name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Samsung ilithibitisha Jumatatu kwamba baadhi ya data zake ziliibiwa kama sehemu... Uvaaji wa saa janja umekuwa ukikua mwaka hadi mwaka na makampuni mbalimbali... Imekuwa ni jambo la kawaida kwa makampuni yanayofanya biashara ya simu janja... Samsung imekuwa ikifanya uzinduzi wa bidhaa zake kwa miaka mingi tuu na... ...
null
Huko jijini Barcelona kampuni ya Samsung imetambulisha simu iliyokuwa... Kamera za simu zinatumika sana kuliko kamera za kawaida. Simu-janja zingine ni... Inafahamika wazi kuwa simu za Android kama vile Samsung Galaxy ndio wapinzani... Wiki iliyopita tuliangalia namba 20 hadi 11 katika simu zinazoshikilia chati... ...
null
### WhatsApp Desktop imekuwa ni mkombozi wa watu wengi tuu ulimwenguni ambao kazi zetu zinategemea matumizi ya kompyuta hivyo kufanya uwezekano wa kushika simu na kujibu jumbe kuwa mdogo. Kwa wale ambao tunatumia WhatsApp Desktop kwenye maisha yetu ya kila siku tunafahamu jinsi ambavyo imetusaidia kuokoa vifurushi vy...
null
### Twitter ni mtandao wa kijamii unaotumika na watu mbalimbali kubadilishana mawazo kupitia jumbe fupi. Mtandao huu wa kijamii ulianzishwa mwaka 2006, waanzilishi wakiwa ni Jack Dorsey, Biz Stone, Evan Williams na Noah Glass. Kwa sasa mtandao wa kijamii wa Twitter una dhamani ya Dola Bilioni 48.45 na Mkurugenzi mten...
null
Twitter yatozwa faini ya $150m nchini Marekani baada ya maafisa wa kutekeleza... Kama tunavyojua kila baada ya muda wataalamu wa mtandao wa kijamii wa WhatsApp... Twitter ni mtandao wa kijamii unaotumika na watu mbalimbali kubadilishana... Asia99 Asia99 Asia99 Asia99 Asia99 Asiagenting Asiagenting Asiagenting Asiage...
null
### App Store ya Urusi imepoteza programu 6,982 za simu janja tangu kuanza kwa uvamizi wa Ukraine, kwani kampuni nyingi sasa zimeondoa programu na magemu yao kutoka App Store ya Apple nchini humo, kulingana na data iliyoshirikiwa na TechCrunch na kampuni ya kijasusi ya Sensor Tower. Kufikia sasa, programu hizo ziliku...
null
### SWIFT, au Society for Worldwide Interbank Financial Telecommunication, ni mtandao salama wa kimataifa wa kutuma ujumbe ambao benki hutumia kufanya malipo yanayovuka mipaka. Mtandao huo unarahisisha taasisi za kifedha kusambaza pesa kwa kila mmoja, na kusaidia kuhakikisha kuwa biashara za kimataifa inaendelea vizuri...
null
IntanetiKompyutaSWIFTTeknolojiaUchambuzi SWIFT ni nini na Urusi kutengwa kutumia huduma za SWIFT kuna maana gani? Semu Msongole March 2, 2022 SWIFT, au Society for Worldwide Interbank Financial Telecommunication, ni...
null
### Windows 11 ni programu endeshi ambayo inawika sehemu nyingi duniani na inachagizwa na upya wake kitu ambacho watu wengi ulimwenguni wanaweka toleo hilo kwenye kompyuta zao bila kujali kifaa husika kimekidhi vigezo vya kuwa na sifa zinazohitajika kuwa katika sehemu salama ya kupakua masasisho yanapotoka. Maboresho...
null
### Toleo jipya la programu endeshi kutoka kwenye familia ya Windows inapata wateja kwani kompyuta nyingi sasa watu wanaamua kubadilisha na kuweka kitu kipya. Windows 11 Pro ni toleo mojawapo la programu endeshi ambazo zipo chini ya Windows na zinafanya kazi bega kwa bega na Microsoft. Watu wengi ambao wanatumia komp...
null
### Twitter inapanua ufikiaji wa Hali yake ya Usalama kwa kuleta beta kwa takriban asilimia 50 ya akaunti nchini Marekani, Uingereza, Kanada, Australia, Ireland na New Zealand. Kampuni ilianza kujaribu kipengele hicho Septemba na idadi ndogo ya watu. Inapanua toleo la beta katika nchi za ziada zinazozungumza Kiingereza...
null
### Instagram ya Meta inatambulisha njia mpya ya watu kuingiliana na Hadithi. Kuanzia leo, unaweza kutuma like kwa faragha mtu anaposhiriki picha au video inayovutia macho yako. Hapo awali, njia pekee ya kujibu Hadithi ilikuwa kutuma mtayarishi ujumbe wa moja kwa moja au hisia ya emoji. Kwa vyovyote vile, jibu lako lin...
