text stringlengths 1 1.32k |
|---|
akichangia hotuba ya bajeti bungeni jana mbunge wa maswa bwana john shibuda alieleza kushangazwa na kukithiri mikataba mibovu inayoumiza taifa na wananchi hali inayozua shaka kuhusu uzalendo wa mawaziri hao |
alisema kutokana na udhaifu huo watanzania wameshindwa kutambua uzalendo mawaziri kwani ndicho chombo cha juu UNK mikataba yote baada ya kuandaliwa na wataalamu wao lakini imejaa utata |
trc lilikuwa na uongozi mzuri UNK tukawapa watu ambao hawana uwezo |
hivi sisi tutashika lini hatamu za nchi yetu |
naomba mawaziri UNK mnatupeleka wapi |
alihoji bwana shibuda na kuongeza mawaziri UNK ni lini UNK mahakama ya kimataifa wawekezaji UNK kila siku mikataba mibovu |
baraza la mawaziri ndio wanapitisha mikataba baraza la mawaziri UNK nini kipimo cha uzalendo UNK |
alihoji mbunge huyo |
alisema serikali inakosa mapato kutokana na nchi kuingia mikataba mibovu hivyo UNK maisha magumu watanzania huku dira ya maendeleo UNK wakulima na wafugaji bila kuwaandalia mazingira mazuri ya kuwainua kutokana na kile UNK nacho |
kuhusu vitambulisho vya taifa alisema ni jambo muhimu ambalo UNK serikali kukusanya mapato kwa urahisi zaidi lakini alisema mradi huo sasa umejaa ubinafsi na malumbano |
namwomba waziri mkuu aondoe kazi ya kutengeneza vitambulisho katika wizara ya mambo ya ndani kinachoendelea pale ni malumbano tu UNK uongozi wa kubebana umepitwa na wakati kama mtu anataka yeye ndiye aonekane UNK |
alisema bwana shibuda bila kufafanua kwa kina |
kwa upande wake mbunge wa kishapu bwana fredy mpendazoe aliitaka serikali kujibu maswali manne mazito ya watanzania ambayo ni muhimu kwa UNK wa maendeleo ya nchi |
mheshimiwa mwenyekiti watanzania wanataka majibu ya maswali yafuatayo waliosaini mikataba mibovu wamechukuliwa hatua gani |
wahusika wa mikataba ya trl mgodi wa kiwira na richmond wamechukuliwa hatua gani |
alihoji na kuongeza ukitaka kumfukuza UNK tupa UNK serikali kushindwa kuwachukulia hatua waovu ni kubariki uovu penye uhuru ni pale watu UNK kutoa maoni yao ila penye demokrasia ni pale serikali UNK maoni ya wananchi alisema bwana mpendazoe na kusisitiza kutaka serikali itoe majibu ya maswali hayo |
aliendelea serikali inayo wajibu wa kusikiliza maoni ya wananchi UNK |
serikali UNK na malaika wala miungu bali UNK na wananchi hivyo wana kila sababu ya kuikosoa alisisitiza mbunge huyo bwana mpendazoe alieleza kukerwa na tabia ya baadhi ya watu UNK tatizo la ufisadi na kuita ni ajenda moja tu |
UNK watu hao kwa msemo kwamba mawe UNK ya bahari hayawezi kusikia kilio cha mtende ulio jangwani kuhusu deci mbunge huyo alisema serikali inapaswa kubeba msalaba wa wananchi wake kujiunga na kampuni hiyo inayodaiwa kuwa haramu kwani hawakuwa na namna yoyote ya kujipatia mitaji kutokana na kukosekana taratibu nzuri za ... |
alisema deci ni dalili ya wananchi kukata tamaa na kwamba shilingi bilioni moja zilizotolewa kwa ajili ya UNK mali na rais kikwete UNK walengwa kwa madai kwamba hawakidhi vigezo vya kujiunga na vyama vya kuweka na UNK |
kuhusu ajira mbunge huyo alihoji serikali kuhusu wachina na wakorea kujazana soko la kuu la kariakoo dar es salaam kufanya biashara ambazo zingefanywa na watanzania |
