text
stringlengths
1
1.32k
washitakiwa hao walikamatwa machi nane mwaka huu kwenye msako maalum ulioendeshwa kwa ajili ya kunasa wavuvi haramu ambapo walinaswa wakiwa ndani ya meli huku wakiwa na samaki aina ya UNK wenye thamani ya mamilioni ya fedha
mfanyabiashara bwana farijala hussein anayekabiliwa na kesi ya wizi wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya madeni ya nje ameieleza mahakama namna UNK msikitini kwenda kusaini maelezo ambayo UNK na kukana maelezo UNK shahidi
hayo aliyasema jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu wakati mtuhumiwa huyo akitoa ushahidi wake namna alivyochukuliwa maelezo yake ya onyo na tume ya kushughulikia tuhuma za epa kesi hiyo iko mbele ya jopo la mahakimu watatu ambao ni bwana samwel karua bwana elvin mugeta na bibi beatrice UNK
mfanyabishara huyo alisisitiza kuwa UNK bali alipewa karatasi tupu na kutakiwa kusaini bila kufahamu ni kitu gani UNK
akielezea siku ya tukio alisema alipigiwa simu na ssp salum kisai ambaye alimtaka kufika katika ofisi za tume hiyo na alifika hapo oktoba kumi mwaka jana kutekeleza agizo la mpelelezi huyo
alidai kuwa baada ya kufika hapo aliambiwa na bwana kisai kuwa anahitaji kufanya marekebisho machache kwenye maelezo ya tuhuma zake hivyo alimpa karatasi tupu UNK na baadaye mpelelezi huyo UNK maelezo
alidai kuwa kabla ya kutia saini aliruhusiwa kwenda msikitini kuswali hivyo aliondoka kuelekea maeneo ya mikocheni dar es salaam
sitasahau katika maisha yangu ni tukio la ajabu ambalo UNK nikiwa msikitini alikuja ofisa mmoja wa tume na kunitaka niende ofisi zao huku mtoa hotuba akiwa amepanda eneo la kutolea hotuba hiyo kwa waislam ndicho kitu muhimu sana alidai bwana UNK
alidai kuwa baada ya kufika katika tume hiyo alipewa karatasi zile zile na kuambiwa asaini ili aweze kuwahi UNK
kutokana na maelezo hayo alikanusha kutoa maelezo hayo kwa mdomo wake na kudai kuwa ushahidi wote uliotolewa na ssp kisai hauna ukweli wowote
bwana farijala alikuwa akitoa ushahidi kwa ajili ya kuthibitisha madai ya kuchukuliwa maelezo ya onyo bila kufuata taratibu za kisheria lakini pia kuhamishwa kwa maelezo hayo kutoka kesi nyingine kwenda kesi ya kampuni ya mibare farm
baada ya kumaliza kutoa ushahidi huo mahakama hiyo itatoa uamuzi wa kupokea maelezo yake au la kutokana na ushahidi wa pande zote mbili
uamuzi huo unatolewa leo mahakamani hapo
washitakiwa hao ni bwana hussein bwana rajab maranda bwana ajay somani bwana imani mwakyosa bibi ester komu na bibi sophia UNK ambao wote kwa pamoja wanadaiwa kuiba jumla ya shilingi bilioni tatu nane kutoka bot baada ya kughushi mkataba wa makubaliano wa kuhamishiwa deni na kampuni ya lakshimi textile co
ltd ya india kwenda kwenye kampuni ya washitakiwa hao ya mibare farm
sitta UNK busara kumnusuru mkulo na john daniel dodoma spika wa bunge bwana samwel sitta jana aliokoa kuzama jahazi la waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo baada ya kutumia busara kulainisha wabunge kwa kunukuu ibara ya tisini kifungu cha pili sehemu b ya katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania na kufanikis...
busara hizo za spika sitta UNK na wachambuzi wa masuala ya kisiasa kuwa UNK ili kumwokoa bwana mkulo baada ya kuwepo wasiwasi wa uwezekano wa wabunge kukwamisha bajeti yake kutokana na vifungu kadhaa UNK na maslahi ya taifa
labda kwa kuwakumbusha tu waheshimiwa wabunge ni kwamba kinachoweza kumfanya mheshimiwa rais UNK bunge ni pamoja na hapa UNK ibara ya tisini kifungu cha pili sehemu b ya katiba UNK rais atalazimika kuvunja bunge iwapo UNK kupitisha bajeti iliyowasilishwa na serikali alisema spika sitta na kuongeza wala siyo hiari tena...