null
Unafahamu teknolojia mpya zitakazotumika sana mwaka 2022? Teknokona leo... Google imetoa onyo kwa watengeneza programu kwamba wanahitaji kuwa wazi na... Google Finance ni tovuti maalum ya Google kwaajili ya habari za kibiashara... Microsoft inashikilia tovuti kadhaa ambazo zilikuwa zikitumiwa na kikundi cha... Unaz...
null
### USSD Code ni itifaki ya mawasiliano inayotumiwa na simu za mkononi kuwasiliana na kompyuta za waendeshaji wa mtandao wa simu. USSD inaweza kutumika kwenye kivinjari kwa WAP, huduma za kulipia, huduma za pesa, huduma za maudhui kulingana na eneo, huduma za habari zinazotegemea menyu, na kama sehemu ya kusajili simu ...
null
AndroidappsIntanetiKompyutaMaujanjasimuTeknolojiaUchambuziUSSD Fahamu kuhusu USSD CODE na Maujanja yake. Semu Msongole February 10, 2022 USSD Code ni itifaki ya mawasiliano inayotumiwa na simu za mkononi kuwasiliana...
null
### Kampuni kubwa ya mitandao ya kijamii ya Facebook imeona watumiaji wake wa kila siku wakishuka kwa mara ya kwanza katika historia yake ya miaka 18. Kampuni mama ya Facebook ya Meta Networks inasema takwimu zilishuka hadi 1.929bn katika miezi mitatu hadi mwisho wa Desemba, ikilinganishwa na 1.930bn katika robo ya awa...
null
### Jack Sweeney, mwenye umri wa miaka 19 kutoka Florida, alikataa ofa ya $5,000 kutoka kwa Elon Musk ya kufuta akaunti yake ya Twitter inayofuatilia ndege binafsi ya bilionea huyo. ElonJet ina zaidi ya wafuasi 180,000 na hutumia roboti ambayo Sweeney alitengeneza kufuatilia safari za ndege za Musk, kisha hutuma kwenye...
null
### Google Chrome ni kivinjari cha tovuti kilichotengenezwa na kampuni ya Google. Kivinjari hiki kilianza kutumika mwaka 2008 katika kompyuta za Microsoft Windows na baadae kufikia watumiaji wa programu endeshi za Linux, MacOS, iOS na Android. Kupitia makala hii utaweza kujifunza maujanja mbalimbali unayoweza kuyafanya...
null
### Wizara ya Habari na Utangazaji imeamuru kuzuiwa kwa chaneli 35 za YouTube na tovuti mbili ambazo zilikuwa zikiendesha propaganda dhidi ya India na kueneza habari za uwongo “kwa njia iliyoratibiwa”. Wizara pia imetoa maagizo ya kuzuiwa kwa akaunti mbili za Twitter, akaunti mbili za Instagram na akaunti moja ya Faceb...
null
### Teknolojia inayounga mkono sekta ya crypto ‘Blockchain’, imeibuka kama uwanja wa kuvutia wa maarifa katika miaka ya hivi karibuni, watafiti kadhaa wanasema. Katika azma ya kuongeza kazi ya utafiti katika sekta ya Blockchain, Google Labs imeteua timu mpya kuangazia teknolojia mpya na inayokuja. Maabara ya Google ni ...
null
### Serikali ya Ukraine imeishutumu Urusi kwa kuhusika na shambulizi la mtandaoni la Ijumaa kwenye tovuti zake. Takriban tovuti 70 za serikali zilizimwa kwa muda, katika shambulio hilo kubwa dhidi ya Ukraine katika kipindi cha miaka minne. Kabla ya tovuti kuzimiwa mtandao, ujumbe ulionekana kuwaonya Waukraine “kujitaya...
null
### Utiririshaji wa video ni kitendo cha kuangalia video moja kwa moja mtandaoni kwa wakati halisi au kuwasiliana na mtu kwa njia ya video ya wakati halisi. Mpaka sasa kuna majukwaa mengi yanayotoa huduma hizi lakini Teknokona leo tunakuletea orodha ya majukwaa maarufu ya utiririshaji wa video mtandaoni. **Zoom: **Hi...
null
Skype imedumu kwenye ulingo wa biashara kwa miaka mingi na bado wanaendelea... Utiririshaji wa video ni kitendo cha kuangalia video moja kwa moja mtandaoni... Skype kuna kipindi ilikua haishikiki kabisa, ni wazi kuwa ndio alikua... Miaka 10-15 nyuma kabla ya ujio wa WhatsApp, Telegram, Skype ilikuwa maarufu... Seri...
