text stringlengths 1 1.32k |
|---|
kamati ya jaji bomani ilisema kampuni hiyo ifanyiwe ukaguzi wa kina mwaka ishirini sifuri nane serikali tena waziri mkuu alitoa taarifa katika ukurasa wa mia mbili na thebathini na mbili hii ni taarifa ya serikali kwamba UNK kazi mapendekezo hayo juzi waziri sumari anajibu ovyo ovyo tu tena UNK katibu mkuu wa chama |
alisema bwana zitto |
wakati mbunge huyo akiendelea kutoa mchango wake mbunge wa nkasi bwana UNK UNK aliomba mwongozo wa mwenyekiti wa kikao hicho bwana zubeir ali maulid chini ya kifungu cha sitini na nane kwamba bwana zitto ametoa maneno ya kuudhi hivyo UNK kabla ya kuendelea |
akitoa mwongozo wake bwana maulid alimtaka bwana zitto kufuta maneno yake ndipo aendelee kutoa mchango wake jambo ambalo UNK na kuhoji uhalali wa yeye kutakiwa kufuta maneno yake wakati kuna wabunge wa ccm waliomtangulia kuwashambulia mawaziri bila kuchukuliwa hatua kama hiyo |
bwana maulid mheshimiwa zitto naomba UNK maneno yako kisha uendelee bwana zitto mheshimiwa mwenyekiti UNK nasimamia maneno yangu liwalo na liwe kwenye bunge hili hili mbunge wa ccm alisimama UNK mawaziri lakini UNK hatua hii |
baada ya kutoa majibu hayo bwana zitto aliamriwa kukaa chini na mwenyekiti bwana maulid kumtaka tena kufuta kwanza kauli yake ndipo aendelee kuchangia |
aliposimama kuendelea kuchangia kwa ujasiri mkubwa bwana kabwe alisisitiza kuwa mawaziri wanajibu ovyo ovyo na kuendelea kuchangia hoja yake |
endelea kuchangia lakini hatua zaidi UNK baadaye alionya mwenyekiti wa bunge |
hata hivyo wakati mgumu kwa bwana zitto UNK hapo kwani mbunge wa kibaha mjini daktari zainab gama naye alisimama na kuomba mwongozo wa mwenyekiti kwa maelezo kwamba spika wa bunge alishatangaza kwamba hakuna ruhusa kujadili tena suala la meremeta ndani ya ukumbi huo kwa kuwa ni suala la jeshi |
akitoa mwongozo wake bwana maulid alikubaliana na daktari gama na kumtaka bwana zitto kuendelea kuchangia bila kugusa suala la meremeta awali kuchangia bwana zitto alisema mchango wake utakuwa na uelekeo wa uchaguzi kwa kuwa ndio uelekeo ulioneshwa na wabunge wengi waliomtangulia huku akitumia muda mwingi kutoa takwim... |
alisema takwimu hizo hizo zinaonesha kwamba kilimo UNK kwa asilimia nne hadi nne moja badala ya nane kumi kama ilivyoainishwa katika ilani ya ccm huku vifo vya wajawazito vikiongezeka UNK wanawake mia tano na sabini na nane kati ya kumi sifuri sifuri sifuri sifuri wanaojifungua na watoto chini ya umri wa miaka mitano ... |
takwimu zinaonesha asilimia sabini na nane ya watanzania hawaaminiani watu wawili tu kati ya kumi ndio UNK ndio maana hata wabunge na mawaziri hawaaminiani hizi ndio nilitegemea katika hotuba ya waziri mkuu UNK na kueleza mkakati wa serikali alisema bwana zitto |
alisema kutokana na ugumu wa maisha wananchi waliamua kukimbilia deci kutokana kukosa uwezekano wa kupata UNK |
kwa upande wake mbunge wa peramiho bibi |
jenista mhagama UNK baraza la mawaziri na kumwomba waziri mkuu mizengo pinda kuwaagiza manaibu waziri kutafakari upya majibu yao kabla ya kuyatoa kwa wabunge |
wakati mwingine haya majibu ya manaibu waziri wawe UNK upya asubuhi naibu waziri UNK kuwa si kazi ya serikali kujenga viwanda hivi kama si kazi ya serikali ni ya nani |
