name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
## Hivi ushawahi kufikiria kama siku hizi kuna App ya kila kitu? Maana zimekua nyingi sana na ukiachana na yote kuna zinazokula ujazo wa simu na zingine zinakula betri na vyote kwa pamoja!. Katika tafiti fupi iliyofanyika na pCloud unaonyesha kuwa asilimia 93 ya watumiaji wa simu janja wanatumia App ambazo zinafanana...
null
### Dunia kote huduma zinarahisishwa zaidi kupitia teknolojia kwa sasa, na kampuni ya Azam Group haipo nyuma. Imekuja na app itakayotumika katika simu janja ili kumrahisishia mteja wake kuweza kununua na kufikishiwa bidhaa dukani kwake kwa njia rahisi na ya haraka zaidi. Programu hiyo iliyopewa jina la **Sarafu** kwa ...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44055
null
## Ni wazi kuwa kampuni ya OnePlus imejiongeza zaidi na kuwa ina bidhaa nyingi zaifi ya kuwa na simu janja pekee. Tulishawahi kuandikia kuhusiana na Keyboard hii ya OnePlus >>HAPA<< na kwa sasa kuna baadhi ya picha zinazosambaa katika mtandao huku kukiwa na sifa chache ambazo zimewekwa wazi. https://publish.twitter....
null
## Netflix ndio kinara wa huduma za burudani kwa njia ya ku’stream, kampuni ilifanya makadirio ya ongezeko la watumiaji wake lakini hali halisi imekuja kuwaacha mdomo wazi. Kampuni imeweka wazi ripoti yake ya mwisho (ya nne) kwa mwaka 2022 na inaonyesha ongezeko kubwa la idadi ya watumiaji wa mtandao huo wa Netflix k...
null
### Kama ni mtumiaji wa kompyuta/Computer utakuwa umekutana na maneno kama HDD (Hard Disk Drive) au SSD (Solid State Drive), Hizi ni teknolojia zinazotumika katika kuhifadhi taarifa (Storage) kwenye kompyuta. SSD (Solid State Drive) ni teknolojia ya kisasa zaidi inayotumika kwenye kompyuta za kisasa, na HDD (Hard Disk ...
null
### Iwapo una Faili (file) ama Folda (folder) kwenye kompyuta yako na ungependa kulifanya lisionekane kwa wengine, unaweza kuficha Faili na Folda ili wengine wasiweze kuzifikia kwa urahisi. ### Kwa bahati nzuri ni kwamba kwenye kompyuta za Windows hukuruhusu kuficha kila aina ya vitu kwa kutumia programu ambazo ziko n...
null
File Explorer in Windows 11 helps you get the files you need quickly and easily. To check it out in Windows 11, select it on the taskbar or the Start menu, or press the **Windows logo key **+ **E **on your keyboard. How to use File Explorer: - To pin a folder to **Quick access**, right-click (or press and hold) th...
null
### Kuna mtu anakwambia umri wa mtu ni kigezo cha mtu huyo kujifunza mambo ya kidigitali? Mwambia hayupo sahihi, bibi kizee wa miaka 81 azindua app kwa ajili ya watumiaji wa iOS/iPhone. Bibi huyu mwenye jina la **Masako Wakamiya wa nchini Japani**alianza kutumia kompyuta kwa mara ya kwanza takribani miaka 21 iliyopi...
null
### Watumiaji wengi wa simu janja duniani kote mitandao ya kijamii ambayo ina watumiaji wengi wa kila siku inajumuisha Facebook, Instagram na nyinginezo ni WhatsApp, Twitter lakini sasa mtandao mkubwa wa kijamii umelalamikiwa!. Mitandao ya kijamii imekuwa chanzo cha mapato kwa baadhi ya watumiaji na kuifanya kuwa maar...
null
#### Katika hali ya kawaida tumukuwa tukinunua bidhaa za Apple (iPhone, iPod, n.k) ambazo tangu zianze kuuzwa zimekuwa zikisifiwa na hata kufanya vizuri kimauzo. Lakini kitu ambacho wengi hawajui ni maana ya “i” kwenye bidhaa hizo. Bidhaa za kama iPhone, iPad na nyinginezo ni vitu ambavyo basi katika yale matamanio a...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44018
null
## Ni wazi kuwa WhatsApp kwa sasa wanataka kupatikana katika vifaa vingi zaidi na kwa sasa wanavifikia vifaa vinavyotumia MacOS. Kwa sasa toleo ambalo linapatikana ni la majaribio, kama una kumbukumbu nzuri ni kwamba hapo awali mtu alikuwa anaweza kutumia WhatsApp Web katika kompyuta tuu. Pata picha kwa sasa kuna Ap...
