name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Jana katika hoteli ya Hyatt Regency, maarufu kama Kilimanjaro kulifanyika...
Mambo yakiendelea kuonekana yanamuelekeo mzuri kwa kampuni ya Blackberry watoa...
Watanzania wengi zaidi wanajiunga Instagram kwa sasa, hivyo nimeona ni muhimu...
Ushindani katika kupunguza gharama za huduma ya maongezi ya simu Tanzania...
... |
null | ## TikTok ni moja kati ya mitandao ya kijamii yenye majina makubwa sana, licha ya ukubwa wake pia iliweka rekodi kuwa mtandao ambao unakua kwa kasi sana.
Ushawahi kufikiria kama unaweza ukafuta kitu kwa kutumia Google ikiwa ndani ya mtandao wa TikTok? Hili litawezekana kabisa hivi karibuni.
Mara wa mara mitandao min... |
null | ## Majukwaa makubwa ya muziki wa ku’stream kwa kawaida yanafanya vizuri na kuingiza mapato mengi kwa makampuni husika, TikTok nao wanataga kipande cha muhogo huo kwa kutangaza mtandao wao yaani TikTok Music.
Kumbuka ndani ya mtandao wa kijamii wa TikTok kuna video nyingi huwa zinaandaliwa kwa kuwekewa na nyimbo juu y... |
null | appsTikTokTikTok Music TikTok Kuja Na Huduma Ya Muziki Wa Ku’Stream, TikTok Music! Hashiman (@hashdough) Nuh July 13, 2023 Majukwaa makubwa ya muziki wa ku’stream kwa kawaida yanafanya vizuri na... |
null | ## TikTok ni mtandao wa kijamii ambao una video nyingi sana, mtandao huu pia ni moja kati ya mitandao ya kijamii inayojihusisha na maswala ya video ambayo ni maarufu sana.
Licha ya mtandao huwa kuwa unafanya vizuri sana kama mtandao wa kijamii lakini kuna baadhi ya muda hili linatokea kama vile kufuta nyimbo ndani ya... |
null | ## Moja kati ya mitandao iliyokua kwa kasi kabisa na kuishangaza dunia ni mtandao wa TikTok, na kama ni mtu wa mitandao ya kijamii nina uhakika ushawahi kukutana na comment ambayo hujaipenda.
Je ukikutana nayo huwa unafanya nini? Ukiachana na kusikitika au kusonya? Kwa taarifa yako kipengele cha kuonesha dhahiri kama... |
null | ## Kama kitafanikiwa kipengele hichi kitakua na msaada mkubwa sana maana kwenda LIVE kupitia TikTok mambo mengi yanewza yakatokea mfano kama utumizi wa lugha mbaya n.k
Lakini kipengele hichi kinakijita sana katika kuhakikisha kuwa vijana wenye umri chini ya miaka 18 hawataweza kuonyeshwa video hiyo ya LIVE kama itaku... |
null | ### TikTok yaendelea kupingwa kuwepo nchini Marekani, hii ni baada ya Mkuu wa Shirika la Usimamizi wa Sekta ya Mawasiliano kuwaandikia na kuwataka wakurugenzi wa Google na Apple kuondoa app hiyo kutoka kwenye masoko ya apps ya Google Playstore na AppStore.
App ya TikTok kwa sasa ndio app inayokimbiza zaidi kwenye kund... |
null | ## TikTok inamilikiwa na kampuni ya china inayojilikana kama ByteDance, licha ya kampuni hii kujipatia mapato na umaarufu mkubwa kupitia TikTok bado uwekezaji unaendelea.
Kwa sasa wanajikita katika uwekezeaji katika teknolojia ya Virtual Reality (VR) –kwa haraka haraka unaweza ukasema ni uhalisia ambao unatengenezwa ... |
null | ## Kama ilivyo mitandao mingi tuu ya kijamii, TikTok nayo ilizoeleka kwa kuwa na maudhui mengi ambayo hayaishi.
Hii inamaanisha kuwa hata muda mwingi ulikua unatumika kwa watumiaji wa mtandao huu cha msingi ni kuwa na mtandao wa intaneti (bando).
Kumbuka kwa TikTok ilikua ni jambo zuri sana maana kampuni ilikua inaf... |
null | ## TikTok ni mtandao wa kijamii maarufu sana haswa katika maswala ya video fupi fupi.
Mara kwa mara mtandao huo umekua ukijitahidi katika kuweka maboresho kadha wa kadha ili mradi tu kuhakikisha inazidi kuwa juu katika soko.
Kwa sasa wanakuja na maboresho katika huduma yake na hii ni kwa kuongeza kipengele cha ‘Avat... |
null | MasasishoMtandaoMtandao wa KijamiiTikTok TikTok Imeanzisha Huduma Ya Avatar Kama Vile Snapchat na Bitmoji, Apple Na Memoji! Hashiman (@hashdough) Nuh June 8, 2022 TikTok ni mtandao wa kijamii maarufu sana haswa katika maswala ya video fupi...
appsGoogle PayGoogle PlaystoreMasasishoTeknolojia Google Play Store Ya Kweny... |
null | ## Tumeshaandika mengi sana kuhusu mtandoa wa TikTok, unaweza ukayasoma >>HAPA<<. Tukiachana na hayo leo tunakuletea maujanja.
