Awards ambapo tuliwaandika washindi wote katika jukwaa hilo pia. Apple kupitia soko lake maarufu la App Store na ...
null
## Dola bilioni 62.3 ni nyingi sana kwa dunia ya sasa kwa kitu chochote, Nintendo kupitia Nintendo switch wameweza kuingia kiasi hicho cha pesa kama sehemu ya mapato. Mapato hayo yamewekwa wazi kuwa yamepatikana katika Nintendo Switch tuu kwa vifaa vyake vya softaware, hardware na mambo mengine kama vile huduma zake ...
null
### Naaaam, mauzo ni makubwa sana sio? Vipi katika upande wa faida sasa? Ni wazi kuwa Sony kupitia PlayStation ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika maswala ya magemu. Japokuwa kampuni tayari imeshauza PlayStation hizo zipatazo milioni 25 lakini bado kampuni inatarajia kuendelea kuuza nakala zingine milioni 1...
null
## Spatoon ni magemu ambayo yana muendelezo na mara kwa mara yamekua yakipatikana katika Nintendo Switch. Nintendo switch ni kifaa kinachokuwezesha kucheza magemu mbalimbali tuu yaani hakina tofauti kubwa na Playstation Vista maana kinaweza kubebeka kama simu tuu. Kwa kupitia gemu la Splatoon 3 wameweka rekodi. Kamp...
null
## Kama unakumbuka vizuri kuna kipindi dunia nzima ilikua inasema simu janja ndizo ambazo zitateka dunia kwa karibia kila kitu, zamani magemu yalikua yanafanya vizuri kwenye vifaa vingine ukiachana na simu janja lakini hali sio hivyo kwa Activision ambao ni manguli wa magemu. Ni jambo la kushangaza kidogo sio? Kwa ka...
null
## Repeat.gg ni mtandao maarufu sana ambao unaendesha mashindano ya kimtandao mbali mbali kwa kutumia magemu kadha wa kadha. Pengine ni moja kati ya mtandao mkubwa kabisa, kumbuka Playstation ilisema bado itanunua makampuni mengi sana na hata sisi TeknoKona tuliandika kuhusu habari hiyo na unununzi wake wa makampuni ...
null
## Pengine tangia huduma ya Apple Arcade kuanzishwa kutoka Apple, ikiwa imejaa magemu kadha wa kadha, kwa kipindi kile ilikua ni vigumu kujua kama kuna baadhi ya magemu yanaweza kuaga huduma hiyo. Huduma ya Arcade ni huduma ya kulipia kutoka Apple na imejikita Zaidi katika magemu, japokuwa hawajasema bado kama ni lin...
null
Orodha ya magemu ambayo yamefanya vizuri sana katika vifaa vya simu kwa mwezi... Ubisoft ni moja kati ya kampuni kubwa sana inayojihusisha na maswala ya magemu,... Unaweza ukawa unajiuliza sana nap engine hata usiihusishe sana kampuni ya Apple... Kampuni ya Sony inajishushisha na mambo mengi sana yakiwemo na yale ya...
null
### Watu wengi tunatumia kompyuta kutazama filamu na sinema (movies) mbalimbali, lakini kuna baadhi ya filamu huwa hazionyeshi manukuu (subtitles) hivyo tunapata changamoto sana ya kuweka manukuu (subtitle) na unatamani kuona manukuu (subtitles) ili kuelewa nini wanachokiongea kwenye filamu kwa kusoma hayo manukuu (sub...
null
# VLC media player VLC is a free and open source cross-platform multimedia player and framework that plays most multimedia files as well as DVDs, Audio CDs, VCDs, and various streaming protocols. VLC is a free and open source cross-platform multimedia player and framework that plays most multimedia files, and various...
null
### Instagram watambulisha Instagram Live Rooms, uwezo wa hadi watu wanne kufanya mazungumzo ya mubashara. ### Kwa muda mrefu kulikuwa na uwezo wa watu wawili kwenda mubashara pamoja na kufanya mazungumzo kupitia Instagram Live. Kupitia Instagram Live Rooms itakuwa rahisi kwa watu wanaotaka kufanya vipindi vya mfumo ...