null
### Iwapo una Faili (file) ama Folda (folder) kwenye kompyuta yako na ungependa kulifanya lisionekane kwa wengine, unaweza kuficha Faili na Folda ili wengine wasiweze kuzifikia kwa urahisi. ### Kwa bahati nzuri ni kwamba kwenye kompyuta za Windows hukuruhusu kuficha kila aina ya vitu kwa kutumia programu ambazo ziko n...
null
### Huenda tayari unajua jinsi vifaa vya masikioni visivyotumia waya kama vile AirPods za Apple zilivyo nzuri kwa ajili ya kusikiliza mziki au kuongea kupitia simu yako, lakini huenda hujui jinsi ya kuuganisha AirPods kwenye kompyuta yako. ### Kompyuta nyingi za sasa ( zinazotumia Mac OS na zinazotumia Windows) zinaku...
null
# AirPods AirPods Pro 2 will soon feature a scientifically validated Hearing Test and a clinical-grade Hearing Aid capability.1 Learn more ## AirPods 4 The next evolution of sound and comfort. ## AirPods Pro 2 The world’s first all-in-one hearing health experience. Hearing Health features available with a fre...
null
### Watu wachache sana wanaielewa teknolojia, wengi wetu hatuijui vizuri. Hivyo basi inatufanya tuwe na maswali kadha wa kadha kuhusiana na mambo Fulani Fulani hivi yanayohusu teknolojia. Ntakua mkweli, Mzee wangu ambae kasoma sana na pia ni muhasibu na mtaalamu wa mambo hayo aliniuliza **“Hivi Flash inapata Virus Ka...
null
### Tumezoea kuona teknolojia ya 3D katika magemu au tukienda kuangalia sinema au hata majumbani kwetu kwa wale wenye Tv’s ambazo zina teknolojia ya 3D watakuwa si wageni kwa hili lakini teknolojia hiyo inaonekana kwenda mbali zaidi. Kampuni moja nchini Ufaransa imesema kwamba teknolojia sawa na ile inayotumiwa kupig...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44005
null
## Gmail ni jukwaa kubwa ambalo kwa sasa limevuka kabisa ile hali ya kutuma na kupokea barua pepe (email) tuu, sasa unaweza fanya mambo mengi tuu kwa kutumia huduma hiyo. Ni wazi kwamba wengi wetu kwa kupitia Gmail huwa tunatuma na kupokea barua pepe tuu, lakini kumbuka wakati ukifanya hivyo kuna vitu kadha wa kadha ...
null
### Huenda tayari unajua jinsi vifaa vya masikioni visivyotumia waya kama vile AirPods za Apple zilivyo nzuri kwa ajili ya kusikiliza mziki au kuongea kupitia simu yako, lakini huenda hujui jinsi ya kuuganisha AirPods kwenye kompyuta yako. ### Kompyuta nyingi za sasa ( zinazotumia Mac OS na zinazotumia Windows) zinaku...
null
## Hii ndio bidhaa ya kwanza kabisa ambayo inatambulishwa na kampuni ya Apple kwa mwaka 2023 na hizi si zingine ni MacBook Pro mbili zinazotumia chip za M2 Chip hizo za M2 na zenyewe ziko mbili (kumbuka hata MackBook Pro zimekuja katika aina mbili) hivyo basi kutakua na chip za M2 Pro na M2 Max. Hapa kwa haraka hara...
null
### Vipya kutoka Apple Machi 2019: Apple watambulisha mambo kadhaa mapya leo, Jumatatu 25 Machi. Katika shughuli iliyofanyika katika ukumbi wa Steve Jobs ulio kwenye makao makuu ya kampuni hiyo huko nchini Marekani Apple wametambulisha mambo kadhaa. Hii ni pamoja na huduma ya habari ya kulipia, huduma ya muvi na tamth...
null
### Mapema mwaka huu Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa YouTube Susan Wojcicki alitoa muhtasari wa mpango mpya wa video aliokuwa akipanga kwa mwaka ujao, ikiwa ni pamoja na dokezo kali kwamba ilikuwa ikizingatia kuanzishwa kwa NFTs kwa watayarishi kuunganishwa kwa njia tofauti na mashabiki. Leo, afisa mkuu wa bidhaa wa tovuti...