null
### Chuo Kikuu cha Kyoto nchini Japani kimepoteza takriban 77TB ya data ya utafiti kutokana na hitilafu katika mfumo wa chelezo wa kompyuta yake kuu ya Hewlett-Packard (HP). Tukio hilo lilitokea kati ya Desemba 14 na 16, 2021, na kusababisha faili milioni 34 kutoka kwa vikundi 14 vya utafiti kufutwa kutoka kwa mfumo na...
null
Chuo Kikuu cha Kyoto nchini Japani kimepoteza takriban 77TB ya data ya utafiti... HP Inc. ni kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya habari ya Marekani yenye makao... Unazifahamu Super Computer? Teknokona leo tunakuchambulia maana, aina na... Telnolojia bila kuwa umeelimika daima utakuwa unaona kuwa kuna kitu... Urah...
null
### HP Inc. ni kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya habari ya Marekani yenye makao makuu yake Palo Alto, California ambayo hutengeneza kompyuta mpakato (Laptop), kompyuta za mezani (Desktop), vichapishaji (Printer) na vifaa vinavyohusiana na hivyo pamoja na suluhu za uchapishaji za 3D. Teknokona leo tunakuletea orod...
null
### Unayafahamu madini yanayotumika katika utengenezaji wa vifaa vya kieletroniki? Teknokona leo tumekuandalia orodha ya madini muhimu katika utengenezaji wa vifaa vya kielektroniki. Katika orodha hii tutaelezea pia madini hayo yanatumika kutengenezea sehemu ipi ya kifaa cha kielektroniki na kwanini. Kuna aina nyingi...
null
### Tinder inashirikiana na Spotify kuzindua kipengee kipya cha “Music Mode” ambapo mtumiaji atasikia wimbo uliochaguliwa na mtu kwa sekunde 30 wakati wa kuangalia wasifu wa huyo mtumiaji. Ikumbukwe kuwa Tinder na Spotify walishirikiana kwa mara ya kwanza mwaka 2016 ili kuzindua kipengele cha Wimbo, ambacho kinaruhusu ...
null
Microsoft mara kwa mara huwa wanaweka maboresho katika Windows zake, Maboresho... Licha ya watumiaji wengi wa Instagram ni wenye simu janja lakini wapo ambao... Katika hali ya kawaida kabisa inaweza kutokea wakati unaperuzi mtandaoni... Microsoft wamesema tujiandae kwa ujio wa toleo la Microsoft Office 2021 kwa... ...
null
Mamlaka za usalama nchini Uganda kwa kushirikiana na idara ya uhamiaji... Ukitaka kukabiliana na suala zima la uchafuzi wa mazingira basi ni lazima... Serikali ya Uganda imetangaza kwamba sheria mpya ya tozo ya kodi kwenye... Kampuni ya mawasiliano ya Smile Telecom nchini Uganda imeamua kuwalipia kodi ya... Kijana ...
null
#### Tanzania Telecommunications Company (TTCL) ina mpango wa kukodisha muunganisho wa intaneti kwa Uganda, ambayo inataka kujenga mbadala kutoka kutegemea muunganisho kupitia Kenya hapo Novemba, (Daily News). Hatua hiyo itawafaidisha watumiaji wa intaneti na kuwa kama ulinzi dhidi ya utegemezi wa cable moja (kupitia...
null
#### Mfumo wa World Wide Web umefikisha miaka 21 wiki wii, na kwa wale wasiomjua aliyekuja na teknolojia hii ni Tim Berners-Lee, 41. Na katika kitu cha ajabu mtu huyu ambaye angeweza kuwa mtu mmoja tajiri sana duniani ni kwamba anaishi maisha ya kawaida sana kwani hakujimilikisha teknolojia hii mwaka 1992. Na kitu kin...
null
#### Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu, Vodacom, imeandaa shindano kwa ‘developers’ katika nchi za Africa na Uarabuni kuweza kutengeneza, kuuza na hatimaye kushinda zawadi mbalimbali kutokana na mawazo yao na app watakazotengeneza. Kupitia shindano hili, wataalamu wa teknolojia wanaoishi na kufanya kazi katika ...
null
#### Wakati Microsoft Office 2010 tunaweza tukasema haijapata umaarufu kama ile ya 2007 kampuni ya Microsoft wapo njiani kuleta toleo jipya la programu hii. Kitu kikubwa ni kuwa toleo hili litaweza kufanya kazi vizuri ata kwenye vifaa vya kugusa (touch screen), pia utaweza kusevu mafaili yako katika mfumo wa mawingu (...
null
Unazifahamu Super Computer? Teknokona leo tunakuchambulia maana, aina na... Maana ya kampuni kuwa kwenye soko la hisa ni kwamba sasa umiliki wake sio tena... Kampuni ya Dell imetambulisha laptop inayokwenda kwa jina la Dell Precision... Microsoft imejikita katika kuingia katika makubaliano ili kupata ushirikiano wa....