Ni wazi kabisa katika mtandao huo kuna video nyingi tuu na za aina yake ambavyo pengine ungependa ziwe kama sehemu ya ‘Wallpaper’ katika iPhone yako.
Cha kufanya hapa ni kwamba inabaidi ubad... |
null | ## Ni wazi kuwa mitandao mingi inatengeneza pesa kupitia matangazo na mara nyingi tumeona kuwa sehemu ya mapato hayo wanayopata hugawana na wazalishaji wa maudhui.
Hii ni kama mtandao wa YouTube ambao unajulikana sana unavyofanya katika kulipa wazaishaji wa maudhui katika mtandao huo. TikTok nayo imeona isibaki nyuma... |
null | ### TikTok inajaribu kitufe cha “repost” katika programu yake ambayo itaruhusu watumiaji kusambaza upya klipu haraka na wafuasi wao. Kipengele kipya, ambacho kampuni ilikitaja kuwa jaribio la mapema, bado hakipatikani kwa kila mtu, ingawa kinaonekana kupunguzwa kwa idadi ya watumiaji katika siku kadhaa zilizopita.
“K... |
null | ### TikTok leo imeleta njia mpya kwa waandaaji wa maudhui kupata pesa kupitia maudhui yao. Ingawa tayari jukwaa hili la video fupi liliruhusu wataarishaji wa maudhui kukubali zawadi pepe kutoka kwa mashabiki wakati wa video za mbashara TikTok. Seti hii ya vipengele vipya itawaruhusu wataarisha maudhui kukubali malipo n... |
null | ## Ni wazi kwamba kipengele cha kurekodi video ndefu katika App ya TikTok kimekua katika majaribu tangi mwezi disemba mwaka 2021.
Kumbuka kwa sasa video ambazo zimezoeleka sana katika App hiyo ni zile za dakika moja. Kutoka dakika moja mpaka dakika tatu ndio utakua umbali wa mwisho kabisa.
TikTok wanafanya hivi maku... |
null | Raisi wa marekani Mh. Joe Biden amesaini agizo la kuweza kurusu mitandao (App)...
Ni wazi kuwa kama uliingia katika mtandao wa TikTok kwa mara ya kwanza pengine...
Kampuni ya ByteDance, wamiliki wa app maarufu ya TikTok wamesema bado watabaki...
TikTok kuendelea kupatikana Marekani kama kawaida baada ya mazungumzo y... |
null | ### Kudukuliwa kwa akaunti yako ya Instagram kunaweza kuwa tukio la kusikitisha na lenye changamoto. Hata hivyo, kuna hatua unaweza kuzichukua ili kurejesha akaunti yako na kuhakikisha usalama wako wa mtandaoni. Katika chapisho hili, tutakupa mwongozo wa kina kuhusu jinsi ya kupata akaunti yako ya Instagram iliyodukuli... |
null | ### Clickfarms ni neno jipya katika ulimwengu wa sasa wa kidigitali. Neno hili huwakilisha watu waliounganisha mifumo ya simu nyingi pamoja na kompyuta na kuwezesha akaunti mbalimbali feki kulike, kucomment na ata kushare mambo mtandaoni.
Tunajua kuwa mara kwa mara kampuni/taasisi huingia gharama kusafisha ‘likes’ zi... |
null | ### Je umeshatumia app ya FaceApp.? Hadi sasa utakuwa umekutana na picha za wazee kwa wingi kwenye mitandao ya kijamii. Lakini tofauti ni kwamba hizi ni picha za watu ambao si wazee kwa sasa.
App ya FaceApp imekuwepo kwa muda mrefu ila imepata umaarufu mkubwa wiki hii. Matokeo ya umaarufu huu umechangiwa na utumiaji w... |
null | ### Wale ambao waliotaka kula iliwa bidi waende kwenye website ya kampuni au wapige simu ya kampuni hilo ili waletewe chakula. Sasa Google inakuja kutuokoa tena kwa