kutokana na utaratibu huo jumla ya wabunge mia mbili na ishirini na moja kati ya mia mbili na hamsini na sita waliopiga kura waliunga mkono hoja hiyo na thebathini na tatu kutoka kambi ya upinzani walikataa huku mbunge wa mkanyageni bwana mohamed habib mnyaa na bibi UNK emmanuel wote chama cha wanachi UNK na wenzao na...
awali akijibu hoja za wabunge bwana mkulo alionesha kutokuwa na ufumbuzi wa dukuduku lao hususan kwa hoja nzito UNK mjadala wakati wa kuchangia bajeti hiyo likiwemo suala la wapi serikali itapata pesa za kuziba pengo baada ya kurejesha msamaha wa kodi la ongezeko la thamani kwa taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikal...
kuhusu kuondolewa kwa kodi ya asilimi kumi katika mafuta ya kula yanayotoka nje alisema serikali haiwezi kurejesha kodi hiyo kwa kuwa ni matakwa ya jumuiya ya afrika mashariki na si tanzania pekee
hata hivyo bwana mkulo alidai takwimu za serikali zinaonesha kwamba tanzania bado ina upungufu mkubwa wa mafuta ya kula jambo ambalo UNK ukweli wa mambo
kuhusu bandari ya dar es slaam urasimu na utendaji usioridhisha ya kampuni ya ticts alisema serikali UNK kilio cha wabunge na kwamba UNK kazi kwa kufuata taratibu mbalimbali na kwamba haina taarifa kuhusu mashine za kupima kiasi cha mafuta yanayoingia nchini kushindwa kufanya kazi kama inavyotakiwa
akijibu hoja ya trl bwana mkulo alisema serikali ililazimika kubeba deni lote la lililokuwa shirika la reli tanzania baada ya kuonekana haliwezi kuendelea kupatiwa huduma ya mafuta kutokana na deni hilo kubwa na kuahidi uboreshaji wa njia ya kati ya reli pamoja na njia ya isaka ambazo ni muhimu kwa maendeleo ya taifa
akizungumza na gazeti hili kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni bwana hamad rashid mohamed alitaja sababu kuu sita UNK wakatae bajeti hiyo kuwa ni pamoja na serikali kutoonesha kiasi cha fedha za kulipa fidia kwa wakulima walioathirika na mtikisiko wa uchumi duniani huku UNK kwa wafanyabiashara kutengewa mabilioni kw...
sababu nyingine ni bunge kutopewa taarifa ya utekelezaji wa ahadi ya rais kikwete ya mwaka ishirini sifuri tano UNK kuwa serikali ingepitia mikataba yote ya madini kisha kuwasilisha taarifa hiyo bungeni lakini hadi sasa hakuna UNK
alitaja sababu nyingine kuwa ni sekta ya kilimo kutengewa shilingi milioni sabini sifuri tu kwa ununuzi wa matrekta wakati bajeti ina kaulimbiu ya kilimo kwanza alipoulizwa hatua zitakazochukuliwa kwa wabunge wao UNK na kuunga mkono bajeti hiyo huku wakiwa UNK msimamo wa pamoja kuikataa alisema safari hii UNK tu shili...
inadaiwa zaidi ya bilioni thebathini na tisa zilizokutwa ni bilioni kumi na nne tu
serikali UNK hata senti wakati viongozi wa kampuni ya development entrepreneurship community initiative wakizidi kusota rumande serikali imetoa tamko rasmi kuhusu upatu huo na kuonesha kutokuwepo matumaini washiriki kurejeshewa mbegu zao mapema
mbali na hilo serikali imebainisha kwamba haitatoa hata senti moja ya walipa kodi kufidia majeruhi wa upatu huo na jukumu hilo UNK na viongozi wa kampuni hiyo
tamko hilo la serikali limeonesha kwamba kampuni hiyo inadaiwa jumla ya shilingi bilioni thebathini na tisa mia mbili na sabini na mbili na washirika wake mia tatu na arobaini na tatu hamsini sifuri huku fedha halisi zilizokutwa kwenye akaunti yake ni shilingi bilioni mbili mia sita na ishirini na nne tu
akitoa tamko hilo kwa waandishi wa habari ofisini kwake jana waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo alisema juhudi za serikali kupitia kamati maalum iliyoundwa aprili kumi na tisa mwaka huu kuchunguza kampuni hiyo zimefanikiwa kunasa shilingi bilioni kumi na moja mia nane na ishirini na nane nyumbani kwa viongo...
