text stringlengths 1 1.32k |
|---|
mjira jumapili UNK mama mjamzito aliyetambulika kwa jina la UNK chande mkazi wa njiapanda ya UNK akiwa UNK wa miezi tisa UNK katika kambi ya chama cha msalaba mwekundu huku akiwa hajitambui na kisha kukimbizwa katika hospitali ya temeke baada ya kupata UNK |
afisa habari wa chama cha msalaba mwekundu bibi stella UNK amewataka wakazi wa kata ya mbagala kuchukua tahadhari mapema pindi UNK la milipuko hiyo UNK kutokana kuwa milipuko hiyo UNK |
naye mkuu wa wilaya ya temeke bwana said mkumbo alisema UNK hiyo imekwenda salama kwa kuwa walijiandaa kutoka na uzoefu walioupata tangu aprili ishirini na tisa alisema maandalizi hayo yalifanyika baada ya kutoa taarifa kwa chama cha msalaba mwekundu skauti mganga mkuu wa hospitali ya temeke na askali kwa ajili ya uli... |
wadai alipenda kujenga shule makanisa |
wengi UNK ufafanuzi ibada za leo siku moja baada ya makao makuu ya kanisa katoliki vatican nchini italia kutangaza kumnyangganya jimbo askofu wa same jacob koda waumini na viongozi wa dini wanaomfahamu askofu huyo wamepokea taarifa hizo kwa UNK mkubwa huku kila mmoja akihoji kilichomsibu |
baadhi ya mapadri na waumini wa kanisa hilo waliozungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti walisema askofu koda ni kati ya watumishi waadilifu hivyo hakuna aliyetarajia kama UNK na jambo hilo |
wakati watu mbalimbali wakiwa hawajui kilichomsibu vatican katika taarifa yake jana ilisema uamuzi huo umefikiwa baada ya askofu koda kubainika kukiuka mafundisho ya imani ya kanisa hilo |
vyombo vya habari vilimnukuu balozi wa vatican nchini askofu mkuu joseph chennoth akithibitisha askofu koda kutakiwa na kanisa kuacha utume huo mara moja na kupumzika ama kufanya shughuli binafsi za mafunzo |
hatua hiyo ya vatican UNK waumini wengi wanaomfahamu askofu koda kwa moyo wake wa kupenda kujenga mashule na makanisa |
ni mtu mwadilifu na anayependa kujiendeleza kimasomo hatujui ni kitu gani kilichomsibu alisema mmoja wa watu aliyedai anamfahamu kwa muda mrefu askofu huyo |
UNK zaidi waumini hao ni hatua ya askofu mkuu wa vatican kushindwa kufafanua kiini cha kuondolewa kwa askofu koda na kuhoji aina ya mafundisho ya kanisa ambayo anadaiwa UNK |
mmoja wa mapadri wa kanisa katoliki aliyezungumza gazeti hili kwa njia ya simu kutoka mkoani mara alieleza kushangazwa na hatua hiyo lakini hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo kwa vile alikuwa hafahamu kwa undani kilichomsibu askofu UNK |
hata mimi taarifa hizo nimezipata kwenye vyombo vya habari sijui amefanya nini alisema padri huyo alipoulizwa na gazeti hili ni mafundisho ya aina gani ambayo padri au askofu UNK anaweza UNK wadhifa wake |
kutokana na hatua hiyo taarifa ya askofu mkuu chennoth kwa vyombo vya habari ilieleza kuwa baba mtakatifu benedicto UNK amemteua padri UNK kimaryo kuwa msimamizi wa UNK wa jimbo hilo |
kabla ya uteuzi huo padri kimaryo alikuwa paroko wa parokia ya kipawa jimbo kuu la dar es salaam |
habari kutoka same zimeeleza kuwa waumini wa jimbo hilo wameshutushwa na taarifa za askofu koda kunyangganywa jimbo bila kuelezwa mafundisho yapi ya kanisa UNK |
habari hizo zimeeleza kuwa macho na masikio ya waumini wengi wa jimbo hilo UNK katika ibada za leo ambapo wanaamini UNK ni nini amekosea askofu wao |
tuna imani leo UNK ni kitu gani amefanya kiongozi wetu hadi ufikiwe uamuzi wa kuondolewa wadhifa wake kilisema chanzo chetu cha habari kutoka same |