### kutangaza kuwa sasa watu wataweza kuagiza chakula moja kwa moja kwa kutumia google search.
Ukiwa unatafuta migawa ya karibu (nearby restaurants) kati... |
null | instagramJinsiMaujanjaTechnologyTEHAMATeknolojiaUdukuziUsalama Jinsi ya Kurudisha Akaunti Yako ya Instagram Iliyodukuliwa: Mwongozo wa Kina. LanceBenson July 1, 2024 Kudukuliwa kwa akaunti yako ya Instagram kunaweza kuwa tukio la kusikitisha na... |
null | instagramJinsiMaujanjaTechnologyTEHAMATeknolojiaUdukuziUsalama Jinsi ya Kurudisha Akaunti Yako ya Instagram Iliyodukuliwa: Mwongozo wa Kina. LanceBenson July 1, 2024 Kudukuliwa kwa akaunti yako ya Instagram kunaweza kuwa tukio la kusikitisha na... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45754 |
null | ### Kudukuliwa kwa akaunti yako ya Instagram kunaweza kuwa tukio la kusikitisha na lenye changamoto. Hata hivyo, kuna hatua unaweza kuzichukua ili kurejesha akaunti yako na kuhakikisha usalama wako wa mtandaoni. Katika chapisho hili, tutakupa mwongozo wa kina kuhusu jinsi ya kupata akaunti yako ya Instagram iliyodukuli... |
null | ## Ni wazi kuwa makampuni ambayo yanajihusisha kabisa na teknolojia huwa kuna muda yanauzwa au hata kununuliwa kwa dau kubwa sana, leo tunakuletea orodha ya makampuni yalionunuliwa kwa dau kubwa kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita
Mfano mzuri ni mtandao ya kijamii ikiwa inauzwa au kununuliwa mara nyingi inakua inahusi... |
null | ## Ni wazi kuwa makampuni ambayo yanajihusisha kabisa na teknolojia huwa kuna muda yanauzwa au hata kununuliwa kwa dau kubwa sana, leo tunakuletea orodha ya makampuni yalionunuliwa kwa dau kubwa kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita
Mfano mzuri ni mtandao ya kijamii ikiwa inauzwa au kununuliwa mara nyingi inakua inahusi... |
null | ## Kama ni mpitiaji mpitiaji mzuri kwenye mtandao basi pengine umekutana na habari hii ambayo pengini kwa kiasi kikubwa imewashtua wengi sana, teknolojia hii si nyingine ni EctoLife.
Kwa mara ya kwanza kabisa nilipata video inayoelezea namna teknolojia ya EctoLife inavyofanya kazi kupitia kundi la WhatsApp nikaona hi... |
null | Kama ni mpitiaji mpitiaji mzuri kwenye mtandao basi pengine umekutana na habari...
Nchini Uingereza watu kadhaa wachoma moto minara ya 5G na vifaa vyake kutokana...
Baada ya utafiti wa muda mrefu matokeo ya majaribio ya wanasayansi nchini...
Kitengo cha teknolojia na sayansi za kimaisha cha ALPHABET (kampuni mama ya... |
null | Kama ni mpitiaji mpitiaji mzuri kwenye mtandao basi pengine umekutana na habari...
Browse Category
# Health
A wonderful serenity has taken possession of my entire soul, like these sweet mornings of spring which I enjoy with my whole heart. I am alone, and feel the charm of existence in this spot, which was created f... |
null | Far far away, behind the word mountains, far from the countries Vokalia and Consonantia, there live the blind texts. Separated they live in Bookmarksgrove right at the coast of the Semantics, a large language ocean.
A small river named Duden flows by their place and supplies it with the necessary regelialia. It is a p... |
null | Far far away, behind the word mountains, far from the countries Vokalia and Consonantia, there live the blind texts. Separated they live in Bookmarksgrove right at the coast of the Semantics, a large language ocean.
A small river named Duden flows by their place and supplies it with the necessary regelialia. It is a p... |
null | ## Majukwaa makubwa kabisa ambayo yanaonyesha filamu yanayomilikiwa na kampuni ya AMC yako katika makubaliano na kampuni ya Zoom katika kugeuza kumbi zake kuwa uwanja wa mikutano.
Moja kati ya ushirikiano ambao watu hawakuutegemea kabisa ni huu kwa haraka haraka haya ni makampuni mawili ambayo yako (yanfanya mambo) t... |
null | ## Ni kitu ambacho labda tunakiona kila siku, je maana yake dhahiri tunaifahamu? Wengi ‘End-to-end Encryption’ kwa kiasi kikubwa ipo katika mitandao mingi ya kijamii ambayo inajikita katika kutuma na kupokea jumbe za mawasiliano.
Kwa mfano katika mtandao wa WhatsApp natumai wengi mnaona teknolojia hii ikiwepo kwa kia... |
null | Tumeshaandika Makala nyingi sana kuhusiana na mtandao wa kijamii wa WhatsApp,...
Ni kitu ambacho labda tunakiona kila siku, je maana yake dhahiri tunaifahamu?...
Katika vitu ambavyo siku hizi katika kufanya mawasiliano kwa njia ya maandishi...
Facebook Messenger iliyo katika umaarufu wake kwa kuwa na vionjo vingi nd... |
null | ### TCRA kupitia kitengo chao cha ulinzi wa kompyuta wa dharura, TZ-CERT imeleta shindano kwa wanavyuo wachukuao masomo ya teknolojia ambalo litawafanya wanafunzi kuweza kudukua taarifa na kujilinda na mashumbulizi kupitia shindano la kudukua (*HACKING COMPETITION*).
