text
stringlengths
1
1.32k
alisema marekebisho hayo yanalenga kuhakikisha kuwa misamaha mingineyo inayotolewa kwa mashirika ya dini UNK msamaha wa kodi kwa vifaa vya kiroho na ibada tu
bwana kitillya alisema upeo wa vifaa hivyo ni mpana lakini utajumuisha vitabu vya kidini UNK vikombe vya kanisani UNK na UNK
vingine ni mavazi ya ibada vifaa vya muziki vyakula UNK kwa ibada madawati ya ibada na UNK
alisisitiza kuwa vifaa vingine vyote ambavyo mashirika ya dini UNK vinatumika kwa ajili ya matumizi ya ibada na kiroho navyo UNK na msamaha huo
mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya tanzania bara jaji lewis makame mkuu wa mashirika yaliyo chini ya umoja wa mataifa nchini bwana oscar fernandez UNK waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa bwana bernard membe na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya zanzibar bwana khatib mwinyichande wakiweka saini makubaliano...
ishirini na tatu wabunge UNK kufutwa UNK
wataka maelezo ya kina pesa za UNK
wadai mkataba ticts umejaa ufisadi
wahoji rites kupewa shirika la reli na john daniel dodoma UNK la kufuta misamaha ya kodi kwa taasisi za dini limeanza UNK waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo baada ya wabunge kumbana wakitaka atoe ufafanuzi wa kina kuhusu hatua hiyo
wabunge hao walihoji kujua kulikoni serikali kufuta misamaha hiyo kimya kimya huku UNK nafasi kampuni za uchimbaji madini kujadiliana kabla ya kuchukua uamuzi huo walimtaka bwana mkulo kutoa mchanganuo wa misaada UNK nchini kupitia taasisi za dini kila mwaka kwa sekta za afya na elimu na njia serikali UNK kuziba mapen...
wakichangia hotuba ya bajeti jana wabunge wengi walionesha wazi kutoridhishwa na uamuzi huo wa serikali huku wakimtaka bwana mkulo kufuta haraka misamaha ya kodi kwa kampuni za madini kwa kile walichoeleza UNK nchi kwa muda mrefu
mheshimiwa spika nasikitika serikali inasema itafanya kwanza majadiliano na kampuni za madini kabla ya kufuta misamaha ya kodi
mimi ninavyojua msamaha ulikuja baada ya mkataba wao serikali ifute msamaha huo kwa kampuni za madini mara moja
alishauri bwana victor mwambalaswa mbunge wa lupa kwa tiketi ya ccm alisema kampuni nyingi za mafuta nchini zimekuwa UNK serikali mapato ambayo UNK kwa maendeleo ya nchi kwa kukwepa kodi
alitoa mfano katika barabara ya ya dar es salaam hadi pwani kuna vituo vya mafuta ishirini na saba katika umbali wa kilomita ishirini na kwamba kila kituo kina bohari kubwa UNK ukuta maalumu kwa shughuli ya UNK mafuta ya taa petroli na UNK
kampuni za mafuta zinaagiza tani za mafuta taa wanachanganya mafuta hayo na dizeli au petroli wamejenga maboma makubwa kama fort jesus na wamepiga marufuku mtu kuingia humo UNK huruma hawa watanzania masikini
alisema bwana mwambalaswa
aliendelea kusema nimesikitishwa sana na taarifa ya waziri jana kwamba kuna viongozi wa dini wanatumia vibaya misamaha ya kodi kwa nini alishindwa kuwachukulia hatua viongozi hao wa dini
kama ni maaskofu kwa nini UNK
nini UNK
atueleze hapa kwanza
hospitali za dini zipo vijijini ambako hakuna hospitali za serikali na ndege UNK kupeleka vifaa kwenye hospitali hizo