gazeti hili lilipo UNK baadhi ya wafanyakazi wa kanisa katoliki kuhusiana na uamuzi huo walionekana kuguswa na jambo hilo huku UNK lawama zao kwa vyombo vya habari wakidai UNK ukweli |
askofu koda yupo jimboni na taarifa iliyotolewa na tec hakusema UNK jimbo isipokuwa haijulikani UNK kazi gani pengine anaweza kuitwa vatican alisema mmoja wa wafanyakazi wa kanisa hilo na kisha kuzima simu yake |
askofu koda aliteuliwa na baba mtakatifu yohana paul wa ii kuwa askofu mpya wa same septemba elfu moja na mia tisa na tisini na tisa kuchukua nafasi ya askofu josephat UNK aliyehamishiwa jimbo kuu arusha |
magesa magesa na mary margwe arusha serikali UNK mikoa na halmashauri zote nchini UNK na kuweka mikakati madhubuti kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula wanapokuwa shuleni |
waziri mkuu bwana mizengo pinda aliyasema hayo jana katika hotuba yake alipokuwa akizungumza na wananchi na viongozi mbalimbali katika matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya watoto mashuleni |
alisema mikakati hiyo inatakiwa kuwekwa mara moja kwani wanafunzi wengi wamekuwa wakishindwa kumudu masomo yao kutokana na kwenda shule wakiwa na njaa hivyo iwekwe mikakati makini kuwapatia chakula cha mchana mashuleni |
utafiti uliofanywa umebaini kuwa kukosekana kwa lishe mashuleni kumekuwa UNK hali ya uelewa wa mwanafunzi na pia umeonesha kuwa endapo kuna chakula mashuleni kiwango cha uelewa kwa wanafunzi UNK na utoro UNK alisema bwana pinda |
pia waziri mkuu amewataka wazazi kuhakikisha kuwa wanaweka utaratibu mzuri wa kuwapa watoto wao chakula waende nacho shuleni kwani itasaidia wanafunzi hao kusoma kwa bidii kutokana na UNK |
waziri mkuu alitoa wito kwa wananchi kuhakikisha kuwa wanatumia teknolojia ya kisasa katika kilimo ili kuongeza uzalishaji utakaosaidia kupunguza njaa kwa upande wake balozi wa kutokomeza njaa nchini bwana reginald mengi alitoa mwito kwa wananchi na kampuni mbalimbali kuhakikisha zinachangia chakula kwa wanafunzi mash... |
na grace michael mahakama kuu ya tanzania leo inatarajia kutoa uamuzi wa kusikiliza au kutosikilizwa maombi ya aliyekuwa balozi wa tanzania nchini italia profesa costa mahalu na mwenzake bibi grace alfred ya kuomba kupitiwa upya mwenendo wa kesi yake iliyokuwa ikisikilizwa na mahakama ya hakimu mkazi kisutu |
uamuzi huo utatolewa mahakamani hapo na jaji juxon mlay baada ya kupitia malumbano ya kisheria yaliyowasilishwa na pande zote mbili wakati wa usikilizwaji wa pingamizi la upande wa mashitaka kuhusiana na maombi hayo |
pingamizi la serikali kuhusiana na maombi hayo lilisema kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kufanya UNK ya mwenendo wa kesi hiyo kwa ajili ya kujiridhisha kama ilivyoombwa na washitakiwa hao |
pingamizi hilo lilipingwa vikali na upande wa utetezi ambao kupitiwa wakili wa bwana mabere marando ambaye alisema kuwa sababu za kuwasilisha maombi hayo ni kutokana na mapungufu makubwa yaliyojitokeza wakati wa usikilizwaji wa kesi hiyo katika mahakama ya kisutu |
aliyataja mapungufu hayo kuwa ni pamoja na kuendeshwa kesi hiyo bila kuwepo kibali cha mkurugenzi wa mashitaka nchini |
tunaomba mwenendo wa kesi hiyo UNK upya ili mahakama hii iweze kujiridhisha zaidi kwani hati ya mashitaka UNK na kibali cha dpp kinachotoa ruhusa ya kesi hiyo UNK mahakamani hapo alisema bwana UNK |
