text
stringlengths
1
1.32k
alifafanua kuwa hata UNK marekani kuzungumza na benki ya dunia hawezi kusema lolote ambalo UNK na baraza hilo na kusisitiza kwamba takwimu za serikali zinaonesha kwamba tanzania haina uwezo wa kuzalisha mafuta ya kutosha kwa kuwa inazalisha asilimia tano hadi kumi tu ya mbengu za mafuta ya kula
alipoulizwa kama serikali itafanya utafiti upya juu ya suala hilo ili kuondoa utata alisema utafiti UNK na wizara ya viwanda na biashara kilimo chakula na ushirika cti na kuonesha hatuna mbegu za kutosha kuzalisha mafuta ya kula ndio maana nchi zote za afrika mashariki tukakubaliana kufuta kodi hiyo alisema
alipoulizwa kuhusu taarifa kwamba watendaji kadhaa wa kampuni kubwa zinazozalisha mafuta ya kula nje ya nchi na kuingiza pamoja na mawakala wa viwanda vya nje UNK soko la tanzania UNK wawakilishi kumwona kuhusu suala hilo ili UNK uamuzi huo UNK na mawaziri wenzake alikanusha taarifa hizo kuwa si za kweli
si kweli kwamba wenye viwanda hivyo vya bidco mohamed enterprises tanzania limited na zakaria walikuja kwangu hapana labda kama UNK na mtu mwingine si mimi alisisitiza bwana mkulo
aliwashauri watanzania kuelewa kwamba mbali ya UNK ya afrika mashariki kuwa na faida nyingi pia watambue kwamba hakuna safari isiyokuwa na mawimbi na kutoa mfano kwamba hata mtu UNK ndege kuna mawimbi yanayosababisha ndege kuyumba angani
awali akiwasilisha maoni ya kambi ya upinzani kuhusu muswada huo mbunge wa viti maalum bibi magdalena sakaya alisema bado kambi hiyo inasisitiza umuhimu waserikali kufuta misamaha ya kodi kwa kampuni zote za madini badala ya kueleza kwamba inaendelea kufanya mjadala na kampuni hizo ili kuona uwezekano wa kuondoa msama...
kikao UNK na israel mwaisaka mbeya jinamizi la kuchapana makonde katika vikao vya chama cha mapinduzi wilayani kyela bado UNK chama hicho kwa halmashauri kuu ya kata ya kyela mjini jana kushindwa kufikia muafaka baada ya wajumbe kutofautiana na kuanza kuchapana makonde na kusababisha kikao UNK
kikao hicho kilikuwa na agenda moja ya kutoa taarifa ya maamuzi yaliyotolewa na halmashauri kuu ya ccm mkoa ya kuwarudisha kazini makatibu kata waliokuwa UNK kazi baada ya kumpiga katibu wa wilaya wa ccm ambapo mmoja ya makatibu kata hao ambaye ni katibu wa kata hiyo ya mjini bwana grayson mwaikambo UNK
baada ya mwenyekiti wa ccm wa kata hiyo bwana shabani mwambambale kuwasomea maamuzi yaliyotolewa na halmashauri kuu ya mkoa ya kutaka katibu wao bwana mwaikambo kurejeshwa kazini rasmi na kukabidhiwa funguo za ofisi hiyo wajumbe walianza kupinga uamuzi huo
malumbano yalizidi kuwa makali ambapo kila kundi UNK msimamo wake ambapo UNK na hoja mbili nzito za kukubaliana na maamuzi ya mkoa na lingine kukataa maamuzi hayo
baada ya malumbano hayo kutoelewana walianza kuchapana makonde mazito ndani ya kikao hicho na kusababisha kikao hicho kuvunjika bila ya kufikia hitimisho ambapo kila mjumbe alikuwa akitafuta eneo la kutokea baada ya vurugu kuanza
mmoja wa wajumbe hao bwana UNK mwambingu alipohojiwa kuhusiana na hali hiyo alisema kuwa UNK katika kikao hicho kilikua ni maamuzi ya wanachama kwenye matawi kufuatia ziara waliyoifanya hivi karibuni na si maamuzi yao