null
AppleKompyutaLaptopMacBook Apple Imetoa MacBook Pro Mbili, Chip Mpya M2 Pro Na M2 MAX! #2023 Hashiman (@hashdough) Nuh January 18, 2023 Hii ndio bidhaa ya kwanza kabisa ambayo inatambulishwa na kampuni ya Apple kwa...
null
AppleKompyutaLaptopMacBook Apple Imetoa MacBook Pro Mbili, Chip Mpya M2 Pro Na M2 MAX! #2023 Hashiman (@hashdough) Nuh January 18, 2023 Hii ndio bidhaa ya kwanza kabisa ambayo inatambulishwa na kampuni ya Apple kwa...
null
AppleKompyutaLaptopMacBook Apple Imetoa MacBook Pro Mbili, Chip Mpya M2 Pro Na M2 MAX! #2023 Hashiman (@hashdough) Nuh January 18, 2023 Hii ndio bidhaa ya kwanza kabisa ambayo inatambulishwa na kampuni ya Apple kwa...
null
Hii ndio bidhaa ya kwanza kabisa ambayo inatambulishwa na kampuni ya Apple kwa... Wakati Apple wanazindua bidhaa zao mwezi wa Septemba kama iliyo kawaida yao... Moja ya toleo la kompyuta mpakato kutoka Apple imepata malalamiko mengi kwa... Katika moja ya bidhaa ghali sana kwa vifaa vya Apple kompyuta ni moja ya bidh...
null
AppleKompyutaLaptopMacBook Apple Imetoa MacBook Pro Mbili, Chip Mpya M2 Pro Na M2 MAX! #2023 Hashiman (@hashdough) Nuh January 18, 2023 Hii ndio bidhaa ya kwanza kabisa ambayo inatambulishwa na kampuni ya Apple kwa...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=43965
null
## Mtandao mkubwa wa kijamii wa Twitter wa sasa inadhaniwa kwamba wamezima muuganiko wa kutumiwa na App za Third-party kwa makusudi kabisa. Third-party Apps ni zile app ambazo zinatumiaa huduma fulani na kwa kawaida zinakua hazijazalishwa na watoaji wa huduma hio, kwa mfano utumia huduma ya Twitter bila ya kutumia Ap...
null
## Hii ndio bidhaa ya kwanza kabisa ambayo inatambulishwa na kampuni ya Apple kwa mwaka 2023 na hizi si zingine ni MacBook Pro mbili zinazotumia chip za M2 Chip hizo za M2 na zenyewe ziko mbili (kumbuka hata MackBook Pro zimekuja katika aina mbili) hivyo basi kutakua na chip za M2 Pro na M2 Max. Hapa kwa haraka hara...
null
### Watumiaji wengi wa simujanja/smartphones zenye programu endeshi ya Android (Android smartphones) wamekutana na tatizo la simu zao kusumbua au kutokubali kuunganishwa na kompyuta kwa kutumia waya (USB cable) ili waweze kuhamisha faili baina ya simu na kompyuta. ### Hili ni tatizo linaloleta kero na adha kubwa kwa w...
null
## Gemini on Android ## Get the latest Pixel phones with Gemini. # Make it yours. What’s new with Android 14# Make it yours. # Connect to a world of devices. Explore now ## Elevate your everyday. See what’s newEditing tools in Photos ### Give the perfect moment a perfect finish. # Create your own Android Bot....
null
## Pengine soko la simu janja za kujikunja lilikua halitegemewi kukua kwa kasi kama inavyoonekana, makampuni mengi yanahakikisha kuwa yanaweza simu zenye teknolojia hii sokoni na sasa ni zamu ya Vivo. Vivo ni moja kati ya kampuni za kuuza na kutengeneza simu janja inayofanya vizuri sana kwa mwaka 2022 imeshika nafasi...
null
### Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeweka hadharani namba za simu zinazotumiwa zaidi na matapeli kwa njia ya mtandao na kuwasihi wananchi kutotuma pesa kwa watu wasiowafahamu. Namba hizo ziliwekwa wazi na Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa mwishoni mwa wiki wakati akizu...