Shindano hilo lipo kwa ushirikiano na kampuni ya *... |
null | ### Tume ya TEHAMA ya Tanzania imeandaa kongamano la pili ambalo linajulikana kama “Annual ICT Professionals Conference 2018” ikiwa ni moja kati ya juhudi zake katika kukuza tehema tanzania.
AIPC ni moja kati ya majukwaa muhimu sana kwa wana TEHAMA wote kwani ni sehemu ambayo unaweza ukapata mambo kede kede ikiwemo ka... |
null | ### Uko tayari kwa kongamano la pili la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano? Taarifa ni kwamba kongamano hilo linafanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
**Kongamano la mara ya kwanza** lilifanika Okt 26-27 2017 na kwa ujumla mengi yalizungumzumzwa na wataalam katika masuala ya teknolojia na TEHAMA kwa ujumla wake. Tujikumbu... |
null | Kwa mara nyingine tena wadau/wataalam wa masuala ya TEHAMA wameweza kukutana...
Tanzania ukiilinganisha na Uganda/Kenya kuhusu uelwewa wa teknolojia...
Katika vitu ambavyo Tanzania inajivunia hasa kwa wana teknolojia na TEHAMA kwa...
Uko tayari kwa kongamano la pili la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano?...
Tanzan... |
null | ### Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amewaonya watu waliopewa dhamana ya kusimamia mifumo ya TEHAMA serikalini kutowakwaza Watanzania kwa kisingizio kuwa mitandao haiko vizuri.
Akizungumza katika uzinduzi wa mifumo ya Tehama serikalini jijini Dodoma, Majaliwa aliwaagiza watendaji, wakuu wa taasisi za umm... |
null | Mdundo ni huduma ya utirirshaji na upakuaji wa miziki ya kiafrika mtandaoni....
Netflix yazindua Kifurushi cha Bure nchini Kenya. Kampuni ya hii inayojihusisha...
Watumiaji wa M-Pesa kupitia mtandao wa Safaricom nchini Kenya sasa wana uwezo...
Kampuni ya mawasiliano, Safaricom imeendelea kutamba baada ya kupata onge... |
null | ### Matumizi ya TEHAMA nchini Tanzania yameonekana kukua na kutumia katika maeneo mengi tofauti na ilivyokuwa miaka kadhaa iliyopita. Baada ya kuhudhuria kongamano lililowakutanisha wataalamu na wadau wa TEHAMA mwezi uliopita tumejifunza mengi ya kujivunia.
Utakubaliana nasi kuwa mwenendo wa sasa kwenye TEHAMA nchini ... |
null | ### Watafiti wa mambo ya usalama wa mitandao wamegundua makosa katika protokali ya WPA2 ambayo imekuwa ikitumika katika WI-FI.
Makosa haya yanapelekea wadukuzi kuwa na uwezo wa kuingilia mawasiliano baina ya kifaa kinachorusha wi-fi na kifaa kinachopokea. Kwa kutumia mwanya huu uliogundulika wadukuzi wanaweza kupata t... |
null | ### Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekamilisha ujenzi wa kituo cha data ama Data centre ambacho ni kikubwa zaidi kwa Afrika Mashariki. Hii ni katika harakati za serikali kuhakikisha kwamba haibaki nyuma katika mbio za Tehama kwa nchi za Afrika mashariki.
**Data centre hiyo ambayo ina miundombinu ya kisas... |
null | Ushawahi kuisikia kuhusu COSTECH? Pengine hujawahi. Hii ni tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania ambayo uwepo wake hapa nchini ni kuiwezesha nchi katika utafiti, ukuwaji na utumikaji wa sayansi na teknilojia na pia kuishauri serikali kuhusu mambo hayo. Hii inamaanisha kwamba, kama una jambo lolote la kibiashara au kis... |
null | Siyo mara ya kwanza kuzungumzia Dash Cam na umuhimu wake kwa waendesha magari...
Kuongeza kasi ya simu na kupunguza ujazo wa kitumi cha mkononi ni mambo...
Oktoba na Novemba na mfululizo wa miezi ya uamko wa elimu ya saratani. Kampuni...
Utashi wa kutegemea kompyuta (uwezo wa kufikiri wa kompyuta) ama kwa lugha ya..... |
null | IBMTanzaniaTEHAMA Kampuni ya IBM Yaingia Mkataba na Serikali ya Tanzania! teknokona July 6, 2012 Juzo tarehe 4, Tanzania kupitia Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia... |
null | ### Kampuni ya Meta imesema kuwa imepiga marufuku kampuni saba za uchunguzi kwa kulenga watumiaji kwenye majukwaa yake. Ripoti mpya ya Meta inasema takriban watumiaji 50,000 watapokea maonyo kuhusu “shughuli hizo mbaya”.