alisema yeye binafsi hakuona sababu ya wajumbe kufikia hatua hiyo ya kuchapana makonde bali kilichotakiwa ni kushindana kwa hoja na UNK hitimisho zuri
mwenyekiti wa kata hiyo bwana shabani mwambambale ambaye alikimbia na kwenda kujificha alisema yeye kama mwenyekiti na kwa kuwa kikao UNK tamati kwa sababu ya vurugu amemuamuru katibu mwenezi wa kata hiyo bwana richard UNK kuendelea kukaimu nafasi hiyo ya ukatibu kata hadi hapo suluhisho UNK
ni UNK ajira za wazawa nchini
wamo wachina wanaouza maua kariakoo na reuben kagaruki timu ya kikosi kazi inayoundwa na maofisa wa mamlaka ya mapato tanzania kituo cha uwekezaji tanzania idara ya kazi leseni na idara uhamiaji imeanza msako dhidi ya wawekezaji ambao uwekezaji wao unaenda kinyume na vibali UNK
msako huo ambao pia unawahusu wageni wanaofanya kazi ambazo zingeweza kufanywa na wazawa UNK na ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar es salaa bwana william lukuvi
hatua hiyo ni utekelezaji wa maelekezo ya rais jakaya kikwete aliyotoa hivi karibuni ya kutaka vibali vya wageni wanaofanya kazi nchini UNK ili kubaini wanaofanya kazi ambazo zingefanywa na watanzania
akizungumza na majira jumapili kwenye maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma yanayoendelea viwanja vya mnazi mmoja ofisa mwandamizi wa idara ya uhamiaji alisema kwa kuanzia kikosi kazi hicho UNK operesheni hiyo mkoani dar es salaam
hivi UNK kikosi kazi kipo kazini na UNK kazi matokeo yatatangazwa alisema ofisa huyo
msako huo unafuatia baadhi ya wawekezaji kuonekana katika maeneo mbalimbali wakifanya biashara ndogo ndogo kinyume na vibali walivyopewa na tic kwa ajili ya uwekezaji
mmoja wa maofisa wa tic aliyezungumza na gazeti hili alisema wao hawajawahi kutoa vibali kwa mwekezaji kwa ajili ya kuuza maua maeneo ya kariakoo
kila ukipata kariakoo unasikia raia wa china akitangaza biashara ya maua
lakini sidhani kama uwekezaji wao ni wa kuuza maua UNK baada ya kikosi kazi kuleta majibu alisema ofisa huyo
uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa katika maeneo ya kariakoo wamejaa raia wa chini na wengine kutoka bara ya asia wanaofanyabiashara ndogo ndogo kama kuuza maua ambazo zingeweza kufanywa na wamachinga wa tanzania
uchunguzi zaidi UNK kuwa hata kwenye hoteli za kitalii za hapa nchini wapo raia wa kigeni ambao wanafanyakazi zikiwemo za UNK ambazo zingefanywa na wazawa
kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya habari hatua hiyo ni kinyume na sheria za idara ya kazi ambazo zinaelekeza kuwa wageni wataajiriwa kufanyakazi hapa nchini katika maeneo ambayo ni ya kitaalam na wazawa hawawezi kufanya
vyanzo hivyo UNK kuwa wageni hao wanaruhusiwa kufanyakazi hiyo kwa mkataba wa miaka miwili na wakati huo huo UNK wazawa ili wakiondoka kazi zao zifanywe na wazawa
mmoja wa maofisa wa idara ya uhamiaji aliyezungumza na gazeti hili alisema watanzania wengi wanadhani idara yake inahusika na utoaji vibali kwa ajili ya wageni kufanyakazi nchini