null
### Xiaomi wanafahamika kwa kutoa simu janja mbalimbali zikiwemo zile zenye uwezo zaidi zikilenga wapenzi wa kucheza magemu kupitia simu za viganjani. Black Shark 4 ni mojawapo ya simu janja zenye uwezo mkubwa wa kuhimili magemu. Mimi ni mmoja kati ya watu wengi ambao tunapenda kucheza magemu kupitia simu ya kiganjani...
null
### Program ya Google slides imezidi kujaribu kuwavutia watumiaji baada ya kuleta uwezo wa wasikilizaji kuweza kuuliza maswali moja kwa moja kwa njia ya mtandao. ### Hatua hii inaonesha hatua za wazi kutoka katika kampuni hiyo kupambana na kampuni ya Microsoft ambayo nayo inatoa huduma kama hiyo kwaajiri ya *presenta...
null
Watu wengi hupenda kutumia mbadala wa programu halali ya WhatsApp, hizi... Watu wengi tunatumia kompyuta kutazama filamu na sinema (movies) mbalimbali,... Kujua kiasi cha kifurushi cha mtandao (internet data bundle) unachotumia ni... Starlink ni mtandao wa intaneti/internet unaosimamiwa na kampuni ya SpaceX... Bias...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44382
null
## Simu janja mara kwa mara zinatoka mpya kila mwaka tena zenye chapa tofauti tofauti, kampuni kama Apple na Samsung ni moja kati ya miongoni mwa makampuni hayo. Kwa mwaka 2022 tayari orodha imetolewa ya simu ambazo zimeongoza mauzo katika mwaka huo huku kampuni ya Apple ikiwa kinara. Apple weneyewe wameingiza simu ...
null
### Watu wengi tunatumia kompyuta kutazama filamu na sinema (movies) mbalimbali, lakini kuna baadhi ya filamu huwa hazionyeshi manukuu (subtitles) hivyo tunapata changamoto sana ya kuweka manukuu (subtitle) na unatamani kuona manukuu (subtitles) ili kuelewa nini wanachokiongea kwenye filamu kwa kusoma hayo manukuu (sub...
null
### Biashara ziko nyingi na za aina mbalimbali na kila siku zinaanzishwa biashara mpya lakini kwa wakati huo huo teknolojia pia inazidi kukua kila siku, na teknolojia hii inaweza kukusaidia kukuza biashara yako na pengine kufikia malengo yako. Kwa sasa watu wengi hununua bidhaa mtandaoni na imekuwa ni kawaida kufanya ...
null
### Mara nyingi sana utamsikia mtu anasema simu yake imekufa au imeharibika gafla jambo ambalo sio kweli, Simu zetu huwa hazifi gafla ila kuna dalili za awali zinazopelekea mpaka simu kufa au kuharibika na pengine unaweza ukawa unaziona na kuzichukulia kawaida kuwa haziwezi kuwa na madhara yoyote kwenye simu yako. Sim...
null
Huenda tayari unajua jinsi vifaa vya masikioni visivyotumia waya kama vile... Unapobadili kifaa chako ni muhimu kuhamisha taarifa zako kutoka kifaa cha... Watumiaji wengi wa simujanja/smartphones zenye programu endeshi ya Android... Unaweza ukamtumia mtu picha na ukashangaa anajua sehemu ulipo, ni kitu ambacho... M...
null
### Kujua kiasi cha kifurushi cha mtandao (internet data bundle) unachotumia ni jambo la msingi sana ukiwa unatumia computer, wengi tunatumia kompyuta (computer) kwenye maisha yetu ya kila siku ikiwa kazi nyingi pia hutegemea uwepo wa mtandao. Kujua matumizi yako ya kifurushi cha mtandao kitarahisisha kupanga bajeti z...
null
### Hii ni habari ya aina yake kwa watumiaji wa vifaa vya iOs, emoji mpya zipo njiani. Pengine ulikua hujui kama jana (17/07/2017) ndio ilikua siku ya Emoji Duniani!. Apple imeonyesha baadhi ya Emoji ambazo zitatoka na kutumia katika vifaa vya iOs na macOS hata watchOS Mbeleni mwa mwaka huu. Apple imesema ” Ni muhim...