Ilishutumu kampuni za uchunguzi kwa vitendo vya kuunda akaunti ghushi, kufanya urafiki na walengw... |
null | ### Microsoft inashikilia tovuti kadhaa ambazo zilikuwa zikitumiwa na kikundi cha wadukuzi kinachoungwa mkono na serikali ya China kulenga mashirika katika nchi 29, ikiwa ni pamoja na Marekani.
Kitengo cha Uhalifu wa Kidijitali cha Microsoft (DCI) kilisema Jumatatu kwamba mahakama ya shirikisho huko Virginia ilitoa a... |
null | ### Inasemakana kuna udukuzi mkubwa wa barua pepe umetokea katika mfumo wa huduma Microsoft Server Exchange, huduma ya barua pepe na kalenda ya Microsoft inayotumiwa na makampuni na mashirika mbalimbali duniani.
Kampuni hiyo na wadau wa usalama wa kidigitali wanarusha shutuma zao kwenda kwenye vikundi vidogo vya nch... |
null | ### Mdukuzi mmoja Marekani adukua mfumo wa maji wa jiji la Oldsmar kwenye jimbo la Florida na kutaka kuongeza kiwango cha kemikali kwenye maji hayo ili kuyafanya kuwa hatari kwa afya ya binadamu.
Tukio hilo limewekwa wazi tarehe 9 Februari na uongozi wa jiji hilo, na wamesema tukio hilo lilitokea Ijumaa tarehe 5 mwezi... |
null | ### Watumiaji kadhaa wa simu zinazotumia Android wameripoti kuhusu picha inayoharibu simu. Yaani picha hii inaweza ‘kuzingua’ ufanyaji kazi wa simu yako.
Picha hii inayoonesha ziwa, anga ya jioni na pwani inasababisha simu kushindwa kufanya kazi pale ikitumika kama wallpaper – picha kuu ya eneo la apps/nyumbani.
### ... |
null | ### Shirika la ujasusi na uchunguzi wa ndani la Marekani la FBI, limewataka watu kuwa makini na Smart TV majumbani kwao. Wadai wadukuzi wanaweza kudukua TV janja kwa urahisi.
Smart TV – ni TV za kisasa zinazokuja na uwezo wa kutumia huduma ya intaneti na hivyo kukuunganisha na huduma mbalimbali za kimtandao kama vile ... |
null | ### Data za akaunti milioni 210 za watumiaji wa mtandao wa Facebook zavuja baada ya kudukiliwa na taarifa za akaunti zao zinapatikana kwa urahisi mtandaoni.
Jumla ya data zilizowekwa wazi zinaonesha ni data zinazohusisha akaunti milioni 419 ila msemaji wa Facebook amesema baada ya kuzipitia wamegundua ni milioni 210 ... |
null | ### Gazeti mashuhuri la nchini Marekani, Wall Street Journal katika uchunguzi wao wamebaini wafanyakazi wa Huawei wanahusika na udukuzi na kusaidia shughuli za kijasusi dhidi ya wanasiasa barani Afrika.
Katika uchunguzi wao wamesema wamepata uhakika zaidi hasa kwenye mataifa kama Uganda na Zambia. Wamesema uchunguzi w... |
null | ### Je utafahamu vipi kama password yako imedukuliwa? Inaweza ikawa ni kwenye tovuti ya mtandao wa kijamii au tovuti nyingine ya aina yeyote, kila mwaka udukuzi unaohusisha maelfu ya akaunti za mitandaoni hufanyika.
Google wamekuja na extension ya kivinjari cha Chrome kwenye kompyuta ambacho kitakupa taarifa kama akau... |
null | ### Binance, moja ya kampuni kubwa inayojihusisha na kusimamia akiba na mihamala ya pesa ya kidigitali ya Bitcoin imedukuliwa na mabilioni ya pesa – dola milioni 41 za Marekani – takribani zaidi ya bilioni 80 za kitanzania.
Fedha za mfumo wa kidigitali, Bitcoin, bado una watumiaji wengi duniani kote.
Watu wengi wame... |
null | ### Matumizi yetu ya kila siku kwenye simu/kifaa chochote kinachotumia nguvu ya betri yanasababisha kuisha kwa chaji hivyo basi kutakiwa kujazwa umeme ili kuweza kufanya kazi. Lakini pia kutokana na ukuaji wa teknolojia na utandawazi kwa ujumla wake wadukuzi wanaweza wakasababisha kitu kikaishiwa chaji bila hata ya kue... |
null | ### Mamlaka za usalama nchini Uganda kwa kushirikiana na idara ya uhamiaji imemfukuza mkurugenzi mtendaji wa kampuni kubwa ya mawasiliano ya simu nchini humo ya MTN, Wim Vanhelleputte kutokana na sababu za kiusalama.
Kampuni hiyo ya MTN imeandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa haijafahamishwa sababu za kufukuzwa ... |
null | Je, iPhone ni simu zisizoweza kudukuliwa? Wengi wamekuwa wakiamini hivyo ila...
Sababu mbalimbali za kiusalama zinafanya wataalam waweze kubuni njia ya kutumia...
