text stringlengths 1 1.32k |
|---|
wataka vigogo wa serikali nao UNK washiriki wa kampuni ya development entrepreneurship for community initiative wameunda kamati maalum UNK mikoa yote nchini kuhamasisha wenzao wapatao sabini sifuri sifuri sifuri sifuri UNK na UNK serikali kuwafikisha mahakamani viongozi wake walioshiriki kufungua matawi mbalimbali wak... |
wakizungumza kwenye ofisi za gazeti hili dar es salaam jana wajumbe wa kamati hiyo walisema hadi sasa tayari shilingi milioni saba zimechangwa kwa ajili ya maandalizi ya mkakati huo |
akizungumza na gazeti hili mwenyekiti wa kamati hiyo bwana isaac kalenga alisema mkakati wao ni kuhakikisha serikali UNK na kuwafikisha mahakamani wakuu wa mikoa ambayo walishiriki kufungua matawi ya deci mikoani mwao wakati wakijua haipo kwa mujibu wa sheria |
aliongeza kuwa wanataka waziri wa fedha na uchumi naye achukuliwe hatua kwa kuwa kwa nyakati tofauti baadhi ya wakuu wa wilaya UNK kuzindua matawi ya deci kwa niaba yake |
mwingine wanayemtaka afikishwe kwenye mkono wa sheria ni gavana wa benki kuu ya tanzania profesa beno ndulu kwa kile walichodai alikuwa akifanya mawasiliano mara kwa mara na viongozi wa deci bila kuwatahadharisha kuwa wanavunja sheria |
tunataka UNK wanachama wetu na watanzania kwa jumla jinsi UNK na serikali UNK kwani ni jambo la kushangaza nchi inayofuata misingi ya utawala bora kuwaacha watu kwa muda wa miaka miwili wakivunja sheria bila kuchukua hatua alisema |
alisema ni jambo la kushangaza serikali kutoitambua deci wakati imekuwa ikipata mapato yake kwake |
UNK kodi ya shilingi milioni mia moja na ishirini hizo i sehemu ya fedha ambazo zimekuwa UNK rais kikwete kwenda nchi mbalimbali kuomba misaada sasa iweje ishindwe UNK |
alihoji bwana kalenga |
alifafanua kuwa kitendo cha kuwakamata viongozi wa deci na kuwafikisha mahakamani kitafanya wanachama wa upatu huo kupoteza mbegu zao walizokuwa walizopanda |
kabla ya kuwafikisha viongozi wetu mahakamani ilitakiwa UNK mkakati ambao UNK wanachama kupata mbegu zao kwanza alisema |
bwana kalenga alisema kama dhamira ya serikali kuwafikisha viongozi wao mahakamani basi hatua hiyo UNK sambamba na kuwaburuta kortini wana deci wote kwa kushiriki mchezo ambao UNK |
tunaambiwa mtoa rushwa na mpokeaji wana makosa sawa sasa iweje kwa hili la deci viongozi wetu watolewe kafara peke yao alisema |
aliongeza kuwa hatua iliyochukuliwa inalenga kuwafanya watu waichukie serikali |
serikali UNK UNK kura katika uchaguzi ujao kwani UNK mbegu mbaya ili watu waichukie alisema bwana kalenga |
kwa upande wake katibu wa kamati hiyo bwana samuel mnzava alisema kitendo cha serikali kwenda kuwakamata viongozi wa deci saa nane usiku UNK utawala bora hasa kwa kuzingatia kuwa wao hawakuwa majambazi |
alisema ili kuionesha serikali jinsi ambavyo hawakufurahishwa na hatua hiyo UNK wafadhili UNK asilimia arobaini ya fedha UNK kwa ajili ya kuchangia bajeti kwa kuwa haina mikakati ya kupambana na umasikini |
alisema kama serikali ingekuwa na ujasiri kama UNK kwa kuwakamata viongozi wa deci ingekuwa tayari UNK kumchukulia hatua mkurugenzi wa taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa bwana edward hosea kwa kuhusika kwake kuisafisha richmond |
hatua hii ya serikali inashangaza mbona watu wa epa walipewa muda wa kurejesha fedha walizoiba walishindwa nini kufanya hivyo kwa viongozi wa deci alisema bwana mnzava na kuongeza serikali ikiendelea kufanya ubaya ambao UNK kwa viongozi wa deci amani ambayo tumekuwa UNK hapa nchini UNK |
aliiomba serikali kuwafutia kesi viongozi hao wa deci bila masharti na kuruhusu shughuli zake kuendelea kwa njia ambayo UNK |