alisema wao kazi yao ni kutoa vibali vya ukazi baada ya wawekezaji hao na wageni wanaokuja kufanyakazi nchini kupata vibali vyao kutoka idara husika
wajibu wetu ni kutoa vibali vya ukazi baada ya kupata maelekezo kutoka mamlaka husika alisema
alitoa mfano akisema mamlaka zinazohusika na utoaji vibali ni tic idara ya ajira na nyingine zinazowahusu watafiti wanafunzi wamisionari na wengine
alisema mamlaka hizo UNK vibali UNK ya uhamiaji huwa ni kuwapatia wahusika vibali vya UNK
naye peter masangwa anaripoti kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi amethibitisha kuwa kikosi kazi hicho kinaendelea na msako dhidi ya wawekezaji na wafanyakazi wa kigeni ambao wanakiuka taratibu za vibali vyao
hata hivyo bwana lukuvi alikataa kuzungumzia suala hilo kwa undani kwa kile alichoeleza kuwa endapo akifanya hivyo ndege wake wataweza kukimbia
mfanyakazi wa bustani ya viwanja vya maonesho ya biashara ya kimataifa ya mwalimu j nyerere yaliyoko barabara ya kilwa dar UNK salaam bwana elvis joseph UNK bustani hiyo jana ikiwa ni maandalizi ya maonesho hayo yatakayoanza hivi karibuni jijini
UNK kumfuata dodoma kesho
wanapinga vat katika mali ghafi
wasema dawa UNK watanzania hotuba ya bajeti ya serikali iliyosomwa bungeni wiki iliyopita na waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo inazidi UNK waziri huyo ambapo safari hii wenye viwanda vya kutengeneza madawa ya binadamu nchini UNK serikali iangalie upya utaratibu unaowataka wafanyabiashara hao kulipa kodi ya...
tayari wafanyabiashara hao UNK bwana mkulo barua ya kutoridhika na utaratibu huo ambapo kesho wanatarajiwa kutinga bungeni dodoma kuelezea kilio chao kwake
wanaamini kuwa kama ambavyo serikali imekuwa ikisisitiza kuwa UNK maoni ya wananchi UNK marekebisho mara moja kwa kuacha utaratibu wa zamani uendelee
habari zilizopatikana jijini dar es salaam jana zinaeleza kuwa wafanyabiashara hao wanapinga utaratibu huo ambao wanadai kuwa unalenga kuua viwanda vya ndani kwa UNK na UNK wa dawa kutoka nje ya nchi ambao UNK kodi
chini ya utaratibu huo wanatakiwa kulipia vat kwa mali ghafi zinazoingizwa kwa ajili ya kutengenezea dawa na baadaye kurejeshewa kodi baada ya kuzalishwa kwa bidhaa na kuuzwa
wanalalamika kwamba utaratibu huo UNK wenye viwanda kukopa benki ili kulipia kodi hiyo
wamesema kwa kuwa zoezi la uzalishaji na kusambaza bidhaa zao sokoni huchukua zaidi ya miezi sita huku wakilazimika kulipa riba kwenye mabenki jambo ambalo UNK viwanda hivyo kuongeza bei ya dawa
kwa mujibu wa wafanyabiashara hao athari kubwa zaidi kwao inatokana na hatua ya serikali kufuta ushuru wa forodha kwa dawa zinazoingizwa kutoka nje na hivyo kuzifanya dawa hizo kuuzwa kwa bei rahisi kuliko zile UNK nchini chini ya utaratibu huu mpya
hakuna tofauti na utaratibu unaolalamikiwa wa viwanda vya mafuta ila viwanda vyetu UNK na maisha ya watanzania wengi ambapo ilitakiwa serikali iendelee UNK ili wananchi wengi waweze kupata dawa kwa bei rahisi hivyo si wenye viwanda tu ndio watakaoathirika bali hata kwa wananchi wa kawaida ambao ni wengi alisema mwenye...
