text
stringlengths
1
1.32k
huduma zinazotolewa na mashirika ya dini kila mtu UNK
hatujui serikali ililenga nini
lakini tatizo hapa ni hizi kelele ambazo viongozi wa dini tumekuwa UNK kidole serikali kila siku alisema mchungaji mmoja wa wa makanisa ya pentekoste jijini dar es salaam
alipotakiwa kufafanua kuhusu kauli hiyo alisema juzi cct walipokutana huko dodoma walizungumzia waumini wao kujitokeza kupiga kura mwakani baadaye kanisa katoliki UNK mkakati wa kuelimisha waumini wake kuchagua viongozi bora
siku chache baadaye UNK bajeti imefuta misamaha ya kodi hapa tukaona huenda ni yale yale alisema mchungaji huyo na kuongeza unajua hawa wenzetu hawataki eti UNK dini na siasa
haya mambo mwandishi huwezi kutenganisha ndio maana kuna wachungaji wabunge na viongozi wengine ma alhaj UNK
sasa kwanini UNK masuala hayo wakati ni sehemu ya jamii
alihoji
baadhi ya wachunguzi wa mambo UNK mikakati ya viongozi hao wa UNK ni hasira dhidi ya viongozi walioshindwa kuwajibika hivyo kutaka waumini wao washiriki kuwawajibisha kidemokrasia kwenye uchaguzi mkuu mwakani
uchunguzi wa majira ulibaini uamuzi huo wa maaskofu kutoa elimu kwa waumini wao unatokana na baadhi ya viongozi waliochaguliwa kuwa na moyo wa ubinafsi na kujihusisha na ufisadi mmoja wa vigogo waandamizi serikali na ndani ya ccm aliyeomba kuhifadhiwa jina alikiri kuwepo kasoro katika utekelezaji ilani ya ccm hata hiv...
chama ni kizuri bwana mdogo hasa katika sera zetu lakini tuna upungufu katika baadhi ya sehemu ya ilani yetu ya uchaguzi ona kule jimbo la busanda tumeshinda kwa shida kutokana na kutoa ahadi ambazo UNK
kada mwingine wa ccm alipoulizwa kuhusu wasiwasi huo wa viongozi wa dini alisema siwezi kuwazuia maaskofu na mashekhe kuwaza hivyo na huenda wanawaza hivyo kutokana na suala la wakati lakini bajeti UNK kuwaonea ila ili kuwa na dhamira ya kweli katika hilo viongozi wao walipokaa UNK na waziri UNK sababu za msingi kubat...
mikataba ya ticts trl UNK
wabunge sasa UNK UNK
wadai kuna mazingaombwe usanii wakati waziri mkuu bwana mizengo pinda anawasilisha bajeti ya ofisi yake leo wabunge wamesema hawana maswali kwa hilo bali UNK UNK utekelezaji wa serikali juu ya maazimio ya bunge kuhusu sakata la richmond
sambamba na hilo wabunge hao wamesema pia UNK kusikia majibu yasiyo na utata kutoka kwa kiongozi huyo wa shughuli za serikali bungeni kuhusu hoja za uuzaji holela nyumba za serikali mkataba tete wa kampuni ya kupakua mizigo bandarini na ule wa kampuni ya reli tanzania
wabunge hao ambao walizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti wamesema hoja hizo UNK serikali na hata kukiweka chama tawala ccm kwenye wakati mgumu
mmoja wa wabunge hao alisema wananchi wamekuwa wakihoji masuala hayo lakini majibu yanayotolewa na viongozi hayatoshelezi hivyo wanachohitaji sasa ni kusikia kutoka kwa bwana pinda muafaka wa kudumu wa hoja hizo
