text stringlengths 1 1.32k |
|---|
kundecha ambaye pia amiri mkuu wa shura ya maimamu tanzania alitoa kauli hiyo alipoongea na majira kuhusu kauli ya sheikh UNK kuwa mwongozo wa waislamu UNK kikundi kidogo cha answar sunnah na si waislamu wote nchini na kuwa kuran UNK kila kitu kuhusu siasa uchumi utamaduni na hata teknolojia |
shekhe khalifa alisema kuwa hakuna haja yoyote ya kutoa mwongozo wowote wa kisiasa kwa kuwa hakuna faida yoyote na kuwa msimamo wao ni kuwa kila anayetaka kugombea katika ngazi mbalimbali na afanye hivyo |
sisi tuna msimamo toka awali kuwa waislamu wanapaswa kugombea nafasi mbalimbali kama udiwani na ubunge alisema shekhe khalifa |
alifafanua kuwa katika uislamu kila kitu kimewekewa misingi na taratibu zake kwani masuala ya kisiasa kiuchumi na kiutamaduni yameelezwa katika vitabu hivyo |
kauli ya shehe khamis haina tofauti na iliyotolewa na sheikh wa bakwata mkoani dar es salaam mussa salum wakati wa akitoa salamu za idi kuwa uislamu unajitosheleza na hivyo hakuna haja na kuongeza mwongozo wowote wa kisiasa |
akijibu hoja hizo sheikh kundecha mbali na kuzama katika kauli iliyotolewa kwanza alimvaa binafsi shekhe khalifa kuwa si UNK katika mambo mbalimbali na anajipendekeza bakwata ili kupata kile UNK |
tatizo ni kuwa khalifa haelewi maana ya kuran kinachomsumbua ni elimu ndogo ya dini kiwango chake cha ufahamu ni kidogo alisema shekhe kundecha |
lakini sheikh kundecha alitofautiana na kauli hizo akisema kuwa kuran imeelekeza mambo mengi ambayo yanahitaji ufafanuzi katika utekelezaji wake |
kwa mfano alisema katika kuran mwenyezi mungu amewataka waislamu kuswali lakini haikusema kuwa UNK vipi na kwa nyakati gani imewataka waislamu kufungua benki za kiislamu lakini haikusema UNK vipi isipokuwa kuna maelezo ya kina katika kufanikisha kila mahitaji ya kitabu hicho |
alisema kuwa kauli ya shekhe khalifa inaonesha wazi kuwa uwezo wake katika masuala ya dini ni mdogo na ndio maana UNK katika kuran bila kujua kuwa inahitaji ufafanuzi katika utendaji wake |
akirejea kauli ya shekhe khalifa kuwa mwongozo huo umetolewa na kikundi kidogo cha answar sunnah alisema kuwa ukweli UNK kutokana na idadi ya watu isipokuwa kile kilichomo ndani yake na wingi wa watu UNK ukweli huo |
ukweli wa jambo haupatikani kwa kusemwa na watu wengi hata mtu mmoja akisema jambo la kweli litabaki kuwa la kweli alisema shekhe kundecha |
alisema kuwa mwongozo huo UNK chumbani ulitolewa hadharani na kila mtu aliyetaka kuusoma UNK uliwekwa hadharani na kila aliyetaka kuuona alifanya hivyo |
alisema kuwa waislamu wa tanzania UNK waislamu kwa kuwa kwenye bakwata pekee na bahati nzuri nchi hii imetoa uhuru na ndio maana kuna taasisi nyingi za kidini zimesajiliwa alisema shekhe kundecha |
mapema shekhe khalifa aliunga mkono kauli ya sheikh salum kuwa ni sahihi na haina utata wowote kwa kuwa kila kitu UNK katika UNK |
alisema kuwa nchi hii si ya kidini na hivyo hakukuwa na ulazima wala faida za msingi ya kuwa na mwongozo wa jinsi ya kuchagua viongozi wa kisiasa |
yumo aliyekuwa naibu wake makamishna wa madini na nishati vigogo kutoka idara mbalimbali serikalini akiwemo aliyekuwa naibu waziri wa fedha bwana abdisalaam issa khatibu watapanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya mawaziri waandamizi wa serikali ya awamu tatu bwana basil mramba wa fedha na bwana daniel yonna wa nishat... |