Udukuzi ni suala ambalo linasumbua mataifa mengi duniani na kila leo...
Programu tumishi ya WhatsApp ndio yenye watumiaji wengi zaidi duniani na kuwa...
... |
null | DataKompyutaUdukuziUsalama Marekani: Programu ya Antivirus ya Kaspersky Lab marufuku serikalini teknokona September 15, 2017 Kaspersky Lab marufuku serikalini. Serikali ya Marekani chini ya uongozi wa...
ApplesimuTeknolojiaUdukuzi Apple yapata pigo baada ya taarifa kuhusu bidhaa zake kuvuja Mato Eric September 12, 201... |
null | ### Flutterwave yafungiwa nchini Kenya ikipewa shutuma ya kutumiwa katika utakasishaji fedha. Flutterwave ni huduma ya utumaji malipo iliyofanikiwa zaidi barani Afrika.
Flutterwave inasaidia kufanikisha malipo kwa uharaka kwa biashara kubwa na ndogo kutoka nchi moja kwenda nyingine. Kupitia kutumia huduma ya Flutterwa... |
null | IntanetiMalipoTeknolojiaUsalama Flutterwave yafungiwa nchini Kenya, moja ya huduma iliyofanikiwa zaidi Afrika katika utumaji pesa teknokona July 7, 2022 Flutterwave yafungiwa nchini Kenya ikipewa shutuma ya kutumiwa katika... |
null | ### Kampuni ya Unicom ya China imekuwa kampuni kubwa ya hivi karibuni ya mawasiliano ya simu nchini China kupigwa marufuku na Marekani kwa sababu ya wasiwasi “muhimu” wa usalama wa taifa na ujasusi. Tume ya Mawasiliano ya Shirikisho (FCC) ilisema kuwa imepiga kura kwa kauli moja kubatilisha idhini kwa kitengo cha kampu... |
null | ### Google imetoa onyo kwa watengeneza programu kwamba wanahitaji kuwa wazi na watumiaji kuhusu maelezo wanayoshiriki na Huq, kampuni ya Uingereza inayouza taarifa. Google imesema programu ambazo hazifuati sera zao za data zitapigwa marufuku kwenye Play Store.
Hali hii imetokea baada ya Huq kukiri kwa BBC kwamba anga... |
null | ### Apple na Google zimetozwa faini ya Euro milioni 10 kila mmoja na mamlaka ya ushindani na soko ya Italia (AGCM) ambayo imegundua kuwa hawakuwapa watumiaji wao taarifa za kutosha kuhusu matumizi ya kibiashara ya taarifa zao, kinyume na kanuni za matumizi ya nchi.
Mdhibiti pia anashutumu jozi kwa kupeleka mazoea ya ... |
null | ### Kabla ya kufahamu kuhusu jinsi ya kujilinda dhidi ya wadukuzi mtandaoni ni vyema tungejua kwanza kuwa mdukuzi ni nani ?. Mdukuzi ni mtu anayetumia ujuzi wake wa tehama na mtandao kuiba taarifa za mtu binafsi au kuingia kwenye mfumo bila ruhusa.
Ukuaji wa teknolojia umepelekea kurahisishwa kwa mawasiliano pamoja n... |
null | ### Mamilioni ya simu za Android hatarini dhidi ya udukuzi kutokana na matatizo kwenye teknolojia ya chip.
### Shirika linalojihusisha na masuala ya tafiti za kiusalama za mifumo ya kimtandao, Check Point iliweza kuona tatizo hilo na kutoa taarifa ambazo zilifanyiwa kazi na shirika la Qualcomm Disemba mwaka jana.
Che... |
null | ### Uongozi wa Rais Trump umeiweka kampuni ya Xiaomi katika vikwazo vya kibiashara kwa kuiweka kwenye orodha ya makampuni na biashara ambazo watu na makampuni ya kimarekani hawaruhusiwi kuwekeza.
Orodha ya vikwazo hivyo ilikuja rasmi mwezi wa Novemba 2020, ikitaja marufuku kwa wananchi au makampuni ya kimarekani kuwek... |
null | ### Data za WhatsApp kupitia Facebook, hilo ndilo badiliko jipya ambalo linatokea kwa watumiaji wote wa app ya WhatsApp duniani kote. Ni badiliko kubwa kwani kabla app hiyo ilikuwa haikusanyi data kwa kiwango hicho.
Kampuni ya Facebook kwa muda mrefu imekuwa ikitafuta njia za kutengeneza pesa kupitia app ya WhatsApp n... |
null | Je unafahamu unaweza kuwezesha chat/ ujumbe kutoweka WhatsApp wenyewe kila...
Kirusi cha Melissa kilikuwa ni kirusi cha kompyuta maarufu kilicholeta matatizo...
Kwenye masuala ya kuperuzi unaweza kutumia njia mbalimbali ili tu kutimiza...
Watumiaji kadhaa wa simu zinazotumia Android wameripoti kuhusu picha...