hapa natoa muhtasari tu wa taarifa hiyo lakini kuna mengi yasiyofaa kamati maalum imebaini shilingi bilioni mbili mia sita na ishirini na nne zilizokutwa kwenye akaunti mbalimbali zinazomilikiwa na deci wakurugenzi wake pamoja baadhi ya viongozi wengine
jumla ya shilingi bilioni kumi na moja mia nane na ishirini na nane zilizokuwa nje ya mfumo wa kibenki zilipatikana na kuwekwa kwenye akaunti maalum fedha hizi zilipatikana majumbani na ofisini katika matawi mbalimbali ya kampuni
jumla ya fedha za deci UNK katika benki mbalimbali ni shilingi bilioni kumi na nne mia nne na hamsini alisema bwana mkulo na kuongeza uchunguzi wa awali umebaini kuwa deci inadaiwa jumla ya shilingi bilioni thebathini na tisa mia mbili na sabini na mbili na washiriki wake wapatao mia tatu na arobaini na tatu hamsini s...
alisema kutokana na takwimu hizo za awali inakadiriwa kuwa wapo watu ambao tayari walivuna na bado wakaendelea kupanda na wanategemea kuvuna tena UNK katika orodha hiyo hivyo kuweka wazi kwamba deni halisi ya deci ni kubwa zaidi kuliko shilingi bilioni thebathini na tisa mia mbili na sabini na mbili linalojulikana kwa...
jinsi na namna ya washiriki wa deci UNK fedha zao ni busara UNK kesi ya viongozi iliyoko mahakamani imalizike alisema bwana mkulo
alisisitiza kwamba shughuli za deci zilikuwa haramu na kwamba viongozi wake wanawajibika kuwalipa fedha zao zote washirika wao kwa kuwa walikuwa wakiendesha biashara ambayo ni kinyume cha sheri za nchi
alipoulizwa kama serikali itawasaidia wananchi hao kupata fedha zao wakati kesi UNK au baada ya kumalizika endapo viongozi wao watashindwa kufanya hivyo alisema serikali haiwezi kufanya hivyo hata siku moja hakuna fedha za walipa kodi zinazoweza kuchezewa mtu UNK hela za watu kisha UNK hapana
alisema na kuongeza nawaomba mtambue kwamba tumelazimika kutoa taarifa hii kwa kuwa inatokana na na kamati maalum iliyoundwa na serikali lakini sitaki kuzungumzia suala hili kwa undani tusije UNK mahakama lakini ninachoweza kuwaambia ni kuwa msimamo wa serikali ni kwamba viongozi hao lazima walipe fedha za wananchi ha...