mashahidi hao walitajwa jana na upande wa mashitaka katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu watatu bwana john utamwa bwana saul kinemela na bwana sam rumanyika |
baadhi ya mashahidi hao wapo waliohusika na kutoa ushauri kwa washitakiwa hao kuhusiana na ama kusitisha mchakato wa kuajiri kampuni ya kukagua dhahabu alex stewart au UNK kupewa msamaha wa kodi kwa kampuni hiyo |
akitaja mashahidi hao wakili mkuu wa serikali bwana boniface stanslaus alisema kuwa upande huo unatarajia kuita mashahidi kumi na saba kuthibitisha mashtaka dhidi ya washitakiwa hao |
mbali na bwana khatibu mashahidi wengine ni waliokuwa makamishna wa nishati na madini bwana gray mwakalukwa na bwana bashir mrindoko na maafisa wengine wa juu serikalini akiwamo UNK na mkuu wa kitengo cha sheria katika wizara ya nishati na madini bwana godwin UNK |
wengine ni mkurugenzi wa sheria za madai na za kimataifa bibi maria kejo bibi betha soka bibi rehema kitambi bwana mustapha ismail bwana ludovick kandege bwana saddy kambona christine shekidele bwana p kasera bwana agrey teemba bwana george kaindoa kesysia mbatia nakuwera senzia na bwana george tigiti |
baada ya kutajwa kwa mashahidi hao bwana stanslaus UNK mahakama iamuru upande wa utetezi nao UNK mashahidi wao watakaofika mahakamani hapo kutoa ushahidi kadri waraka wa jaji mkuu UNK |
hoja hiyo ilipingwa na wakili wa utetezi bwana herbert nyange kuwa kwa mujibu wa sheria za mwenendo wa jinai katika kifungu cha mia mbili na thebathini na mia mbili na thebathini na moja vinatoa maelekezo namna mshitakiwa UNK kujitetea baada ya kukutwa na kesi ya kujibu |
alisema kuwa sheria hiyo inamtaka mshitakiwa kutaja mashahidi wake baada ya kufungwa mashitaka na mahakama kuwakuta washitakiwa na kesi ya kujibu |
huu ni waraka tu wa jaji mkuu ambao hauwezi UNK sheria UNK na bunge hivyo UNK na ombi la upande wa mashitaka alisema bwana nyange |
kutokana na hoja hiyo mahakama UNK upande wa mashitaka kuusoma waraka huo mahakamani hapo kwa ajili ya mawakili wa upande wa utetezi ili waweze kuuelewa na kutoa sababu za UNK |
nadhani tutoe muda kwenu ili UNK vizuri huo waraka kwani nayo ni sheria lakini mbali na waraka huo someni na sheria mbalimbali zinazohusiana na suala hili ili tutakapokutana mje na hoja za kisheria ambazo UNK mahakama kufikia uamuzi wa haki alisema bwana UNK |
kutokana na uamuzi huo kesi iliahirishwa mpaka leo ambapo itakuja kwa ajili ya malumbano ya kisheria kwa pande zote mbili kuhusiana na kutajwa au kutotajwa kwa mashahidi wa washitakiwa |
waraka wa jaji mkuu unatoa mwongozo au UNK upande wa utetezi kuelezea mashahidi wake mara baada ya upande wa mashitaka kumaliza hatua ya usomaji wa maelezo ya awali ya washitakiwa |
mbali na akina mramba kesi hiyo UNK pia aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha na uchumi bwana gray mgonja |
wote kwa pamoja wanadaiwa kutumia vibaya ofisi zao na kusababisha hasara ya mabilioni ya fedha kwa serikali |
kwa mujibu wa maelezo ya awali na nyaraka zilizosomwa mahakamani bwana yona alikaidi ushauri wa wataalam mbalimbali kuhusiana na kuajiri kampuni hiyo ambayo ilipewa misamaha ya kodi na kusababisha hasara ya shilingi bilioni kumi na moja saba mbali na huyo pia bwana mramba naye alidaiwa kutoa maelekezo ya kusainiwa kwa... |