null
### Kampuni ya vifaa vya elekroniki ya Logitech imeinunua kampuni ya Jaybird ambayo ni kampuni inayotengeneza vifaa vya teknolojia ya wireless, hii inaonekana ni jitihada za kampuni ya Logitech kutawala soko la vifaa vya muziki vya wireless. Logitech imelipa dola za kimarekani milioni 50 taslimu kwaajiri ya ununuzi h...
null
### Umenunua simu mpya na sasa unataka kuachana na ile ya zamani, iwe kwa kuuza au njia yeyote ile…ni hatua gani za kuhakikisha umezifuata data muhimu na binafsi? Leo tutakueleza hatua muhimu za kufuata ili kuhakikisha data zako zinakuwa salama. Usije muuzia mtu simu leo halafu kesho akawa na data zako zote muhimu. #...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44374
null
## iPhone inazidi kutoa matoleo ya simu zake tuu, na mwaka huu tunategemea toleo jipya la iPhone 15 na hii ikiwa ni baada ya kutoka kwa iPhone 14 mwaka jana. Ni wazi kila mwaka kuna toleo jipya kutoka makampuni makubwa ya simu, na hili linafanyika pengine ili kuongeza chache ya ushindani katika soko na vile vile kuji...
null
### Kujua kiasi cha kifurushi cha mtandao (internet data bundle) unachotumia ni jambo la msingi sana ukiwa unatumia computer, wengi tunatumia kompyuta (computer) kwenye maisha yetu ya kila siku ikiwa kazi nyingi pia hutegemea uwepo wa mtandao. Kujua matumizi yako ya kifurushi cha mtandao kitarahisisha kupanga bajeti z...
null
### Starlink ni mtandao wa intaneti/internet unaosimamiwa na kampuni ya SpaceX ambao unatumia teknolojia ya satelaiti ili kupeleka intaneti kwa watu popote duniani, StarLink Ilizinduliwa rasmi mnamo mwaka 2018 na mmliki wake si mwingine bali ni Elon Musk ambaye anamiliki kampuni ya SpaceX, Tesla na pia ni mmliki wa mta...
null
Streaming, video calls, online gaming, remote working and more are now possible in even the most remote locations thanks to the world’s most advanced internet system. 1 PLUG IT IN 2 POINT AT SKY Starlink requires an unobstructed view of the sky. Download the Starlink app to determine your best install location. Do...
null
### Kampuni ya Samsung ipo njiani kupata hasara kubwa kutokana na makosa makubwa katika betri za Samsung Galaxy Note 7 ambapo sasa inawabidi kuondoa simu hizo duniani kote. Data zinaonesha katika kila simu milioni 1 za Samsung Galaxy Note 7 kuna simu 24 ambazo betri zake zina hatari ya kulipuka. Mpaka sasa kuna simu ...
null
### Unapenda kuchomeka USB sticks (USB Flash) usizozifahamu vizuri kwenye vifaa vyako – (kompyuta, tableti, tv n.k)? Ukitumia USB Flash hii bahati mbaya itakuwa majanga. Kifaa hichi kilichopewa jina la USB Killer ni kifaa kidogo kilichokama USB Flash ya aina yeyote ila chenye uwezo wa kuharibu kifaa chako chochote ch...
null
### WhatsApp ina watumiaji wengi zaidi duniani zaidi ya programu tumishi yoyote kwa sasa na mara kwa mara imekuwa ikifanyiwa marekebisho kuifanya kuwa nzuri maradufu. Huko mbele tusije kushangaa kuwa na uwezo wa kutengeneza kijiji ndani ya WhatsApp. Habari zilizopo huko mbele tutaweza kutanua wigo wa kuwafikia watu we...
null
IntanetiKompyutaMaujanjaTeknolojia Ijue StarLink intaneti ya Elon Musk Williams March 2, 2023 Starlink ni mtandao wa intaneti/internet unaosimamiwa na kampuni ya SpaceX... KompyutaTeknolojia Toshiba yajiondoa kwenye biashara ya kompyuta Mato Eric August 10, 2020 Dunia nzima inafahamu kuhusu kompyuta za Toshiba ambazo ...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44360
null
### Starlink ni mtandao wa intaneti/internet unaosimamiwa na kampuni ya SpaceX ambao unatumia teknolojia ya satelaiti ili kupeleka intaneti kwa watu popote duniani, StarLink Ilizinduliwa rasmi mnamo mwaka 2018 na mmliki wake si mwingine bali ni Elon Musk ambaye anamiliki kampuni ya SpaceX, Tesla na pia ni mmliki wa mta...
