text stringlengths 1 1.32k |
|---|
hali bado si shwari kisiwani pemba katika shughuli ya uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura kutokana na kuendelea vitendo vya kumwaga upupu kwenye vituo vya kujiandikisha |
chumba cha uandikishwaji katika skuli ya nungwi kililazimika kuhamishwa baada ya kuta meza na viti vilivyokuwa UNK na waandikishaji UNK UNK |
akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea kupata UNK ya shughuli hiyo mkuu wa kituo cha UNK skuli ya nungwi bibi sunna seif ahmed alisema walilazimika kuhamia chumba kingine baada ya kubaini upupu huo |
tumelazimika kuhama chumba kwani meza kuta na vitu vyote UNK upupu wenzetu waliotangulia asubuhi wamekutana na adha hii alisema bibi UNK |
kituo cha nungwi ni miongoni mwa vyenye watu wengi ambako pia kumekuwa na tafrani za hapa na UNK tangu kuanza shughuli hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita |
wakizungumzia hali hiyo wakazi wa maeneo hayo ambao wamekosa sifa ya kujiandikisha walidai kuwa kinachofanyika sasa ni kuambiwa wafuate vitambulisho katika ofisi ya mkurugenzi wa vitambulisho eneo la gamba ambako nako kuna idadi kubwa ya wananchi ambao huzuiwa kupata vitambulisho |
tumefika hapa leo siku ya tatu kutokea tumbatu lakini hadi sasa hakuna dalili ya kupata vitambulisho |
UNK makusudi ili UNK watu UNK alisema bwana khamis haji ali mkazi wa tumbatu |
aidha majira ilifika katika ofisi za vitambulisho vya gamba na kushuhudia umati mkubwa ukisubiri vitambulisho |
jitihada za kuwaona maofisa watoa vitambulisho zilikwama baada ya mlango wa ofisi yao kufungwa mara baada ya kusikia kuna waandishi wamefika ofisini hapo kujua chanzo cha tatizo linalosababisha uandikishwaji kukwama |
wakati huo huo waathirika ambao nyumba zao ziliteketea kwa mabomu wakati UNK kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura katika shehia ya sizini kaskazini pemba wamepata hifadhi kwa majirani zao |
familia hizo ni za bwana dadi sheha hassan bwana juma makame juma na naibu sheha wa sizini bwana suleiman UNK ambao wote nyumba zao UNK kwa mabomu yaliyorushwa na polisi juzi asubuhi |
aidha katika sakata hilo watu wanne wanashikiliwa na polisi kufuatia matukio ya vurugu yanayodaiwa kusababishwa kuteketezwa nyumba hizo |
watu hao ni yusuf haji yusuph kombo hassan UNK hamad na UNK bakari ambao walifikishwa katika mahakama ya mkoa ya UNK |
kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mbunge wa jimbo la micheweni bwana shoka hamis shoka washitakiwa hao walifikishwa mahakamani na UNK kwa fedha taslimu shilingi milioni moja na dhamana ya mali isiyohamishika yenye thamani ya shilingi milioni kumi kila mmoja |
wakati huo huo baadhi ya watu waliokimbia makazi yao wakati wa vurugu hizo kisiwani pemba juzi walianza kurejea kutoka mafichoni |
baadhi ya wananchi hao waliokimbilia shumbu ya mjini katika jimbo la micheweni na wale waliokimbilia mashambani walifuatwa na mbunge wa jimbo hilo bwana shoka na kuwataka warejee UNK serikali kwa kuficha uovu wao |
waeleze ukweli kuhusu chanzo cha mtaji wao |
wasitumie uchaguzi kama kinga yao mratibu wa shirika la kimataifa la mkate wa kila siku mchungaji UNK mwaisumbe amewaonya maaskofu walioibuka na kuitisha serikali kwa ajili ya kuzuia taasisi yao ya upatu ya deci UNK ambapo amesema vitisho hivyo ni kelele mbele za mungu |
akizungumza katika mahojiano maalumu jana alipokuwa anaeleza mpango wa shirika lake alisema kazi ya maaskofu ni kuwatunza watu kiroho na si kujiingiza katika malumbano na serikali kwa kisingizio cha kutetea ukweli |
