text stringlengths 1 1.32k |
|---|
UNK na ujumbe ulifika hapa ukiongozwa na mkuu wa wilaya ya kinondoni bwana jordan rugimbana kuwa UNK matuta ya muda ili kunusuru watu kuendela kugongwa katika barabara hiyo alisema bwana kiswaga bwana kiswaga alisema uzoefu wa kimazingira unaonesha kuwa katika kipindi cha miaka mitatu eneo hilo limekuwa UNK kuwa na aj... |
alisema katika kikao hicho upande uongozi wa chuo uliwakilishwa na makamu mkuu wa chuo profesa UNK mgaya na upande wa wanafunzi wa waliongozwa na rais UNK hii ni mara pili kwa wanafunzi hao kuandamana UNK serikali kuweka matuta katika eneo hilo baada ya mwaka juzi kufanya hivyo |
wakati huo huo mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo kikuu kishiriki cha elimu cha chuo kikuu cha dar es salaam bwana musiba amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kinondoni kujibu shitaka la kumuua mwanafunzi mwenzake bibi betha mwarabu kwa kile kinachodaiwa ni ugomvi wa mapenzi mbele ya hakimu bibi hilda lyat... |
ilidaiwa mahakamani hapo kuwa mshitakiwa huyo alimuua marehemu katika chumba namba mia mbili na hamsini block c alikokuwa anakaa marehemu huyo |
mshitakiwa hakutakiwa kujibu lolote mbele ya mahakama hiyo kwa kuwa mahakama hiyo UNK kesi za mauaji na kesi hiyo itatajwa tena juni ishirini na mbili awali ya hapo kamanda wa kanda maalum dar es salaam bwana suleiman kova alisema uchunguzi wa awali umeshakamilika tayari kwa mtuhumiwa kujibu mashitaka UNK |
tumefanya uchunguzi wa awali umekamilika tunatarajia kumfikisha mahakamani muda wowote kuanzia sasa alisema bwana kova jana |
mashuhuda ambao pia ni wanafunzi wenzake wanaeleza kuwa bwana musiba na marehemu walikuwa wapenzi wa muda mrefu ambapo marehemu alikuwa akimtuhumu mwenzie kuwa na tabia ya ulevi huku UNK kuachana naye kama UNK |
baada ya bwana musiba kuendelea na tabia yake ya ulevi ndipo marehemu alimpa mwezi mmoja kujirekebisha na kumwambia atasitisha kabisa uhusiano wao lakini mpenzi wake huyo UNK na ndipo marehemu akaamua kuachana naye moja kwa moja |
ilielezwa baada ya kuachana naye bwana musiba alichukua uamuzi wa kumuua marehemu kwa njia ya kumwita ili wafanye maongezi badala yake alimshambulia kwa kumchoma visu UNK UNK |
taarifa hii imeandaliwa na edmund mihale rehema maigala na zamzam abdul na grace michael mahakama kuu ya tanzania leo inatarajia kusikiliza rufani ya kupinga uamuzi wa mahakama ya hakimu mkazi kisutu kuhusiana na masharti ya dhamana aliyopewa aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi bwana amatus liyumba |
usikilizwaji wa rufani hiyo unatokana na hatua ya upande wa mashitaka kukata rufani mahakamani hapo UNK kutupiliwa mbali kwa uamuzi huo na kuwekwa upya masharti ya dhamana ya mshitakiwa huyo kwa mujibu wa sheria |
rufani hiyo itasikilizwa mbele ya jaji geofrey shaidi ambaye atasikiliza hoja za pande zote mbili kuhusiana na sababu za kukatwa kwa rufaa hiyo ambapo kila upande utalazimika kutetea hoja zake ili mahakama ifikie uamuzi |
upande wa mashitaka unapingana na uamuzi wa hakimu mkazi bibi nyigulila mwaseba ambaye alikubaliana na hoja za upande wa utetezi ambazo zilisema kuwa makosa ya mshitakiwa huyo hayako kwenye kifungu cha mia moja na arobaini na nane ambacho UNK mshitakiwa kuweka nusu ya fedha anazodaiwa kuiba |
upande huo unadai kuwa hakimu huyo alitoa masharti ya dhamana kwa mshitakiwa kwa kupuuza mahitaji halisi ya kifungu cha mia moja na arobaini na nane cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai |
sababu ya pili UNK na upande huo ilidai kuwa mahakama hiyo UNK vibaya kifungu hicho na kumpa masharti yasiyokidhi matakwa ya kifungu hicho mshitakiwa huyo hivyo ukaomba mahakama kuu kutupilia mbali uamuzi huo na kupanga upya masharti ya dhamana kwa kuzingatia matakwa ya sheria husika |
awali mahakama ya kisutu ilitoa dhamana kwa mshitakiwa huyo kwa kumtaka aweke mahakamani hapo jumla ya shilingi milioni thebathini sifuri kuwa na wadhamini wawili ambao wangesaini dhamana ya shilingi milioni hamsini kila mmoja pamoja na kuwasilisha hati zake za kusafiria mahakamani hapo |
uamuzi huo ulifikiwa baada ya kukubaliana na hoja za wakili wa mshitakiwa huyo bwana majura magafu ambaye aliieleza mahakama hiyo kuwa makosa UNK nayo mshitakiwa hayako kwenye kifungu UNK kuweka nusu ya fedha mahakamani |
alisema kuwa kifungu hicho kinatumika katika makosa ambayo yanahusiana na fedha halisi au mali lakini si kwa kusababisha hasara hali iliyopingwa na upande wa mashitaka UNK mahakama kuzingatia kifungu hicho |
kutokana na malumbano hayo na mahakama kutupilia mbali pingamizi hilo upande wa mashitaka UNK rufaa kupinga uamuzi huo na kuiomba mahakama kutoa tafsiri ya sheria hiyo |
mshitakiwa alifikishwa mahakamani hapo akikabiliwa na mashitaka mawili ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya ujenzi wa majengo pacha ya bot na benjamin UNK maelezo shinyanga kesi inayowakabili washitakiwa wa mauaji ya ... |
akitoa ushahidi huo huku akiongozwa na wakili wa serikali bibi UNK mlay shahidi huyo bwana mayenga matongo ambaye alikuwa afisa mtendaji wa kijiji cha harawa alidai kuwa desemba nne mwaka juzi akiwa ofisini kwake alipokea taarifa kutoka kwa yusuph ramadhani kuwa kuna maiti imeonekana imetupwa katika mto UNK |
bwana matongo alidai baada ya kupokea taarifa hizo aliandika barua kwa mwenyekiti wa kitongoji cha UNK bwana sayi gamanya kumtaka aende kuangalia sehemu ya tukio ili kuthibitisha tukio hilo |
aidha shahidi aliongezea kuwa bwana gamanya UNK agizo hilo ndipo shahidi alikwenda na baadhi ya watu katika mto wa kidamlida na kuanza kuusaka mwili ambapo saa kumi na mbili sifuri sifuri jioni mei nne mwaka jana walifanikiwa kuuona ukiwa kwenye kisima cha UNK mifugo |
bwana matongo aliendelea kudai kuwa alitoa taarifa polisi wa wilaya ya bariadi aprili tano saa saba mchana polisi walifika eneo hilo na zoezi la kuutoa mwili huo lilianza ambapo ilikutwa imekatwa kichwa na miguu yote miwili na kuhifadhiwa kwenye mfuko wa ambao ulikuwa umeanza kuoza |
matongo alidai kuwa diwani wa kata hiyo bwana juma UNK kwa kushirikiana na wananchi wengine waliweza kuutambua mwili huo kuwa ni wa marehemu lyaku willy ambapo polisi walianza upelelezi wao ambapo iligundulika mboje mawe na UNK UNK waliokuwa wakiishi kijijini hapo walikuwa hawaonekani |
alidai kuwa desemba sita mwaka jana alipata taarifa kuwa watuhumiwa hao walikuwa UNK katika milima ya kijiji cha harawa na UNK wanamgambo wawili wa vijiji vya UNK na harawa ili kumsaidia kazi ya kuwatafuta watuhumiwa hao |
alidai tarehe hiyo hiyo majira ya jioni wanamgambo UNK waliweza kumkamata mboje kwenye milima ya kijiji cha harawa ambapo inadaiwa aliwataja watu wengine UNK nao katika mauaji hayo kuwa ni sayi mafizi chenyenye maganyale sayi gamanya gumbo UNK na UNK UNK |
kesi hiyo iko mbele ya jaji UNK kuu ya tanzania bwana gadi mjema ambapo mashahidi wanaendelea kutoa ushahidi wao |
hukumu ya kesi hiyo inatarajiwa kutolewa mwezi ujao |