alilalamikia pia kitendo cha wakenya kuajiriwa na hoteli kubwa hapa nchini wakati watanzania wanazo sifa na uwezo wa kufanya kazi hizo na kuhoji watu hao wanapoingia serikali UNK |
bwana mpendazoe aligoma kuunga mkono hoja ya bajeti hiyo na kuahidi kufanya hivyo baada ya kujibiwa hoja zake |
kwa upande wake mbunge wa mkanyageni bwana mohamed habib mnyaa aliitaka serikali kueleza sababu UNK shirika la madini kupewa kibali cha kukopa pesa benki ya nbc tangu mwaka ishirini sifuri saba ili kununua mashine za kuchambua madini |
alisema kitendo hicho ni ishara kwamba serikali haitaki kuwaendeleza wazawa katika sekta hiyo na kwamba inawapa nafasi kubwa wawekezaji wa nje kuendelea kuvuna jasho la watanzania |
na mwandishi wetu dodoma mjadala wa bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha ishirini sifuri tisa kumi jana ulichukua sura mpya baada ya hoja hiyo kuwagawa katika makundi mawili wabunge wa chama cha mapinduzi |
wabunge hao wamegawanyika kufutia kundi moja kusifu serikali kwamba imefanya mambo makubwa UNK kupongezwa na UNK wenzao wanaopinga jambo hilo |
akichangia mjadala huo mbunge wa kasulu magharibi bwana UNK mporogomyi alisema kazi ya bunge ni kuishauri na kuikosoa serikali pale inapokwenda mrama na kusisitiza kwamba hata katika nchi zilizoendelea kama marekani bunge UNK serikali |
kazi yetu UNK ndani ya bunge si UNK tu serikali mama yako masikini wapiga kura wako masikini UNK nini ninyi wabunge acheni utani hapa bwana hata kule marekani bunge UNK na kuikosoa serikali alisisitiza bwana mporogomyi akionesha kukasirika |
alisema matatizo mengi yanayowakabili watanzania sasa yanatokana na utendaji mbovu wa waliopewa madaraka serikalini na kuwasababishia maisha magumu watanzania huku akitolea mfano mkataba tete ya ticts UNK nchi mapato |
hivi sasa nchi zote zilizokuwa zinatumia bandari yetu UNK wanatumia nchi jirani ni UNK leo hii tunazungumzia bandari hata pale kwenye mafuta hakuna anayejua kiasi gani cha mafuta kinaingizwa nchini ile mashine ukifika unaweza kuambiwa ni feki hapana ni nzima imeharibiwa kwa makusudi kwa manufaa ya wachache |
alidai mbunge huyo |
katika mchango wake juzi mbunge wa singida kaskazini bwana lazaro nyalandu aligeuka kuwa waziri na kuwakejeli wabunge wenzake kwamba si vizuri kulalamika kwa kuwa kuna maendeleo makubwa yaliyopatikana nchini |
kuna progress kubwa sana serikali imefanya mambo mengi sana alisisitiza bwana nyalandu katika mchango wake bungeni juzi |
mbunge mwingine aliyemuunga mkono alikuwa wa morogoro mjini bwana omari nibuka aliyesema serikali imefanikiwa na kumwagia sifa waziri wa fedha na uchumi mustafa mkulo kwa kuandaa bajeti safi hivyo kauli ya bwana mporogomyi ilionesha wazi kuwajibu wabunge hao hususan bwana nyalandu |
kuhusu msamaha ya kodi kwenye mafuta ghafi UNK nje mbunge wa kishapu bwana fredy mpendazoe alisema huo ni mchezo mchafu na kuonya kwamba kuna rushwa ndani ya msahama huo kwa kuwa hakuna mafuta ghafi yanayotoka nchini malysia na badala yake lengo ni kuwamaliza wakulima wa alizeti wa tanzania |