malalamiko haya yanaifanya serikali kuendelea kusakamwa na wadau mbalimbali wanaochangia mapato ya ndani na UNK waziri mkulo ambaye alionesha amedhamiria kufanya mabadiliko makubwa katika UNK kodi na hivyo kujikuta kwenye wakati mgumu
hivi karibuni rais jakaya kikwete alilazimika kuingilia kati kwa kutengua utaratibu ambao ulilenga kuondoa msamaha wa kodi kwa asasi za kidini baada ya viongozi wa dini UNK juu bwana mkulo wakitaka serikali UNK uamuzi wake ili waendelee kuchangia juhudi za serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi
juzi mbunge wa kibaha bibi zainab gama alimshambulia bwana mkulo bungeni akisema kwamba ni msaliti anayeweza kuuza nchi kutokana na kitendo chake cha kuondoa ushuru wa forodha wa asilimia kumi unaotozwa kwenye mafuta UNK ya kula ya UNK akisema kwamba hatua hiyo inalenga kuua wazalisha wa ndani wa bidhaa hiyo
mwanariadha maarufu nchini fabian joseph ameibuka kinara katika mashindano ya riadha ya dar es salaam vodacom nusu marathon kwa kutumia muda wa saa moja tatu arobaini na sita yaliyofanyika jana kwenye uwanja wa uhuru dar es salaam
kwa ushindi huo joseph amekabidhiwa fedha taslimu shilingi milioni moja ambapo mgeni rasmi alikuwa ni naibu waziri wa habari utamaduni na UNK joel bendera ambaye alimpongeza mwanariadha huyo kwa ushindi UNK
nafasi ya pili ilichukuliwa na martine sule ambaye alitumia muda wa saa moja nne kumi na nne na kupata zawadi ya shilingi sitini sifuri sifuri sifuri sifuri nafasi ya tatu ilichukuliwa na dickson marwa ambaye alitumia muda wa saa moja nne ishirini na nne na kukabidhiwa shilingi mia nne na hamsini sifuri sifuri sifuri ...
kwa upande wa wanawake nafasi ya kwanza ilichukuliwa na sarah ramadhani ambaye alitumia muda wa saa moja kumi na tano arobaini na nane na kuondoka na shilingi milioni moja na nafasi ya pili ilikwenda kwa mkenya UNK UNK ambaye alitumia muda wa moja kumi na tisa arobaini na nane ambaye alipata shilingi sitini sifuri sif...
nafasi ya tatu ilikwenda kwa banuela brighton aliyetumia muda wa moja ishirini hamsini na saba na kujinyakulia shilingi mia nne na hamsini sifuri sifuri sifuri nafasi ya nne ilichukuliwa na UNK UNK ambaye alitumia muda wa moja ishirini na mbili arobaini na saba na nafasi ya tano ikienda kwa asha abdala ambaye alitumia...
moto mkubwa umezuka na kuteketeza mali katika nyumba mbili zenye vyumba kumi na nne kati ya hivyo vikiwemo vya kuishi maduka ya vyakula saluni vinywaji na sehemu ya UNK
tukio hilo lilitokea jana saa tisa alfajiri kivule kitunda ilala dar es salaam baada ya moto huo kuzuka katika chumba kimoja kilichokuwa UNK UNK UNK za magari na kusambaa vyumba vingine
kwa mujibu wa mlinzi wa eneo hilo bwana UNK siasa kabla ya moto huo kuenea moshi mzito ulionekana katika chumba hicho na kusambaa kwenye vyumba vingine
bwana siasa alisema walipiga simu kuomba msaada wa gari la zima moto uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere na halmashauri ya jiji lakini yalifika kwa kuchelewa
mmoja wa waathirika alisema baada ya kusubiri magari hayo bila mafanikio moto huo UNK kasi hata magari hayo yalipofika hayakuwa na maji ya kutosha hivyo kulazimika kuondoka kwenda kujaza maji mengine
UNK simu lakini hawakuonekana mapema hata walipofika walizima kidogo wakasema maji yamekwisha alisema mwanamke mmoja aliyekataa kutaja jina lake akidai anaogopa ushahidi
mmliki wa nyumba hizo bwana ferdnand UNK alisema zimeteketea kabisa zikiwemo mali za wapangaji wa maduka
hadi sasa thamani ya mali hizo haijafahamika
alisema katika nyumba hizo kulikuwa na wapangaji watatu waliokuwa wakiishi na familia zao na sasa hawana mahali pa kuishi kutokana na janga hilo