peter masangwa na salum pazzy serikali imeahidi kuwalipa mafao kwa muda wa maisha yao yote watu wote waliopata ulemavu wa aina mbalimbali kutokana na milipuko ya mabomu iliyotokea katika ghala la silaha la jeshi la wananchi wa tanzania aprili ishirini na tisa mwaka huu jijini dar es salaam |
akizungumza na gazeti hili jana mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana wiliam lukuvi alisema watu hao watalipwa fidia kulingana na madhara UNK |
bwana lukuvi alisisitiza kuwa serikali ipo pamoja nao kwamba na itawasaidia kuendesha maisha yao ya kila siku |
alifafanua kuwa mafao UNK wakilipwa watu hao yatajulikana baada ya wataalamu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii kutoa mchanganuo wa kile UNK kuwa wanalipwa kulingana na aina ya ulemavu UNK |
wizara ya afya ndio inahusika na kufanya hesabu nimewaagiza watuletee idadi kamili ya watu waliopata ulemavu wa kudumu pamoja na mapendekezo yao alisema bwana lukuvi |
alisisitiza kuwa taarifa hiyo itaambatana na ile tathmini ya maafa itakayotolewa juni kumi na tatu mwaka huu |
bwana lukuvi alisisitiza kuwa yupo makini kwa kuwa UNK na maafa yaliyowapata wakazi wa mbagala |
kuhusu vurugu zilizotokea wakati wa ugawaji misaada kwa waathirika wa mabomu bwana lukuvi alisema kazi ya kusimamia ugawaji wa misaada hiyo ameachiwa mkuu wa wilaya ya temeke bwana said mkumbo |
na flora amon dodoma watu sita wamekufa papo hapo na wengine thebathini na saba kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi la mbele la upande wa kulia na kupinduka |
ajali hiyo ambayo ilitokea jana saa tano arobaini na tano asubuhi katika eneo la mtumba kilomita ishirini kabla ya kufika mjini hapa ilihusisha basi liitwalo hajji s aina ya scania lenye namba za usajili t mia nne na arobaini na moja UNK ambalo lilikuwa UNK dar es salaam kwenda singida |
akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mganga mkuu wa hospitali ya mkoa wa dodoma daktari UNK mtey alisema alipigiwa simu saa sita kasoro robo kuwa kuna ajali imetokea maeneo ya mtumba na ilipofika saa sita mchana walianza kupokea majeruhi |
daktari mtey alisema kuwa jumla ya majeruhi thebathini na saba walipokelewa hospitalini hapo ambapo majeruhi ambapo kumi na tisa kati yao walitibiwa na kuondoka huku majeruhi wengine wakiwa wamelazwa |
alisema kuwa kati ya majeruhi hao kumi na nane mmoja kati yao ana hali mbaya ambapo UNK mkono wake wa kulia na juhudi zinafanywa ili kuokoa maisha yake |
aidha daktari mtey aliwataja majeruhi waliolazwa kuwa ni pamoja na watoto wawili wa familia moja ambao ni UNK daniel na ezekiel daniel bwana idi mussa bwana hassan UNK bwana ali mbegu ambao wote wamelazwa wodi namba moja katika hosptali ya mkoa |
amewataja majeruhi kuwa ni pamoja na bibi hamida ramadhani bwana agnes blezi bibi UNK lucas bibi mwanaidi UNK bibi amina hussein bibi rehema hassan bibi UNK ngole bibi UNK athman UNK |
juliana leonard ambao wamelazwa wodi namba kumi |
daktari mtey aliwataja majeruhi wengine ambao wamelazwa katika wodi namba nane kuwa ni pamoja na bibi UNK blezi UNK na bibi UNK abdul ambaye amevunjika mkono huku hali yake ikiwa mbaya |
daktari mtey alisema kuwa waliofariki mpaka kufikia jana walikuwa hawajatambuliwa na kuongeza kuwa walikuwa wakiwasubiri ndugu kwenda kuwatambua |
kamanda wa polisi mkoa wa dodoma bwana omar mganga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni kupasuka kwa tairi upande wa dereva |