alihoji bibi mhagama UNK naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika daktari mathayo david mbunge huyo aliyekuwa akichangia hotuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu alisema serikali inashindwa kufikia malengo yake ya kuboresha maisha ya watu wake kutokana na baadhi ya watendaji kutowajibika ipasavyo huku akitoa mfano k... |
mheshimiwa mwenyekiti kama hatuwezi kuangalia maslahi ya watumishi UNK malengo tangu mwaka ishirini sifuri saba UNK tatizo la wafanyakazi UNK kwenye payroll nimewasiliana na waziri wa utumishi haya makaratasi ni kielelezo cha mawasiliano kati yangu na waziri mpaka waziri mkuu UNK barua kwanza suala la hawa watumishi l... |
naye mbunge wa kahama bwana jemes lembeli katika UNK wake wa juzi usiku UNK kutumiwa vibaya kwa maliasili ya madini pamoja na nia nzuri ya serikali kuwepo kwa mgodi wa buzwagi lakini mgodi huo UNK wananchi UNK |
madini ni siasa madini ni kero ni UNK ni balaa ni mkosi kwa maeneo yangu serikali kama imeshindwa kuwasaidia wananchi hao inategemea nini mwaka ishirini moja sifuri |
alihoji bwana lembeli |
aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdallah zombe anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia ya wafanyabiashara wa madini kutoka mahenge morogoro ametakiwa kuacha kujifananisha na yesu kwa kuwa hana hadhi hiyo |
kauli hiyo imetolewa jana mahakama kuu ya tanzania na wakili wa upande wa mashitaka bwana mugaya mutaki mbele ya jaji salum massati wakati akitoa maoni ya upande huo kuhusiana na kesi dhidi ya washitakiwa hao |
bwana mutaki alifikia hatua ya kusema hivyo baada ya kunukuu kauli ya mshitakiwa huyo ambayo aliitoa wakati wa majumuisho ya kesi hiyo kwa upande wa utetezi ambapo UNK na yesu UNK UNK kwa manufaa ya wengine hivyo naye UNK kafara katika kesi hiyo |
zombe hakustahili kujilinganisha na yesu kwani yule jaji wa yesu alikuwa UNK na wale UNK hawakuwa na ushahidi dhidi ya yesu na badala yake walikuwa wakijibu kwa pamoja asulubiwe |
asulubiwe |
lakini kwa upande wetu tunao ushahidi wa kutosha kuhusiana na kesi inayomkabili hapa |
hivyo hana hadhi ya yesu na kauli yake hiyo UNK na mahakama alidai bwana mutaki |
alisema kuwa amefikia hatua ya kupingana na usemi huo kwa kuwa mazingira ya kesi hiyo na yesu ni tofauti na ukizingatia jaji anayesikiliza kesi hii ni mtu wa haki na UNK misingi ya sheria na ushahidi upo hivyo haki UNK |
mbali na hayo upande wa mashitaka pia uliiambia mahakama kuwa pamoja na bwana zombe kutofika eneo la tukio ambalo ni msitu wa pande ulioko mbezi luisi dar es salaam lakini ushiriki wake katika baadhi ya matukio ya mauaji hayo ni moja ya ushahidi tosha UNK na mashitaka hayo |
bwana mutaki alisema kuwa ushiriki wa mshitakiwa huyo katika ufuatiliaji wa fedha katika kituo cha urafiki ni moja ya kitendo ambacho UNK shaka au kinaonesha kuwa alikuwa anafahamu tukio zima la mauaji kwa kuwa UNK kuulizia UNK wenye kielelezo cha fedha mbali na kuwa UNK |
vitendo vingine ambavyo upande huo umeona UNK mshitakiwa huyo ni vya kuwapongeza askari ambao ni washitakiwa waliokuwa eneo la tukio au walioshiriki katika mauaji hayo |
aidha uwepo wake katika hospitali ya taifa ya muhimbili siku ya kuagwa miili ya marehemu nalo ni moja ya suala ambalo UNK na upande huo na kuonesha kuwa kwa kufanya hivyo alikuwa na taarifa ya tukio zima la mauaji hayo |
baada ya kusema hayo bwana mutaki aliiomba mahakama hiyo kumkuta na hatia bwana zombe kutokana na mazingira hayo hata kama hakwenda katika eneo la tukio |