null
#### Kwa wengi wetu tutakapowaza kununua kompyuta mara moja tunawaza HP, Samsung au Dell, na mara chache Acer, ila je unajua Lenovo namba mbili duniani kwa mauzo ya kompyuta, tena ndani ya wiki chache zijazo kampuni hii inatemewa kushika namba moja! #### Lenovo ikifanikiwa itakuwa ndiyo kwa mara ya kwanza kwa kampuni ...
null
Chapa rasmi ya Windows 8 | Weka viganja vyako tayari kwani Microsoft inajiandaa kukuletea Operating system nyingine katika mwendelezo wake wa familia za Windows. Operating system hii mpya itaitwa Windows 8. Microsoft inautangaza huu ujio mpya wa operating system ya Windows kama wazo jipya kabisa na la kipekee ambalo ...
null
Kuna watu wamekuwa wakituomba kujua jinsi ya kutengeneza virusi vya kompyuta,... Hawlett-Packard (HP) ambayo ni kampuni Nguli kwenye masuala ya kompyuta... Jinsi wateja wanavyozidi kufurahia iPhone 6 na 6 Plus bado wana shauku... Toleo lijalo baada ya Windows 8 litakuwa Windows 10 na si Windows 9! Haya... Toleo lij...
null
Kampuni ya Samsung yaja na diski yenye umbo dogo zaidi lakini yenye ujazo... Huduma maarufu ya kuchati na kupiga simu ya Skype katika kuboresha zaidi... Moja ya mambo ya msingi unayopaswa kujua wakati unatumia kompyuta ni kuiunga na... Mwezi wa tisa tuliandika kuhusu ujio wa diski ya 8TB kutoka Seagate na wiki hii.....
null
Kuwa na blue tick karibu na jina lako la mtumiaji kwenye mitandao ya kijamii ni jambo kubwa. Inaonyesha kwamba akaunti yako imethibitishwa na ni ya kweli, iwe akunti yako ni ya brand, mtu maarufu, au hata timu ya michezo. Uthibitisho huu unasaidia wafuasi wako kujua kuwa wanawasiliana na chanzo halisi, na si akaunti ya...
null
### Watumiaji wa usafiri wa mabasi ya umma ya UDART sasa wataweza kuongeza pesa katika kadi zao kwa kupitia M-PESA, Vodacom inakuwa ndiyo kampuni ya kwanza ya simu kuwapatia wateja wake uwezo wa kuongeza pesa katika kadi za kusafiria katika mabasi haya ya UDART. UDART walitangaza kusitisha tiketi za karatasi na hivyo...
null
JinsiMaujanjaTeknolojiaTikTok Jifunze Jinsi ya Kupata Uthibitisho(Blue Tick) TikTok. LanceBenson July 27, 2024 Kuwa na blue tick karibu na jina lako la mtumiaji kwenye mitandao ya kijamii ni...
null
Instagram imetambulisha kipengele kipya kinachoruhusu watumiaji kuongeza wimbo... Kuwa na blue tick karibu na jina lako la mtumiaji kwenye mitandao ya kijamii ni... Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuka kuwa jukwaa muhimu... Biashara ziko nyingi na za aina mbalimbali na kila siku zinaanzishwa ...
null
Kuwa na blue tick karibu na jina lako la mtumiaji kwenye mitandao ya kijamii ni... Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuka kuwa jukwaa muhimu... Instagram inafanya majaribio kuongeza uwezo wa watumiaji wake kuruhusiwa... Katika hatua ya kihistoria, Bunge la Marekani limepitisha muswada ambao una...
null
Kuwa na blue tick karibu na jina lako la mtumiaji kwenye mitandao ya kijamii ni... Katika hatua ya kihistoria, Bunge la Marekani limepitisha muswada ambao unaweza... TikTok, mtandao maarufu wa video fupi, huenda ikajiingiza katika eneo la picha... TikTok ni moja kati ya mtandao wa kijamii mkubwa kabisa na wenye nguv...
null
JinsiMaujanjaTeknolojiaTikTok Jifunze Jinsi ya Kupata Uthibitisho(Blue Tick) TikTok. LanceBenson July 27, 2024 Kuwa na blue tick karibu na jina lako la mtumiaji kwenye mitandao ya kijamii ni...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45830
null
Kuwa na blue tick karibu na jina lako la mtumiaji kwenye mitandao ya kijamii ni jambo kubwa. Inaonyesha kwamba akaunti yako imethibitishwa na ni ya kweli, iwe akunti yako ni ya brand, mtu maarufu, au hata timu ya michezo. Uthibitisho huu unasaidia wafuasi wako kujua kuwa wanawasiliana na chanzo halisi, na si akaunti ya...
null
### Microsoft na janga la CrowdStrike, Microsoft waleta programu ya urejeshaji inayolenga kusaidia wasimamizi wa mifumo ya TEHAMA (IT) ili kutengeneza kompyuta za Windows zilizoharibiwa na sasisho batili la CrowdStrike lililosababisha zaidi ya vifaa milioni 8.5 vya Windows kushindwa kufanya kazi kuanzia Ijumaa iliyopit...
