text
stringlengths
1
1.32k
hivi vioski ni kwa ajili ya wafanyabiashara UNK mikanda kumi saa kumi na soksi kumi na si kwa ajili ya UNK UNK la nguo za mitumba alisema
wadau walimbana wakitaka kujua wafanyabiashara hao watawezaje kumudu gharama za hapo kwa kufanya biashara hiyo
akijibu alisema gharama ni ndogo kwani UNK kwa siku kila mfanyabiashara alipe si zaidi ya shilingi moja hamsini sifuri na salum pazzy wanachama wa deci mpya ya tumaini relief saccos wamepanga UNK jumatano ijayo kuidhinisha maamuzi yaliyofikiwa na kamati maalum inayoshughulikia kulipwa mbegu zao
agizo hilo lilitolewa na kamati hiyo jana katika ofisi za taasisi hiyo zilizopo tabata relini dar es salaam ambapo viongozi hao wamewaomba wanachama kukusanyika siku hiyo ili kukamilisha mikakati yao
akizungumza na gazeti hili katibu wa kamati hiyo bwana richard mbilinyi alisema kuwa hatua mbalimbali zimeshaanza kuchukuliwa ikiwa ni pamoja na kuonana na wahusika ili kuwabana walipe fedha hizo kabla hawajafikishwa mahakamani
hata hivyo bwana mbilinyi alieleza kuwa viongozi wa taasisi hiyo waliokamatwa juzi waliachiwa mara baada ya kufikishwa kituo cha polisi buguruni kitendo ambacho kinapunguza ufanisi wa kazi ya kamati hiyo
sisi tunaendelea na mikakati yetu kwa sasa hatuwezi kusema mengi lakini wale viongozi waliokamatwa waliachiwa siku ile ile walipofika kituoni alidai
hata hivyo baadhi ya wanachama hao walionekana kukata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kuweka fedha kwenye taasisi hiyo na kusema kuwa viongozi wao walitumia imani ya dini UNK
mimi niliuza nyumba yangu na kuja kupanda mbegu hapa wakaniambia fedha UNK UNK kwenye mzunguko wao maalum utakao UNK faida ya ajabu na UNK UNK kwani mungu ana uwezo wa kufanya miujiza alilalamika mmoja wa wanachama hao
wanachama hao waliofika ofisini hapo wakiwa na vielelezo mbalimbali vya mbegu walizopanda ikiwa ni pamoja na namba ya akaunti ya taasisi hiyo waliyokuwa wakiweka fedha na stakabadhi walizopewa baada ya malipo hayo
baadhi ya wanachama hao walitupa lawama kwa serikali kwa kushindwa kusimamisha shughuli za upatu huo mapema na kudai kuwa ndiyo ilitoa vibali bila UNK shughuli zinazofanywa na taasisi hiyo
na zuhura semkucha shinyanga mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya mlemavu wa ngozi albino lyaku willy bwana mboje mawe ameiambia mahakama namna UNK kipigo na askari polisi wakati walipokuwa wakimshinikiza kufukua viungo vya mlemavu huyo
mshtakiwa huyo alisema hayo jana mahakama kuu mjini hapa baada ya kubanwa na upande wa mashitaka UNK kueleza sababu zilizowafanya askari wampe UNK peke yake na sababu zilizomfanya akubali kufukua viungo UNK na kuwataja watuhumiwa wenzake kama kweli hakuhusika na mauaji hayo
mshitakiwa huyo alidai kuwa sababu ya askari hao kumpa kipigo hicho ni kitendo chake cha kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wa ngazi ya kata hivyo aliamini kuwa ni mambo ya kisiasa
alidai kuwa askari ndio walimpeleka kwenye nyumba iliyokuwa na viungo hivyo na kwa upande wake UNK
mimi UNK na askari polisi na tulipofika askari ndio walivunja mlango na kutoa panga na UNK
na kumtaka aoneshe vilipo viungo vya albino huyo lakini yeye hakufahamu hata vilipo alidai mshitakiwa huyo
alidai UNK baada ya yeye kushindwa kuonesha mahali vilipo askari hao walimpeleka kwenye nyumba aliyokuwa akiishi yeye na kumwonesha maeneo mawili ambayo walimtaka UNK katika maeneo hayo
hata hivyo UNK kupingana na wale askari lakini walinipiga mno hivyo nililazimika kufuata amri hiyo ya kufukua sehemu hizo na hatimaye sehemu ya kwanza tulikuta UNK mfuko ambao baada ya kuufungua ndani kulikuwa na miguu miwili ya binadamu huku sehemu nyingine tulikuta mfuko wa UNK wenye kichwa cha binadamu pia alidai m...
