text stringlengths 1 1.32k |
|---|
tuna imani tatizo litakuwa limepungua alisema rais kikwete |
alifafanua kuwa serikali yake itadhamini kila shilingi moja kwa shilingi tano |
kwa mantiki hiyo tutakuwa UNK asilimia sabini ya mkopo alisema na kuongeza UNK madeni hayo crdb itaweza kumdhamini mnunuzi wa pamba na UNK kama yule bwana ana deni |
alisisitiza kuwa bila kufanya hivyo mabenki yanaweza kufilisi kampuni na vyama vya ushirika |
mitaji ya uendeshaji katika eneo jingine ambalo serikali imejidhatiti kukabiliana na mtikisiko huo rais kikwete alisema ni kutoa mitaji ya uendeshaji kwa riba UNK |
tumegundua kampuni nyingi zimeshindwa kujiendesha kwa kukosa mitaji yenye riba nafuu serikali UNK benki fedha kwa riba ya asilimia mbili ili yaweze kutoa mikopo alisema |
alisema serikali itatoa shilingi bilioni themanini na mabenki bilioni arobaini hivyo kufanya mtaji wa UNK kuwa shilingi bilioni mia moja na ishirini mifuko ya UNK rais alisema mifuko yote miwili ya dhamana itaongezewa fedha ili iweze UNK |
alisema mfuko wa kwanza wenye dhamana ya shilingi bilioni kumi UNK fedha ili uwe na uwezo wa kukopesha shilingi bilioni sitini na tano alisema yule wa pili wenye dhamana ya shilingi bilioni sita tano UNK uwezo uweze kukopesha shilingi bilioni sitini uzalishaji chakula rais kikwete alisema ingawa bado mtikisiko wa kiuc... |
aliapa vipo viashiria vya kupungua kwa chakula duniani kwani pamoja na kupunguza kodi kwa UNK chakula kutoka nje wameshindwa kupata tani thebathini sifuri sifuri sifuri sifuri walizotakiwa kuleta badala wake wamepata tani themanini sifuri sifuri sifuri hata tukisema UNK chakula nje napo hakipo hivyo tumeamua tuwe na U... |
alifafanua kuwa ili kukabiliana na uhaba wa chakula serikali UNK mkopo wa shilingi bilioni ishirini benki ya uwekezaji ili iweze kukopesha wakulima |
tunafanya hivyo wakati huo huo tukiangalia uwezekano wetu wa kuanzisha benki ya maendeleo ya kilimo alifafanua na kusisitiza kuwa mchakato wake unaendelea vizuri |
aliongeza kuwa serikali itatoa riba ya shilingi bilioni ishirini kwa ajili ya kununulia dhana za kilimo |
katika eneo hilo alisema mabenki nayo yatachangia shilingi bilioni ishirini alisema benki ya dunia imetoa shilingi bilioni arobaini na sita na serikali kiasi hicho hicho kwa ajili ya kununulia mbolea ya ruzuku |
kuongezea nguvu sgr akizungumzia mkakati wa kuimarisha hifadhi ya chakula cha serikali rais alisema serikali imetoa shilingi bilioni ishirini kwa ajili ya kununulia chakula |
alisema uwezo wa sgr kuhifadhi chakula ni tani mia mbili na arobaini sifuri sifuri sifuri lakini kilichopo sasa mia moja na arobaini sifuri sifuri sifuri alisema sgr ikiwa na chakula cha kutosha ni rahisi kukabiliana na upungufu wa njaa pale UNK |
ujenzi wa miundombinu akizungumzia eneo hilo rais alisema serikali yake imejidhatiti kuhakikisha mtikisiko wa kiuchumi UNK ujenzi wa miundombinu |
bajeti ya ujenzi wa miundombinu UNK tutaangalia uwezekano wa kutumia nyenzo za ndani kuendelea na ujenzi wa barabara |
ni lazima UNK kwani ndiyo dhamira yetu alisisitiza |
sakata la trl rais alisema matatizo yanayokabili kampuni ya reli tanzania yana sura mbili |
alitaja tatizo la kwanza mfumo wa uongozi na la pili ni la mahitaji ya uwekezaji |
alisema kwa sasa zinahitaji shilingi bilioni mia moja na arobaini na nne kuwezesha shirika hilo kusimama |
