text stringlengths 1 1.32k |
|---|
akichangi bajeti ya waziri mkuu iliyowasilishwa bungeni juzi mbunge huyo alisema wabunge UNK wanapima ufisadi kwa fedha badala ya roho zao na kuongeza kwamba kufanya hivyo ni kosa kwa kuwa kinachotakiwa ni mtu kupima roho yake kwanza kama ni safi kabla ya kumjadili mwingine kwa kigezo cha fedha |
binadamu ana kasoro moja kubwa sana ya kutazama ubaya kuliko mazuri kumi hapa UNK biblia UNK tano kumi na tano na sura ya sita nne usiwe fisadi katika jambo kubwa wala dogo wala UNK kuwa adui badala ya rafiki roho ya ufisadi UNK yeye aliye na nayo hata kumfanya mzaha kwa adui zake alisema |
mbunge huyo UNK serikali ya rais jakaya kikwete kwa kutaja baadhi ya mafanikio katika nyanja za elimu miundo mbinu ya barabara na afya na kuwataka wabunge watambue kwamba serikali ya awamu ya nne ni nzuri na imetoka kwa mungu |
serikali hii nzuri imetoka wapi kama si kwa mungu hii serikali imetoka kwa mungu hata hizi lawama UNK rais mkapa ni za shetani tu hivi kweli kwa miaka kumi hakuna UNK |
alihoji daktari UNK |
kwa upande wake mbunge wa kilindi bibi beatrice shellukindo alilalamikia utendaji wa baadhi ya watendaji wakuu wa serikali kwa kuchelewesha maamuzi huku akitaka kampeni chafu zinazoendeshwa na baadhi ya mawaziri wanaowania majimbo ya uchaguzi mwaka ishirini moja sifuri UNK |
alisema mmoja wa mawaziri wa sasa alifika jimboni kwake na kufanya kampeni chafu na kuongeza kwamba yeye kama mbunge UNK mtu kufanya kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu mwakani lakini ni lazima anayetaka kufanya hivyo afuate taratibu zilizopo na kusisitiza kuwa hakuna mtu mwenye hati miliki ya jimbo |
na zuhura semkucha shinyanga shahidi wa tisa katika kesi ya mauaji ya albino inayosikilizwa mahakama kuu mjini shinyanga inspekta juma jumanne wa kituo cha polisi wilaya ya bariadi amedai kuwa mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo mboje mawe alikiri na kufukua viungo vya albino huyo katika nyumba yake mbele ya askari ... |
akitoa ushahidi huo katika mahakama hiyo alidai kuwa mshitakiwa huyo UNK viungo hivyo ambavyo alikuwa UNK kwa kutumia jembe lake mara baaada ya kukiri kuhusika na mauaji hayo na kuwapeleka askari hao eneo hilo |
akiongozwa na wakili upande wa serikali edwin kakolaki shahidi huyo alidai kuwa baada ya kupokea taarifa kutoka kwa afisa mpelelezi wa wilaya juu ya kutokea kwa mauaji hayo katika kijiji cha UNK ndipo alipoanza upelelezi wa kumtafuta mtuhumiwa huyo ambapo mara baada ya kumtia nguvuni alikiri kutenda kosa hilo na kuwap... |
alidai kuwa mshitakiwa huyo wakati UNK viungo hivyo aliwaomba askari polisi kuwaleta watuhumiwa wengine ambao tayari walikuwa mikononi mwa polisi ili kusaidiana katika zoezi hilo la UNK kwa kuwa kosa hilo walitenda wote kitendo ambacho polisi waliafikiana nacho |
aidha UNK kudai kuwa wakati wa safari kuelekea katika kituo cha polisi ndipo mshitakiwa huyo alimtaja mteja wa viungo hivyo kuwa ni yusuph ibrahimu mkazi wa lamadi ambapo pia alimpatia mpelelezi huyo namba za simu za mteja huyo |