taarifa ya richmond inatarajiwa kuwasilishwa bungeni mwezi ujao
mimi hadi UNK wananchi wangu nikirudi jimboni UNK richmond UNK wapi nasema linafanyiwa kazi taarifa itatolewa UNK lini
UNK maneno
sasa waziri mkuu hili UNK ufafanuzi nisije nikapoteza jimbo wale watu wana akili sana wanafuatilia mambo na wanataka kujua matokeo alisema mbunge mmoja wa kanda ya ziwa na kuomba kuhifadhiwa jina
mbunge huyo alizidi kueleza najiuliza haya ni mazingaombwe au UNK
tuliambiwa richmond wanalipwa mamilioni kwa siku juzi waziri anasimama anasema hawajalipwa hata senti tano nini hii
ukweli uko wapi
alihoji mbunge huyo na kusisitiza kuwa waziri mkuu lazima aweke wazi suala hilo
aliongeza kuwa uuzwaji holela wa nyumba za serikali ambao UNK na wananchi wengi nao ni shughuli nyingine nzito ambayo bwana pinda anapaswa UNK ufafanuzi
mbunge huyo alidai kuwa hadi sasa serikali haijatoa majibu ya kuridhisha kwa watanzania kuhusu hatua hiyo na wengi wao wanaamini kuwa nyumba zao UNK kwa kutumia ujanja
nakwambia watanzania wa leo ni tofauti na wa jana mimi nimekwenda jimboni kwangu UNK kitimoto UNK mheshimiwa hivi kweli walionunua nyumba za UNK walikuwa UNK au hawana uwezo wa kujenga au wanataka kupora tu
sisi UNK hizo nyumba zirudi mkishindwa kurudisha UNK hapa UNK kura
alisema
mbunge mwingine kutoka kanda ya kaskazini ambaye amekuwa miongoni mwa vinara wa kupinga ufisadi alisema waziri mkuu lazima aweke wazi suala la mkataba wa ticts inayodaiwa kuwa moja ya sababu za kudorora kwa ufanisi wa bandari ya dar es salaam
pia alisema bwana pinda anapaswa kuweka wazi suala la kusuasua kwa kampuni ya trl chini ya wawekezaji rites kutoka nchini india na ikibidi mkataba huo uvunjwe kwa maslahi ya watanzania
akizungumzia hotuba ya leo ya bwana pinda mbunge wa viti maalum bibi stela manyanya alisema anaamini itakuwa nzuri lakini akaonya kwamba mkakati wa kilimo kwanza lazima uweke bayana
kikubwa zaidi UNK katika hotuba ya waziri mkuu ni kutueleza ni jinsi gani kilimo kwanza UNK naamini yeye UNK kwa majina vijiji kata na wilaya UNK matrekta na jinsi mradi huo UNK
hatutarajii kubaki na mpango bila dira kamili ya utekelezaji kisha ikifika mwakani tuje UNK mara fedha UNK mara kulikuwa na hili hapana naamini waziri mkuu kama kiongozi wa shughuli za serikali atatueleza na kutaja moja kwa moja vijiji vitakavyonufaika ili usimamizi uwe mzuri na ufuatiliaji uwe rahisi alisema bibi man...
alipoulizwa UNK yake kuhusu masuala UNK kama vile ufisadi alisema unajua ufisadi unatakiwa UNK kwa eneo pana sana ukizingatia hayo ninayosema UNK kuwepo ufisadi yaani ukaweka wazi miradi nani atanufaika na trekta zitatolewa ngapi ni rahisi kufuatia na mkono wa fisadi hauwezi kuingia kwa kuwa kila kitu kipo wazi na wan...