alisisitiza kuwa alilazimika kufukua katika maeneo hayo kwa kuwa alilazimishwa na askari polisi
kitendo cha mshitakiwa huyo kudai kuwa alikiri kosa kutokana na kupigwa na askari polisi kulizua malumbano makali ya kisheria katika pande zote mbili huku upande wa utetezi UNK kupokewa kwa maelezo ya onyo ya mshitakiwa huyo kama kielelezo mahakamani hapo
sababu ya kupinga maelezo hayo upande huo ulidai kuwa yalichukuliwa kwa shinikizo na si kwa hiari ya mshitakiwa mwenyewe
wakili wa serikali edwin kakolaki aliiambia mahakama hiyo kuwa washitakiwa bwana mboje mawe bwana chenyenye maganyale bwana sayi gamaya na bwana sayi mafizi walitenda mauaji hayo dhidi UNK wa ngozi lyaku willy desemba mwaka jana katika kijiji UNK UNK
na yusuph mussa korogwe wazee wa chama cha mapinduzi wilayani korogwe mkoani tanga UNK mwenyekiti wa chama hicho rais jakaya kikwete kupunguza huruma kwa watu UNK kwani baadhi yao ni wasaliti na UNK chama rehani
waliyasema hayo hivi UNK walipokutana na mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm taifa bwana hamad yusuph masauni mjini hapa na kumweleza kuwa matatizo UNK chama hicho ni matokeo ya baadhi ya vigogo wa ccm kukumbatia ufisadi bwana juma dungumaro ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya alisema ccm imekuwa na maa...
walisema watu hawa wakiachwa waendelee na nyadhifa zao ndani ya chama UNK chama hicho kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi mkuu ujao mwakani
bwana dungumaro alitoa mfano kuwa ccm inatumia nguvu nyingi kwenye chaguzi ndogo za ubunge na udiwani kwa sababu UNK na vigogo hao lazima tujiulize ni kwanini ccm inatumia nguvu nyingi kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge ama UNK
tena wakati mwingine kiti hicho cha ubunge au udiwani kilikuwa cha ccm tukae tujiulize na UNK chanzo
ni kwanini vijana UNK na kukimbilia vyama vya upinzani
kwanini chama kinakamiwa na kila mtu hasa katika uchaguzi mkuu ujao
UNK rais kikwete apunguze huruma kwa viongozi wake wa karibu UNK kwani hao UNK chama pamoja na rais mwenyewe
utovu huu wa nidhamu UNK kuendelea kwenye chama
mimi nashauri kaulimbiu yake ya ari mpya nguvu mpya na kasi mpya itumike UNK alisema bwana dungumaro
aliongeza kuwa anashangazwa na baadhi ya wabunge wa ccm kutoa siri kwa wenzao wa vyama vya upinzani na kutumia nafasi hiyo kukidhoofisha chama kwani hoja zinazopelekwa hazina nia njema na ccm badala yake UNK chama kupoteza imani kwa wananchi
maadili ya chama sasa hivi yako wapi
inafikia baadhi ya wabunge wa ccm wanapeleka hoja kwa wabunge wa vyama vya upinzani ili kukimaliza chama
wanapeleka hoja ili kutu fire hilo halikubaliki
alisema bwana dungumaro
alisema ufisadi haupo ngazi za juu tu bali hata kwenye halmashauri kuna mambo mengi yanafanyika na kuwakatisha tamaa wananchi hususan katika upatikanaji wa huduma muhimu
watu wanaopiga kura wapo huku chini lakini vitendo UNK na halmashauri vinakatisha tamaa na kuchangia UNK ccm alisema bwana dungumaro
naye bwana juma UNK wa kata ya old korogwe alisema wazee wamesahaulika UNK na kubaki kusifiwa kama waasisi wa chama hicho lakini bila kupewa huduma ikiwemo matibabu na hata wakiwa na njaa hawapewi msaada wa chakula
wazee UNK wamebaki kusifiwa kwani hawapati matibabu na gharama ni kubwa lakini hata wawe na njaa UNK chakula cha misaada hata kuwe na vikao vya kujadili maendeleo ama kutoa kero zetu wazee UNK alisema bwana UNK
akijibu hoja hizo bwana masauni alisema rais kikwete amejitahidi kupambana na mafisadi na amekuwa akifanya juhudi za makusudi kuhakikisha wananchi wanapata maisha bora
alikiri baadhi ya chaguzi kuwa ngumu kwa ccm kwa mfano wa tarime na busanda