kamanda wa polisi mkoa wa ilala bwana faustine shilogile hakupatikana jana kueleza tukio hilo na hasara hasara iliyopatikana kutokana na tukio hilo
kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini kutoka mahenge morogoro inayomkabili aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdallah zombe na wenzake inatarajia kumalizika wiki hii
kesi hiyo itasikilizwa alhamisi na ijumaa ijayo mahakama kuu ya tanzania mbele ya jaji salum massati ambapo upande wa mashitaka utakuwa na kazi nzito kufanya majumuisho na baada ya hatua hiyo jaji atatoa UNK
katika hatua hiyo wazee wa baraza nao watalazimika kutoa maoni yao kuhusu kesi nzima kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa kwa lengo la kusaidia mahakama hiyo kufikia uamuzi wa haki
usikilizwaji huo ambao umepangwa kwa siku mbili UNK kesi hiyo na kubakia hatua moja tu ya kutolewa hukumu ambayo siku yake UNK na mahakama hiyo
hatma ya kesi hiyo inasubiriwa kwa hamu na wananchi wengi kutokana mlolongo mzima wa kesi hiyo tangu UNK tukio la mauaji ya wafanyabiashara hao ambapo rais jakaya kikwete aliunda tume iliyoongozwa na jaji kipenka mussa kuchunguza
upande wa utetezi tayari ulifanya majumuisho yake ambapo kila mshitakiwa aliomba kuachiwa huru na mahakama kutokana na madai ya kutohusika na tukio hilo huku bwana zombe akidai kutolewa UNK
upande wa mashitaka ulifanikiwa kuwa na jumla ya mashahidi thebathini na tisa waliofika mahakamani hapo na kutoa ushahidi wao huku wengine UNK mahakama mahali UNK mauaji yalifanyika
kesi hiyo ilianza kuunguruma mwaka ishirini sifuri sita kwa hatua za awali katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu na baadaye kuhamishiwa mahakama kuu ya tanzania kwa ajili ya kusikilizwa
katika hatua ya utetezi washitakiwa hao walitofautiana wakati baadhi yao UNK tukio hilo wengine UNK tuhuma hizo wenzao na kuieleza mahakama namna UNK mauaji hayo UNK
washitakiwa katika kesi hiyo wanadaiwa kuwa januari kumi na nne mwaka ishirini sifuri sita wakiwa katika msitu wa pande ulioko mbezi luisi dar es salaam walimuua kwa makusudi bwana ephraim chigumbi bwana sabinusi chigumbi bwana juma ndugu na bwana mathias lukombe
washitakiwa hao ni bwana zombe bwana christopher bageni bwana ahmad makele wp elfu nne na mia tano na kumi na tatu jane d mia moja na arobaini sita mabula d elfu nane na mia mbili na themanini na tisa michael d mia mbili na thebathini sifuri abeneth d elfu nne na mia sita na hamsini na sita rajab na d elfu moja na mia...
chama cha nccr mageuzi kimesema UNK mgombea katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la biharamulo magharibi kwa kile ilichodai hujuma za chama cha demokrasia na maendeleo kurubuni wagombea wake
akizungumza dar es salaam jana mkuu wa idara kampeni na uchaguzi wa nccr mageuzi bwana faustin sungura alisema chama chake kimeamua kutoshiriki uchaguzi huo kwa hofu ya kuhujumiwa na chadema na kudai ina lengo la kugawana kura na chama cha mapinduzi na kunufaisha chama hicho
wapinzani UNK ili tuwe kitu kimoja lakini UNK sisi wenyewe sasa tutakuwa na uwezo upi wa UNK chama tawala madarakani umoja wetu UNK
alisema bwana sungura
alisema chama chake kilikuwa na wanachama wawili wenye uwezo wa kuchukua kiti hicho UNK wazi na marehemu phares kabuye ambao ni bwana mpeka UNK na bwana antony mbasa lakini baada ya chadema kubaini hilo UNK bwana mbasa na kuhama chama
aidha alidai kuwa viongozi wa chadema wanafanya ufisadi kuwarubuni viongozi wa vyama vya upinzani kuwataka kukiunga mkono chama chao kitendo UNK chuki na UNK
alisema kama chadema ingekuwa inataka kushirikiana na kambi ya upinzani ili kusimamisha mgombea mmoja ingefanya mazungumzo na viongozi wenzao badala ya kurubuni makada wa vyama vingine