waziri atueleze kwanza ni kiasi cha misaada kupitia mashirika ya dini kinaingizwa nchini kila mwaka na jinsi gani serikali itaziba pengo hilo
alihoji mbunge mwingine daktari wilbrod slaa wa karatu
mheshimiwa spika kwa bahati nzuri mimi nilikuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu hizo hospitali nilishiriki kujenga mimi
wikiendi hii UNK nilifanya kazi ya kutafuta orodha ya hospitali vituo vya afya na zahanati zote za dini waziri atueleze ni kwa nini UNK viongozi dini UNK nao kama walifanya kwa kampuni za madini alihoji daktari slaa
alisema kama serikali UNK kampuni za madini zinapata faida kubwa kwanini inashindwa kuwaita kwanza viongozi wa dini kujadiliana kabla ya kutoa uamuzi wakati taasisi hizo UNK maisha ya watanzania ikilinganishwa na kampuni za madini
daktari slaa alisema sababu iliyotolewa na serikali kwamba baadhi ya viongozi wa dini wanatumia vibaya UNK haina msingi kwani ilipaswa kuwachukulia hatua wahusika kwa kuwafutia misamaha hiyo na si taasisi zote
kuhusu deni la ndani alimtaka waziri mkulo kutoa ufafanuzi wa kina juu ya fedha za akaunti ya madeni ya nje lenye utata mkubwa
aliitaka serikali kufanya kwanza UNK wa kina kupitia ofisi ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali kwenye kampuni zote ambazo rais jakaya kikwete alitangaza serikali kubeba madeni yake na kuonya kwamba ni lazima kampuni hizo na majina ya wamiliki wake wajulikane kabla ya fedha za walipa kodi UNK
hata marekani waliwasilisha kwanza hoja kwenye bunge lao na bunge UNK ni lazima UNK wajulikane wakaguliwe na cag na taarifa hiyo ya ukaguzi iwasilishwe kamati ya fedha na uchumi ya bunge alisema daktari slaa
kwa upande wake mbunge nzega bwana lucas selelii aliitaka serikali kuacha kuimba wimbo wa mtikisiko wa uchumi wakati UNK mabilioni katika kwa kuendekeza urasimu wa kampuni ya ticts katika bandari ya dar es salaam na kusababisha nchi kadhaa kuacha kutumia bandari hiyo kutokana na UNK kwa urasimu
mungu UNK bandari na kuzungukwa na nchi UNK lakini kwa bahati mbaya UNK vizuri fursa hii wataalamu wetu wamepata kigezo eti UNK wa uchumi UNK ile ticts pale
hivi kwanini UNK ania ticts UNK ang ania mkataba wa ufisadi kwa nini
alihoji bwana selelii na kuongeza reli yetu tumechukua tukawapa wale wahindi hawawezi
tunapoteza fedha nyingi pale hata kabla hawajaja reli ilikuwa na uwezo wa kufanya kazi vizuri kuliko sasa nchi yetu UNK kichaka cha aina gani
wafukuzwe wale masikini hata mkataba ule sijui walipata pembeni
alisema bwana selelii na kumtaka bwana mkulo kutoa majibu hayo
kuhusu miundombinu alimtaka bwana mkulo kueleza sababu zilizomfanya UNK fedha katika barabara ambazo si kipaumbele kwa taifa na kuacha zile muhimu akitolea mifano barabara ya chalinze tanga kupanuliwa wakati barabara ya kati UNK
barabara ya tanga chalinze UNK lami na kupanuliwa lakini sasa karibu miaka hamsini ya uhuru barabara ya tabora nzega urambo ni kama UNK hawa UNK mema wabunge wa ccm
hawa mawaziri wana roho mbaya mungu UNK alisema bwana selelii
kuhusu kufutwa misamaha ya kodi kwa taasisi za dini alisema amepigiwa simu nyingi kutoka jimboni kwake kuhusu hilo na kuitaka serikali kuondoa misamaha kwa kampuni za madini na kuacha kisingizo cha kufutia yale UNK mikataba mipya pekee