kwa upande wake mbunge wa maswa bwana john shibuda alisema anaamini waziri mkuu atatoa dira kamili kuhusu utekelezaji wa kilimo kwanza kwa kuwa yeye ndiye mmliki wa wizara zote ndio maana anaitwa waziri mkuu
najua atatoa dira kamili UNK UNK na mgando wa mawazo UNK maendeleo katika wizara zote lakini hasa kilimo yeye UNK msingi wake wa utawala wake ajenge juu ya kilimo kwanza safi kabisa sasa naamini atatueleza dira hiyo itatekelezwa vipi kwa vitendo na kuondoa misamiati mingi ya muda mrefu alisema bwana shibuda
na rehema maigala kesi ya mauaji inayomkabili mwanafunzi wa chuo kikuu dar es salaam bwana masamba musiba imeahirishwa tena hadi julai sita mwaka huu itakapotajwa tena
kesi hiyo ilitajwa kwa mara ya pili jana mbele ya hakimu wa mahakama ya hakimu mkazi kinondoni bibi hilda UNK
ilidaiwa mahakamani hapo kuwa juni sita mwaka huu mshitakiwa alimuua betha mwarabu kwa kumchoma kwa kitu chenye ncha kali katika chumba namba mia mbili na hamsini block c katika hosteli ya mabibo jijini dar es salaam
nayo kesi ya bibi UNK kimaro anayekabiliwa na shitaka la kumchoma na mkasi wa moto mtoto wa ndugu yake na kumsababishia maumivu makali imeahirishwa mpaka julai nane mwaka huu itakapotajwa tena
mshitakiwa huyo ambaye upelelezi wa kesi yake haujakamilika ilidaiwa alimshambulia mtoto bibi UNK UNK na kumsababishia maumivu mwilini
kesi hiyo ipo mbele ya hakimu bibi sundi fimbo na ilisomwa na mwendesha mashitaka inspekta wa polisi bwana benedict nyagabona ambaye alidai kuwa mei thebathini na moja mwaka huu mshitakiwa alimchoma kwa mkasi mtoto huyo
UNK bado yupo mahabusu kwa kukosa dhamana
na shukrani kawogo hatimaye washiriki watatu wa kampuni ya development entrepreneurship community initiative waliofikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu kwa kujaribu kufanya maandamano ya kuishinikiza mahakama kuwaachia huru vigogo wa kampuni hiyo wamefanikiwa kupata dhamana
washitakiwa waliopata dhamana jana ni bwana isaack kilage ambaye ni mchungaji wa kanisa la pentekoste bwana swamwel mathias ambaye ni mwinjilisti wa kanisa hilo na bibi neema rajab mkazi wa mabibo
hata hivyo mshitakiwa mmoja bwana michael simon ambaye ni mfanyabiashara ameendelea kusota rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana yaliyowekwa na hakimu mkazi bwana michael mteite
wote kwa pamoja walifikishwa mahakamani hapo wiki iliyopita wakidaiwa kufanya mikusanyiko isivyo halali ambayo ilisababisha uvunjifu wa amani katika eneo hilo
hata hivyo washitakiwa wote walikana mashitaka hayo na mahakama iliwataka kuwa na mdhamini mmoja ambaye ni mtumishi serikalini au mdhamini wa kawaida mwenye hati ya nyumba
kesi itatajwa tena julai mbili mwaka huu kesi hiyo itakapokuja kwa ajili ya kutajwa
washitakiwa hao walikamatwa baada ya viongozi wa deci kufikishwa mahakamani wakidaiwa kuendesha mradi wa mchezo wa upatu bila kuwa na leseni
kufikishwa kwa vinara hao kuliwafanya wanachama hao kufanya maandamano wakitaka kuishinikiza mahakama kusikiliza kesi hiyo haraka
na grace michael aliyekuwa balozi wa tanzania nchini italia profesa costa mahalu na mwenzake bibi grace alfred wamewasilisha kusudio la kukata rufani kupinga uamuzi uliotolewa na mahakama kuu ya tanzania juu ya maombi ya kurejewa kwa mwenendo wa kesi yake ya uhujumu uchumi
hata hivyo wakati wakiwasilisha kusudio la kupingana na uamuzi huo mahakama ya hakimu mkazi kisutu tayari imepanga kuanza kusikiliza utetezi wa washitakiwa hao kesho kutwa
hatua ya kisutu kupanga kuanza kusikiliza kesi hiyo inatokana na kutupwa kwa maombi ya washitakiwa hao katika mahakama kuu ya tanzania ambako jalada UNK kwa ajili ya usikilizwaji wa maombi hayo