hata hivyo upande huo ulikwenda mbali zaidi kwa kuiomba mahakama kuwa endapo mshitakiwa huyo UNK na hatia katika kosa la mauaji basi UNK na hatia katika kosa dogo la kusaidia kutenda kosa ambalo kwa mujibu wa sheria mshitakiwa anatakiwa kufungwa miaka saba |
tunaomba mahakama itumie kifungu cha mia tatu na themanini na saba mia tatu na themanini na nane na mia mbili na kumi na tatu vya kanuni ya adhabu ambacho kinaelekeza kama mshitakiwa UNK na kosa kubwa la mauaji basi akutwe na kosa dogo la kusaidia kutenda kosa aliomba bwana mutaki |
upande wa mashitaka kabla ya kuanza kuchambua mshitakiwa mmoja baada ya mwingine UNK mahakama kuwa kazi ya kuthibitisha makosa ya washitakiwa ni ya upande huo na katika kesi hiyo ulifanikiwa kuwa na mashahidi thebathini na saba pamoja na vielelezo ishirini na tatu alisema kuwa maeneo ambayo yalitakiwa UNK kama kweli m... |
akichambua hoja hizo alisema kuwa vifo hivyo vimethibitishwa na ushahidi wa daktari ambaye alikuwa shahidi wa kumi na tisa ambaye alitoa taarifa za vifo vya marehemu hao na kuonesha kuwa vifo hivyo havikuwa vya kawaida kwa kuwa marehemu wote walipigwa risasi sehemu moja |
alisema kuwa kutokana na ushahidi huo dhamana ya washitakiwa hao kupambana na majambazi inaondoka kwa kuwa isingewezekana marehemu wote wakapigwa risasi eneo moja bali wanakubaliana na ushahidi wa kulazwa chini marehemu na kufyatuliwa risasi |
alisema kuwa hakuna ubishi kuwa marehemu walikamatwa wakiwa hai na kupekuliwa na washitakiwa hao na baadae kufungwa pingu na mashati mikononi mwao na hayo yalithibitishwa na mashahidi wa pili sita na saba wa kutoka sinza dar es salaam |
bwana mutaki alizidi kuieleza mahakama kuwa bwana zombe bwana christopher bageni na bwana ahmed makelle kwa nyakati tofauti walifika kituo cha polisi cha urafiki kwa ajili ya kufuatilia fedha walizokamatwa nazo marehemu lakini kitu cha kushangaza hakuna hata mmoja ambaye aliweza kuuliza hao marehemu waliko |
kutokana na kuwepo kwa ushahidi wa marehemu hao kukamatwa wakiwa wazima na kesho yake kukutwa katika chumba cha maiti wakiwa wamekufa kwa kupigwa risasi swali UNK ni nani aliyehusika na mauaji ya wafanyabiashara hao |
kwa mazingira hayo bwana mutaki aliiomba mahakama kuona kuwa ni jambo la kushangaza kuwa marehemu walikamatwa na polisi wakiwa wazima halafu polisi hao waseme hawakuhusika na mauaji hayo na wakati hawajatoa maelezo kama marehemu hao UNK na kwenda kuuawa huko mbali |
katika mazingira hayo aliiomba mahakama kujikita kwenye kanuni ambayo ilisema kuwa aliyeonekana na marehemu kwa mara ya mwisho ndio anatakiwa aeleze huyo marehemu UNK lakini pia ione kuwa washitakiwa hao walikuwa na nia moja ya kufanya mauaji hayo tangu UNK kwenda pande kutowapeleka polisi na kitendo cha kupongezwa kw... |
akimzungumzia mshitakiwa wa pili bwana bageni bwana mutaki alisema kuwa ushahidi dhidi yake ni mwingi mno lakini yeye pia nakiri kuongoza askari wakiwa ukuta wa posta ambako ndiko walidai mauaji hayo kufanyika |
aliiomba mahakama kutupilia mbali utetezi wake kwa kuwa ilikuwa ni hadithi ya kutunga tofauti na tukio lilivyokuwa hivyo alieleza uongo mtupu kuhusiana na tukio hilo |
kwa upande wa mshitakiwa wa tatu bwana makelle ilielezwa kuwa upo ushahidi unaoonesha kwenda pande na yeye anakiri kuhusika katika ukamataji wa marehemu hao maeneo ya sinza |
aidha washitakiwa wengine nao walihusishwa na ushahidi mbalimbali na mahakama kuombwa kuwatia hatiani kwa kuwa hawakutoa taarifa yoyote baada ya kufanyika mauaji hayo |