aliendelea kuielezea mahakama hiyo kuwa baada ya kupata namba hizo aliwasiliana na mteja huyo kwa kutumia njia ya kujitambulisha kuwa yeye ni miongoni mwa watu waliowatuma awatafutie viungo hivyo huku askari huyo alimwambia mteja huyo kuwa yupo pamoja na mboje mawe ambapo mteja huyo alikiri kumfahamu mboje mawe |
alidai kuwa hatua iliyofuata walikwenda nyumbani kwa mteja huyo UNK na mshitakiwa huyo kwa lengo la kuwaonesha njia na hatimaye kufanikiwa kutia nguvuni mteja huyo yusuph UNK |
kufuatia hali hiyo jaji UNK aliamua kuahirisha kikao hicho na kufanya kikao cha ndani pamoja na mawakili hao na kusema kuwa taarifa juu ya mvutano huo itatolewa mara baada ya kikao hicho lakini hadi kikao UNK shahidi huyo aliendelea kutoa ushahidi wake ambapo hadi gazeti hili linaondoka mahakamani hapo hatma ya mvutan... |
kesi hiyo inayowakabili mboje mawe chenyenye maganyale sayi gamaya na sayi mafizi dhidi ya mauaji ya albino lyaku willy hadi sasa ni mashahidi tisa wameshatoa ushahidi mahakamani hapo kati ya mashahidi kumi na nne wanaotarajiwa kutoa ushahidi wao |
naye patrick mabula anaripoti kutoka kahama kuwa washitakiwa katika kesi ya mauaji ya albino inayosikilizwa na mahakama kuu wilayani kahama juzi walidaiwa kuwa UNK UNK kwa nguvu na mama mzazi wa albino ndani ya chumba alipokuwa amelala naye kwa muda wa nusu saa na kumpeleka nje kisha UNK |
akisoma hati mashitaka katika kesi inayowakabili watu watano katika mahakama hiyo wakili wa serikali bwana UNK rweyongeza alidai mbele ya jaji gabriel rwakibalila kuwa siku ya tukio baada ya kumvamia mama yake chumbani wakamchukua na kumkata miguu yote miwili |
bwana rweyongeza alidai kuwa oktoba kumi na tisa mwaka ishirini sifuri nane usiku wa manane washitakiwa walimvamia mama wa mtoto huyo mkazi wa kijiji cha shilela wilayani kahama bibi jenifa john akiwa amelala naye chumbani na kumkata kwanza mkono kabla UNK UNK na mama yake mzazi |
wakili huyo wa serikali aliendelea kueleza kuwa baada ya kukatwa mkono walimpiga mama huyo kwa UNK wa panga na kumchukua mtoto hadi nje ya nyumba UNK miguu na kumnyofoa kipande cha nyama ya chini ya UNK |
kesi hiyo ya pili inayowakabili watu watano dhidi ya mauaji ya esther charles aliyekuwa akisoma darasa la tatu katika shule ya msingi shilela ilisomwa kwa mara ya kwanza jana na kuahirishwa kutokana na baadhi ya washitakiwa kuhusika katika kesi ya kwanza |
na grace michael uamuzi wa serikali kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara ya kagoma hadi lusahunga mkoani kagera UNK shilingi bilioni ishirini na sita kwa kuilipa kampuni iliyokuwa UNK barabara hiyo |
hayo yamebainishwa kwenye mapendekezo ya mtaalam wa migogoro ya barabara baada ya kupitia mgogoro kati ya wakala wa barabara tanzania na kampuni hiyo ya china state UNK UNK corporation |
fedha hizo ambazo serikali inatakiwa kuilipa kampuni hiyo UNK fedha za fidia ambazo ni dola za marekani milioni kumi na tano sita gharama za uendeshaji mradi wa barabara dola arobaini na mbili mia mbili na kumi na tano pamoja na dola za marekani milioni mbili tano kama gharama ya kazi iliyokuwa UNK |
madai hayo yanatokana na tanroads kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita mia moja na hamsini na nne baada ya kuona kampuni hiyo ya ujenzi inashindwa kutimiza vigezo vilivyokuwa ndani ya mkataba huo ikiwemo kasi ndogo ya ujenzi |