matatizo ya vijana UNK na baadhi ya watu wanatumia vyombo vya habari hasa magazeti kuelezea shida zao hivyo UNK kukisaliti chama lakini hali haiko hivyo kwani rais kikwete anajitahidi kuboresha maisha ya wananchi wake wakiwemo vijana alisema bwana UNK
mwenyekiti wa uvccm mkoa wa tanga bwana rodgers shemwelekwa alisema vijana mkoa wa tanga wanalaani vikali kauli za baadhi ya wabunge kulaani baraza la mawaziri
naye mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa korogwe bwana hillary ngonyani aliwataka wananchi kuacha kulalamika wanapokuwa hawajatendewa haki na watendaji badala yake waende kwa madiwani na UNK wa halmashauri kwani wana mamlaka kudhibiti watendaji UNK
na grace michael wazee wa baraza wameiomba mahakama kutomkuta na hatia yoyote aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdallah zombe kwa kuwa hakuna ushahidi UNK na mauaji ya wafanyabiashara wa madini kutoka mahenge mkoani morogoro
ombi hilo UNK jana mahakama kuu ya tanzania mbele ya jaji salum massati wakati wakitoa maoni yao kuhusu kesi hiyo dhidi ya washitakiwa baada ya kusikiliza mashahidi wa pande zote mbili
kwa upande wa mshitakiwa wa kwanza hakuna shahidi yeyote wa upande wa mashitaka ambaye amefika hapa na kueleza namna alivyoshiriki katika mauaji hayo wala katika ukamataji wa marehemu hao hivyo upande wa mashitaka umeshindwa kuthibitisha makosa dhidi yake
alisema bwana nicolaus kimolo
mzee huyo alianza kuchambua hoja UNK nazo mshitakiwa huyo kama kwenda kituo cha urafiki kuwapongeza askari waliohusika na mauaji hayo pamoja na kutoa taarifa za mauaji
alisema kitendo cha bwana zombe kwenda urafiki kilitokana na kuitwa na mkuu wa kituo hicho baada ya kuona kuna mgogoro katika kielelezo cha fedha walizokamatwa nazo marehemu hivyo hakwenda kwa nia mbaya
kitendo cha kuwapongeza askari bwana kimolo alisema kuwa kutokana na taarifa za ukamataji wa majambazi zilizotolewa na askari wake wa chini ambao walidai kuwakuta na silaha marehemu ndizo zilimfanya UNK kwa kuwa aliona ni haki kufanya hivyo
hakukosea kuwapongeza kwani askari wa chini anapofanya kitendo kizuri au cha kijasiri ni haki yake kupongezwa hivyo hakuwa na nia mbaya kufanya hivyo na hakufahamu lolote kuhusu mauaji hayo alisema bwana kimolo
kuhusu utoaji wa taarifa alisema kuwa yeye aliongozwa na taarifa kutoka kwa askari waliokuwa kwenye tukio
akichambua ushahidi wa upande wa mashitaka mzee huyo alisema mpelelezi mkuu wa kesi hiyo alikiri mahakamani kuwa bwana zombe hakuwahi kuandika maelezo kama mshitakiwa bali UNK katika kesi hiyo kutokana na maelezo ya washitakiwa ambayo waliandika wakiwa gerezani
alisema hata mapendekezo ya tume zote mbili zilizokuwa zimeundwa kuchunguza mauaji hayo UNK yeye akamatwe na kushitakiwa hivyo kwa maoni hayo mahakama UNK kutomkuta na hatia yoyote
naye bibi magreth UNK katika maoni yake alisema hoja iliyokuwa UNK na washitakiwa kuwa bwana zombe UNK namna ya kusema katika tume na kuwapa vikaratasi vyenye maelezo hayo hakuna mshitakiwa hata mmoja ambaye UNK mahakamani hapo kama kielelezo
kutokana na hayo alisema kuwa ulikuwa ni uongo wa washitakiwa hao hivyo naye akaiomba mahakama kutomkuta na hatia yoyote katika mashitaka hayo
kwa upande wa mshitakiwa wa pili bwana christopher bageni wazee hao waliungana na upande wa mashitaka kwa asilimia kumi sifuri na kuiomba mahakama kumtia hatiani kwa makosa ya kuua kwa makusudi kwa kuwa alishiriki tukio zima la mauaji
bwana kimolo alisema kuwa mshitakiwa huyo hakuwepo eneo la ukamataji bali alikuwa barabara ya sam nujoma ambako alipelekewa washitakiwa wakiwa wamefungwa pingu na mashati yao mikononi na kwa mujibu wa ushahidi wa mshitakiwa wa kumi na mbili bwana rajab bakari alielezea namna mshitakiwa huyo alivyokuwa akiwasiliana kwa...