alisisitiza kuwa kitendo cha serikali kuifungia deci na kuzuia kiasi cha shilingi bilioni kumi na nne kwenye akaunti ya kampuni hiyo kimesababisha mifarakano katika familia nyingi |
alisema kazi UNK kuifanya mikoani ni kuwaeleza wananchi jinsi serikali ilivyokuwa ikichukua kodi kutoka kwa kampuni hiyo |
naye rabia bakari anaripoti kuwa vurugu iliyokuwa UNK makao makuu ya deci haipo tena ingawa bado kuna ulinzi wa polisi |
hali hiyo ni tofauti na siku za nyuma ambapo wanachama hao UNK kufanya vurugu hadi watakapopata ufafanuzi jinsi UNK fedha zao |
baadhi ya wanachama walifika katika ofisi za deci walishindwa kuelezwa hatima ya fedha zao baada ya kukumbana na ulinzi wa polisi |
juzi viongozi watano wa kampuni hiyo ambao ni wachungaji wa makanisa ya kipentekoste walifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu kujibu mashtaka mawili ya kuendesha kampuni ya deci kinyume na sheria |
na aziza masoud waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa bwana bernard membe amewataka vijana kujitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao mwakani |
bwana membe aliyasema hayo jana alipokuwa UNK mradi wa kusaidia kufanikisha uchaguzi mwakani na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa |
hafla hiyo pia UNK na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya taifa jaji lewis makame na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi zanzibar bwana khatib UNK |
bwana membe alisema mara nyingi katika uchaguzi vijana UNK kwa wingi wakidhani kuwa uchaguzi huo UNK |
alisema watatumia mradi huo kutoa elimu hasa kwa vijana ili waweze kujitokeza kwa wingi kwani hiyo ni haki yao ya msingi |
tutatumia vizuri mradi huu ambao tunamatumaini makubwa ya uchaguzi wa mwakani utakuwa wenye mafanikio makubwa kwa kuwa na wapiga kura wengi ikiwa pamoja na kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura alisema bwana membe |
kwa upande wake mratibu wa UNK bwana oscar fernandez alisema lengo la mradi huo ni kuisadia tanzania katika uchaguzi huo ili uwe bora na wenye kuzingatia misingi ya demokrasia vijijini na mijini |
alisema mradi huo utagharimu shilingi bilioni sitini na saba ambapo tanzania bara itatumia shilingi bilioni sitini na nne na zanzibar shilingi bilioni tatu na grace michael mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji imesema mpango wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja hauna shinikizo lolote la kifisadi bali umelenga ... |
mbali na hilo pia mamlaka hiyo imesisitiza matumizi ya bei elekezi katika vituo vyote vya mafuta na kuonya vituo vinavyokiuka kwa kupandisha bei za nishati hiyo |
mkurugenzi mkuu wa ewura bwana haruna masebu alisema jana kuwa ili kudhibiti upandishaji bei za mafuta ewura imetoa toleo jipya linaloonesha bei za mafuta ambalo limeanza kutumika juni kumi mwaka huu |
alisema bei za mafuta katika toleo la januari hadi mwishoni mwa mei mwaka huu lina tofauti na toleo jipya ambalo bei zake zimeanza kutumika juni kumi mwaka huu kwa kuwa bei katika aina zote za mafuta zimepanda |
aliongeza kuwa petroli imepanda kwa asilimia tano arobaini na saba dizeli kwa asilimia mbili sitini na nne huku dizeli ikiwa imepanda kwa asilimia mbili thebathini na nane na mafuta ya taa yamepanda kwa asilimia tatu sabini na tisa bwana masebu alisema mabadiliko hayo ya bei yametokana na kupanda kwa bei za mafuta kat... |
alisema bei za mafuta zitaendelea kupangwa na soko huku ewura ikiendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei elekezi za mafuta ikiwa ni pamoja na bei za kikomo |