unajua kazi ya maaskofu ni kubwa sana wao ni wawakilishi wa mungu duniani |
kazi yao ni kuzungumza na mungu moja kwa moja tena wakijipanga sawa sawa yaweza kutokea yale za zamani ya mungu kushuka ana kwa UNK |
sasa huu ugomvi wa fedha UNK wapi |
alihoji |
aliwahadharisha kuwa wasije wakawa wanatumika kwa ajili ya kuharibu amani na utulivu nchini ambao unatokana ukweli kuwa pamoja na watu wengi kuwa na maisha magumu wameridhika na kuipenda nchi yao na kuendelea UNK mungu kama ilivyo sasa |
hofu yangu ni pale pale ambapo malumbano haya UNK siasa kwa maaskofu hawa waanzilishi wa deci kutoa matamshi ya kusema mwakani ni kipindi cha uchaguzi na hivyo kuonesha kuwa UNK rais jakaya kikwete |
hapo UNK kuwa wamesahau wajibu wao alisema |
alisema kinachotakiwa kwa watumishi hao wa mungu ni kuwa na hofu ya mungu na kuamua kuwa wakweli katika kusema undani wa taasisi hiyo na chanzo cha mapato yake ili kuondoa hofu miongoni mwa watanzania ambao kwa sasa wengine wamefikia kusema fedha hizo ni za UNK |
mchungaji mwaisumbe wa kanisa la UNK alisema ukweli unashinda fitina na UNK hivyo maaskofu hao waanzilishi wa deci wanachotakiwa kufanya ni kujibu maswali yaliyopo na kuachana na imani kuwa kuna mkono wa mtu |
aliwaonya maaskofu na wachungaji waliojiingiza katika taasisi hiyo kujihadhari katika kipindi hiki chenye malumbano mengi ya kisiasa ambayo alisema yaweza kuwaambukiza na kujikuta wakiacha hoja ya msingi ya kujibu maswali yenye utata kwenye taasisi yao |
waziri asema lengo ni kulinda mazingira ya uwekezaji |
adai serikali inahofia fidia kubwa inayoweza UNK |
pia inaogopa kuchafuliwa na mwekezaji nje ya nchi |
hata hivyo akiri upungufu mkubwa wa mwekezaji serikali imesema kamwe haiwezi kuvunja mkataba wake na kampuni ya reli tanzania ili kulinda mazingira ya uwekezaji nchini na kuhofia gharama kubwa UNK kutozwa endapo itachukua uamuzi huo |
hatua hiyo imekuja siku chache baada ya chama cha wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania na wadau wengine kutaka mkataba trl uvunjwe kutokana na kusuasua kwa mwekezaji kampuni ya rites kutoka india kuendesha reli hiyo |
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa alisema kuvunjwa mkataba huo kunaweza kusababisha mwekezaji atakayefukuzwa kuitangaza tanzania vibaya nje ya nchi |
kuvunjwa mkataba wa trl kutasababisha watanzania kuingia gharama kubwa kulipa fidia wawekezaji hao |
serikali haiwezi kuvunja mkataba kirahisi kama wengi wanavyofikiria kwa sababu mkataba huu ni wa kimataifa unaohusisha nchi tatu ambazo ni tanzania india na msumbiji hivyo badala yake ina uharaka wa kutenga fedha nyingi za kuboresha reli hata kama mwekezaji ataendelea kuwepo |
umoja wa mataifa una orodha ya nchi UNK mikataba iliyosainiwa kihalali UNK huu UNK baadaye |
kama UNK kuuvunja utakuwepo utaratibu maalum wenye maridhiano baina ya pande zote mbili |
huu ni mkataba wa kimataifa UNK kamwe |
alisema daktari kawambwa |
huku waandishi wa habari wakionekana kuwa na hamasa kuuliza maswali juu ya kile kinachoonekana kuwa utendaji mbovu wa trl waziri kawambwa alikiri kudorora huduma za reli hiyo tangu trl UNK jukumu hilo |
alitaja kasoro zinazosababisha kudorora huduma hizo kuwa ni pamoja na matatizo ya UNK na uwezo mdogo UNK mwekezaji huyo |
pia alikiri kuwepo upungufu ya mtaji katika utekelezaji wa mkataba wa ukodishaji ambapo alisema hali hiyo imesababisha uhaba wa pesa ambazo zingetumika kufanyia matengenezo njia ya reli na kukarabati vyombo vya uendeshaji |
akizungumzia uhalali wa ukodishwaji wa lililokuwa shirika la reli ya tanzania UNK wa sasa wa trl alisema waraka wa baraza la mawaziri na |