aidha alisema kuwa washitakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka sita lakini kati ya hayo ni mashitaka mawili tu ndiyo yanaweza kusikilizwa mahakamani hapo |
kitu kingine ambacho UNK kuwa ni pungufu ni mahakama ya kisutu kutokuwa na mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo kutokana na makosa yake kufanyikia nchini italia |
alisema kuwa mahakama ya kisutu inayo mamlaka ya kusikiliza kesi za mkoa wa dar es salaam na sio nje ya hapo hivyo kama ilitaka UNK ilistahili kuwa na kibali kutoka kwa jaji mkuu chini ya kifungu cha tano cha sheria ya mahakama ambacho kinatoa mamlaka kwa jaji mkuu kutoa kibali cha kusikiliza kesi ambayo iko nje ya ma... |
suala jingine ambalo UNK na upande huo ni uchukuaji wa ushahidi kwa njia ya video ambayo ni kinyume na matakwa ya kisheria |
hata hivyo hoja hizo zilipingwa na upande wa mashitaka kwa kusema kuwa kibali cha dpp UNK na kuhusiana na uchukuaji wa ushahidi kwa njia ya video upande huo ulisema kuwa suala hilo lilishatolewa uamuzi na mahakama ya kisutu |
kutokana na malumbano hayo mahakama kuu leo itatoa uamuzi wake |
washitakiwa hao wanakabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi ambapo wanadaiwa kula njama na kuiba matumizi mabaya ya nyaraka kwa nia ya kumpotosha mwajiri wizi pamoja na kuisababishia hasara ya mamilioni ya fedha jamhuri ya muungano wa tanzania |
walidaiwa kuiba euro mbili sifuri sita tano mia nane na ishirini na saba sitini wakiwa watumishi wa serikali vile vile walidaiwa kuisababishia hasara serikali ya tanzania kiasi cha euro mbili sifuri sita tano mia nane na ishirini na saba sitini na grace michael mwenyekiti wa a tanzania labour party bwana augustino mre... |
mbali na hilo pia amekitaka chama demokrasia na maendeleo kuacha rafu UNK kuzifanya katika jimbo la biharamulo badala yake wamuunge mkono mgombea wa tlp kwani ndiye anayepaswa kuchukua nafasi hiyo |
hayo aliyasema jana katika kipindi cha mambo leo kinachorushwa na kituo cha radio kumi sifuri tano times fm ambapo kiongozi huyo alisisitiza kuwa bila mshikamano wa wapinzani ccm itaendelea kubaki madarakani |
alisema kuwa tatizo kubwa ambalo limekuwa UNK vyama vya upinzani katika chaguzi mbalimbali ni ubinafsi unaofanywa na baadhi ya vyama kwa kujiona wanaweza zaidi ya vingine |
ccm ina raslimali watu na fedha hivyo kwa kuendekeza ubinafsi wetu UNK mahali popote hakuna UNK mimi nilivyokuwa juu kisiasa lakini ccm walinishughulikia na kufika hapa nilipo hivyo hata wanaojiona kuwa wana wabunge wengi nao watashughulikiwa tu hivyo dawa ni kuungana mkono kwa kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi... |
alisema kuwa ubinafsi wa chadema ndio unaosababisha kushindwa kuunga mkono tlp katika jimbo la biharamulo kiti ambacho kilikuwa UNK na tlp unajua tlp ndio wafiwa hivyo kama ni kurithi mali alitakiwa arithi lakini kwa ubinafsi wa chadema wameonekana wazi kuanza kucheza rafu huko biharamulo kwa UNK katibu wa tlp wilaya ... |
waache hizo |
mbona mimi UNK mgombea kwenye chaguzi zingine kwa nia ya kuunga mkono vyama vingine |
alihoji bwana mrema |
alisema kuwa kumalizika uchaguzi wa viongozi ndani ya tlp na yeye kupewa nafasi ya uenyekiti UNK chama hicho na kujipanga kupata majimbo kumi likiwemo la vunjo UNK kwenda kugombea |