ewura imebaini kuwa bei za mafuta ghafi kwa sasa zinakaribia dola za marekani sabini kwa pipa lakini bei hizo zinaweza kufikia dola sabini na tano kwa pipa ikiwa ni bei ya kikomo lakini bei za hapa nchini haziwezi kufikia za julai mwaka jana |
akizungumzia suala la utaratibu wa uagizaji mafuta wa pamoja bwana masebu alisema kuwa mpango huo bado unasubiri mapendekezo ya mtaalamu kutoka kampuni ya petroleum development consultant ltd |
ya uingereza lakini pia maoni ya wadau mbalimbali kuhusiana na utekelezaji wa utaratibu huo |
alisema maoni yote ya wadau yatazingatiwa katika mchakato huo ili kufikia lengo lililokusudiwa la kuondoa gharama kubwa za usafiri msongamano wa meli bandarini na hivyo kusababisha ada za ucheleweshaji wa meli matatizo ambayo yanatokana na kila kampuni kuagiza mafuta nje |
alisema kuwa washauri wa suala hilo watazingatia mambo mbalimbali ikiwemo sheria na sera za nchi miundombinu ili kuweza kutoa mapendekezo ya namna gani mpango huo ufanyike |
jeshi la polisi kanda maalumu ya dar es salaam linawashikilia watu watatu akiwemo askari wa jeshi la ulinzi la wananchi tanzania mwenye cheo cha sajini kwa tuhuma za ujambazi akizungumza dar es salaam jana kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam bwana suleiman kova alisema watu hao walikamatwa maeneo ya njiap... |
baada ya kufuatilia UNK majambazi hao waliokuwa na silaha wakijiandaa kwenda kufanya uhalifu |
kamanda kova alisema waliweka mtego na kufanikiwa kuwanasa kabla kutekeleza azma yao na kubaini kuwa mmoja wao alikuwa askari wa jwtz mwenye namba mt elfu hamsini na tano na mia tisa na thebathini na tano sajini mathayo mwangunga wa kikosi cha UNK mgulani mkazi wa lugalo UNK d jijini dar es salaam |
mwanajeshi huyo alikuwa akitumia gari namba t mia nane na sitini na tano UNK toyota UNK na alikutwa na bastola aina ya UNK yenye namba sifuri moja sita sifuri nane sifuri ikiwa na risasi nane zilizohifadhiwa kwenye mfuko mweusi uliokuwa ndani ya gari hilo |
aliwataja wengine kuwa ni bwana hashimu abdallah mkazi wa changgombe dar es salaam ambaye ni mmliki halali wa bastola hiyo na bwana UNK UNK mkazi wa mbezi beach ambao kwa pamoja walikuwa katika gari namba t mia tatu na sabini na nne UNK toyota UNK rangi nyeupe |
kamanda kova alisema bastola hiyo iliwahi kunaswa katika tukio la mauaji yaliyotokea desemba kumi mwaka ishirini sifuri nane ambapo majambazi waliuawa changgombe katika kiwanda cha cello plastic na mmoja kati yao alikutwa na bastola ambayo baadaye alijitokeza mtu na kujitambulisha kwa jina la bwana hashim abdallah sim... |
kamanda kova alisema baada ya mahakama ya hakimu mkazi tanga kuridhia vielelezo vilivyothibitisha kuwa ni mali yake kwa maelezo kuwa UNK silaha hiyo akiwa katika basi la raha leo na kutoa taarifa polisi tanga UNK kulipa shilingi thebathini sifuri sifuri sifuri sifuri kama faini kwa kosa la uzembe na kurudishiwa silaha... |
hata hivyo kutokana na tukio hilo inaonesha kuwa mmiliki wa silaha hiyo ni mshirika wa kundi la ujambazi wa kutumia silaha baada ya silaha hiyo kukutwa kwa mtu mwingine tena ambaye si mmliki wakiwa UNK katika eneo la tukio wakiwa katika magari mawili tofauti |
kamanda kova alisema watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani upelelezi utakapokamilika na grace michael mahakama kuu ya tanzania imefuta uamuzi wa masharti ya dhamana uliotolewa na mahakama ya hakimu mkazi kisutu na kumtaka aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi wa benki kuu ya tanzania bwana amatus liyumba kuweka... |
