text
stringlengths
1
1.32k
baadhi ya maofisa katika gereza la keko waliozungumza na gazeti hili kwa sharti la majina yao kutochapishwa gazetini kwa kuwa si wasemaji walikiri kukamatwa kwa simu sita ndani ya gereza hilo zikimilikiwa na mahabusu
vyanzo vyetu ndani ya gereza hilo vimeeleza kuwa tayari mahabusu mmoja anakabiliwa na shitaka la kukutwa na simu
walikiri kuwa mbinu ambazo gazeti hili UNK kwenye uchunguzi wake zimekuwa zikitumika kuingiza simu ndani ya magereza hilo ingawa tayari UNK
walifafanua kuwa wameanzisha operesheni kabambe kubaini vitu ambavyo UNK kuingizwa gerezani
kwa upande wake mkuu wa gereza hilo bwana bankobeza alipoulizwa kuhusiana na madai ya mahabusu na wafungwa kukutwa na simu katika gereza hilo alikataa kuzungumzia suala hilo kwa kuwa si msemaji wa jeshi hilo
kuhusu madai ya mahabusu na wafungwa kumtuhumu kuwa tangu ahamishiwe gerezani hapo chakula wanachokula si kizuri kama ilivyokuwa awali bwana bankobeza alionekana kushtushwa na madai hayo na kuhoji iweje kiwe kibaya wakati mahindi UNK UNK kutoka kwenye hifadhi ya chakula ya serikali
UNK kwa ajili ya kusimamia sheria kama kitu UNK ndani ya gereza UNK
najua wanapiga kelele kwa sababu UNK
alisisitiza kuwa daima mtu anayesimamia sheria hawezi kupendwa
bwana bankobeza alisema atahakikisha mambo yote ya msingi yanaenda kama inavyotakiwa
tusipokuwa wakali jela inaweza kugeuka sehemu ya biashara watu wakitumia dawa za kulevya au gongo matokeo yake wanaweza kuchochea migomo alisisitiza
ili kukabiliana na udanganyifu unaofanywa na ndugu wa mahabusu bwana bankobeza alisema kuanzia maji na juisi UNK UNK kwenye duka lililopo gerezani hapo na hawatakubali vitu hivyo UNK nje
hatua hiyo imefikiwa baada ya kugundulika kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakitumia mabomba ya sindano UNK dawa za kulevya kwenye maji na juisi hizo
UNK mafunzo ya kuchagua viongozi bora
UNK wananchi wanaburuzwa kwa kukosa UNK
UNK siasa na dini haziwezi kutenganishwa kanisa UNK nchini UNK programu maalumu yenye lengo la kuwafundisha waumini wake namna ya kupata viongozi bora katika uchaguzi mkuu ujao mwakani
mbali na hilo kanisa hilo limeonya baadhi ya wanasiasa ambao wamekuwa wakipinga viongozi wa dini kuingilia masuala ya siasa na kueleza kuwa kamwe vitu hivyo haviwezi UNK
kanisa hilo limesema serikali imepoteza imani yake kwa wananchi kutokana na kuendelea kukumbatia mafisadi kwa kushindwa kufikia maamuzi ya haraka ya kesi za tuhuma za ufisadi jambo ambalo kanisa UNK limesema UNK kukemea bila woga
akizungumza katika maadhimisho ya ibada ya misa takatifu ya kutoa UNK ya kwanza kwa vijana wa parokia ya manzese jimbo kuu la dar es salaam padri baptiste mapunda wa shirika la wamisionari wa africa alisema wakati umefika chama tawala ccm kukubali UNK kwani watanzania sasa wameelimika na hawako tayari kuendelea UNK
maovu ni mengi sana katika nchi hii na yanasababisha kuporomoka kwa maadili ambapo vyombo vya habari vinafanya kazi kubwa UNK na kuhabarisha umma na sasa wananchi UNK na wanataka demokrasia ya kweli hivyo utawala lazima ubadilike alisema padri mapunda
akifafanua kuhusu uchaguzi mkuu ujao mwakani padri mapunda alisema viongozi wa kanisa hilo wamekubaliana umuhimu wa kufundisha waumini wao na tayari wameanza kutoa mafunzo na semina mbalimbali kuwaelimisha namna ya kupata viongozi bora na kwamba viongozi hao watapatikana kutokana na uwezo wao si kwa kutoa rushwa
viongozi wasio na uwezo ndio wanaotumia nguvu kubwa kupata nafasi za kuingia madarakani ambapo badala ya kulitumikia taifa wanafikiria kujilimbikizia mali ili kufidia gharama UNK wakati wa uchaguzi hivyo tuwe makini nao alisisitiza padri mapunda
alisema wakati wa mabadiliko ukifika UNK hivyo kama viongozi hawako tayari kubadilika mabadiliko UNK kwa lazima kwani huo ndiyo mfumo wa maisha ya binadamu