null
#### Kwa wale ambao wanatumia iPhone/bidhaa za Apple watakuwa wanafahamu app ya Siri iliyo mahususi kwa kutoa msaada fulani. Kuiamuru programu tumishi ya Siri kupiga namba 108 si kitu cha mzaha! Fahamu sababu za undani wa namba 108 kwenye Siri. Watu wenye kufanyia wengine mzaha wamekuwa wakiwahadaa wanaotumia simu za...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=43920
null
### Unaweza ukamtumia mtu picha na ukashangaa anajua sehemu ulipo, ni kitu ambacho wengi wanashindwa kujua inatokeaje. ### Njia mojawapo ya kujua sehemu/location ya mtu pasipo kumuuliza moja kwa moja alipo ni kumwambia atume picha ya kitu chochote alipo,unaweza kumwambia mtu nataka ninunue saa kama yako piga picha nio...
null
## Inajulikana kwamba huduma ya Google Translate inatumika kama ni sehemu moja wapo ya kutafrisi lugha moja kwenda katika lugha nyingine. Huduma hii –Google Translate– imekua ni msaada mkubwa sana hasa kwa wale ambao wanatumia App hii katika sehemu ambazo wanatumia lugha tofauti au hata ukitakua kujua neno fulani kwa...
null
### Watumiaji wengi wa simujanja/smartphones zenye programu endeshi ya Android (Android smartphones) wamekutana na tatizo la simu zao kusumbua au kutokubali kuunganishwa na kompyuta kwa kutumia waya (USB cable) ili waweze kuhamisha faili baina ya simu na kompyuta. ### Hili ni tatizo linaloleta kero na adha kubwa kwa w...
null
### Mara nyingi kompyuta zetu zinakuwa taratibu (slow) kwenye ufanyaji kazi ( ukifungua programu au kitu chochote) inachukua mda mrefu kufungua au kufanya kazi husika. Hii imekuwa ni kero kwa wengi na pia inasababisha watu wengi kushindwa kufanya au kumaliza kazi kwa wakati. ### Kuna njia kadhaa za kufanya ili kupungu...
null
### Katika maisha ya kidijitali kuna vitu vingi tuu ambavyo vinaweza kuwa mkombozi kwa mtu mmoja mmoja au kundi la watu kwa kuwawezesha kupata kipato na moja ya njia hizo ni kwa kutumia matamasha ya Facebook. Kutokana na mbinu za kujikinga na virusi vya Corona duniani kote tumekuwa tukishauriwa kutumia teknolojia kuti...
null
**Hakuna ubishi Microsoft ni moja ya kampuni kubwa zaidi za kutengeneza program kuwahi kutokea. Watu wengi wanafahamu zaidi juu ya bidhaa mbili kubwa kutoka kampuni hii, Microsoft Windows na Microsoft Office, kwapamoja zikijumuisha program zinazotumiwa zaidi ulimwenguni.** Licha ya program, kampuni hii pia imejikita k...
null
New ## Surface Pro, Copilot+ PC This laptop's unrivalled flexibility and AI features like Cocreator, enable you to do more than you ever imagined. ## Xbox Series S Next-gen performance in the smallest Xbox ever. ## Game Pass Play new games on day one. Plus, enjoy hundreds of high-quality games with friends on con...
null
### Regina Duncan aliyekuwa mtendaji mkuu wa kitengo kimoja cha uvumbuzi cha Google ameondoka na kwenda kujiunga na kitengo kama hicho Facebook, Mbeijing huyo ambaye muda wake wa hapo Google umekuwa wa mafanikio makubwa anaenda kujiunga na kitengo pia cha uvumbuzi katika kampuni ya Facebook. Regina Duncan anasifiwa k...
null
Mara nyingi sana utamsikia mtu anasema simu yake imekufa au imeharibika gafla... Asilimia kubwa ya watu huuziwa simu zilizotumika bila ya wao kujua, unaweza... Mara nyingi kompyuta zetu zinakuwa taratibu (slow) kwenye ufanyaji kazi (... Kama umekuwa ukifuatilia teknlojia, wiki hii kumekuwa na gumzo kubwa mtandaoni.....
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=43874
null
### Mara nyingi kompyuta zetu zinakuwa taratibu (slow) kwenye ufanyaji kazi ( ukifungua programu au kitu chochote) inachukua mda mrefu kufungua au kufanya kazi husika. Hii imekuwa ni kero kwa wengi na pia inasababisha watu wengi kushindwa kufanya au kumaliza kazi kwa wakati. ### Kuna njia kadhaa za kufanya ili kupungu...
null
### Google wamesema kivinjari chao cha Chrome kupunguza utumiaji wa RAM kwa kiasi kikubwa katika toleo jipya la kivinjari hicho. Google wamesema kuna maboresho kadhaa waliyofanya kwenye teknolojia inayoendesha kivinjari hichi maarufu. Katika toleo la Chrome la namba 89 wamesema wanaonufaika zaidi ni watumiaji wa Windo...