alisema kutokana na utetezi wake ambao alikana kuhusika na mauaji hayo na kudai kuwa siku ya tukio alikuwa pugu dar es salaam kwenye ujenzi wa nyumba yake ukilinganishwa na wa upande wa mashitaka inaonesha kuwa kuna jambo alilokuwa analifahamu ndio maana UNK tume kwenye ukuta wa posta sinza ambako walidai kufanyika ma...
alisema mshitakiwa huyo alivunja sheria ya kutowapeleka marehemu katika vituo vya polisi badala yake kwenda kuwaua kinyama
naye bibi mosi kwa upande wa mshitakiwa huyo alisema kuwa hata kama marehemu walikuwa ni majambazi lakini hakuna sheria UNK wauawe tena wakiwa chini ya ulinzi wa polisi
kwa mazingira hayo wazee kwa pamoja walikubaliana na ushahidi wa upande wa mashitaka na kusema kuwa UNK bila kuacha shaka yoyote hivyo atiwe hatiani kwa makosa hayo
kwa upande wa mshitakiwa wa tatu bwana ahmad makelle wazee hao walisema kuwa upo ushahidi wa kutosha ambao unaonesha kuwa alikuwepo eneo la ukamataji na kuonekana kugombea fuko la fedha za marehemu
ushahidi huo unaonesha kuwa baada ya marehemu hao kupekuliwa yeye akiwa na gari yake ndiye aliongoza msafara ambapo gari aina ya land rover defender ambalo lilibeba marehemu UNK hivyo kwa mtazamo huo anafahamu tukio hilo
kitendo cha mshitakiwa huyo kuonekana na vielelezo hivyo ni ushahidi tosha kuwa alihusika vyema katika tukio hilo na pande alikwenda hivyo atiwe hatiani kwa makosa ya mauaji ya UNK
wazee hao walikwenda mbali zaidi na kusema kuwa hata alipopata nafasi ya utetezi mshitakiwa huyo hakuweza kuieleza mahakama baada ya ukamataji alikwenda wapi hivyo huo ni udhaifu mkubwa ambao UNK nguvu ushahidi wa upande wa mashitaka
ushahidi unaonesha mshitakiwa huyu alikwenda msitu wa pande hivyo atiwe hatiani alisisitiza bibi kimolo
kitendo cha wazee wa baraza kusema hivyo mshitakiwa huyo alionekana akitabasamu kitendo ambacho UNK kama ni furaha au huzuni
kwa upande wa mshitakiwa wp jane andrew wazee hao walisema ushahidi upo wa kutosha kuhusu kuhusika kwake kwenye mauaji hayo kwa kuwa alionekana akingganggania fuko la fedha za marehemu eneo la sinza
walisema kuwa udhaifu wake wa kushindwa kuieleza mahakama muda UNK eneo lake la lindo kama alivyodai kwenye utetezi wake na kushindwa kuleta shahidi wa kumuunga mkono ni dalili ya kujua jambo hilo na kuhusika na mauaji hayo
mshitakiwa emanuel mabula naye wazee hao waliomba akutwe na hatia ya mauaji ya kukusudia kwa kuwa alihusika na UNK wa UNK wa majambazi hivyo alihusika moja kwa moja na mauaji hayo
aidha walisema kuwa upo ushahidi unaoonesha kuwa mshitakiwa huyo alikiri kuwa ukuta wa posta ambako walidai kuwepo kwa mashambulizi ya risasi na majambazi hao
mshitakiwa koplo michael na koplo abeneth nao walitakiwa UNK na hatia katika makosa ya mauaji kwa kuwa ushahidi upo wa kutosha ushiriki wao
alisema kuwa vitendo vya washitakiwa hao kushindwa kutoa taarifa za tukio hilo ni kielelezo tosha cha kufahamu tukio hilo
kwa upande wa mshitakiwa wa kumi na mbili bwana rajab ambaye alikuwa tofauti na washitakiwa wengine kwa kukiri kuwepo msitu wa pande na kushuhudia mauaji wazee hao waliomba akutwe na hatia ya makosa hayo kwa kuwa alikiri mwenyewe