alisema kuwa ili kuweza kufanikisha mikakati hiyo ni lazima wanachama wote wa tlp kushirikiana na kuvunja makundi ambayo yalisababishwa na uvumi mbaya dhidi yake kwani tayari mkutano mkuu UNK kwa kumpa kura mia moja na kumi na moja hivyo washirikiane na viongozi wote waliochaguliwa kujipanga upya |
akizungumzia suala la yeye kuitwa kibaraka wa ccm alikanusha na kusema kuwa kama angekuwa kibaraka wa chama hicho basi kingeweza kumpa nafasi nzuri au kumwachia nafasi ya urais ili agombee |
pamoja na madai ya mimi kuwa kibaraka lakini hakuna kiongozi wa upinzani ambaye ameweza kuvunja rekodi zangu za kura kwani nilishawahi kupata kura milioni moja nane ambapo mbowe alipata kura sitini sifuri sifuri sifuri sifuri huku profesa ibrahim lipumba akipata kura milioni moja mbili hivyo hapa utaona kuwa mimi sio ... |
kwa upande wa naibu katibu mkuu wa tlp bwana rajab tao aliwataka wanachama wa tlp ambao walifukuzwa na halmashauri kuu kuomba msamaha na kurejea kundini ili UNK chama |
na mwandishi wetu mbeya mkuu wa mkoa wa mbeya bwana john mwakipesile ametangaza kuwa hana mpango wa kuwania ubunge jimbo la kyela mwakani kwani ameridhika na heshima aliyopewa na rais jakaya kikwete kumteua mkuu wa mkoa huo |
hivi ndugu zangu mimi nilikuwa mbunge kwa miaka kumi baada ya kufuatwa na kuombwa baadaye nikashindwa kwenye kura za maoni rais akanipa heshima UNK kuwa mkuu wa mkoa hadi sasa nirudi kugombea ubunge kwa ajili ya kutafuna nini |
alihoji bwana mwakipesile hivi karibuni wakati akizungumza na maaskofu wa madhehebu mbalimbali mkoani mbeya UNK nyumbani kwake |
bwana mwakipesile alitoa kauli hiyo wakati akijibu moja ya maswali ya maaskofu hao ambao UNK kwa ajili ya chakula cha jioni na kubadilishana mawazo kuhusu mikakati mbalimbali ya maendeleo mkoani mbeya |
askofu huyo alitaka kujua mustakabali wa mkuu huyo wa mkoa kugombea ubunge kyela kwenye uchaguzi mkuu ujao mwakani baada ya kuwepo uvumi kwamba anajiandaa kurudi tena kupigania nafasi hiyo |
bwana mwakipesile alisema sasa ni miaka minne tangu ateuliwe kushika wadhifa huo na kutokana na mshikamano mzuri na wasaidizi wake pamoja na wananchi wamepata mafanikio makubwa hususani katika nyanja ya elimu |
mkuu huyo wa mkoa alisema kuwa alipokea uteuzi wa rais kwa hofu na heshima kubwa hivyo anachofanya sasa ni kuhakikisha UNK kazi ili UNK rais kikwete aliyempa wadhifa huo |
maaskofu ninyi ni watumishi wa mungu hivyo kama UNK katika ahadi yangu hii nianguke kwa kuwa hapa nazungumza na mungu kutokana na uzito wa nafasi yenu |
nasema sina mpango tena kuwania ubunge kyela kama ambavyo baadhi ya wanasiasa waoga wamekuwa UNK alisema bwana UNK |
aliwataka wanasiasa kuacha malumbano yasiyo na msingi na kuchapa kazi UNK na wananchi na yeye kama mkuu wa mkoa kazi yake kubwa ni kusukuma gurudumu la maendeleo katika wilaya kata na vijiji vyote vya mkoa wa mbeya bila upendeleo wa aina yoyote |
aliwahakikishia maaskofu hao kuwa kutokana na msimamo wake hana ugomvi na mwanasiasa yeyote bali na UNK na wote kuhakikisha wananchi wanapata maisha bora kama alivyo UNK rais kikwete ambaye ndiye mwajiri wao |
akizungumza kwa niaba ya wenzake mwenyekiti wa maaskofu hao mhashamu john mwela alieleza kufurahishwa na UNK ya mkuu huyo wa mkoa na kwamba ni kielelezo cha namna UNK na kuthamini mchango wao |
UNK kuzidi kumpa ushirikiano mzuri katika kuleta maendeleo kwa wananchi wa mbeya na watanzania kwa ujumla |
kaimu mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa ya chama cha mapinduzi balozi athuman mhina amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa jumuiya hiyo |