naye mbunge wa masasi bwana raynald mrope alilia na serikali na kuhoji sababu hasa za kutokubali maendeleo ya mkoa wa mtwara kwa UNK kutoa fedha kwa kampuni ya UNK kuzalisha umeme kutokana na urasimu wa shirika la umeme tanzani |
wanachama wafurika kisutu na UNK |
wafuasi saba wakamatwa watiwa mbaroni |
viongozi wao wazidi kunyimwa dhamana na waandishi wetu polisi jijini dar es salaam jana walifanikiwa kuzima maandamano ya wanachama wa kampuni ya development entrepreneurship community initiative waliofurika mahakama ya hakimu mkazi kisutu kushinikiza kusikilizwa haraka kesi inayowakabili viongozi wao na kujua hatima ... |
katika sakata hilo lililotokea asubuhi watu saba walikamatwa na kutiwa mbaroni huku ulinzi ukiimarishwa eneo lote la mahakama hiyo |
sakata hilo liliibuka baada ya kuahirishwa kesi inayowakabili viongozi wa upatu huo na wanachama waliofika mahakamani hapo wakiwa na mabango kutaka UNK |
wakati wakijiandaa makachero wa polisi waliibuka na kuwakamata vinara wa maandamano hayo wakiwa na mabango yao na kuwaingiza kwenye UNK |
mbali ya kukamatwa watu hao polisi waliokota mabango mengine zaidi ya hamsini yaliyokuwa na ujumbe mbalimbali kwa serikali kuhusu sakata la deci waliokamatwa ni pamoja na mwenyekiti wa wanachama hao bwana isaack kalenga samwel mathias ambaye ni mjumbe bibi neema rajab na bwana michael saimon aliyetajwa kuwa UNK wa dec... |
baada ya kuzimwa maandamano hayo na kamanda wa kanda polisi kanda maalum ya dar es salaam bwana suleiman kova kutoa tamko la zuio la mikusanyiko isiyokuwa na kibali wanachama hao waliondoka mahakamani hapo huku bila kujua cha kufanya |
akizungumza mahakamani hapo kamanda kova alisema jeshi lake UNK wanachama wa deci ambao UNK mikusanyiko au maandamano yasiyokuwa na kibali |
wapo wanachama wakorofi ambao walitaka kufanya maandamano kwa ajili ya kuishinikiza mahakama kuwaachia huru viongozi wao kama baadhi ya mabango yao UNK |
hatutavumilia kuona mikusanyiko isiyo na kibali na kwa wanachama waliokuwa na mabango ambao wamekamatwa watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria alisema kamanda kova |
wakati huo huo katika kesi ya vinara wa deci iliyokuja kwa ajili ya kutajwa na kujua hatma ya dhamana ya washitakiwa hao mambo yalizidi kuwa magumu baada ya mkurugenzi wa mashitaka nchini bwana UNK UNK kuwasilisha hati ya kupinga dhamana ya washitakiwa hao |
hati hiyo iliwasilishwa na mwanasheria wa serikali bwana edgar luoga ambaye aliiambia mahakama kuwa dpp ametoa hati hiyo chini ya kifungu cha mia moja na arobaini na nane cha cpa ambacho kina sababu kuu za usalama wa washitakiwa hao lakini pia maslahi ya jamhuri kwa ujumla |
mawakili wa upande wa utetezi walipingana na hati hiyo kwa kudai kuwa dpp hakuwa na sababu za msingi za kupinga dhamana ya washitakiwa kwa kuwa hakuwa na ushahidi wowote katika sababu zake |
upande wa jamhuri ulisisitiza kuwa kwa mujibu wa kifungu hicho dpp UNK kutoa sababu zozote bali anapoona maslahi ya taifa UNK ndipo anaweza kuwasilisha hati hiyo mahakamani |
kutokana na hoja za pande zote mbili hakimu mkuu mfawidhi bibi addy lyamuya alisema kulingana na kifungu cha sheria UNK mahakama imefungwa mikono kwa kuwa UNK na wala hakina mapendekezo kwa mahakama |