naye mbunge wa iramba mashariki bwana mgana msindai alimtaka waziri mkulo kurejesha kodi ya asilimia kumi iliyokuwa UNK kwenye mafuta kutoa nje ili kunusuru viwanda vya ndani
katika hatua isiyotarajiwa mbunge wa pangani bwana mohamed abdallah aliomba mwongozo wa spika kuhusu kauli ya bwana selelii ya mungu UNK mawaziri kwa kujipendelea na kusahau vipaumbele hususan vya barabara
akitoa mwongozo wake spika bwana samuel sitta alisema yeye kama kiongozi wa bunge hawezi kuwazuia wabunge kuonesha hisia zao na kwamba alichofanya bwana selelii ni kuonesha hisia zake na si UNK mtu
kwa bahati nzuri dua la kuku halimpati mwewe alichofanya mheshimiwa selelii ni kuonesha hisia zake sioni kama ni tatizo siwezi kuzuia waheshimiwa wabunge kuonesha hisia zao alisema bwana sitta na kufunikwa na makofi ya wabunge wakionesha kumuunga mkono
kwa upande wake kambi ya upinzani ilieleza kusikitishwa na hatua ya serikali kubadili kaulimbiu ya kilimo uti wa mgongo na kuja kilimo kwanza na kudai kwamba jambo hilo UNK kinachohitajika ni ukombozi wa kweli kwa mtanzania masikini
akiwasilisha maoni ya kambi hiyo kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni bwana hamad rashid mohamed alisema kambi yake inasikitishwa na hatua nya kubadili kaulimbiu hiyo bila sababu huku fedha nyingi zinazoweza kuwakomboa watanzania UNK katika sekta ya madini kwa misamaha holela
aliitaka serikali kufuta misamaha yote ya kodi katika sekta ya madini na kurejesha kwa taasisi za dini ili ziendelee kutoa huduma kwa wananchi masikini
kwa upande wake kamati ya fedha na uchumi ya bunge iliitaka serikali kupunguza riba ya mkopo kwa mabenki ili kuwawezesha watanzania kukopa na UNK na umasikini
akiwasilisha maoni ya kamati hiyo mwenyekiti wake daktari abdallah kigoda alisema ni muhimu kwa serikali kuongeza kasi ya utekelezaji na usimamizi katika huduma za jamii kama elimu afya maji na miundo mbinu ili kuharakisha maendeleo ya taifa
na grace michael mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji imesema mpango wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja hauna shinikizo lolote la kifisadi bali umelenga kuondoa matatizo yanayojitokeza kwa sasa ikiwemo gharama kubwa za usafirishaji na ununuzi
mbali na hilo pia mamlaka hiyo imesisitiza matumizi ya bei elekezi katika vituo vyote vya mafuta na kuonya vituo vinavyokiuka kwa kupandisha bei za nishati hiyo
mkurugenzi mkuu wa ewura bwana haruna masebu alisema jana kuwa ili kudhibiti upandishaji bei za mafuta ewura imetoa toleo jipya linaloonesha bei za mafuta ambalo limeanza kutumika juni kumi mwaka huu
alisema bei za mafuta katika toleo la januari hadi mwishoni mwa mei mwaka huu lina tofauti na toleo jipya ambalo bei zake zimeanza kutumika juni kumi mwaka huu kwa kuwa bei katika aina zote za mafuta zimepanda
aliongeza kuwa petroli imepanda kwa asilimia tano arobaini na saba dizeli kwa asilimia mbili sitini na nne huku dizeli ikiwa imepanda kwa asilimia mbili thebathini na nane na mafuta ya taa yamepanda kwa asilimia tatu sabini na tisa bwana masebu alisema mabadiliko hayo ya bei yametokana na kupanda kwa bei za mafuta kat...