Simu ... |
null | Je neno ukuta wa Urusi linaweza kuwa sawa kwa kinachoweza tokea nchini Urusi?...
Matumizi yetu ya kila siku kwenye simu/kifaa chochote kinachotumia nguvu ya...
Ndege ya Boeing 737 MAX 8 ni ndege maarufu sana kwa sasa, lakini si kwa...
Kama wewe ni mtumiaji wa WhatsApp basi tayari utakuwa umeona ujumbe unaosambaa...
... |
null | Yule aliyeyaweka wazi yale mabaya yanayofanywa na shirika la kijasusi...
Suala la usalama wa data na kuchunguzwa na vifaa vyetu ni jambo linalozungumzwa...
Google imeleta Google Prompt kurahisisha na kuboresha ulinzi kwa watumiaji...
Usiku wa kuamkia jumapili hii mji wa Orlando Florida ulikumbwa na huzuni baada...
... |
null | ### Je, umechoshwa na simu yako na kufanya kazi polepole kuliko mithili ya mwendo wa konokono? Inakera, sivyo? Habari njema ni kwamba kuna mbinu chache rahisi, unaweza kufanya ili simu yako iwe nyepesi kufanya kazi haraka kama mbio za Duma tena.
**1. Futa Cache/cookies za Programu**
Mara nyingi programu huwa na sehem... |
null | ### Mwaka huu inawezekana tusione toleo kutoka familia ya herufi “G” kwa simu za LG kwa sababu ya muundo wa simu zao zijazo kukubaliwa na mamlaka hivyo basi tutegemee kuziona LG Velvet sokoni.
**Kwa wapenzi wa rununu za LG** watafurahi kwa kufahamu kuwa kuna simu janja mpya zipo jikoni ambazo zimeshapata kibali kutoka... |
null | ### Raisi wa Marekani Barrack Obama atajua nini kitamtokea John Snow mapema kabla ya mtu yeyote ( Ukiondoa waandaaji wa GOT), hii ni baada ya kuwaomba waandaji wa series hiyo kuona show hiyo kabla haijaanza kuoneshwa. Tamthilia hii huwa inazungumziwa sana mitandaoni.
Game Of Thrones ni tamthilia iliyojipatia umaarufu... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45695 |
null | ### Je, umechoshwa na simu yako na kufanya kazi polepole kuliko mithili ya mwendo wa konokono? Inakera, sivyo? Habari njema ni kwamba kuna mbinu chache rahisi, unaweza kufanya ili simu yako iwe nyepesi kufanya kazi haraka kama mbio za Duma tena.
**1. Futa Cache/cookies za Programu**
Mara nyingi programu huwa na sehem... |
null | #### Katika enzi hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa zana muhimu sana kwa biashara za ukubwa wowote, hii ikiwa ni pamoja na biashara ndogo ndogo. Kwa kutumia majukwaa kama vile TikTok, Facebook, Instagram, Twitter, na YouTube, unaweza kuuza bidhaa mbali mbali na kutangaza ili kufikia wateja wapya wengi tena... |
null | ## Amazon ina huduma ambayo inaiita Alexa, kazi kubwa ya huduma hiyo ni kuwa kama msaaidizi wa mtu (kama vile Siri kwa Apple) ambapo kinapoamuriwa kinafanya kazi ndogo ndogo kama vile kupiga muziki n.k
Huudma hii kutoka Amazon ina uwezo wa kujibu kile kitu ambacho inaambiwa, kwa kipindi cha muda imekuwa kitoa majibu ... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45683 |
null | #### Katika enzi hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa zana muhimu sana kwa biashara za ukubwa wowote, hii ikiwa ni pamoja na biashara ndogo ndogo. Kwa kutumia majukwaa kama vile TikTok, Facebook, Instagram, Twitter, na YouTube, unaweza kuuza bidhaa mbali mbali na kutangaza ili kufikia wateja wapya wengi tena... |
null | ## YouTube ni moja kati ya mitandao ya kijamii yenye umaarufu mkubwa na inajihusisha zaidi na maswala ya video
Ni wazi kwamba mara nyingi unakua katika mtandao wa YouTube (umezubaa tuu) na hujui kitu cha kuangalia –hii inanikutaga sana mimi!
Kwa hali hii YouTube ina mpango wa kuja na kipengele ambacho kitamsaidia mt... |
null | YouTube ni moja kati ya mitandao ya kijamii yenye umaarufu mkubwa na...
YouTube ni mtandao wa kijamii wenye jina kubwa sana na unasifika kwa mambo...
YouTube Shorts ni kipengele ambacho hakina muda mrefu katika mtandao wa YouTube...
Huduma ya YouTube Shorts ni huduma ya video fupi fupi kutoka katika mtandao wa...
K... |
null | Moja ya kitu ambacho kinawashangaza wengi ni kwamba mtandao huo wa YouTube...
YouTube ni mtandao wa kijamii namba moja katika maswala ya video, mtandao huu...