alisema suala la ufisadi limekuwa wimbo usio na mwitikio kwa wananchi kutokana na serikali kuchukua muda mrefu kumaliza kesi za ufisadi jambo ambalo linaweza kupatiwa ufumbuzi mapema
alisema maovu yanayoendelea kutokea hapa nchini kama yale ya ufisadi na mengine yanatokana na ubinafsi mmomonyoko wa maadili na matumizi mabaya ya madaraka miongoni mwa watu wachache wenye nafasi za juu serikalini
tatizo ni ubinafsi wa watu wachache wenye tamaa ya kujilimbikizia mali ndio UNK watanzania wengi alisema na kuongeza kuwa ni nguvu za mungu pekee ndizo zitakazosaidia kupiga vita ufisadi huu UNK kwa kasi alisema neno ufisadi na rushwa sasa yamekithiri katika vinywa vya watanzania na kuonya kuwa hali hiyo inaonesha kuw...
alisema ipo haja ya kufanyika mabadiliko katiba kwa ya sasa imejaa UNK na UNK mahitaji ya demokrasia ya kweli
alieleza kuwa hali hiyo inayotoa nafasi kwa watu kufanya maovu wanavyotaka bila ya kuchukuliwa hatua stahiki
alisema kuwa katiba hiyo ni ya muda mrefu na ina maelekezo UNK na wakati hivyo haikidhi mahitaji ya ulimwengu wa sayansi na teknolojia na inachangia kukwamisha maendeleo ya taifa
tunahitaji mapinduzi ya kikatiba wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu kwani hata mtu asiye msomi anaweza kugundua udhaifu wa katiba yetu na kama viongozi hawatakuwa tayari nguvu ya watu italeta mabadiliko alisema
padri mapunda aliongeza kuwa serikali ya tanzania imeshindwa kuonesha demokrasia ya kweli kwa kushindwa kuwa na tume huru ya uchaguzi jambo ambalo linasababisha vyama vya siasa kulalamika kila uchaguzi UNK kwa kutotendewa haki
alisema nec UNK na viongozi wa chama tawala na wakati huo huo inasimamia uchaguzi wa viongozi wa vyama vyote ambapo mwanya wa kupendelea ccm unakuwa mkubwa
hakutakuwa na amani hadi mabadiliko haya yafanyike kama jipu litaendelea kupakwa mafuta ipo siku UNK tu hivyo ni bora marekebisho yakafanyika mapema kuliko kusubiri misukumo kutoka kwa wananchi waliochoshwa na katiba hiyo alisema
UNK vyama vya siasa kuacha ubinafsi kwani ni vigumu kwa chama kimoja kuchukua nchi kwa sasa ikiwa havina ushirikiano na badala yake vinapaswa kuweka malengo ya muda mrefu kwa kuzingatia maeneo ambayo vinaweza kuunganisha nguvu na kuweka mgombea anayekubalika na wengi
alisema kuwa malumbano baina ya vyama vya upinzani yamezidi kushamiri kutokana na mamluki walio ndani ya vyama hivyo kukwamisha mikakati endelevu na kushindwa kufikia malengo na kupoteza imani kwa wananchi hata pale wanapokuwa na malengo mazuri
malumbano hayo UNK hadi ccm kufikia kiasi cha kupigana UNK madaraka hali ambayo inadhihirisha kuwa utawala sasa unahitaji mabadiliko kwani baadhi ya viongozi wamekosa uadilifu alisema padri mapunda
na reuben kagaruki kesi za mahabusu wa gereza la keko jijini dar es salaam UNK kula kushinikiza kesi zao kusikilizwa zitaanza kuunguruma mahakama kuu ya tanzania mwezi huu
habari za kuaminika ambazo gazeti hili imezipata kutoka kwa maofisa wa gereza hilo mwishoni mwa wiki zilieleza kuwa tayari kesi hizo zimewekwa kwenye kalenda ya mahakama
ufafanuzi huo ulitolewa na mmoja wa maofisa wa gereza hilo aliyezungumza na gazeti hili kwa sharti la jina lake kutochapishwa gazetini kufuatia kuwepo taarifa za mahabusu kuanza mgomo
hapa hakuna mgomo wa mahabusu kwa sababu wote UNK kuwa kesi zao UNK mwezi huu kilisema chanzo chetu kutoka ndani ya gereza hilo
alisema ndani ya gereza hilo wapo mahabusu wanaotaka kuishinikiza serikali iwe inafanya kila kitu wanachotaka jambo ambalo halikubaliki
chanzo hicho kilifafanua kuwa ndani ya gereza hilo wapo wafungwa wanaoshinikiza UNK
mahabusu hao ni miongoni mwa UNK migomo wakati wanajua wazi kuwa kesi zao zipo mbioni kuanza kusikilizwa alisema