katika uchaguzi huo uliofanyika UNK iliyopita mjini hapa nafasi ya mwenyekiti ilikuwa na wagombea watatu ambao ni bwana mhina bwana abdallah bulembo na bibi esther nyawazwa |
akitangaza matokeo hayo usiku msimamizi wa uchaguzi huo bibi zakia meghji alisema bwana mhina alimshinda mpinzani wake kwa zaidi ya kura sitini baada ya kupata jumla ya kura mia nne na themanini na moja kati ya kura halali tisini mbili zilizopigwa huku mpinzani wake bwana bulembo akiibuka na kura mia nne na ishirini n... |
kwa upande wa makamu mwenyekiti nafasi hiyo ambayo ilikuwa UNK na wajumbe kutoka tanzania visiwani ilichukuliwa na bibi dogo idd mabrouk baada ya kupata kura mia nne na themanini dhidi ya wagombea wenzake bwana UNK na bwana haji abdallah aliyepata kura mia moja na sabini na sita na UNK dadi aliyepata kura ishirini tis... |
kwa upande wa visiwani nafasi hiyo ilichukuliwa na bwana ali haji ali bwana UNK bwana yussuf UNK bibi catherine nao bwana haruna ibrahim masoud na bwana haji juma haji |
kwa upande wa nafasi ya UNK kutoka wazazi kwenda jumuia ya vijana ilichukuliwa na daktari charles UNK aliyepata kura mia tatu na kumi na tatu dhidi ya bwana talib ali talib UNK kura mia mbili na sabini na mbili na mgombea mwingine bwana frank UNK aliyepata kura ishirini nane nafasi ya uwakilishi kutoka UNK kwenda umoj... |
aliwataka wagombea wenzake na wapambe wao kuvunja makundi na kuondoa tofauti zilizojitokeza kwenye kampeni na kuimarisha jumuiya hiyo |
kwa upande wake bwana bulembo alimpongeza mwenyekiti mpya na kueleza kuwa huo ni mchakato na yeye alikuwa UNK na kupata uzoefu katika uchaguzi |
alisema anaamini kwamba akipata nafasi tena anaweza kuongoza jumuiya hiyo vizuri |
alisema yuko tayari kutoa mchango wake wa mawazo na kushirikiana na mwenyekiti mpya kwa hali na mali katika kusukuma mbele jumuiya hiyo |
alikemea kambi zilizokuwepo na kueleza kwamba ndizo zilisababisha UNK majina kwani yeye na mwenyekiti bwana mhina ni marafiki wakubwa na wanashirikiana katika mambo mengi |
bwana bulembo UNK kuvunja kambi yake rasmi na kuahidi kushirikiana na viongozi wote waliochaguliwa kuleta maendeleo ya chama na jumuiya hiyo |
mahabusu watumia kupanga mauaji |
wengine UNK majaji mahakimu na mwandishi wetu matukio ya ujambazi na mauaji yanayotendeka maeneo mbalimbali nchini mipango yake UNK na wafungwa pamoja na UNK waliopo ndani ya magereza hapa nchini kwa kutumia mawasiliano ya simu selula UNK |
uchunguzi uliofanywa na majira na kudhibitishwa na baadhi ya maofisa wa jeshi hilo umebaini kuwa baadhi ya mahabusu na wafungwa wanapata simu wakiwa ndani ya magerezani kwa njia za panya na kuzitumia kwa usiri kupanga matukio ya uhalifu na kutoa vitisho |
kukithiri kwa hali hiyo UNK jeshi la magereza kutangaza operesheni kabambe ya kusaka simu zilizopo magerezani ambapo wale watakaobainika UNK watachukuliwa hatua kali za kisheria |
habari za uhakika kutoka makao makuu ya magereza zimeeleza kuwa tayari yametolewa maelekezo ambapo askari atakayebainika kushiriki kwa namna moja au nyingine kuwezesha wafungwa au mahabusu kumiliki simu atachukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi kisha kuburutwa mahakamani |
uchunguzi wa gazeti hili ulibaini kuwa ndani ya gereza la keko jijini dar es salaam hali si shwari na inadaiwa kuwepo idadi kubwa ya mahabusu wanaomiliki simu na wakati mwingine kuzitumia kusuka mipango ya uhalifu |