alisema benki ya dunia imekubali kutoa shilingi bilioni arobaini na serikali itatoa bilioni themanini na tatu sisi hizo shilingi bilioni themanini na tatu tumesema UNK wakati huo huo tukiendelea kushughulika na tatizo la menejimenti |
viza kwa watalii alisema kutokana na kupungua kwa idadi ya watalii UNK na mtikisiko wa uchumi serikali imeamua kupunguza gharama za visa kutoka dola kumi sifuri hadi kufikia hamsini rais alisema tayari kenya imeliona hilo na kupunguza bei ya viza hadi kufikia dola ishirini na tano tumefanya hivyo makusudi maana nyumbu... |
baada ya kufanya fujo na kuharibu mali kadhaa juzi washiriki wa kampuni ya upatu ya deci wamemtaka waziri mkuu bwana mizengo pinda kutangaza haraka hatma ya fedha zao vinginevyo vurugu hizo UNK |
washiriki hao waliyasema hayo jana walipofanya mkutano usio rasmi nje ya makao makuu ya deci yaliyopo mabibo jijini dar es salaam ambapo walimtaka bwana pinda kuhakikisha hadi leo jioni ametoa tamko kuhusu mbegu zao |
tunaomba waziri mkuu atoe tamko kama tutapata pesa au la la sivyo tutakutana tena hapa ijumaa hata kama wakileta polisi UNK UNK kwa risasi tupo tayari kufa alisema bwana james UNK ambaye ni mmoja wa washiriki UNK mkono na wenzake |
ijumaa tutafika hapa mpaka kieleweke maana wamezoea kuiba pesa za serikali sasa wamevamia pesa yenye sumu UNK kwa njia yoyote alisema mwanachama mwingine |
na aziza masoud naibu katibu mkuu wa chama cha wananchi tanzania bara bwana wilfred lwakatare UNK nyadhifa zake zote katika chama hicho |
uamuzi wa bwana lwakatare aliutoa juzi katika kikao cha baraza kuu la cuf kilichofanyika makao makuu ya chama hicho buguruni dar es salaam |
akizungumza na wandishi wa habari dar es salaam jana mwenyekiti wa chama hicho profesa ibrahim lipumba alisema kuwa tayari amepokea barua ya kujiuzulu kiongozi huyo |
ni kweli nimepokea barua ya kujiuzulu bwana lwakatare lakini bado UNK mpaka sasa kwani majibu yatategemea majibu yake kama ametaka mwenyewe kufanya hivyo UNK ni demokrasia |
na kama ni sababu za kichama tutajaribu kuzungumza naye UNK nini kilichomfanya ajiuzulu na UNK arudi kundini kwani hatuna ugomvi naye alisema profesa lipumba |
alisema baraza kuu ndilo lenye mamlaka ya kuzungumzia suala hilo hivyo itawalazimu kuitisha kikao kujadili uamuzi wake na ikiwezekana kumshauri abadili msimamo huo |
hata hivyo kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya chama kilisema kujiuzulu bwana lwakatare kunatokana na tofauti zilizojitokeza ndani ya kikao hicho |
mfanyabiashara bwana emanuel UNK mkazi wa ilala dar es salaam amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kinondoni kujibu shitaka la kumnyonga kisha kumchinja mkewe |
ilidaiwa mahakamani hapo kuwa mshitakiwa huyo alimuua bibi patricia UNK kwa kinachodaiwa wivu wa mapenzi |
mbele ya hakimu bibi hilda lyatuu ilidaiwa na mwendesha mashitaka inspekta wa polisi benedict nyagabona kuwa juni nane mwaka huu mshitakiwa alimuua mkewe |
mshitakiwa hakutakiwa kujibu lolote kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka kusikiliza kesi za mauaji |
shauri hilo UNK tena juni ishirini na nne mwaka huu |
wakati huo huo bwana saimon UNK mkazi wa mwananyamala amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kinondoni kujibu mashitaka ya UNK |
mbele ya hakimu bibi lyatuu ilidaiwa na mwendesha mashitaka inspekta wa polisi bwana nyagabona kuwa juni nne mwaka huu mshitakiwa kwa makusudi alimbaka mwanafunzi mwenye umri wa miaka tisa na kumsababishia maumivu |