wiki iliyopita baadhi wa mahabusu katika gereza hilo UNK ujumbe kwa njia ya simu kwenye vyombo vya habari juu ya kuwepo kwa mgomo wa kugomea chakula ili kushinikiza kesi zao zianze kusikilizwa
baadhi ya mahabusu hao walidaiwa hali zao ni mbaya madai ambayo UNK na mmoja wa maofisa wa gereza hilo
ofisa huyo alidai kuwa awali mgomo wa mahabusu hao ulikuwa ni UNK kesi zao UNK
kama tayari mahakama UNK tarehe ya kusikilizwa kwa kesi zao ni kitu gani UNK
alihoji ofisa huyo
mwaka jana mahabusu wa gereza hilo waligoma kula wakipinga kesi zao UNK tarehe za kusikilizwa
mahabusu hao walikuwa wakihoji sababu za kesi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdallah zombe na wenzake ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini kusikilizwa haraka wakati wao wamekaa muda mrefu gerezani bila kesi zao kupangiwa tarehe ya kusikilizwa
mgomo huo UNK maofisa waandamizi wa idara ya mahakama na wizara ya sheria na katiba kuwatembelea gerezani na kuzungumza nao
mwisho na charles mwakipesile mbeya sakata la udhibiti mapato ya jumuiya ya wanawake wa chama cha mapinduzi wilayani mbozi UNK hatua mbaya katibu wa jumuiya hiyo bibi UNK mkomwele baada ya kujikuta akipata kipigo kutoka kwa mmoja wa wajumbe wake
tukio hilo lilitokea hivi karibuni wilayani humo katika kikao cha kamati ya utekelezaji
kwenye mkutano huo wajumbe wa kamati hiyo walitakiwa kuwasilisha taarifa za makusanyo ya michango na katibu huyo kumhoji mjumbe mmoja mmoja kiasi UNK
akisimulia tukio hilo katika ofisi za makao makuu ya ccm mkoa wa mbeya bibi mkomwele alisema tukio hilo lilitokea wakati wa maandalizi ya maandamano ya kuunga mkono utekelezaji wa ilani ya ccm alisema kuwa akiwa anaendelea na kuuliza kila mjumbe kuhusu makusanyo hayo ndipo alipofika kwa mjumbe mmoja ambaye badala ya k...
hata hivyo alipoulizwa kama alikwenda kuripoti polisi alisema hajafanya hivyo kutokana na kuheshimu taratibu za chama na atatumia vikao husika kwa mujibu wa katiba
akizungumzia tukio hilo katibu wa uwt mkoa wa mbeya bibi mwanaidi UNK alisema amepokea taarifa hizo kwa masikitiko kutokana na ukweli kuwa kitendo cha wanachama kuamua kujichukulia sheria mkononi kinaonesha dharau kubwa UNK
alisema kwa kuwa utaratibu wa chama upo anaamini kuwa sasa ni mapema kusema hatua zitakazochukuliwa kutokana na ukweli UNK
hata hivyo alionya tabia hiyo na kutaka UNK mara moja
huu ni mwendelezo wa matukio ya kupiga viongozi mkoani hapa
tukio la kwanza kama hili lilitokea wilayani kyela ambapo watendaji wa kata watano UNK viongozi wa chama wa wilaya
sambamba na hilo makada wa jumuiya ya wazazi wa ccm wiki iliyopita UNK makonde mjini dodoma wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa jumuiya hiyo uliofanyika jumamosi iliyopita
katika uchaguzi huo balozi athuman mhina alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo
na grace michael shahidi wa kwanza katika kesi ya wizi wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya madeni ya nje inayowakabili wafanyabiashara bwana jonson lukaza na mdogo wake bwana mwesiga lukaza ameshindwa kupanda kizimbani kutoa ushahidi wake baada ya kupandwa na shinikizo la damu akiwa mahakamani
hali hiyo ilijitokeza jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo shahidi huyo bibi maria UNK kutoka brella alifika mahakamani hapo na ghafla hali yake ilibadilika na kushindwa kutekeleza kilichokuwa UNK mahakamani hapo
kesi hiyo iko mbele ya jopo la mahakimu watatu ambao ni bwana UNK lyimo bwana emilius mchauru na bwana edson mkasimongwa ambao walilazimika kuipiga kalenda kesi hiyo
akitoa taarifa ya shahidi huyo kupatwa na matatizo ghafla wakili mkuu wa serikali bwana stanslaus boniface alisema kuwa kesi hii imekuja kwa ajili ya kusikilizwa lakini shahidi wetu yuko hapo presha imepanda hivyo tunaomba tupewe muda wa kutafuta mashahidi wengine huku tukiangalia hali ya shahidi wetu alisema bwana bo...