mshitakiwa wa kumi na mbili bwana rajab bakari katika UNK yeye alikiri moja kwa moja kwenda eneo la tukio na ushahidi wake umeungwa mkono na vielelezo mbalimbali vilivyoko mahakamani hapo lakini katika ushahidi wake anaonesha kwenda kwenye tukio kwa amri ya wakubwa |
upande huo UNK hilo kwa kusema kuwa endapo UNK kwenda alistahili kutoa taarifa za tukio hilo mara baada ya kutoka huko na alipata fursa ya kushiriki tume mbalimbali lakini hakusema ukweli |
kutokana na mazingira hayo bwana mutaki aliiomba mahakama kuwatia wote hatiani kulingana na ushahidi huo |
akihitimisha majumuisho yake bwana mutaki alisema kuwa kila kesi ina mazingira yake na kwa upande wa kesi hiyo ina mazingira ya pekee kutokana na washitakiwa kuwa askari polisi wakiwemo wa ngazi za juu na waliobobea kwenye upelelezi hivyo akaomba ipewe mtazamo wa pekee na mahakama ifikie uamuzi wa haki |
aidha aliiomba mahakama pia kuzingatia ushahidi wa marehemu rashid lema kwa kuwa tayari ulikuwa UNK mahakamani na yeye UNK wakati wa UNK wa maelezo hayo |
kumalizika kwa majumuisho ya upande huo jaji massati naye alilazimika kutoa muhtasari wa kesi nzima ili kuwasaidia wazee wa baraza kutoa maoni yao mahakamani hapo |
jaji massati aliwataka wazee hao kujikita katika misingi ya sheria na UNK na kitu chochote katika utoaji wa maoni yao |
aidha aliwataka kuangalia ushahidi uliopo kwa makini zaidi na kutahadharisha kuwa wingi wa ushahidi sio kitu bali wanachotakiwa kuangalia ni ubora wa ushahidi huo |
kutokana na hayo wazee hao wanatarajiwa kutoa maoni yao leo mahakamani hapo na kubaki kazi moja tu ya jaji ya kutoa hukumu yake |
washitakiwa katika kesi hiyo wanadaiwa kuwa januari kumi na nne mwaka ishirini sifuri sita wakiwa katika msitu wa pande luisi ulioko mbezi dar es salaam walimuua kwa makusudi bwana ephraim chigumbi bwana sabinusi chigumbi bwana juma ndugu na bwana mathias lukombe |
washitakiwa hao ni bwana zombe bwana christopher bageni bwana ahmad makele wp elfu nne na mia tano na kumi na tatu jane d mia moja na arobaini sita mabula d elfu nane na mia mbili na themanini na tisa michael d mia mbili na thebathini sifuri abeneth d elfu nne na mia sita na hamsini na sita rajab na d elfu moja na mia... |
na ramadhan UNK morogoro mfanyakazi wa ndani bibi laynes UNK mkazi wa UNK manispaa ya morogoro UNK na mwili wake kufichwa stoo ya nyumba ya tajiri wake na mtu UNK |
mama mwenye nyumba hiyo aliyejitambulisha kwa jina la bibi UNK lugoyo maarufu kama mama UNK alisema tukio hilo lilitokea juzi saa nne asubuhi baada ya mfanyakazi huyo kuachwa nyumbani na wao kwenda kazini |
akisimulia mkasa huo bibi lugoyo alisema siku moja kabla ya tukio hilo mtu UNK alikwenda nyumbani hapo kuomba kazi ya kukata michongoma na kutakiwa kufika asubuhi ya siku iliyofuata kwa kazi hiyo |
kesho yake mtu huyo alifika na kuanza kazi na bibi lugoyo alimwachia pesa marehemu laynes ili akimaliza UNK |
hata hivyo imedaiwa mtu huyo baada ya kubaini kuwa nyumbani hapo hapakuwa na mtu mwingine aliingia ndani na kujaribu kumbaka mfanyakazi huyo kabla ya kumchinja kwa kisu chenye makali shingoni na kumficha katika moja ya stoo ndani ya nyumba hiyo na kutokomea kusikojulikana |
bibi lugoyo alisema waliporudi walikuta mfanyakazi wao hayupo na si kawaida yake |
walipokaa hadi saa moja jioni waliamua kwenda kutoa taarifa polisi |
katika hali ya kushangaza jana asubuhi walikuta mwili wa msichana huyo UNK na kufunikwa vitu UNK |