bwana liyumba anadaiwa kuisababishia serikali hasara ya jumla ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja baada ya kuidhinisha malipo ya mradi wa majengo pacha ya bot bila idhini ya bodi ya wakurugenzi |
kutokana na uamuzi huo bwana liyumba atatakiwa kuweka jumla ya shilingi bilioni mia moja na kumi tano kama dhamana mahakamani hapo |
uamuzi huo ulitolewa jana mahakamani hapo mbele ya jaji geofrey shaidi ambaye alisema uamuzi wa mahakama ya kisutu haukuwa sahihi kuhusu masharti ya dhamana ya mshitakiwa huyo hiyo ilitokana na kutafisiriwa vibaya kwa kifungu mia moja na arobaini na nane cha cpa akitoa uamuzi huo jaji shahidi alianza kuchambua hoja za... |
jaji shahidi alisema hakubaliani na hoja za upande wa utetezi ambazo zilidai kuwa makosa ya mshitakiwa hayako ndani ya kifungu cha mia moja na arobaini na nane hivyo kusisitiza kuwa makosa hayo yako ndani ya kifungu hicho na sheria hiyo iko wazi na inatakiwa kutumika kama inavyoelekeza |
bunge katika kutunga sheria hiyo lilisema shitaka lolote linalohusisha fedha inayozidi shilingi milioni kumi mshitakiwa huyo ataweka nusu ya fedha hizo mahakamani na kwa hapa iko wazi kuwa mshitakiwa anadaiwa kubadili kanuni za mkataba wa mradi kwa kuongeza fedha bila kibali cha bodi ya wakurugenzi wa bot na kiwango h... |
alisema bibi mwaseba alikosea kutafisiri kifungu hicho cha sheria na mashitaka kwa kusema kuwa kinahusisha wizi na kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na katika kosa hili hakuna sababu ya kutumia kifungu kingine kwa kuwa hiki ndicho halali na kiko wazi katika makosa haya |
kutokana na hoja hizo alitupilia mbali uamuzi wa mahakama ya kisutu na kukubaliana na rufani ya upande wa jamhuri hivyo kuamuru kisutu kutoa dhamana kwa kujikita katika kifungu hicho cha sheria kwa maana ya kuweka mahakamani hapo shilingi bilioni mia moja na kumi tano kuwasilisha hati yake ya kusafiria kwa jeshi la po... |
aidha aliagiza kuwa utekelezwaji wa masharti hayo ufanyike kisutu mbele ya hakimu mwingine na si bibi mwaseba kwa kuwa alikosea kutafisiri kifungu cha sheria |
kitendo cha kutupwa kwa uamuzi wa mahakama ya kisutu ambao ulikuwa na nafuu kubwa kwa bwana liyumba kilimfanya mshitakiwa huyo kuonesha hali ya kukata tamaa huku akitamka maneno mungu awabariki awali mahakama ya kisutu ilimtaka mshitakiwa huyo kuweka shilingi milioni thebathini sifuri mahakamani hapo wadhamini wawili ... |
kubadilishwa kwa masharti hayo ya dhamana kuna kila dalili ya kumfanya mshitakiwa huyo kusota rumande kwa muda usiojulikana kwa kuwa tangu awali alikuwa ameshindwa kukidhi masharti hayo |
kesi ya bwana liyumba imegubikwa na misukosuko mingi ambapo tangu afikishwe mahakamani hadi sasa jumla ya mahakimu wawili wamejitoa katika kesi hiyo kutokana na mchakato wa dhamana |
awali hakimu bibi khadija msongo alitoa dhamana kwa mshitakiwa huyo kiutata hivyo kusababisha malumbano makali yaliyomfanya kujitoa katika kesi hiyo |
mshitakiwa huyo anadaiwa kutumia vibaya ofisi yake na kusababisha serikali hasara ya shilingi milioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya majengo pacha ya bot bila kibali cha bodi ya wakurugenzi |
na grace michael mahakama kuu ya tanzania imefuta uamuzi wa masharti ya dhamana uliotolewa na mahakama ya hakimu mkazi kisutu na kumtaka aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi wa benki kuu ya tanzania bwana amatus liyumba kuweka mahakamani nusu ya fedha anazodaiwa kuingiza hasara |
bwana liyumba anadaiwa kuisababishia serikali hasara ya jumla ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja baada ya kuidhinisha malipo ya mradi wa majengo pacha ya bot bila idhini ya bodi ya wakurugenzi |