kutokana na hali hiyo washitakiwa hao watalazimika kubaki rumande hadi dpp UNK hati hiyo hivyo washitakiwa hao walirudi rumande hadi juni thebathini mwaka huu kwa ajili ya kutajwa kesi yao huku upelelezi ukiendelea |
wakati kesi hiyo ikiendelea mahakamani baadhi ya wanachama waliokwama kuingia mahakamani kutokana na kufurika kwa chumba cha mahakama walifanya sala maalumu kuwaombea viongozi wao ili wapate dhamana |
washitakiwa katika kesi hiyo ni bwana jackson mtares bwana dominick kigendi bwana timotheo ole loitnggye bwana swamel mtares na bwana arbogast kipilimba wote wakazi wa dar es dar es salaam |
wote kwa pamoja wanadaiwa kuendesha na kusimamia mradi wa upatu kinyume na sheria za benki na taasisi za fedha |
taarifa hii imeandikwa na grace michael rabia bakari na godfrida jola serikali UNK amri na kubatilisha uamuzi wake wa kufuta msamaha wa kodi ya ongezeko la thamani kwa taasisi za dini na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali na kuunda timu maalum UNK mianya ya matumizi mabaya ya msamaha huo |
kutokana na uamuzi huo serikali italazimika kurekebisha vipengele kadhaa kwenye bajeti ya shilingi bilioni tisa tano iliyosomwa wiki iliyopita bungeni na waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo na kuweka vipya kwa baadhi ya maeneo ili kukidhi marekebisho hayo |
hatua hiyo imeelezwa kuwa itasaidia wabunge kupitisha bajeti hiyo kwa urahisi na kupunguza maswali magumu kwa serikali leo jioni wakati bwana mkulo atakapotoa majumuisho ya michango ya wabunge |
akizungumza jana na waandishi wa habari nyumbani kwake mjini hapa waziri mkuu bwana mizengo pinda alisema baada ya serikali kusikia kilio cha wabunge na taasisi za dini UNK na viongozi dini juzi na kukubaliana kwamba ni umuhimu wa kuendeleza msamaha huo kwa sasa huku UNK kushirikiana na serikali kudhibiti matumizi mab... |
wabunge hasa wa ccm UNK kelele suala hili na kuishauri serikali kuangalia upya |
viongozi wa dini nao walisema hivyo ile rai ilikuwa ya msingi jana nilipata fursa ya kukutana na viongozi wa dini maaskofu alikuwepo askofu mokiwa malasusa UNK katibu mkuu wa kanisa anglikan tanzania shekhe wa mkoa na mashekhe wengine |
UNK sana serikali iangalie upya jambo hili walisisitiza katika kazi zao UNK na wahisani wa nje UNK na kwa kufanya hivyo inaweza kuwavunja moyo na kuwa na athari kubwa kwetu tanzania |
nilimtafuta mheshimiwa rais UNK na kumpa ushauri akakubali akaridhia kwamba msamaha huu uendelee kama ilivyokuwa alisema bwana pinda |
alipoulizwa ni kwa nini serikali UNK kukosa uamuzi sahihi na kukubali jambo kisha kubatilisha alisema ukiwa kiongozi wa UNK ni lazima UNK watu UNK serikali ingeweza kusimamia uamuzi wake lakini baada ya kusikiliza watu wake na rais jakaya kikwete UNK ndio maana tumeona haya katika hili tukubali kufuta kwanza hawa vion... |
alipoombwa kueleza ni kwa jinsi gani serikali itaziba mianya ya fedha ambazo UNK na kufutwa misamaha hiyo hasa kwa kuzingatia kuwa fedha hizo UNK katika bajeti ya trilioni tisa tano alisema tayari nimemwagiza waziri wa fedha kufanya kazi hiyo na leo UNK kwamba tayari ameshafanya kazi hiyo sasa mimi siwezi kumsemea UNK... |