mkataba huo uliingiwa na pande zote mbili machi kumi na tatu mwaka ishirini sifuri sita ambapo barabara hiyo ilitakiwa kujengwa kwa gharama za shilingi bilioni arobaini na nane tisa kwa muda wa miezi thebathini na tisa mradi huo ulitakiwa kuanza aprili ishirini na moja mwaka ishirini sifuri sita na kumalizika julai is... |
ltd kutoka india ambaye juni saba mwaka jana aliandika taarifa kwa kampuni hiyo ya ujenzi ya kukatisha mkataba |
ilitakiwa pia kuondoka eneo la mradi hatua lakini UNK hatua hiyo |
aidha desemba kumi na mbili mwaka jana kampuni hiyo ilitoa taarifa kwa tanroads kupitia wakili wao bwana dilip kesaria kuwa wana nia ya kupeleka mgogoro huo kwa mtaalam wa migogoro chini ya kifungu sitini na saba cha masharti ya mkataba |
kutokana na hali hiyo pande zote mbili zilikubaliana na kumteua mtaalam profesa a UNK kwa ajili ya kutatua mgogoro huo |
baada ya kupitiwa kwa nyaraka za pande zote mbili mtaalam huyo juni kumi na tano mwaka huu alitoa mapendekezo yake kuwa tanroads inatakiwa kulipa jumla ya dola za marekani ishirini na moja mia nne na sitini na tisa mia nane na kumi na moja hadi sasa ujenzi wa barabara hiyo umekwama kutokana na kusitishwa kwa mkataba h... |
watu saba wamefariki dunia na wengine arobaini na moja kujeruhiwa vibaya baada ya lori aina fuso lenye namba za usajili t mia nane na hamsini na tano UNK kugongwa kwa nyuma na lori aina ya scania lenye namba za usajili t mia nne na sitini na tatu kupinduka korongoni katika mlima wa UNK kuelekea mbalizi mkoani mbeya |
mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa lori aina ya fuso lilibeba watu waliokuwa wakitokea UNK ambalo lilikuwa mbele ya scania lililokuwa katika mwendo wa kasi hivyo dereva wa gari hilo alishindwa kulimudu ndipo tela la gari lake UNK lori na kusababisha kuanguka korongoni |
mmoja wa majeruhi aliyelazwa katika wodi namba moja ambaye ana UNK ya kifua na mkono aliyejitambulisha kwa jina la hassan ahmad alisema kuwa wao walikuwa wakitokea UNK ndipo lori lenye tela UNK kwa nyuma na wao kutupwa korongoni |
waliokufa katika ajali hiyo wametambuliwa kwa jina moja moja kuwa ni boni mkazi wa mbalizi UNK au mkazi wa mbali na mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitatu aliyefahamika kwa jinala angel UNK |
kwa mujibu wa muuguzi wa zamu katika kitengo cha msaada wa haraka bibi anna UNK ni kwamba jumla ya majeruhi walioletwa hospitalini hapo ni arobaini na moja ambapo kati yao kumi na nne waliruhusiwa baada ya kupatiwa matibabu |
muuguzi mkuu wa hospitali ya rufaa daktari thomas UNK aliwataja baadhi ya majeruhi waliolazwa kuwa ni bwana UNK UNK bwana UNK UNK UNK UNK UNK moses UNK mwakipesile ilunga UNK UNK simbeye grace UNK na mmoja aliyefahamika kwa jina la UNK |
wengine ni UNK UNK godfrey UNK michael charles UNK ebby kissa josephat hassan hamad mariamu mwakipesile UNK UNK UNK UNK vumilia edward UNK bahati bertha UNK halima samson emmy omar UNK wilson na habiba UNK na nuru UNK |
alisema kuwa kati ya majeruhi hao kumi na nne wameruhusiwa baada ya kupatiwa matibabu na kwamba waliolazwa baadhi yao hali zao zinaendelea vizuri na wengine ambao wamelazwa katika wodi namba moja mbili na tatu |