alisema kuwa dereva wa gari hilo daud john alikimbia baada ya kutokea kwa ajali hiyo na kuongeza kuwa kuwa jeshi la polisi UNK |
wana upatu UNK kwa risasi |
wavunja vioo gari la UNK |
polisi UNK ffu waingilia kati askari wa kikosi cha kutuliza ghasia jana walilazimika kufyatua risasi hewani kutawanya mamia ya washiriki wa mchezo wa upatu ya deci waliokuwa wakifanya vurugu baada ya UNK hatma ya fedha zao |
sakata hilo lililotokea makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo mabibo jijini dar es salaam ambapo washiriki hao walikuwa wamekusanyika kuelezwa hatma ya mbegu zao walizopanda baada ya uongozi wa kampuni hiyo kutangaza kuwa tamko rasmi UNK jana |
katika vurugu hizo washiriki hao waliokuwa UNK UNK waliharibu magari mawili ya maofisa wa deci likiwemo aina ya rav nne lenye namba za usajili t mia mbili na sabini na nne UNK ambalo waliharibu vioo vyake wakatoa matairi yote upepo na kujaribu UNK kwa nia ya UNK moto |
gari jingine UNK ni mitsubish pajero lenye namba za usajili t mia tisa na arobaini na saba UNK ambalo nalo lilivunjwa vioo na kuharibiwa baadhi ya UNK |
baada ya polisi ambao walikuwa wamejaa eneo hilo kushindwa kudhibiti fujo hizo ffu walilazimika kufyatua risasi kadhaa hewani na kutawanya washiriki hao ambao hata hivyo walikaa hatua kadhaa na ofisi hizo huku UNK waandishi wa habari kwa maneno pamoja na kupiga kelele za kulaani kauli za maafisa hao wa deci licha ya u... |
alihoji mama mmoja ambaye hakuwa tayari kutaja jina lake |
wanachama hao waliokuwa wamefika kwa wingi kuanzia majira ya saa mbili asubuhi walikuwa wakiwasubiri viongozi wa deci ili waweze kusikia serikali inasema nini kama ambavyo awali walivyokuwa UNK |
baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye walitokea maofisa wa ngazi za chini na si viongozi wa juu kama ilivyotarajiwa ambapo walianza kuwahoji kuhusu tamko na hatma ya fedha zao |
katika hali ya kushangaza baadhi ya wafanyakazi wa deci UNK washiriki hao maneno ya kashfa na hivyo kuzua vurugu kubwa huku wakirusha mawe na UNK mtu mmoja |
UNK ninyi hamna jipya maneno hayo na mengine UNK kutoka kwa watumishi hao kuwaambia wanachama hali iliyozua hasira na kuanza vurugu |
awali mkurugenzi mtendaji bwana timoth ole UNK e aliwatangazia wananchi hao kuwa tamko kuhusu fedha zao UNK jana na serikali lakini bila kufafanua UNK wapi na kwa mtindo upi |
katika hali ya kushangaza viongozi wote wakuu waliingia mitini na kuwaachia wafanyakazi wengine sisi tunachotaka kujua kwa sasa ni kwamba UNK vipi fedha zetu na wala si kitu kingine lakini msuguano uliokuwepo ndio UNK matatizo yote hayo alisema kijana mmoja ambaye naye alidai ni mshiriki wa deci naye gladness mboma an... |
makamu mwenyekiti na msemaji wa kamati ya dharura ya UNK deci mwinjilisti emanuel ambakisye alisema jana dar es salaam kuwa lawama zote zinazotokana na utapeli wa deci zielekezwe kwa washauri walezi waanzilishi na wapambe wa kampuni hiyo |
alisema kuwa kitendo cha viongozi wa deci kuchukua fedha kwa watu kwa kisingizio kwamba wanachangia chama ambacho hakipo wala kusajiliwa kinahatarisha imani ya ukristo nchini na dunia nzima |
napenda wananchi watambue kuwa viongozi wa deci hawakuwa wakweli tangu mwanzo kwani walijua kabisa kwamba shughuli zao hazijasajiliwa na kwamba ni kinyume na sheria za nchi lakini UNK UNK baraza la UNK tanzania ambapo sasa wakristo wengi UNK alisema |