null
### Ushawahi tafuta sababu kwa nini usitumie Windows 7 kwenye kompyuta yako? Basi FBI wanakupa sababu. Shirika la Upelelezi la Marekani, FBI, limetoa tamko likisema usitumie programu ya TeamViewer wala programu endeshaji ya Windows 7 kama una mambo ambayo utaki yaweze kufikiwa na wadukuzi. Ujumbe wa FBI ulitoka Juma...
null
### Programu endeshi ambayo inashauriwa kutumika kwenye kompyuta katika miaka ya karibuni ni Windows 10 lakini lazima tufahamu kuwa si kila kipakatalishi kinakubaliana toleo hilo (Windows 10) hivyo ni vyema ukazingatia mambo kadhaa muhimu ili kifaa chako kiweze kufanya kazi vyema. Kwa miaka mingi tuu sasa nimekuwa mpe...
null
### Matatizo katika Windows 10 Updates bado yanaendelea kujitokeza. Katika toleo la sasisho (Update) la mwezi Juni kuna kompyuta nyingi ambazo zimepata matatizo kutokana na sasisho hilo. Tatizo kuu ni kujikuta kompyuta inajizima na kujiwasha, yaani ‘reboot’. Kama mtumiaji wa Windows 10 ambayo huwa nafanya masasisho ma...
null
### Hizi ndio programu muhimu za kuwa nazo kwenye kompyuta/ laptop yako inayotumia Windows 10. Iwe ni kwenye kompyuta yako mpya au ambayo ndio umeweka Windows 10 upya, tutakutajia programu muhimu pamoja na kuweka eneo la wewe kuzipakua/download. Soma uchambuzi na kuhusu programu mbalimbali nyingine hapa – Teknokona/ ...
null
### Tokea ujio wa Windows 10, tatizo kubwa limekuwa usalama wa masasisho yake (Updates). Mara kwa mara updates/masasisho yanayotumwa na Microsoft kwa watumiaji wake yamekuwa yakileta matatizo makubwa kwa baadhi ya watumiaji wa kompyuta zinazotumia toleo hilo la Windows. Na sasa kuna toleo la sasisho jipya ambalo unash...
null
KompyutaMaujanjaTeknolojiaWindows 10Windows 7Windows 8 Kulinda faili ndani ya Windows 7, 8 au 10 Mato Eric May 19, 2020 Ukiwa mtumiaji wa kompyuta na hasa kama shughuli zako ili kwenda vizuri na... KompyutaTeknolojiaWindows 10Windows 7 Windows 10 Itaingia Ktk Kompyuta Zenye Uwezo Huu! Hashiman (@hashdough) Nuh Decembe...
null
Ukiwa mtumiaji wa kompyuta na hasa kama shughuli zako ili kwenda vizuri na... Hakuna ubishi Microsoft ni moja ya kampuni kubwa zaidi za kutengeneza program... Microsoft amekuwa akipata ushindani sana kibei kutengeneza tableti ya bei ya... Simu ya HTC One inayotumia Android imepata sifa ya kuwa simu bora zaidi kiuwez...
null
### Kama unatumia Windows 7 kwenye kompyuta yako basi muda wa kusasisha (upgrade) kwenda Windows 10 umefika. Microsoft wameiweka tarehe 14 Januari 2020 kama mwisho rasmi wa utumiaji wa Windows 7. *Je ni nini kitatokea?* Kuanzia tarehe 14 January kompyuta inayotumia Windows 7 isitegemee kupata updates (masasisho) ya a...
null
## Mara nyingi tumekutana na hili jambo ambapo watu wanaotuzunguka wanauliza kama kompyuta zao zina uwezo wa kupokea programu endeshaji ya windows 10. Hii inaweza ikawa mtu anataka kusasisha toleo la mbele zaidi baada ya kuwa anatumia toleo la nyuma (windows XP, windows 7 n.k). Sasa ili kupata toleo kubwa kabisa inab...
null
### Microsoft wazuia sasisho (updates) kwenye baadhi ya kompyuta zinazotumia Windows 10. Sasisho linalozuiwa na Microsoft inasemekana linaweza sababisha matatizo makubwa kwenye kompyuta ambazo zimezuiliwa kuingia. Kutokana na uamuzi wa Microsoft sasisho la mwezi Mei (May 2019) ambalo tayari limeanza kupatikana halitak...