alisema bei za mafuta zitaendelea kupangwa na soko huku ewura ikiendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei elekezi za mafuta ikiwa ni pamoja na bei za kikomo
ewura imebaini kuwa bei za mafuta ghafi kwa sasa zinakaribia dola za marekani sabini kwa pipa lakini bei hizo zinaweza kufikia dola sabini na tano kwa pipa ikiwa ni bei ya kikomo lakini bei za hapa nchini haziwezi kufikia za julai mwaka jana
akizungumzia suala la utaratibu wa uagizaji mafuta wa pamoja bwana masebu alisema kuwa mpango huo bado unasubiri mapendekezo ya mtaalamu kutoka kampuni ya petroleum development consultant ltd
ya uingereza lakini pia maoni ya wadau mbalimbali kuhusiana na utekelezaji wa utaratibu huo
alisema maoni yote ya wadau yatazingatiwa katika mchakato huo ili kufikia lengo lililokusudiwa la kuondoa gharama kubwa za usafiri msongamano wa meli bandarini na hivyo kusababisha ada za ucheleweshaji wa meli matatizo ambayo yanatokana na kila kampuni kuagiza mafuta nje
alisema kuwa washauri wa suala hilo watazingatia mambo mbalimbali ikiwemo sheria na sera za nchi miundombinu ili kuweza kutoa mapendekezo ya namna gani mpango huo ufanyike
wakati kesi ya vinara wa kampuni ya development entrepreneurship community initiative inatarajiwa kutajwa leo wanachama wa upatu huo wamepanga kuandamana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu kushinikiza kusikilizwa haraka shauri hilo ili kujua hatma ya mbegu zao
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana mmoja wa wanachama kampuni hiyo aliyeomba kutotajwa jina kwa sababu za kiusalama alisema wamefikia uamuzi huo baada ya kuhisi kwamba kesi hiyo itachukua muda mrefu na wao hawajui hatma ya pesa zao
tumepanga kuandamana kwa wingi kisutu kesho ili kufikisha ujumbe wetu wa kila siku kutaka kufahamu hatma ya pesa zetu
tunajua kuwa sheria UNK mkondo wake lakini bila kuongeza nguvu yetu na uwepo wetu mahakamani hakuna kitakachoendelea alisema mwanachama huyo
vigogo hao wanafikishwa mahakamani wakisubiri kwa shauku hatma ya kupewa dhamana au la
awali washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo hadi sasa UNK rumande kutokana na kuwepo pingamizi la dhamana lililowasilishwa kwa kuambatana na hati ya kiapo cha mpelelezi wa kesi hiyo
kutajwa kwa kesi hiyo leo kutawafanya washitakiwa hao kufahamu hatma ya dhamana yao baada ya mahakama hiyo kupitia malumbano ya kisheria ya pande zote mbili na kutoa uamuzi wa kuwapa dhamana au la
upande wa mashitaka ulipinga dhamana hiyo kwa sasa ukiwa na sababu kubwa ya usalama wa washitakiwa hao endapo watakuwa nje
upande wa utetezi katika majibu yake ulisema hauna wasiwasi na wapandaji mbegu wa kampuni hiyo ya deci kwa kuwa wanawaamini wachungaji wao hivyo hawawezi kuwafanyia vurugu
kutokana na sababu hizo upande wa utetezi UNK mahakama kuwapa dhamana washitakiwa hao kwa kuwa sababu za upande wa mashitaka hazina msingi
washitakiwa hao ni bwana jackson mtares bwana dominick kigendi bwana timotheo ole loitnggye bwana swamel mtares na bwana arbogast kipilimba wote wakazi wa dar es salaam
wote kwa pamoja wanadaiwa kuendesha na kusimamia mradi wa upatu kinyume na sheria za benki na taasisi za fedha
walidaiwa kuwa kati ya mwaka ishirini sifuri saba na machi mwaka huu wakiwa makao makuu ya kampuni hiyo mabibo dar es salaam na maeneo mengine hapa nchini walikusanya fedha kutoka kwa umma kwa ahadi ya matumaini ya kuwapa fedha zaidi ambayo katika mazingira ya biashara ilikuwa ni kubwa tofauti na mradi uliokuwepo