baada ya kutolewa kwa taarifa hiyo mahakama kupitia mwenyekiti wa jopo hilo bwana lyimo alisema kuwa pamoja na hoja hiyo ya mashahidi lakini kuna mapungufu ndani ya jalada la kesi hiyo hivyo UNK pande zote mbili kutoa UNK
kutokana na hilo bwana boniface alisema kuwa mahakama itumie mamlaka yake ya kupeleka suala hilo mahakama kuu kwa ajili ya maelekezo
alisema kuwa kifungu cha mia tatu na sabini na tatu cha cpa ambacho kinasema kuwa mahakama kuu inaweza UNK jalada la kesi kutoka mahakama ya kisutu kwa maelekezo zaidi na kufuta yaliyofanyika mwanzo na kuanza upya
kwa upande wa utetezi ambao UNK na wakili bwana alex mgongolwa aliunga mkono yaliyosemwa na upande wa mashitaka na kusisitiza kuwa suala hilo ni muhimu UNK maelekezo na mahakama kuu
baada ya hayo mahakama ilitoa uamuzi wake kwa kukubaliana na upande wa mashitaka na kusema kuwa shauri hilo UNK mahakama kuu kwa ajili ya kutolewa maelekezo
awali kesi hiyo ilikuwa mbele ya hakimu mkazi bibi UNK mingi ambapo washitakiwa walifikishwa wakidaiwa kuwa kati desemba ishirini sifuri tatu na desemba ishirini sifuri tano walikula njama ya kuiba jumla ya shilingi bilioni sita tatu kutoka bot walidaiwa kuwa fedha hizo waliiba kupitia kampuni ya kernel ltd ya tanzani...
viongozi wakwepa kuzungumzia tamko leo wakati wanachama wa kampuni ya development enterpreneurship for community initiative wakisubiri tamko rasmi la serikali kuhusu hatma ya fedha zao leo viongozi wa kampuni hiyo jana walishikwa kigugumizi na kushindwa kuthibitisha jambo
wiki iliyopita viongozi wa deci walikaririwa UNK wanachama wao kuwa watulivu huku UNK kwamba leo serikali itatoa tamko rasmi kuhusu mustakabali wa mbegu za wanachama hao
walipotakiwa na gazeti hili kueleza ni wapi na nani atatoa taarifa hiyo leo viongozi hao UNK na kuonesha kutokuwa na majibu kuhusu suala hilo
katika hali ya kushangaza viongozi hao walidai kuwa hawana taarifa zozote juu ya tamko hilo huku wakisahau kwamba wiki iliyopita waliahidi jambo hilo
kujikanganya viongozi hao UNK utata na kuzuia hofu mpya kwa wanachama ambao leo wamepanga kukusanyika makao makuu ya deci mabibo kujua hatma ya tamko hilo na mbegu zao
gazeti hili jana lilipowasiliana na mkurugenzi mtendaji wa deci bwana timoth ole loitinggye ambaye ndiye aliyeeleza kuhusu tamko rasmi la mbegu hizo kutolewa leo alidai kutofahamu lolote kuhusu jambo hilo
akizungumza na wanachama hao mwishoni mwa wiki bwana ole loitinggye alisema kuwa pesa zote zimekabidhiwa kwa serikali na pia tume iliyoundwa kuchunguza suala lao imemaliza kazi yake na itatoa tamko leo
aliendelea kusema kuwa kwa sasa viongozi wa deci hawana maelezo yoyote zaidi ya kusubiria tamko hilo litakalotoa jibu kamili kwa wanachama kwani tume hiyo imeundwa na watu wanaoaminika
fedha zenu zimekabidhiwa kwa serikali tume iliyoundwa imemaliza kazi zake na itatoa tamko rasmi jumanne ijayo bwana loitinggye alikaririwa akiwaambia wanachama wake