null
**Microsoft katika toleo la kisasa la Window 10 (kuanzia toleo la Oktoba 2018) imewezesha watumiaji wake kuweza kuchomoa kifaa cha USB Flash/Drive kwa usalama bila kufuata hatua ya ‘Safely Remove’.** **Microsoft **wamesema katika ukurasa wao wa habari kuwa kwa kipindi kirefu kuna machaguo ya aina mbili ya kuchomoa vif...
null
### Habari mbaya kwa watumiaji wa Windows wanaotumia diski zenye ukubwa mdogo, Windows 10 kula nafasi kubwa zaidi muda si mrefu. Tayari watumiaji wengi wa Windows 10 wanalalamika ujio wa masasisho (updates) mbalimbali za Windows ambazo muda mwingine ndio uharibu mambo. Microsost wamesema wanaongeza kitu kinaitwa ‘Res...
null
### Leo hii ukienda kununua kompyuta dukani kama haitakuwa imewekwa Windows 8 basi itakuwa na Windows 10 ambayo inaonekana kuwa na watumiaji wengi lakini sio wa kupindukia. Tukiwa umebakiza zaidi ya mwezi mmoja kumaliza mwaka 2018 Microsoft wameweka bayana vitu ambavyo ameviboresha kwenye programu endeshi ya Windows....
null
### Kampuni ya Microsoft imetangaza kuwa kwa sasa kuna karibu kompyuta milioni 700 zilizounganishwa na Windows 10. Mkurugenzi Mtendaji wa Microsoft, Satya Nadela alisema hayo katika mkutano wa wanahisa wa kila mwaka kwamba kuna zaidi ya kompyuta milioni 600 zilizounganishwa na Windows 10. **Microsoft Windows ndio mfu...
null
Ingawa Microsoft walianza na lengo kubwa la kufikisha vifaa bilioni 1 vinatumia... Katika ile hali ya kuzidi kuleta ushindani katika biashara Microsoft imeamua... Microsoft wanafanyia kazi sasisho (update) jipya la Windows 10 litakaloleta... Microsoft walazimika kumlipa mwanamke mmoja faini ya $10,000 (zaidi ya Tsh....
null
## Samsung ni moja kati ya makampuni ya kiteknolojia ambayo inajihusisha na vitu vingi sana lakini kwa haraka haraka inafahamika kuhusiana na simu janja zake tuu. Ni wazi kwamba kampuni inatengeneza na kuuza mpaka majokofu, Tv, Laptop na vitu vingine vingi tuu. Kingine ni kwamba kwa sasa kampuni ina miaka kadhaa nyu...
null
### Samsung wametambulisha rasmi matoleo yajayo ya familia ya simu zake maarufu zinazotumia jina la Galaxy S. Kupitia makala hii pata kuzifahamu kwa undani simu mpya za Samsung Galaxy S7 na S7 Edge. ### Samsung Galaxy S7: Kipi ni cha kipekee? Ingawa kwa haraka haraka inaweza ikaonekana kimuonekana matoleo ya Samsung...
null
### Jumapili kampuni ya simu ya Samsung imetambulisha simu janja ya Samsung Galaxy S9 na Samsung Galaxy S9 Plus katika mkutano mkubwa unaojulikana kama Mobile World Congress (MWC) huko Uhispania katika jiji la Barcelona. Samsung Galaxy S9 haina tofauti sana na Samsung Galaxy S8 lakini S9 imeboreshwa zaidi katika eneo ...
null
#### Kama una marafiki zako ni watumiaji sana wa FourSquare kuna kile kipindi ambacho mmefika bar au hata katika mgahawa na kila mtu anaamua kutoa simu yake na Ku check in. FourSquare wametoa updates katika iOs na Androids na hivyo wameweza kurahisisha zoezi hilo kwa ujumla. Badala ya kila mtu kutoa simu yake na kuanz...
null
Ni wazi kwamba Galaxy Z Flip 5 inasubiriwa kwa hamu kabisa na hii inategemewa... Samsung ni moja kati ya makampuni ya kiteknolojia ambayo inajihusisha na vitu... Ni wazi kuwa toleo la Galaxy Z Flip 4 ni moja kati ya matolea ya simu janja za... Pengine hii inaweza kuwa ndio simu janja ya kwanza (kutoka Samsung?) amba...
null
GalaxyLaptopSamsung Samsung Itatoa Toleo Jipya La Laptop Ya Galaxy Book Pamoja Na Galaxy S23! Hashiman (@hashdough) Nuh December 29, 2022 Samsung ni moja kati ya makampuni ya kiteknolojia ambayo inajihusisha na vitu...