UNK alikana mashitaka hayo na yupo nje kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapotajwa tena juni ishirini na nne mwaka huu |
serikali imewasilisha bungeni bajeti ya yake kwa mwaka ishirini sifuri tisa ishirini moja sifuri ya shilingi trilioni tisa tano huku ikionesha wazi kuwa watanzania watalazimika kufunga mikanda kutokana na athari zilizosababishwa na mtikisiko wa kiuchumi duniani uliochangia ongezeko la kodi mbalimbali katika huduma muh... |
wakati bajeti hiyo ikipewa jina na kilimo kwanza ina viashiria vingi vinavyoonesha kuwa wananchi watalazimika kufunga UNK |
sekta ya elimu imepewa kipaumbele kwa kutengewa asilimia ishirini na mbili ya UNK yote |
bwana mkulo alisema kati ya fedha hizo shilingi trilioni sita saba ni za matumizi ya kawaida na sekta maendeleo imetengewa asilimia mbili nane alisema wahisani watachangia bajeti hiyo kwa kutoa shilingi trilioni tatu mbili na mchango wa mapato ya ndani ni shilingi trilioni tano moja bajeti kwa kila sekta alisema sekta... |
kwa upande wa kilimo bwana mkulo alisema UNK shilingi bilioni mia sita na sitini na sita tisa ikilinganishwa na shilingi bilioni mia tano na kumi na tatu sifuri mwaka jana sawa na asilimia thebathini ya bajeti |
alisema bajeti hiyo inajumuisha fedha za epa kuhusu miundombinu alisema sekta hiyo imetengewa shilingi bilioni moja sifuri tisa sita sita tofauti na shilingi bilioni mia tisa na sabini na tatu tatu zilizotengwa mwaka uliopita ongezeko hilo likiwa sawa na asilimia kumi na mbili saba ya bajeti yote |
kwa upande wa sekta ya afya imetengewa shilingi bilioni mia tisa na sitini na tatu sifuri toka shilingi bilioni mia tisa na kumi nane mwaka ishirini sifuri nane sifuri tisa sawa na asilimia tano saba ya bajeti yote |
sekta ya maji imetengewa shilingi bilioni mia tatu na arobaini na saba tatu toka shilingi bilioni mia mbili na thebathini na moja sita mwaka ishirini sifuri nane tisa sawa na ongezeko la asilimia hamsini nishati na madini shilingi bilioni mia mbili na themanini na tano tano ikilinganishwa na shilingi bilioni mia tatu ... |
kodi mpya bajeti ya mwaka huu itakuwa chungu kwa taasisi za dini kwani zitaanza kutozwa kodi kwenye bidhaa mbalimbali isipokuwa zile za kiroho pekee |
kwa upande wa watumiaji wa simu selula nao wataanza kuonja uchungu wa bajeti hiyo ambapo watakuwa wakitozwa ushuru wa muda wa UNK |
hatua hiyo inatarajiwa kupandisha bei ya vocha za simu za mkononi |
waziri mkulo alisema bei ya UNK baridi imepanda kutoka shilingi hamsini na nne mwaka ishirini sifuri nane sifuri tisa hadi shilingi hamsini na nane kwa lita bia UNK nchini ambayo UNK imepanda kutoka shilingi mia moja na tisini na nne hadi shilingi ishirini tisa kwa lita na bia nyingine zote bei imeongezeka kutoka shil... |
akizungumzia vinywaji vikali bwana mkulo alisema bei yake imeongezeka kutoka shilingi moja mia tano na sitini na moja kwa lita hadi shilingi moja mia sita na sabini na nane kutokana na ongezeko hilo ni wazi wanywaji wa vinywaji vikali na baridi watalazimika UNK zaidi ili kupata huduma hizo |
bei ya sigara nayo imezidi kupaa ambapo sigara isiyo na UNK inayotengenezwa kutokana na tumbaku inayozalishwa nchini mauzo yake yataongezeka kwa asilimia sabini na tano kutoka shilingi tano mia tatu na arobaini na nane hadi shilingi tano mia saba na arobaini na tisa kwa sigara moja sifuri sifuri sifuri sigara zenye UN... |