kutokana na uamuzi huo bwana liyumba atatakiwa kuweka jumla ya shilingi bilioni mia moja na kumi tano kama dhamana mahakamani hapo |
uamuzi huo ulitolewa jana mahakamani hapo mbele ya jaji geofrey shaidi ambaye alisema uamuzi wa mahakama ya kisutu haukuwa sahihi kuhusu masharti ya dhamana ya mshitakiwa huyo hiyo ilitokana na kutafisiriwa vibaya kwa kifungu mia moja na arobaini na nane cha cpa akitoa uamuzi huo jaji shahidi alianza kuchambua hoja za... |
jaji shahidi alisema hakubaliani na hoja za upande wa utetezi ambazo zilidai kuwa makosa ya mshitakiwa hayako ndani ya kifungu cha mia moja na arobaini na nane hivyo kusisitiza kuwa makosa hayo yako ndani ya kifungu hicho na sheria hiyo iko wazi na inatakiwa kutumika kama inavyoelekeza |
bunge katika kutunga sheria hiyo lilisema shitaka lolote linalohusisha fedha inayozidi shilingi milioni kumi mshitakiwa huyo ataweka nusu ya fedha hizo mahakamani na kwa hapa iko wazi kuwa mshitakiwa anadaiwa kubadili kanuni za mkataba wa mradi kwa kuongeza fedha bila kibali cha bodi ya wakurugenzi wa bot na kiwango h... |
alisema bibi mwaseba alikosea kutafisiri kifungu hicho cha sheria na mashitaka kwa kusema kuwa kinahusisha wizi na kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na katika kosa hili hakuna sababu ya kutumia kifungu kingine kwa kuwa hiki ndicho halali na kiko wazi katika makosa haya |
kutokana na hoja hizo alitupilia mbali uamuzi wa mahakama ya kisutu na kukubaliana na rufani ya upande wa jamhuri hivyo kuamuru kisutu kutoa dhamana kwa kujikita katika kifungu hicho cha sheria kwa maana ya kuweka mahakamani hapo shilingi bilioni mia moja na kumi tano kuwasilisha hati yake ya kusafiria kwa jeshi la po... |
aidha aliagiza kuwa utekelezwaji wa masharti hayo ufanyike kisutu mbele ya hakimu mwingine na si bibi mwaseba kwa kuwa alikosea kutafisiri kifungu cha sheria |
kitendo cha kutupwa kwa uamuzi wa mahakama ya kisutu ambao ulikuwa na nafuu kubwa kwa bwana liyumba kilimfanya mshitakiwa huyo kuonesha hali ya kukata tamaa huku akitamka maneno mungu awabariki awali mahakama ya kisutu ilimtaka mshitakiwa huyo kuweka shilingi milioni thebathini sifuri mahakamani hapo wadhamini wawili ... |
kubadilishwa kwa masharti hayo ya dhamana kuna kila dalili ya kumfanya mshitakiwa huyo kusota rumande kwa muda usiojulikana kwa kuwa tangu awali alikuwa ameshindwa kukidhi masharti hayo |
kesi ya bwana liyumba imegubikwa na misukosuko mingi ambapo tangu afikishwe mahakamani hadi sasa jumla ya mahakimu wawili wamejitoa katika kesi hiyo kutokana na mchakato wa dhamana |
awali hakimu bibi khadija msongo alitoa dhamana kwa mshitakiwa huyo kiutata hivyo kusababisha malumbano makali yaliyomfanya kujitoa katika kesi hiyo |
mshitakiwa huyo anadaiwa kutumia vibaya ofisi yake na kusababisha serikali hasara ya shilingi milioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya majengo pacha ya bot bila kibali cha bodi ya wakurugenzi |
na reuben kagaruki baada ya kubanwa mbavu na viongozi wa dini hususani maaskofu hatimaye serikali kupitia kamishna mkuu wa mamlaka ya mapato tanzania bwana harry kitillya imetoa mchanganuo wa vifaa vya taasisi za dini ambavyo vitaendelea kunufaika na msamaha wa kodi |
taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na bwana kitillya dar es salaam jana ilieleza kuwa hatua hiyo inalenga kuondoa wasiwasi uliojitokeza hasa kuhusiana na hatima ya huduma za afya na elimu zinazotolewa na taasisi za dini |
maeneo hayo mawili ndiyo serikali imejikita kuyatolea ufafanuzi |