mwinjilisti ambakisye alisema kuwa yapo baadhi ya mawazo yaliyotolewa hivi karibuni na wabunge UNK kuishauri serikali kuacha UNK deci kwa kuhofia uchaguzi ishirini moja sifuri mawazo ambayo alidai kuwa yanalenga kujinufaisha matumbo yao na sio maslahi ya wananchi waathirika |
alisema kuwa kitendo cha maaskofu wote waliohusika na deci kujificha katika kipindi hiki kigumu kwa wanachama pengine wakiogopa aibu ya utapeli uliofanyika na kuitupia lawama serikali si cha busara kwa sababu wao ndio waliokuwa mstari wa mbele kuwashawishi kondo hao masikini kuingia kwenye kamari hiyo |
mwinjilisti ambakisye alisema kuwa katika uchunguzi waliofanya wamebaini kuwa kuna mikakati mikubwa ya viongozi wa deci wakishirikiana na baadhi ya wachungaji ambao wanajaribu kushawishi watu UNK kuilaumu serikali ili kuepuka aibu inayokuja hivi karibuni |
hatua ya viongozi wa deci kumtuhumu waziri wa fedha bwana mustafa mkullo kwamba UNK wakristo si ya kweli kwa sababu deci si chombo cha kikristo wala UNK kama ambavyo wanavyodai wao bali ni chombo cha kitapeli alisema |
hivi karibuni benki kuu ya tanzania UNK wananchi UNK na deci kwa kuwa kampuni bila kibali cha serikali sheria hivyo wanahatarisha mitaji yao |
na john daniel dodoma waziri wa nchi ofisi ya rais utawala bora bibi sophia simba amesema suala la kufikishwa mahakamani watuhumiwa wa richmond bado lina utata kwani kampuni hiyo UNK hata senti tano |
kauli hiyo ya waziri simba ni mpya na UNK na taarifa zote zilizowahi kutolewa kuhusu kampuni hiyo hadi kusabisha kuvunjwa mkataba wake huku baadhi ya mawaziri akiwemo aliyekuwa waziri mkuu bwana edward lowassa kujiuzulu kutokana na utata katika mkataba wake na gharama za uendeshaji |
akijibu swali la nyongeza la mbunge wa simanjiro bwana christopher ole sendeka bungeni jana waziri simba alisema watuhumiwa wa epa na iptl wanashughulikiwa kisheria na kwamba hawezi kujibu lolote kuhusu hatma yao kwa kuwa UNK na sheria za nchi |
nadhani mheshimiwa mbunge anatambua kwamba serikali inafuatilia kwa karibu masuala hayo na epa ipo UNK siwezi kuzungumzia lolote suala la richmond ipo katika hatua mbalimbali na lina utata kwa kuwa UNK hata senti tano alidai bibi simba na kusababisha wabunge wengi UNK |
katika swali lake la nyonge bwana sendeka aliitaka serikali kuchukua hatua za utashi wa kisiasa kwa kuwachukulia hatua za haraka watuhumiwa wa richmond epa na iptl ili kuweka nchi katika sura nzuri ya kupambana na rushwa |
tamati na rose UNK taasisi za dini UNK mpango wa serikali kutaka kuzifutia misamaha ya kodi na kueleza kuwa jambo UNK nyuma maendeleo kwa kuwa taasisi ni wadau wakubwa katika utoaji huduma za jamii |
kwa mujibu wa tamko la jumuia ya UNK tanzania lililotolewa dar es salaam jana baada ya kumalizika mkutano mkuu wa ishirini na nane wa jumuiya hiyo juni tano mjini dodoma maaskofu hao wameitaka serikali kuangalia jambo hilo kwenye bajeti inayosomwa leo |
tamko hilo UNK na makamu wa kwanza wa mwenyekiti wa cct daktari valentino mokiwa lilisema zipo taarifa kwamba waziri wa fedha na uchumi bwana UNK mkulo amepanga kuliomba bunge kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ili kufuta au kupunguza misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini |
tunasikitishwa na mpango huu na kutokubaliana nao kufutwa au kupunguza UNK ya kodi kwa taasisi za kidini ambazo ni wadau wakubwa wa kutoa huduma za jamii alisema daktari mokiwa |
alisema kitendo cha kufuta kodi kwa taasisi za kidini kitaongeza mzigo kwa taasisi hizo na badala yake wameishauri serikali kusimamia vizuri usahihi wa kodi hasa kwa wawekezaji wakubwa kwani kuna mianya mingi ya ukwepaji ulipaji kodi kutoka kwa wafanyabiashara wawekezaji na kampuni kubwa |