kamanda wa polisi mkoani morogoro bwana thobias andengenye amethibitisha kupokea taarifa za kifo hicho na kwamba jeshi lake linaendelea kuchunguza na kumsaka muuaji huyo |
mwili wa marehemu umehifadhiwa hospitali ya mkoa wa morogoro |
asema wabunge presha inapanda inashuka |
hata angekuwa yeye UNK UNK |
hatma ya zitto kujulikana wiki ijayo siku chache baada ya wabunge kuonesha kutoridhika na utendaji kazi wa baadhi ya mawaziri na kuwarushia makombora ya waziwazi waziri mkuu bwana mizengo pinda amewaagiza mawaziri hao kujipanga kujibu hoja hizo moja baada ya nyingine |
akijibu swali katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kutoka kwa mbunge wa kongwa bwana job ndugai jana bwana pinda alisema licha ya wabunge kuwarushia tuhuma baadhi ya mawaziri hakupata shida kwa kuwa walitumia haki yao ya kikatiba na utashi wa kisiasa hasa kwa kuzingatia kuwa uchaguzi mkuu unakaribia hivyo kila ... |
kwanza ni haki ya wabunge kufanya hivyo maana uchaguzi unapokaribia presha inapanda presha inashuka ili wananchi wako wakuone kwamba hapa umefanya kazi kweli kweli hata ingekuwa ni mimi niko back UNK ningefanya hivyo hivyo UNK shida sana |
lakini ni vizuri ukawa na uhakika na kile UNK kama madai hayo ni kweli ni changamoto kwetu kama ni ya kweli yatafanyiwa kazi mawaziri hawa ni wavumilivu sana ni wasikivu sana nimewaambia mawaziri haya yote UNK alisema waziri mkuu |
katika swali lake bwana ndugai aliitaka serikali kutoa kauli yake kuhusu tuhuma nzito zilizoelekezwa kwa mawaziri kwa kile alichokiita kutokuwa haki viongozi hao kupata lawama kama ilivyotokea katika mkutano wa bunge unaoendelea mjini hapa |
kwa upande wake mbunge tarime bwana charles mwera alimtaka waziri mkuu kutoa kauli ya serikali kuhusu hali mbaya ya wananchi wa jimbo lake hususan walio karibu na mgodi wa nyamongo unamilikiwa na kampuni ya barick kuathirika kutokana kemikali UNK katika maji UNK wananchi hao |
akijibu swali hilo bwana pinda alikiri kuona hali hiyo kupitia UNK vya habari na kwamba hata yeye mwenyewe amesikitishwa na tatizo hilo na kuahidi kutuma timu itakayoshughulikia tatizo hilo haraka UNK |
hata hivyo jibu hilo la waziri mkuu halikumtosheleza bwana mwera hivyo kuuliza swali la nyongeza ambapo alimwomba kiongozi huyo kumtuma yeye na mawaziri watatu wa nishati na madini afya na utawi wa jamii pamoja na yule wa mazingira ili UNK tatizo hilo leo kwa kuwa wananchi wanazidi kupata madhara |
akijibu swali hilo waziri mkuu alisema mheshimiwa spika nikisema ni kesho UNK UNK tu UNK kwa haraka aliahidi bwana pinda |
katika hatua nyingine mbunge wa kigoma kaskazini bwana kabwe zitto huenda UNK na wakati mgumu tena bungeni baada ya spika wa bunge bwana samuel sitta kutangaza kwamba kitendo alichofanya cha kukataa kutii amri ya kiti iliyotolewa na mwenyekiti wa bunge bwana zuber ali maulid ya kufuta kauli yake kwamba mawaziri wanaji... |
akitangaza nia ya kushughulikia suala hilo na kulitolea uamuzi bungeni jana spika sitta alisema kwa mujibu wa kanuni za bunge toleo la mwaka ishirini sifuri saba iwapo mbunge hakuridhika na maamuzi ya kiti chake anatakiwa kutii kwanza kisha kukata rufaa na si UNK |
alisema uhuru wa wabunge kuhoji au kuchangia jambo lolote haliwezi kumfanya mbunge kutotii amri ya meza yake na kwamba suala hilo sasa atalitolea uamuzi kwa kuzingatia kanuni za bunge |