walisema kuwa kitendo chake cha kutotoa taarifa kwenye mamlaka husika ya tukio hilo kwa madai ya kuwa na cheo kidogo haikuwa sababu ya kumfanya asitoe bali alifahamu tukio zima na alihusika na mauaji hayo ya kinyama
UNK huyu mshitakiwa UNK mauaji hayo ya kinyama UNK na wakubwa zake halafu ashindwe kutoa taarifa hivyo mwenendo wake wa kukaa kimya ni kuhusika moja kwa moja wa tukio hilo
wazee hao pia UNK mahakama hiyo kwa mshitakiwa mwisho bwana festus gwabisabi kwa kuiomba imwachie huru kwa kuwa yeye hakwenda pande na alikiri kuhusika na ukamataji tu na baada ya hapo kuamuliwa kwenda urafiki kupeleka gari la marehemu
kutokana na maoni hayo wazee hao wameomba jumla ya washitakiwa saba watiwe hatiani kwa makosa ya mauaji ya kukusudia ambayo hukumu yake kisheria ni kunyongwa hadi kufa
aidha washitakiwa wawili akiwemo bwana zombe wameomba waachiwe huru kwa kuwa hawakuhusika kabisa na mauaji
baada ya kumalizika kwa maoni ya wazee hao jaji alisema kuwa usikilizwaji wa kesi hiyo umemalizika na kilichobaki ni hukumu ambayo tarehe yake ataitoa kwa UNK
washitakiwa katika kesi hiyo wanadaiwa kuwa januari kumi na nne mwaka ishirini sifuri sita wakiwa katika msitu wa pande ulioko mbezi luisi dar es salaam walimuua kwa makusudi ephraim chigumbi sabinusi chigumbi juma ndugu na mathias lukombe
serikali yasema ni mtu safi mcha mungu
hamiliki akaunti nje ya nchi wala ndege
hata kiwira anashindwa kulipa mishahara
yasema shukrani ya punda daima ni mateke serikali imekata mzizi wa fitina kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomwandama rais mstaafu wa awamu ya tatu bwana benjamini mkapa na kutamka kuwa kiongozi huyo ni safi mcha mungu na mtu wa kanisa
msimamo huo uliwekwa bayana bungeni mjini dodoma jana na waziri mkuu bwana mizengo pinda wakati akitoa majumuisho ya hoja zilizotolewa na wabunge wakati wakichangia bajeti ya ofisi yake kwa mwaka wa fedha ishirini sifuri tisa kumi hadi leo mzee mkapa anapendwa na kutambulika kimataifa kama kiongozi mwadilifu alisema b...
alisema bwana mkapa hana akaunti anayomiliki nje ya nchi wala hamiliki ndege hivyo hana kitu cha kumfanya aitwe fisadi
naamini mzee huyo ni mtu safi sawa ipo kiwira hili tumesema tutalitolea maelezo alisema bwana pinda
aliwataka watanzania waangalie nia ya bwana mkapa wakati ule kwa kuwa kiwira ilikuwa sawa na UNK hivyo lengo lake lilikuwa kutaka kufufua mgodi huo
bwana pinda alifafanua kuwa yeye amefanyakazi na bwana mkapa akiwa msaidizi wake anamfahamu vizuri kuwa ni mtu safi mcha mungu na mtu wa kanisa
naamini mzee huyo ni mtu safi sana alisema bwana pinda na kusisitiza tukitaka kuwasema viongozi hawa hasa waheshimiwa marais ni lazima tujitazame mara mbili
alisema mwelekeo wa sasa wa kuwasema vibaya viongozi hasa marais wastaafu si mzuri na hauwapi moyo wa kufanyakazi
alisema mfumo wa uongozi hapa nchini UNK fursa rais aliyeko madarakani kuwa fisadi kama ilivyokuwa kwa kiongozi mmoja wa drc ingawa bwana pinda hakutaja jina la kiongozi huyo wa drc kumbukumbu za historia ya watawala wa afrika inaonesha wazi kuwa UNK marehemu UNK UNK
ndani ya nchi hii kwa mfumo wetu mtu hawezi kufikia hapo ni lazima mtu akitaka kuwa fisadi awe UNK ili mtu akitaka kumsema UNK kisu alisema
waziri pinda alisema kama suala la kiwira ndiyo kitu kikubwa atahakikisha hisa zote zinarudi serikalini