wakati huo huo grace michael na shukrani kawogo wanaripoti kuwa wanachama wa deci waliokamatwa juzi mahakama ya hakimu mkazi kisutu wakijaribu kufanya maandamano ya kushinikiza UNK viongozi wao wamefikishwa mahakamani
watuhumiwa hao walifikishwa jana mahakamani hapo wakikabiliwa na kosa moja la kufanya mkusanyiko isivyo halali ambapo walisomewa mashitaka mbele ya hakimu mkazi bwana michael mteite
washitakiwa hao ni bwana isaack kilage ambaye ni mchungaji wa kanisa la pentekoste bwana swamwel mathias ambaye ni mwinjilisti wa kanisa hilo bibi neema rajab mkazi wa mabibo na bwana michael saimon ambaye ni mfanyabiashara
wakisomewa mashitaka na inspekta wa polisi bibi UNK mkonyi walidaiwa kuwa siku ya jumatano wakiwa mahakamani hapo walifanya mikusanyiko isiyo halali na kufanya kuwepo kwa uvunjifu wa amani katika eneo hilo
washitakiwa wote kwa pamoja walikana kutenda kosa ambapo upande wa mashitaka uliiambia mahakama kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika na hauna pingamizi lolote la dhamana
hata hivyo washitakiwa hao hawakuweza kuwa na wadhamini wa UNK kwa muda huo hivyo walirejeshwa rumande mpaka julai mbili mwaka huu kesi hiyo itakapokuja kwa ajili ya kutajwa
aisha UNK na aziza masoud makamu wa rais daktari ali mohamed shein amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa kujituma na kuzingatia maadili ili kuleta ufanisi
akizungumza jana katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma barani afrika katika viwanja vya mnazi mmoja dar es salaam daktari shein alisema utumishi wa umma ni kazi ya wito hasa katika kutoa huduma kwa jamii
aliongeza kuwa rasilimali watu ni muhimu katika utumishi wa umma kwani ni nyenzo ya msingi yenye thamani kubwa katika kuleta maendeleo endelevu ushindani katika kuvutia utoaji huduma upungufu wa bajeti na mwingiliano wa itikadi ni baadhi ya changamoto UNK alisema daktari shein
awali akimkaribisha daktari shein waziri wa nchi ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma bibi hawa ghasia alisema madhumuni ya wiki hiyo ni kuimarisha na kuboresha utoaji huduma kwa wananchi wa afrika
maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma barani afrika yalianza juni kumi na tano hadi kumi na tisa mwaka huu na kitaifa yanaendelea hadi juni ishirini na tatu mwaka huu
kaulimbiu ya mwaka huu ni kuimarisha ushirikiano thabiti baina ya serikali na wadau katika kuleta huduma na maendeleo endelevu barani afrika
grace michael na shukrani kawogo kesi inayowakabili mawaziri waandamizi wa serikali ya awamu ya tatu bwana basil mramba na bwana daniel yona ya kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni kumi na moja saba inaanza kuunguruma kwa usikilizwaji wa awali julai ishirini hadi ishirini na nne mwaka huu
hatua ya kuanza kusikilizwa kesi hiyo ilijulikana jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya hakimu bwana saul kinemela wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa
usikilizwaji wa awali umepangwa kwa muda wa siku tano mfululuzo mbele ya jopo la mahakimu watatu ambao ni bwana john utamwa bwana kinemela na bibi fatuma masengi ambapo upande wa mashitaka UNK kuanika ushahidi wote UNK kuutumia kuthibitisha makosa ya washitakiwa hao
UNK kesi hiyo upande wa utetezi kupitia wakili wake bwana peter swai ulitaka kuwasilisha maombi mawili likiwemo la kusafiri kwa mshitakiwa bwana yona hata hivyo mahakama haikuwa tayari kupokea maombi hayo kwa kuwa jopo lilikuwa UNK
kutokana na UNK jopo hilo wakili huyo alitakiwa kufanya maombi yake kwa barua ili jopo liweze kukutana na kutoa uamuzi wa maombi yake
mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo ambaye ni bwana mramba alilazimika kuacha kikao cha bunge kwa ajili ya kuhudhuria kesi yake
mshitakiwa mwingine ni bwana gray mgonja ambaye alikuwa katibu mkuu wizara ya fedha na uchumi ambapo wote kwa pamoja wanadaiwa kuwa mei ishirini na nane ishirini sifuri tano walisaini mkataba wa kuongeza muda wa uzalishaji wa madini na kampuni hiyo kinyume na sheria ya manunuzi na madini
shitaka la mwisho linawakabili washitakiwa wote ambapo UNK kuwa kati ya kipindi cha mwaka ishirini sifuri tatu hadi ishirini sifuri tano kwa kutumia vibaya madaraka yao UNK hasara kwa serikali ya shilingi bilioni kumi na moja saba yapinga tamko la kamati edmund mihale na salum pazzy siku moja baada ya waziri wa fedha ...