Ndio kuna huduma ya Youtube ya kulipia ambayo ni tofauti na huduma ya kawaida...
Huduma ya ‘picture in picture’ ni ile ambayo inakuwezesha kuweza...
Ngoja kw... |
null | ## Threads ndio mtandao wa kijamii ambao umekuja na kuvunja rekodi kwa kupata watumiaji wengi ndani ya kipindi cha muda mfupi.
Ukaichana na namba hiyo ya watumiaji wengi wanaushinikiza mtandao huo kwamba umenakili muonekana na unatumika kama inavyotumika Twitter.
Kwa kupitia hilo Twitter imetishia kwamba itaifunguli... |
null | ## Shazam ndio mtandao namba moja ambao unasaidia watu kutambua majina na taarifa nyingi za mziki ambao unaimbwa.
Ni mara ngapi umeshawai kusikia mziki unapigwa lakini hujui nani kauimba na hata pengine mashairi yake huyajui vizuri? Shazam inaweza kuwa ni mkombozi wako katika hili.
Shazam ilinunuliwa na Apple na kwa... |
null | Username ni kitu cha kawaida kabisa katika mitandao ya kijamii na ndio...
YouTube ni mtandao wa kijamii namba moja katika maswala ya video, mtandao huu...
Mmiliki wa Twitter bw. ELon Musk ameweka wazi kwa hadhira kwamba mtandao wa...
WhatsApp licha ya ukubwa ambayo mpaka sasa inayo, bado haijawahi kupumzika...
What... |
null | Telegram ni moja ya mitandao ya kijamii mikubwa sana na ina sifa ya kuwa na...
WhatsApp ni moja kati ya mitandao ya kijamii mikubwa sana na yenye watumiaji...
Mtandao wa Snapchat licha ya ukubwa wake wote, mtandao huu wa kijamii ulikua...
WhatsApp ni moja kati ya mtandao wa kijamii ambao ni maarufu sana na unapendwa... |
null | Pengine hili sio jambo geni sana katika mtandao wa WhatsApp sababu mpaka sasa...
WhatsApp ni moja kati ya mtandao wa kijamii unarahisisha mazungumzo baina ya...
Ngoja kwanza, sio hashtags kabisa lakini vile vile huwezi sema sio hashtag...
Mtandao wa WhatsApp kwa muda sasa umekua ukiwashangaza wengi maana uko tofauti... |
null | Meta ambayo inamiliki mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Instagram,...
YouTube ni mtandao wa kijamii namba moja katika maswala ya video, mtandao huu...
Mmiliki wa Twitter bw. ELon Musk ameweka wazi kwa hadhira kwamba mtandao wa...
Mtandao wa WhatsApp unahakikisha kuwa unawapa watumiaji wake aina nyingi za...
W... |
null | WhatsApp ni moja kati ya mitandao ya kijamii mikubwa sana na yenye watumiaji...
Mtandao wa Snapchat licha ya ukubwa wake wote, mtandao huu wa kijamii ulikua...
WhatsApp ni moja kati ya mtandao wa kijamii ambao ni maarufu sana na unapendwa...
Twitter ni mtandao wa kijamii ambao ni mkubwa sana na wenye hadhi ya kipeke... |
null | ## Telegram ni moja kati ya mitandao mikubwa sana ya kijamii na ni moja kati ya ile ambayo inaaaminiwa kuwa na mambo mengi kwa watumiaji.
Mojawapo ni kwamba Telegram ina usalama na ulinzi wa hali ya juu kabisa kwa watumiaji wake na sifa hiyo imekua ikiwekwa wazi wazi na watu mbalimbali.
Unaweza ukaanza kujiuliza kwa... |
null | ## Telegram ni moja ya mitandao ya kijamii mikubwa sana na ina sifa ya kuwa na vipengele vingi sana ukiachana na sifa yake ya kuwa na ulinzi na usalama wa hali ya juu.
Mara kwa mara kampuni imekua ikijihakikishia inatoa masasisho (update) yenye tija sana kwa watumiaji wake.
Sasa wanakuja na masashisho kadhaa lakini ... |
null | ## Telegram ni moja kati ya mtandao wa kijamii maarufu kabisa, kwa sasa mtandao huu umekuja na sasisho jipya ambalo limekuja na maboresho na vipengele vingi vipya.
Unaweza ukashangaa maana ni muda mfupi tuu umepita baada ya telegram kutoa sasisho linguine ambalo lilijikita sana katika maswala ya Emoji.
Toleo hilo li... |
null | ## Kumekucha…kumekucha…. Telegram na Apple wararuana tena na sababu ikiwa ni kwamba Telegram inadai kuwa Apple inazuia Sasisho (Update) yake kuhakikiwa haraka.
Kilichotokea hapa ni kwamba, mtandao wa Telegram wako na toleo lao jipya la App yao na kwa kawaida kwa kampuni ikiwa katika hali hii lazima itume sasisho hilo... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.