wakati huo UNK waliokuwa wakisafiri katika basi la upendo linalofanya safari zake kati ya mbeya na dar es salaam lenye namba za usajili t mia moja na tisini na moja UNK wamenusurika kifo baada ya basi hilo kupinduka katika eneo la chimala wilayani UNK jana asubuhi |
mashuhuda wa ajali hiyo walisema dereva wa basi alikuwa UNK mwendesha baiskeli ndipo mbele yake akakutana na lori la kampuni ya UNK ambalo UNK kwa pembeni na kuangukia upande wa dereva |
majeruhi ambao ni abiria waliokuwa wakisafiri katika basi hilo wamelazwa katika hospitali ya UNK ya UNK |
huku vumbi la mchezo wa upatu wa kampuni ya development entrepreneurship community initiative likiwa UNK washiriki wa mchezo mwingine wa upatu jana UNK katika ofisi za taasisi hiyo iliyoko tabata relini dar es salaam wakishinikiza kurudishiwa mbegu zao |
washiriki hao wakiwa kwenye kundi kubwa walifurika nje ya ofisi hiyo wakishinikiza kurudishiwa mbegu zao huku UNK uongozi kwa kushindwa kuwalipa fedha zao kwa wakati UNK |
waandishi wa gazeti hili walishuhudia vurugu hizo ambapo washiriki hao walikuwa na jazba wakati wakidai mbegu zao huku baadhi ya viongozi wakijaribu kuwatuliza bila mafanikio |
lazima UNK fedha zetu la sivyo amani itavunjika hapa tumechoka kudanganywa kwa maneno kama watoto sisi UNK hapa kupoteza muda tunachotaka ni jasho letu alisema mmoja wa washiriki hao |
uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa taasisi inayoendesha upatu huo awali ilikuwa ikijulikana kama tumaini rf institute ikiwa na kauli mbiu UNK UNK ililazimika kubadili jina na kuitwa tumaini relief UNK ili UNK kama kampuni nyingine za deci na malingumu |
washiriki ambao hawakutaka kutaja majina yao walisema kuwa walipigwa na butwaa baada ya kufika ofisini hapo na kukuta jina la kampuni hiyo UNK |
washiriki hao ambao walipanda mbegu zao machi kumi na nane mwaka huu na kuahidiwa kuvuna juni ishirini na tatu walipofika ofisini hapo waliambiwa wavute subira kwa muda usiojulikana |
baadhi ya viongozi wa upatu huo walibainika kuwadanganya wanachama kuwa wao ni washiriki wenzao na kuwataka wanaodai fedha zao kutulia kwa kuwatisha kuwa iwapo siri hiyo UNK wote watapata hasara kama ilivyotokea kwa deci na malingumu |
sikilizeni jamani hata mimi ni UNK UNK mbegu zangu kwa hiyo UNK subira haina haja ya kukusanyika hapa nje waandishi UNK njuga wote tutakuwa tumepoteza fedha zetu na kupata hasara alisema kiongozi huyo |
hata hivyo baadhi ya viongozi wa deci walionekana maeneo hayo wakivinjari na kuwatuliza wanachama hao kwa kuwapa ahadi na mifano mbalimbali ili waondoke maeneo hayo |
mmoja wa viongozi hao aliwaita baadhi ya washiriki pembeni na kuwaambia kuwa waliopanda mbegu kuanzia shilingi milioni moja na zaidi UNK risiti zao ili awalipe fedha hizo kwa masharti kuwa yeye UNK kwa wakati wake badala yao |
naye mwanachama mmoja ambaye hakutaka kutaja jina lake alisema kuwa amepanda shilingi milioni mbili na hadi sasa hajajua hatima ya fedha zake huku akiwa analia na kulalamika kuwa anadaiwa na watu mbalimbali ambako UNK fedha hizo |
kwanini wanatufanyia hivi najuta kuwapa fedha zangu na fedha hizi ni za shetani UNK nitatoa fungu la kumi kanisani na UNK tena kutarajia fedha bila kufanya kazi alilalamika |