kati ya mashahidi waliotajwa na upande wa mashitaka shahidi namba kumi na saba ambaye ni bwana shekidele ndiye aliandika barua ya ubadhilifu huo kwenda kwa mkurugenzi wa taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa akiomba kuchunguzwa kwa upotevu wa fedha hizo uliosababishwa na misamaha ya kodi kwa kampuni hiyo ambayo UNK ju... |
pingamizi hilo liliwasilishwa jana na wakili wa utetezi bwana mpare mpoki katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu bwana john utamwa bwana ignas UNK na bibi eva UNK |
akiwasilisha hoja za kupinga kurejeshwa kwa jalada hilo alisema kuwa mahakama hiyo kwanza haina uwezo tena wa kusikiliza maombi ya upande wa mashtaka kuhusiana na jalada hilo kwa kuwa tayari imeshatoa uamuzi wake na kuzuia |
alisema kuwa upande wa mashitaka UNK kuwasilisha ombi hilo kwa kuwa tayari limetolewa uamuzi hivyo walitakiwa kwenda mahakama ya juu zaidi |
hoja nyingine ni kuhusiana na kiapo cha upande wa mashitaka ambacho bwana mpoki alidai kuwa baadhi ya vipengele UNK uhuru wa mahakama ambayo haitakiwi kuingiliwa kwa mujibu wa katiba ya nchi |
kuna kipengele kinasema kuwa jalada hilo linatakiwa bot na kampuni ya lazard ambayo inafanya kazi kwa maelekezo ya rais katika akaunti na epa hivyo kipengele hiki UNK moja kwa moja uhuru wa mahakama na endapo mahakama UNK na kiapo hiki ni kuvunja katiba ya nchi alisema bwana mpoki |
kwa upande wa mashitaka ulizidi kuiomba mahakama hiyo kukubaliana na ombi lao kwa kuwa mahakama hiyo ilisema wanayo nafasi ya kufanya hivyo |
upande huo ulisema kuwa kampuni ya lazard kufanya kazi kwa maelekezo ya rais haihusiani na kesi hiyo kwa kuwa jalada hilo linahitajika kwa kazi mbalimbali za UNK |
mahakama hiyo itatoa uamuzi wake oktoba kumi na mbili mwaka huu ambapo kesi hiyo itaendelea kusikilizwa kwa siku mbili mfululizo |
washitakiwa hao ni bwana maranda bwana farijala hussein bwana imani mwakyosa bibi ester komu na bibi kimera ambao wote kwa pamoja wanadaiwa kuiba jumla ya shilingi milioni ishirini saba moja katika benki kuu ya tanzania baada ya kughushi nyaraka mbalimbali |
askari ishirini sifuri kutoka vikosi vya jeshi la magereza na jeshi la kujenga taifa wilayani rungwe wamewasili katika msitu wa mlima rungwe mkoani mbeya kukabiliana na moto unaoendelea kuteketeza mlima huo |
serikali mkoani mbeya imelazimika kuomba msaada wa vikosi hivyo baada ya moto huo ulioanza kuwaka tangu septemba kumi na nane mwaka huu kuwazidi nguvu wananchi |
mkuu wa mkoa wa mbeya bwana john mwakipesile aliliambia gazeti ili kwa njia ya simu jana kuwa moto huo umeleta athari kubwa kwa rasilimali za misitu zilizopo katika mlima huo |
UNK kuuliza chanzo cha moto huo kila mtu amekuwa akizungumza lake wengine wanasema ni hujuma na wengine wanadai kuwa wanafunzi walipanda juu ya mlima huo na kuwasha moto lakini mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijajulikana alisema |
alisema kuwa ili kujiridhisha na tetesi hizo UNK kamati maalumu ili kubaini chanzo cha moto huo |
moto UNK juu ya miti huwezi kuuzima mchana kutokana na upepo UNK na hivyo kulazimika kuuzima usiku na ule wa chini UNK lakini baada ya muda UNK tena hivyo mpango huu kuwa mgumu alisema |