sekta ya madini katika sekta ya madini serikali imefanya kweli kwa kuziba mianya iliyokuwa ikitumiwa na wawekezaji kukwepa kodi |
waziri mkulo alisema kuanzia julai mosi mwaka huu serikali haitatoa msamaha wa ushuru wa mafuta ya petroli yanayotumiwa na kampuni za uchimbaji madini kwa kampuni mpya UNK mikataba baada ya muda huo |
kwa upande wa kampuni ambazo tayari UNK na kipengele hicho waziri mkulo alisema serikali itaendelea kufanya mazungumzo na wawekezaji hao ili kuona namna ya kukifanyia marekebisho |
asasi za kiraia na dini waziri mkulo alisema serikali itaondoa msamaha maalum wa kodi ya ongezeko la thamani kwa asasi zisizo za kiserikali na mashirika ya dini |
hatua itahusisha madhehebu yote wakristo waislamu UNK mabohora na wengineo |
kutokana na hatua hiyo ni wazi kwamba huduma za matibabu katika taasisi za dini sasa zitapanda juu na watanzania |
kitanzi wapangaji eneo lingine ambalo linaonesha kuwa na machungu kwa watanzania wa kawaida ni kuongezeka kwa ya pango kwa wapangaji na kwenye kumbi mbalimbali isipokuwa zile za shirika la nyumba la taifa pamoja na msajili wa UNK |
pia bajeti hiyo inatarajiwa kuongeza bei ya maji na kusabisha machungu kwa watu wa kipato cha chini kutokana na hatua ya serikali kufuta misamaha ya kodi kwa mamlaka za maji safi na taka |
misamaha ya kodi alisema serikali UNK misamaha hiyo kutokana na kuwa inatoa mianya ya ukwepaji kodi |
alisema misamaha ya kodi iliongezeka hadi kufikia asilimia thebathini sawa na shilingi trilioni mbili zilizotokana na mapato ya ndani |
bwana mkulo alisema tanzania imekuwa ikiongoza kutoa msamaha mkubwa wa kodi kuliko nchi za kenya na uganda |
ongezeko la misamaha ya kodi UNK kasi ya kuwaletea maendeleo wananchi na wakati mwingine kutoa mianya ya ukwepaji kodi alisema bwana mkulo |
alifafanua kuwa serikali UNK kurejewa upya sheria zinazotoa mianya ya kutoa misamaha ya kodi |
uwezeshaji wananchi waziri mkulo alisema katika mwaka huu wa fedha serikali itaongeza juhudi za uwezeshaji wananchi kiuchumi kwa kutoa mafunzo kwa wajasiriamali |
pia iliahidi kuainisha aina za biashara ambazo wajasiriamali wa hapa nchi wataweza kufanya kwa ubia na wenzao wa nje ya nchi |
kwa upande wa UNK bwana mkulo alisema serikali itaongeza kima cha chini cha pensheni mtaji kwa benki ya rasilimali na kuanzisha benki ya kilimo |
mafunzo ya jkt katika mwaka huu wa fedha wa ishirini sifuri tisa ishirini moja sifuri waziri mkulo alisema serikali itagharamia maandalizi ya kuanzishwa kwa mafunzo ya jeshi la kujenga taifa |
alisema mwaka huu jeshi la kujenga taifa na magereza UNK jukumu la kuzalisha mbegu bora za mazao ili ziweze kuwasaidia wakulima |
barabara vijiji kwa upande wa barabara za vijijini bwana mkulo alisema zitaendelea kuboreshwa ili ziweze kupitika na kuwarahisishia wakulima kusafirisha mazao yao |
mbali na UNK hizo alisema serikali itaendelea kutoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miundombinu ya barabara na umeme |
alisisitiza kuwa serikali itaendelea kuimarisha kampuni ya simu tanzania kampuni ya reli tanzania kampuni ya ndege tanzania na reli ya tanzania na zambia |
sekta ya elimu kwa upande wa sekta ya elimu alisema mwaka huu serikali ina mkakati wa kuwajengea uwezo walimu ili kuhakikisha wanakuwa na sifa za kutosha |
mbali na walimu bwana mkulo alisema mkakati mwingi wa serikali ni kuhakikisha shule zinakuwa na vifaa vya kutosha vya kufundishia |