baadhi ya washiriki walionekana kuchanganyikiwa na kukata tamaa baada ya kuambiwa na viongozi waliokuwepo kuwa kiongozi mkuu yuko nje ya nchi na hatima yao itajulikana atakaporudi |
apigwa mapanga UNK bisibisi na suleiman abeid kagera dereva wa gari la mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi katika uchaguzi mdogo jimbo la biharamulo mkoani kagera amenusurika kufa baada ya kuvamiwa na kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo |
tukio hilo lilitokea juzi saa kumi na moja jioni katika kijiji cha nyambale kata ya lusahunga wilayani biharamulo ambapo dereva huyo bwana david modest alijeruhiwa vibaya kwa kuchomwa bisibisi na kupigwa bapa la panga sehemu mbalimbali mwilini na kunyang anywa funguo za gari lake namba t tisini tatu UNK toyota land cr... |
akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufikishwa kituo cha polisi bwana modest alisema alifikwa na mkasa huo wakati akirejea mjini biharamulo akitokea kijiji cha nyakanazi kwenye mkutano wa kampeni za ccm akifafanua alisema wakati akiwa njiani alipofika kijiji cha nyambale alisimamishwa na kundi la wananchi amba... |
alisema wakati wananchi hao wakifanya taratibu za UNK mgonjwa huyo ghafla gari linalosadikiwa la wafuasi wa chadema aina ya toyota land cruiser namba t mia nne na thebathini na saba UNK UNK mbele ya gari lake wakatoka vijana wanne mmoja akiwa na panga na mwingine UNK |
bwana modest alisema vijana hao walianza kumshambulia kwa kumpiga bapa la panga mgongoni mbavuni na kwenye UNK huku mwingine UNK bisibisi mkono wa kulia na kumjeruhi vibaya |
alisema wakati wakiendelea na shambulio hilo wananchi waliokuwa jirani walilazimika kukimbia huku vijana wengine wawili wakijaribu kumtoa ndani ya gari na UNK amegoma UNK maji UNK ni aina fulani ya tindikali ambayo hata hivyo UNK |
aliendelea kueleza kuwa wakati vijana hao wakiendelea kumsulubu polisi wawili waliokuwa katika eneo la mkutano wa chadema walifika ambapo kijana aliyekuwa na panga alitupa chini na kudai kuwa UNK mtu wa ccm akiwa na panga hilo kisha walipanda katika gari lao na kukimbia |
hata hivyo alisema baada ya polisi kufika katika eneo hilo walifanikiwa kutuliza ghasia na kumshauri kuondoka ili awahi biharamulo mjini kupatiwa matibabu lakini alishangaa kuona gari lake likiwa halina UNK |
baada ya polisi kutuliza vurugu hizo UNK UNK hospitali lakini UNK kuwasha gari sikuona funguo nilishangaa ghafla UNK kijana mmoja akija mbio akitokea eneo ambalo chadema walikuwa wakifanya mkutano akanipa funguo pamoja na vifaa vya alama za barabarani UNK gari kwa tabu na kuelekea mjini alieleza bwana UNK |
kwa upande wake mkuu wa kitengo cha uchaguzi wa ccm taifa bwana UNK UNK UNK kitendo hicho na kueleza kuwa chama chake sasa UNK na vitendo UNK na chadema na huenda UNK kujibu mapigo kama hali ya ulinzi UNK |
kwa kweli sasa tunaanza kuchoshwa na vitendo hivi napenda UNK wazi kwenu ninyi waandishi wa habari kuwa iwapo hali hii itaendelea kuwa hivi na sisi tutaanza kujibu mapigo |
hawa watu wa chadema mara zote UNK ujinga tumekaa kimya kwa sababu hatupendi kufanya vurugu ingawa uwezo tunao lakini sasa tumechoka alieleza bwana UNK |
akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi wa mkoa wa kagera bwana henry salewi alisema jeshi lake UNK vijana waliohusika na tukio hilo na kwamba hadi sasa gari walilokuwa wakitumia vijana hao liko chini ya ulinzi na dereva wake hajulikani aliko |
ni kweli tukio hili limetokea na dereva huyo wa mgombea wa ccm alifika hapa UNK fomu namba tatu kwenda kutibiwa hospitali hata hivyo bado UNK vijana waliohusika na mashambulizi hayo ambao wameshindwa kujitokeza tumeamua kuliweka chini ya ulinzi gari lililohusika katika tukio hilo ambalo tumekuta limeegeshwa katika hot... |
uchaguzi katika jimbo la biharamulo magharibi unatarajiwa kufanyika julai tano mwaka huu ambapo ccm kimemsimamisha bwana oscar mukasa chadema bwana mbasa gervas na tlp kimemsimamisha bwana mpeka buhangaza |
na grace michael karata ya mwisho kwa aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdallah zombe na wenzake wanaotuhumiwa kwa mauaji ya wafanyabiashara wa madini kutoka mahenge morogoro inaanza kuchezwa leo katika mahakama kuu ya tanzania |
katika ngwe hii siku ya hukumu kwa washitakiwa hao itafahamika baada ya kukamilika hatua za mwisho za kesi hiyo mbele ya jaji salum massati |
hatua za mwisho zinazotakiwa kufanywa mahakamani hapo ni pamoja na majumuisho ya upande wa mashitaka ambao utakuwa na kazi nzito kuchambua ushahidi na utetezi wa washitakiwa na kuieleza mahakama namna ushahidi huo UNK washitakiwa hao |
kingine kitakachofanyika ni wazee wa baraza ambao nao watatakiwa kusaidia mahakama hiyo kufikia uamuzi wa haki na kutoa maoni yao kuhusu ushahidi uliotolewa mahakamani hapo |
baada ya hatua hizo kukamilika itabaki kazi kwa jaji massati kutamka siku UNK kutoa hukumu dhidi ya washitakiwa hao ambao UNK rumande tangu mwaka ishirini sifuri sita UNK mbaroni |
hatma ya kesi hiyo inasubiriwa kwa shauku na wananchi kutokana na msisimko wa tukio hilo tangu kuuawa wafanyabiashara hadi hatua iliyomfanya rais jakaya kikwete kuunda tume chini ya jaji kipenka mussa UNK |
katika kesi hiyo upande wa mashitaka ulifanikiwa kuwa na jumla ya mashahidi thebathini na saba na vielelezo mbalimbali zikiwemo bunduki zinazodaiwa kuua ripoti ya mkemia mkuu wa serikali gari lililokuwa likitumiwa na marehemu kabla ya kufikwa mauti yao |
kwa upande wa utetezi ulikuwa na jumla ya mashahidi kumi na mbili wakiwemo UNK wenyewe |
kila mshitakiwa alijaribu kujinasua kwa kutoa utetezi wake |
washitakiwa katika kesi hiyo wanadaiwa kuwa januari kumi na nne mwaka ishirini sifuri sita wakiwa katika msitu wa pande ulioko mbezi luisi dar es salaam walimuua kwa makusudi bwana ephraim chigumbi bwana sabinusi chigumbi bwana juma ndugu na bwana mathias lukombe |
washitakiwa hao ni bwana zombe bwana christopher bageni bwana ahmad makele wp elfu nne na mia tano na kumi na tatu jane d mia moja na arobaini sita mabula d elfu nane na mia mbili na themanini na tisa michael d mia mbili na thebathini sifuri abeneth d elfu nne na mia sita na hamsini na sita rajab na d elfu moja na mia... |
na flora amon dodoma watu sita wamefikishwa mahakama ya wilaya dodoma jana UNK kwa kusababisha ajali ya treni UNK watu saba na kujeruhi wengine saba iliyotokea wilayani UNK |