null
*The Microsoft Recovery Tool was updated 7/22/2024 as version 3.1. While fundamentally there are no functional changes to the tool, for the Recover from WinPE option, we have expanded the logging, reattempt logic, and error handling. For the Recover from safe mode for USB delivery, we’ve added in better user awareness ...
null
### Kikokotozi cha Windows kinakuja kitofauti. Mapema mwezi huu kampuni ya Microsoft yaweka code (kanuni) za programu yake ya kikokotoa ambazo kwa sasa zitawezesha na kuwaruhusu mtu yeyote mwenye uwezo wa kunyumbua na kuendeleza uwezo ndani ya programu hiyo. Kwa sasa programu hiyo inapatikana katika tovuti ya kuhifa...
null
### Tangu Julai Mosi ya mwaka huu nchini Tanzania matumizi ya nenosiri kwenye kadi mpya za simu yameanza kutumika katika namna moja ya kuweka usalama. Kutokana na mabadiliko ambayo Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendelea kuyatoa kwa makampuni ya simu lakini pia kukabiliana na uhalifu wa kidijiti watumiaji wa...
null
MaujanjaMicrosoftTeknolojiaWindows Microsoft na CrowdStrike: Microsoft waleta Programu kutatua tatizo la kompyuta zilizoathirika teknokona July 22, 2024 Microsoft na janga la CrowdStrike, Microsoft waleta programu ya urejeshaji...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45788
null
### Microsoft na janga la CrowdStrike, Microsoft waleta programu ya urejeshaji inayolenga kusaidia wasimamizi wa mifumo ya TEHAMA (IT) ili kutengeneza kompyuta za Windows zilizoharibiwa na sasisho batili la CrowdStrike lililosababisha zaidi ya vifaa milioni 8.5 vya Windows kushindwa kufanya kazi kuanzia Ijumaa iliyopit...
null
### Our policy on nudity We don't allow the sharing or publishing of content depicting nudity, graphic sex acts or other sexually explicit material. We also don't allow content that drives traffic to commercial pornography sites or to sites that promote paedophilia, incest or bestiality. We have a zero tolerance poli...
null
# Google Terms of Service Effective May 22, 2024 | Archived versions | Download PDF Country version: United Kingdom ## What’s covered in these terms ### We know it’s tempting to skip these Terms of Service, but it’s important to establish what you can expect from us as you use Google services, and what we expect fr...
null
# Google Privacy Policy When you use our services, you’re trusting us with your information. We understand this is a big responsibility and work hard to protect your information and put you in control. This Privacy Policy is meant to help you understand what information we collect, why we collect it, and how you can ...
null
# Get insights quickly, with Google Forms Easily create and share online forms and surveys, and analyze responses in real-time. ## Create an online form as easily as creating a document Select from multiple question types, drag-and-drop to reorder questions, and customize values as easily as pasting a list. ## Send...
null
## Google ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika nyanya ya teknolojia na kwa sasa wanatamba sana na simu zao za Google Pixel lakini kwa sasa wanaingia kabisa katika soko la simu janja za kujikunja na wanakuja na Google Pixel Fold. Licha ya kuwa soko la simu za kujikunja kwa sasa limetawaliwa na kampuni ya Sams...
null
## Ni wazi kwamba vifaa vinavyotumia chapa ya Google Pixel vinafanya vizuri sana katika soko kwa sasa, moja kati ya vifaa hivyo ni simu za Pixel. Kwa sasa kuna toleo la Google Pixel 7 ambazo zimefanya vizuri sana katika soko, vile vile chapa hiyo ina mpaka saa janja ambayo tayari iko sokoni. Kwa sasa Google kupitia ...
null
## Tumeshaandika sana kuhusiana na simu za kujikunja na kukunjua, ni wazi kwa sasa soko la simu janja hizo (Fold) linakua kwa kasi sana, na makampuni mengi wanataka kuwa sehemu ya soko hilo Google Pixel nao hawataki kubaki nyuma. Soko la Simu za kujikunjaa kwa sasa maarufu kama Fold limeshikiliwa na kampuni ya Samsun...
null
## Google kupitia chapa ya Pixel wametangaza saa yao janja inayojulikana kama Pixel Watch, saa hii inakua ni ya kwanza kabisa ambayo inatumia chapa hiyo. Ni wazi kuwa soko la saa janja kwa sasa linakua kwa kasi kabisa na kutokana na ujio wa simu janja za Pixel 7 na Pixel 7 Pro kampuni imeona ni sawa kuleta na saa jan...
null
## Kama makampuni ya Apple huwa ina tabia ya kutoa matoleo madogo –ki umbo–ya simu yenye uwezo mkubwa na kuyapa majina ya SE, Google Pixel na wenyewe wameona waje na kitu kama hichi. Kwa sasa ni wazi kabisa kwamba katika soko simu za Google Pixel zinafanya vizuri sana na imekua ni moja kati ya simu ambazo zimeleta ush...