daktari mokiwa amewataka wananchi wote kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na ule wa rais na wabunge mwaka ishirini moja sifuri kwani uchaguzi ni mchakato UNK wananchi wote na ndio njia pekee ya kushiriki katika utawala na uendeshaji wa nchi |
kutoshiriki kuchagua kiongozi ni dalili mbaya ya kuwaruhusu viongozi wasiofaa kujipenyeza na hatimaye kuliingiza taifa katika maafa alisema daktari mokiwa |
alisema kuna tuhuma na minonggono kwamba ushirikina umetawala miongoni mwa viongozi wa umma wanasiasa na raia wa kawaida |
alisema ushirikina ni tabia ya mmomonyoko wa maadili ambapo watu wamekuwa wakifanya maovu bila ya hofu ya mungu |
watu wa jinsia hii hufikiri kwamba wanaweza kufanikiwa katika mambo yao kama vile uchaguzi kupendelewa kupanda vyeo kupata utajiri wa haraka kuepuka magonjwa na balaa aliongeza daktari mokiwa |
alisema ushirikina umefikia kiwango cha watu fulani kuathiri haki za binadamu wengine ikiwa ni pamoja na kuwakata viganja vya mikono UNK watu mauaji ya albino na mauaji ya vikongwe |
UNK shilingi trilioni moja saba |
wanunuzi mazao sasa UNK |
mabenki kampuni UNK |
UNK udhaifu mkubwa trl rais jakaya kikwete ametumia staili ya aina yake kumnusuru waziri wake wa fedha na uchumi kwa kutoa hotuba inayogusa maeneo nyeti ya bajeti ya serikali inayosomwa leo ambapo kiasi cha shilingi trilioni moja saba UNK ajili ya kukabiliana na mtikisiko wa kiuchumi |
hotuba hiyo ya rais ilitolewa mjini dodoma jana zikiwa zimesalia takribani saa ishirini na nne kabla ya waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo kusimama bungeni kusoma bajeti hiyo ilionekana kujibu hoja za wabunge waliokuwa wamepania kuikwamisha kwa kile walichodai baadhi ya ahadi za serikali zinatekelezwa kwa u... |
hatua hiyo iliungwa mkono na bwana mkulo muda mfupi mara baada baada ya rais kikwete kumaliza hotuba yake akisema rais UNK kazi zikiwa zimebakia saa ishirini na nne kabla ya kuingia bungeni kusoma bajeti yangu |
UNK wazee wa mkoa wa dodoma na wabunge katika ukumbi wa kilimani alisema katika bajeti ya mwaka huu wa fedha serikali yake imetenga kiasi cha shilingi trilioni moja saba kukabiliana na athari zilizotokana na mtikisiko wa kiuchumi ulioikumba dunia ikiwemo tanzania |
fidia kwa wanunuzi wa mazao UNK maeneo ambayo UNK kipaumbele kukabiliana na mtikisiko wa kiuchumi rais kikwete alisema serikali yake itatoa fedha kufidia hasara wanunuzi wa mazao pamoja na vyama vya ushirika ili katika msimu ujao wa mazao waweze kuendelea na kazi hiyo |
katika eneo hilo alisema zimetengwa kiasi cha shilingi bilioni ishirini na moja tisa ambazo UNK kwenye mabenki moja kwa moja kwa ajili ya kulipa mikopo UNK na wanunuzi wa mazao kwa kuwa madeni hayo UNK na uzembe |
hata hivyo alionya kuwa serikali yake UNK madeni ya zamani |
asije mtu hapa akataka UNK akisema na mimi UNK tumezungumza na watu wa mabenki na UNK madeni yote yaliyotokana na mtikisiko wa kiuchumi alionya rais kikwete |
udhamini mabenki kampuni aliongeza kuwa serikali itatoa udhamini wa shilingi bilioni ishirini sifuri saba kwa viwanda na sekta ya utalii kwa kipindi cha miaka miwili kutokana na kuathiriwa na mtikisiko wa kiuchumi |
UNK madeni hayo na kuahirisha ulipaji wake kwa muda wa miaka miwili katika kipindi hiki riba UNK ili tuone baada ya muda huo hali itakuwaje |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.