katika kosa la pili washitakiwa hao walidaiwa kupokea amana kutoka kwa umma kinyume cha sheria ambapo kosa hilo linadaiwa kufanyika katika kipindi cha mwaka ishirini sifuri saba hadi machi mwaka huu
katika maeneo mbalimbali ya nchi walipokea amana hizo bila kuwa na leseni
wakati huo huo ofisi za makao makuu ya deci zilizopo mabibo dar es salaam jana UNK kufungwa huku wanachama waliokuwa UNK kila siku wakionesha kukata tamaa na kuacha kufika eneo hilo
maaskofu wa umoja wa makanisa ya kipentekoste tanzania wamedai kuwepo ajenda ya siri ndani ya bajeti ya serikali iliyosomwa bungeni mjini dodoma wiki iliyopita na waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo
kauli ya maaskofu hao imekuja siku chache baada ya wenzao wakiwemo wa kanisa katoliki na jumuiya ya kikristo tanzania kuja juu kulaani kufutwa misamaha ya kodi kwa taasisi za dini kwa maelezo kuwa hatua hiyo itawaumiza watanzania masikini
maaskofu hao wametishia kukutana na wenzao wa madhehebu mengine kuweka mikakati mizito kukabili jambo hilo endapo bunge UNK kipengele hicho
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana katibu mkuu wa pct askofu david mwasota alisema umoja huo UNK na pendekezo la kuondoa misamaha ya kodi kwa vitu visivyo vya kiroho kwa taasisi za dini na kudai kuwepo ajenda ya siri ndani ya bajeti hiyo
sisi maaskofu wa pct tunaungana na wenzetu wa cct na tec kupinga kitendo cha kufutwa misamaha hiyo ya kodi alisema askofu mwasota
alisema vitu UNK misamaha ni vile UNK jamii vikiwemo vifaa vya hospitali vyuo shule vituo vya watoto yatima na majengo ya kanisa na kamwe hawakuwahi kutumia misamaha hiyo kwa mambo binafsi
alisema kitendo cha kufuta misamaha hiyo kutokana na tabia ya wachache kutumia vibaya ni sawa na UNK jamii nzima ya watu wa kipato cha chini na taasisi za kidini
alisema taasisi hizo zimekuwa zikitoa huduma si kwa malengo ya biashara wala kutengeneza faida hivyo ni wajibu wa serikali kuwaadhibu wale wanaotumia vibaya misamaha hiyo
hapa kuna kitu UNK tunashangaa kuona bwana mkulo anawajua watu wanaotumia vibaya misamaha ya kodi halafu UNK
sasa nini wajibu wa serikali katika hili
je itaendelea kuwakumbatia hadi lini watu hawa
alihoji askofu mwasota
alisema bwana mkulo kama waziri mwenye dhamana ya usimamizi wa fedha na mapato ya taifa ameonesha udhaifu mkubwa kuficha na kukumbatia wahalifu hao wakati anawafahamu na UNK taasisi zote za dini
alimtaka bwana mkulo kufanya utafiti kabla ya kuchukua hatua na ikibainika kuwa misamaha hiyo imekuwa ikitumika vibaya ndipo wahusika wachukuliwe hatua
alisema UNK kelele jambo hilo kutafuta umaarufu bali ni kwa ajili ya kutetea haki za wananchi wa kipato cha chini waishio vijijini ambao UNK kwa kiasi kikubwa na hatua hiyo
ukienda vijijini huko ndiko kwenye matatizo kuna watu wengi pia hospitali zetu zinafanya kazi kubwa huko si mijini alisema askofu mwasota
alisema taasisi za dini zina mchango mkubwa katika utoaji huduma za kijamii na kufutwa misamaha hiyo italeta athari kubwa
alisema pct UNK kama bunge UNK bajeti hiyo kwani kufanya hivyo ni kutowatendea haki wananchi waliowatuma badala yake watakuwa UNK chama cha mapinduzi na serikali yake
katika hotuba yake ya bajeti bwana mkulo alisema serikali imefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwepo baadhi ya viongozi wa dini wanaotumia vibaya misamaha ya kodi kwa UNK maslahi binafsi
adai ndio UNK nchi
wahusika richmond UNK
UNK ombi maalum kwa pinda mawaziri wa serikali ya awamu ya nne inayoongozwa na rais jakaya kikwete wamedaiwa UNK nchi kutokana na mikataba mibovu wanayoingia ambayo UNK na UNK na watalaamu wao