alipotakiwa kueleza hatua zitakazochukuliwa dhidi ya watuhumiwa waliobainika kutumia mwanya wa msamaha vibaya kama UNK bwana mkulo alipozungumza na waandishi wa habari jumamosi iliyopita alisema bahati nzuri viongozi wenyewe wa dini waliniomba hayo majina ili wao kwanza waanze kuwashughulikia pia katika timu hiyo UNK ... |
kuhusu muda na UNK kamili ya timu hiyo alisema kazi hiyo itakuwa ya kwanza kwa waziri wa fedha na uchumi bwana mkulo kwa kushirikina na kamishna mkuu wa tra na kwamba ana uhakika ndani ya miezi miwili hadi mitatu itakuwa imekamilika |
kazi kubwa ya timu hiyo itakuwa ni kuangalia njia bora zaidi ya kuziba mianya ya matumizi mbaya ya misamaha hiyo lakini bado tunaweza kuendelea na hoja hiyo lakini UNK kwamba kweli si wakati wake kwa sasa alisema bwana pinda alipotakiwa kujibu swali UNK ni lini serikali UNK kabisa tatizo UNK mabaya ya misamaha hiyo |
kuhusu swali la deci waziri mkuu alisema yeye alipitia ripoti hiyo na kumwagiza bwana mkulo kuitoa kwa wana habari |
kutokana na agizo hilo waziri mkulo aliahidi kutoa taarifa hiyo leo asubuhi kwa waandishi wa habari ofisini kwake |
baadhi ya wabunge waliozungumza na majira kwa njia ya simu UNK na kupongeza hatua hiyo ya serikali kukubali ushauri wao huku baadhi yao UNK kwamba iwe makini katika maamuzi mazito kwa kuwashirikisha wadau badala ya kujifungia na kutoa maamuzi hatari kwa taifa |
baadhi yao walisema bado wanasubiri kusikia kufutwa kwa misamaha ya kodi kwa kampuni zote za madini na kuongeza kwamba kipengele hicho pamoja na kile cha kuondoa kodi ya asilimia kumi kwenye mafuta yanayotoka nje bado UNK bwana mkulo leo iwapo hatakubali kufanyia marekebisho mapema |
mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo umeahidi kuendelea kuiunga mkono zanzibar kutokana na juhudi zake katika kuimarisha sekta ya kilimo zikiwemo juhudi zinazochukuliwa na wakulima wadogo |
ahadi hiyo ilitolewa jana na mkurugenzi wa mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo kanda ya afrika mashariki na kati bwana UNK de UNK UNK na rais amani abeid karume ikulu mjini zanzibar |
mkurugenzi huyo alimweleza rais karume kuwa UNK imeona juhudi zinazochukuliwa katika kuimarisha sekta ya kilimo nchini hivyo itaendelea kutoa msaada wake sambamba na kusaidia changamoto zilizopo katika sekta hiyo |
alisema kuwa zanzibar imepiga hatua katika mapinduzi ya kilimo hivyo ipo haja kwa wakulima kupewa msukumo ili waendelee kuzalisha zaidi |
mkurugenzi huyo pia alisema kuwa miongoni mwa hatua za kutilia mkazo zaidi ni upatikanaji wa maji na utaalamu katika kuimarisha kilimo cha umwagiliaji maji |
naye rais karume kwa upande wake aliushukuru mfuko huo kutokana na juhudi zake za kushirikiana na kusaidia kuimarisha sekta ya kilimo |
alisema kuwa serikali ya mapinduzi zanzibar imechukua juhudi kubwa kuimarisha sekta ya kilimo unguja na pemba kwa kutambua umuhimu wake katika maendeleo ya nchi na wananchi wake hususan katika suala zima la uzalishaji wa chakula |
alisema kilimo ni sekta muhimu katika maendeleo na serikali imekuwa ikifanya juhudi za maksudi UNK mkazo sekta hiyo kwa kutambua kuwa ina nafasi kubwa katika kupambana na umasikini nchini |