ishirini na tisa ishirini sifuri sita uliruhusu utumike utaratibu wa ubia katika kuendesha na kugharamia trl kati ya serikali ya tanzania na kampuni ya rites kutoka india |
daktari kawambwa alikiri kuwa mkataba huo una matatizo ambayo ni trl kutozingatia mkataba wa ukodishaji uongozi wa trl kutotekeleza makubaliano ya nyongeza ya mshahara wa kima cha chini kati yake na trawu kuhusu uhalali wa rites UNK trl injini na mabehewa na kuamua kusitisha matumizi ya vifaa hivyo mpaka UNK dola za m... |
alitoa rai kwa wafanyakazi na kuendelea kuchapa kazi kwa mujibu wa kanuni za ajira na kuacha kuingilia majukumu ya serikali ambayo ndiyo ilisaini mkataba |
nchi ni yetu sote lazima tufuate kanuni na utaratibu wa utawala bora hivyo wasifanye maamuzi yoyote ya kuiondoa UNK ya trl wafanye kazi UNK |
wananchi wawe wavumilivu kwa kuwa hali ya sasa ya trl ni ya mpito ambayo UNK na kupatiwa ufumbuzi wa kudumu alisema bwana kawambwa |
waziri wa mambo ya ndani ya nchi bwana lawrence masha na mkuu wa jeshi la polisi nchini said mwema wanatarajia kwenda pemba wiki ijayo kufuatilia hali ya usalama kisiwani humo |
naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi balozi khamis kagasheki alisema hayo dar es salaam jana alipozungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya siku ya amani ambayo hufanyika kila mwaka septemba ishirini na moja bwana kagasheki alisema serikali UNK zanzibar katika suala la amani bali katika kipindi cha kuele... |
katika kulitambua hili viongozi wetu watatembelea na kufanya mikutano na wananchi kutafuta njia ya kudhibiti hali ya uvunjifu wa amani inayojitokeza mara nyingi katika kisiwa hicho alisema balozi UNK |
alisema tatizo zanzibar lilikuwepo tangu enzi za baba wa taifa mwalimu julius nyerere hivyo katika kipindi hiki ni vyema wanasiasa wasitumie vibaya demokrasia UNK wananchi |
alisema baadhi ya viongozi wa siasa na viongozi wa dini wamekuwa chanzo cha kuchochea migongano miongoni mwa nchi na kuhatarisha amani na utulivu ambayo nchi imekuwa UNK kwa muda mrefu |
balozi kagasheki alisema nchi ikipoteza amani na utulivu shughuli za UNK zinasimama na UNK taifa katika umasikini uliokithiri |
aidha alisema katika maadhimisho ya siku ya amani nchi za maziwa makuu zinatakiwa kudhibiti UNK silaha ndogondogo na kubwa ili kuzuia machafuko ambayo ni hatari kwa maisha ya watu na mali zao |
maadhimisho hayo UNK na umoja wa mataifa kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana na wanafunzi katika kupambana na mazingira yanayochangia uvunjifu wa amani nchini |
wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania wanajipanga kutoa tamko zito dhidi ya msimamo wa serikali kuhusu kampuni hiyo uliotolewa na waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa juzi |
kauli ya wafanyakazi imekuja baada ya waziri huyo kutangaza juzi kuwa kamwe serikali UNK mkataba wa trl ili kulinda mazingira ya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kuhofia gharama kubwa inayoweza kutozwa endapo itachukua hatua hiyo |
wakizungumza na gazeti hili dar es salaam jana wafanyakazi hao ambao hawakutaka majina yao yatajwe gazetini walidai UNK na tamko la serikali kwa kuwa ndilo UNK kutokana na serikali kuwa upande wa mwekezaji siku zote |
tupo katika mchakato wa kukusanya maoni ya wafanyakazi wa vituo vyote vya reli nchini juu ya kauli ya serikali ili maamuzi UNK yawe zaidi ya tamko la waziri na serikali isije UNK kwa hatua UNK chukua alisema mmoja wa wafanyakazi hao |