null
## Muda mwingi Apple imeripotiwa ikiwa ina mpango wa kutoa Macbook ambayo ina kioo kikubwa –pengine kuliko macbook zingine—na sasa ndio mwaka wa jambo hilo kuwezekana. Apple ni moja kati ya makampuni mamkubwa sana ya teknolojia ambayo yanajitahidi mara kwa mara kuwapa wateja wake kile wanachokitaka na sasa wanafanya ...
null
### Moja ya njia rahisi siku hizi kutumia WhatsApp kiraisi hasa kwa sisi ambao kazi zetu zinategemea matumizi ya kompyuta ndio shughuli ikamilike ni WhatsApp Desktop (web) ambayo kimsingi imekuwa ikiboreshwa na kufanya ifanane karibu kabisa kama ile ya kwenye iOS/Android. Mimi ni mmoja ambae natumia WhatsApp ya kwenye...
null
### Idara ya anga ya juu ya Marekani, NASA imesaini makubaliano na kampuni ya huduma za teksi ya Uber ili kutafiti teknolojia ya usafiri wa angani na kuanzisha mfumo salama na wenye ufanisi mkubwa wa usafiri wa angani katika miji yenye wakazi wengi. Kwa mujibu wa makubaliano, kampuni ya Uber itaipatia NASA data zake ...
null
### Njia ya ku’Hibernate’ inaonekana katika ‘Operating system’ (OS) kama za Windows na hata OSX (MacBook). Hii njia yaku Hibernate inakusaidia kuisimamisha kompyuta (laptop) yako katika hali iliyoko ili baadae ukija kuwasha uendelee pale pale. ### Mfano kama ulikua unaandika kitu katika Microsoft Word ukiwasha laptop...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44275
null
## WhatsApp ni mtandao wa kijamii ambao umewafikia watu wengi sana na imekua ni msaada mkubwa sana kwa wale wanaotumia simu janja katika mawasiliano. Mara kwa mara WhatsApp wamekua wakitoa masasisho mbalimbali ili kuhakikisha kuwa wateja/watumiaji wake wanapata kile kilicho bora kutoka kwao. Nadhani mara kwa mara um...
null
## Muda mwingi Apple imeripotiwa ikiwa ina mpango wa kutoa Macbook ambayo ina kioo kikubwa –pengine kuliko macbook zingine—na sasa ndio mwaka wa jambo hilo kuwezekana. Apple ni moja kati ya makampuni mamkubwa sana ya teknolojia ambayo yanajitahidi mara kwa mara kuwapa wateja wake kile wanachokitaka na sasa wanafanya ...
null
### Kama ni mtumiaji wa kompyuta/Computer utakuwa umekutana na maneno kama HDD (Hard Disk Drive) au SSD (Solid State Drive), Hizi ni teknolojia zinazotumika katika kuhifadhi taarifa (Storage) kwenye kompyuta. SSD (Solid State Drive) ni teknolojia ya kisasa zaidi inayotumika kwenye kompyuta za kisasa, na HDD (Hard Disk ...
null
# hard disk drive (HDD) ## What is a hard disk drive? A computer hard disk drive (HDD) is a non-volatile data storage device. Non-volatile refers to storage devices that maintain stored data when turned off. All computers need a storage device, and HDDs are just one example of a type of storage device. HDDs are usua...
null
# SSD (solid-state drive) ## What is an SSD? An SSD, or solid-state drive, is a type of storage device used in computers. This non-volatile storage media stores persistent data on solid-state flash memory. SSDs replace traditional hard disk drives (HDDs) in computers and perform the same basic functions as a hard dri...
null
### Samsung Galaxy Book ni tableti-laptop mpya kutoka kampuni ya Samsung. Samsung Galaxy Book ni laptop ikiwa na keyboard lakini keyboard yake inaweza chomolewa na ukaweza kuitumia kama tableti. Samsung Galaxy Book haiji na Android, bali inakuja na toleo la Windows 10. Hii si tableti ya matumizi ya kawaida, inawalenga...