na rachel balama mahakama kuu kanda ya dar es salaam juzi ilianza kusikiliza kesi ya madai ya kulipwa fidia ya shilingi milioni thebathini sifuri mwandishi wa habari mkongwe bwana rhodes teri anayedai kupigwa na kudhalilishwa na polisi UNK jambazi sugu |
kesi hiyo ipo mbele ya jaji zainab UNK |
upande wa mashitaka unawakilishwa na wakili julius ndanzi na ule wa serikali unawakilishwa na wakili bwana rashid UNK |
jaji muruke aliwataka wadaiwa UNK kesi hiyo ambao ni mwanasheria wa serikali inspekta jenerali wa polisi sajini UNK na koplo lugalo kujibu kwa maandishi madai ya bwana teri ifikapo julai thebathini na moja mwaka huu ili mdai huyo naye ajibu kabla ya agosti kumi na saba mwaka huu |
jaji muruke alisema kesi hiyo itaanza kusikilizwa agosti ishirini na nane mwaka huu |
amemtaka wakili bwana ndanzi kuwajulisha uamuzi huo wa mahakama wadaiwa mia tatu na arobaini na tano na kuzingatia tarehe kwa njia ya hati ya kuitwa kwenye UNK |
katika hati ya madai bwana teri ambaye aliwahi kuwa mwandishi wa lililokuwa shirika la habari tanzania anadai kulipwa shilingi milioni thebathini sifuri baada ya kutoa notisi ya siku tisini kwa jeshi la polisi kisheria kutaka UNK shilingi milioni ishirini sifuri jambo ambalo UNK hivyo kufungua kesi hiyo ya madai namba... |
akiwa chini ya ulinzi mwandishi huyo anadai hakupewa muda wa kujitetea huku mmoja wa askari hao UNK shingo na mwingine kumwelekezea bastola |
hati hiyo inaeleza kuwa askari hao UNK na kumuingiza kwenye gari hadi kituo cha polisi kati baada ya kumhoji walibaini kuwa hakuwa mtu aliyekuwa UNK na kumweleza kuwa UNK na jambazi sugu UNK na polisi muda mrefu ajulikanaye kwa jina la UNK UNK kisha kumwachia huru |
hati hiyo inadai kwamba kitendo UNK bwana teri na polisi hao ni cha kinyama ukandamizaji na uonevu wa hali ya juu pia ni kinyume cha katiba ya nchi |
mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam imeamuru chuo cha mabaharia kufanya tathmini ya meli ya wavuvi haramu UNK kujua thamani yake ili itumike kama dhamana ya washitakiwa hao |
agizo hilo lilitolewa jana mahakamani hapo na hakimu mkazi bibi warialwande lema wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya uamuzi wa dhamana kwa washitakiwa hao |
akitoa uamuzi huo bibi lema alisema masharti mengine ya dhamana kwa washitakiwa hao yatatolewa baada ya kupatikana ripoti ya thamani ya meli hiyo |
hatua ya kutoa uamuzi huo ilitokana na upande wa utetezi kuiomba mahakama hiyo kutoa dhamana kwa washitakiwa hao kwa kuwa makosa yanayowakabili UNK na ni haki yao kupewa dhamana |
upande wa mashitaka katika hilo ulidai kuwa washitakiwa hao hawana vibali vya kuwa hapa nchini lakini pia upande huo UNK endapo washitakiwa hao watapewa dhamana watakwenda wapi |
kutokana na hali hiyo mahakama imefikia uamuzi ambapo kitu cha kwanza ni kujua thamani ya meli yao ili iweze kuwa dhamana ya washitakiwa hao |
washitakiwa hao walirejeshwa rumande hadi julai mbili mwaka huu kwa ajili ya kutajwa na kufahamu hatua ya ripoti ya meli hiyo |
kesi hiyo ina jumla ya washitakiwa thebathini na saba ambao wote kwa pamoja wanakabiliwa na makosa ya kuvua samaki katika eneo la jamhuri ya tanzania bila kuwa na kibali au makubaliano yoyote ya kufanya hivyo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.