bwana mwakipesile alisema kuwa kila UNK kuuzima na kufanikiwa wakishuka chini unaanza tena kuwaka hali ambayo imesababisha UNK kuwa gumu kwao |
huku hofu ya mafua ya nguruwe ikiendelea kutawala miongoni mwa watanzania mgonjwa mmoja amegundulika na ugonjwa na amelazwa katika hospitali ya taifa muhimbili |
habari UNK UNK majira na kuthibitishwa na mkurugenzi wa huduma ya tiba wa mnh profesa andrew swai mgonjwa huyo ambaye ni mtoto amelazwa katika uangalizi maalum na hali yake inaendelea vizuri |
hata hivyo profesa swai alikataa kutaja jina lake kwa maelezo kwamba kufanya hivyo ni kinyume cha maadili ya kazi yake |
mimi sipo UNK hata hivyo nimetoka nipo ofisini jina la huyo mtoto UNK ila yupo na anaendelea vizuri |
na yupo chini ya uangalizi maalumu ili UNK wengine alisema |
unajua UNK kukabiliana na ugonjwa huo kila kona kuanzia katika mipaka ya kuingia nchini bandarini na viwanja vya ndege vilivyopo nchini ili kuhakikisha usienee hivyo mgonjwa huyo yupo katika uangalizi maalumu aliongeza profesa swai |
alidai kuwa mgonjwa si mgeni bali ni mtanzania na anaendelea vizuri na matibabu |
hivi karibuni wagonjwa wengine wawili raia wa uingereza waligundulika kuwa na ugonjwa huo na kukimbizwa katika hospitali ya taifa muhimbili kwa matibabu |
raia hao ambao ni ndugu wa familia moja wanaoishi mbezi beach jijini walibainika kuwa na ugonjwa huo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu julius nyerere wakati wakirejea kutoka nairobi kenya walikokwenda kukutana na ndugu zao |
mgonjwa wa kwanza hapa nchini kuwa na ugonjwa huo aligundulika julai nne mwaka huu katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere wakati akiingia nchini kwa ndege ya shirika la ndege la kenya |
taarifa ya wizara ya afya ilisema raia huyo wa uingereza alitoka london na kutua nairobi kenya kabla ya kuingia nchini |
mwanasiasa mkongwe ambaye alipata kuwa mgombea mwenza katika chama cha nccr mageuzi katika uchaguzi mkuu wa mwaka ishirini sifuri tano bibi UNK jidawi amesema UNK mkono chama cha mapinduzi kama UNK mgombea mzuri anayekubalika na wananchi katika nafasi ya urais wa zanzibar uchaguzi mkuu mwakani |
akizungumza na gazeti hili bibi jidawi alisema wazanzibari wanataka mgombea wa nafasi ya urais ambaye atasaidia kuvunja makundi na kuwaunganisha wananchi wote bila ya kujali itikadi za kisiasa |
mimi UNK mkono ccm kama itamsimamisha mgombea ambaye UNK wananchi wa visiwa vya unguja na pemba kwa kuleta suluhu kwani wananchi wamechoshwa na migogoro ya kisiasa UNK alisema |
jidawi alisema watu UNK na vitendo UNK amani na utulivu katika nchi kila wakati unapokaribia uchaguzi mkuu mambo ambayo UNK nyuma maendeleo na sekta ya uwekezaji nchini |
alifafanua kuwa kwa sasa hayupo katika chama chochote cha siasa lakini atakuwa tayari kurudi katika ulingo wa kisiasa kama atachaguliwa mgombea urais mwenye sifa za kuleta umoja na kuwaunganisha watu wa visiwa vya unguja na pemba kuwa wamoja kama miaka ya nyuma |
ccm UNK mgombea anayekubalika na wananchi kama chaguo lao basi mimi UNK kidete na kupiga kampeni UNK kurudi katika ulingo wa kisiasa alisema jidawi |