viongozi kamati ya muda ya washiriki wa deci waliokutana jana makao makuu ya kampuni hiyo mabibo dar es salaam kujadili taarifa hiyo walisema sasa wanajipanga upya kudai mbegu zao na kuwataka washiriki wote wa upatu huo kuendelea kukusanyika ofisini hapo kuweka mikakati
akizungumza na gazeti hili mwenyekiti wa kamati hiyo bwana rafael UNK alisema taarifa hiyo haikuzingatia lengo kamili la kuundwa timu ya serikali kuchunguza sakata hilo
tunashindwa kuelewa tamko lililotolewa jana na serikali timu iliundwa kujua uhalali wa uendeshaji wa shughuli za deci na hatima ya fedha si kueleza upungufu wa fedha katika akaunti za deci alisema bwana mgovano
alisema UNK wao ni kusomewa madhara ambayo yangetokea kutokana na upatu huo na usalama UNK zao
alisema UNK kuona bwana mkulo akieleza upungufu kwenye amana za deci kwani hakuna mwanachama yeyote aliyelalamika wala kuwa na shaka hilo
sidhani kama lengo la washiriki lilikuwa kuunda tume ambayo ilitumia fedha za walipa kodi wa nchi hii kuelezea upungufu ambao ni nje ya lengo UNK kwani hakuna mshiriki aliyelalamika kuhusu kunyimwa mbegu hizo alisema bwana mgovano
alisema kamati ya UNK UNK na serikali kwa uamuzi wake wa kuwakamata na kuwafungulia mashitaka viongozi wa kampuni hiyo kama walikiuka sheria katika uendeshaji wa kampuni yao
alisema jambo la kushangaza ni hatua ya serikali kufunga akaunti za deci hadi hapo kesi hiyo itakapomalizika kwani hakuna uhusiano kati ya kesi inayowakabili viongozi na mbegu zao
aliongeza kuwa kufanya hivyo ni sawa na kuhujumu uchumi wa wananchi walipanda mbegu katika kampuni hiyo kwani fedha hizo UNK kama ilivyopangwa na kamati ili ziendelee kutumika katika mzunguko
alifafanua kuwa kama serikali imeamua kuweka kidhibiti cha kesi hiyo ingechukuwa fedha hizo na kurudisha kwa washiriki ili kupunguza makali ya maisha wanayopata
alisema hakuna uhusiano kati ya kesi iliyopo mahakamani na madai ya washiriki wa kampuni hiyo kwani wenye jukumu la kufungua kesi ya madai ni washiriki dhidi ya viongozi wao
alisema hata hivyo hawaoni sababu ya kufanya hivyo kwa kuwa viongozi hao hawajatoa kauli ya kushindwa kulipa fedha zao
aliitaka serikali kufungua akaunti hiyo ili washiriki wapate hoja ya kudai fedha zao kutoka kwa viongozi hao ambao hadi sasa wako mahabusu alisema wanachama wa deci hawaamini kauli iliyotolewa na bwana mkulo kuweka fedha katika akaunti ya maalumu ya benki kuu ya tanzania kwa kuwa huko ndiko wizi fedha nyingi UNK mfano...
tamko la serikali lililotolewa juzi na bwana mkulo lilieleza kuwa deci inadaiwa zaidi ya shilingi bilioni thebathini na tisa na washiriki na pesa zilizopatikana ni shilingi bilioni kumi na nne tu sawa na asilimia arobaini siku moja baada ya bunge kupitisha bajeti ya serikali waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mku...