kesi hiyo iko mbele ya naibu msajili wa mahakama ya rufaa bwana sivangilwa mwangesi ambaye baada ya kusikiliza mashahidi wa upande wa mashitaka aliwakuta washitakiwa hao na kesi ya kujibu hivyo kuwataka kupanda kizimbani na kujibu tuhuma zao
kutokana na usikilizwaji mzima wa kesi hiyo upande wa utetezi UNK na mwenendo mzima wa kesi hiyo hivyo UNK rufani ambayo ilisikilizwa na jaji juxon mlay ambaye naye alitupilia mbali maombi ya washitakiwa hao
kutokana na kuwepo kusudio la kukata rufani ya kupinga uamuzi huo na mahakama ya kisutu nayo kupanga usikilizwaji wa kesi hiyo hatua bayana itajulikana siku ya kesi hiyo itakapokuwa mbele ya bwana UNK
hoja na washitakiwa hao katika maombi yao zilidai kuwa kesi iliendeshwa bila kuwepo kwa kibali cha mkurugenzi wa mashitaka suala ambalo lilipingwa na mahakama kwa kusema kuwa kibali kipo ndani ya jalada la kesi hiyo
aidha walilalamikia namna mahakama ilivyochukua ushahidi kwa njia ya video kutoka italia ambapo mahakama kuu ilisema kuwa uamuzi juu ya suala hilo UNK na mahakama ya kisutu
washitakiwa hao wanakabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi ambapo wanadaiwa kula njama na kuiba matumizi mabaya ya nyaraka kwa nia ya kumpotosha mwajiri wizi pamoja na kuisababishia serikali hasara
na robinson UNK musoma diwani wa kata ya UNK wilayani tarime mkoani mara joseph moyo UNK mbaroni na UNK na taarifa aliyoitoa kwamba watu ishirini na moja wamekufa na ng ombe ishirini sifuri kwa kutumia maji ya mto UNK ambayo UNK na maji ya sumu kutoka bwawa la mgodi wa north mara
kaimu kamanda wa polisi mkoani mara deus kato alisema jana kuwa diwani huyo UNK kwa kuwa ameshindwa kuthibitisha madai yake ikiwa ni pamoja na kushindwa kuonesha makaburi UNK watu hao na mizoga ya ng ombe waliokufa kwa kunywa maji
kato alisema baada ya taarifa kutolewa katika vyombo vya habari UNK mkuu wa polisi wa wilaya ya tarime costantine masawe kufuatilia taarifa hizo katika vijiji vya UNK UNK na UNK ambapo ilibainika hakuna vifo vilivyotokana na maji ya sumu
alisema hakuna taarifa ya mganga wa kituo cha afya UNK kuhusu vifo hivyo bali taarifa zilizowahi kutolea ni juu ya wizi wa mifugo na mapigano ya koo za kabila la UNK
alitahadharisha juu ya watu kusema habari ambazo hawana uhakika nazo na kuongeza kuwa mwenye uwezo wa kuthibitisha chanzo cha kifo ni daktari na siyo mtu yeyote
katika barua yake ya juni nane mwaka huu kwa waziri wa tamisemi diwani huyo alitoa tuhuma dhidi ya kampuni ya barrick tanzania akidai imeshindwa kudhibiti maji ya sumu kutoka kwenye bwawa la sumu ambalo hakusema liko eneo gani ambalo limesababisha vifo kwa binadamu na mifugo
alitaka kampuni kugharimia matibabu kwa waathirika wa tukio hilo ili kunusuru maisha yao na kuitaka UNK visima na mabwawa sambamba na UNK waliokufa na maji hayo ya sumu
alitaja majina ya aliodai walikufa wakiwamo wanawake watatu aliodai mimba zao zimeharibika kutokana na hali hiyo
shilingi bilioni kumi sita kilimo kwanza
tume ya uchaguzi kufanyiwa marekebisho
takrima sasa kufutwa rasmi kabla ya ishirini moja sifuri
wanaokwenda chuo kikuu kupita jkt kwanza na john daniel dodoma baada ya ukimya wa muda mrefu serikali imetangaza rasmi kuwasilisha bungeni muswada wa sheria UNK mabadiliko makubwa ya UNK tume ya taifa ya uchaguzi ikiwemo kufutwa kwa takrima katika chaguzi mbalimbali
akiwasilisha bajeti ya shilingi trilioni mbili sitini na mbili bungeni jana waziri mkuu bwana mizengo pinda alisema marekebisho hayo kwenye nec pia UNK kufanyia marekebisho sheria namba moja ya uchaguzi ya mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na tano sheria namba nne ya mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na tis...