alisema serikali itaimarisha ujenzi wa maabara ili kuimarisha ufundishaji wa masomo ya sayansi na kuongeza mkakati wa ukaguzi wa UNK |
bwana mkulo alisema serikali UNK mradi mkubwa wa ujenzi wa nyumba za walimu |
kwa kuanzia alisema maeneo UNK kipaumbele ni yale ya pembezoni na yenye mazingira magumu ili kutoa hamasa kwa walimu kwenda kufanyakazi huko |
sekta ya afya akizungumzia sekta ya afya bwana mkulo alisema serikali itaendelea kuimarisha afya ya msingi ili kukidhi utoaji huduma bora |
bwana mkulo alisema serikali itaendelea kuimarisha kituo cha upasuaji wa moyo na kuboresha na utoaji huduma zingine ili kuwezesha tanzania kufikia malengo ya UNK |
wakati huo huo bajeti imepokelewa kwa hisia tofauti huku baadhi ya wabunge wameipongeza na wengine kuikosoa kwa baadhi ya maeneo |
wabunge walihojiwa mara baada ya mkulo kuwasilisha ni pamoja na mbunge wa jimbo la pangani bwana mohamed abdallah ambaye amepongeza bajeti hiyo hasa kwa kupunguza kodi ya mafuta |
bajeti ya mwaka huu naipongeza sana kwani serikali imejitahidi kupunguza kodi za mafuta hapo imeonesha nia ya kuwasaidia wananchi wa maisha ya chini alisema bwana abdallah |
alisema kuwa kitendo cha serikali kupunguza kodi ya mafuta UNK wananchi kumudu maisha kutokana kwa kukidhi mahitaji mbalimbali |
hata hivyo mbunge huyo alisema kuwa haoni umuhimu wa kupanda kwa vinywaji kwani alichokuwa UNK kwa hamu ni suala la mafuta kwani linagusa maisha ya wananchi |
naye mbunge wa jimbo la bariadi bwana john cheyo amesema kuwa amesikitishwa na bajeti hiyo kwa kuwakandamiza wanywaji hivyo ni bora serikali itafute suluhu ya kuweza kutatua kero hiyo |
akizungumzia kuhusiana na suala la kilimo bwana cheyo alisema kuwa ni bora serikali UNK benki ambayo itaweza kuwakopesha wakulima wa pamba ili kuweza kulima kilimo cha kisasa |
mbunge wa jimbo la mpanda kati christian mzindakaya UNK bajeti hiyo kwa kuwa UNK mahitaji ya wananchi na hasa suala la kilimo ambalo ndilo tegemeo muhimu nchini |
mbunge mwingine bibi UNK meghji amefurahishwa na bajeti hiyo na hasa suala la mafunzo ya jeshi la kujenga taifa kurudishwa kwani litaongeza mshikamano na nidhamu |
naye mbunge wa karatu chadema daktari wilbrod slaa alionesha UNK na sehemu ya bajeti hiyo kuhusu kuondolewa kwa misamaha kodi kwa taasisi za dini na kueleza kwamba waliotoa maamuzi hayo hawakuwa na uelewa wa kutosha |
mimi nimekuwa katibu wa baraza la maskofu zipo baadhi ya shule ambazo zinaendeshwa tu na watu wanaojitolea zipo hospitali ambazo dawa zake nyingi zinatolewa na mashirika ya UNK na UNK sana watanzania tena nyingi hazipo mijini zipo uko vijijini sasa unapotaka alipe kodi maana yake ni kuwatesa watanzania wasio na uwezo ... |
naye mbunge wa wawi hamad rashid mohamed alifurahishwa na bajeti hiyo na hususani kupunguzwa kodi za mafuta |
hata hivyo baadhi ya wananchi walihojiwa na gazeti hili wamedai kuwa UNK na hatua ya serikali ya kupandisha bei ya vinywaji baridi kama soda ikiwa bei ya sasa ya ambayo ni shilingi arobaini sifuri inaonekana kuwa ni kiwango cha juu zaidi kulingana na kipato wanachopata |
mmoja wa wananchi aliyetoa maoni yake ni bwana john samweli mkazi wa mbagala kiburugwa alisema kuwa itakuwa sahihi kama serikali itaangalia uwezekano wa kuongeza mapato yake katika eneo jingine nje na eneo hili |
taarifa hii imeandaliwa na john daniel reuben kagaruki na edmund mihale waunda kamati kuzunguka nchi nzima |
wachanga mamilioni kwa ajili hiyo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.