katika hatua nyingine baadhi ya wanachama wa deci wamedai kuwa mgogoro mkubwa ulioibuka kati ya wanachama hao na kuzaa makundi UNK na chama kimoja cha siasa
walisema kuwa hatua ya chama hicho kujiingiza katika mgogoro wa deci imeongeza fukuto na kundi linalotishia kwenda bungeni UNK mkono na chama hicho
kabla ya serikali kutangaza kupiga marufuku upatu wa deci benki kuu ya tanzania UNK UNK mchezo huo ili kuepuka kuhatarisha mitaji yao
wanafunzi UNK barabara
ffu wamwagwa kuwatawanya
ni baada ya wenzao kugongwa milio ya risasi vurugu na kelele zilitawala hosteli za chuo kikuu cha dar es salaam zilizopo mabibo usiku wa kuamkia jana baada ya polisi na askari wa kikosi cha kutuliza ghasia kuzingira eneo hilo kuzima maandamano ya wanafunzi waliofunga barabara ya mandela kushinikiza serikali kuweka mat...
tukio ni mfululizo wa mikasa inayoendelea katika hosteli hizo limekuja siku moja baada ya kutokea mauaji ya kutisha ya mwanafunzi wa chuo hicho bibi bertha mwarabu anayedaiwa kuchomwa kisu na mwanafunzi mwenzake masamba musiba katika kile kinachoelezwa kusababishwa na wivu wa kimapenzi
vurugu hizo zilianza saa moja arobaini usiku hadi saa saba baada ya pikipiki iliyokuwa ikiendeshwa mwendo kasi UNK wanafunzi wawili waliokuwa UNK barabara hiyo kutoka upande wa hoteli ya UNK time kwenda upande wa hosteli hiyo
hatua hiyo ilisababisha wanafunzi wenzao UNK kuandamana kutoka eneo la hosteli hizo hadi barabara hiyo huku wakiimba nyimbo mbalimbali kulaani kitendo hicho na kufunga barabara
wanafunzi hao wakiwa na hasira walizuia magari yote yaliyokuwa yakitoka ubungo kuelekea buguruni na maeneo mengine na yale yaliyotoka buguruni kwenda ubungo na maeneo mengine na kusababisha foleni kubwa katika barabara hiyo
mashuhuda waliokuwa katika eneo hilo walisema vurugu hizo zilisababisha daladala moja toyota dcm kuharibiwa vibaya baada ya kuvunjwa vioo na wanafunzi hao
majira lilifika eneo hilo dakika chache baada ya polisi kutoka katika kituo cha urafiki kufika katika eneo hilo na kuamuru wanafunzi hao kuondoka barabarani
amri hiyo ilionekana UNK na wanafunzi hao baada ya kuanza kuwazomea polisi kwa kejeli huku wakiwakejeli kwa kuimba darasa la saba hao
hali hiyo UNK hasira askari hao
baada ya polisi kubaini upinzani mkali kutoka kwa wanafunzi hao walianza kupiga risasi angani ili kutawanya na kuomba msaada wa UNK nguvu kutoka ffu kikosi hicho kikiwa na magari nane aina ya land rover defender na magari mawili maalumu kwa ajili kurusha maji ya upupu kiliwasili eneo hilo na kutoa UNK ya wanafunzi hao...
baada ya kufika kikosi hicho wanafunzi hao walitimua mbio na kurudi hosteli na kuacha eneo hilo likiwa na amani na shughuli nyingine zikiendelea kama kawaida
katika tukio hilo wanafunzi nane walikamatwa na kufikishwa katika kituo cha polisi urafiki lakini waliachiwa jana asubuhi bila masharti yeyote
akizungumza na majira kwa njia ya simu rais wa serikali ya wanafunzi wa chuo hicho bwana festo kiswaga alisema tayari uongozi wa chuo na ujumbe kutoka serikalini umefikia muafaka na kulimaliza mgogoro huo