alisema pia nec itakuwa na kipindi maalum cha kuboresha daftari la kudumu la wapigakura kufanya uteuzi wa mgombea endapo mgombea urais au makamu wake UNK dunia kubadilisha vifungu vya muda wa kufungua kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi kuweka kikomo kwa mgombea kujitoa katika uchaguzi pamoja na tume kupewa mamlaka ya...
serikali inakusudia kuwasilisha bungeni mapendekezo ya marekebisho ya sheria kuondoa vifungu UNK takrima muda wa kufungua kesi za kupinga matokeo kuongezwa kuweka kikomo cha mgombea kujitoa katika uchaguzi na tume kupewa mamlaka ya kufanya chaguzi ndogo za madiwani walau mara mbili kwa mwaka badala ya sasa alisema waz...
kuhusu sekta ya madini waziri mkuu alisema katika mwaka wa fedha ishirini sifuri tisa kumi serikali itapitia upya sheria na sera ya madini kwa kuzingatia mapendekezo yaliyotolewa na wadau ikiwemo tume ya jaji mark UNK
serikali imetenga maeneo katika sehemu mbalimbali kuwaendeleza wachimbaji wadogowadogo ikiwemo eneo lenye hekta arobaini sifuri sifuri huko UNK wilayani mpwapwa serikali itapitia upya sera na sheria ya madini itatilia maanani mapendekezo yaliyotolewa na wadau mbalimbali ikiwemo kamati ya jaji mark bomani alisema
kuhusu kilimo alisema jumla ya shilingi bilioni kumi sita zitatumika kununua matrekta madogo moja mia sita na ishirini na nane shilingi bilioni mbili mbili zitatumika kununua matrekta makubwa hamsini na tano huku shilingi bilioni ishirini na tisa mbili zikielekezwa kutekeleza mpango wa maendeleo ya kilimo wilayani kwa...
akizungumzia rushwa alisema taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa tayari imefanya uchunguzi wa kesi kadhaa za rushwa UNK na kukabidhi taarifa kwa mkurugenzi wa mashitaka na kwamba itachukua hatua kwa kila mtu atakayebainika katika rushwa kubwa au ndogo na kwamba jumla ya taarifa moja mia tatu na thebathini na nane ...
alisema kuanzia mwaka wa fedha ishirini moja sifuri kumi na moja wahitimu wote wa kidato cha sita watachukuliwa na jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria na kwamba kila mwaka jeshi hilo linatarajia kuchukua vijana kumi sifuri sifuri sifuri kwa lengo la kujenga taifa lenye maadili na kuwafundisha vijana njia mbali...