awali chama cha wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania kiliitaka serikali kuvunja mkataba wa trl kutokana na kusuasua kwa mwekezaji rites katika kuendesha reli hiyo ambapo waliahidi kusambaratisha ofisi za menejimenti ya trl endapo agizo lao UNK |
wafanyakazi hao walisema mkataba huo umekuwa wa siri kubwa jambo linalowafanya kukosa imani na serikali kwa kile wanachoamini kuwa inajaribu kuficha upungufu uliomo kwenye mkataba huo |
waziri aliomba UNK siku kumi ili UNK ufumbuzi mgogoro uliokuwa unaendelea ndani ya trl na kama haya ndio majibu yake UNK kuamini kuwa serikali iko tayari kumkandamiza mtanzania kwa lengo la kujisafisha katika anga za kimataifa alisema |
wafanyakazi hao walionesha kupoteza matumaini kwa serikali huku baadhi UNK kitendo UNK cha kishujaa cha kuvunjwa kwa mkataba wa city water na aliyekuwa waziri mkuu bwana edward UNK |
naye ofisa habari wa trl bwana UNK maez alipotakiwa kutoa ufafanuzi juu ya maamuzi ya serikali kushindwa kuvunja mkataba huo alisema suala hilo UNK rites kwa kuwa ndio UNK kukumbatiwa na serikali |
hata hivyo ofisa wa wizara ya miundombinu bwana martin ntemo alisema upande UNK kuvunja mkataba ni kampuni ya rites na si serikali kwa kuwa kampuni hiyo ndio iliyoshindwa kuendelea na mkataba huo |
juhudi za kumtafuta katibu wa mkuu wa bwana sylivester rwegasira kutoa msimamo wa chama hazikufanikiwa kutokana na kuwa nje ya ofisi kwa shughuli za kikazi |
habari hii imeandikwa na benjamin masese elisante kitulo na makumba mwemezi |
tangazo UNK magazetini UNK |
wizara menejimenti hawana taarifa tangazo la kazi kwa nafasi ya mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme tanzania lililotolewa kwenye baadhi ya magazeti jana limezua utata mkubwa huku kila upande ukidai UNK |
utata huo uliibuka baada ya menejimenti ya tanesco kueleza kushtushwa na tangazo lililotolewa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika hilo |
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu ofisa uhusiano wa tanesco bibi badra masoud alisema ofisi yake haina taarifa zozote za kuwepo tangazo linalohitaji mtu mwenye sifa za kuwa mkurugenzi wa shirika hilo |
nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na daktari idrisa rashid |
matangazo yote yanayotolewa na shirika hili UNK ofisini kwangu kabla ya kutolewa magazetini nasikitika kusema kuwa tangazo hilo UNK na sasa nipo bagamoyo kwenye mkutano alisema |
bibi badra aliongeza kuwa ofisi yake haitahusika na gharama za tangazo hilo magazeti |
haijafahamika kwamba tangazo kwa hilo linatokana na kumalizika mkataba wa ajira kwa nafasi hiyo au ni kusitishwa kwa sababu za kiutendaji |
naye msemaji wa wizara ya nishati na madini bwana aloyce tesha alipoulizwa kuhusu suala hilo alisema tanesco ni shirika la umma UNK na bodi hivyo jukumu la kutangaza nafasi ni la bodi si serikali |
serikali huandaa sera na kanuni kwa ajili ya mashirika ya umma lakini haihusiki katika kuendesha mashirika hayo mwenyekiti wa bodi wa shirika hilo ndiye mwenye mamlaka ya kutoa tangazo hilo alisema |
aliongeza kuwa wizara yake haitahusika na gharama zozote za tangazo hilo wala uwajibikaji wowote kwakuwa limetolewa na bodi ya wakurugenzi wa tanesco na si wao |
tangazo lingekuwa ni letu UNK tumeweka saini yetu sisi na ndio maana mnaona amesaini mjumbe wa bodi ya tanesco kwa hiyo wao ndiyo wenye majibu yote kuhusiana na nafasi hiyo kutangazwa alisema bwana tesha |
gazeti hili lilifanya jitihada za kumtafuta mwenyekiti wa bodi hiyo bwana peter UNK kwa njia ya simu ili kujiridhisha juu ya uhalali wa tangazo hilo lakini jitihada hizo UNK |
habari hii imeandaliwa na christina gauluhanga elisante kitulo benjamin masese na makumba mwemezi |