mwendesha mashitaka inspekta msaidizi wa polisi bwana UNK UNK aliwataja washitakiwa hao kuwa ni bwana prosper nchimbi UNK ng anya john UNK seif UNK hassan musa na hamisi UNK |
mbele ya hakimu mkazi mfawidhi bwana thomas simba mwendesha mashitaka washitakiwa walitenda makosa mawili tofauti ambapo la kwanza ni kula njama ya kutenda kosa la jinai muda usiojulikana |
kosa la pili ilidaiwa kuwa machi ishirini na tisa mwaka huu UNK treni njiani bila taarifa na kuhatarisha usalama wa abiria hivyo kusababisha treni ya nyuma yake ambayo ni ya abiria kugonga ya mizigo na kusababisha vifo vya watu saba na wengine saba kujeruhiwa vibaya |
washitakiwa walikana mashitaka wamerudishwa rumande hadi aprili kumi na tano mwaka huu |
wakati huo huo maiti wanne waliokuwa wamehifadhiwa hospitali ya mkoa wa dodoma wametambuliwa na wakati wowote wanaweza kuchukuliwa na ndugu zao |
mganga mkuu wa hospitali hiyo daktari godfrey mtei aliwataja maiti hao kuwa ni bwana yohana ifakara mkazi wa kahama bwana juma UNK mkazi wa kondoa bwana jackson lucas mkazi wa kahama na bwana yusuf UNK ambaye hajafahamika ni mkazi wa wapi isipokuwa ndugu zake walipiga simu na kumtambua |
kwa upande wa majeruhi daktari mtei alisema UNK mmoja bwana fredrick UNK ambaye anaendelea na matibabu |
naye thomas dominick anaripoti kuwa naibu mkurugenzi mstaafu wa mamlaka ya reli ya tanzania na zambia bwana ayubu UNK ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya uchunguzi wa ajali ya treni iliyotokea dodoma |
kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa dar es salaam jana na kusainiwa na katibu mkuu wa wizara ya maendeleo ya miundombinu bwana omar chambo uteuzi huo umefanywa na waziri wa wizara hiyo daktari shukuru kawambwa |
kamati hiyo imeundwa ili kuchunguza ajali hiyo iliyotokea machi ishirini na tisa mwaka huu kati ya stesheni ya UNK na UNK |
wajumbe wa kamati hiyo ni kaimu mkurugenzi mtendaji mstaafu wa rahco bwana UNK mboma mwanasheria mwandamizi wizara ya sheria na katiba m UNK kaimu mkurugenzi wa usalama na mazingira m kipande mhandisi wa karakana tazara a UNK na mhandisi wa reli d UNK |
UNK kufuta kauli dhidi ya mawaziri |
ni ile UNK wanajibu ovyo ovyo |
bunge UNK kumchukulia hatua |
jenista naye akerwa majibu ya waziri mbunge wa kigoma kaskazini bwana kabwe zitto jana UNK misuli na kukataa kata kata kufuta kauli yake bungeni baada ya kuwashambulia mawaziri kwamba wamekuwa wakitoa majibu ya ovyo ovyo UNK na kutakiwa kufuta kauli hiyo |
hali hiyo imelifanya baraza la mawaziri la rais jakaya kikwete kuendelea kuwa na wakati mgumu bungeni baada ya wabunge kadhaa kuzidi kulisakama na kuonesha wasiwasi juu ya utendaji wao huku wengine wakiweka bayana nia yao kuwasilisha hoja binafsi kama hawatabadilika kiutendaji |
akichangia jana hotuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu iliyowasilishwa bungeni jumatatu wiki hii bwana zitto alisema kulingana na takwimu za serikali alizonazo hali ya umasikini vifo vya wajawazito na watoto chini ya miaka mitano imeongezeka na kueleza kusikitishwa na majibu ya ovyo yaliyotolewa na naibu waziri wa f... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.