hata hivyo bwana kitillya UNK kama vifaa vya ujenzi wa makanisa misikiti vyombo vya usafiri kwa ajili ya viongozi wa dini kama navyo UNK msamaha au UNK ushuru |
vingine ambavyo UNK ufafanuzi ni vifaa nya ujenzi wa vituo vya watoto wanaoishi katika mazingira magumu vyombo vya usafiri nguo na vitu vingine muhimu |
bwana kitillya alisema chini ya sura mia moja na arobaini na nane mashirika ya dini yataendelea kunufaika na misamaha kupitia kodi ya ongezeko la thamani ambapo dawa na vifaa vyote UNK na waziri anayehusika na masuala ya afya UNK kodi hiyo |
alitaja vifaa hivyo kuwa ni pamoja na vile vya uchunguzi zikiwemo mashine za ultrasound na UNK mitambo ya uchunguzi ya UNK na UNK na mitambo ya mionzi vifaa vingine ni vya UNK vikiwemo UNK UNK mashine za upasuaji na mionzi ya kitabibu vifaa vya kusaidia maisha ya wagonjwa kama UNK vifaa vya maabara na vitanda vya wago... |
kwa upande sekta ya elimu alisema vitabu UNK ramani pamoja na huduma zote za elimu zinazotolewa na shule zinazomilikiwa na mashirika ya dini ambazo zinatambuliwa na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi UNK kodi ya vat alisema mashirika ya kidini yataendelea kupata unafuu wa kodi kwa vifaa maalum magari ya kubeba wagoj... |
akizungumzia misamaha katika sheria ya kodi ya mapato bwana kitillya alisema vifungu vya kumi na sita na sitini na nne vya sheria hiyo vinatoa unafuu wa kodi ya mapato kwa mashirika ya kijamii na yale ya kidini |
alisema kodi hizo UNK kwa mapato yatokanayo na shughuli za mashirika ya kidini na kutumika kwa huduma za kijamii |
alitaja baadhi ya shughuli hizo kuwa ni zile za kupunguza umasikini kuendeleza elimu kutoa huduma za afya maji ujenzi na ukarabati wa barabara na zile za huduma za kibinadamu dhidi ya majanga kwa jamii |
kuhusu misamaha katika sheria ya forodha ya jumuiya ya afrika mashariki ya mwaka ishirini sifuri nne bwana kitillya alisema kama ilivyo kwenye sheria ya vat sura ya mia moja na arobaini na nane na sheria ya kodi ya mapato sura ya mia tatu na thebathini na mbili sheria ya forodha ya jumuiya ya afrika mashariki ya mwaka... |
akitoa mchanganuo huo kwa upande wa elimu bwana kitillya alisema kipengele cha kumi na saba cha sheria ya forodha ya jumuiya ya afrika mashariki kinatoa msamaha wa ushuru wa forodha kwa vifaa na bidhaa zinazoingizwa nchini kwa ajili ya elimu na vile vya kufundishia |
vifaa na bidhaa hizo ni pamoja na vitabu majarida na UNK |
vingine ni vile vya sanaa vinavyotumika kwa ajili ya kufundishia vifaa vya kujifunzia kwa kusikiliza na kuona na vile vya kisayansi |
kwa upande wa sekta ya afya alisema misamaha inaendelea kwenye mifuko ya kuhifadhia haja ndogo na ya usafi UNK kwenye hospitali vifaa vya kufanyia uchunguzi wa kimaabara na majokofu ya kuhifadhia damu |
vingine ni vifaa vya jikoni kwa matumizi ya hospitali vifaa na mashine za UNK magodoro UNK hewa sare za wahudumu wa afya vifaa vya UNK maji na machela ya kubebea wagonjwa |
akizungumzia misamaha kwa mujibu wa viwango vya ushuru wa forodha bwana kitillya alisema dawa za binadamu na mifugo samani za hospitali kama vile vitanda meza viti maalumu vya madaktari wa meno meza za kufanyia upasuaji na taa zake ushuru wake UNK katika kiwango cha sifuri |
alitaja vingine UNK ushuru katika kiwango cha sifuri kuwa ni magari ya kubeba wagonjwa maiti vitabu kamusi na UNK vitabu vya watoto vya UNK picha au kupaka rangi ramani UNK na vitu vya aina hiyo |
alisema marekebisho UNK kufanywa kwenye bajeti ya serikali ya mwaka ishirini sifuri tisa kumi hayana lengo la kufuta misamaha UNK hapo juu |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.