null
## Simu maarufu za Pixel kutoka katika kampuni maarufu ya Google zinafanya vizuri sana katika soko, hii imeifanya kampuni kuwa ni mshindani mkubwa kwa makampuni mengine mengi. Tuliandika kidogo kuhusiana na Google Pixel 6 >>HAPA<< na >>HAPA<< au hata >>HAPA<< ambayo ilitoka nyuma ya toleo hili la Google Pixel 7 ambal...
null
## Google Pixel ni simu janja nzuri sana na zinasifika sana katika katika swala zima la picha na hata utendaji wake wa kazi. Google kupitia simu yao mpya inayokwenda kwa jina la Google Pixel 6A, ambayo wameitangaza hivi karibuni, inakuja na vipengele vingi lakini sio tundu la spika za masikio. Hii kwa maana nyingine...
null
### Simu janja nyingi ambazo zinatengenzwa katika mika ya karibuni wanaziongezea sifa kwa kuzifanya kuwa na uwezo wa “Kufungua kwa uso” ingawa mambo ni tofauti kwa simu janja Google Pixel 6 na Pixel 6 Pro. Inakaribia miezi sita sasa tangu simu janja Google Pixel 6 na Pixel 6 Pro zitoke (zizinduliwe) lakini hadi sasa ...
null
### Google Pixel 4a ni moja ya simu janja ambayo imezika kwa kiasi kikubwa na hivyo kuinua kimapato kampuni iliyozitengenza. Google wameamua kuiondoa kabisa simu hiyo kwenye duka lake. Je, unajua ni kwanini? Kwa muda mrefu simu janja-Google Pixel 4a imekosekana dukani kutokana na kuuzika mpaka kuisha kutokana na kupa...
null
### Makampuni mengi ambayo yanatengeneza simu janja yameshajitosa kwenye ulingo wa rununu ambazo zinakunjika halikadhalika kukunjuka na ujio wake katika mtindo mwingine, teknolojia bora zaidi kuliko ile ya awali imezifanya kupokelewa vizuri sokoni. Google wamekuwa hawapo mbali kuleta simu janja yao ya kwanza ambayo ip...
null
### Google Pixels 6 na 6 Pro ni simu janja mpya zilizotambulishwa na Google na zitaanza kupatikana kama toleo la kufunga mwaka huu kutoka kwao. Hizi ndio simu za kwanza kutumia prosesa ya Google Tensor, matoleo ya nyuma yalikuwa yanatumia prosesa za Snapdragon. Kwa kutumia prosesa yao Google wanahakikisha mifumo ya ki...
null
### Masasiaho ya kila mwezi kwa simu janja-Google Pixel yameendelea kufikia simu hizo na kimsingi ndio zinazoiweka Google kwenye ramani ya ushundani kwa simu simu janja sokoni. Masasisho kwenye simu janja yoyote ile ni kitu muhimu sana kwani yanakuja yakiwa na maboresho mbalimbali kuhusiana na toleo fulani la rununu. ...
null
### Zilikuwepo habari za chini chini kuhusiana na mpango wa Pixel 5a 5G kutozinduliwa lakini habari hiyo imekanushwa vikali na Google wenyewe na ukweli ni kwamba itatoka mwaka huu. Google imethibitisha kuwa moja ya simu janja zake itatoka mwaka huu na hii inafuatia taarifa kuwa Pixel 5a 5G ilikuwa imewekwa kando kutok...
null
Katika dunia ya leo iliyotawaliwa na teknolojia si kitu cha ajabu... Google watambulisha Google Pixel 3A na 3A XL katika kongamano lao kubwa la... Kwenye ushindani wa simu janja Google wameonekana kupata soko zuri tangu... Google wanajivunia sana kutokana na simu za Google Pixel ambazo zilipata... Kama kuna simu am...
null
## Oppo wametangaza ujio wa simu zao mpya za matoleo ya Oppo Find N ambapo toleo linakuja na simu janja za aina mbili. Majina ya simu hizo kutoka Oppo ni Foldable Find N3 na Find N3 Flip ambazo zote zitakuja na muonekano na sifa za undani za aina yake. Ni wazi kwa sasa masoko ya simu za kujikunja yanakua kadri siku ...
null
## Xiaomi 14 Series zinasubiriwa kwa hamu katika soko na kwa taarifa zilizopo ni kwamba simu janja hizi zitaingia rasmi katika soko ifikapo oktoba 27. Xiaomi ni moja kati ya kampuni ambalo linaleta mapinduzi ya hali ya juu katika swala zima la simu janja maana vifaa vyake vinasifika sana. Licha ya hayo yote bado kam...