null
Samsung ni moja kati ya makampuni ya kiteknolojia ambayo inajihusisha na vitu... Ukiachana na vitu vingi ambavyo kampuni ya Samsung inasifika kutengeneza kama... Ni wazi kuwa chapa ya Pixel imejipatia jina kubwa sana na inamilikiwa na... Kivinjari cha Google Chrome ndio kivinjari kinachoongoza kutumiwa na watu... T...
null
Samsung Unpacked 2024 inakaribia, na wapenzi wa teknolojia kote ulimwenguni... Katika ulimwengu wa teknolojia, mambo mapya ya kushangaza hayakomi. hasa katika... Apple na Samsung ni makampuni makubwa sana katika nyanya ya kiteknolojia,... Tangia Samsung watoe simu janja za kujikunja na kulishangaza soko moja kwa moj...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=43742
null
### Je unafahamu jinsi ya kuscan kompyuta yako na faida zake? Kompyuta zinazokuja na Windows 10 au 11 ndani yake zinakuja na program ya Windows Defender (built-in Antivirus) ambayo hufanya kazi muda wote ( Run on background), hii inasaidia kupambana na wadudu (viruses) ambao husababisha uharibifu kwenye utendaji kazi w...
null
## Samsung imepata mfanyakazi mpya, mfanyakazi huyu kwa zamani alikua anafanya kazi katika kampuni ya Mercedes. Hubert H. Lee, anakua na kazi ya kuiongoza timu nzima ya ubunifu wa simu janja ambayo inajulikana kama MX (Mobile eXperience) Design ambayo ni kitengo kimojawapo cha Samsung. Kwa mara ya kwanza Lee alikua ...
null
## Samsung ni moja kati ya makampuni ya kiteknolojia ambayo inajihusisha na vitu vingi sana lakini kwa haraka haraka inafahamika kuhusiana na simu janja zake tuu. Ni wazi kwamba kampuni inatengeneza na kuuza mpaka majokofu, Tv, Laptop na vitu vingine vingi tuu. Kingine ni kwamba kwa sasa kampuni ina miaka kadhaa nyu...
null
## Samsung kampuni nguli kabisa katika teknolojia za kurahisisha mawasiliano imetangaza tabiti mpya — Galaxy Tab Active 4 Pro — ambayo inakuja mahususi kwa kundi la watu. Tabiti hii– Galaxy Tab Active 4 Pro ni mahususi kwa wafanya kazi na hata wale ambao wanafanyakazi nzito maana inakuja katika hali ya uimara sana uk...
null
## Ni wazi kwamba Galaxy Z Flip 5 inasubiriwa kwa hamu kabisa na hii inategemewa kuwa ndio muendelezo wa Galaxy Z Flip 4 ambayo mpaka sasa ipo katika soko. Inajulikana kwamba kampuni ya Samsung mara kwa mara inatengeneza simu kali sana za kujikunja na mpaka sasa kampuni hiyo ndio inshikilia usukani katika soko la sim...
null
## Ni wazi kwa sasa soko la tabiti sio kubwa kama ilivyokua hapo awali, Tableti kuna muda zililiteka sana soko maana zilikua zipo nyingi sana. Ni makampuni mengi yameeachana kabisa na uzalishaji wa tabiti… zilivyoingia tuu zilikua ziko katika ya simu janja na kompyuta mpakato. Wao Samsung kwa sasa wana mpango wa kuja...
null
## Samsung ni kampuni kubwa sana ye teknolojia ambayo inajihusisha na mambo mengi kama vile simu janja, majokofu, runinga n.k na sasa inasemekana iko katika mpango wa kuja na saa janja yenye projector. Projector ni vifaa vya kielektroniki ambayo tumevizoea hutoa picha/video katika kifaa husika na kuonyesha katika ene...
null
## Ni wazi kwamba Samsung ni moja kati ya makampuni ambayo ina matoleo mengi sana na kwa mwaka huwa wanatoa simu janja nyingi sana pengine ukilinganiasha na kampuni zingine nyingi kubwa katika soko la simu janja. Na kwa sasa ni kwamba kuna kampuni nyingi ambazo ziko katika mchakato wa kuachia simu zao –tena zile zeny...