katika mchango wake katika hotuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu mbunge huyo jana alisema majibu yaliyotolewa na naibu waziri wa fedha na uchumi bwana jeremiah sumari kuhusu kampuni ya meremeta yalikuwa yanakinzana na kauli iliyotolewa na serikali kuwa uchunguzi unaendelea hivyo kutafsiri jibu hilo kuwa ni la ovyo |
na kulwa mzee viongozi wa mkoa wa dar es salaam UNK na wakati mgumu hadi kuamua kuondoka katika mazingira ya kutatanisha kwenye jengo la machinga complex baada ya wadau UNK juu kioski cha mfano kilichowekwa kwa ajili ya wafanyabiashara ndogo ndogo kutumia |
hali hiyo ilitokea jana katika kikao cha madiwani na wabunge wa mkoa huo kilichofanyika kwa ajili ya kujadili UNK jengo hilo kukabidhiwa kwa halmashauri ya jiji |
akizungumzia UNK wa makabidhiano hayo mhandisi kutoka kampuni ya ushauri ya UNK ambao ni UNK wa ramani bwana ernest mhina alisema shirika la umeme tanzania ndilo linalokwamisha kufanyika kwa makabidhiano hayo |
alisema tangu mwaka jana waliomba kuwekewa umeme lakini majibu UNK mwaka huu ambapo tanesco wanataka walipwe shilingi milioni hamsini kwanza ndipo UNK umeme katika jengo hilo kwa sababu wakati wa UNK mita zao zenye thamani hiyo UNK |
bwana mhina alisema kiasi hicho cha fedha kinatakiwa kulipa na halmashauri ya jiji kwani wao ndio UNK majengo ya UNK yaliyokuwa katika eneo hilo |
mhandisi huyo alisema wanategemea jengo lote liwe na wafanyabiashara ndogo ndogo kumi sifuri sifuri sifuri vioski viwe moja hamsini sifuri ambapo kila kimoja wanatarajiwa kukaa wafanyabiashara sita |
mbunge wa temeke bwana abbas mtemvu na mbunge wa ilala bwana mussa zungu walikubali kubeba jukumu hilo la kufuatilia umeme tanesco kwani hiyo walisema ndiyo kazi yao hawataki maneno na wapiga kura wao |
baada ya kutoa maelezo hayo viongozi wote akiwemo bwana zungu mhandisi bwana mhina meneja mipango na uwekezaji wa nssf bwana UNK abdallah na wadau mbalimbali UNK juu ya jengo hilo kuona kioski cha mfano kwa ajili ya wafanyabiashara hao |
udogo wa kioski hicho UNK mtafaruku wadau wakiwemo wajumbe katika bodi ya jengo hilo walisema havifai kutumiwa na watu sita kwa shida wanaweza kutumia watu wawili |
mjumbe wa bodi bwana UNK saidi ambaye ni katibu wa vibindo alisema vioski hivyo vinafaa lakini si kwa idadi ya wafanyabiashara sita katika kila kimoja kutokana na udogo wake |
bwana saidi alisema vioski hivyo vinastahili kuwa na watu watatu kwani hata huko china walikokwenda kuiga mtindo huo kioski kimoja kinatumiwa na watu wawili |
bodi yetu ilituma watu kwenda china wakakuta vioski hivyo kila kimoja kinatumiwa na watu wawili tena kwa ajili ya kuchukulia oda alisema |
mjumbe huyo alisema vioski UNK kuletwa kwa ajili ya wafanyabiashara wa hapo duka na stoo ni hiyo hiyo kwa hali hiyo aliona ni bora wamachinga waendelee kuuza bidhaa mikononi |
eneo lililowekwa kioski cha mfano palikuwa hakuna amani kila mmoja alikuwa akilalamika kivyake bila maelewano wala majibu ya moja kwa moja kipi kitafanyika kuondoa tatizo hilo UNK mapema |
kuendelea kwa kelele na malalamiko juu ya ukubwa wa vioski hivyo kulifanya viongozi waliokuwa katika mkutano huo kuondoka kila mmoja kwa wakati wake bila kurudi meza kuu na kuacha vinywaji pamoja na vitafunwa vilivyowekwa mezani kwa ajili yao kula |
aliyebaki juu akiendelea kujibu hoja ni bwana abdallah ambaye alisema UNK mapendekezo yaliyotolewa na kwenda kuyafanyia kazi |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.