jidawi ni maarufu na anakubalika na wananchi wengi wenye kuamini itikadi tofauti za kisiasa huko katika mkoa wa kusini unguja na alitaka kuwa mgombea urais wa zanzibar na kutaka kupambana na katibu mkuu wa chama cha wananchi seif sharif hamad katika uchaguzi mkuu mwaka ishirini sifuri sifuri lakini cuf ilimwekea pinga... |
mwanasiasa huyo alimmwagia sifa rais amani abeid karume ambaye amefanya kazi kubwa katika kuimarisha miundombinu ya barabara zaidi vijijini katika visiwa vya unguja na pemba |
alisema hivi unatoka bwejuu mkoa wa kaskazini unguja hadi mjini kwa dakika arobaini na tano tofauti na miaka ya nyuma wakati barabara zilipokuwa katika hali mbaya ya mashimo na vumbi |
mimi sina chuki wala sisemi kwa ajili ya kujipendekeza lakini mtu mwenye sifa yake UNK |
karume amefanya kazi kubwa sana bwana katika sekta ya miundombinu |
mimi kama mwekezaji nimeridhishwa na hilo alisema jidawi |
jidawi ni mmoja ya wawekezaji wa mwanzo UNK wito wa serikali ya zanzibar ya kuwataka wazalendo kuwekeza katika sekta ya utalii huku akimiliki hoteli ya kitalii ya palm beach iliopo bwejuu mkoa wa kaskazini unguja |
serikali inafanya tathmini katika wilaya sitini na tano za mikoa kumi na tano yenye upungufu wa chakula nchini waziri wa kilimo chakula na ushirika bwana stephen wasira amesema |
mikoa UNK tathmini kuanzia mwanzoni mwa mwezi huu ni pamoja na arusha manyara kilimanjaro tanga pwani morogoro dodoma singida tabora shinyanga mwanza mara mbeya lindi na mtwara |
ili kukabiliana na tatizo hilo serikali imetenga tani sitini na tano mia moja na sitini tano katika maeneo yenye upungufu na hadi septemba kumi na saba mwaka huu tani hamsini sifuri sifuri tatu sifuri tatu tano zilikuwa UNK kwa walengwa katika maeneo yaliyokumbwa na njaa |
hali hiyo ya upungufu wa chakula ilitangazwa jana na bwana wasira alipozungumza na waandishi wa habari kuelezea maandalizi ya kilimo kwa msimu wa ishirini sifuri tisa kumi na kutumia nafasi hiyo kutangaza kuendelea kutoa msaada wa chakula kwa wananchi wanakabiliwa na upungufu huo |
serikali itaendelea kutoa chakula kwa wananchi UNK kuwa wanaendelea kukabiliwa na upungufu wa chakula alisema bwana wasira |
ili kukabiliana na tatizo hilo bwana wasira alisema wakala wa hifadhi ya chakula ya taifa UNK sehemu ya chakula katika soko kwa lengo la kupunguza makali katika maeneo ya nchi UNK kuwa na bei kubwa ya chakula |
vile vile wizara inatoa wito kwa mikoa kuwahamasisha wafanyabiashara kununua chakula katika mikoa na maeneo yenye ziada na UNK katika maeneo yenye upungufu |
waziri huyo alisema serikali itaendelea kusitisha biashara ya uuzaji wa mazao ya chakula nchi za nje hadi hapo hali itakapokuwa nzuri |
bwana wasira alitoa wito kwa wakulima waliopata mavuno ya ziada UNK chakula cha kutosha kwa mahitaji ya kaya zao na kuuza ziada tu katika soko la ndani |
akizungumzia suala la wakulima watakaonufaika na ruzuku kwa utaratibu wa kutumia vocha alisema kuwa idadi imeongezeka kutoka wakulima mia saba na thebathini na saba sifuri sifuri sifuri mwaka jana na kufikia moja hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri mwaka huu wa fedha kwa utekelezaji wa bajeti ili kuongeza uzalishaji |
aliitaja baadhi ya mikoa UNK kuwa ni ile inayolima mazao ya nafaka kama UNK ya iringa mbeya rukwa ruvuma morogoro kilimanjaro arusha kigoma tabora mara mwanza kagera na shinyanga |