null
## Ni wazi kwamba soko la simu janja linatawaliwa na chapa nyingi sana za simu za aina mbalimbali na ni wazi kuna zile ambazo zinafanya vizuri kushinda zingine. Tokea mwaka 2017 mpaka kufikia mwaka huu (500) inaripotiwa kwamba kuna takribani ya chapa (brand) 500 za simu ambazo zinamekufa au kwa namna moja zimetoka kat...
null
## Vivo ni moja kati ya kampuni kubwa sana ya kutengeneza na kuuza simu na kwa sasa wana mpango wa kuingia katika soko kwa mara nyingine tena kwa mali mpya. Simu janja za kujikunya (Flip) zinakuja kwa kasi sana na makampuni mengi ya simu ya mpango mkakati wa kutengeneza na kuuza simu hizi na Vivo ikiwa ni moja wapo. ...
null
Asus ni kampuni ya kiteknolojia kutoka Tawain, kampuni inajihusisha na mambo... Kuna makampuni mengi ya simu ambayo yanafanya vizuri katika soko la nchini... Ni wazi kuna simu zenye RAM zenye GB kubwa lakini hatujawahi kuona ile ambayo... Sony ni moja kati ya chapa kubwa sana katika ulimwengu wa teknolojia, chapa hi...
null
Ni wazi kwamba kuna simu janja za aina nyingi sana na pengine nchini china... Simu janja mara kwa mara zinatoka mpya kila mwaka tena zenye chapa tofauti... iPhone inazidi kutoa matoleo ya simu zake tuu, na mwaka huu tunategemea toleo... Ni wazi kwamba kwenye soko la simu janja za kukunja na kukunjua Kampuni ya... O...
null
Kutoka na ujio wa kishindo wa Apple Pay na NFC katika iPhone 6 inaonyesha... Mwaka Mmoja umepita tangu Vaio (Visual Audio Intelligent Organizer) wapewe... Kwa watumiaji wa iPhone! kama umechoka sikia Ringtone za iPhone ambazo zilikuja... Google play ni moja kati ya Soko kubwa la kushusha App nyingi za bure na za... ...
null
## Hapo mwanzo kulikua kuna viashiria vingi ambavyo vilikua vinaonyesha moja kwa moja kwamba toleo la iPhone 15 halitauzika sana nchini China. Ni wazi kwamba nchini China Huawei imetoa simu janja yake mpya ambayo imeleta mapinduzi na ukiachilia hayo bado serikali ya nchini humo iliwekea vikwazo kwa kwa ujamla hata hi...
null
## iPhone ya kwanza kabisa ilitambulishwa Rasmi mwaka 2007 na Steve Jobs na huu ndio ulikua mwanzo wa iPhone zote mpaka sasa. Kwa 2007 iPhone ya 4GB ilikua ikiuzwa kwa dola za kimarekani 500 huku ile ya 8GB ikiwa inapatikana kwa dola za kimarekani 600. Lakini kingine ni kwamba hili sio la kushangaza sana yaani bidha...
null
## Moja kati ya simu ambazo zimejipatia umaarufu mkubwa sana katika soko la simu janja ni simu za iPhone na zina matoleo mengi. Mara kwa mara simu za iPhone zimekua zikishikilia namba za juu kama moja ya simu bora mara kadhaa kwa mwaka huku Samsung akiwa ndio mshindani wake mkubwa. Kwa fununu ambazo zipo ni kwamba s...
null
## Kwa kutumia akili bandia (AI) ni wazi kwamba vifaa vyetu vya kieletroniki vinaweza kuongea sio? Lakini hebu fikiria kwa sasa Apple (iPhone Na iPad) wanakuja na uongeaji huo lakini ambao unatumia kabisa sauti yako. Uwezo huu katika iPhone unatarajiwa kuja rasmi kabla ya mwaka huu kuisha. Kwa sasa kumbuka ni kwamba ...
null
## Apple ni moja kati ya makampuni makubwa ya teknolojia ambayo mara kwa mara yamekua yakipenda kujitofautisha sana na makampuni mengine kabisa. Ni mara chache sana Apple wanakua wafanana katika bisahaa na makampuni mengine na mara nyingi ikitokea hivyo basi wenyewe huwa ndio wanakua wabunifu wa kwanza. Tuliandika >...
null
## Ukiachana na kuwa hawa jamaa (Apple na Samsung) ni washindani wakubwa sana katika soko bado wanakua ni washirika ambao wanafanya biashara pamoja. Ni wazi kuwa kampuni ya Apple inatumia vipuri vingi kutoka katika makampuni mengine mengi tuu. Moja ya makampuni hayo ni Samsung ambao wameshawahi kuwauzia chip za simu ...
null
## iCloud.Com yapata muaonekana mpya katika kompyuta –pengine hili ni kuendana na hali halisi – na hii ni baada ya kupitia majaribio mengi ya toleo hili. Muonekano mzima wa iCloud umebadilika tofauti kabisa na mwanzo, na vipengele vingi ambavyo vipo vinakufanya uhisi kama bado unatumia kifaa chako kile kile (iPhone a...