mahakama ya wilaya ya ilala dar es salaam imetupilia mbali hoja za upande wa utetezi kuhusu kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili vigogo wanne wa benki kuu ya tanzania na kuonya kuwa hawakutakiwa kutoa hoja yoyote kabla ya washitakiwa hao kusomewa mashitaka yanayowakabili |
hoja hizo zilitupwa jana mahakamani hapo na hakimu mfawidhi bwana samwel maweda wakati akitoa uamuzi wa hoja mbalimbali zilizotolewa na wakili wa utetezi bwana mpare mpoki |
uamuzi huo ulilenga kwenye hoja mbili moja ikiwa ni kinga ya watuhumiwa hao kazini na kama ilikuwa halali kwa mawakili kuwasilisha hoja hizo mahakamani hapo |
akizungumzia suala la kuwasilisha hoja mahakamani hapo alisema kuwa haikuwa halali upande huo kuanza kuwasilisha hoja kabla ya watuhumiwa hao kusomewa hati ya mashitaka |
alisema kuwa kifungu cha sheria namba mia mbili na arobaini na tano cha cpa kinatoa maelekezo yote kuhusu makosa ya aina hiyo kuanzia kukamatwa kwa washitakiwa hadi kufikishwa mahakamani |
kuhusu kinga ya waliyonayo watumishi wa bot alisema anakubaliana na upande wa mashitaka kuwa inawalinda watumishi ambao UNK makosa wakiwa na nia njema lakini kwa upande wa makosa ya washitakiwa hao haiwezi kutumika |
alisema kesi hiyo imefunguliwa chini ya sheria ya uhujumu uchumi ambayo inaeleza bayana kuwa inaweza kufunguliwa katika mahakama ya wilaya kwa hatua za awali na baadae kusikilizwa katika mahakama kuu ya tanzania yenye mamlaka ya kufanya hivyo |
kutokana na hayo alitupilia mbali hoja zote za utetezi na kuamuru washitakiwa hao kurejeshwa rumande hadi oktoba mbili mwaka huu kesi hiyo itakapokuja kwa ajili ya kutajwa |
katika hali isiyokuwa ya kawaida wakati washitakiwa hao UNK mahakamani huku UNK na askari magereza askari hao waliwazuia waandishi wa habari kufanya kazi zao ambapo walizingira mlangoni na kuamuru wasiingie ili kuifanya mahakama hiyo kuwa na hewa |
mbali na kuzuia waandishi kuingia pia waliwazuia wapiga picha kuwapiga picha vigogo hao bila kubainisha sababu ya kufanya hivyo ambapo hali hiyo imekuwa tofauti na katika kesi zingine UNK washitakiwa wamekuwa wakipigwa picha kwa ajili ya jamii UNK |
awali washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo wakikabiliwa na mashitaka matatu ya uhujumu uchumi ambapo wameisababishia hasara kwa serikali ya shilingi bilioni kumi nne watuhumiwa hao ni mkurugenzi wa benki kuu ya tanzania bwana saimon jengo naibu mkurugenzi wa idara ya sarafu bwana kisima mkango mwanasheria wa b... |
mbali na hiyo pia bwana jengo alidaiwa kutoa amri ya uchapishaji wa noti nyingi zaidi ya kiasi kilichokuwa kinatakiwa na idara ya sarafu |
katika mashitaka mengine ambayo yaliwakabili washitakiwa wote walidaiwa kuwa wakiwa waajiriwa wa benki hiyo walisababisha hasara ya shilingi kumi nne mia moja na hamsini na nane mia tatu na thebathini na tisa mia moja na arobaini na sita katika makosa hayo washitakiwa hawatakiwi kujibu chochote mpaka kesi hiyo UNK kat... |
waislamu wa makundi mbalimbali nchini wameanza kulumbana kufuatia kutolewa kwa mwongozo unaoelekeza waumini wao jinsi ya kuchagua viongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani |
kutokana na malumbano hayo yanayotokana na upande mmoja kuukubali na wengine UNK amiri wa baraza kuu jumuia na taasisi za kiislamu sheikh mussa kundecha UNK katibu wa kamati ya kuokoa mali za waislamu sheikh khalifa khamis kuwa upeo wake wa elimu ya dini ni mdogo na anajipendekeza kwa baraza kuu la waislamu tanzania k... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.