uamuzi wa serikali kufuta kodi hiyo unatokana na msimamo wa nchi wanachama wa jumuiya ya afrika mashariki lakini hata hivyo jambo hilo limezua mjadala mkali bungeni baada ya wabunge kutaka kurejeshwa kodi hiyo ili kulinda viwanda vya ndani hususan kuwanusuru wakulima wa zao la UNK
akichangia mjadala wa muswada wa sheria ya fedha ya mwaka ishirini sifuri tisa mbunge wa kibaha mjini daktari zainab gama alieleza kusikitishwa na uamuzi wa bwana mkulo kukubali kufuta kodi hiyo bila kujali maslahi ya watanzania kwanza
mheshimiwa mwenyekiti nimesikitika sana
naongea kwa uchungu sana
mawaziri wote wa fedha waliotangulia walikataa hili mfano dada yangu zakia meghji lakini yeye peke yake anakuja tu anakubali katika mazingira ya kawaida mtu anaweza kusema kala rushwa
viwanda vyetu vya ndani UNK UNK haki wakulima wa alizeti kama wapo wakulima wa alizeti jimboni mwake wanamsikia
wakulima wote wa tanzania wanamsikia
waziri alisahau kwamba sisi ndio tunazalisha alizeti zaidi kuliko wenzetu
alihoji daktari gama
alisema mtu yeyote UNK tanzania katika jumuiya yoyote ikiwemo ya afrika mashariki lazima atambue kwamba hakuna jumuiya husika bila taifa la tanzania kikubwa cha kwanza ni kujali maslahi ya watanzania kabla ya uamuzi wowote
alisema serikali ya ccm kupitia ilani yake ina nia nzuri na wananchi wake lakini wapo baadhi ya watendaji wanaotoa maamuzi yanayokwamisha azma ya kuboresha maisha ya wananchi na kuwataka wabunge wenzake kutokubali kupitisha jambo lolote hususani la kisheria bila kupata ushauri wa kitaalamu
lakini UNK sisi wabunge UNK mtu mmoja power kutoa maamuzi hata kama yana athari kwa taifa
tusikubali kutoa maamuzi bila ushauri wa wataalamu naomba UNK UNK sisi wabunge wote wazoefu ukiachilia wageni UNK sheria hii ya kumpa waziri power ya kuamua jambo
alisema daktari gama
mbunge huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa wabunge wanaopiga vita rushwa alimtaka waziri mkulo kulieleza bunge kama serikali imetenga fedha za kuwalipa fidia wakulima watakaoathirika na uamuzi huo iwapo bei ya mazao yao hususan alizeti UNK
pia alimgeukia waziri mkuu bwana mizengo pinda na kuhoji sababu iliyofanya serikali kusikiliza kilio cha viongozi wa dini kuhusu msamaha wa kodi ya ongezeko la thamani kwa taasisi zao huku UNK kilio cha wakulima kuhusu kodi ya mafuta
wabunge wamelalamika kuhusu kuondoa kodi ya asilimia kumi hadi sifuri kwenye mafuta ya kula na UNK lakini viongozi wa dini UNK au kwa kuwa waziri mkuu anaogopa laana zao
viongozi UNK kwamba hata wakulima wana UNK
alionya daktari gama
akizungumza na majira nje ya ukumbi wa bunge mbunge huyo alisema bunge lilifanya makosa makubwa kwa kukubali kupitisha itifaki ya jumuiya ya afrika mashariki na sheria namba mia moja na arobaini kifungu cha kumi na mbili kumi na saba na kumi na tisa UNK mamlaka waziri wa fedha kutoa maamuzi mazito peke yake
hivi sasa hizi kampuni UNK kuanza kuzalisha mafuta mengi katika nchi jirani kisha tanzania inakuwa soko kuu wamefanya hivyo baada ya kuona wakulima wa tanzania wanazalisha alizeti kwa wingi na watakosa soko maana UNK nchi yetu kuwa dampo la bidhaa zao sasa hili waziri UNK
alihoji daktari gama na kuitaka serikali kufanya maamuzi mapya juu ya suala hilo kwa manufaa ya watanzania kwanza
alisema uchunguzi unaonesha kwamba hakuna mafuta ghafi yanayotoka nchini indonesia wala malysia kama inavyodaiwa na serikali badala yake nchi jirani wanaingiza mafuta ya kula kupitia mwanya huo
akizungumza na waandishi wa habari nje ya bunge bwana mkulo alikanusha tuhuma za kupokea rushwa na kueleza kwamba yeye kama waziri hawezi UNK mtu kutoa hisia zake na kuongeza kwamba UNK rushwa ndiye anatakiwa kuchunguzwa kwanza
siwezi kuzua mtu kutoa hisia zake watu wakitaka kuzungumza waache wazungumze ila hao wanaozungumza sana rushwa ndio wanatakiwa UNK kwanza alisema bwana mkulo na kuongeza kwanza kufuta hiyo kodi ya asilimia kumi si maamuzi ya mkulo kila waziri anapokwenda katika kile kikao cha baraza la mawaziri wa afrika mashariki ana...
yale ni maamuzi ya baraza la mawaziri la tanzania siwezi tu kutoa hoja zangu na nikasema kama UNK mimi hapana alisema bwana mkulo