kuhusu ajira alisema ilani ya uchaguzi wa ccm ililenga kuwapatia vijana zaidi ya milioni moja katika kipindi cha miaka mitano tangu mwaka ishirini sifuri tano na kwamba hadi sasa zaidi ya ajira milioni moja tatu zimepatikana nchini
alisema serikali imetoa maelekezo kwa ofisi za mikoa wilaya na kata kukuza ajira kwa UNK maofisa waratibu wa ajira katika ngazi hizo na kutoa wito kwa mikoa ambayo UNK kamati hizo za ajira kufanya hivyo haraka
kwa upande wa siri za serikali bwana pinda alitoa wito kwa watendaji wakuu mbalimbali wa serikali kutumia ofisi ya mpiga chapa mkuu wa UNK kuchapisha UNK mbalimbali kwa lengo la kutunza siri na kuepusha tatizo la kuvuja kwa siri za serikali
akihitimisha hotuba yake waziri mkuu alisema kati ya shilingi trilioni mbili sitini na mbili UNK shilingi bilioni mia moja na arobaini na tatu mbili ni kwa ajili ya ofisi yake shilingi bilioni mia moja na tisini na saba nane ni kwa ajili ya tamisemi shilingi bilioni mia moja na sitini na nane kumi na tatu ni ofisi za ...
ni kuhusu tuhuma za meremeta UNK
waziri spika wasema ni suala la jeshi
yeye asisitiza ni upotevu wa mabilioni na john daniel dodoma mbunge wa karatu daktari wilbroad slaa jana UNK bungeni baada ya swali lake la kuitaka serikali ieleze ni lini itafanya ukaguzi wa kina kwa kampuni za meremeta tangold mwananchi na deep green finance ili kuchunguza ubadhirifu wa shilingi bilioni mia mbili na...
licha yan serikali kumwambia atafute hoja nyingine pia spika wa bunge bwana samwel sitta naye UNK kifua serikali kwa kukataa UNK swali la nyongeza kuhusu meremeta kwa maelezo kwamba kampuni hiyo ina uhusiano na jeshi la wananchi wa tanzania
akijibu swali la nyongeza la mbunge huyo naibu waziri wa fedha na uchumi bwana jeremiah sumari alisema serikali haiwezi kufanya ukaguzi wa kina kwa kampuni ya mwananchi kwa kuwa inaendelea na utaratibu wa UNK na kuongeza kuwa kwa kufanya hivyo UNK kazi ya UNK
mheshimiwa spika hivi sasa kampuni hizi ziko katika hatua za UNK na moja ya kazi ya mfilisi ni kutafuta mali ziko wapi na kutoa taarifa kwa aliyemtuma nadhani tusubiri haraka ya nini
halafu na wewe tafuta hoja nyingine alisema bwana sumari
awali katika swali lake la nyonge daktari slaa alisema mheshimiwa spika kwanza nasikitika kwa majibu ya waziri ambaye hajajibu maswali yangu kwa kuwa hoja ya waziri mkuu kwamba meremeta ina mahusiano na jeshi haihusiani na swali langu mimi ninachozungumza hapa ni shilingi bilioni karibu mia moja na hamsini na tano hat...
akiendelea na swali lake la nyongeza daktari slaa aliitaka serikali kueleza bunge kama UNK taarifa ya kamati ya jaji bomani UNK kampuni hiyo ya mwananchi kufanyiwa ukaguzi
katika swali lake la msingi namba sabini na nane ambalo UNK wiki iliyopita kutokana na muda kuisha mbunge huyo aliitaka serikali kueleza bunge muda ambao itakaotumia kukagua kwa kina za meremeta tangold mwananchi na deep green finance ili kubaini kile alichodai kuwa ni ubadhirifu wa shilingi bilioni mia mbili na kumi ...
aliitaka serikali kufanya ukaguzi wa kina kama ilivyofanya katika akaunti ya malipo ya madeni ya nje ya benki ya tanzania ubadhirifu wa mabilioni ya shilingi
na john daniel dodoma mbunge wa UNK daktari UNK mzindakaya amemtetea rais mstaafu benjamin mkapa akisema wanaomtuhumu kuwa hakuwa kiongozi mzuri hawana hoja kwa vile alifanya mambo mengi mazuri kwa manufaa ya taifa
amewataka wabunge wenzake ambao alidai UNK vita bwana mkapa kutambua kuwa chuki na UNK mtu nao pia ni ufisadi