chanzo chetu kimeeleza kuwa ndani ya gereza hilo kuna mahabusu UNK na simu hivi karibuni baada ya kufuatilia mawasiliano yake ilibainika kuwa mahabusu huyo alikuwa ikiitumia kusuka mipango ya mauaji dhidi ya mtu fulani |
simu ile UNK tulibaini kuwa mahabusu yule alikuwa UNK kuwasiliana na majambazi UNK namna ya kuhakikisha wanafanikisha mauaji ya mtu fulani na kuelekeza ni wapi anapopatikana kilisema chanzo chetu kutoka ndani ya gereza la keko kwa sharti la jina lake kutochapishwa gazetini |
uchunguzi zaidi umebaini kwamba baadhi ya mahabusu wamekuwa wakitumia simu hizo kutisha UNK hivyo kuwafanya waogope kwenda mahakamani kutoa ushahidi |
chanzo chetu kutoka ndani ya jeshi la magereza kimezidi kuanika kuwa baadhi ya mahabusu hao wanatoa vitisho vya kutishia kuwadhuru mahakimu na majaji wanaosikiliza kesi zao |
imefikia hatua wanatoa matusi kwa polisi na taarifa za upotoshaji kwenye vyombo vya habari kwa kutumia simu hizo kilieleza chanzo chetu na kusisitiza kuwa jeshi la magereza halitakubali hali hiyo iendelee |
uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa vitendo vya matumizi ya simu vimeshamiri magerezani hapa nchini likiwemo la keko ingawa hatua kali zimeanza kuchukuliwa |
habari za ndani ambazo gazeti hili limezipata zimeeleza kuwa kutokana na operesheni ya udhibiti wa simu ndani ya gereza keko unaoendeshwa na mkuu wa gereza hilo bwana lameck bankobeza umewafanya baadhi ya mahabusu na wafungwa kuanzisha fitina dhidi yake kwa lengo la kumchafua ili aweze kuondolewa wadhifa huo |
mmoja wa mahabusu wa gereza hilo aliyezungumza na gazeti hili kwa njia ya simu dar es salaam juzi alimtuhumu bwana bankobeza akidai tangu UNK wadhifa huo hivi karibuni hali ya mambo imebadilika gerezani hapo na kwamba chakula UNK hakina hadhi |
mahabusu huyo ambaye UNK mwandishi wa habari hizi kuwa endapo atataka kufanya mawasiliano naye simu yake ipo hewani saa ishirini na nne alidai kuwa mei ishirini na tano mwaka huu walifikisha malalamiko yao kwa maofisa wa tume ya haki za binadamu na utawala bora waliotembelea gereza hilo ya kutotendewa haki lakini hadi... |
hata hivyo madai ya mahabusu huyo yalipingwa na mwenzake akidai hizo ni mbinu za kutaka kumnggoa bwana bankobeza baada ya kuanza kusimamia ipasavyo sheria za magereza zinazowanyima upenyo wa kuingiza vitu visivyotakiwa mahabusu na wafungwa magerezani |
uchunguzi zaidi umebaini kuwa simu ambazo wanatumia wafungwa hao UNK kufichwa sehemu za siri |
pia imebainika kuwa simu hizo zimekuwa UNK ndani ya makopo makubwa ya mafuta ya UNK UNK wafungwa au mahabusu na ndugu zao kiasi kwamba si rahisi maofisa wa magereza UNK |
vyanzo vyetu UNK kufichua kuwa wakati mwingine ndugu wa wafungwa na mahabusu wanachukua vipande vikubwa vya nyama ambapo baada ya UNK UNK katikati kisha kupachikwa simu hizo ndani na kuhifadhiwa vizuri kiasi ambacho ni vigumu kugundulika kirahisi |
uchunguzi zaidi umebaini kuwa mbali ya simu kuingizwa kwa staili hiyo pia baadhi ya ndugu wamekuwa wakiweka dawa za kulevya katikati ya mifupa na kuwapelekea ndugu zao magerezani jambo ambalo limekuwa gumu kwa maofisa magereza kubaini |
pia baadhi ya ndugu wa wafungwa na mahabusu wamekuwa wakichukua chupa za maji na kuweka gongo kwa lengo kuiingiza gerezani mbinu ambayo tayari UNK na baadhi ya watu kukamatwa |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.