mazungumzo ya nani aachiwe jimbo yalitakiwa kufanywa na kutiwa saini na viongozi wa vyama makao makuu kwa sababu hiyo mazungumzo ya nani aachiwe jimbo la biharamulo hayawezi kuwa halali kama yatakosa baraka za viongozi wa makao makuu alisema bwana sungura
majira lilipozungumza na ofisa habari wa chadema bwana david kafalila alikanusha shutuma hizo na kudai kuwa bwana mbasa aliamua kujiunga na chama chao baada ya operesheni sangara na si kurubuniwa na mtu yeyote
aliongeza kuwa waliamua kumsimamisha kugombea ubunge katika jimbo hilo baada ya kupata kura zaidi ya kumi sifuri dhidi ya wapinzani wake
tulikuwa na wagombea wanne yeye alipata nafasi ya kugombea baada ya kuwashinda wapinzani wake katika kura za maoni alisema bwana kafalila jimbo la biharamulo magharibi UNK uwakilishi tangu mwaka ishirini sifuri saba baada ya mahakama kuu kutengua matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi marehemu kabuye kupitia UNK
na aziza masoud mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahim lipumba amesema sababu kubwa iliyochangia kujiengua aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chama hicho bwana wilfred lwakatare ni UNK kushika kugombea nyadhifa mbalimbali ndani ya chama hicho
bwana lwakatare ambaye alijiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya cuf hivi karibuni wiki iliyopita akiwa bukoba alitangaza kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo
akizungumza dar es salaam jana katika kongamano la vijana wa cuf lililofanyika makao makuu ya chama hicho profesa lipumba alisema kutokana na mwanasiasa huyo kunyimwa nafasi za uongozi UNK na jambo hilo na kuchukua uamuzi huo
hiki ni chama sio taasisi lazima kuwe na mabadaliko ya uongozi pindi UNK kufanyika bwana lwakatare imeonesha dhahiri kuwa hakutaka mabadiliko ya uongozi yafanyike ndani ya chama alisema profesa lipumba
naye naibu katibu mkuu wa cuf zanzibar bwana juma duni haji akiwasilisha mada kwenye kongamano hilo aliwataka vijana wa cuf kuwa makini na kusimamisha wagombea wanaokubalika katika jamii na si katika chama tu
vijana wamekata tamaa na chama chao baada ya matokeo ya uchaguzi katika jimbo la busanda na magogoni lakini UNK na agenda zetu za kutaka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi tutafanikiwa alisema bwana duni
pamoja na serikali kutengua uamuzi wake wa kufuta msamaha wa kodi ya ongezeko la thamani kwa taasisi za dini na mashirika yasiyo ya kiserikali imedaiwa kuwa hatua hiyo ilitolewa kama adhabu kutokana na misimamo ya viongozi hao
chanzo chetu cha habari kimedai uamuzi huo ulichangiwa na kauli za viongozi wa dini kugusa masuala mbalimbali ya kisiasa hususan uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika mwakani
kauli zinazodaiwa UNK suala hilo ni pamoja na ile iliyotolewa hivi karibuni na kanisa katoliki kuanzisha programu maalumu kuelimisha waumini wake masuala mbalimbali ya demokrasia pamoja na namna ya kuchagua viongozi bora
nyingine ni ile iliyotolewa na maaskofu wa jumuiya ya kikristo tanzania kwenye mkutano wao mjini dodoma kuwataka waumini kujitokeza kupiga kura na kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu ujao mwakani
hatua ya kufutwa misamaha hiyo ya kodi ya kwa taasisi hizo ilitangazwa na waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo UNK bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha ishirini sifuri tisa kumi mapema mwezi huu mjini dodoma
hatua hiyo iliibua malumbano makubwa ndani ya jamii na kusababisha viongozi wakuu wa kidini nchini kukutana na serikali na hatimaye uamuzi huo kutenguliwa siku moja kabla ya kufanyika majumuisho na kupitisha kwa bajeti hiyo
hatuelewi jambo hili UNK wapi