alisema ili kudhibiti udanganyifu mkulima atakabidhiwa vocha pale tu atakapotoa fedha za kuongezea katika bei ya pembejeo tofauti na ilivyokuwa awali ambapo mkulima alikuwa akikabidhiwa vocha mkononi na UNK kwa UNK |
kwa upande mwingine katika msimu wa mwaka ishirini sifuri nane sifuri tisa hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula haikuwa nzuri kutokana na sehemu kubwa ya nchi kukabiliwa na ukame hali iliyosababisha bei za vyakula nchini kuwa juu na kufanya watu wa kipato cha chini kuwa na hali ngumu |
mahakama kuu maalumu mjini kahama mkoani shinyanga imewahukumu kunyongwa hadi kufa watu watatu baada ya kupatikana na hatia ya kosa la mauaji ya kukusudia ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi matatizo dunia mkazi wa bunyihuna bukombe |
waliohukumiwa kutumikia adhabu hiyo ni bwana masumbuko madata mkazi wa kijiji cha ituga wilayani bukombe bwana emmanuel masangwa mkazi wa kijiji cha UNK na bwana charles masangwa mkazi wa kijiji cha nanda bukombe |
UNK hukumu yao UNK muda wa saa moja jaji gabriel rwakibalila alisema ametoa hukumu ya kunyongwa kwa washitakiwa wote watatu baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na upande wa mashitaka kuwa washitakiwa walitenda kosa hilo |
hukumu hiyo ya kwanza huenda itatuliza hasira za wanaharakati na serikali ambao wamekuwa wakidai kuwa hatua zinazochukuliwa dhidi ya wauaji wa albino ama UNK au UNK mno |
watu zaidi ya arobaini albino UNK nchini na viungo vyao vimekuwa UNK kwa imani za kishirikina baada ya wahusika UNK kupata utajiri |
kutokana na mauaji hayo makundi ya watu kadhaa UNK lakini uendeshaji wa kesi zao umekuwa ukienda taratibu na hao ndio watuhumiwa wa kwanza kuhukumiwa |
jaji rwakibalila alisema pamoja na ushahidi uliotolewa na upande wa utetezi kuonesha kuwa washitakiwa hao hawakuwepo katika tukio hilo lakini ni utetezi huo huo UNK mahakamani hapo kuwa wao ndiyo waliokula njama na kufanya mauaji ya mtoto huyo desemba mosi mwaka jana |
jaji huyo aliieleza mahakama hiyo UNK wasikilizaji kuwa pamoja na dosari ndogondogo UNK na upande wa jamhuri bado haziwezi kuharibu kwa namna yoyote ile shitaka lililokuwa UNK |
alisema ushahidi wa mkemia mkuu wa serikali ulionesha wazi kuhusika kwa mshitakiwa wa kwanza na wa tatu katika mauaji hayo kutokana na kupatikana kwa vinasaba UNK na damu ya miguu yote miwili ya marehemu dunia |
kutokana na hali hiyo jaji huyo alisema ushahidi huo wa upande wa jamhuri unatosha kuwatia hatiani washitakiwa na kupewa adhabu hiyo kwa mujibu wa sheria ya makosa ya jinai mia moja na tisini na sita sura ya kumi na sita iliyofanyiwa marekebisho ya mwaka ishirini sifuri mbili kwa kuzingatia ushahidi huo jaji rwakibali... |
muda mfupi mara baada ya kutolewa kwa hukumu hiyo upande wa utetezi ukiongozwa na wakili bwana UNK UNK UNK nia yake ya kukata rufaa katika mahakama ya rufaa kupinga hukumu hiyo |
hadi sasa kuna kesi nyingine hamsini za mauaji ya albino ambazo UNK kufikishwa mahakamani |
katika kukabiliana na mauaji hayo serikali ya tanzania ilitangaza mikakati ya kukomesha mauji ya albino ambapo mwezi machi mwaka huu rais jakaya kikwete aliwataka watanzania kujitokeza na kutoa taarifa walizonazo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.