null
## Samsung imekua ni moja kati ya kampuni ambalo linaingiza vifaa vya aina yake katika soko, katika siku za hivi karibuni kumekua na picha kadha za Galaxy S23 zikiwa zinasaambaa katika mtandao. Picah hizo zilitufunza machache kuhusiana na kifaa hicho kipya ambacho bado hakijaingia sokoni, tulipata taarifa kama vile z...
null
## Ni wazi kuwa toleo la Galaxy Z Flip 4 ni moja kati ya matolea ya simu janja za kujikunja yanyofanya vizuri sana katika soko kwa sasa. Samsung iliweka wazi lengo lake la kuja na simu janja ya Galaxy Z Flip 4 ambayo ni spesheli ukilinganisha na ile ya kawaida ambayo imezoeleka na hapa wanashirikiana na Maison Margie...
null
## Simu hizi za kujikunja zina umaarufu sana kwa sasa lakini cha kushangaza bado watu wengi hawajaweza kujaribu simu hizi, Samsung imeeleza baadhi ya mipango yao kuhusiana na simu hizi. Kwa mwaka huu kampuni ya Samsung ina mpango wa kuuza simu za kujikunja (Foldable) ambazo zinafika milioni 10. Kumbuka kwa sasa simu...
null
## Pengine hii inaweza kuwa ndio simu janja ya kwanza (kutoka Samsung?) ambayo ina betri la kutoka kuwa na uwezo mkubwa kuliko zote. Fununu za jina ni kwamba inaitwa Galaxy Xcover 6 Pro, na kwa sasa kuna mpaka picha ambazo zinasambaa katika mtandao zikiwa zinaonesha simu hiyo. Hatujaona simu janja ambazo zina betri ...
null
## Kumbuka kwa soko la sasa kampuni ya Samsung ndio imeshika soko la simu janja ambazo zinajikunja. Simu zake za kujikunja zimeenda mbali sana ukilinganisha na makampuni mengine. Kwa sasa Samsung ina vifaa vingi vinavyotumia teknolojia ya kujikunja, tumeshaona matoleo mengi sana ya simu kutoka katika kampuni hii amba...
null
## Sasa hivi simu janja za kujikunja ni nyingi mno na kwa sasa teknolojia hii kwa kiasi kikubwa imeanza kuzoeleka. Tumeshaandika sana kuhusu simu na vifaa mbali mbali vinavyotumia teknolojia ya kujikunja HAPA, pitia kwanza kidogo. Taarifa zilizopo ni kwamba Kampuni ya Apple inatumia teknolojia ya OLED ambayo imetumi...
null
### Samsung ilithibitisha Jumatatu kwamba baadhi ya data zake ziliibiwa kama sehemu ya shambulio la mtandao ambalo liliripotiwa kwa mara ya kwanza mwishoni mwa wiki. Katika taarifa kwa Bloomberg, kampuni kubwa ya vifaa vya elektroniki ya Korea ilifichua kwamba ukiukaji wa usalama ulisababisha “baadhi ya source code (ms...
null
## Samsung ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika swala zima la kutengeneza na kuuza simu janja. Samsung pia ndio kinara wa simu za kujikunja (fold na flip) ambapo kampuni ndio inashika usukani katika mauzo ya simu za aina hizo. Teknolojia ambayo inatumika kutengeneza simu hizi ni ya hali ya juu na vile vile ...
null
### Samsung wamefanya tukio lao la kutambulisha Simu za Samsung Galaxy Z Fold, Z Flip 5, matoleo ya tableti ya Tab S9 na saa za Watch 6. Tukio hilo la kila mwaka linaloenda kwa jina la Unpacked, lilifanyika Julai 26 nchini Korea Kusini. Tunakupa hapa sifa mbalimbali ya vyote vilivyotambulishwa katika siku hiyo. Tukio...
null
## Utengenezaji na Uuzaji wa simu janja ni moja kati ya soko kubwa sana na mara kwa mara tumeshuhudia makampuni mengi yakijipatia faida kubwa. Makampuni kama Apple na Samsung mara kwa mara wameonekana wakichuana jino kwa jino katika kuhakikisha kuwa nani anabaki kuwa juu katika soko la kutengeneza na kuuza simu janja...
null
Samsung ni moja kati ya makampuni ya kiteknolojia ambayo inajihusisha na vitu... Ukiachana na vitu vingi ambavyo kampuni ya Samsung inasifika kutengeneza kama... Ni wazi kuwa toleo la Galaxy Z Flip 4 ni moja kati ya matolea ya simu janja za... Ni wazi kwa sasa vifaa vya kujikunja ni vingi sana na kwa sasa kuna makam...