null
## Tuna mwaka tuu tupate toleo jipya –iPhone 15 — kabisa la iPhone sio? Ni mwezi wa tisa tuu mwaka 2023, lakini kuna fununu za kutosha tayari kuhusiana na simu hii. Fununu zipo nyingi, lakini tugusie zile chache tuu ambazo tunadhani kweli zinaweza zikawa katika simu hii mpya ambayo tunaitegemea mwezi wa tisa mwaka hu...
null
Apple ni moja kati ya kampuni ambayo imekua ikisemwa sana kuhusina na chaja ya... Unaweza ukawa unajiuliza mbona jambo hili limefanikiwa mara baada ya muda... Sio Apple tuu hata makampuni mengine mengi katika soko la simu janja duniani... iOS 16 iko mbioni kuachiwa rasmi japokuwa kwa sasa kuna toleo la majaribio... ...
null
Teknolojia imekuwa ikipanuka siku hadi siku na kwa wale tunaofahamu si ajabu... Mwanamume mmoja amehukumiwa kifungo cha miezi 26 jela kwa kuhusika katika njama... Kia mwaka Apple inatoa toleo jipya la iPhone ambapo ndio kipindi ambacho huwa... Apple iPhone SE 3 hivi karibuni itaingia katika awamu ya uzalishaji wa......
null
Kampuni ya Huawei ya Nchini China imetoa simu ‘smart phone’... Inasemekana kampuni ya Apple, watengenezaji wa simu za iPhone na tablet za iPad... Kampuni ya Apple watengenezaji wa simu za iPhone, kompyuta za Mac na tableti za... Leo, WhatsApp imetangaza kupitia Twitter kwamba programu yao maarufu ya... Mwezi wa nne...
null
## Apple ni wazi kwamba wana mambo mengi kwa sasa na moja wapo ni kuandaa Airpods Pro ambayo itakua ni kama msaada kwa watu wenye shida ya masikio. Airpod Pro ni moja kati ya kifaa cha Apple ambacho kimefanya vizuri sana na vile vile kimeipatia mapato mengi katika kampuni ya Apple. AirPods Pro hizo ni kwamba zitakua...
null
### Katika moja ya pigo ambalo Apple imekumbana nalo ni kuhakiksha vimemeshi vya sinu janja/vifaa vya kidijiti vitumie USB-C (Type-C) na ni kufuatia agizo la Jumuiya ya Umoja wa Ulaya katika kuhakikisha watu wake wanatumia chaji ya aina moja. Mhandisi Ken Pillonel ameweza kufanya mabadiliko kwenye kitunzo na kifaa ch...
null
### Moja ya bidhaa za Apple ambazo zinaiweka sehemu nzuri ya kibiashara kamuni husika ni spika zake za masikioni ambazo zimetenegenezwa kwa teknolojia ya bila waya. Hata hivyo, ujio wa toleo jipya la AirPods Pro umepigwa kalenda!. Wengi wetu tunafahamu fika kuwa toleo la kwanza kwa spika hizi za masikioni tayari lipo ...
null
### Imekuwa kama desturi ya makampuni mengi wakati wa uzinduzi wa bidhaa fulani basi kuna vitu vingine pia vitawekwa wazi siku hiyo mbali na vile ambavyo vimekuwa vikiongelewa sana kabla ya uzinduzi wake. Mwaka 2017, Apple walizindua iPhone X pamoja na AirPower lakini tangu wakati huo haikuingizwa sokoni. Sisi wateja...
null
### Apple ambao ndio wanamiliki bidhaa iitwayo AirPods wamekuwa kimya kutoa toleo jipya ya spika hizo za masikioni zisizotumia waya. Kuna kifaa kilichozinduliwa na kampuni nyingine ambacho kinaweza kuchaji AirPods. Hyper ndio kampuni iliyokuja na kimemeshi ambacho hakitumii waya chenye uwezo wa kuweka umeme kwenye Ai...
null
## Kampuni ya Apple imefanya mabadiliko tena baada ya kurudisha mitandao miwili mmoja ukiwa ni wa kijamii, VKontakte na mwingine ukiwa ni wa maswala ya barua pepe (E-mail) unaojulikana kama Mail.ru Haya ni makampuni makubwa sana (VK au Vkontakte na Mail.ru) huko nchini urusi na ilitokea yakapigwa marufuku katika soko...
null
## Pengine hili linaweza likawa ni geni kabisa kwako, na pia ukizingatia sio mara kwa mara Apple kupitia App store kuwa na tabia ya kuongeza ongeza bei ya Apps. Maeneo ambayo yataathirika ni nchi nyingi za ulaya, na maeneo mengine, kingine ni kwamba ongezeko hilo la bei za App litaathiri hata bei za manunuzi ya ndani...